text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
Maisha si kitu asee... nimeumia sana, daah!
[3]
"Unasema kweli," alisema Kaizari, na akaanza kulia kama mtoto mdogo.
[3]
huyu mwamba, nilijua umuhimu wake tangu akiwa ujenzi
[1]
Mtangazaji amkia, heshima yako mzee ndo nini?
[4]
Sikukuu njema ya maadhimisho ya Christmas
[1]
pasport ya libya ulikuwa unaingia kokote dunian kwani unapewa heshima kubwa.kuliko ata passport za ulaya, watajuta milele
[4]
Angalia ile sanamu
[5]
nani alioanza hizo bangi, ukileta bangi kavu mie nakuletea mbichi
[2]
Dah!! Kuna binadamu wanasikitisha sana...
[3]
Yani tangazo la dakika moja.WAJINGA NYIE
[2]
Yani wa Tz tunajuana wenyewe ukija mgeni utapata tabu
[1]
Naapa, nitakuua katika hili .
[2, 4]
Ningependa ukutane na familia yangu. Unaweza kuja kwa chakula cha jioni wiki ijayo kwa wazazi wangu?
[1]
Kwani mama ni mtoto mdogo anashauriwa vibaya akubali kila kitu msimdharau hivyo. Please!
[4]
Mimi hakuwa na kufanya timu ya soka ya .
[3]
Nimefurahi san kwa kuhudhuria kwako Bw . Liu, tafadhali usisimame utaletewa kila kitu mezani kwako?
[1]
Baada ya vita hiyo serikali ilisemekana kuwa na wasiwasi.
[6]
Tafadhali usiruhusu usumbufu wao kuchorea uamuzi wako katika vipimo vya barabara zijazo.
[6]
Huyo mwanaume mbona hajatajwa jina lake?
[0]
Kushindwa kwa Marekani katika kueneza itikadi ndani ya Tanzania kulichangiwa na uongozi wa Mwalimu Nyerere ambao uliegemea zaidi katika siasa za ujamaa, zenye mfanano na siasa za kikomunisti
[1]
Asanten bodaboda kwa hili nawapongeza
[1]
Usikose furaha, tumia ushindi wa man utd week hii nzima ?
[1]
Oh , ni ajabu na kushangaza dunia!
[5]
Acheni kushobokea wazungu wote tunategemeana tulicho nacho sisi wao hawana na ili wakipate lazima waje kwetu
[4]
Mkuu nakukumbusha tu kuna ajira za jeshi la Polisi na Magereza tayari zimetangazwa.
[0]
Nimefanikiwa kumaliza rasimu ya kwanza , lakini profesa alisema imeandikwa vibaya, hivyo napaswa kuandika upya.
[3]
Ukweli haufanyagi kazii kwa wizara zetu..
[4]
Maskini huyu mama amenitia huruma kweli, serikali imchukulie hatua huyo ibilisi
[3]
Kwa hiyo shida si chanjo bali umasikini wetu siyo?
[5]
wa sikuhiz hawapat watu wengi kwasabu tumeshtuka tayr
[0]
Anaonekana kukasirika wakati mimi namwambia yeye ni mtu wa watu
[2]
interview zake zote hajui kujieleza na anaonesha ni mtu wa majivuno na jeuri.
[4]
Kuna vipindi ambavyo tunajihisi hatuna maana kabisa kwa watu wanaotuzunguka
[3]
Ajali zimeendelea kuchukua maisha ya watu na kuwaacha wengine walemavu.
[3]
Kile sikuelewa ni kwa nini sikuhisi kuwa na furaha.
[1]
Natamani hata wazazi wangu wangekwepo na sisi leo
[3]
Kumbe alikua mshirikina
[0]
Kitendo cha mama mmilikinwa gari kuanza kwenda hospitali kuangalia majeruhi ambao ni ma tingo na kuwalipia gharama za matibabu kabla ya kwenda kwenye eneo ambapo gari limezama ni ushujaa na utu wa hali ya juu
[1]
Upinzani dhaifu sana, halafu matumizi ya vyombo vya dola yanakuwa makubwa hivi! Je usingekuwa dhaifu si yangetokea mauji ya kimbari?
[3]
Kwa habari za kizalendo na zenye ukweli mtupu bila kuongeza hata nukta ya uzushi TBC!
[0]
Alijisikia mnyonge sana, kwa sababu mtoto wake aliyempenda sana hakuonyesha kufurahishwa na uwepo wake yeye ambaye alikuwa amesafiri kuja kumwona.
[3]
Kweli? Hiyo ni ya kushangaza!!!
[5]
Aiseee vifo in vingi hadi siamini ????
[3, 6]
yule mjane aliachwa na huzuni na masikitiko, walimwonea huruma sana kwa ukiwa aloupata
[3]
lakini chanzo cha machozi kilibaki na kujaa tena moyoni mwake.
[3]
Ukiona mtu anaibeza hiyo lugha jua kuwa inampiga chenga tu
[4]
Kwani adhabu za BASATA hakuna kukata rufaa? Anyway kiuchumi kuna mapungufu kwenye adhabu
[4]
sikuhisi sana kwamba nimepatwa na aibu
[3]
Ili kuelezea huzuni yao, watu wa Dublin walipeleka maelfu ya ushuru wa maua huko Liverpool asubuhi ya leo na Kikosi cha Hewa cha Ireland.
[3]
Hahaha. I can feel that ndugu Yangu.
[0]
jogoo alikuwa na masikitiko sana hivi kwamba alilia kwa sauti kubwa, na kila mnyama alikuja kumlilia kuku mdogo
[3]
Kisha akaona kwamba ukombozi wake ulikuwa karibu, na moyo wake ukaruka kwa furaha.
[1]
mzee miaka 80 anaambiwa alete barua ya uzee hii Ni aibu Sana kwa kweli.
[5]
Kweli? Kwa sababu ipi? anaonekana vizuri sana tu .
[5]
hicho ndo nnachokupendea. Hebu jaribu baadhi baada ya chakula cha jioni.
[1]
Hakutawai tokea Raisi kama Magu hapa ulimwenguni
[1]
Nilizidi kushuka moyo.
[3]
Chuki binafsi!
[4]
Nimesikia juu ya wanawake waliofadhaika hivi kwamba hutumia miaka 40 ya kuzaliwa kwao, wakiwa na shida ya neva katika kitanda.
[3]
ANC, wakati ikielezea kufurahishwa, lakini iliendelea kutoa wito wa kufutwa kwa bunge la kitatu, ambalo kwa kweli liliona kuwa ni ubaguzi wa rangi.
[1]
Mrembo anayedaiwa kuwa kwenye mahusiano na Diamond awajibu?? wakiomtukana
[0]
Kumbe alihutubia? Huku wanasema ati alikuwa busy na kupiga picha na mange
[5]
Alikuwa habanduki karibu ya mama yake akihofia atamwacha
[6]
Tafuta sehemu nyingine, mimi kwangu sikutaki kabisa
[2]
Sijazidi Upumbavu wa katika Koo zako.
[2]
Mbona hao bodaboda hawajampa hiko chakula wakati yuko hai
[5]
Magu oyeeeee
[1]
Uvumilie kidogo kutakuwa na maumivu sindano inapoingia
[6]
"Jane, mpenzi wangu, sio kwa sababu yeye ni wazimu.
[2]
KUANZIA MSAJILI NA MSAJILIWA WOTE NI UTOPOLO TU
[4]
tuache mawazo ya kimaskini
[4]
Nilijiuliza mara kadhaa kabla ya kuchukua hatua, maana gharama yake haikuwa ndogo kabisa
[6]
Kwahiyo na we unajiita ni mwanaume
[2]
itabidi Muhimbili waombwe radhi kwa kudhalilishwa bila sababu.
[4]
niko busy mwaka hadi mwaka, lakini sasa sijaona kuwa nimefanya kitu .
[3]
Mwenyezi MUNGU akupeni wepesi tunaingia katika wakati mgumu watanzania, pumzikeni kwa amani marais wetu mliotuachia taifa nakutangulia katika umauti
[3]
Watoto wana baki yatima, umasikini unaongezeka
[3]
Ongozaga tu babaangu,nimekupenda sana
[1]
Nakukubal sanaaa mtangazaji unajuwa Sanaa bonge la pindi
[1]
Alipoona haya alikasirika zaidi na kuanza kuelekea mwonaji na shoka.
[2]
inatishaje hiyo!
[6]
Wangapi tumeona 0:41 ????????????
[0]
Sifurahii wala Sisikitiki.
[0]
au wanapima kwa kutumia macho na hadithi za mtaani???
[2, 4, 5]
umefuata nini hapa kwanza unajua leo ni siku gani
[2]
Hamnett alikasirika na, akidai kukiuka kwa mkataba na uharibifu wa picha yake, akatishia kumshtaki kwa 500,000.
[2]
Kwa watu walio na huzuni zaidi na wapweke ambao wana mawasiliano yoyote ya nje, ushauri nasaha unaweza kuonekana kuongeza hisia ambazo zinatafuta kupunguza, haswa katika hatua za mwanzo.
[3]
Nilikuwa kwenye bustani jioni moja na nikaona nyoka akija kwangu. '
[6]
Binti ya mfalme, katika mwaka wake wa kumi na tano, atajeruhiwa.na kuanguka chini kufa
[2]
Hawa jamaa wanastahili mashtaka, kule haki za binadamu.
[0]
Kupitia kwa machozi ya machozi Ruti alijiangalia sana kwenye kifungu hicho na alihisi kukata tamaa kiasi kwamba aliogopa kwamba atamuacha mtoto.
[3]
Hizo sura pekeake ni zawadangaji
[4]
Mama kashatangaza
[0]
Je, napataje modem za mtandao wa TTCL, na nazipata kwa bei ya shingapi?
[0]
Nataka kwenda kumsalimia bibi, nina hamu saaaana ya kwenda
[1]
Kuku akiamka tu anawaza kula tu akishiba kidogo ataanza kutafuta mbususu ataichapa then ataendelea kutafuta chakula
[0]
Saiamini kutokea kwa hili jambo, kwa hivyo tunapaata wamiliki wapya? haitoathiri kazi zetu?
[5]
Wanaume ambao walifanya uchunguzi wa polisi walichukizwa sana na afisa mwandamizi akatishia kujiuzulu.
[4]
Pumbavu wewe mi nakubishia, hujui lolote
[2]
Guinea yarekodi vifo vya kwanza vinavyotokana na Ebola tangu mwaka 2016
[3]