text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
Sasa walipokuja, walikuja kama nani? wapiga chapa au wajenzi wa miundo mbinu?
[5]
Waziri wa kilimo na naibu wake wapo vizuri sana na kuna mapinduzi makubwa yanaendelea ndani ya hiyo sekta.
[1]
Akajielekeza, hisia zake za uchungu zikimujaa.
[3]
Yakobo alijawa na huzuni kwa yule mwanamke ambaye alikuwa akimpenda, licha ya kila kitu alichomtendea lakini alimwacha na kwenda kwa mwanaume mwingine.
[3]
nimepata maumivu ya kichwa na kikohozi .
[3]
nimekukubali sana kwa kusimulia uko vizur sana agiza soda apo nalipa
[1]
Baadaye alihudhuria kliniki ya ushauri wa maumbile, na alikuwa na wasiwasi sana juu ya hali hiyo.
[6]
Ripoti za vifo hasa vya watu maarufu imekuwa kubwa, ila hazitajwi sababu za vifo vyao, hii lazima itie shaka! Dunia inatuona....!
[4]
Mtangazji ovyo inafaa ufungiwe wewe
[2]
Jmn bongo bwana Watu wanasema Hawana Pesa lkn eh!! Kwa shughuri pambe
[5]
Hii imekuwa siku mbaya zaidi na siku bora ya maisha yangu. Wamekuweka hospitali, na ...
[3]
hii sio fani yako ya habari tafuta kazi yakufanya wew ni mwiz sana hauwezi kazi
[4]
Kwani yeye ana ujanja gani?!!!
[5]
Licha ya familia na wote kukata tamaa, yeye alijitahidi na majonzi kuwafariji na kuwapa tumaini
[3]
Mbona mnatangaza vifo vya mataifa mengine vitokanavo na corona,hapa nchini mmekaa kinywa umahili wenu katika habari ni upi???
[5]
Hivi wewe unafikiri ni kati ya watanzania wenye akili sana kuliko wengine?
[2, 4]
Tuliwambia pesa mlokula zitawatokea puani lakini hamkusikia. Haya sasa mmeanza kukwama na maigizo yenu ya danganya toto
[2]
Lakini mimi hapa hadi leo hii sijui kusudi la maisha yangu ni lipi.
[3]
Tangia lini kisasi kilishamuacha mtu salama?
[5]
Macho yake yalidhoofika, na alihisi uchungu kwa kutukanwa kiasi kile
[4]
Huyo baba ni muongo jamani.
[4]
Nadhani yuko vitani sasa, Mungu amwokoe arudi salama
[3]
Inaleta huruma, ningewahi mapema ili nikae na wafiwa
[3]
Kuniita mpuuzi tayari inatosha kuonesha dharau kwangu. Ndugu yangu wapi nimeanadika tuhuma za Makonda zisiibuliwe?
[4]
Walilalamika juu ya vitendo hivo
[4]
Ngoma inogile
[0]
Askari Mungu atawalipa kwa dhulma mnazofanya kwa wananchi lakini ipo siku wananchi tutawachoka
[4]
Hatimae yametimia, RIP
[3]
Family ni tasisi sio kitu kizuri kupost mitandaoni mahusiano yenu huo ni ushamba
[4]
duh baba Mimi nimekukubali
[1]
bado nina upendo na mwanangu na ninamuwazia mema kwa ajili yake siwezi tena kuvumilia athari zinazokuja juu ya maisha yetu na imemfanya kuwa na uchungu na hasira, hana upenfo na watu wa karibu yake
[3]
kiboo!!
[5]
Nimefurahia hizi betri kuwa katika punguzo la bei
[1]
Wasiwasi wa wengi wetu uko hapo!
[6]
unamjibu nani hivo??
[2, 4, 5]
Na wewe unalipwa shilingi ngapi kwa kuandika utumbo huu???
[2, 4]
Nasikia ana PHD, hivi ni kweli?
[5]
ninahisi kusita kwenda shule kesho hata ingawa ni jumatatu na ratiba ni nzuri
[6]
OSAMA ALIKUFA KITAMBO SO TULIDANGANYWA
[2]
kusema kweli, mimi nimehuzunika kidogo. Nimetoka kwenye mkutano na mambo hayakwenda vizuri sana .
[3]
Daaah, RIP Jemedari wetu
[3]
Hiyo vita ya uchumi tunapigana na nchi ipi?!
[5]
Wewe ni muongo na mpotoshaji mkubwa hakuna chanjo hata moja inayo pelekwa shuleni.
[4]
Safi sana wameshindwa kumpa huduma amekufa Leo wanaandaa vyakula na kunywa pumbavu wasilambe kabisa
[4]
Rizika na chako ulichonacho, uctamani vya watu, cz hujui asili yake.
[4]
Wakenya Ardhi kidogo ni changamoto huku kwetu ukijenga ghorofa kubwa kama hilo kupata wakazi ni issue sana wabongo tunataka nyumba nje kuna bustani sasa unakaa angani mimi nasema ODEE MBEE
[0]
migogoro ndani ya vyama vyetu inatuumiza sana wafuasi na wapiga kura.
[4]
hakuna mtangazaji kama George Ambagire nyie mliobakia ni vilaza uozo mtupu
[4]
Usisahau kutuletea mrejesho
[0]
Rangi yake imempendeza sana, anavutia
[1]
KUMRUDISHA LEMA NI KUKIUKA HAKI ZA BINADAMU
[2]
Nimepoteza mkoba wangu, pesa iliyokuwa ndani ya mfuko ulikuwa wa wazazi wangu.
[6]
Kufutwa ? Kwamba tu hawezi kutokea !
[5]
Boda boda mmetisha, safi sanaa ????????
[1]
Daah askari gani huyo jamani
[3, 4]
wewe si uko ughaibuni mbona hautujuzi idadi ya vifo vya Korona huko?
[5]
Hii risala mimi inanishangaza sana, wanasema JK ameifanya nchi iwe na utulivu na amani?
[5]
Kweli uchawi upo.
[6]
Wewe gonga malimao yako gonga tangawizi zako
[0]
Kuuuuuuuumbe ndiyo maana nchi haiendelei. Maana hiyo package yake ya mwezi tu yaweza kujenga kilomita mbili za barabara mjini Moshi!
[4]
KAMA UMEMCHOKA BINT WA WATU MWAMBIE TU MIMI NA WEWE NI BASI
[4]
Huyu mtangazaji nae vipi mbona kama si mzima. Maanaaah duh hivyo!!!
[4]
Mwishowe msichana mdogo sana alitoka katika moja ya nyumba zilizoonekana kuwa mbaya, akamwangalia kwa aibu, akaanza kulia kwa uchungu.
[3]
Samahani ! Sina muda wa kupoteza . Nimekuwa hapa karibu saa moja kamili !
[2]
Nadhani amekasirika kwa sababu riwaya yao haijawaingizia pesa kama walivyopanga
[2]
walituahidi mtazamo wa bahari .
[1]
wakongoman mtamaliza mapigano mjenge nchi yenu? Hao bakata ni wahaini washughulikiwe.
[4]
Pole mzee baba manaraaa uliongea sanaaaa mzeee
[3]
Sisi kama watanzania tuna majonzi makubwa kwa taifa letu Mungu tuangalie kwa huruma zako sisi ni wanao twahitaji baraka zako.
[3]
Huo mshepu uko wapi?
[5]
Alexandra alifurahi sana, alifurahi sana kwa maoni mazuri ya Janet.
[1]
Na wewe mwerevu?, Uwerevu wako uko wapi?
[5]
Ndiyo , na fanya haraka hatusubiri mtu dakika nyingi sisi !
[2]
Hivi, matusi kama haya humsaidia nani??
[4, 5]
Ni nani amempangia malipo hayo yote?
[0]
Nimekumbuka enzi nikiwa mbunge na waziri chuoni. Yaani siasa za vyuoni hazina tofauti kabisa na siasa za nchi
[1]
hahaha oh mtu tafadhali kuja pomona mimi ingekuwa na upendo na kuona wewe kila siku badala ya mara moja kwa mwaka kama kwamba
[1]
Kuna wajinga wanasema ni siasa. Mwingine amesema wanataka waonekane wazuri machon pa watu. Sasa mimi nauliza, je, angebomolewa wangesemaje?
[4]
Media zinaripoti juu ya vifo vya watu mara kwa mara.
[3, 6]
Oh, hapana! Ni nini kilichotokea kwani?
[3]
Aache kiherehere ikibidi aende mwenye kwenye uchunguzi asije kusababisha watoto wa watu wakaondoka na maambukizi bure
[2, 4]
Huyu mama anajua anachofanya. Safi sana
[1]
Daaaah, Hakika ni masikitiko mazito sana,haya,
[3]
Natamani nisingekuja!
[6]
Huyu bibi anapendwa sana na watoto wa mtaa huu
[1]
Lakini mijusi iliendelea kukimbia juu na chini ya mti ulioangika na mmoja akamwambia mwenzake, leo ni lazima tushinde
[1]
CDC wameahidi kuendelea kusaidia nchi kuongeza idadi ya watu watakaopata chanjo
[0]
In a single day mtu anapoteza ndugu na marafiki watatu! Halafu mtu anasema eti ni vifo vya kawaida! ????????
[2, 3, 4]
Nani shetani bwashee?
[2]
Tafrija ilivamiwa na watu wasiojulikana na gahafla tukasikia milio ya risasi angani
[6]
Jibu ni zero ! Aibu gani hii jamani !
[5]
Mnafiki we mzeeee
[4]
Uhaba wa walimu hautatuliwi kwa kumrundikia mzigo mwalimu mmoja bali kuajiri walimu wengine.
[4]
Mnatuchosha kila mara ni nyie tuu tuwasuluhishe, hebu mfike mahali mkue sasa. Ama la muachane.
[2]
Ndo waliopita bila kupingwa hao, uwiiii
[5]
Makosa yake mengi alifanya kwa maslahi yake binafsi acha ajue maumivu ni nini acheni kumtetea sheria utaamua
[2, 4]
Unateseka ukiwa wapi baba?
[5]
ni hatari, siwezi kuthubutu kwenda .
[6]
Hizi ndio kazi za uandishi wa habari.sio Baadhi ya vyombo vya habari zimejikita katika kuchangia uchochezi tu
[1, 4]
wakipe mara ngapi wakati unao jinsi vijana wanavyofanya kazi.. mpango wake aliuanza muda na sasa unaonyesha matumaini ..Kaondoka CR7 wala haonyeshi kuyumba
[5]

No dataset card yet

New: Create and edit this dataset card directly on the website!

Contribute a Dataset Card
Downloads last month
0
Add dataset card