text stringlengths 76 23.7k | label int64 0 5 |
|---|---|
Pazia limeshushwa katika kampeni za Ligi Kuu ya 202324 huku Manchester City ikiweka historia kwa kunyakua taji la nne mfululizo Miezi 12 iliyopita Riyad Mahrez alikuwa sehemu ya kusherehekea kombe la The Blues lakini baada ya winga huyo wa Algeria kuhamia Saudi Arabia mabingwa hao hawana tena Mwafrika yeyote katika kik... | 2 |
Manchester United wanaweza kubadilisha meneja wao wakati Manchester City wanafikiria kumruhusu mchezaji nyota kuondoka Mauricio Pochettino yuko kwenye rada ya Manchester United na Bayern Munich baada ya kuondoka Chelsea kwa makubaliano ya pande zoteStandard Meneja wa Stuttgart Sebastian Hoeness na Kieran McKenna wa Ips... | 2 |
Meneja wa Burnley Vincent Kompany 38 ni miongoni mwa watu wanaopigiwa upatu kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel huko Bayern Munich Fabrizio Romano Aston Villa wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua tena mchezaji wa Luton Town na kiungo wa kati wa zamani wa Uingereza Ross Barkley kwa mkataba wa kudumu miaka minne baad... | 2 |
Manchester United wanataka takriban asilimia 75 ya pauni milioni 75 walizolipa Borussia Dortmund kwa winga wa Uingereza Jadon Sancho 24 ambaye atahitaji kupunguzwa mshahara wake wa pauni 275000 kwa wiki ikiwa klabu hiyo ya Bundesliga itakamilisha dili la kumsaini tenaSun RB Leipzig wamempa mshambuliaji wa Slovenia Benj... | 2 |
Aston Villa wana nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Chelsea na England Conor Gallagher 24 na huenda wakamtumia fowadi wa Colombia Jhon Duran 20 kama sehemu ya mkataba huo Telegraph Subscription required Mshambulizi wa Brentford na England Ivan Toney 28 anasakwa na Tottenham kama mmoja wa washambuliaji wawili wanaotaraj... | 2 |
Tyson Fury alishindwa kwa pointi nchini Saudi Arabia huku Oleksandr Usyk akiwa bingwa wa kwanza wa ndondi za uzani mzito zaidi kushikilia mikanda minne duniani Katika usiku uliosheheni ujuzi wa kila aina kutoka kwa mabondia hao Tyson Fury alianza vyema mechi hiyo lakini akaokolewa na kengele katika raunndi ya tisa kuto... | 2 |
Newcastle United wanataka kumsajili mlindalango wa Arsenal na England Aaron Ramsdale na wako tayari kulipa pauni milioni 15 kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 Telegraph Crystal Palace na Fulham zote zimetuma mawakala wao kumtazama kiungo wa kati wa Fiorentina na Morocco Sofyan Amrabat 27 ambaye yuko kwa... | 2 |
PA Media Tumemwona kama mchezaji na tunamfahamu kama meneja lakini Mikel Arteta ni nani hasa Katika wiki ya mwisho ya msimu wa kusisimua wa Ligi Kuu ya Uingereza meneja wa Arsenal alimualika mwandishi wa BBC Sport Guillem Balague nyumbani kwake kwa mahojiano ya kipekee ya saa moja Arteta anazungumza juu ya utoto wake k... | 2 |
Cristiano Ronaldo ameongoza orodha ya Forbes ya wanariadha wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mara ya nne katika maisha yake ya soka huku Jon Rahm mcheza gofu akipanda hadi nafasi ya pili Ronaldo pia aliongoza orodha hiyo mwaka jana baada ya kuhamia klabu ya soka ya Saudi Arabia ya Al Nassr Jarida la biashara la... | 2 |
Napoli wanavutiwa na mshambuliaji wa England Mason Greenwood ambaye yuko Getafe kwa mkopo kutoka Manchester United lakini huenda wakakabiliwa na ushindani kutoka kwa Juventus ikiwa wanataka kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 Corriere dello Sport kwa Kiitaliano Atletico Madrid pia wanataka kumsajili Greenwo... | 2 |
Manchester United wanataka kumsajili mshambuliaji wa Uingereza Ollie Watkins kutoka Aston Villa kwani mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 analingana na wasifu wa mchezaji ambaye wanataka kumsajili Talksport Arsenal wanafikiria kuwasilisha dau la pauni milioni 60 kumnunua mshambuliaji wa RB Leipzig wa Slovenia Benjami... | 2 |
Manchester City ilipata shujaa mpya kutoka kwa nyota wao wakubwa katika harakati zao za kunyakua taji la nne mfululizo la ligi ya Premier Pep Guardiola alichukua hatua ya tahadhari alipomtoa kipa Ederson huku City wakiwa kifua mbele kwa bao 10 baada ya mlinda lango namba moja kupata pigo baya kichwani baada ya kugongan... | 2 |
Bayern Munich wana mpango wa kumnunua kiungo wa kati wa Manchester United Bruno Fernandes msimu huu wa joto na wanaamini kuwa wanaweza kumpata mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 29 kwa sababu ya hali ya kufadhaika Old Trafford Independent Wachezaji kadhaa wakuu wa Bayern Munich akiwemo mshambuliaj... | 2 |
Klabu za Ligi Kuu ya Saudia Saudi Pro zina nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Manchester United na Brazil Casemiro 32 na kiungo wa kati wa Ureno mwenye umri wa miaka 29 Bruno Fernandes Telegraph usajili unahitajika Arsenal wanakaribia kumpoteza mlinzi Reuell Walters 19 baada ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza w... | 2 |
Wakati Manchester United wakisaka bao la kusawazisha dhidi ya Arsenal siku ya Jumapili anga ya buluu juu ya Old Trafford ilitoa nafasi ya ngurumo na mvua kubwa Hali hiyo inaweza kuwa kielelezo kwa msimu wa Man United ambapo matumaini ya kumenyana na The Gunners pamoja na Manchester City kileleni mwa jedali yamegeuka na... | 2 |
Katika soka kila wakati kuna uwezekano Hayo yalikuwa maneno ya mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta baada ya ushindi wao wa bao 10 dhidi ya Manchester United kuwarudisha kileleni mwa jedwali la Ligi ya Premia na kuweka kimyanganyiro cha kuwania taji hilo kuelekea wiki ya mwisho ya msimu The Gunners sasa wako pointi moja mb... | 2 |
Liverpool wanavutiwa na winga wa Newcastle mwenye umri wa miaka 23 Anthony Gordon ambaye alianza kucheza soka katika klabu ya Everton Star Mkataba wowote kwa Gordon unaweza kukatiza matumaini ya Arsenal ya kumsajili mshambuliaji wa Newcastle mwenye umri wa miaka 24 raia wa Uswidi Alexander Isak msimu huu wa joto Expres... | 2 |
Mabingwa wa Saudi Pro League AlHilal wana uhakika wa kumsajili mshambuliaji wa Tottenham na Brazil Richarlison msimu huu huku Spurs wakiwa tayari kutoa ofa kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 Mail Tottenham wanaweza kumbadilisha Richarlison kwa Eberechi Eze wa Crystal Palace 25 lakini wanakabiliwa na ushindani ku... | 2 |
Gettu Images Mustakabali wa kiungo wa kati wa Uingereza Jordan Henderson mwenye umri wa miaka 33 katika klabu ya Ajax umetiwa shaka baada ya timu hiyo ya Uholanzi kushindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa kwa msimu wa pili mfululizo Athletic subscription required Ripoti zinazomuhusisha kiungo wa kati wa Newcastle Bruno Gui... | 2 |
Chelsea watafanya tathmini ya mwisho wa msimu kufuatia mchezo wao wa mwisho wa ligi msimu huu dhidi ya Bournemouth ambapo wataamua mustakabali wa meneja Mauricio Pochettino Telegraph Arsenal inamtazama mlinda lango wa zamani na mchezaji wa kimataifa wa Poland Wojciech Szczesny 34 pamoja na mlinda lango wa Brighton Muin... | 2 |
Aston Villa wana imani kuwa wanaweza kuzishinda Arsenal na Manchester United katika kumsajili winga Mfaransa Michael Olise 22 kutoka Crystal Palace Football Transfers Tottenham wako tayari kumpa meneja Ange Postecoglou fedha za kusajili mshambuliaji beki wa kati na kiungo wa kati msimu huu wa joto Times usajili unahita... | 2 |
Manchester United hawana nia ya kumfukuza meneja Erik ten Hag kabla ya fainali ya Kombe la FA mnamo Mei 25 Telegraph usajili unahitajika Hata hivyo Mholanzi Ten Hag atafutwa kazi mwishoni mwa msimu huu Football Insider Kocha wa Bayern Munich Thomas Tuchel ana nia ya kuwa meneja wa Manchester United iwapo klabu hiyo ita... | 2 |
Mshindi mara mbili wa mbio za marathon katika mashindano ya Olimpiki Eliud Kipchoge anasema alihofia maisha ya familia yake wakati wa kampeni ya unyanyasaji mtandaoni dhidi yake ambayo ilimhusisha kimakosa na kifo cha mwanariadha mwenzake wa Kenya wa mbio za marathon Kelvin Kiptum Kiptum mshikilizi wa rekodi ya dunia a... | 2 |
Mshambulizi wa Liverpool na Uruguay Darwin Nunez ameibuka kama lengo kuu la kushtukiza kwa Barcelona huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 akionekana kama mbadala wa mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski 35Sun Nunez amechochea uvumi wa kuondoka Liverpool majira ya joto kwa kufuta picha zote za wakati wake Anfi... | 2 |
Arsenal wako tayari kusikiliza ofa za kumuuza mshambuliaji wa Brazil Gabriel Jesus 27 msimu huu wa joto Football Insider Kiungo wa kati wa Ghana Thomas Partey 30 na Jesus wanasemekana kuwa kwenye rada za vilabu kadhaa nchini Saudi Arabia huku kandarasi za kiasi kikubwa cha fedha zikiandaliwa kwa wachezaji hao wawili wa... | 2 |
Wahasibu wa vilabu vya Premier League hufurahi kuwauza wachezaji na kuzalisha faida nzuri na kusaidia kufuata sheria kali za kifedha Everton Nottingham Forest na Leicester zote zimekumbwa na ukiukaji wa kanuni za fedha huku vilabu kama Chelsea Tottenham Aston Villa Newcastle na Wolves zikiwa zimepata hasara kubwa katik... | 2 |
Meneja wa Manchester United Erik ten Hag ndiye anayetarajiwa kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel anayeondoka Bayern Munich Falk Christian Mshambuliaji wa Liverpool na Uruguay Darwin Nunez 24 analengwa na Barcelona msimu huu kama mbadala wa mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski 35 Sun Man United wanasubiri ofa kwa wing... | 2 |
Kocha wa zamani wa Bayern Munich wa Chelsea Thomas Tuchel ni miongoni mwa orodha ya Manchester United ya watu wanaoweza kuchukua nafasi ya Erik ten Hag iwapo Mholanzi huyo ataondoka msimu wa joto Times Lakini Tuchel amefungua milango ya kusalia Bayern Munich baada ya msimu huu licha ya kutangazwa Februari kwamba ataond... | 2 |
Manchester United wako mbioni kumsajili kiungo wa kati wa Crystal Palace na Ufaransa chini ya umri wa miaka 21 Michael Olise 22 ESPN Juventus wanaongoza katika kinyanganyiro cha kumsajili mashambuliaji wa Manchester United na Uingereza Mason Greenwood 22 ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya Getafe ya Uhispania i Sport... | 2 |
Arsenal wako tayari kupokea ofa ya kumuuza mshambuliaji wao wa Brazil Gabriel Jesus 27 wakati wa majira ya joto ya msimu huu Athletic Usajili unahitajika The Gunners wana matumaini kuwa kiungo wa kati wa Italia Jorginho 32 atapuuza nia ya Juventus Lazio na Napoli kutaka kumsajili na kusaini mkataba wa nyongeza Standard... | 2 |
Manchester United haitarajii klabu yoyote kufikia thamani ya 70m ya mshambuliaji wa Uingereza Marcus Rashford 26 msimu huu wa joto ESPN Paris StGermain wamepiga breki nia yao ya kutaka kumnunua Rashford na watafuatilia malengo mengine ya uhamisho kabla ya dirisha la kiangazi i Sport Wakati huo huo kocha wa United Erik ... | 2 |
Liverpool wanatarajia Mohamed Salah atasalia katika klabu hiyo na wanataka mshambuliaji huyo wa timu ya taifa ya Misri mwenye umri wa miaka 31 kuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao The AthleticUsajili unahitajika Mkurugenzi wa michezo wa Liverpool ajaye Richard Hughes ataongoza mazungumzo kuhusu mkataba mpya wa Salah a... | 2 |
Mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen ataondoka Napoli msimu huu wa joto huku Chelsea na PSG zikitarajiwa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 Gazetta kwa Kiitaliano Crystal Palace wanahofia kwamba beki wa England mwenye thamani ya pauni milioni 55 Marc Guehi huenda akaondoka msimu huu huku Manchester United... | 2 |
Bayern Munich wanapanga uhamisho mwingine wa kumnunua mlinzi wa Manchester City Muingereza Kyle Walker baada ya kushindwa kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 msimu uliopita wa joto Star Mmiliki mwenza wa Manchester United Sir Jim Ratcliffe amekutana na wakala bora Jorge Mendes ambaye wateja wake ni pamoja n... | 2 |
Manchester United wako tayari kumwachia mlinzi wa zamani wa Ufaransa Raphael Varane 31 kuondoka bure mkataba wake utakapokamilika msimu huu wa joto Mirror Barcelona wanatazamia kuimarisha safu yao ya mashambulizi huku mshambuliaji wa Liverpool na Colombia Luis Diaz 27 akiwa mmoja wa walengwa wao wakati The Reds wakiish... | 2 |
Winga wa Crystal Palace Mfaransa Michael Olise 22 atakuwa tayari kuhamia Manchester United msimu ujao90min Manchester United wana imani dau la kati ya 6070m litatosha kumsajili beki wa Uingereza Jarrad Branthwaite 21 kabla ya Juni 30 na hivyo kuiruhusu Everton kujumuisha ada hiyo katika akaunti zao za 202324 na kuepuka... | 2 |
Manchester United wanavutiwa na mshambuliaji wa Brentford na England Ivan Toney na wanaamini kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ataleta uzoefu na uongozi kwenye kikosi chao 90min Hata hivyo Tottenham wanaweza kumnunua Toney iwapo kutakuwa na ushindani wa kutosha kuipata sahihi yake na kutoa pauni milioni 45 G... | 2 |
Arsenal na Manchester City wanafikiria kumnunua kiungo wa kati wa Newcastle United na Brazil Bruno Guimaraes 26 Telegraph Kiungo wa kati wa Ureno Bernardo Silva ameamua kuondoka Manchester City na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 ambaye ana kipengee cha kumuachilia cha pauni milioni 50 ana nia ya kuhamia Barcelona... | 2 |
Meneja wa Brighton Roberto de Zerbi ndiye mgombea anayeongoza kuchukua nafasi ya Ten Hag ikiwa ataondoka Old Trafford na Seagulls wanamfikiria kocha mkuu wa Burnley Vincent Kompany kama mbadala wake Teamtalk West Ham watafanya mazungumzo na kocha mkuu wa Sporting Lisbon Ruben Amorim 39 huku wakiamua iwapo wataongeza mk... | 2 |
Barcelona wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Liverpool mwenye umri wa miaka 27 raia wa Colombia Luis Diaz msimu huu wa joto Sport kwa Kihispania Wolves inawazingatia kipa wa Arsenal Muingereza Aaron Ramsdale 25 mlinda lango wa Liverpool na Jamhuri ya Ireland Caoimhin Kelleher 23 na kipa wa Sunderland Anthony Patters... | 2 |
Real Madrid wanaongoza katika kinyanganyiro cha kumsajili kiungo wa Manchester City na Ureno Bernardo Silva mwenye umri wa miaka 29 msimu huu Star Barcelona wanatarajiwa kumenyana na Real huku rais wa klabu hiyo Joan Laporta akipatia kipaumbele usajili wa Silva Sport kwa Kihispania West Ham walikuwa na mpango wa kumsaj... | 2 |
Meneja wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane anafuatilia kwa karibu hali ya meneja wa Manchester United Erik ten Hag na angependelea kuinoa Old Trafford badala ya Bayern Munich LEquipe via Get French Football News Bayern Munich haijawasiliana na mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa Zidane kuhusu kumrithi Thom... | 2 |
Mshambuliaji wa Bayern Munich Jamal Musiala anaibuka kama shabaha kuu ya Manchester City msimu wa joto huku Chelsea pia wakifuatilia hali ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani Guardian Hata hivyo Bayern hawana nia ya kumuuza Musiala na wanatayarisha ofa ya mkataba mpya kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 Fab... | 2 |
Manchester City na Real Madrid zilicheza mechi yao ya robo fainali ambapo City waliondolewa katika michuano hiyo na Real Madrid Mechi hiyo hatahivyo ilikuwa kubwa kuwapima wachezaji wawili wa England wanaopigania jezi moja ya England Phil Foden wa Manchester City na Jude Belligham wa Real Madrid Phil Foden amengaa kati... | 2 |
Barcelona na Manchester City wamefanya mazungumzo na wawakilishi wa kiungo wa kati wa RB Leipzig na Uhispania Dani Olmo 25 wiki iliyopita Mundo Deportivo kwa Kihispania Chelsea na Barcelona ni miongoni mwa klabu kadhaa za Ulaya zinazofikiria kumnunua mshambuliaji wa Roma mwenye umri wa miaka 30 kutoka Argentina Paulo D... | 2 |
AL HILAL SPORTS CLUB Takriban mwaka mmoja baada ya kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan klabu yenye mafanikio makubwa zaidi ya soka nchini humo Al Hilal inasema inaendelea kucheza ili kutoa bughudha kwa watu nchini Sudan Mzozo huo umesababisha vifo vya zaidi ya watu 14000 na kuwalazimu milioni nane kuya... | 2 |
Manchester United wanapanga kumuuza winga wa Brazil Antony 24 msimu wa joto kwa kiwango kinachokubalika huku winga wa Crystal Palace Mwingereza Michael Olise 22 akiwindwa na United Rudy Galetti via X Inter Milan wanavutiwa na mlinzi wa Manchester United na England Aaron WanBissaka 26 ikiwa beki wa kulia wa Uholanzi Den... | 2 |
Manchester City wanaweza kutumia vyema nia ya Lucas Paqueta ya kuondoka West Ham msimu ujao lakini iwapo tu uchunguzi wa Shirikisho la Soka kuhusu madai ya ukiukaji wa kamari uliofanywa na kiungo huyo wa kati wa Brazil 26 utatupiliwa mbali Guardian Kipengele cha Paqueta cha pauni milioni 85 cha kumtoa West Ham kitaanza... | 2 |
Manchester City wanaongoza kinyanganyiro cha kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Mjerumani Jamal Musiala 21 lakini Liverpool Barcelona na Paris StGermain wote pia wanamtaka nyota huyo Independent Brentford wanatarajia mshambuliaji wa Uingereza Ivan Toney kuondoka katika klabu hiyo msimu wa joto lakini The Bees wata... | 2 |
Arsenal na Chelsea wanamfuatilia kwa karibu mshambuliaji wa Brentford na England Ivan Toney 28 ambaye atagharimu hadi 40m msimu huu wa joto Florian Plettenberg Wakala wa mshambuliaji wa Uswidi Viktor Gyokeres anasema itakuwa vigumu kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kusalia Sporting Lisbon ikiwa meneja Ruben Amo... | 2 |
Ni jambo ambalo wachambuzi wa masuala ya michezo wameanza kulifikiria kwa sababu timu ya Arsenal imeshinda kwa mara ya nane mfululizo na siku ya Jumamosi walichukua nafasi ya kwanza katika ligi ya Uingereza Kila mwaka inapofika mwisho wa ligi utabiri hufanywa na kompyuta ambayo hutumiwa kutabiri michezo Liverpool walio... | 2 |
Manchester City na Real Madrid zilifunga mabao sita katika mchezo wa kusisimua na kuhitimisha robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya mkondo wa kwanza kwa sare ya 33 katika uwanja wa Bernabeu Kikosi cha Pep Guardiola kiliongoza katika dakika ya pili wakati Bernardo Silva alipopiga mkwaju wa wa adhabu ndogo kutoka umbali... | 2 |
EPA Tottenham inamfuatilia mshambuliaji wa Athletic Bilbao mwenye umri wa miaka 21 Nico Williams ambaye ana kipengele cha kuachiliwa kwa pauni milioni 428 katika mkataba wake Telegraph usajili unahitajika Williams anaweza kusalia kwa msimu mwingine Athletic Bilbao kabla ya Barcelona kujaribu kumsajili msimu wa joto wa ... | 2 |
Huenda Arsenal walifurahia kutimka Harry Kane alipoondoka Tottenham na kwenda Bayern Munich majira ya joto Lakini anarejea Kaskazini mwa London akijaribu kuwaondoa vijana hao wa Mikel Arteta katika Ligi ya Mabingwa Ulaya The Gunners wanawakaribisha Bayern katika mechi ya Jumanne ya robo fainali ya kwanza Mchezaji huyo ... | 2 |
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anaamini kuwa Real Madrid watadhamiria kulipiza kisasi baada ya kuwalaza wababe hao wa Uhispania katika harakati za kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa msimu uliopita City iliifunga Real 51 kwa jumla ya mabao 51 katika nusu fainali Hata hivyo Guardiola hana shaka kwamba washindi ha... | 2 |
Mohamed Salah anatarajiwa kuwaniwa na vilabu vya Saudi Pro League tena msimu huu wa joto huku AlIttihad wakijiandaa kutoa pauni milioni 70 kwa mshambuliaji huyo wa miaka 31 wa Liverpool na Misri Talksport Chelsea wanajaribu kuwapiku wapinzani wao na kutoa ofa ya pauni milioni 43 kwa mshambuliaji wa Athletic Bilbao Nico... | 2 |
Inter Milan wanaweza kumnunua fowadi wa Ufaransa Anthony Martial wakati kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 na Manchester United itakapokamilika msimu huu wa joto ikiwa watashindwa kumsajili mshambuliaji wa Iceland Albert Gudmundsson 26 kutoka Genoa Gazzetta dello Sport kwa Kiitaliano Brighton hawana nia... | 2 |
Rex Features Kiungo wa kati wa Manchester City Muingereza Kalvin Phillips 28 ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo West Ham amepangwa kama mmoja wa walengwa wa Fulham msumu ujao Football Transfers Phillips anaweza kujiunga tena na klabu ya kwao Leeds United ikiwa wako tayari kulipa 3040m Football Insider Manchester City wanat... | 2 |
Paris StGermain wako tayari kulipa pauni milioni 1115 ili kumsajili mshambuliaji wa tumu ya taifa ya Nigeria Victor Osimhen 25 kutoka Napoli msimu huu Corriere dello Sport kwa Kiitaliano Chelsea wanaendelea kutafuta mshambuliaji mbadala wa Osimhen huku mchezaji wa kimataifa wa Ukraine na Girona Artem Dovbyk 26 akiwa kw... | 2 |
Mshambuliaji wa Ureno Joao Felix anasema mchezaji mwenzake wa kimataifa Bernardo Silva 29 anataka kuhamia Barcelona huku kiungo huyo wa kati wa Manchester City akihusishwa na klabu hiyo ya Catalan mara kadhaa hivi majuzi Gerard Romero Liverpool wameanza mazungumzo na mkufunzi wa Sporting Lisbon Ruben Amorim 39 kuchukua... | 2 |
Simba Instagram Klabu mbili kongwe za soka Simba na Yanga kutoka Afrika Mashariki nchini Tanzania Ijumaa hii April 5 zinakabiliwa na kibarua kizito cha kuwania kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza zitakaposhuka dimbani katika ncha mbili tofauti za Afrika Kaskazini nchini Misri na ... | 2 |
Newcastle United wanahofia huenda wakahitaji kumuuza kiungo wa Brazil Bruno Guimaraes 26 ili kukidhi sheria za kifedha za Ligi ya England Miamba wa Ufaransa Paris StGermain wanaongoza katika mbio hizo huku Manchester United na Arsenal pia wakiwa na hamu Sun Tottenham pia wameungana na Arsenal katika kinyanganyiro cha k... | 2 |
Liverpool na Bayern Munich wanatathmini upya mipango yao baada ya kocha Xabi Alonso kuamua kusalia Bayer Leverkusen huku Barcelona wakitazamia kukamilisha dili la kumnunua kocha wa Sporting Lisbon Ruben Amorim kama mbadala wa Xavi anayeondoka Independent Hata hivyo bodi ya Barcelona inataka kumshawishi Xavi kuondoka na... | 2 |
Newcastle wanatarajiwa kurejelea azma yao ya kumnunua mlinda lango wa Arsenal Muingereza Aaron Ramsdale 25 msimu huu wa joto huku wakimlenga kipa mwenye umri mdogo zaidi Mail Newcastle wanajiandaa kupokea ofa kutoka kwa Arsenal na Tottenham ambazo huenda zikagharimu pauni milioni 100 kwa mshambuliaji wa Uswidi Alexande... | 2 |
EPA Kwa sasa ni faida kwa Liverpool na Arsenal hawataondoka lakini zikiwa zimesalia mechi tisa bado ninaiona Manchester City ikipewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza Hisia hiyo haitokani na jinsi City inavyocheza hivi sasa ingawa Kikosi cha Pep Guardiola kiko kwenye mbio ndefu bila kushindwa kiki... | 2 |
Liverpool wameungana na Manchester United na Chelsea katika mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Benfica na Ureno Joao Neves 19 ambaye ana kipengele cha kutolewa cha euro 120m 1026m O Jogo via Sport Witness Manchester United na Manchester City wanavutiwa na beki wa Bayer Leverkusen Mholanzi Jeremie Frimpong 23 Sun Manch... | 2 |
Walengwa wa Liverpool wanaotarajiwa kuchukua nafasi ya Jurgen Klopp kama meneja anayefuata ni mkufunzi wa Sporting Lisbon Mreno Ruben Amorim baada ya Xabi Alonso kutangaza kuwa atabaki Bayer Leverkusen Liverpool Echo Amorim 39 ana kipengele cha kutolewa cha 128m euro 15m ambacho kitaanza mwishoni mwa msimu Telegraph Ba... | 2 |
Manchester United wameingia kwenye kinyanganyiro cha kumsajili mchezaji wa kimataifa wa Uhispania Dani Olmo ambaye ana kipengele cha pauni milioni 52 kuondoka RB Leipzig msimu huu Winga huyo mwenye umri wa miaka 25 pia anazivutia Real Madrid Manchester City Chelsea na Tottenham Daily Mail Wawakilishi wa Manchester Unit... | 2 |
Arsenal ina orodha ya wachezaji 10 wanaowania nafasi ya mshambuliaji mpya msimu huu wa joto huku Mslovenia wa RB Leipzig Benjamin Sesko 20 Viktor Gyokeres wa Sporting Lisbon 25 na mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Uswidi Alexander Isak 24 wa Newcastle wakiwa miongoni mwa wale wanaofuatiliwaMirror Manchester United wana... | 2 |
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 4