text
stringlengths
0
1.31k
bwana gire alifikishwa mahakamani hapo akikabiliwa na mashitaka manne yakiwemo ya kughushi kuwasilisha hati ya uongo na kutoa taarifa za uongo kuhusiana na richmond
jeshi la polisi UNK na kuanza kuwasaka upya watuhumiwa wa mauaji waliotoroka mkono wa sheria baada ya kudaiwa kuwaua wafanyabiashara wa madini wa mahenge na dereva teksi mmoja wa manzese dar es salaam
katika utekelezaji wa zoezi hilo polisi wamesema watatangaza upya picha za watuhumiwa hao akiwamo saad alawi ambaye alidaiwa mahakamani kuwa ndiye UNK risasi wakati wa mauaji hayo
wengine ni frank mbutu na james UNK
mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai robert manumba alisema hayo jana dar es salaam katika mkutano wa mkuu wa polisi nchini igp said mwema na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali likiwamo la hatima ya watuhumiwa hao na kibarua cha aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdalah zombe
mpaka sasa upelelezi bado unaendelea tunataka kuzitoa tena upya picha katika vyombo vya habari tunaomba wananchi wenye taarifa za watuhumiwa hao watoe taarifa ili waweze kuchukuliwa hatua alisema
kauli hiyo ya dci imekuja wakati kuna agizo la mahakama kuu lililotolewa kwenye hukumu ya jaji salum masati kuwa polisi waendelee kuwatafuta UNK hasa wa mauaji hayo huku akiwaachia akina zombe na UNK wanane kuwa hawakuwa na hatia
tayari serikali imekata rufaa kupinga hukumu hiyo
akifafanua juu ya watuhumiwa hao dci manumba alisema kuwa wahalifu waliokimbia ndio hasa wanahusika katika mauaji hayo na kwamba pindi UNK ndipo ukweli kamili wa mauaji hayo UNK
akizungumzia hatima ya kibarua cha bwana zombe dci alisema mkuwa wakati UNK huru na mahakama UNK kurudi kazini kwa kutokuwa na hatia lakini bwana zombe aliomba kustaafu na wakati ombi linashughulikiwa ngazi za juu rufaa UNK dhidi yake
alisema kuwa wanachosubiri sasa ni rufaa na baadaye hatima yake katika utumishi UNK
mtoto pacha aliyenusurika kuzikwa akiwa hai baada ya kuzinduka muda mfupi kabla ya kuingizwa UNK amekufa
mtoto huyo ambaye alikuwa na umri wa siku moja aliibua hisia nzito kwa familia ya ally athuman baada ya madaktari wa hospitali ya temeke kudaiwa kuruhusu mazishi ya watoto wawili ambao ni mapacha lakini mmojawapo UNK yu hai
mtoto huyo alishangaza UNK baada ya kuonyesha dalili za uhai na kuamua kumkimbiza hospitali ya taifa muhimbili ambako jana asubuhi alifariki dunia
watoto hao mapacha walizaliwa na mama aitwaye aisha jabir mkazi mbagala maji matitu ambaye alipelekwa jumamosi saa sita mchana kwa ajili ya mapumziko akiwa na ujauzito wa miezi saba
lakini hata hivyo hali yake ilibadilika ambapo juzi asubuhi alijifungua watoto wawili mapacha wa kiume ambapo madaktari waliokuwa UNK walidai kuwa wamefariki dunia
akizungumzia tukio hilo babu wa watoto hao balozi babu alisema kuwa mtoto huyo UNK kukimbizwa muhimbili kwa ajili ya matibabu kwa sababu ya kuchelewa gari la wagonjwa
amedai kuwa pia baada ya gari hilo kuwasili ilichukua zaidi ya masaa matatu ndipo mtoto huyo alipopelekwa hospitali ya muhimbili
kutokana na hali hiyo familia hiyo iliamua kwenda moja kwa moja kituo cha polisi changgombe kwa ajili ya kuandika maelezo kwa ajili ya hatua zaidi
hata hivyo mtoto huyo amefariki dunia jana asubuhi na mazishi yamefanyika jana mchana katika makaburi ya tambaza upanga
akizungumza na majira baba wa marehemu bwana ally athuman alisema kuwa baada ya kumalizika kwa taratibu za maziko wanatarajia kwenda polisi kufungua mashtaka kwa ajili ya hatua zaidi
amesema kuwa wanachoamini wao ni kuwa uzembe ndiyo ulichangia kwa kiasi kikubwa kifo cha mtoto wao ambaye alikuwa UNK
gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta mganga mkuu wa hospitali ya temeke bibi aisha mahita alisema kuwa uchunguzi wa kina unaendelea dhidi ya tuhuma hizo na kuahidi kutoa taarifa zaidi
mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari anayetuhumiwa kufanya mauaji mkoani mwanza na kutorokea shinyanga amekamatwa na akiwa amevaa mavazi ya kike aina ya baibui akiwa katika harakati za kutoroka
kamanda wa polisi wa mkoa wa shinyanga bwana daudi siasi amemtaja mwanafunzi aliyekamatwa kuwa ni daudi rashidi ambaye pia hutumia jina la athumani rashidi anayetuhumiwa kumuua mwanafunzi mwenzake jijini mwanza wiki iliyopita
kamanda siasi alisema mbali ya mwanafunzi huyo ambaye alikamatwa juzi katika kituo kikuu cha mabasi mjini shinyanga polisi iliwakamata watu wengine watatu wanaodaiwa kushiriki katika mauaji hayo
wengine waliokamatwa ni nixon robert pia mwanafunzi wa sekondari anayetuhumiwa kushiriki kumpiga mwanafunzi aliyekufa bwana ally rashid mfanyabiashara wa mtaa wa rufiji mjini mwanza ambaye anadaiwa kuwatorosha wanafunzi hao na bibi margaret george mkazi wa UNK shinyanga aliyekuwa awapatie hifadhi
mtuhumiwa daudi alishtukiwa na abiria wenzake aliokuwa nao katika basi hilo kutokana na sauti yake kuwa ya kiume wakati mavazi aliyokuwa amevaa ni ya kike ikiwa ni baibui nyeusi iliyokuwa UNK uso wake wote na kuachia uwazi kidogo katika sehemu ya macho na hivyo kutoa taarifa polisi
baada ya kuwakamata tuliwasiliana na wenzetu wa mwanza ambao baada ya kuwatajia majina ya daud na nixon waliwatambua kuwa ndiyo UNK kuhusiana na kesi ya mwanafunzi wa sekondari aliyeuawa kwa kipigo na sasa tunaandaa mipango ili kuwarejesha mwanza kujibu shtaka la mauaji alieleza kamanda UNK
hata hivyo kamanda huyo alisema kuwa polisi walikuwa na taarifa za siri zilizotolewa na raia wema mkoani mwanza kwamba wanafunzi hao na mtu UNK kuwaficha UNK shinyanga
kutokana na taarifa hizo na raia UNK mmoja wa watuhumiwa polisi walifanikiwa kuwanasa wakati UNK kwenye basi la kampuni ya mohamed trans mjini shinyanga
wamiliki wa daladala UNK uwanja wa uhuru na zisizokuwa na leseni wametakiwa UNK mabasi yao katika uwanja huo ili kuwawezesha wananchi wengi wa dar es salaam kushiriki maadhimisho ya miaka arobaini na nane ya uhuru kesho
pia kampuni ya majembe auction mart vijana wa kazi na mamlaka ya usafiri nchi kavu na majini ambazo tayari zimezua kiwewe kwa wamiliki na watumishi wa daladala korofi zimetakiwa kutoyakamata mabasi hayo ili kutoa usafiri wa kutosha kwa wakazi wa wilaya zote tatu kuhudhuria maadhimisho hayo
mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi aliyasema hayo dar es salaam jana alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya uhuru
siku hiyo magari yoye ya abiria UNK uwanja wa uhuru na UNK askari wa usalama barabarani sumatra na majembe auction mart kutoyakamata mabasi hayo pia mabasi ambayo hayana leseni ya kusafirisha abiria ndani ya jiji hili siku hiyo ruksa kufanya hivyo mwisho saa nane mchana alisema
bwana lukuvi aliwataka wakazi hao kujitokeza kwa wingi kushuhudia maadhimisho hayo akisisitiza kuwa vyema kwa wakazi wa dar es salaam kushuhudia maadhimisho hayo kupitia vyombo vya habari wakati wana uwezo wa kufika na kushiriki katika tukio hilo muhimu na la kihistoria
alisema milango ya uwanja itakuwa wazi kuanzia saa kumi na mbili sifuri sifuri asubuhi na kuongeza kuwa maadhimisho hayo UNK na vijana wa halaiki gwaride maalumu la majeshi ya ulinzi na usalama
maadhimisho hayo kitaifa yatafanyika dar es salaam kesho ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa rais jakaya kikwete
saba wanusurika kufa
wengine wazirai na mwandishi wetu wanachama wa upatu wa deci UNK waziri wa fedha na uchumi bwana mustafa mkulo kuwa UNK kulingana na kauli zake kwani kwao alifungua tawi la deci akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam mwenyekiti wa kamati ya dharura ya wana deci mchungaji isaac kalenge alisema hawana imani na waziri huyo kutokana na kauli zake kutofautiana na za watendaji wake kwa vile UNK katika vikao UNK na viongozi wa deci alidai waziri mkulo UNK kwao mkoani morogoro kufungua tawi la deci hivyo wanashangaa msimamo wake hivi sasa kuhusu mchezo huo wa upatu
mchungaji huyo alidai kuwa kuna ujanja unaofanywa kati ya viongozi wa serikali na deci ili kuhakikisha wanachama hawapati fedha zao kwa kukaa vikao bila kuwashirikisha
kamanda wa polisi mkoa wa dar es salaam bwana suleiman kova anapaswa kujua kwamba wanachama wa deci sasa UNK kwamba fedha zao UNK na kampuni ya deci na ndiyo maana wanahitaji kukaa vikao ili watoe taarifa sahihi za uhalifu huo kwa vyombo vya usalama
kama hawatafanya hivyo wanachama wasipopewa nafasi ya kutoa mawazo katika UNK ni hatari kwa viongozi wa deci kwani wanaweza kushambuliwa na aibu ikawa kwa serikali alidai
mchungaji kalenge alisema wanachama wana taarifa kuwa viongozi wa deci wameanza kurejesha fedha kwa wateja waliopanda hivi karibuni ambao hawajawahi kuvuna
pia alisema zipo habari kwamba maaskofu wachungaji na vigogo wa serikali waliopanda fedha nyingi zaidi ya shilingi milioni kumi UNK fedha hizo na mavuno kinyemela
hata mkutano huo na waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa idara ya habari baada ya maofisa waandamizi wa idara hiyo kudai ulikuwa ukiwakashifu viongozi wa serikali
waziri mkulo mwenyewe hakuweza kupatikana jana kuzungumzia madai ya wanachama hao wa deci naye edmund mihale anaripoti kuwa watu saba waliokuwa wanatarajia kunggoa mbegu zao katika kampuni ya deci wamenusurika kufa baada ya kutumbukia katika shimo UNK kwa ajili ya kutunzia maji jirani na ofisi hizo
wateja hao waliokuwa miongoni mwa maelfu ya washiriki ya upatu waliofika kunggoa mbegu UNK katika shimo hilo baada ya mfuniko uliokuwa UNK kuzidiwa nguvu na kutumbukia
watu hao ambao wote walikuwa ni wanawake waliokolewa wa watu waliokuwa jirani na shimo hilo
shughuli hiyo ya kuorodhesha majina UNK na matukio ya hapa na pale ilianza saa mbili thebathini asubuhi na baadaye kusitishwa saa tatu hamsini baada ya kuonekana kwa dalili za vurugu kutokana na umati mkubwa uliojitokeza
ofisi hizo zilifunguliwa tena saa nne kumi baada ya polisi kutoka kituo cha magomeni kufika wakiwa katika magari aina ya land rover defender namba pt sifuri saba tano mbili t mia saba na sitini ady na t mia mbili na kumi na tatu amv ambayo yalikuwa tayari kwa lolote ambalo lingetokea katika shughuli hiyo
umati wa watu waliofika katika ofisi hizo ulisababisha msongamano wa magari yatokayo barabara ya morogoro na kwenda mabibo UNK ambayo yalionekana kupita kwa tabu
pia watu wengi walizirai baada ya kukosa hewa kutokana na wingi wa watu waliofurika kwa ajili ya kujua hatma ya mbegu zao walizopanda
majira ilimshuhudia msichana mmoja wa shule ya sekondari UNK kwa kukosa hewa saa tano thebathini na nane lakini alipatiwa huduma ya kwanza na kuchukuliwa na mzazi wake UNK simu ya mkononi na msamaria mwema
na gladness mboma katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti mtendaji wa kampuni za ipp bwana reginald mengi ameibuka na kudai nchi inahujumiwa kundi dogo la watu aliowaita mafisadi papa na wamejiandaa kutoa roho za wanaowapinga kwa gharama yoyote
bwana mengi alitoa kauli hiyo jana dar es salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari na kueleza kuwa mafisadi hao UNK nchi pabaya kwani hawataki kuguswa
aliwataja watu hao wakiwemo wafanyabiashara na wanasiasa na kueleza kuwa UNK nchi kwa kiasi kikubwa
nia njema ya rais jakaya kikwete ya kupambana na mafisadi na aina zote za uovu UNK mafisadi na sasa wamecharuka wanapambana na watu wote wanaomsaidia rais kupambana nao kuwazuia wasiendelee kuitafuna nchi alisema bwana mengi
bwana mengi alisema mafisadi hao wanatuhumiwa kuiba mabilioni ya fedha za wananchi na baya zaidi UNK pesa hizo nje ya nchi
alisema wanaotuhumiwa wanahusishwa na karibu ya kila kashfa kubwa iliyoibuka hapa nchini
jitihada kubwa za rais kikwete kuleta maendeleo na maisha bora kwa kila mtanzania UNK na wizi mkubwa wa rasilimali za taifa alisema bwana mengi na kuongeza bado watanzania wengi wanaandamwa na umasikini mkubwa hawajui hata mlo mmoja kwa siku utatoka wapi bwana mengi ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu nchini alisema cha kusikitisha ni kwamba pale mtanzania mwema mwenye uwezo anaposaidia jamii kuondokana na umaskini mafisadi wamekuwa wakipiga kelele kuwa misaada ya aina hiyo ina agenda na kupinga kwa kutaka watanzania wafe njaa na matatizo mengine
inavyoonekana nia ya mafisadi hao sasa ni kuvuruga nchi na si ajabu wakaunga mkono matatizo yanayotokana na kampuni ya kuvuna na kupanda mbegu deci na watanzania wakabaki wakifukuzana na wachungaji bila kujiuliza ni kina nani hasa wanachochea vurugu hizo alisema
bwana mengi alisema deci imeleta matatizo makubwa katika nchi mbalimbali duniani ambapo UNK serikali ya albania na kwamba hatma yake ikiendelea kuchochewa na watu wapenda vurugu italeta matatizo makubwa hapa nchini
alisema kuwa mafisadi papa hao UNK rasilimali tu bali wanaiba pia muda badala ya wananchi kutumia muda katika shughuli za maendeleo wanajikuta wakiutumia kupambana nao
bwana mengi alidai mafisadi hao wanatumia fedha walizoiba kuanzisha magazeti ya kujenga kiburi cha kudharau watanzania kuwatukana na kuwanyanyasa
inakuwa ni kesi ya mwizi kumkimbiza na kumpiga aliyeibiwa
hata sasa hivi mafisadi hao wanaendelea kutumia uwezo wao wa kiuchumi uliotokana na wizi wa rasilimali za nchi kuwashawishi na kupata miradi mikubwa mikubwa kwa kutumia majina tofauti tofauti huku wakipuuza kabisa kelele za wananchi kuhusu ufisadi wao alisema
alisema watanzania wanaolia na ufisadi ni mamilioni wakiongozwa na rais kikwete lakini wachache waliojitokeza na wanajulikana kwa majina
alieleza kuwa hata hivyo kuna tetesi kwamba mafisadi papa wamedhamiria UNK kabisa wapinga ufisadi wanaojulikana kwa majina
alisema mafisadi hao ni lazima wajue kwamba iwapo wapambanaji hao wa ufisadi UNK kwa njia yoyote ndani au nje ya nchi watawajibishwa na watanzania
alisema mafisadi hao wanafanya kila UNK kuhakikisha watanzania wanaopiga vita ufisadi wanaangamia kwa njia mbalimbali UNK sumu ajali au kwa kupigwa risasi ili kuondoa ushahidi
watanzania mtasikia tu kwamba fulani amefia nje ya nchi na UNK kama kitu cha kawaida kumbe mafisadi ndio waliotekeleza azma yao ni lazima muwe macho kwani wanataka kuisambaratisha nchi alisema
aliwataka watanzania kujiuliza mafisadi wanapata wapi ujasiri majigambo dharau nguvu za kuwatukana na kuwanyanyasa
alisema mafisadi wote hususani wale wanaotuhumiwa kuwa mafisadi papa ni lazima washughulikiwe la sivyo wataiyumbisha na kuitikisa nchi na kwamba ni lazima watanzania waone kwamba sasa nchi imefika mahali pa kusema imetosha
bwana mengi alisema amejitoa muhanga kupigana vita dhidi ya mafisadi na kubainisha kuwa yeyote UNK na hatua ya kuitwa fisadi papa aende mahakamani ili UNK kisheria
na said mwishehe jeshi la polisi nchini limesema linafanya uchunguzi wa kina zaidi ili kubaini wanaojihusisha na mtandao wa kompyuta unajulikana kama ze utamu ambao unatumika kudhalilisha watu wakiwemo viongozi wa ngazi za juu
hatua hiyo ya jeshi la polisi imetokana na kukithiri kwa picha mbalimbali za kudhalilisha kupitia mtandao huo
siku za hivi karibuni mtandao huo umekuwa ukitumia nafasi ya uhuru wa vyombo vya habari kudhalilisha viongozi jambo ambalo ni kinyume cha ustaarabu na maadili ya jamii
akizungumza na majira jana kwa njia ya simu mmoja wa maofisa wa ngazi za juu wa jeshi la polisi alisema kuwa mtandao huo umefikia mahali ambapo UNK tena na kazi inayoendelea sasa ni kuwasaka wahusika wake
tumeona jinsi mtandao huo UNK viongozi wetu sisi kama jeshi la polisi UNK uchunguzi wa kina umeanza na muda sio mrefu mtasikia nini UNK kwa watu hao alisema ofisa huyo
mbali ya kuchunguza wahusika jeshi hilo pia linafuatilia kwa undani kupata wamiliki wa mtandao huo ambapo kutokana na vitendo vyake UNK tena
tume ya mawasiliano tanzania imekiri kuwepo vitendo mbalimbali vya udhalilishaji kupitia mtandao huo na kuahidi kulishughulikia suala hilo haraka iwezekanavyo
tumeona hili tunachokifanya sasa tunakutana kikao cha dharura kujadili suala hilo kwa undani alisema mmoja wa maofisa wa tume hiyo aliyeomba kutoandikwa jina gazetini ambaye pia hakutaka kufafanua hatua UNK kudhibiti tatizo hilo
wakizungumza na gazeti hili wananchi mbalimbali walilaani vikali kitendo kilichofanywa na mtandao huo na kutaka upigwe marufuku sambamba na wahusika wake kukamatwa mara moja popote walipo na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria
sisi kama watanzania UNK vitendo hivi vya kipuuzi na fedheha kupitia mtandao huo viendelee vyombo vya dola vichukue hatua za haraka kuwakamata wote wanaojihusisha na mtandao huo alisema mama aliyejitambulisha kwa jina la bibi hawa majaliwa
mwananchi mwingine aliyeomba kutoandikwa jina mkazi wa upanga jijini dar es salaam alisema hatua iliyofikia na mtandao huo haivumiliki na UNK kama vyombo vya dola UNK kuwanasa wahusika na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria hatimaye sakata la kampuni ya development entrepreneurship community initiative imechukua sura mpya baada ya mbunge wa wawi bwana hamad rashid mohamed kumbana waziri mkuu bwana mizengo pinda akiitaka serikali kueleza sababu za kusitisha shughuli zake
katika swali lake la kwanza la papo kwa papo kwa waziri mkuu jana asubuhi bwana rashid ambaye pia ni kiongozi wa upinzani bungeni UNK UNK za deci na matukio mengine mawili ya kuhamisha wafugaji toka bonde la ihefu mbeya pamoja na kufungwa uchimbaji UNK la kunduchi dar es salaam
alisema matukio hayo ni dalili ya serikali kuwa na mfumo wa ukandamizaji kwa wananchi wake
alisema wafugaji waliokuwa katika bonde la ihefu walikaa eneo hilo kwa muda mrefu hivyo UNK walipata madhara makubwa huku tatizo hiyo likijirudia kwa wale waliokuwa wakichimba kokoto kunduchi na sasa ni kampuni ya deci kufungiwa baada ya serikali kupitia benki kuu ya tanzania kuiruhusu mwaka ishirini sifuri saba akijibu swali hilo bwana pinda alikanusha serikali kuwa na utaratibu mbovu UNK wananchi na kueleza kwamba deci ilikiuka sheria baada ya kuingia katika shughuli za upatu ambazo kisheria ni kosa la jinai baada ya kuacha kutoa mikopo kwa akina mama kama ilivyoomba awali mwaka ishirini sifuri saba kwanza niseme tu kwamba serikali haina sera wala utaratibu wa namna hiyo mfumo wowote wa upatu ni kosa tena ni kosa la jinai kwa utaratibu mtu akifanya kosa la jinai anakamatwa na kupelekwa mahakamani kwa hili la deci ni vizuri waheshimiwa wabunge jambo hili liliingia kupitia dini jesus UNK
iliingia kiimani imani hivi ndio maana walipokwenda benki kuu walisema wana mtaji wa kukopesha akina mama lakini walionywa kwamba hawaruhusiwi kuchukua amana yoyote kutoka kwa watanzania na kuambiwa kama wanataka kufanya kinyume cha hapo inawabidi warudi tena bot lakini waliingia kwenye upatu kimyakimya ndio maana imechukua muda kujulikana alisema bwana pinda
hata hivyo majibu hayo yalimfanya bwana hamada kuuliza swali la nyongeza akihoji uhalali wa waziri wa fedha bwana mustafa mkulo kujiingiza katika mtego na kuwa mgeni rasmi na kufungua tawi la deci wilayani kilosa
mheshimiwa spika nina swali moja la nyongeza kama unavyosema waziri mkuu ni sahihi ni kwa nini waziri wa fedha aende kufungua tawi la deci kule kilosa alihoji
akijibu swali hilo waziri mkuu alisema kwanza hilo silijui ninachojua ni kwamba si halali na hata kama alifanya hivyo sasa ni halali hapana lakini kama alienda basi na yeye alienda kama UNK japo alitakiwa awe wa kwanza kujua hilo alisema waziri mkuu
naye edmund mihale kutoka anaripoti kuwa wanachama wa deci usiku wa kuamkia jana walijikuta UNK kukesha eneo la makao makuu ya mabibo dar es salaam kuwahi foleni ya kujiorodhesha kurejeshewa mbegu zao walizopanda
wanachama hao walionekana wakiwa katika hali uchovu iliyotokana na usingizi huku wengine wakiwa wamekata tamaa baada ya kushindwa kujiandikisha au kupewa namba kutokana misururu mirefu ya kujiandikisha na kupewa namba
mwanachama bwana edward moris alifika katika eneo hilo saa kumi alfajiri na kukuta tayari wanachama hao wamepanga msururu uliokuwa na watu zaidi ya tatu sifuri sifuri sifuri huku kukiwa hakuna huduma yeyote katika eneo hilo
nimefika hapa tangu saa kumi lakini nimekuta wanachama UNK wakiwa wamelala bila hata ya kutojali kama kuna mvua
lakini pamoja na kuwahi nimepata namba mbili mia nane na thebathini na tano hebu ona kuna watu wangapi mbele yangu kuanzia namba moja alisema bwana moris
alisema wamekuwa wakiheshimu utaratibu wa foleni tangu juzi na hakuna fujo licha ya kutokuwa na ulinzi wa kutosha hadi ofisi hizo zilipofunguliwa saa kumi na mbili thebathini asubuhi
majira ilishuhudia wanachama wakiwa katika foleni ndefu iliyokuwa na urefu wa mita sitini sifuri huku mvua kubwa ikinyesha na hakuna mwanachama UNK mvua hiyo