text
stringlengths
0
1.31k
pamoja na kuwepo kwa utaratibu mzuri ulipangwa lakini tayari malalamiko mbali miongoni mwa washiriki yameanza kutokea kutoka na UNK fedha zao kwa wale ambao tayari UNK nma wengine wameisha UNK kampuni hiyo kwa kukiuka mkataba
mwanachama bibi janet UNK ambaye alikuwa ni mfanyabishara ya UNK alisema alipanda mbegu katika kampuni hiyo tangu ishirini sifuri saba baada ya kuachana na UNK
alisema aliwekeza kiasi cha shilingi milioni tano nje ya kiingilio ni shilingi moja mia tatu na sabini na tano sifuri sifuri sifuri katika kipindi tofauti katika kipindi cha miaka miwili na ameweza kuvuna karibu kila mwezi hali iliyompa matumaini ya kuishi katika maisha ya pepo lakini alisema UNK kusikia uamuzi kampuni hiyo wa kuwa mbegu zote ambazo UNK na kupandwa tena UNK
na benedict kaguo tanga mlinzi wa kampuni ya ulinzi UNK ya jijini tanga amefariki dunia baada ya kujifyatulia risasi sehemu zake za siri
mlinzi huyo bwana mbwana UNK mkazi wa UNK wilayani mkinga alichukua uamuzi huo aprili ishirini na mbili mwaka huu saa kumi thebathini alfajiri akiwa lindoni
akiwa lindoni huku akiwa UNK bunduki ya shotgun alichukua uamuzi huo wa kutisha kwa kujifyatulia risasi sehemu za siri na kufariki papo hapo
hata hivyo uchunguzi wa awali umeonesha kuwa huenda marehemu UNK hakuwa makini kushika silaha hiyo hali iliyofanya UNK na kumuua
kamanda wa polisi mkoa wa tanga kamishna msaidizi wa polisi bwana simon sirro alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mlinzi huyo hakuwa makini na silaha yake jambo lililosababisha kifo chake
kamanda sirro UNK maiti ya mlinzi huyo imehifadhiwa hospitali ya mkoa wa tanga bombo
na edmund mihale kampuni development entrepreneurship for community initiative imezua biashara nyingine ya kuuza kadi zenye namba maalumu kwa ajili ya kujiorodhesha ili kunggoa mbegu
uchunguzi uliofanywa na majira na kuthibitishwa na mmoja wa washiriki wa kampuni hiyo umebaini kuwa kadi hizo maalumu zilikuwa zikiuzwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa lengo la kuwawezesha wanachama hao kuwahi kuingia kwenye ofisi hizo ili kujiorodhesha kunggoa mbegu zao
uchunguzi huo umebaini kuwa kadi iliyoanzia namba moja hadi ishirini sifuri ziliuzwa kwa shilingi ishirini sifuri sifuri sifuri hadi thebathini sifuri sifuri sifuri kwa kadi moja
kadi iliyoanzia namba ishirini moja hadi moja sifuri sifuri sifuri ilikuwa ikiuzwa shilingi tano sifuri sifuri sifuri hadi shilingi kumi sifuri sifuri sifuri kwa kadi moja
kadi iliyoanzia namba moja sifuri sifuri moja hadi mbili sifuri sifuri sifuri iliuzwa kwa shilingi mbili sifuri sifuri sifuri hadi tatu sifuri sifuri sifuri huku kadi ilianzia namba mbili sifuri sifuri moja hadi tatu sifuri sifuri sifuri iliuzwa kwa shilingi moja sifuri sifuri sifuri hata hivyo uchunguzi huo ulibaini kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kadi hizo kuuzwa bei kubwa zaidi kutokana na washiriki waliowekeza fedha nyingi ambao ni UNK katika kampuni mashirika na idara mbalimbali za serikali kushindwa kusubiri foleni ndefu
mshiriki bibi anna kassim ambaye alijitambulisha kuwa ni mfanyakazi serikalini alisema kutokana kushindwa kupata muda wa kutoka ofisini na kupanga foleni yuko tayari kununa kadi hiyo kwa shilingi sabini sifuri sifuri sifuri bibi anna alisema amewekeza fedha nyingi katika kampuni hiyo hivyo kiasi UNK kwa ajili kununulia kadi si kitu
kaka nimesikia UNK kuhusu kuuzwa kadi naomba nami UNK nani anauza niko tayari kununua hata kwa shilingi sabini sifuri sifuri sifuri iwapo itaanzia namba moja hadi kumi sifuri kwani nimeshindwa kupanga foleni alisema bibi anna huku akionesha risiti UNK mbegu hizo
mbali na kuuza kadi hizo biashara nyingine iliyojitokeza ni kuuza sehemu ya foleni kwa watu waliowahi na kupanga foleni mapema
nafasi hiyo inauzwa shilingi hamsini sifuri hadi shilingi mbili sifuri sifuri sifuri kutokana na umbali kutoka msimamizi anayetoa kadi zenye namba
katika hatua nyingine mwenyekiti wa kamati ya dharura ya washiriki wa deci mchungaji isaack kalenge alisema leo ameitisha mkutano mkubwa katika viwanja vya jangwani kwa ajili ya kujadili hatima ya fedha UNK katika kampuni ya deci akizungumza na majira kwa njia ya simu mchungaji kalenge alisema lengo la mkutano huo ni kuitaka serikali UNK kampuni hiyo iendelee na huduma zake kama kawaida kwa kuwa hadi sasa hakuna madhara yoyote yaliyojitokeza
alisema moja ya agenda ni kujadili kauli ya waziri mkuu bwana mizengo pinda aliyoitoa katika kikao cha bunge wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo kuwa kampuni hiyo ni ya kidini kwani hakutenda haki juu ya kampuni hiyo kwani imekuwa UNK watu wote bila kujali dini wala kabila
alisema katika mkutano huo UNK viongozi mbali mbali wa vyama vya siasa wanasheria na UNK
alikuwa akienda dar kugombea umakamu tlp alikuwa nje ya bunge kusubiri rufani kortini na benny kisaka kilosa mbunge wa jimbo la biharamulo magharibi mkoani kagera bwana phares kabuye amefariki kwa ajali ya basi akiwa safarini kutoka kagera kwenda dar es salaam kuhudhuria mkutano mkuu wa tanzania labour party uliopangwa kufanyika kesho
katika mkutano huo bwana kabuye alikuwa ameomba kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho kwenye uchaguzi huo UNK kwa shauku na wanachama wengi wa chama hicho
marehemu kabuye mbunge aliyesimamishwa wa tlp alifariki jana saa mbili asubuhi eneo la magubike wilayani kilosa morogoro
katika ajali hiyo watu wengine wawili walikufa na wengine hamsini na nne kujeruhiwa
ajali hiyo ilihusisha basi la rs investment lenye namba za usajili t mia tisa na thebathini na nne UNK UNK na kupinduka likiwa kwenye mwendo
spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania bwana samuel sitta amethibitisha tukio hilo na kueleza kusikitishwa kwake na kifo cha mbunge huyo ambaye hadi mauti UNK alikuwa akipigania rufani yake mahakamani kupinga kuvuliwa ubunge na mahakama kuu kanda ya kagera
abiria walionusurika walisema basi hilo liliserereka na kupinduka baada ya mtu aliyekuwa akiendesha anayedaiwa kuwa utingo kushindwa kulimudu
walimweleza mwandishi wa habari hizi kuwa basi hilo lilikuwa katika mwendo na waliokaa sehemu ya mbele walisikia dereva aliyekaa pembeni akimwelekeza utingo huyo kushika breki haraka
kufumba na kufumbua basi hilo UNK upande wa pili wa barabara na kupinduka tairi zikiwa juu na kugeuka UNK
dereva na utingo huyo walikimbia baada ya ajali hiyo na hawajulikani waliko
bwana kabuye alifariki baada ya kufikishwa hospitali ya UNK wenzake wawili UNK eneo la tukio
walioshuhudia ajali hiyo walisema bwana kabuye alifikishwa hospitalini hapo akiwa mzima akiongea lakini hali ilibadilika ghafla na kufariki dunia
mwandishi wa habari hizi aliyefika hospitalini hapo alisema mbunge huyo aliumia sehemu ya kichwa na kifuani
alisema baada ya ajali hiyo mkuu wa wilaya ya kilosa bibi halima dendego alifahamishwa kifo cha mbunge huyo na kufika hospitalini hapo kufuatilia tukio hilo
naye john daniel kutoka dodoma anaripoti kuwa spika wa bunge bwana sitta amepokea taarifa za kifo bwana kabuye kwa huzuni kubwa
akizungumza kwa njia ya simu akiwa safarini kuelekea dar es salaam bwana sitta alisema tayari katibu wa bunge ametuma gari kwenda kilosa kuchukua mwili wa marehemu
alisema bunge UNK mwakilishi kwenye mazishi lakini taratibu zingine za kibunge UNK kwani marehemu alivuliwa wadhifa huo na mahakama
taratibu zingine za bunge haziwezi kukubalika lakini UNK suala hili kibinadamu alisema bwana sitta
bwana sitta alimwelezea marehemu kabuye kuwa ni mtu UNK naye siku nyingi na kufanya kazi pamoja kuanzia miaka ya sabini
naye mbunge wa rufiji profesa idrisa mtulya alisema marehemu kabuye ameacha pengo kubwa kwani alikuwa mtetezi wa wananchi wake na alipenda watu bila kujali itikadi zao
marehemu kabuye alizaliwa januari moja mwaka elfu moja na mia tisa na thebathini na nane wilayani biharamlo mkoani kagera na alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi UNK kuanzia elfu moja na mia tisa na hamsini na tatu hadi elfu moja na mia tisa na hamsini na tano mwaka elfu moja na mia tisa na hamsini na sita hadi elfu moja na mia tisa na hamsini na saba alijiunga shule ya kati UNK na baadae alijiunga na chuo cha ualimu katoke kwa ngazi ya cheti mwaka elfu moja na mia tisa na hamsini na nane hadi elfu moja na mia tisa na hamsini na tisa baadaye alikwenda chuo cha UNK nchini uganda kusomea cheti cha ualimu mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na moja hadi elfu moja na mia tisa na sitini na tatu kabla ya kujiunga na chuo cha british UNK mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na tatu mpaka elfu moja na mia tisa na sitini na nne mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na tano hadi elfu moja na mia tisa na sitini na nane alipata elimu ya sekondari ya juu katika chuo cha UNK result na kurejea tena chuo cha ualimu katoke mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na mbili alifanya kazi ya ualimu tangu mwaka elfu moja na mia tisa na hamsini na tisa hadi elfu moja na mia tisa na sabini na sita UNK kuwa mratibu kata wa elimu
alijiunga na shughuli za kisiasa mwaka elfu moja na mia tisa na sabini na saba alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa wilaya ya biharamlo na mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na tano alichaguliwa kuwa mbunge kwa tiketi ya ccm hadi mwaka elfu moja na mia tisa na tisini mwaka ishirini sifuri tano alijiunga na tlp na kufanikiwa kuchaguliwa mbunge jimbo la biharamlo magharibi ambao alidumu hadi oktoba kumi ishirini sifuri saba UNK na mahakama kuu kanda ya kagera kufuatia kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge wa ccm bwana anatory choya
katika kesi hiyo marehemu alitiwa hatiani baada ya kubainika kuwa alitumia lugha za matusi ya nguoni kumkashifu mpinzani wake wa ccm kwenye mikutano ya hadhara wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka ishirini sifuri tano hadi mauti yanamkuta kesi yake ya kupinga uamuzi wa mahakama ilikuwa ikiendelea kusikilizwa na mahakama ya rufani
akizungumza na majira jana kwa njia ya simu mwenyekiti wa tlp bwana augustino mrema alisema chama chake UNK kwa majonzi makubwa kifo hicho kwani marehemu alikuwa na historia nzuri katika utendaji wake ndani na nje ya bunge
mzee kabuye kila mbunge UNK alipokuwa bungeni na kutokana na rekodi yake nzuri wabunge walimchagua kuwa mbunge katika bunge la afrika akiwakilisha kambi ya upinzani alisema bwana mrema
bwana mrema alisema chama chake kitakutana kuandaa mazishi ya mbunge huyo UNK uwezekano wa kuahirisha uchaguzi kesho
pamoja na mambo mengi bwana kabuye atakumbukwa kwa kauli yake kwamba hakutoa rushwa hata kidogo kwenye uchaguzi wa mwaka ishirini sifuri tano na ni mgombea pekee aliyefanya kampeni zake kwa UNK baiskeli
na reuben kagaruki kyaka hotuba iliyotolewa na mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo bwana freeman mbowe imewatia huzuni wakazi wa wilaya ya kyaka waliojitokeza kwa wingi kuhudhuria mkutano wake wa oparesheni sangara baada ya kuwaeleza jinsi tanzania ilivyo nyuma kiasi cha kuzidiwa na uganda ambayo imekuwa kwenye misukosuko ya kivita kwa muda mrefu
waganda UNK miaka thebathini iliyopita wakati wa vita vya kagera lakini leo hii wanatuzidi mbali kimaendeleo alisema bwana mbowe wakati akihutubia wananchi hao jana
alisema kwamba pamoja na kupigana vita na tanzania uganda imekuwa UNK vita na bwana joseph UNK na kwa nyakati tofauti imewahi kuingia kwenye migogoro ya kivita na rwanda na jamhuri ya kidemokrasi ya kongo lakini ipo mbele kimaendeleo
hebu niwaulize nani ni mtoto gani wa uganda anayesoma tanzania
alihoji bwana mbowe na kujibiwa na wananchi kuwa hakuna
leo hii tunapeleka watoto wadogo wa chekechea kusoma uganda halafu tuseme kwamba tuna serikali hapo
aliendelea kuhoji bwana mbowe
alisema ni jambo la kusikitisha kuona watoto wa tanzania wanavuka mpaka kwenda kusoma uganda wakati wao hawaji na UNK kwamba umakini wa serikali unapimwa kwa kuangalia maendeleo ya elimu
bwana mbowe alisema kwamba licha ya tanzania kuzidiwa kielimu na nchi zinazoizunguka hata bidhaa zinazouzwa nchini kwa wingi zinatoka nje ya nchi
angalieni hapa kwenu kyaka bidhaa zote zinazouzwa hapa zinatoka uganda kuondoa bia na UNK alisema mwenyekiti huyo na UNK wananchi hao bidhaa zinazotoka uganda zinazouzwa hapa nchini wakati bidhaa zetu UNK kuuzwa huko
alisema kwamba alipofika UNK alivuka eneo la mpaka na kuingia eneo la uganda lakini hakuona bidhaa ya tanzania inayouzwa katika eneo hilo
katika mkutano huo bwana mbowe UNK kusikitishwa kwake na hatua ya mbunge wa jimbo la nkenge bwana kamara kujiunga na chama cha mapinduzi wakati wananchi walitarajia kwamba amesoma kwa ajili ya kuwakomboa na umasikini
tulidhani kamara amesema kuja kuwatetea badala yake ameungana na mafisadi ccm wakati yeye hana historia ya kutoka kwenye familia wenye uwezo alisema bwana mbowe na kufafanua kwamba wakati UNK kwa wananchi kuwakataa watu UNK siasa kama UNK na kupanda kwenye majukwaa na kuanza kuimba mashairi huku UNK wananchi badala ya kuzungumzia mustakabali wa nchi
na peter masangwa mtwara waziri mkuu bwana mizengo pinda amesema kuwa taifa linakabiliwa na changamoto kubwa katika kutafakari kwa makini kuhusu juhudi UNK katika kupambana na malaria
UNK kila tu ajiulize iweje ugonjwa unaotibika na kuzuilika uendelee kuongoza katika idadi ya vifo ndani ya jamii mbali na mikakati iliyopo ya kupambana na janga hili
akizungumza katika maadhimisho ya siku ya malaria duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani mtwara bwana pinda alisema kuwa wengi wa watu wanaoathirika na malaria na kufariki ni watoto wenye umri usiozidi miaka mitano wakifuatiwa na kundi la wajawazito
bwana pinda alisema kuwa uchumi wa nchi UNK kwa sababu wanaokufa hupunguza nguvu kazi ya taifa na hivyo kuathiri uzalishaji wa nchi kwani inakadiriwa kuwa tanzania hupoteza asilimia tatu nne ya pato lake kutokana na tatizo hili ikiwa ni pamoja na gharama zinazoonekana na zisizoonekana moja kwa moja
ugonjwa huu unaifanya jamii kupata usumbufu mkubwa katika kuwatunza wagonjwa wa malaria na kwenye mashule wanafunzi wengi hukosa masomo kutokana na kuumwa na ugonjwa huu kwa kipindi cha masomo alisema bwana pinda
alisema kuwa ugonjwa wa malaria hauna mipaka hivyo mikakati ya kupambana nao inahitaji ushiriki wa wadau wote na si tu katika bara la afrika peke yake bali ulimwenguni kote
bwana pinda alisema kuwa katika kupambana na malaria serikali imehakikisha kuwa huduma zote za kinga na tiba zinapatikana na kwamba huduma hizi zinawafikia wananchi wote kwani juhudi za kugawa vyandarua vyenye UNK vya muda mrefu zinaendelea hapa nchini
alisema kuwa pamoja na kutumia vyandarua vinavyotolewa na serikali wananchi wanao wajibu wa kushirikiana na serikali kupambana na mbu wanaoeneza malaria kwa kuwaangamiza na hii ni pamoja na kuondoa mazalio yake kufukia UNK na kusafisha UNK
naye waziri wa afya na ustawi wa jamii profesa david mwakyusa amesema kuwa serikali imedhamiria kujenga hospitali maalum kwa kanda ya kusini na kwa mwaka huu imetenga shilingi arobaini sifuri milioni kwa ajili ya mradi huo pamoja na hospitali ya mkoa ligula UNK kimiundombinu na vifaa ili iwe hospitali ya rufaa ambapo UNK na shirika la UNK la japan
UNK mwakyusa amewataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto katika vituo vya afya ili kupatiwa huduma ya afya mapema mara dalili UNK kwani UNK mara nyingi hupuuza mpaka homa itakapo kuwa kali UNK ambalo ni hatari sana
na edson kamukara aliyekuwa mkuu wa dar es salaam bwana abbas kandoro jana alikabidhi ofisi hiyo kwa mkuu mpya na kutangaza kuwa tume aliyounda kuchunguza kifo cha dereva teksi imebaini kuwa polisi walimuua kimakosa hakuwa jambazi
bw
kandoro ambaye amehamishiwa mwanza kikazi alisema kutokana na malalamiko ya wakazi wa kimara UNK yaliyojitokeza alilazimika kuunda tume kubaini kama dereva huyo zakayo mwapi aliuawa katika tukio la ujambazi
alisema tume hiyo iliyoongozwa na kamanda wa mgambo wa jiji ilianza kazi machi ishirini na saba mwaka huu na kuwahoji mashahidi ishirini na mbili wakiwamo madereva teksi wenzake askari waliohusika katika tukio la mauaji na wakazi wa kimara
kwa mujibu wa mkuu huyo wa mkoa tume hiyo ilibaini kuwa marehemu alikuwa UNK tu kuwa ni jambazi lakini hakuwahi kujihusisha na vitendo vyovyote vya kihalifu
hivyo basi tume UNK kuwa marehemu mwapi aliuawa kwa makosa kwa kupigwa risasi na polisi wakimtuhumu kuwa jambazi alisema bwana kandoro
aliongeza kuwa tayari amekabidhi ripoti hiyo kwa mwanasheria mkuu wa serikali ili achukue hatua zaidi dhidi ya wahusika wa mauaji hayo
marehemu mwapi aliuawa machi ishirini na nne mwaka huu kwa eneo la kimara stop over kwa kupigwa risasi na polisi kwa tuhuma kuwa ni jambazi na alizikwa nyumbani kwao njombe mkoani iringa aprili tatu awali UNK nyaraka mkuu mpya wa mkoa wa dar es salaam bwana william lukuvi aliyehamishwa tangu dodoma bwana kandoro alimweleza kuwa UNK na changamoto nyingi hasa za wakazi wa jiji kutotaka kutii sheria na kufanya mambo kinyume na sheria
tuna UNK kila kona ya miji ziko baa na gereji bubu zimejengwa maeneo yasiyoruhusiwa msongamano wa magari na miundombinu duni na idai kubwa ya wakazi walijenga maeneo yasiyoruhusiwa alisema bwana kandoro katika hatua ya pekee bwana kandoro alimweleza bwana lukuvi kuwa anamkabidhi migogoro kadhaa ya viwanja akitaja eneo la wazo hill ambako wakazi wa huko wana mgogoro na mwenye kiwanda
lakini alidai kuwa katika juhudi za kuendeleza maeneo mapya wamejikuta kwenye migogoro na wakazi wa kipawa kwembe na tabata dampo hatua UNK kuwa ni vyema wakazi hao UNK haki zao za malipo kabla ya UNK
kuhusu msongamano wa magari jijini alisema kuwa walikuwa kwenye mazungumzo wa wawekezaji binafsi wenye uwezo wa kujenga barabara za juu ili wajenge na watakuwa wakirejesha fedha yao kupitia kwenye kutoza ushuru
kwa upande wake bwana lukuvi alisema kuwa anaifahamu dar kwa kiasi kikubwa kwa vile amekuwa mkazi tangu mwaka elfu moja na mia tisa na themanini na nne hivyo aliwaomba wajipange kuangalia vipaumbele kwa vile muda wa serikali ya awamu ya nne UNK unakaribia
asema tlp peke yake haitaweza na said mwishehe mwenyekiti wa tanzania labour party bwana augustino mrema UNK rais jakaya kikwete pamoja na serikali yake kusaidia katika mazishi ya aliyekuwa UNK wa biharamulo magharibi mkoani kagera marehemu phares kabuye ambaye amefariki kwa ajali ya basi juzi wilayani kilosa
hata hivyo wakati mbunge huyo amekufa wakati akienda kuhudhuria mkutano wa mkuu wa tlp bwana mrema amesema ni lazima mkutano huo ufanyike kwa sababu itakuwa sehemu ya kumuenzi na wakati huo huo kukinusuru chama UNK na msajili wa vyama vya siasa bwana john tendwa
bwana mrema akizungumza na majira jumapili jana kwa njia ya simu dar es salaam alisema msiba wa mbunge huyo umekuja katika kipindi kigumu ndani ya chama hicho kwa sababu wapo katika harakati za kufanya mkutano mkuu huo ambao unatarajia kufanyika leo
alisema wakati mkutano huo UNK kufanyika tayari amemuomba rais kikwete kuhakikisha anafanya jitihada za kusaidia kifedha ili kufanikisha mazishi ya bunge huyo kwa sababu miundombinu yao ya kifedha UNK wao kufanikisha mazishi hayo bila kupata msaada
alisema binafsi ameguswa na msiba huo mzito kwa chama na watanzania kwa kuwa alikuwa mbunge machachari na UNK kusimama katika ukweli wakati wote hivyo lazima mazishi yake yawe na heshima zote
pia alisema mbali ya rais kikwete pia ameomba msaada kutoka kwa wabunge wote ambao watashirikiana kwa pamoja katika kusaidia msiba huo bila kujali ni mbunge wa chama gani kwa sababu msiba huo ni wa watu wote
alisema ameomba msaada kwa rais kwa sababu chama chake hakiko katika hali nzuri kifedha
marehemu kabuye alikuwa ni miongoni mwa wanachama waliomba kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti katika uchaguzi huo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na wanachama wa chama hicho pamoja na watanzania wengine lakini hakufanikiwa kutimiza ahadi yake kutokana na kupatwa na kifo
bwana mrema alisema kwa hali hiyo ni vema marehemu kabuye UNK kwa kufanya mkutano huo ambao marehemu alikuja anakuja kushiriki na kwa bahati nzuri ni mkutano ambao umepata baraka zote ikiwa ni pamoja na mahakama UNK UNK ufanyike
pia alisema mbali ya kumuenzi marehemu kabuye kwa kufanya mkutano huo unalenga kukifanya chama kiendelee kuwa hai kwa sababu bila mkutano huo kitafutwa kwa mujibu wa msajili wa vyama vya siasa bwana john tendwa kutokana na uongozi uliopo sasa UNK muda wake
msajili UNK muda wa miezi mitatu kufanya mkutano mkuu kwa sababu viongozi waliopo sasa wamemaliza muda wao na tukisema UNK chama kitafutwa kwa sababu siku UNK na msajili zimebaki tano mwisho wetu ni aprili thebathini na moja mwaka huu alisema
bwana mrema aliongeza katika mazingira ya aina hiyo unaweza kuona mambo UNK lakini pia bado kuna umuhimu wa kuendelea na mkutano na ninawashauri wanachama wenzangu kumaliza hilo ambalo nalo lina UNK wake ndani ya chama ingawa mambo yote mawili ni ya kwao
kwa hali hiyo UNK mkutano tutaendelea na hapo tutaweza pia kufanikisha yote yaliyoko mbele yetu kama tlp tutajua mwenzetu anazikwa vipi lakini kwa upande mwingine chama kitaendelea kuwa salama alisema bwana mrema
na said mwishehe hali ya kukata tamaa kwa baadhi ya washiriki waliokuwa wamepanda mbegu zao kwa lengo la kuvuna jana kutoka kwenye mchezo wa upatu wa kampuni ya deci imeongezeka kutokana na kuona kama hakuna kinachoendelea zaidi ya kufanyiwa mchezo wa kuigiza hali ambayo imesababisha wengi kuona kuna kila dalili za kutopata fedha zao
hata hivyo wakati katika makao makuu ya deci mabibo dar es salaam hali ilikuwa tete baadhi ya matawi mengine ya jijini asubuhi ya jana wananchi walijitokeza katika matawi hayo ili kuendelea kupatiwa risiti ambazo watazitumia wakati wa kurudishiwa mbegu zao
majira jumapili kwa upande wake lilifanya uchunguzi wa kazi ya utoaji risiti hizo katika eneo la mabibo ambapo kwa jana idadi ya washiriki waliofika kuchukua haikuwa kubwa kama siku mbili zilizopita na hiyo inatokana na kukata tamaa ya kulipwa
washiriki wengi waliokuwa wakifika kuchukua risiti hizo walionekana UNK na nenda rudi ambayo wamekuwa wakiifanya tangu kuanza kwa sakata zima la kampuni hiyo baada ya serikali kuwatahadharisha wananchi juu ya utendaji kazi wa shughuli za deci wakizungumza na majira jumapili kwa nyakati tofauti baadhi ya washiriki hao walisema kama deci walisema fedha zao ziko salama basi hakuna sababu ya kuendelea kuwapatia risiti hizo na UNK fedha ili kumaliza utata ulioko na kisha waweze kuendelea na shughuli nyingine za kijamii