text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
Tatizo la jamaa yetu huwa anajifanya anajua kila kitu, hapo alitaka tu aonekanae anajali sana wageni.
[4]
Wanaita wezao vijuso kumbe wenyew ndo vijuso
[4]
Kuna shida gani na vipimo vyetu? Mara ya kwanza ikasemekana hadi papai ina virusi vya corona.
[5]
Si unaona ngoma ya Korona inavyowaangusha
[3]
Annabel alisema kwa sauti iliyokasirika, `" Ninahisi kama akili yangu inapunguka kwa nguvu, kama kimbunga.
[6]
kwani kwenda msibani ni dhambi? mbona tunaenda misiba ya watu baki?
[5]
unadhani nini ?nimeshinda mashindano ya hotuba katika shule yangu .
[1]
Mungu wangu! Dunia inaangamia
[3]
Hiyo milango iliyo wazi iko wapi?
[5]
unaboesha kipindi sana
[4]
Nimejiuliza sana maswali mengi
[0]
Hawa ni mashetani tu ambao wamediriki kusimama mbele yangu
[6]
Afu alipokuwa anaugua hawakujali kumuuguza si kwa matibabu wala chakula.! Ukiyataajabu ya Mussa utayaona ya Firauni.
[5]
Amefika mbali sana........hizi kauli zake zinamadhara sana kwa sector binafsi
[4]
Mwonekano wa hapa ni mzuri na wa kuvutia, huchoki kuanglia vivutio mbalimbali na hewa nzuri
[1]
Huyu nae aache kuhamisha Magoli, Mpaka sasa ameshakamata watuhumiwa wangapi?
[5]
natamani ningekuwa na uwezo ningeisaidia hii familia hata kuijengea kachumb kamoja
[3]
Nini ? Kwa nini ?
[5]
Kulikuwa na wasiwasi juu ya uso wake, sasa.
[6]
`Nina shida kubwa sana,,naombeni msaada wenu "
[3]
hiyo ni nzuri . Je, zawadi ni nini?
[5]
Tafadhali wazazi msiwaonyeshe watoto ni aibu kwakweli
[4]
Eleanor Thorne nusu-akaketi kitandani kubwa, akashangaa.
[5]
Nilibeba kwa uangalifu mkubwa nisije nikapasua na nisingeweza kulipa
[6]
Gone too soon, lakini historia itakubeba... Rest in eternal peace, Jemedari!
[3]
Jambo jema kwa kulifanyia kazi
[1]
Embe ? si ubahili huu
[5]
unakuaga na mambo ya kiboya mbwa wewe
[4]
Hajielewi huyu ni kumuacha Kama alivyo
[4]
ni mpumbavu fulani anayenunulika kwa pipi ya kisiasa kupingana na sayansi.
[2, 4]
Wakati Anna aliondoka Inspekta Aziz, alikuwa na furaha zaidi.
[1]
Hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo
[4]
Serikali yenu ni sikivu imesikia kilio chenu, naamini litafanyiwa kazi.
[1]
Wana siasa hawa si wa kuamini...utamwingiza mwanao shimoni!!
[4]
Naionea huruma Tanzania kwa kweli, days of darkness ahead if we ain't gonna stand together...
[3]
Hivi mm ntakuja kupata mda kweli wa kufanya upumbavu km huu.
[4]
Nenda ukaandikishe ripoti polisi
[3, 4]
Wa Tanzania tuna tatizo la kuto kujiongeza unataka tamko kutoka serikalini na wakati roho ni ya kwako hizo nchi ambazo zinatoa takwimu kila siku kwao hakuna vifo?
[5]
unanitania? Kwa nini wewe kusema hivyo ?
[5]
Ngozi yako inahitaji tango kutoa seli zilizokufa na makunyanzi.
[0]
Kwamba hakuna virus vinavyokufa, na wew usilete nyege kwenye science
[5]
afisa wa polisi gani huyu!
[5]
"Ah ni ya kuchekesha!" Alisema Hidaya, naye akacheka.
[1]
Mama yao alikufa mwezi mmoja baadaye, aliumia.
[3]
Watu walianza kupukutika kwa kasi,, aibu na hasira na majonzi na kijikatia taama..
[3, 6]
ni unamaanisha nini?nimenunuwa kompyuta hii miaka mitatu tu iliyopita !
[5]
amefanya makosa yake na kuiweka nchi gizani kwa hiyo ilikuwa ni lazima awajibike.
[4]