text
stringlengths 7
259
| labels
stringclasses 26
values |
---|---|
Wewe bila shaka utakuwa ni nyumbu. Kwa hakika nyumbu hawaambukizwi haya mafua. | [4] |
Mbona unajitoa ufahamu! Sijakwambia huko Kwa wakulima hakuna matatizo; kama wasaidizi wake wanaweza kuyatatua hakuna ulazima wa yeye kwenda. | [4] |
Poleni sana wanafamilia mliompoteza mtoto wenu.Mungu ni mkubwa atafanya njia pasipokuwa na njia..Inauma sana | [3] |
Kuinua macho yake, akatazama hisia za kutisha katika mlango wa ufunguzi. | [6] |
punje ilikuwa kubwa sana hivi kwamba hakuweza kuimeza, na ilibaki kushika koo lake, aliogopa isije ikamnyonga. | [6] |
Nilihisi hasira. | [2] |
Kweli ? Unavyo vingapi ? | [5] |
Natasha alicheka kwa sauti iliyojawa na wasiwasi. | [6] |
Wachaaa wataaabike sasa hivi mbwa walee alikuwa mtu mwema kuliko rais wowote duniani mungu ampunguzie azabu ya kabri | [2, 3, 4] |
Alifsriki kwaa mshtuko wa moyo na presha | [3] |
Luteni alihisi kizunguzungu na kuegemea dirishani akisikilizia maumivu | [3] |
kazi inaenda vizuri lakini tra rushwa kibao sekta hiyo kurekebishwa tunanyanyaswa sana mitaani wakati kodi umeishakadiliwa | [4] |
anatia huruma, itabidi nifanye uchunguzi ili kugundua ni kwa nini wanamwonea sana huyu mama | [3] |
vya bure huondoa akili jamanii, au nadanganya?? | [5] |
Kwa hivyo alikuwa amelazimika kuficha ujinga wake, ambao mgonjwa alikua mshairi wa kihemko, wakati kesi hiyo iliibuka kwa jamii iliyoogofya. | [6] |
Jinsi gani unaweza kuwa na moyo wa kuua jamani? Tulikuwa nae mmoja tuu ! | [5] |
Waache kuripoti ili iweje, hv kuna watu akili sijui zipo wapi obviously sio ktk ubongo !! | [5] |
Unafaaa kuwa mshauri au mnasihi wa mahusiano | [0] |
Mtapukutika km kuku wenye mdondo | [2, 3] |
Akili zao wanazijua wenyewe hawa viumbe! | [4] |
Mungu wangu, tafadhali, usirudie tena hicho ndo ukichofanya wiki iliyopita | [4] |
Umeropoka bila kufikiri boss. | [4] |
nakumbuka kupitia kipindi kigumu na shida kwa siku chache | [6] |
Nampongeza Raisi kwa hotuba bomba na ya kistaarab yenye matumaini mema na mazuri kwa kila Mtanzania CHAGUA CCM | [1] |
'Wakati mmoja wa familia analalamika juu ya chakula ambacho hupewa, hunikata tamaa.' | [4] |
Shukrani kwa nyumba nzuri. Sasa nihangaike kupata kazi . | [1] |
Alimtazama uso wake kwa namna iliyoashiria kushangazwa sana. | [5] |
Pasuka, au nenda kagonge kichwa chako ukutani tuelewe moja. | [2, 4] |
Hongera ! Ni mvulana au msichana ? | [1] |
Kiazi kweli kweli, hawa ndugu zetu aaliomaliza vyuo vip? | [4] |
Nje ?una maana gani unaposema nje? | [5] |
Wazo kabisa ni la kupendeza na nilifurahiya. | [1] |
hauna uhakika ? Wewe walikuwa kwenda katika 90 maili kwa saa ! Hiyo ni 25 mph zaidi ya kikomo kasi halali! Umekunywa pombe? | [5] |
nakupenda Sana usijaliii | [3] |
pumzika kwa amani jemedari wetu, tuliotambua mapambano yako tunaomboleza kwa ajili yako. | [3] |
Shetani anaingiaje hapo! | [5] |
Kama kweli mnajua kitu flani Ni kibaya kwanini msitoe tamko kabisa | [5] |
Susan ! Kwa nini hukuniambia kwamba utachukua akaunti ya Kampuni ? | [2] |
daaah sasa nitafenyeje? ngoja nikalitupe mtoni | [0] |
Siku hii "Birthday" imetia Nia ya Kuleta Furaha kwenye Maisha ya watu hawa wape japo salamu BASI, wasikie raha kwenye maisha yao ya UPAMBANAJI | [1] |
Huyu raisi hovyo sana | [4] |
Hakuna shida, sisi Washamba tumemsikia. | [0] |
Doris , mimi nina furaha wewe upo nyumbani . Mimi nina hofu . Mimi si kujua nini cha kufanya ! | [6] |
Hiyo ni nzuri . Asante . | [1] |
We ni mganga mkuu umethibitisha hivyo vifo? | [2] |
Bila ya shaka . Naweza kufanya nini kwa ajili yenu ? | [1] |
Alitapa huku na kule asijue ataeleza nini akiulizwa | [6] |
Kusikiliza , Christine , huwezi kumudu siku nyingine ya mapumziko . Umeshachukua mara tano tayari kwa wiki tatu zilizopita . | [2] |
Lakini sielewi kupiga gumzo na kujisifu; badala yake, ninaidharau. " | [4] |
Labda yeye ndio alifanya aanze kulewa,anaelewa venye atakomesha ulevi | [0] |
Umemkosea sana mwenzio | [3] |
jamani pole mwaya na ulivyo nzuri!... bora upewe talaka yako | [3] |
Alijua vizuri kuwa alikuwa na hela ya kutosha ndani yake kununua vitu vingine vya kuchezea, na hii ilimpa maoni mazuri juu ya thamani yake mwenyewe. | [1] |
Binafsi sijaona tatizo. Naona nesi kabla ya kuchoma aidha aliitwa au kuna kitu alifuata | [0] |
Katika chumba kimoja, mtu mmoja aliyeogopa aliondoa mgongo wake ambao ulikuwa mwingi wa makovu na michubuko. | [6] |
Kama haguswi na hao wanaokufa hapo hospitali basi yeye anaguswa na nini? | [5] |
Una hakika kua ni hizo tuu??Au unajiongelea | [5] |
Wapuuzi tu wote | [2] |
Sawa tutajitahadhari mkuu. Asante kwa kutujali. | [1] |
Ilikuwa ni jambo la faraja na heshima kukutana na wewe | [1] |
Na wewe unaleta uwongo. Watu wengi wamepoteza maisha kutokama na chanjo!! | [3] |
Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi! | [0] |
Ni wivu tu, wameona tunafaidi papa kubwa! | [4] |
Serikali yetu ipo makini kwa faida ya wananchi wa Tanzania, hizi ni porojo za wapinzani ambao hawana sera | [4] |
serikali jipangeni kujibu hoja ya data zetu tulizoibiwa kipindi chote cha kampeini. | [2] |
Hapana, mimi ninaogopa sana paka . | [6] |
Noma sana | [0] |
Kwa kweli ilikuwa ni siku ya kuvutia zaidi ya siku zote nilizowahi kutembelea pale. | [1] |
Umekuwepo hapa siku ya furaha zaidi ya maisha yangu, sitosahau kamwe!" | [1] |
Sijui ni nini kilichotokea kwangu. Nahisi nimepoteza | [3] |
watu wa Libya watamkumbuka daima raisi wao waliemuuza kwa watu wabaya wasiopenda maendeleo ya walibya | [3] |
Ndiyo , kwamba inaonekana kubwa ! Ni juu yetu Open House orodha ? | [1] |
"Ah, sasa sina farasi kabisa", alisema Claus huku akilia. | [3] |
Kiukweli tuna shida, mke wangu hadi alilazmishwa kuleta vyeti vya babu na bibi yake | [4] |
kumbe wanawake wenye hekima kama subira bado wapo | [5] |
Ninapoona kiongozi anasimama katika nafasi yake,bila kupendelea upande wowote,najisikia furaha sana | [1] |
kuna marufuku yoyote kuingia chumba cha dada? | [5] |
Peter hakuonekana kufurahia, aliendelea kusikia kelele nyingi masikioni mwake. | [6] |
Wazungu au hao mabeberu wanakujaje hapo sasa! Kuwa mkweli wacha fitna mzee. We ukifa pia umebeberushwa si ndio!? | [5] |
tusipende sana bure bure...kwanini upewe lift au uombe ombe lift...bora wakuteke ijulikane moja umetekwa kuliko kujipeleka mwenyewe kifala kwa kupenda maisha ya kijamaa ya kusaidiwasaidiwa. | [4] |
Naona ni uzembe zaidi kwa Uongozi wa Hospitali! | [4] |
Wasiwasi na hofu yenu ya kutoka inalichelewesha taifa hili kuliko upinzani! | [6] |
Makucha ya watu yatafufuka | [4] |
Wazazi wangu huwa wanasema, bado sijawa vizuri ya kutosha . | [3] |
Mwanamke hana uwezo wa kuchagua nani awe nae kwenye mahusiano ila wanaume ana uwezo wa kuchagua nani awe nae... | [3] |
Siyombaya mhhhh wakati inaonekana jamani tuwache ubinafsi | [4] |
Hawa jamaa wanadharau Sana aisee, Zama zimebadilika. Sheria ifuate mkondo wake | [2] |
kumbe mko hivi?? Dah | [5] |
wote waliogopa, Mfalme akachukua ndege, wavuvi na watoto watatu akarudi nao kwenye kasri, akaamuru gereza lifunguliwe na kumleta nje mkewe. | [6] |
tunaambiwa wameanza kurudisha pesa, akina nani hao? kiasi gani? Lini? Wamerudisha wapi? Mbona taarifa yenyewe imepwaya hivyo? | [2, 4, 5] |
nategemea kwenda Marekani . | [1] |
Kuhisi aibu isiyo ya kawaida na ukiwa, amezingirwa na media zinazohitaji kumhoji, Luce alifurahiya kurudi kwenye hoteli na kupata wasaa wa kutafakari na kupumzika | [1, 3] |
Katherine alihisi uchungu wake, na kwa mara ya pili siku hiyo machozi yalitiririka mashavuni mwake. | [3] |
Omba MUNGU usiwe na shida ya kukutaka uende pale, NSSF basi tu, wameweka vibinti havina uelewa vinachati tu na nyodo kibao | [4] |
Wakati Onyango anaenda kupiga penati Manara aliogopa kuangalia, Akainama chini. Ni maushindi tuu leo | [1] |
hata mimi niliwahi kusingiziwa nilichovya asali kumbe hapana nikiwa darasa la 3 nikapigwa fimbo sana. | [3] |
nina hofu siwezi kukamilisha maelezo yangu kwa wakati . | [3] |
Simu yangu?imefanya nini? | [5] |
umeonaee | [0] |
Mkuu wa shule James Jackson alikumbuka raha yake. | [1] |