text
stringlengths
0
1.31k
mkazi wa kimara baruti bibi asha msomi alisema kuwa yeye hakufurahishwa na kitendo cha kuona anapewa risiti hiyo kwa ajili ya kuja kuchukua fedha siku nyingine kwani majina ya walipanda yapo na wanafahamika hivyo kilichotakiwa ni kupewa mbegu zao
sioni sababu ya kupewa risiti ili tusubiri hadi UNK tena lini watatulipa nilichokuwa UNK ni kuona washiriki UNK mbegu
UNK fedha zetu ziko salama
binafsi naanza kukata tamaa na utendaji kazi wa deci na sioni kama kweli tunaweza kurejeshewa fedha zetu alisema
wakati huo huo stella aron anaripoti kuwa baadhi ya washiriki wa deci katika kituo cha gongo la mboto ambao jana walifika katika ofisi hizo kwa nia ya kuvuna mbegu zao kama ambavyo uongozi UNK awali wamedai uongozi wa deci unatafuta mbinu ya kukimbia na mbegu zao
washiriki hao ambao licha ya kuwepo kwa mvua waliamua kulowa kutokana na kuibuka kwa makundi mawili tofauti huku wengine wakidai kuwa uongozi UNK na wengine kuitupia lawama serikali
sasa imani ya kurudishiwa mbegu yangu imekwisha hapa inadhihirisha kuwa viongozi wana njama fulani na sisi kwanini UNK UNK mbegu zetu alafu washindwe kufanya hivyo alidai mshiriki mmoja ambaye alikuwa katika kundi mojawapo wakijadiliana namna ya kurudishiwa mbegu zao
pamoja na kuwepo kwa hali ya mvua washiriki hao jana walionekana kukata tamaa kabisa kutokana na kuwepo kwa tangazo UNK kuwa ndugu washiriki uongozi wa deci pamoja na tume inayosimamia urejeshaji wa mbegu unapenda kuwajulisha kwamba zoezi la ulipaji UNK mpaka hapo UNK tena samahani kwa usumbufu uliojitokeza kutoka dodoma pendo mtibuche anaripoti kuwa washiriki wa mchezo wa upatu wa deci tawi la dodoma jana walivamia ofisi za tawi hilo wakitaka uongozi wa kampuni hiyo UNK mbegu zao walizopanda kutokana na kukosa imani na kampuni hiyo
wanachama hao walivamia ofisi hizo majira ya saa mbili thebathini asubuhi huku ofisi hizo zikiwa zimefungwa kwa makufuri makubwa
majira jumapili ilifika eneo la ofisi hiyo na kushuhudia umati wa washiriki hao wakiwa nje ya ofisi hiyo huku kukiwa na ulinzi mkali wa polisi wa kuzuia wananchi hao wasifanye vurugu
wanachama hao walitinga katika ofisi hizo wakidai kuwa mkurugenzi mtendaji wa deci mchungaji ole UNK alikuwepo kwa lengo la kuwahamasisha wanachama wake kuwa na moyo wa subira na kuwataka wawakilishe risiti zao halisi ili uhakiki wa kurudishiwa fedha zao uweze kutekelezwa
kitendo hicho cha mkurugenzi hiyo kuwaambia wanchama hao watoe vivuli vya risiti zao na zile halisi wazipeleke ofisini kiliwakera washiriki hao na kusababisha kuwepo kwa vurugu kubwa wakidai viongozi hao wamekuwa wababaishaji na hivyo kwa sasa hawana imani nao tena na wanacho UNK hivi sasa ni mbegu zao
hata hivyo wanachama hao walihoji ni lini fedha zao zitakuwa tayari na watarudishiwa kwani imekuwa muda mrefu sasa wakisubiri huku wakipewa majibu yasiyo UNK hali ambayo walisema kuwa imekuwa ni ya ubabaishaji sasa
hata hivyo polisi walifanikiwa kutuliza vurugu katika ofisi hizo na washiriki hao ilipofika majira ya saa nne thebathini waliondoka katika ofisi hizo huku wakiwa hawajaridhika na maelezo ambayo yalitolewa na viongozi wa kampuni hiyo
ni kuhusu uteuzi wa ma dc wakurugenzi
wengine UNK na daktari slaa kuhusu mishahara baadhi ya wabunge wamehoji uteuzi wa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali unaofanywa na uongozi wa juu kwa maelezo kwamba baadhi yao wanapewa nyadhifa hizo bila kuwa na uzoefu na hivyo kuwa kufanya kazi kama wanafunzi badala ya kuwa viongozi
pia wameitaka serikali kuhakikisha kwamba maboresho ya utumishi wa umma UNK wafanyakzi wa kima cha chini badala ya kuwainua vigogo huku watumishi wa chini wakiendelea kulipwa mishahara isiyoweza kukidhi hata mahitaji ya muhimu ya kila siku ya mtanzania
wabunge hao walikuwa wakichangia mada katika semina UNK na ofisi ya rais menejiment ya utumishi wa umma kwa lengo la kueleza programu ya pili ya mabadiliko ya UNK wa umma ulioanza kutekelezwa januari mwaka huu hadi ishirini moja moja mtu anatoka shule anapewa ukuu wa wilaya anajua nini
badala yake yeye ndiye anaongozwa badala ya kuwa kuongoza watu ninyi utumishi UNK hili vizuri
kuna UNK mwingi sana serikali maamuzi ya wanachi yanachukua muda mrefu bila kutolewa maamuzi sasa mtuambie alisema bwana raynald mrope mbunge wa masasi ccm naye mbunge wa iramba mashariki bwana mgana msindai ccm alisema ma dc na wakurugenzi walikuwa wanapitia kwanza pale magogoni kujifunza utumishi wa utawala sasa ninyi utumishi mtuambie siku hizi wanajifunza wapi alihoji mbunge huyo
akizungumzia maboresho ya hali ya maisha mbunge wa mbozi mashariki bwana godfrey zambi ccm alisema maboresho yanayoendelea serikali UNK UNK mtumishi wa kima cha UNK na badala yake UNK zaidi wale wa juu hivyo haiwezi kuwa na manufaa
kama hayo maboresho yanayoendelea serikalini hayawezi kumsaidia mtumishi wa kima cha chini hayatakuwa na manufaa naona maboresho UNK sana huku juu badala ya wafanyakazi wa chini UNK UNK huku juu ili na wa chini nao wapate alisema bwana zambi
alisema licha ya maboresho hayo bado kuna tatizo kubwa la rushwa kwa baadhi ya watumishi hususan katika mikataba na huduma za chini na kuongeza kwamba suala la upandishwaji vyeo pia bado ni tatizo kubwa inayotakiwa kumulikwa zaidi katika programu hiyo ya pili
naye mbunge wa peramiho bibi jenista mhagama ccm aliitaka serikali kueleza mafanikio yaliyopatikana katika awamu ya kwanza ikiwa ni pamoja na kuweka wazi iwapo wananchi wamekubali kwamba wanapata huduma bora kwa kuwa ndio walengwa na huduma za serikali zinazotolewa na watumishi wa umma
kwa upande wake mbunge wa kongwa bwana job ndugai ccm aliitaka serikali kuwa na utaratibu wa kumulika viongozi wote baada ya kila awamu mpya inapoingia madarakani badala ya kazi hiyo kuishia katika ngazi za wilaya kwa maelezo kwamba baadhi ya watendaji wanakuwa wazito kwenda na kasi ya serikali mpya hivyo kukwamisha maendeleo
kila baada ya uchaguzi mkuu serikali mpya UNK tunaona uteuzi wa mawaziri wakuu wa mikoa UNK wakurugenzi lakini makatibu tarafa watendaji wa kata wanabaki wale wale
nashauri serikali mpya inapoingia mchujo ufike mpaka chini kabisa kumaliza uozo wote kuna tatizo kule kumejaa uozo unaweza kupata kiongozi mzuri lakini kule chini kuna wazito UNK tuondoe uozo wote alisisitiza bwana ndugai
naye mbunge wa karatu daktari wilbrod slaa chadema aliitaka serikali kueleza kama kanuni ya utumishi wa umma unaruhusu kuwepo kwa nyaraka zenye sura ya UNK za ufisadi au zinazopotosha ukweli katika majalada ya serikali na kuhoji kama anayetoa nyaraka hizo ndiye anafanya kosa au kuhifadhiwa katika majalada za serikali ndio kosa
baadhi ya wabunge pia walilalamikia sheria ngumu ya utumishi namba nane ya mwaka ishirini sifuri mbili kuwa inawalinda UNK na wanaofanya makosa hivyo kustahili kuondolewa katika utumishi lakini sheria hiyo inawapa haki ya kuendelea kuwepo bila kujali athari zake kwa taifa
akijibu hoja za wabunge katibu mkuu wa wizara ya menejiment ya utumishi wa umma bwana george UNK alisema wizara hiyo inaheshimu mamlaka UNK wakuu wa wilaya na wakurugenzi na kuongeza kwamba inachofanya ni kutoa mafunzo ili kusaidia utendaji wao na kwamba serikali inatarajia kuanzisha chuo kwa ajili ya watumishi hao
kuhusu swali la daktari slaa la nani anayestahili haki kati ya utunzaji wa nyaraka za kugushi za ufisadi na UNK nyaraka hizo bwana UNK alisema jibu iliyotolewa na waziri wa wizara hiyo wiki iliyopita bungeni inatosha
katika majibu yake waziri hawa ghasia alisema ni kosa kwa mtu yeyote kuwa na nyaraka za serikali za serikali na kwamba kufanya hivyo ni kosa la jinai na kuanzai sasa mbunge atakayefanya hivyo atachukuliwa hatua za kisheria mra moja
na grace michael kampuni ya dowans imewasilisha pingamizi mahakama kuu ya tanzania kitengo cha biashara ikipinga maombi ya tanesco ya kuzuia kuuzwa kwa mitambo yake
pingamizi hilo liliwasilishwa hivi karibuni ambapo lilipangwa kusikilizwa mbele ya jaji robert makaramba wa mahakama hiyo mwishoni mwa wiki
hata hivyo usikilizwaji wa pingamizi hilo ulikwama baada ya jaji huyo kuzitaka pande zote mbili kuwasilisha hoja zake kwa maandishi
kutokana na hali hiyo upande wa dowans ambao unawakilishwa na wakili bwana abduel kitururu ulitakiwa kuwasilisha hoja zake aprili ishirini na nane mwaka huu ambapo wakili wa tanesco daktari alex nguruma atatakiwa kuwasilisha hoja zake mei tano mwaka huu na endapo upande wa dowans utakuwa na nyongeza yoyote utawasilisha mei nane mwaka huu ambapo mahakama itatoa uamuzi wa pingamizi hilo mei kumi na tatu mwaka huu
katika pingamizi hilo dowans inaomba mahakama kutupilia mbali maombi ya tanesco kwa kuwa imetumia kifungu kisichokubalika katika kuwasilisha maombi yake
kwa upande wa tanesco inaiomba mahakama kuzuia kampuni ya dowans kuuza mitambo yake kwa namna yoyote hadi shauri lililowasilishwa na kampuni hiyo kwenye mahakama ya usuluhishi ya kimataifa iliyoko ufaransa litakapotolewa uamuzi
pia tanesco inaiomba mahakama kuamuru dowans kuweka mahakamani asilimia kumi ya dola za marekani kumi tisa mia nane na hamsini na saba mia sita na themanini na sita kama dhamana ya gharama zitakazotumika katika kesi iliyopo ufaransa
inadaiwa juni ishirini na tatu ishirini sifuri sita tanesco iliingia makubaliano ya uzalishaji wa umeme wa dharura na kampuni ya richmond ambayo ilielekeza majukumu yake kwa kampuni ya dowans holding s a na baadaye dowans holding nayo ilielekeza majukumu yake kwa kampuni yake dada ya dowans tanzania ltd
baada ya mapitio ya makubaliano hayo na upungufu uliojitokeza juni thebathini mwaka jana tanesco iliiandikia dowans ikieleza kuwa uhamishaji wa majukumu ya kiutendaji katika kampuni hizo haukuwa halali
novemba mbili mwaka jana dowans ilifungua kesi ikidai dola za marekani kumi tisa mia nane na hamsini na saba mia sita na themanini na sita kama gharama za huduma za umeme ambazo zilikuwa hazijalipwa
na zamzam abdul wakazi wa kijiji cha namawala kata ya idete tarafa la ifakara wilaya ya kilombero mkoani morogoro wamemlalamikia mkuu wa wilaya hiyo bwana evarist ndikilo na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo bwana mark UNK kwa kuwanyangganya ardhi yao kwa ajili ya kumpa mwekezaji
wakizungumza kwenye ofisi za gazeti hili dar es salaam jana wakazi hao walisema ardhi yao ambayo ni ya kijiji chenye hekta tatu themanini sifuri inadaiwa kutaka kupewa mwekezaji na viongozi hao jambo ambalo wanalipinga
bwana kenani haule akizungumza kwa niaba ya wenzake alisema hawapo tayari kumuachia mwekezaji huyo kwani wana uwezo wa kumiliki na kuwekeza wenyewe katika eneo hilo
tunashangaa kwa kitendo hicho ambacho ni cha unyanyasaji
sasa leo hii wanataka kutuondoa katika ardhi yetu ambapo ndio makazi tunayoishi tuna mashamba pamoja na shule wanategemea tutaenda wapi alisema bwana haule
walisema kuwa cha kusikitisha zaidi viongozi hao walidai rais jakaya kikwete alitoa agizo la kuchukuliwa kwa ardhi hiyo ili apewe mwekezaji jambo ambalo si la kweli
kwa sasa tunakwenda kumuona rais kwani UNK malalamiko katika ofisi yake na UNK tukamuone mkuu wa mkoa ili UNK kwa umakini tatizo hilo
lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea zaidi tunaambiwa tuvute subira wakati mkuu wa mkoa anafanya uchunguzi ili kupata ufumbuzi wa tatizo letu alisema bwana haule
aliongeza kuwa wamemuomba rais kikwete kuliangalia suala hilo kwa makini kwani kuna hatari ya damu kumwagika na lengo lao si machafuko kama hayo yatokee kama yale ya tarime
na mwandishi wetu singida mbunge wa singida mjini bwana mohammed dewji amesikitishwa kutokana na shule na vijiji jimboni kwake kushindwa kulitumia trekta UNK shilingi milioni ishirini na tano dewji aliyasema hayo juzi mjini hapa wakati akizungumzia utekelezaji wa ahadi zake katika mkutano mkuu maalum wa ccm wilaya ya singida mjini uliofanyika ukumbi wa askofu mabula
alisema amejitahidi kuigusa kila sekta kuanzia elimu afya kilimo michezo na hata burudani ambapo katika kilimo juhudi zake zilianza kwa kukabiliana na uhaba wa chakula baada ya kutoa msaada wa tani kumi sifuri zenye thamani ya shilingi milioni arobaini kuanzia pale nilijifunza mengi nikapata wazo la kutafuta ufumbuzi wa kudumu
ni kutoa trekta UNK mashamba ya shule na vijiji ili mazao yatakayopatikana UNK katika maghala lakini trekta lile halijatumika hadi sasa alisema dewji
mbunge huyo alisema mara baada ya kikao hicho UNK tena na madiwani ili wapate ufumbuzi juu ya matumizi ya trekta hilo ndani ya jimbo lao
alisema UNK shilingi bilioni moja tano katika kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka ishirini sifuri tano na kuongeza kuwa anapata faraja kubwa kuchangia maendeleo ya jimbo lake
kwa upande wa elimu mbunge huyo UNK watoto moja sifuri sifuri sifuri alisema anajivunia kujenga vyumba vya madarasa nyumba za walimu na maabara katika kila kata ikiwemo kuweka samani kwa gharama ya shilingi milioni mia tano na ishirini na moja kiasi kama hicho kinatarajiwa pia kutumika katika kuondoa tatizo la maji huku tayari shilingi milioni mia mbili na hamsini na tano zikiwa zimeshatumika kwa ajili ya kuchimba visima katika kata mbalimbali za jimbo lake
alisema baada ya kufanikiwa kuongeza mara saba idadi ya shule za sekondari kutoka mbili hadi kumi na tano sasa ni zamu ya wana singida kujipanga kuhakikisha zinajengwa shule za kidato cha tano na cha sita
na mwandishi wetu mtwara kampuni ya a to z textile mills limited ya arusha imeanza kusambaza vyandarua mia nne na sabini sifuri sifuri sifuri aina ya olyset vyenye dawa inayodumu kwa miaka mitano kwa mikoa ya lindi na mtwara
mradi huo ambao ni wa serikali una lengo la kuwapatia watoto walio chini ya umri wa miaka mitano ambapo utatekelezwa katika kipindi cha kuanzia mwezi huu hadi katikati ya mwezi ujao
akizungumza katika maadhimisho ya siku ya malaria mjini hapa juzi meneja wa mradi wa kupambana na malaria nchini daktari alex mwita alisema a to z imepewa jukumu la kutengeneza na kusambaza vyandarua hivyo kwa UNK na shirika lisilo la kiserikali la UNK tayari mpango huu UNK katika mkoa wa tanga na wilaya ya mpanda mkoani rukwa alisema na kuongeza kuwa awamu nyingine ya mpango huo itaanza julai katika kanda ya ziwa ukijumuisha mikoa ya mwanza mara na kagera
tunatarajia kusambaza vyandarua milioni saba mbili kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano katika kipindi cha mwaka mmoja kuanzia sasa alisema
naye meneja wa masoko wa a to z bwana sylvester kazi alisema kampuni yake kwa kushirikiana na wadau wengine imeshaanza kuainisha maeneo husika ambayo vyandarua hivyo UNK na wanatarajia kukamilisha lengo ndani ya muda uliopangwa
a to z ambayo ina ubia na kampuni ya kimataifa ya sumitomo UNK ya japan inaendesha kiwanda cha kisasa mkoani arusha ambacho kinazalisha chandarua ya olyset ambayo inatumia teknolojia ya kijapani inayohifadhi dawa kwa muda wa miaka mitano
wakati huo huo a to z imetoa msaada wa vyandarua kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi na viungo wa mkoani mtwara kama sehemu za kuadhimisha siku ya malaria duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini hapa
na grace michael rais jakaya kikwete jana aliongoza mamia ya watanzania kuadhimisha miaka arobaini na tano ya muungano wa tanganyika na zanzibar ambapo rais wa zanzibar amani abeid karume alikwama kuungana katika maadhimisho hayo kutokana na ndege kukwama kutua katika uwanja vya zanzibar
hatua ya kukwama kufika kwa rais huyo katika maadhimisho hayo ilijulikana uwanjani hapo baada ya mtangazaji kutoa tangazo UNK wananchi kuvuta subira kutokana na ndege iliyotoka bara kukwama kutua uwanjani huko ambako ilikwenda UNK
jamani rais wa zanzibar UNK kidogo kufika katika viwanja hivi na hii inatokana na hali ya hewa ambayo imesababisha ndege iliyokwenda kumchukua kukwama kutua hivyo tusubiri kidogo alitangaza mtangazaji wa sherehe hizo
hata hivyo jitihada za kumsubiri rais huyo zilikwama na UNK chochote kuhusiana naye bali rais kikwete aliingia uwanja wa uhuru saa nne ishirini na tano ambapo alitakiwa kuingia saa tatu sifuri sifuri asubuhi
katika kuadhimisha sherehe hizo mizinga ishirini na moja ilipigwa na rais kikwete alikagua gwaride na baada ya hapo lilipita mbele yake kwa heshima ikiwa ni mwendo wa pole na haraka ikifuatiwa na kuruka kwa ndege za kivita ambapo UNK mbili kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya
mbali na gwaride hilo pia kulikuwa na maandamano ya vijana waliozaliwa aprili ishirini na sita elfu moja na mia tisa na sitini na nne ambao kwa umoja wao walifika mbele ya rais kikwete na kurusha njiwa waliokuwa nao kila mmoja
maandamano hayo pia UNK na waendesha pikipiki mia moja na hamsini kutoka tanzania bara na visiwani ambao nao UNK na wapanda baiskeli kumi sifuri pia maonesho mengine yalikuwa ni ya kikosi ya cha polisi ambacho kinatumia mbwa katika kupambana na uhalifu mbalimbali ikiwemo dawa za kulevya kukamata majambazi na kutegua mabomu
mbali na hayo pia waasisi wa muungano ambao walishiriki katika kuchanganya mchanga wa bara na visiwani nao walipita mbele ya mgeni rasmi wakiwa wameshika vibuyu na chungu ambavyo vilitumika katika zoezi la muungano wa nchi mbili
waasisi hao ni bibi sifael mushi ambaye kwa kipindi hicho alikuwa na umri wa miaka ishirini na tisa bwana hassan omar mzee aliyekuwa na miaka kumi na sita pamoja na bibi hadija abbas rashid ambaye naye alikuwa na umri wa miaka kumi na sita kutokana na hali ya mvua kuongezeka baadhi ya vikundi vya ngoma UNK nafasi ya kutumbuiza na badala yake nafasi hiyo ilipatiwa kwa vikundi viwili tu kimoja kutoa zanzibar na kingine bara
maadhimisho hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo mama maria nyerere makamu wa rais daktari mohamed ali shein waziri kiongozi wa zanzibar shamsi vuai nahodha waziri mkuu bwana mizengo pinda na wengine
na suleiman abeid shinyanga askari mmoja wa kike wa jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani wilayani bukombe mkoani shinyanga bibi mwajuma rajab anadaiwa kukatisha masomo ya kijana mmoja wa kiume bwana kulwa william au kwa jina lingine wilfred matonange
kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kijana huyo anadaiwa kushindwa kufanya mitihani yake ya kumaliza kidato cha nne mwaka jana baada ya kuleweshwa penzi la trafiki huyo licha ya kushauriwa na wenzake kutoacha masomo
kijana huyo alifikia uamuzi wa kukatisha masomo januari baada ya kuvunja ghafla safari ya kwenda shuleni nchini uganda akiwa kituo cha mabasi mjini ushirombo kitendo ambacho kiliwashangaza wenzake
bibi mwajuma alikiri kuwa na uhusiano ya kimapenzi na mwanafunzi huyo lakini alikanusha madai ya kumkatisha masomo yake kwani mwenyewe ndiye aliyeanza kumtaka kimapenzi mwishoni mwa mwaka ishirini sifuri sita alisema wakati huo UNK ombi hilo na hakufahamu kama ni mwanafunzi kwani alimuona kama kijana wa kawaida wa mitaani
mwanzoni mwa mwaka ishirini sifuri saba ndipo UNK ombi lake na kuanza naye uhusiano wa kimapenzi
ni kweli mimi na kulwa tuna uhusiano na hivi sasa ni UNK
lakini si kweli kwamba UNK masomo huyu ni kijana mkubwa tu na alikuwa hasomi sekondari kama inavyodaiwa mimi nafahamu anasomea kompyuta uganda alisema bibi UNK
alisema januari mwaka jana baada ya likizo yake ya miezi mitatu bwana kulwa UNK mizigo yake na UNK kuwa anakwenda chuoni kuendelea na masomo
hata hivyo alisema alishangaa kumuona bwana kulwa akirejea ghafla nyumbani akiwa na mizigo yake na alipomuuliza sababu alieleza kuwa ameamua kutokwenda chuoni baada ya baba yake anayeishi wilayani kahama kumpigia simu kuwa alikuwa na matatizo katika biashara zake
alisema bwana kulwa kama alivyodai mwenyewe aliombwa na baba yake arejee nyumbani ili amsaidie kazi zake za biashara na kama ni masomo UNK kuendelea nayo baadae
bibi mwajuma alisisitiza kuwa hiyo ndiyo sababu ya bwana kulwa kuacha kuendelea na masomo na siyo sababu ya kuleweshwa penzi alilokuwa UNK
naye bwana kulwa alikana kukatisha masomo sababu ya mwanamke na si mwanafunzi wa sekondari kwani alihitimu kidato cha nne mwaka ishirini sifuri tano katika shule ya UNK wilayani sengerema mkoani mwanza
UNK chuo UNK akisomea kompyuta nchini uganda kuwa ni kampala international UNK na hivi sasa anafanya mipango ya kuendelea na masomo yake nchini iwapo atapata chuo cha mafunzo hayo jijini mwanza
na edmund mihale washiriki wa mchezo wa upatu wa development enterpreneurship for community intiative wamewataka viongozi wa kampuni hiyo kutoa kauli itakayowapa matumaini ya kurudishiwa mbegu zao
wakizungumza na majira kwa nyakati tofauti jana makao makuu ya deci yaliyopo mabibo dar es salaam walisema UNK uongozi wa kampuni hiyo kwa kushindwa kuweka wazi mambo yanayowahusu washiriki katika kampuni hiyo
uongozi UNK kila siku tuko hapa lakini UNK kukutana na wasaidizi tu na ndiyo wanatupa habari za kusitishwa kwa shughuli zote za deci na wala si uongozi alisema mmmoja wa washiriki hao
walisema UNK tamaa na ukimya wa viongozi wa kampuni hiyo kwani kila siku wamekuwa wakishinda katika ofisi hizo hali ambayo UNK kurudi nyuma kimaendeleo
walisema kutokana na ukimya huo ambao ni kati ya serikali na viongozi wa kampuni hao wameshindwa kujua ni lini na nani UNK mbegu hizo
washiriki hao walisema tangu kusimamishwa kwa shughuli za kampuni hiyo viongozi hao UNK nao kama ilivyokuwa awali
majira ilishuhudia kundi dogo UNK katika ofisi hizo ili kujiorodhesha na kisha kurudishiwa mbegu hizo huku wakiwa katika hali kukata tamaa wengine wakiwa katika majadiliano ya hapa na pale
akizungumza kwa njia ya simu jana mkurugenzi mtendaji kampuni hiyo bwana timoth ole loitinnggye alisema uongozi huo hauko tayari kusema lolote kwa kuwa mambo yote yanayohusu kurejeshwa au UNK kwa mbegu hizo yapo UNK mwa tume iliyoundwa na serikali
ndugu kwa sasa sisi tuna kazi ya kuhakiki washiriki wetu na tupo makini kuhakikisha wale tu wanaostahili wanapata mbegu zao
kwa hiyo siko tayari kuzungumza ni lini watanggoa mbegu alisema bwana ole loitinnggye
na shukrani kawogo jeshi la polisi kanda maalumu ya dar es salaam linawashikilia watu wanne wanaotuhumiwa kuwa majambazi sugu nane kwa kutuhuma za kuiba kompyuta sita na gari namba stk hamsini mbili mali ya ofisi ya mkurugenzi wa mashitaka ya jinai
gari hiyo ndiyo iliyokuwa imebeba kompyuta hizo siku ya tukio ambazo zilikuwa zinatakiwa kusambazwa katika ofisi za dpp zilizoko mikoani