text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
Unajua, nimeipenda hii nyumba kwa mara ya kwanza tu nilipoiona.
[1]
Wewe mwanamke, unanikoshaga moyo wangu.
[1]
Anasema kwamba alikuwa wazimu sana hivi kwamba akapata kisu ili awaogopeshe.
[4]
Kila mmoja afunge vizuri ikaze kabisa ili wakati wa kuvuta kamba isifunguke.
[6]
nilipoenda kuonana nae nilishangaa nimezungukwa na jamaa wengine na hapo niliingizwa katika gari?
[5, 6]
Kweli ? Sina hakika kama nitapenda kufuatiliwa. Kumekuwa na matukio mbalimbali ya paparazzi kuingilia maisha binafsi hivi karibuni .
[5]
Mwacheni dada wa watu msimchoshe bwana!
[4]
Masiki inatia huruma pole sana mwanangu
[3]
samahani, kuna kitu hakipo sawa kwenye taxi yangu.
[3]
Vilio kila kona, sala za janaza misikitini zimeongezeka, watu makaburi kila kukicha, wachimba makaburi walemewa, lakini utaambiwa hatutaki kuwatia watu ktk taharuki.
[2, 4]
Ndiyo , tafadhali . Siwezi kuendelea kuangalia channel yoyote zaidi .
[2]
Jana ulituambia anaendelea vizuri!!?what went wrong madam!!?
[5]
Hakuna ! Wewe unanitania bana
[5]
Nimefurahishwa sana na hii posti kwa sababu ya moyo wa wa uungwana?uliopo
[1]
Ni wakati mwingine huonyesha kukata tamaa fulani - ukweli ambao ni badala ya kuhusika.
[3]
Kukumbatiana ni njia nzuri sana ya kumaliza migogoro katika mahusiano
[1, 0]
Kapteni alikuwa kichekesho cha muziki wa aficionado, na hakufurahi wakati Bi Kidude alipozungumzia vibaya style hiyo.
[4]
aliogopa kwamba mama wa kambo angeweza kutowatendea vyema, na hata kuwaumiza
[6]
Ni grinder ya kahawa si ya kukandia unga!!?
[5]
Ninafurahia Utanzania wangu, sasa najua ninapoelekea. Sisi Vijana tunahitaji kujua mengi kuhusu nchi yetu.
[1]
Waraka mmefuta, korona na vifo vinavyo sababishwa na korona mnafuta lini?????
[5]
Ila jmn Kuna wanaume vigego Nyie Mwanaume unamvumilia Alafu anakuletea masifigisi jmn usiombe yakukute.
[3, 4]
Ujinga mtupu mwanamke anasimamia wanaume na wanamsikiliza bila aibu
[2]
Aliyefanya kazi na asile
[0]
umepatia ile ladha ninayoipenda. kweli wewe ni mpishi mzuri .
[1]
Kuna sauti ya minong'ono inatokea chumbani, mimi siwezi kuingia
[6]
Hivi najiuliza tuu kwa sauti, kwani hawa watu wa Buza wana tatizo gani?? Ebu nisaidieni wajameni
[5]
nimeshachoka kufanya kazi kwenyekampuni ambayo naona hainipeleki popote
[2]
UZEMBE HUO AISEHH NDANI YA DAKIKA 20 AISE NA HAKUNA ALIYEFIKA KUWAOKOA??
[4]
Hongera kwa mafanikio yako katika ushindani . Ni jambo zuri.
[1]
najisikia hii ni ya mashaka
[6]
Baada ya mtazamo mmoja kutetemeka kwa uso wake apoplectic, Bwana Loveitt alisema vizuri: `Nadhani tunapaswa kurudi kwenye ukweli.
[6]
Hahahaaaa anakupa raha gani hizooo hatujaelewa
[1]
Em , ni tamu sana !
[1]
Kwanini kazi ni nyingi hivi na hata hawaoni au dharau
[2]
Nilifurahiya.
[1]
Wakenya hongereni..lakini hii haitamaliza umasikini wenu Pale Nairobi.
[1]
Nyie watu, mnanicharge vipi $ 10 kwa ajili ya movie ambayo kamwe sijaiona .
[2]
Sonny aligeuka na mshangao na Johnny, kisha akaongezeka baada ya kaka yake.
[5]
"Kutoka kwa yote unayosema ya Papa," alitangaza Dk Neil kwa bahati mbaya, `nashangaa.
[5]
Eti hiyo 50000 bora ninunue kijora haitosh kujenga??!!!
[5]
Sahizi hakuna mambo ya madodo
[0]
sasa ukiwa dar utaishije?
[5]
nahisi kama sisi tunashinikizwa kuwa vijana wembamba na kulingana na hali ya kuwa wasichana wengi wanajiongezea mwili na madawa
[6]
Daaaah aiseee, mwili wangu wote umekuwa na ganzi
[6]
Mara moja hofu kubwa ilimpata.
[6]
Imeniumiza mno mimi kama ndugu yake, kwanini ndugu yangu apitie hayo yote jamani
[3]
Sijui nikuunge nini hapa.. maana..
[5]
Huwa nasikia kitu kinaitwa Osha, sijui ni hivyo.. kazi yake huwa nin?
[0]
Aiseee hapa kuna kamari inachezwa na si nzuri kwetu wananchi
[4]
Angalia ! Allen ana mic !
[5]
alijifunika uso wake na mto na kupiga kelele
[6]
Kwa kweli, sasa unakuja kutaja, nina shida kidogo.
[2]
Enzi hizo ana ndoto za kuolewa na kina Justin Bieber?
[5]
oyoooooo!!!!!!!!!! Endeleeni tu bila mimi
[1]
Looh, kaka wa watu mmemfunga bila kosa
[3]
Wewe Mtangazaji hujui kuuliza maswali!!
[4]
Ndio walinzi wetu hao usiombe wakukamate wewe wanakupiga Kama mbwa kumbe na wao ni wadau wa hivyo vitu, hatarii Sana hii funga kabisa shenzi type
[4]
Jua lilikuwa likiangaza asubuhi iliyofuata lakini mwangaza wa siku hiyo haukufanya chochote kumaliza hisia za Eline za kukata tamaa.
[3]
oa takwimu nchini kwako uone Kama hatujaongoza dunia kwa kufa na kuwa na maambukizi kama yote....
[2]
Ilikuwa pia kwa sababu ya kufurahisha, na labda hii ilikuwa sababu yenye nguvu zaidi ya matumizi yake.
[1]
Ina maana anaona sifa kuwa na wanaume wengi
[4, 5]
Sauti yake ilitetemeka, uso wake ulikuwa mwekundu na ulojaa uchungu.
[3]
HUYU MAMA NI MUONGO, ANATAKA KUTUAMBIA UCHAGUZI ULIOPITA ULIKUWA HURU NA WA HAKI??
[4]
Pole. Sikuwa na nia hiyo.
[3]
Kwa urefu hamu yake ilitoshelezwa.
[1]
Kichwa chako kinahitaji brain scan
[4]
Nasikitika kusikia hivyo. Nafahamu ni jinsi gani unajisikia, jitahidi ujikaze
[3]
Sawa kabisa bunge lipo vizuri
[1]
Somerset ni hasira.
[2]
wewe ni mnafiki wala we we sio Mtanzani au Mzanzibari mnafik mkubwa mbona unashindwa kuweka jinalako halisi kibaraka wewe hapa Tanzania sio kwenu kaakimya.
[2]
unaoneekana una hofu sna
[6]
Wale wasichana kwa yaliyowakuta lazima wawe na hofu kutika akili zao!
[6]
Yule mama anacheza na afya za mamilioni mzaha wake ni majuto na vilio kwetu sote
[2, 3]
Wow, umeamka mapema leo ! Kitafunwa gani kwa ajili ya kifungua kinywa ?
[1]
maombolezo makubwa kuondokewa na Mwanageuzi mwenye kuthamini Utu, haki na Demokrasia, Hakika umetuachia maumivu makubwa sana!
[3]
Hivi vifo vimekuwa vingi. Mungu atusaidie na tuchukue tahadhali zote.
[6]
Nchii yetu inaliwa na watu wengi mno, laiti haya mapesa yote tungeyaweka kwenye miradi ya uzalishaji, sasa vijana wetu wengi wangelikuwa na ajira badala ya kuendelea kuwa malofa kwenye nchi yao.
[3, 4]
Ni tone tu katika ndoo. Katika gari kuna zaidi mikwaruzo siwezi hata kuhesabu .
[3]
kama unavyojua nilikua Thailand mwezi uliopita , nilihudhuria darasa la mapishi! Nimekuandalia chakula ninichokipenda
[1]
unyama sana
[3, 4]
Da kwakweli maigizo haya sijui yataisha lini
[4]
Atutaki wabunge vilaza mnalala tuu
[2]
KIPINDI KIBAKI NA JINALILELILE NYIE WAONEVU HAPO ITAKUA PANA UCHOCHEZI
[4]
halafu waulizeni Simba namuachia nani ?
[5]
nilitamani sana, lakini nina appointment nyingine . Samahani sana .
[3]
Farasi nao hukasirika ikitokea wamefungwa kamba alafu zikashikilia miguu yao.
[1]
Bunge lipi? Wachaga walimpeleka Felix Mrema na kusema "Hatumtaki mwenye makelele", yaani Makongoro eti ana kelele kama marehemu Babaake! Kumbe @cw_pedro hujanasa siasa za wachagga! Ohooo, samahani kama na wewe ni Mchagga!
[5]
hamna chochote hapo, ni promo tuu likini hajui kitu
[4]
Yani nilivyomuoga eti bado tu nipo hapo subutuuuuu nasubiri nini
[6]
nakukubali sana uko sawa uko vizur keep it up
[1]
Umesahau kuwa hii serikali ni ya mizuka na matamko?
[4]
Taarifa za vifo zimekuwa nyingi sana kuliko Habari njema. Lakini tuko vizuri. We have controlled it.
[1, 3]
habari za asubuhi watu !! Mida hii Tanzania ni baridii
[1]
Rosemary Sandford wa Jumuiya ya Darlington juu ya Ulemavu, alisema walihuzunika na wamekatishwa tamaa.
[3]
Huyu kiumbe jeuri muda mrefu daah hakuwa na kauli safi
[4]
Bibi yangu amefariki.
[3]
Walakini, hakuna mwandishi, hata hivyo anajitosheleza, anaandika bila mawazo ya watazamaji, na Tolkien alifurahi.
[1]
Hii kali eti ajali zenye vifo ndio hutangazwa yule alipopata ajali alikufa?
[5]
Je hawapati mishahara?
[5]