text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
Waliomuuwa Gadafi mungu awalaani
[3]
Asante sana clouds media
[1]
Huwa nashindwa kuwaelewa jamaa ambao huwa wanatoka mazingira ya ofisi zao wakiwa bado wamening'iniza vitambulisho vyao.
[5]
samahani mama, nahofia kuwa umekosea namba, hatuna Mr Over hapa .
[3]
yani watanzania tumefeli pakubwa duh bunge kila hoya sawa
[4]
kwanini wanaume si wepesi kusema yaliyowasibu kweny mahusiano zaidi na usaliti kuliko wanawake.
[5]
Una maananisha nini ? nimekununulia kompyuta hii miaka mitatu tu iliyopita !
[5]
Wazungu siwapendiiiiii Kwa kweli yaaani sio watu kabisaa
[2]
Mimi kabisa nilikubaliana na wewe . Wao hawaeleweki. Nillikuwa napoteza muda , lakini mke wangu hakubaliani na mimi .
[4]
Alikua na anapewa ulinzi wote huo kisa nini?
[5]
Binafsi msiba umeniuma sana,,sanaaaa,najaribu kuwa okay lakini najiona sio muda nitaanza kulia
[3]
Hili chokoraa huwa mnaliulizaga nini lisauti kama mnywa gongo
[2]
Si haki .
[4]
Msaada?!! Msaada gani wakati mkwanja umetumika hapo!
[5]
Asante kwa ajili ya ununuzi wa godoro kwetu sisi .
[1]
Tangazia Taifa hali halisi ya COVID-19, vifo vimezidi kupita nyakati zingine
[3, 6]
Nimewapa kila kitu walichotaka mana walikuwa na mapanga na silaha zinginezingine
[6]
Asante! kadiria ni kiasi gani cha gharama utashangaa ilivyo rahisi na uzuri huu.
[1, 5]
Habari, mimi ni mwanafunzi hapa nafurahi kukutana na wewe.
[1]
Wasichana wa mfalme walipomwona walizimia.
[5, 6]
Mimi ni muoga sana kiasi kwamba mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi kwa siku 3
[6]
Mmh sijawah shuhudia mwanamke anakimbiza gari kwa kutaka sifa labda kama wapo me sijui
[5]
Unatania. Hatutaweza kwa mara moja! Tupite kukiwa na mwanga.
[5]
kiukweli najisikia vibaya mno kila nikiangalia kidole changu kilivyochafuliwa na wino roho inaniuma tena
[3]
kwani kuna sehemu hapo nimeuliza kanisa lenu?
[5]
Eti mpaka inazama ndo wanakuja mbio
[5]
Natamani kuwa na gari kama lile, lakini mimi si tajiri wala baba yangu si tajiri pia
[3]
Yaani yeye ndo kiongozi mkubwa lakini hakuna afanyacho zaidi ya kuangaika na wanawake tuu
[2]
Jamani mwambieni uyo Dada namwitaji mtoto wake nimlelee jaman hata kisheria tuandikishiane
[1]
hiki Chumba hakifai kwa binadamu . nataka chumba kingine , na mnirudishie hela ya usiku wa leo .
[2]
Hello , shukrani kwa kutupigia 123, jinsi gani naweza kukusaidia ?
[1]
Daaaaah Jumapili yangu imekua nzuri baada ya Kuingia kwenye Account yako
[1]
aliwaza, hakuna msaada wa mtu unaoweza kunifaa
[3]
Wanyooshe hao, wamepiga pesa za kutosha
[2]
Kulikuwa na tatizo gani lililowaweka hivyoo
[5]
ndoa yatatu unaachaa wewe huachwii??!!
[5]
Huku wako mabwanashamba wanalipwa mishahara bure hawafanyi kazi kabisaa
[4]
Yan ata lidondoke hapo walipo sasa hv najua kuna raia wakuja na madumu kuchota mafuta.
[2]
Ulevi itawamaliza
[3, 4]
Jamani kijana wa watu wamemkatisha masomo yake
[3]
Kidogo tupate ajali sisi.. wapuuzi sana
[2, 4]
Sikutegemea kama angekua na mamboo ya ajabu ivo
[4]
Nimefurahi kama umefurahia pia. Kuna ngengele pembeni ya kitanda, ukihitaji chochote itumie na mhudumu atakuja kukusikiliza.
[1]
Haya ni makosa ya watendaji na inabidi hatuwa za haraka zifanyike na wachukuliwe hatua za kisheria
[4]
Ni kweli kwamba maendeleo ya ajabu ya watu wetu yamebadilisha jangwa kuwa nyumba ambayo wanaume na wanawake wanaweza kuishi kwa raha, kifahari
[1]
Mama mzuri, akili nzuri masikini kaangukia mume mpumbavu.pole mama yangu
[3]
Tuwatumie viongozi ile picha ya watoto wanaosoma ile shule ya mbavu za mbwa waweke kwenye maofisini mwao labda wanaweza kuona aibu kidogo kabla hawajachota mihela.
[3, 4]
Dada mbona unaongea kwa jaziba wewe punguza mawenge
[4]
Video hiyo ilitengenezwa na magaidi?? ili kuwachanganya umma na sio mara ya kwanza hii kutokea
[4]
Ooohh kaka alitamani kuokoa ila ilishindikana, kazi ya Mungu haina makosa
[3]
Halafu mti ulielezea hadithi yote aliweza kukumbuka kila neno moja
[1]
hiki kizazi cha sasa kina mambo mengi sana, kinatia huruma, hofu na masikitiko
[3, 6]
Nimechoka kazi yangu, mimi daima nakuwa na kazi usiku , na kampuni inaendelea kutaka mimi kufanya kazi katika ofisi .
[4]
Nimekuwa mchovu hivi karibuni . Nimekuwa nikijaribu , lakini sidhani kama ntaweza hii kazi
[3]
Nilikuwa wazimu, mwendawazimu yeyote aliyemuua.
[2]
Wanafungasha mahindi ya kuchemshwa,mtindi,mayai ya kuchemshwa na jusi-kola!
[0]
nyumba inatisha, upo tuu unaishi huoni shida !
[2]
kila kitu bei juu mnajiita watetezi wa wanyonge pumbafu zenu
[4]
Alipoulizwa swali hilo alianza kulia na hata kushindwa kuongea chochote
[3]
Dada zangu punguzeni visirani hakuna mwanaume anapenda mahusiano kama kituo cha polisi!! Ulikua wapi? yule nani?
[2, 4]
Kampuni ilikuwana wasiwasi sana juu ya hii na ikadai kujua biashara zao kiundani.
[6]
Lily nani ?
[5]
Basi, akiwa na huzuni, alikunywa pipi nane usiku mmoja na kikosi kingine, alisema mwendesha mashtaka Graham Boal.
[3]
Mnapenda mteremko na ukomeeee, kumbe mke wa mtu tena loooh
[2]
ladha nzuri sana ! Zabuni na crisp !
[1]
Eleza ujinsia wako kwanza Acha porojo hizo
[4]
Hizi ndio makala za kupost sio mambo ya wambeya tu
[1]
unafikiri nini kuhusu hili duka ? Lina matawi katika miji mikubwa na umaarufu wa kunitajirishaa.
[1]
ebu tupe takwimu za watu wanaokufa kwa uoga kila mwaka.
[6]
Bunge pekee duniani ambapo wabunge wote ni vitimaalum
[4]
Wacha kuwa negative minded. Wivu haitokusaidia na lolote.
[4]
Wengine wote walisimama katika hali ya wasiwasi mkubwa, kujaribu kuhakikisha kwamba hawakuwa wamerekodi kwa usahihi tu lakini pia walielewa kile Woolton alisema.
[5]
Ni orientation acha wasiwasi
[6]
Kisasi gani tena ?
[5]
Yeah , nimekuwa nikisubiria kwa mda mrefu sasa.
[1]
Yaani nitoe bei gani kwa ajili ya sofa set tuu..haha hapana
[5]
Poleni wafiwa,Mungu awape nguvu mda wowote??????????????????????.
[3]
ukisikiaga watu wana sifa za kijinga wapo kilimanjaro. wilaya za mkoa wa kilimanjaro zina maendeleo gani?
[4]
Mtaani hamna vijana jamani !!mnaniudhi kweli kweli Hakuna vijana hata kumi tuu hapo
[4]
Hapo kuna madai ya umbea, uchawi na kuwachukulia wanaume.
[0]
Alikuwa mnyonge sana, na alihisi hatia juu ya unyogovu wake.
[3]
Ilikuwa iripotiwe ili iweje?. Unadhani ajali zote zinaripotiwa??.
[5]
Wote walishambuliwa.
[3]
Naam , ilikuwa nzuri sana kukutana na wewe .
[1]
Alipotazama pande zote alijisikia vibaya sana, kwamba katika gari ambalo asilimia 70 walikuwa wanaume kuna wanawake watano walazimishwa kusimama katika uwanja.
[3]
Mkuu bongo hii ukisikia mtu ni Dr au Prof usimuweke kundi la waelewa hadi umejiridhisha kwanza.
[0]
Nawapata vizur hapo mjengon pamoja sana
[1]
Kila kitu kimeeenda vibaya .
[3]
Wewe ulisikia wapi?
[5]
Wajumbe wa tawi walikasirika.
[2]
Acheni matusi
[4]
Wapi wewe umejifunza huo wimbo ?
[5]
we nae huchoki tu, toka kampen upo na kusifu ni yeye ni yeye hapo ulipo hata sera na ilan yako huijui umekalia kelele tu
[2]
Una matatizo gani mbona unaonekana dhoofu sana
[3]
Kwann mambo personal anamwaga hadharani
[5]
rushwa imetamalaki kila kona ya taifa??inazorota sana uchumi wa taifa letu na maendelea ya haraka
[3, 4]
Asa hao wamama wana watoto mgongoni wanataka nhao wato wapogwe mawe kwan sheria si zipo au ni ushamba unawasumbua
[4]
HAKUNA CHA FAIDA HAPO ZIDI YA WIZI,TENA WIZI AMBAO BUNGE LA SASA ALIWEZI KUOJI
[2, 4]
Wewe huna lolote tunakujuwa unatumwa kuichafuwa serikali .lakin hutaweza
[4]
Watu wanaishi kifalme wakati watu wanagombania oksijeni kama wajinga
[2, 3, 4]