text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
Uwiiiiiiii jamanii
[3, 5, 6]
alinifuata hadi nilipofika nyumbani !
[6]
Uso wake ulichanika na kuvuja damu.
[3]
Samahani kwa usumbufu lakini sidhani hii samaki ni fresh. Ladha yake tuu si nzuri.
[4]
Sijawahi kuona kitu kama hiyo .
[5]
Hujapata hadi leo?
[5]
una akili wewe ? Je, rafiki yangu atafikiria nini kama akiniona mimi katika gari ya mwajiri wangu ?
[5]
Hali ya hewa ya leo ni joto kiasi, naifurahia sana.
[1]
Lakini ni kwanini Rosa kila wakati anaonekana mwenye mawazo mengi na kutokuwa na utulivu
[3]
Chama kimekushinda,waachie wenye hofu ya Mungu, huna jipya tena kaka.
[2]
Mnajifanya wazungu na uzungu hamuuwezi.
[4]
Kuwa mwangalifuhuko uendako, tutakukumbuka sana.
[3]
Hiyo mvua ya siku moja duh
[5]
Oyaaa sio kitoto konde juuuuu
[1]
Kuna wengine hapo watakuwa hawajui Kiswahili si wamezaliwa America
[4]
Yeye mbona alikimbia ualimu akaingia kwenye siasa!
[5]
Kwa upande mwingine, alishuku kwamba Fowler-Thrown angefurahiya.
[1]
Jamani huyu waziri saruti aisee nimekupenda buureee uko vizuri sana mungu akulinde mama
[1]
Usiwe na aibu bwana. Pakua chakula cha kutosha ufurahie
[1]
Mtu yoyote anayezuia watu wake wasijue international language namuona ni zuzu
[4]
Ni tajiri kiasi gani hadi atukoseshe usingizi!!
[5]
Ama kweli, ulishapata wewe. Huoni shida tunazopata walimu, unachoona ni kuwa hakuna kazi tunazofanya.
[4]
Poleni sana, itengenezeni dar! Jaman
[3]
Mwanzoni Anne alihisi kukasirika, lakini alipoifikiria zaidi, aligundua maana nzuri ya onyo lake.
[2]
amu amu amu amuuu, vuli nini ya ngayi na mawa eeh
[0]
Trump bhana. ...anaakili za kuku wa toangoma kule
[4]
Ni lottery labda inaweza kukutoa.
[0]
Wote walijumuika katika kwaya ya sifa, kubwa na ndogo, wakaimba na kushangiliwa kwa nderemo nyingi sana
[1]
Watu hawatak tena kunyanyaswa na watu wenye majina
[4]
Ukawapa wadada wa watu matumaini dah!!, wewe kweli nomaa
[5]
munaingiza pesa nyingi sana hapo kwa siku kwani mnashindwa kuajili kikosi cha wazamiaji ama waokoaji ambacho kinakuwa tayari muda wote muda wote hapo kivukoni....
[4]
Familia yangu ina mpango wa kwenda kwa shangazi kwa ajili ya likizo
[1]
WACHA UONGO BWANA UNASEMA HAKUNA KUOGOPA MBONA UMEOGOPA UKATIMKIA NJE?
[4]
Leo anajisikia kucheza miziki tuu
[1]
Kwa kweli Ed alipewa dhamana juu ya jinsi watendaji walivyoshughulikia biashara yote hadi kufanikiwa.
[1]
Kisha mkuu akashuka na kutazama mguu wake; na akaona, kwa damu iliyotiririka kutoka humo, ni ujanja gani alikuwa amemchezea.
[5]
Hivi unadhani hicho kilimo chako cha jembe la mkono ndio kitatukomboa na kutufanya tuendelee??
[5]
Lakini ulevi yake ni ya ukweli
[0]
Mtu hawezi kuwa sawa mda wote na hawezi kuwa sahihi mda wote
[0]
kwa nini unikatalie na mimi kuchanjwa kama wewe hutaki? Iwe hiyari.
[4, 5]
nikapatwa na mshtuko ghafra kisha nikajitupa Chini .........
[6]
Kweli ? Nakumbuka alisema kama yeye asingekuwa na mahusiano. Ni mtu tajiri sana ?
[5]
Mama wwe ni Jasiri ,,,,san Allah akufanyie wepesi inshallah
[1]
Nakutana na changamoto nyingi katika majaribio yangu. ni vigumu hata kwendelea mbele .
[3]
Nashukuru, lakini nadhani nina ujuzi wa kupika zaidi yako. Wewe waangalie watoto
[1]
"Kuhusu nini, wapenzi? "aliuliza kwa sauti ya mshangao.
[5]
kuna mda unaniudhi hadi nataka kukuua
[2, 4]
`Nina hasira sana. "
[2]
Jitahidi saana kazi zako/ shughuli zako zisi affect mahusiano yako na wapendwa wako.. Especially Wazazi.
[0]
Huu ni ni ujinga, stop killing people in the name of supernatural believes that doesn't exist,
[4]
Virus vinakufa kwa dawa ya minyooo
[0]
Wanawake wa jadi huonyesha huzuni yao kuliko wanaume.
[3]
Nilikuwa nimeendesha gari kwa kasi sana, na niliogopa wakati niliposimamishwa, kuhojiwa na kisha kuarifiwa kwenda. Hali hiyo iliisha kwa furaha kwani hakukuwa na adhabu yoyote.
[6]
ubora wa hewa katika mji huu ni ya kutisha ! Uchafuzi umezidi hadi tumenyimwa kutembea hata kama ukivaa mask !
[2]
Baba levo toka lini akajaza uwanja jmn utooo
[5]
kamwe hatujawahi kufikia hitimisho la swala hili
[4]
Nimeipenda sana hiyo ... Hongera
[1]
Aliona sura ya mshangao kwenye uso wa Hencke na kumpeleka kuelekea viti viwili vizuri ambavyo vilisimama pande zote za meza ya kawaida.
[5]
Ndo maana niliambiwa ukipenda elimu sana basi soma kwa afya tu angalau hadi shahada ya pili...
[0]
Aya bana
[0]
nimependa mtangazaji anavyotangaza, sauti inavutia na mengineyo yote
[1]
mwenye nguvu mpishe.
[0]
Uwiiiii had mwili umesisimka
[6]
Aliweza kuona huzuni machoni mwa giza ambayo iling'aa kana kwamba kulikuwa na mishumaa iliyokuwa inawaka nyuma yao.
[3]
Chato imewakosea nini tena jamani
[5]
Nilikuwa nikifanya kazi kwa zaidi ya saa moja na mikono yangu inauma kutoka kwa kung'ang'ania kuendelea, lakini nilijawa na furaha kubwa baada ya kumaliza.
[1]
Pesa haina mahusiano na elimu siku hizi
[0]
Wazungu ni mashetani hawapendi waafrika tuishi kwa amani na mali yetu aliyotujalia Mungu. Halafu kuna watu wanawasujudu sana
[2, 4]
Kitabu hiki pia kinasonga karibu na uchambuzi muhimu sana wa sayansi na bado hakijapingana na sayansi, inapinga kisayansi tu: raha ya mwenyewe ya Jones inachangia kwa nguvu ukosoaji wake.
[1]
Kati ya mimi na wewe nani punguani hapo? Kati ya ninyi mnaoshangilia wapinzani wetu wa kisiasa kupigwa risasi na tunaosema wapinzani waachwe tupambane kwenye majukwaa ya kisiasa nani punguani?
[4]
uko serious ?
[5]
paka akimwona mbwa huwa anabadili njia
[6]
Duuuh cjui hata niandike nini ila kila alioko jela kwa kusingiziwa basi Mungu wetu yupo na hajatutupa mkono
[3]
?Unayesema ni mwizi kamuiba mama yako!!!!!!!!!!!!!!!
[4]
Mashabiki wa Diehard wanaweza kutapeliwa, lakini ni ngumu kubishana dhidi ya wimbo wowote uliojumuishwa.
[2]
Vifo kila kona ya dunia
[3]
Alikuwa na njaa na kiu, lakini hakuna mtu aliyempa chochote
[3]
Leonora amelala kwa mikono yake, hasira.
[2]
Ulitaka acheze kwa staha kwani kanisani pale alikuwa
[5]
hatimaye umefika hapa ! Nini ilichukua muda mrefu kiasi hicho tumesubiri sana hadi wengine wameondoka?
[4]
anaweza kufanyiziwa akabaki anasononeka mpaka siku yake ya mwisho ulimwenguni.
[2, 4]
nimenunua printer mpya ya combo leo sababu ilikuwa nafuu zaidi kuliko ya zamani.
[1]
Hivi unajua gharama ya kuvimbiana na wakubwa? Ufungue kesi dhidi ya boss wako, upo tayari kwa yajayo?
[5]
Wapenzi wangu, ni ya ngapi mlisema mana nshachoka kusubiria !
[5]
Ana wasiwasi kuwa anajaribu kuwa mzuri zaidi na hata mkamilifu. "
[6]
Sijawahi elewa maadili ya mtanzania. Upumbavu mtupu, wangebana kote kote kama kweli wapo serious.
[2]
Unatengeneza tatizo halafu unalitatua...then unapongezwa....siasa bana ni mchezo mchafu
[4]
Umeniogopesha sana nusu nijikwae
[6]
Kwa kweli alikuwa na wazimu juu ya kile alikutana nacho tu kwenye freezer yake.
[2]
Una chuki na wivu wa hali ya juu sana.
[4]
watajua wenyewe
[4]
Akasema, basi nitaanza kutiririka, na kuanza kutiririka kwa nguvu.
[5]
mama yangu eee!!!
[6]
Nimeshachoshwa na story zao kula siku hazibadiliki, mpaka naanza kufikiria nitamuiga sasa
[4]
Siulizi juu ya mambo yako ya kibinafsi!!, sasa vipi unanipandishia sauti.
[2]
Hapana ! Yeye ndiye aliyeanza uchokozi kwa kunipiga, sasa na mimi nikae tuu
[2]
Polisi wa Bonde la Thames wanajulikana kuwa na hasira juu ya kesi hiyo.
[2]
Kwenye Corona wameweka pesa nyingi sana tofauti na chanjo nyingine
[4]
Waambie sasa hao wazungu -- sijui hata hao wazungu unaowazungumzia ni wazungu wa wapi
[5]
Nilijisikia vibaya sana, nimefika pale anauliza maswali ya kinafki badala ya kunisaidia
[2]