text
stringlengths
0
1.31k
upande wa mashitaka uliokuwa ukiongozwa na wakili wa serikali bwana timoth vitalis uliiambia korti kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika hivyo ipangwe tarehe ya kutajwa wakati upande huo ukiendelea na uchunguzi zaidi
kutokana na maombi hayo kesi iliahirishwa mpaka mei ishirini na sita mwaka huu
awali mshitakiwa alifikishwa mahakamani hapo akidaiwa machi kumi na tatu ishirini sifuri sita kinyume cha sheria alighushi hati inayompa nguvu kisheria akionesha imetolewa na mwenyekiti wa kampuni hiyo wa marekani bwana mohamed gire UNK kuendesha shughuli za kampuni hiyo hapa tanzania
alidaiwa kuwa kwa makusudi akiwa tanesco ubungo aliwasilisha hati UNK inayompa mamlaka ya kuendesha shughuli za kampuni hiyo
anadaiwa kutoa taarifa za uongo kwa watumishi wa umma ambao walikuwa ni wajumbe wa bodi ya tenda kuwa richmond ilikuwa na uwezo wa kuzalisha megawati kumi sifuri za umeme kwa lengo la kuwashawishi wajumbe hao kuichagua kampuni hiyo
pia anadaiwa kutoa taarifa za uongo kwa timu ya majadiliano ya serikali ambao ni watumishi wa umma kuwa kampuni ina uwezo wa kuzalisha umeme kwa lengo la kutoa ushawishi ili iweze kuidhinisha kampuni hiyo kufanya biashara hiyo hapa nchini
katika shitaka la mwisho mshitakiwa alidaiwa juni ishirini sifuri sita akiwa dar es salaam aliwasilisha hati iliyosainiwa na bwana gire wa nchini marekani ikionesha kumpa mamlaka ya kuendesha biashara za kampuni ya richmond hapa nchini
umoja wa mataifa umetoa taarifa rasmi kuhusu ripoti UNK tanzania kuwasaidia waasi wa jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa congo kuwa ililalamikiwa wakati haijachapishwa rasmi
pia umoja huo UNK na ripoti hiyo ukieleza kuwa ilitolewa na jopo la wataalamu walioteuliwa na kupewa mamlaka ya kutafiti iwapo maamuzi ya UNK vikwazo vikundi vya waasi vilivyoko drc UNK
taarifa ya un UNK gazeti hili jana ilisema ripoti hiyo haipaswi kuhusishwa moja kwa moja na sekretarieti ya un wala mashirika yake yaliyopo nchini bali UNK na jopo hilo chini ya mwenyekiti wa kamati ya vikwazo vya drc ambayo kwa sasa inaongozwa na uturuki
taarifa hiyo iliyosainiwa na afisa habari wa un bibi UNK UNK imekuja siku chache baada ya waziri wa mambo ya nje bwana bernard membe kutoa tamko la kulaani ripoti hiyo kwamba ni ya uongo na kuitaka un kuiomba radhi tanzania
ufafanuzi huo wa un unamaanisha kuwa bwana membe alilalamikia taarifa hiyo kabla ya kuchapishwa wala kujadiliwa na baraza la usalama la umoja huo hivyo kuondoa uhalali wake
tayari chama cha demokrasia na maendeleo kimetoa tamko la kumkosoa bwana membe UNK kujibu hoja moja moja na kuwaacha waliotajwa katika taarifa hiyo kuwajibika badala ya kufunika kombe mwanaharamu apite hata hivyo pamoja na un kujitenga na ripoti hiyo imesema baada ya kukamilika itajadiliwa na baraza lake la usalama
kundi hilo wa wataalamu limekuwa likitoa taarifa mara kwa mara juu ya utafiti wao kuhusu masuala ya vikwazo vya silaha huko drc ripoti ya sasa ambayo imezua mjadala katika vyombo vya habari haijachapishwa wala kupitishwa rasmi ingawa hatua hiyo itafanyika hivi karibuni
kwa hiyo kikundi hicho cha wataalamu kimepewa mamlaka ya kufanya utafiti wa mara kwa mara na kutoa mapendekezo katika taarifa ambayo inajadiliwa na kamati ya vikwazo na baraza la usalama ambako kikundi hicho kinawajibika ilisomeka sehemu ya taarifa hiyo ya un nchini huku UNK kuwa wataalam hao wameongezewa muda wao wa kufanya kazi kwa mwaka mzima
un inafanya kazi kama kitu kimoja kwa UNK idara mifuko mashirika na mipango mbalimbali bado kuna umuhimu wa kutofautisha kati ya mihimili ya utendaji kama baraza la usalama na ile inayohusika na utekelezaji wa sera kama vile sekretarieti ya un na mashirika yake yaliyoko nchini yakishirikiana na serikali katika shughuli za kimaendeleo ilisema taarifa hiyo
na zahoro mlanzi kocha mkuu wa timu ya yanga kostadic papic anatarajia kupata kikosi cha kwanza cha timu yake mara baada ya kuwasili kwa wachezaji wake kumi waliopo katika mashindano ya kombe la chalenji yanayoendelea nchini kenya
mbali na hilo yanga imesema mpaka jana mchana mshambuliaji wao raia wa kenya boniface ambani UNK nchini kujiunga na wenzake kujindaa na mzunguko wa pili wa ligi kuu ya tanzania bara na mashindano ya kombe la tusker
akizungumza na gazeti hili dar es salaam jana msemaji wa timu hiyo UNK sendeu alisema timu yao inaendelea vizuri na maandalizi ya ligi kuu pamoja na kombe la tusker ila mpaka sasa papic hana wachezaji wa kikosi kwanza
alisema kukosekana kwa wachezaji kumi ambao wana UNK na mataifa yao katika chalenji ndio sababu kubwa UNK kupata kikosi cha kwanza hivyo inabidi UNK mpaka mashindano yatakapomalizika
unajua kwa sasa UNK vigumu kocha wetu papic kupata kikosi cha kwanza kama unavyojua wachezaji wetu karibu kumi wapo kwenye chalenji hivyo UNK na kazi ya ziada kupata timu itakayoanza maana UNK wachezaji wote wapo fiti huko alisema sendeu
mbali na hilo alizungumzia hatma ya UNK ambapo alisema mpaka jana mchana hana taarifa yoyote ya mchezaji huyo kama amekuja au la ila kwa mujibu wa mawasiliano waliyofanya ilitakiwa awasili juzi
kuhusu ambani mpaka leo hii mchana hajafika ila kwakuwa siku haijaisha labda anaweza kuja jioni lakini mpaka sasa sina taarifa UNK kuhusu yeye mimi ninachojua alitakiwa aje jana alisema sendeu
wakati huohuo sendeu alisema wanasubili kwa hamu kubwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa tawi la yanga mkoani mwanza kwani uchaguzi huo unafanywa kwa mujibu wa katiba yao
timu za majeshi ya tanzania UNK medali mbili za dhahabu baada ya wanariadha wake sarah UNK na francis UNK kumaliza mbio za nusu marathon zilizofanyika juzi blantyre nchini malawi
timu hiyo ambayo ipo nchini humo kushiriki mashindano ya jumuiya ya majeshi kwa nchi za kusini mwa afrika imekwenda na timu ya riadha soka na mchezo wa vishale ambapo jumla ya nchi kumi na mbili zinashiriki mashindano hayo
kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari dar es salaam jana na mkurugenzi wa michezo wa jeshi la polisi tanzania jonas mahanga alisema medali hizo wamezipata kwa upande wa wanawake na wanaume
alisema kwa upande wa wanawake nafasi ya pili ilikwenda kwa UNK william wa tanzania nafasi ya tatu ilikwenda kwa mzimbabwe nafasi ya nne ilikwenda kwa zambia na nafasi ya tano ilikwenda afrika kusini
alisema kwa upande wa wanaume nafasi ya pili ilikwenda kwa mzimbabwe nafasi ya tatu ilichukuliwa na daniel sumuni wa tanzania nafasi ya nne imekwenda kwa paul sumaye wa tanzania na nafasi ya tano ilikwenda kwa mzambia
michuano hiyo imeshirikisha nchi za malawi zambia msumbiji lesotho zimbabwe swaziland botswana namibia afrika kusini tanzania na mauritius
na kulwa mzee shahidi wa tisa upande wa mashitaka bwana dotto ally amedai aliwaona majambazi maeneo ya ubungo mataa wakiwa UNK gari nyeupe huku UNK risasi na aliwatambua baada ya kumvamia na kumpora gari
bw
ally alidai hayo jana mahakama kuu ya tanzania mbele ya jaji projest rugazia alipokuwa akitoa ushahidi katika kesi ya mauaji yaliyotokea ubungo dar es salaam aprili ishirini ishirini sifuri sita alidai siku ya tukio akiwa na gari aina ya toyota UNK eneo la ubungo mataa aliona gari aina ya landcruiser likiwa UNK na watu huku UNK risasi
hali hiyo ilimfanya UNK gari na kurudi maeneo ya buguruni alikotoka aliamua kuruka tuta ili kukimbia risasi zilizokuwa UNK
alifanikiwa lakini alipofika tabata ami alilazimishwa kusimama
shahidi alidai aliona gari ndogo kushoto kwake watu waliokuwa ndani ya gari hilo UNK kusimamisha lake katikati ya barabara na kwa kuwa walikuwa wameshika bunduki alitii
mwingine alimtoa nje ya gari
aliwataja washitakiwa hao kuwa ni wa nane yasini juma aliyevunja kioo kwa kitako cha bunduki na wa kumi na moja mt elfu sabini na saba na mia saba na hamsini na nne pte nazareth amulike UNK mke wa bosi wake akiwa kifua wazi
akihojiwa na wakili wa utetezi bwana majura magafu kuhusu usahihi wa mahali alipotoa maelezo yake baada ya tukio alidai ni kituo cha urafiki
bwana magafu UNK mwisho wa maelezo yake inaonesha alitoa kwa ocd ilala na si urafiki
bwana ally alidai hayo ni makosa ya aliyekuwa UNK
washitakiwa katika kesi hiyo ni mashaka mahenge rashid lembresi john mndasha martine mndasha philipo mushi jackson wangu haji hamisi yasin juma hamisi mjata musa mustafa mt elfu sabini na saba na mia saba na hamsini na nne pte nazareth amulike wickliff angaruki rashid abdikadiri james chamangwana na hussein iddi
inadaiwa aprili ishirini ishirini sifuri sita maeneo ya ubungo mataa dar es salaam washitakiwa walimuua aliyekuwa mfanyakazi wa nmb tawi la wami morogoro evarist manyoni na mashitaka ya pili walimuua kwa makusudi askari d elfu sita na mia tatu na sitini na moja pc abdallah maro
kesi itaendelea kesho
wafanyabiashara wa viazi mviringo katika wilaya ya njombe mkoani iringa wameiomba serikali kupitia wizara ya kilimo chakula ushirika na masoko nchini kuwatafutia soko la zao hilo baada ya masoko kukataa ujazo ambao UNK na idara ya vipimo mkoani hapa
wakizungumza na majira wafanyabiashara hao walisema kufuatia utaratibu uliowekwa na halmashauri ya wilaya hiyo ya kuzuia ujazaji wa gunia kwa mtindo wa lumbesa badala yake wanatakiwa kujaza mtindo wa UNK hali iliyofanya wafanyabiashara kusuasua kununua viazi hivyo
bwana jordan mpinge ambaye ni mwenyekiti wa wafanyabishara wa viazi UNK wilayani humo alisema miaka miwili iliyopita kitengo cha vipimo cha serikali UNK marufuku kwa wafanyabishara kujaza gunia na kushona mtindo wa UNK
bwana mpinge alisema huo pia umesababisha wakulima kutopata faida kwani wanunuzi wamepungua tofauti na awali hali inayochangia kurudisha nyuma maendeleo yao ikiwa ni pamoja na kukosa soko la uhakika kama ilivyozoeleka
alisema athari wanazopata kutokana na kutii kwa amri iliyotolewa na watu wa vipimo kutoka mkoani wafanyabiashara kutoka mikoa ya arusha tanga pamoja nchi jirani ya kenya wamekuwa wakipata soko la uhakika kwani wao bado wangali wanatumia ujazaji wa lumbesa ambao wanunuzi UNK
alisema upande wao hulazimika kukaa na mzigo zaidi ya wiki moja katika masoko ya dar es salaamu huku viazi vikiwa ndani ya gari wakisubiri wanunuzi ambao hata hivyo alisema ni wa kubahatisha na kusababisha viazi UNK vikiwa katika magari walitumia UNK
mkuu wa mkoa wa dodoma daktari james msekela ameuagiza uongozi wa wilaya ya kongwa kuhakikisha wanasimamia sheria na kanuni za kilimo cha mtama
hayo aliyasema jana wakati akizungumza na viongozi wa wilaya hiyo wakati wa ziara yake ya siku moja wilayani hapa kwa lengo la kukagua shughuli mbalimbali za kimaendeleo hasa kilimo
daktari msekela alisema kuwa wilaya ya kongwa ni UNK mwa wilaya ambazo zimepata fursa ya kuwa na zana nyingi za kilimo hivyo ni lazima uongozi wa wilaya kwa kushirikiana na maofisa ugani wakashiriki katika kuendeleza kilimo
alisema mtama UNK zaidi dodoma hivyo juhudi nyingi hivi sasa zinaelekezwa katika zao hilo na wakulima wanatakiwa waelimishwe juu ya zao hilo ambalo linastahili katika mazingira ya ukame
alisema viongozi wa wilaya hiyo lazima wawe na tabia ya kujifunza kutoka kwa watu wengine lakini pia lazima maofisa ugani nao lazima wajenge tabia ya kuwa na ushindani
wajasirimali wenye ulemavu wa aina mbalimbali wamelalamikia bidhaa zinazotoka nje na kudai kuwa UNK soko la ndani hali inayowafanya kudidimia kiuchumi
akizungumza kwenye maonesho ya siku ya maadhimisho ya walemavu disemba tatu mwaka huu mlemavu mmoja alisema fenicha za ndani hazipewi kipaumbele ukilinganisha za nje
alisema serikali hununua fenicha zinazotoka nje ya nchi ambazo UNK kwa mbao halisi hali inayoleta hasara kwa UNK
mimi ni mwanzilishi wa keko fenicha na kazi yangu kubwa ni kuchonga lakini tatizo linalotukabili ni soko fenicha zinazoingia sasa zinatuumiza hakuna anayetaka fenicha zetu za mbao halisi ambazo ndio imara alisema bwana salehe UNK maarufu kwa jina la achimwene ambaye ni mlemavu wa miguu
walemavu wengine walisema kuwa UNK kwao ni tatizo kwani kuna baadhi hawana ofisi hivyo wamekuwa wakiuza bidhaa kama maonesho wakiitwa kwenye warsha na katika makundi mengine ya watu
baada ya kukagua mabanda ya wajasiriamali wenye ulemavu mbalimbali mkuu wa wilaya ya ilala bwana evans balama alisema kuwa wafanye juhudi kutengeneza bidhaa bora ili kukabiliana na ushindani wa soko
waziri wa nchi ofisi ya rais utawala bora bibi sofia simba amesema bunge haliwezi kusimamia taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini kwa kuwa lina majukumu mengi yaliyo chini yake
bibi simba aliyasema hayo dar es salaam jana baada ya kufungua semina ya wadau waliopata ruzuku katika mfuko wa uadilifu uwajibikaji na uwazi
bibi simba alisema kuwa kazi ya kutunga sheria ni kubwa hivyo kama taasisi hiyo itakuwa chini yake ni sawa na kuiongezea mzigo
haiwezekani kila kitu kiwe chini ya bunge kila taasisi ina majukumu yake na itafanya kazi kama UNK bila kujali mtu yeyote alisema bibi simba
kauli ya bibi simba ilitokana na maswali ya waandishi wa habari juu ya mapendekezo ya baadhi ya wadau UNK kongamano la miaka kumi ya kifo cha baba wa taifa mwalimu julius nyerere kutaka taasisi hiyo iwe chini ya bunge
wadau hao walitaka takukuru iwe chini ya bunge kwa madai kuwa huenda ikashindwa kuchunguza baadhi ya viongozi wanaoiongoza taasisi hiyo katika utendaji wao wa kazi
walidai kuwa takukuru haitaweza kuchunguza mabosi wao kwa kuwa ndiyo vingozi wanaowaongoza hivyo kazi ya taasisi hiyo itakuwa haina maana
akizungumzia juu ya maadili ya viongozi bibi simba alisema kila kiongozi na mfanyakazi wa umma anatakiwa kuwa nayo yakienda sambamba na uadilifu
serikali inaendelea na UNK kazi yake ya kuhakikisha uwajibikaji wa watumishi wake unakuwa wa hali ya juu japo uadilifu wa watumishi ni hali ya mtu binafsi alisema bibi simba
aliwataka wadau waliopata ruzuku katika mfuko wa uadilifu uwajibikaji na uwazi kuzitumia fedha hizo kama ilivyopangwa ili kuelimisha jamii juu ya utawala bora
mshitakiwa bwana jonson lukaza anayekabiliwa na kesi ya wizi wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya madeni ya nje amekiri kupeleka bot hati ya kutaka kulipwa zaidi ya shilingi bilioni sita akionesha kuwa walihamishiwa deni hilo na kampuni ya marubeni corporation ya japan
mshitakiwa huyo alikiri jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya jopo la mahakimu linaloongozwa na hakimu UNK lyimo wakati wakisomewa maelezo ya awali ya mashtaka yanayowakabili yeye na mdogo wake bwana mwesiga UNK
mshitakiwa huyo alidai kwamba hana uhakika na tarehe iliyopo katika hati ya mashitaka novemba kumi na nne ishirini sifuri tano pia wote walikiri kwamba ni wakurugenzi wa kampuni inayodaiwa kuhusika ya kernel ltd ya tanzania na wanaishi dar es salaam
washtakiwa walikana maelezo mengine yote likiwamo la kukubaliana kuiba fedha bot kutengeneza hati ya kununua deni la zaidi ya shilingi bilioni sita ikionesha kampuni ya kernel UNK deni na kampuni ya marubeni kwa kiasi hicho
wakili timony kabla ya kuwasomea maelezo hayo aliwasomea hati mpya ya mashtaka ambapo alidai washitakiwa kwa pamoja wanatuhumiwa kufanya uhalifu kati ya mwaka ishirini sifuri tatu na ishirini sifuri tano katika kesi hiyo washtakiwa wanadaiwa walikula njama kufanya wizi wa zaidi ya shilingi bilioni sita na mshitakiwa wa pili anadaiwa novemba ishirini sifuri tano alighushi hati ya kuhamisha deni ikionesha kampuni ya kernel ilihamishiwa deni la kisi hicho cha fedha na kampuni ya marubeni wakati si kweli
pia inadaiwa novemba kumi na nne ishirini sifuri tano mshitakiwa jonson alipeleka bot hati hiyo ya kughushi ya kuhamisha deni wakitaka kulipwa
mashtaka mengine inadaiwa walijipatia kiasi hicho cha zaidi ya shilingi bilioni sita kwa njia ya udanganyifu desemba saba mwaka ishirini sifuri tano kabla kesi kuahirishwa hadi januari sita mwakani itakapotajwa upande wa utetezi uliomba washitakiwa waruhusiwe kusafiri nje ya dar es salaam na mahakama ilikubali
kesi hiyo itaanza kusikilizwa mfululizo februari ishirini na mbili hadi ishirini na sita mwaka huo
mkazi wa mbagala kibonde maji bwana juma UNK amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya temeke kwa tuhuma za kukutwa na vifaa mia moja na hamsini vya kulipulia mabomu kinyume cha sheria
mbele ya hakimu mkazi bibi fatuma kiwanga ilielezwa na mwendesha mashitaka wa polisi bwana UNK kombe kuwa mtuhumiwa alikamatwa novemba ishirini na tisa mwaka huu saa kumi na moja jioni maeneo ya maweni mjimwema dar es salaam akiwa na vifaa hamsini vya kulipulia mabomu pamoja na waya zake
pia mshitakiwa inadaiwa alikutwa na vifaa vingine kumi sifuri visivyo na waya na mifuko ishirini na tano ya mbolea aina ya urea inayosadikiwa kutumika kutengenezea milipuko hiyo kinyume cha sheria
mshtakiwa alikana makosa hayo na kwenda rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili wanaofanya kazi serikalini au katika mashirika UNK na kila mmoja asaini dhamana ya shilingi milioni kumi upelelezi haujakamilika na kesi iliahirishwa hadi desemba ishirini na moja mwaka huu
watu wanane wamekufa kwa kipindupindu huku watu mia tano na sitini na nne wakiwa tayari wameugua ugonjwa huo katika wilaya zote za dar es salaam tangu UNK novemba kumi na mbili mwaka huu
ugonjwa huo ambao hutokana na uchafu na kuwapata watu wasiozingatia kanuni za afya umeendelea kujichimbia dar es salaam na kuhatarisha maisha ya wakazi wake
kaimu mganga mkuu wa jiji daktari hawa kawawa alisema jana kuwa ugonjwa huo kitu ambacho UNK kwa kuwa umesambaa katika wilaya zote alisema daktari kawawa na kufafanua kuwa hadi jana ilala walikuwa wamefikia wagonjwa mia mbili na hamsini na tatu temeke mia mbili na ishirini na kinondoni tisini na moja pamoja na idadi ya wagonjwa kuongezeka daktari huyo alisema juhudi zinafanyika kuhakikisha mazingira yanakuwa masafi na ugonjwa huo UNK
kwa mujibu wa daktari kawawa majengo ya kuishi mia nne na arobaini na sita yamekaguliwa na kati ya hayo thebathini na sita hayakuwa na vyoo imara hivyo wamechukuliwa hatua za kisheria wakati katika majengo ya kufanyia biashara ndogo ndogo themanini UNK kwa kutofuata kanuni za afya
watu hamsini na sita wamefikishwa katika mabaraza ya kata kwa kukiuka sheria na kanuni za afya na kutozwa faini ya kati ya shilingi tano sifuri sifuri sifuri hadi shilingi ishirini na tano sifuri sifuri sifuri kesi iliyofunguliwa na wafanyakazi wa kampuni ya ssb dhidi ya mmiliki wake bwana said salim bakharesa imeingia katika sura mpya baada ya wakili wa mdaiwa kuieleza mahakama ya kazi kuwa mteja wake hawatambui wafanyakazi hao
akitoa hoja hiyo dar es salaama jana wakili huyo bwana issa maige alisema kuwa wadai hao hawana ajira kwa mdaiwa na kuongeza kuwa waliingia mkataba na kampuni ya nasoro ltd
kwa upande wa wafanyakazi uliowakilishwa na wakili bwana thadei UNK ulipinga hoja hiyo na kudai kuwa washtakiwa wana mkataba na bwana bakharesa na kuwa hata vitambulisho vyao UNK na UNK
hakimu anayesikiliza kesi hiyo bwana rweyemamu aliwataka mawakili hao wakae pamoja ili kueleweshana na kupeana baadhi ya vielelezo ambavyo vitasaidia katika uendeshaji wa kesi hiyo
wafanyakazi hao UNK na kumtaka wakili aliyekuja kumwakilisha bwana bakharesa kuwa mstaarabu baada ya hakimu kumtaka asome baadhi ya vielelezo vinavyoonesha madai ya wafanyakazi hao na yeye kudai hakuwa na muda
haiwezekani wakati sisi UNK kazini wewe unadai huna muda wa UNK vielelezo na kudai kuwa UNK UNK wewe kwani wewe ni nani
alihoji haji jongo mmoja wa wafanyakazi
mahakama hiyo ilishindwa kutaja tarehe ya kusikilizwa kesi hiyo baada ya kuona wafanyakazi hao UNK na kudai kuwa mawakili hao wafike ijumaa UNK tarehe ya kusikilizwa
wafanyakazi hao walifungua kesi hiyo machi mwaka huu ya kumlalamikia bwana bakharesa kuwakataza kufungua tawi la wafanyakazi kiwandani kwake na kukataa kuwatambua kama waajiriwa katika kampuni yake wakati wengi wao UNK zaidi ya miaka kumi upande wa mashitaka katika kesi inayomkabili mkurugenzi wa kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura richmond tanzania bwana naeem gire umetakiwa kukamilisha upelelezi au kueleza hatua gani umefikia februari kumi mwakani
hakimu anayesikiliza kesi hiyo katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu bibi UNK lema alifikia hatua hiyo baada ya upande wa utetezi kulalamikia taarifa za kutokamilika kwa upelelezi zinazotolewa na upande wa mashtaka kila siku ya kesi
kesi hiyo ilitajwa jana na upande wa mashtaka ukiongozwa na wakili wa serikali bwana timony vitalis ulidai UNK haujakamilika na hivyo kuomba kesi UNK
kutokana na ombi hilo wakili wa utetezi bwana alex mgongolwa aliiomba mahakama kutoa ahirisho la mwisho kwa upande wa mashitaka ili siku inayofuata wawasilishe taarifa ulipofikia upelelezi kwani wamechoshwa na kila siku upelelezi bado hakimu lema alisema anatoa ahirisho la mwisho na siku ya kesi upande wa mashtaka useme kama upelelezi umekamilika au la uwasilishe taarifa ya upelelezi UNK
kesi hiyo iliahirishwa hadi februari kumi mwakani