text
stringlengths
0
1.31k
taarifa hiyo ilisema kuwa ongezeko la joto la maji juu ya wastani katikati ya bahari ya UNK inaashiria kuwepo kwa mvua za el nino UNK hadi mwishoni mwa april ishirini moja sifuri imeelezwa kuwa ongezeko la joto magharibi mwa bahari ya hindi linatarajiwa kuhamia katikati ya bahari hiyo hali ambayo itasababisha pepo kutoka kaskazini mashariki kuvuma kuelekea bahari ya hindi
aidha ilisema kuwa mwelekeo wa kupungua kwa joto kusini mashariki mwa bahari ya atlantic UNK kusababisha pepo kutoka magharibi kuvuma kuelekea magharibi mwa tanzania katika maeneo ya ziwa victoria
mwelekeo wa mvua wa septemba hadi desemba ishirini sifuri tisa unatarajiwa kuwa katika namna tofauti ambapo baadhi ya maeneo yanaweza kunufaika huku mengine UNK
ilifafanua kuwa msimu wa vuli UNK maeneo ambayo hupata mvua mara mbili ambayo ni kaskazini mwa nchi ikiwa ni nyanda za juu kaskazini mashariki kanda ya ziwa victoria na pwani ya kaskazini
katika maeneo hayo mvua zinatarajiwa kunyesha wiki ya pili na tatu ya septemba mwaka huu
mvua za msimu ambazo UNK mara moja kwa mwaka zinatarajiwa katika mikoa ya magharibi ambayo ni tabora rukwa kigoma kusini mwa mkoa wa shinyanga ambapo zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza ya novemba mwaka huu ambapo wastani wake unatarajiwa kuwa juu
katika mikoa ya kati mvua zinatarajiwa kunyesha singida na dodoma kuanzia wiki ya tatu na nne ya novemba mwaka huu na kupimwa juu ya wastani
mikoa ya nyanda za juu magharibi mvua UNK kuanza wiki ya tatu hadi ya nne ya novemba mwaka huu ambapo zinatarajiwa kuwa zaidi ya wastani wa kawaida
katika mikoa ya kusini na pwani ya kusini ambayo ni ruvuma mtwara pamoja na lindi mvua zinatarajiwa kuanza katika wiki ya tatu na nne ya novemba ambapo zinatarajiwa kuwa chini ya wastani
taarifa hiyo ilieleza kuwa baadhi ya maeneo yanaweza kuathirika kutokana na uwepo wa mvua hizo huku mengine UNK kwa kuwa na mvua za wastani
mamlaka ya hali ya hewa nchini UNK wakulima kuchagua zao UNK kupanda pamoja na kupata ushauri kutoka kwa maofisa ugavi wa kilimo ili kuongeza mavuno
rais jakaya kikwete amewataka majaji na mahakimu kuhakikisha tabaka la masikini linapata haki zao kupitia mahakama
rais kikwete aliyasema hayo jana wakati alipokuwa akifungua mkutano wa siku mbili wa chama cha kimataifa cha majaji wanawake wa afrika unaofanyika katika kituo cha mikutano ya kimataifa cha arusha
ni lazima muelewe kuwa kazi yenu ni kutafsiri sheria na ndio maana hata katiba ya tanzania UNK hivyo UNK uwezo huo kwa kutoa upendeleo kwa upande mmoja ama kwa tabaka fulani lenye uwezo kuliko lingine kwa kufanya hivyo mtakuwa UNK haki alisema rais kikwete
alisema kuwa haki ni msingi kwa maisha ya binadamu yeyote ndio sababu ya kuwepo kwa mahakama ili iweze kutenda haki kwa watu wote hivyo ni changamoto kwa majaji kuhakikisha kuwa jamii inayowazunguka UNK na inathamini mchango wao katika kutenda haki
alisema kuwa majaji wamepewa jukumu la kutafsiri sheria hivyo wanatakiwa kufanya hivyo bila ya kutumia visivyo uwezo na nguvu walizopewa kisheria kwa maslahi ya mtu fulani ama kikundi fulani
aliwataka majaji kuhakikisha uendeshwaji wa kesi unafanywa kwa haraka ili kuwezesha kesi UNK muda mrefu ambapo pia itasaidia kupungua kwa kesi kwenye mahakama
akizungumzia chama cha majaji wanawake tanzania rais kikwete alisema kuwa chama hicho kimekuwa na mchango mkubwa dhidi ya serikali kwa kusaidia katika masuala ya uanzishwaji sera za taifa ambapo alitaja baadhi kuwa ni mkakati wa taifa wa kupambana na umasikini
hata hivyo alisema nchi za afrika tanzania ikiwa mojawapo zipo tayari kupata maoni kutoka kwa majaji kuhusiana na masuala ya sheria ili ziweze kutoa haki kwa watu wote kwa maslahi ya taifa husika
mkutano huo ambao washiriki ni majaji wanawake kutoka nchi tisa za afrika utajadili baadhi ya mada ikiwemo haki za wanawake na mtoto haki za binadamu na uendeshwaji wa kesi na tumaini makene rais jakaya kikwete UNK salamu za rambirambi rais barack obama wa marekani kufuatia kifo cha seneta mashuhuri na mpigania hali bora za maisha ya watu bwana edward UNK
katika salamu hizo rais kikwete UNK marehemu kennedy kuwa ni kiongozi UNK daima kwa mchango wake UNK katika kupigania masuala ya haki za kiraia kwa watu wote amani huduma za afya na maendeleo ya kiuchumi kwa wamarekani bila kujali tofauti za rangi
taarifa iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa imesema rais kikwete binafsi na kwa niaba ya watanzania amepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha seneta kennedy na kuiombea faraja familia yake katika wakati huu mgumu
watanzania tuko pamoja na wamarekani wote na hasa familia ndugu na jamaa wa hayati kennedy katika wakati huu mgumu wa kuondokewa na kiongozi muhimu
UNK kwa mungu UNK nguvu na uvumilivu ilisema taarifa hiyo
seneta edward kennedy aliyefariki juzi kwa saratani ya ubongo UNK kwa muda mrefu anatarajiwa kuzikwa kesho pembeni mwa makaburi ya kaka zake wawili katika eneo la UNK national nje kidogo ya jiji la washington
familia kennedy ikiwajumuisha rais wa thebathini na tano wa marekani marehemu john kennedy robert kennedy edward kennedy na dada yao UNK UNK ilikuwa moja ya familia mashuhuri yenye ushawishi katika duru za siasa za marekani
katika kile kinachoonekana kuwa ni kujivua lawama mahakama kuu ya tanzania imesema haihusiki kwa namna yoyote na ucheleweshaji wa kesi ya samaki wa magufuli ambao wamekuwa UNK serikali gharama kubwa ya kuwatunza
mahakama kuu imesema kuwa serikali haijawahi kutuma maombi tena kuomba ruhusa ya kuwauza samaki hao baada ya ombi la kwanza kusitishwa kwa mujibu wa sheria na ombi la pili kuondolewa mahakama kuu na upande wa mashitaka
kwa mujibu wa taarifa ya mahakama hiyo iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari amri ya kuwauza samaki hao kwa njia ya zabuni na mnada wa hadhara ilitolewa na mahakama ya hakimu mkazi kisutu aprili sita mwaka huu kabla shauri hilo UNK kusikilizwa katika mahakama hiyo na kuhamishiwa mahakama kuu
pamoja na amri hiyo ya kuwauza samaki hao baadae ilitolewa hoja ya kisheria iliyokubalika na pande zote kuwa mahakama ya hakimu mkazi kisutu haikuwa na mamlaka kisheria UNK shauri hilo kwa hiyo lilikuwa limefunguliwa kwenye mahakama hiyo kimakosa ilisema sehemu ya taarifa hiyo
aprili thebathini ilitolewa amri kusitisha mwenendo wa shauri hilo na kuelekeza kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa jinai shauri hilo UNK kwanza na mahakama hiyo baadae washtakiwa wapelekwe mahakama kuu kwa ajili ya shauri lao kusikilizwa
taarifa hiyo iliyosainiwa na msajili wa mahakama kuu bwana john utamwa ilisema mei ishirini na moja mwaka huu jamhuri ilituma maombi mahakama kuu ikiomba samaki hao wauzwe kwa kuwa wangeweza kuharibika lakini baadaye upande huo uliomba kuondoa maombi hayo huku mahakama ikitoa uhuru kwa ombi hilo kupelekwa tena kama UNK
mahakama haina jukumu la kukamata na kupeleka watuhumiwa
hivyo makosa ya kupeleka shitaka katika mahakama isiyo na mamlaka haiwezi kutafsiriwa kama ucheleweshaji wa wa shauri iliongeza kuwa hakukuwa na amri UNK uamuzi wa kwanza wa kuruhusu uuzwaji wa samaki hao kabla ya kusitishwa kwa mwenendo wa shauri la awali na wala serikali haijawahi kuomba kufanya hivyo baada ya kuondoa maombi yake ya pili
taarifa hiyo ya mahakama kuu imekuja baada ya hivi bwana magufuli kuitupia mpira mahakama kuwa inachelewesha kusikilizwa kwa shauri linalohusu raia thebathini na saba wa kigeni ambao wanatuhumiwa kuvua samaki kinyume cha sheria katika bahari ya hindi eneo la tanzania
samaki waliokamatwa kama kidhibiti UNK tani mia mbili na tisini na mbili wanadaiwa kuigharimu serikali kiasi cha shilingi milioni thebathini saba kwa mwezi kuwahifadhi katika kampuni ya bahari food mwenge dar es salaam
sakata la mradi wa upimaji na uthamini wa viwanja linalofanyika katika eneo la kigamboni temeke dar es salaam UNK familia ya baba wa taifa mwalimu julius nyerere nakujikuta ikitakiwa kuachia eneo lao
familia hiyo ya baba wa taifa ilihamia kijiji cha gezaulole kilichopo kigamboni tangu mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na tatu baada ya kuhamasishwa na mke wa mwalimu mama maria nyerere
akizungumza na majira nyumbani kwake gezaulole kigamboni jana mzee warioba chacha alisema yeye na wenzake hao wa jamii ya wasimbiti kutoka mkoa wa mara UNK na mama maria kuwa kulikuwa na pori lenye rutuba nje kidogo ya jiji la dar es salaam hivyo wahamie na kuanzisha makazi
alisema walipofika eneo hilo kulikuwa na msitu UNK wenye wanyama wakali wakiwemo simba chui na fisi ambao walikuwa tishio kwa wenyeji na kuwafanya kuamua kuishi mbali na gezaulole
UNK hapa agosti elfu moja na mia tisa na sitini na tatu baada ya mama maria kutuambia tuje tuanzishe makazi hapa tulikuwa watu kumi na tatu na kwa sababu kulikuwa na wanyama wakali wenyeji wachache waliokuwa wakiishi hapa walikuwa wakilala kwenye nyumba ambazo walijenga juu ya miti kujilinda na wanyama wakali wakati wa usiku
mzee chacha alisema kutokana na msitu huo kuwa na miti mingi na mikubwa walishindwa kufyeka kwa kutumia mapanga na shoka ndipo mwalimu nyerere aliwapelekea matrekta matatu kusaidia shughuli hiyo
kwa kweli UNK jinsi UNK kusafisha eneo hili naona UNK alisema mzee chacha akionesha kupinga hatua ya kutakiwa kuachia maeneo hayo
akielezea UNK jicho lake la kulia baada ya kupigwa na mti alisema ilikuwa kazi ngumu ambayo sasa ilipaswa kutulia na kula matunda ya kazi hiyo na si kunyangganywa viwanja vyao
halafu sasa watu wanakimbilia kuja gezaulole na kutaka UNK nasikitika sana hivi unavyoniona nimevaa miwani mwaka huo nilipoteza jicho moja ambalo UNK baada ya kuchomwa mti mkubwa alisema mzee chacha huku akionesha sehemu ya jicho hilo
alisema baada ya kufyeka pori hilo walianza kulima mazao mbalimbali yakiwemo pamba viazi vitamu na matunda ambayo UNK
alisema mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na nane UNK pamba ambayo UNK kwa kiasi kikubwa na kuwashinda kuvuna na baba wa taifa aliwapa vijana wa jeshi la kujenga taifa kuwasaidia
vijana hao walivuna pamba hiyo jumapili huku wakiongozwa na mwalimu nyerere na baada ya UNK walichambua katika madaraja ya ubora na UNK
alisema walipata fedha nyingi ambapo mwalimu nyerere aliwashauri kubuni miradi ambao ingekuwa endelevu hivyo UNK kuanza ufugaji wa kuku
alisema mradi wa kuku ulikuwa wa mafaniko kutokana na usimamizi wa mwalimu nyerere ambaye alifika mara kwa mara na kulala katika kijiji cha gezaulole hadi UNK gari kwa ajili ya kusafirisha mazao
mzee marwa alisema baada ya kuingia mfumo wa vijiji vya ujamaa mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na moja UNK na watu wengine ambao walisababisha kufilisika kwa mradi huo
alisema mwaka ishirini sifuri saba aliwashauri wenzake kupima ardhi yao kama UNK rais jakaya kikwete katika moja ya mikutano yake hata hivyo anashangazwa na habari za wakazi kulazimika kuondoka eneo hilo ili kupisha mradi wa uendelezaji mji unaofanywa na manispaa ya temeke
mara ya kwanza nilitoa laki nane baadaye laki sita mara ya mwisho nilitoa laki saba lakini UNK hivyo tukakubaliana na UNK wangu kuwa nikishapata hati ya umiliki UNK kiwanja kimoja alisema bwana chacha
alisema familia hiyo imejikuta haina mtetezi wala mahali pa kwenda baada ya mwalimu nyerere kufariki mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa na mama maria kushindwa kuwatembelea mara kwa mara kama zamani kutokana na umri mkubwa sasa
yataka viongozi wa dini wapime madhara yake
yasema jamii UNK wote UNK
yadai hata waumini wao wataanza UNK
UNK uhuru wa maoni UNK vibaya siku moja baada ya askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam muadhama polycarp kardinali pengo kuonya wanasiasa UNK utendaji wa maaskofu serikali UNK juu viongozi hao ikiwataka wapime matokeo ya mwongozo walioutoa hasa unapokuwa na sura ya kikatiba kama chama cha siasa
viongozi dini wapime manufaa wanayopata kutokana na mwongozo huo na athari zake
mwongozo wa mwaka huu umeleta malumbano wapime manufaa yake kwa dhehebu lao na waumini wao
kauli hiyo ilitolewa dar es salaam jana na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu bwana philip marmo alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari waliomtaka atoe maoni yake kuhusu kauli ya kardinali pengo
ingawa alisema alikuwa hajasikia kilichoelezwa na kardinali pengo bwana marmo alisisitiza kuwa viongozi wa dini ni watu waadilifu wapime matokeo ya maamuzi yao waangalie manufaa UNK na athari zake
aliendelea kusema kuwa unaweza kuleta kitu ambacho hakiwezi kuleta faida jamii ikianza kuathirika wote UNK hakutakuwa na cha UNK au UNK
alibainisha kuwa UNK mwongozo wenye sura ya katiba basi wanavyofanya hivyo UNK kama chama cha siasa
tukifanya kama tunavyofanya sasa hata waumini wenyewe wanakuwa na wasiwasi alisema na kuongeza kila kiongozi apime maana ya mwongozo huo
alitahadharisha kuwa uhuru mpana uliotolewa na katiba usiwe chanzo cha kuutumia kwa makusudi ambayo UNK
kuhusu hatua ya waislam kutaka kutoa mwongozo wao bwana marmo alisema kama wataona una manufaa wafanye hivyo lakini wapime matokeo
kama wao ni wazalendo wapime matokeo ya miongozo hiyo ama waumini wao na hatima ya nchi alisema bwana marmo
kauli hiyo ya bwana marmo imetolewa wakati kardinali pengo akiwa ameelezea kukerwa na tabia ya baadhi ya wanasiasa kutaka kugeuza mamlaka ya kanisa kuwa chama cha siasa
akizungumza wakati wa misa ya mazishi ya askofu mkuu wa jimbo kuu la mwanza marehemu anthony mayala aliyefariki jumatano iliyopita na kuzikwa juzi kardinali pengo alisema tabia ya baadhi ya viongozi kuendelea kukumbatia mfumo UNK wa UNK unachangia kupora haki za wananchi na kuua uadilifu wa taifa
lazima tukubaliane UNK mamlaka ya kanisa kuwa chama waacheni maaskofu wafanye kazi zao kutekeleza majukumu ya mungu tuondokane na kelele UNK katika moyo mwema alionya kardinali pengo
aliongeza kuwa kila mmoja ana mchango wake wa kuzuia uovu mchango huo UNK moyoni lakini maneno UNK yanachangia kutuongezea hasira na kujenga chuki
tangu maaskofu wa kanisa katoliki watoe waraka huo yamekuwepo malumbano kutoka kwa viongozi wa siasa na serikali wengine UNK akiwemo mwanasiasa mkongwe kingunge ngombale UNK
timu ya soka ya simba imeendelea kufanya mauaji katika michuano ya ligi kuu tanzania bara baada ya jana kuichapa toto african ya mwanza mabao tatu moja mchezo huo UNK uwanja wa uhuru dar es salaam
kipindi cha kwanza cha mchezo huo toto african ndio walioonekana UNK mchezo dakika sita walipata bao kupitia kwa lawrence mgia baada ya kupiga mpira wa kona uliokwenda moja kwa moja wavuni
dakika ya thebathini na moja mussa hassan mgosi wa simba alikosa bao baada ya kupata pasi nzuri kutoka kwa haruna moshi boban na kushindwa kufunga
simba walisawazisha bao dakika ya arobaini na tano kwa mkwaju wa penalti uliopigwa na mgosi kufuatia beki wa toto african philimon UNK kuunawa mpira ndani ya eneo la penalti
kipindi cha pili simba walionekana kucheza kwa kuelewana tofauti na kipindi cha kwanza ambapo dakika ya arobaini na saba boban aliipatia timu yake bao baada ya kuwatoka mabeki wa toto na kufunga bao la pili
bao hilo UNK nguvu simba waliendelea kulishambulia lango la wapinzani wao huku boban mgosi na okwi wakikosa mabao
dakika ya hamsini na tisa mchezaji wa toto juma abdul alionesha kadi nyekundu baada ya kumpiga na UNK cha mkono uhuru seleman
simba walipata bao la tatu dakika ya sitini na sita baada ya salum kanoni kutoa safi kwa emmanuel okwi ambaye hakufanya makosa na kuukwamisha mpira wavuni
leo manyema rangers itaumana na kagera sugar katika mfululizo wa ligi hiyo kwenye uwanja wa uhuru jijini dar es salaam
simba juma kaseja salum kanoni juma jabu kelvin yondan juma nyosso mohammed banka nico nyagawa amri kiemba ramadhan kijuso mussa hassan mgosi uhuru seleman emmanuel okwi ramadhan chombo redondo haruna moshi boban toto african msafiri abdallah juma abdul philimon UNK UNK mbogo william UNK tete UNK ally mrisho jacobo masawe ally sultan lawrence mgia juma seif amani george athuman UNK semi kessy chesido UNK
wilaya ya kongwa inakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula kwa asilimia sabini na mbili ya mahitaji yake sawa na tani hamsini mia sita na thebathini na sita kutokana na upungufu wa mvua katika msimu wa kilimo kwa mwaka ishirini sifuri nane sifuri tisa akiwasilisha taarifa ya wilaya hiyo kwa mkuu wa mkoa wa dodoma daktari james msekela juzi mkuu wa wilaya hiyo bwana UNK UNK alisema kutokana na upungufu huo mkubwa wilaya UNK utaratibu wa kuhakikisha kwamba inaondokana na hali hiyo katika msimu ujao
licha ya hali hiyo ya chakula cha nafaka UNK wilaya imejiwekea utaratibu wa kuhakikisha UNK na chakula na kuwa na ziada kama ilivyo kuwa huko nyuma baadhi ya mbinu hizo ni kununua na kusambaza tani sitini na tano za mtama kwa wakulima usambazaji wa mbegu bora za kilimo na zana za kukokotwa na wanyama kazi alisema bwana kipuyo
kuhusu zao la korosho ambalo ni jipya la biashara alisema wilaya ya kongwa imejiwekea lengo kwa kila kaya kulima hekari tatu ya zao hilo sawa na miti sitini na sita taasisi za elimu kulima hekari zisizopungua kumi na wawekezaji wakubwa kulima hekari zisizopungua hamsini ili kufikia lengo la kuzalisha zao hilo pamoja na kuwa na chakula cha kutosha kamati ya kilimo imeundwa na itapita kila kijiji kuhakikisha kila kaa inatekeleza lengo hilo pia maofisa ugani wetu wamepewa maelekezo maalum ya kuwa na daftari la kazi ya kila siku ambayo inaweka kumbukumbu na taarifa zote za wakulima UNK alisema bwana kipuyo
kuhusu utawala bora alisema wilaya ya kongwa imefanikiwa kutekeleza dhana hiyo kwa kusoma taarifa ya mapato na matumizi kwa kila kijiji na kwamba kilimo cha umwagiliaji umepewa kipaumbele kwa kutengewa zaidi ya hekari mia tatu na sabini na mbili kwa upande wake daktari msekela alipongeza wilaya hiyo kufikia malengo ya serikali na kuwa wilaya ya kwanza kutekeleza ilani ya uchaguzi wa ccm ya mwaka ishirini sifuri tano na kuagiza mapato na matumizi UNK ukutani katika ofisi za serikali za vijiji ili wananchi waweze kupitia mara kwa mara
jumuiya ya makanisa ya kikristo tanzania imezindua mwongozo UNK mapambano dhidi unyanyapaa ubaguzi na unyanyasaji kwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi
mwongozo huo ulizinduliwa dar es salaam jana na mwenyekiti wa taasisi ya wanawake na UNK mama salma kikwete ambapo walikuwepo wachungaji wa makanisa kutoka sehemu mbalimbali nchini
akizindua mwongozo huo mama salma aliwataka watanzania kuendeleza mapambano hayo ili kutokomeza hali ya unyanyapaa kwa watu UNK na virusi vya ukimwi
aliipongeza jumuiya hiyo kwa kuamua kwa nia moja kutoa elimu kwa wakristo juu ya kuelimisha jamii ili kuendeleza vita dhidi ya unyanyapaa
makanisa kupitia mwongozo huu naamini yatakuwa mstari wa mbele katika kukemea kwa nguvu zote na kuhakikisha wenzetu wanaishi kwa amani alisema
UNK wananchi wasiogope kuendeleza kampeni ya kupima virusi kwa hiari UNK rais kikwete julai kumi na nne mwaka ishirini sifuri saba na kwamba si wote wanaoishi na virusi walivipata kwa zinaa bali wengine walivipata kupitia njia nyingine
watoto wengi wamepata maambukizi kutoka kwa wazazi hiyo ni kutokana na wazazi kutokuwa tayari kupima afya zao ili kuruhusu mama kupata kinga kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na kujikuta UNK watoto wenye virusi vya ukimwi alisema
kwa upande wake mwenyekiti wa kamati ya katiba na sheria za kikristo askofu john nkola alisema lengo la kuandaa UNK huo ni UNK uwezo makanisa wanachama katika kuendesha mambo mbalimbali ya kujikinga na ugonjwa wa ukimwi
akikabidhi mwongozo huo mama salma kikwete alisema baada ya kuzinduliwa UNK kwenye UNK bali utumike katika utekelezaji wa shughuli ambazo UNK ndani yake
askofu mkuu wa kanisa la full gospel bible fellowship church UNK kakobe amesema anamheshimu na kumtambua askofu msaidizi wa jimbo kuu la dar es salaam methodius kilaini mbali na yeye kutomtambua kama UNK
akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu dar es salaam juzi askofu kakobe alisema kuwa alitarajia kauli kama hiyo kutoka kwa askofu kilaini na kwa mkatoliki yoyote yule kwa kuwa dhehebu hilo UNK muumini wa dhehebu jingine kama UNK
askofu kilaini UNK wazi kuwa kanisa lake ni la kibaguzi ndio maana wakaamua kutoa waraka maalumu kwa ajili kuwagawa watanzania kwa matabaka ya dini jambo ambalo liliibua hisia za waislam nao kutoa mwongozo wao alisema askofu kakobe na kuongeza we kama hujui mtu yoyote asiye mkatoliki hujulikana kama muasi wa kanisa hilo UNK hivyo kwa nini UNK mwenzio muasi kama wewe siyo UNK alihoji
askofu kakobe alisema misingi ya katoliki inatambulika duniani kote kuwa uaskofu huteuliwa na papa lakini UNK UNK hawakupewa uaskofu na papa bali waliwekwa na yesu mwenyewe