text
stringlengths
0
1.31k
kifo cha wakili wa zombe kimekuja siku chache baada ya kifo cha aliyekuwa mshitakiwa na shahidi muhimu katika kesi hiyo ya mauaji marehemu koplo rashid lema aliyefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani
akimzungumzia wakili maira mkwe wa marehemu ambaye pia ni wakili katika kampuni ya membar law UNK bwana yassin membar alisema alikuwa mchapakazi mwenye upendo na moyo wa kusaidia
ndugu wawili wenye asili ya kiasia bwana ajay soman na bwana UNK soman wanaokabiliwa na mashtaka sita likiwemo la wizi wa shilingi milioni mia nne na hamsini na tano nane katika akaunti ya madeni ya nje katika benki kuu ya tanzania wameachiwa kwa dhamana baada ya kukamilisha masharti ya kutoa hati ya nyumba yenye thamani ya shilingi milioni mia nane na themanini na nane washitakiwa hao pia wamekamilisha sharti jingine la kuwasilisha hati za kusafiria na mdhamini mmoja kwa kila mmoja kwa ahadi ya kauli ya shilingi milioni kumi hata hivyo kwa kuwa hati ya nyumba iliyotolewa mahakamani inamhusu mshtakiwa kwa kwanza na upande wa utetezi ukaomba itumike kwa wote hakimu bibi devota kisoka alimtaka mwenye hati hiyo kukubali kwa maandishi hati yake itumike kumdhamini mwenzake
washitakiwa hao walifikishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu wakikabiliwa na mashtaka sita tofauti
mashtaka yanayowakabili ni kula njama za wizi wa shilingi milioni mia nne na hamsini na tano nane UNK kufanya kati ya januari ishirini na nne na oktoba thebathini na moja mwaka ishirini sifuri tano katika shtaka la pili inadaiwa kuwa mnano aprili kumi na mbili mwaka ishirini sifuri tano jijini dar es salaam washitakiwa kwa pamoja walighushi hati za kuhamisha deni kutoka kampuni ya urg papier ya uingereza kwenda kampuni ya ruaha investment ya tanzania
washitakiwa hao wanadaiwa kuwa mnamo oktoba kumi na tano mwaka ishirini sifuri tano walitoa hati za uongo katika benki ya bot zilizoonyesha kuwa kampuni ya urg ya uingereza UNK deni la shilingi milioni mia nne na hamsini na tano nane kampuni ya ruaha ya tanzania
shtaka la nne ni la kughushi ambapo inadai mnamo januari ishirini na nne mwaka ishirini sifuri tano jijini dar es salaam washitakiwa kwa pamoja hati za usajili namba elfu arobaini na tano na mia tatu na sitini na nane ya januari ishirini na nne mwaka ishirini sifuri tano iliyoonesha hati hizo ni halali na UNK na kutolewa na msajili wa kampuni ya ruaha
shtaka la tano ni la kutoa hati za uongo oktoba ishirini na tano mwaka ishirini sifuri tano katika benki ya UNK ambazo zilionyesha kuwa ni halali na zimesajiliwa na msajili wa kampuni ya ruaha UNK
shitaka la mwisho ni wizi shilingi milioni mia nne na hamsini na tano nane ambapo inadaiwa kati ya oktoba ishirini na saba na oktoba thebathini na moja mwaka ishirini sifuri tano washitakiwa kwa pamoja waliiba fedha hizo kutoka katika akaunti ya epa mbali na kesi hiyo pia washtakiwa hao wanakabiliwa na kesi nyingine katika mahakama hiyo
kesi hiyo imeahirishwa hadi desemba saba mwaka huu itakapotajwa tena
kampuni ya tanzania UNK ltd imeahidi kuhudumia wafanyakazi wake watakaogundulika kuambukizwa virusi vya ukimwi
meneja raslimali watu na utawala wa tdl bwana ramadhani njenje alisema amefarijika kuwa asilimia tisini na saba ya wafanyakazi hao wamepima afya zao na kuwahimiza kuendelea na ujasiri huo
ni jukumu la kila mfanyakazi kujilinda na maambukizi ya vvu lakini UNK na kukutwa UNK kampuni itamsaidia na UNK siri alisema bwana njenje
meneja ufundi wa tdl bibi khadija madowili aliyemwakilisha meneja mkuu alisema mapambano dhidi ya ukimwi sehemu za kazi ni mpango ambao utaendelea kuhamasishwa ili wafanyakazi wote wawe na afya njema
bibi madowili katika maadhimisho hayo wafanyakazi hao waliwasha mishumaa kuwakumbuka wenzao waliofariki kwa ukimwi na kuzima baada ya kuwaombea dua
meneja mauzo wa tdl bwana charles fumbo alisema kiwanda hicho si kama kinapoteza fedha kugharimia mapambano ya ukimwi kwa sababu lengo ni kuhakikisha wafanyakazi wanafanya kazi wakiwa na ari hasa baada ya kujua hali ya afya zao
mwenyekiti wa kamati ya uhamasishaji wa mapambano ya ukimwi wa tdl bibi latifa sharrif alisema juzi kuwa ugonjwa huo UNK kama wafanyakazi hao na jamaa inayowazunguka UNK ngono UNK
katika maadhimisho hayo wafanyakazi wa tdl walipewa elimu ya kuepuka maambukizi kwa kugaiwa vipeperushi kondomu na kuelimishwa kuepuka UNK
chuo kikuu cha st
john kimepanga kuanzisha mfuko wa udhamini kwa ajili ya kutoa msaada au mkopo wa ada kwa wanafunzi walioko katika makundi maalumu wanaosoma katika chuo hicho ili kuwawezesha watanzania wengi kutimiza ndoto zao za kuhitimu elimu ya juu
ili kutimiza adhima hiyo desemba nane mwaka huu chuo hicho UNK mfuko maalumu wenye lengo la kutoa udhamini kwa wanafunzi wasiokuwa na uwezo ambapo watu mbalimbali watachangia ili kuongeza kiwango cha pesa mbali na kilichotengwa na uongozi wa st
john
hayo yalisemwa jana dar es salaam na mkurugenzi wa maendeleo na mipango wa st
john bwana UNK benedict alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya mpango huo wa kuwasaidia wanafunzi wanaosoma katika chuo hicho
kama mnavyojua gharama za masomo kwa wanafunzi wa elimu ya juu limekuwa ni suala gumu kiasi mpaka sasa serikali imekuwa ikijitahidi kadri ya uwezo wake lakini haiwezi kumudu kuwasapoti watanzania wote lakini tumedhamiria kutoa ushirikiano kwa serikali kwa kuanzisha mfuko huu wa ufadhili kwa wanafunzi
mfuko huu wa ufadhili utalenga kuwasaidia wanafunzi wanaosoma katika chuo chetu walioko katika makundi maalumu ya walemavu maskini wa kipato wale wanaotoka katika jamii zilizoko nyuma ki elimu na wanawake ili kuleta usawa wa kijinsia alisema bwana benedict
bwana benedict alisisitiza kuwa watanzania mbalimbali wanapaswa kuwa wadau wa elimu wanapaswa kuziba mwanya UNK na serikali katika kudhamini wanafunzi hivyo UNK kujitokeza kuchangia katika mfuko huo kama wanavyofanya katika masuala mengine ya kijamii
kwa upande wake afisa habari wa chuo hicho bwana karim meshack alisema wameamua kuanzisha mfuko huo wa udhamini kwa wanafunzi baada ya kugundua kuwa wanafunzi kati ya asilimia tano kumi wanashindwa kumaliza masomo yao chuoni hapo kwa kukosa karo
kama chuo tayari tumeweka fungu kwa ajili ya mfuko huo kwa sababu hauwezi kuomba msaada wa kuchangiwa bila kuwa na kiasi fulani
tunategemea mfuko huu uanze kufanya kazi januari mwakani alisema bwana meshack
hafla ya uchangiaji na uzinduzi wa mfuko huo inayotarajiwa kuhudhuriwa na watu mbalimbali itafanyika mkoani dodoma ambako ndiko yaliko makao makuu ya chuo hicho
serikali imepanga kuhamishia huduma za mfuko wa afya ya jamii na ule wa utaratibu wa tiba kwa kadi kuwa chini ya mfuko wa bima ya afya nhif katika bajeti ya mwaka ujao wa fedha ili kuimarisha mifuko hiyo na kuiwezesha kuhudumia watu wengi kwa ufanisi
mganga mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii daktari deo mtasiwa aliyasema hayo dar es salaam jana wakati akizungumza na ujumbe wa watu kumi na moja wakiwemo mawaziri wabunge wakurugenzi wa idara ya fedha uchumi mipango na sheria kutoka uganda
daktari mtasiwa alisema kuwa lengo ujumbe huo ambao unaongozwa na waziri wa afya wa uganda daktari UNK richard ni kujifunza kwa tanzania jinsi gani UNK bima ya afya nchini mwao
alisema kuwa mwaka ishirini sifuri moja mfuko wa afya ya jamii ambao kwa sasa huko chini ya wizara ya afya na ustawi wa jamii ulianzishwa ili kutoa huduma ya afya hasa vijijini ambapo ule wa tiba kwa kadi ulianzishwa mijini ambako kuna mwingiliano wa watu wengi
alisema tatizo kubwa ambalo UNK mifuko hiyo ni usimamiaji usiokuwa imara na tatizo la upatikanaji wa dawa ambapo wananchama walikuwa wakienda hospitali lakini hawapati huduma UNK na michango yao
lakini kwa sasa matatizo hayo UNK ila tatizo lingine lililopo ni juu ya ongezeko kubwa la wanachama wapya ukilinganisha na kasi ya utoaji huduma alisema
alisema kuwa lengo la serikali ni kuhakikisha kwamba kila mtu anajiunga na mfuko huo na kwamba wataweka utaratibu kwa wazee na watu wasiojiweza kifedha kupatiwa kadi za kutibiwa bure
akizungumzia ujumbe huo wa uganda daktari mtasiwa alisema kuwa aliueleza namna ambavyo tanzania ilianzisha mfuko huo changamoto walizokabiliana nazo na jinsi ambavyo na wao wanatakiwa kukabiliana nazo pindi UNK
daktari mtasiwa aliwashauri pia kuangalia ni jinsi gani UNK kiwango ambacho kila mwananchi ataweza UNK
daktari richard alisema kuwa wizara yake ina mchakato wa kuanzisha bima ya afya na tayari UNK muswada wa sheria bungeni mwaka ishirini sifuri sita wa kutaka kuanzishwa kwa mfuko huo na wanatarajia sheria hiyo kuanza kazi mwakani
alisema kuwa yeye na ujumbe wake umekuja tanzania kwa lengo la kujifunza namna ya kufanya mchakato wa kuanzisha mfuko wa bima ya afya nchini mwao ili watakaporudi waweze kuhamasisha wananchi na kuishauri serikali namna ya kuanzisha mfuko huo
nchi zinazozunguka bonde la mto nile zinatarajia kuadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwa ushirikiano baina yake desemba sita hadi nane mwaka huu ili kujadili mafanikio na changamoto wanazokabiliana nazo
maadhimisho hayo yatafunguliwa na UNK wa rais daktari ali mohamed shein jijini dar es salaam na baada ya hapo majadiliano ya jumla ya jumla juu matumizi ya bonde hilo kwa ajili ya nishati kilimo na rasilimali za maji UNK
nchi UNK kwenye ushirikiano huo ni kenya ethiopia UNK burundi uganda drc djibout na tanzania UNK maadhimisho hayo
katibu mkuu wa wizara ya maji na umwagiliaji bwana christopher sai alisema jana kuwa kuwa watu hamsini sifuri wakiwamo mawaziri wa maji watalaamu mashirika ya umma binafsi na mabalozi kutoka nchi mbalimbali watashiriki
alisema majadiliano hayo UNK na watalaamu wa kimataifa waliobobea katika masuala ya rasilimali za maji ili yaweze kutumika kwa usawa bila ya nchi moja kuona ina UNK zaidi ya kutumia zaidi ya nyingine
ushirikiano wa nchi za bonde la mto nile ulianzishwa dar es salaam february ishirini na mbili elfu moja na mia tisa na tisini na tisa na sasa umetimiza miaka kumi mwaka huu ambapo kwa sasa kupitia maadhimisho haya tutakuwa na fursa nzuri ya kujadili na kuleta mahusiano mazuri zaidi katika utumiaji wa maji hayo tofauti na ilivyokuwa huko nyuma alisema bwana UNK
akifafanua zaidi alisema majadiliano hayo UNK katika kupanga njia za matumizi ya maji hayo kwa usawa uanzishaji wa miradi ya pamoja utunzaji wa mazingira na vyanzo vya UNK hilo
alisema mto nile ni wa pili kwa urefu duniani baada ya amazon wa america kusini ukiwa na urefu wa kilomita sita sabini sifuri watu milioni mia moja na sitini hutegemea maji yake kwa jili ya kilimo nishati kunywa na matumizi mbalimbali
bwana sai alisema tanzania kwa sasa inatarajia kutumia maji ya mto nile kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji ukiachilia mbali mradi wa maji ya ziwa victoria ili kuongeza uzalishaji katika kilimo
zikiwa zimesalia siku ishirini na nane kabla ya muda wa usajili wa namba za simu za mkononi kumalizika imefahamika kuwa simu zilizosajiliwa zimefikia milioni tano kati ya milioni kumi na tano na kufanya zile ambazo bado kuwa milioni kumi mkurugenzi mkuu mamlaka ya mawasiliano nchini professa john nkoma alibainisha hayo dar es salaam jana alipozungumza na waandishi wa habari kuelezea maandalizi ya mkutano wa tisa wa wadau wa sekta ya utangazaji nchini unaotarajia kufanyika desemba nne mwaka huu
professa nkoma alisema mpaka sasa namba zilizosajiliwa na kuingizwa katika mtandao ni milioni tano na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuongezeka baada ya namba zote zilizosajiliwa kuingizwa kwenye mtandao
shughuli ya kusajili namba hizo inafungwa mwishoni mwa mwezi huu baada ya kudumu kwa miezi sita na baada ya hapo namna zote ambazo zitakuwa hazijasajiliwa zitafungwa huku kila atakayekuwa ananunua laini mpya atalazimika kusajili papo hapo
kuhusu mkutano wa wadau wa sekta ya utangazaji profesa nkoma alisema utajadili makakati wa kuhama kutoka katika mfumo wa UNK kwenda dijitali ambapo wadau mbalimbali watapata fursa ya kutoa mchango wao UNK kufanikisha azma hiyo
mkutano kama huu wa kila mwaka umekuwa UNK wamiliki na viongozi waandamizi kutoka vituo vya televisheni na redio hapa nchini na kualika wataalamu kutoka nje kuelezea uzoefu walionao alisema
professa nkoma alisema baada ya kutangaza zabuni ya kurusha matangazo katika mfumo wa dijitali kampuni tatu zimeshinda zabuni hiyo ambapo kampuni moja wapo itapatiwa leseni ya kuanza kurusha matangazo hayo baada ya mchakato kukamilika
alizitaja kampuni hizo kuwa ni star media yenye ubia na shirika la utangazaji tanzania na star communication basic transmission ltd yenye ubia na kampuni za ipp media sahara communication na kampuni ya agape associates yenye ubia na kampuni nyingine mbalimbali
mfumo wa matangazo kwa njia ya digitali unalenga kuboresha programu na masafa ya utangazaji ambapo mpaka kufikia juni kumi na sita mwaka ishirini moja tano matangazo yote ya redio na televisheni UNK kwa mfumo huo kupitia kampuni moja itakayopewa dhamana hiyo
wakati huo huo tcra imebaini kuwepo kwa kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano kupitia mtandao wa UNK bila kibali cha mamlaka hiyo katika wilaya ya loliondo na kuahidi kuchukua hatua za kisheria pale uchunguzi utakapokamilika
hata hivyo hakuitaja kampuni hiyo kwa madai kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya utangazaji kwa kuwa uchunguzi bado unaendelea
wakati baadhi ya wakazi wa mpwapwa dodoma waishio dar es salaam wamemtaka mbunge wa jimbo hilo bwana george lubeleje kutogombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa ishirini moja sifuri kwa madai ameshindwa kuleta maendeleo katika kipindi cha miaka ishirini yeye amesema hayo ni mawazo yao na mchezo wa siasa
wakizungumza na majira dar es salaam juzi mwenyekiti wa umoja huo bwana jeremia chakwe amesema azimio hilo UNK hivi karibuni katika kikao chao kilichofanyika manzese tip top dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mia mbili na hamsini bwana chakwe alisema katika kipindi cha miaka ishirini bwana lubeleje akiwa mbunge wa jimbo hilo ameshindwa kuleta maendeleo kwa wapiga kura ambao walimchagua wakiwa na imani kuwa angeweza kumaliza matatizo yao ya msingi na kuharakisha maendeleo katika jimbo hilo madai ambayo UNK mbali na mbunge huyo akisema kuna maendeleo makubwa jimboni humo
akizungumza na majira kwa simu jana bwana lubeleje alisema kikundi cha watu wachache hakina uwezo wa kumshawishi asigombee tena nafasi hiyo kutokana na ukweli kwamba jimbo hilo limepiga hatua kubwa ya maendeleo tofauti na madai yanayotolewa na umoja huo
hiki ni kipindi kigumu kwa wanasiasa hasa waliofanya mambo makubwa ya maendeleo katika majimbo yao ya uchaguzi jimbo langu la mpwapwa lina zaidi ya wakazi sitini sifuri sifuri sifuri ambao wamekuwa wakiongezeka siku hadi siku lakini bado nimefanikiwa kumaliza kero za wananchi wengi wa jimbo langu alisema bwana lubeleje
alisema mbali ya changamoto hizo za kisiasa suala zima la miundombinu ya barabara jimboni maji afya na sekta elimu UNK na kuimarishwa zaidi ambapo jimbo hilo lina jumla ya shule za sekondari ishirini na sita anaongeza kuwa ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi kugombea ubunge katika jimbo analotaka ambapo wapiga kura ndio uamuzi wa kumchagua kiongozi wanayemtaka
bwana lubeleje aliongeza kuwa hivi sasa kuna mradi mkubwa wa maji uliopo mpwapwa mjini UNK shilingi bilioni nne saba ambao utekelezwaji wake umekamilika kwa asilimia sabini na unatarajiwa kukamilika aprili ishirini moja sifuri mradi huo unafadhiliwa na shirika moja la ufaransa kutokana na juhudi zake pamoja na serikali
maelezo hayo ya bwana lubeleje yanaonekana si lolote kwa bwana chakwe anayasema wapiga kura katika jimbo la mpwapwa wameanza kuichukia ccm kwa sababu mbunge wake ameshindwa kutatua kero zao kama kuboresha miundombinu ya barabara huduma bora za afya katika hospitali za kata umeme na maji ambayo ni tatizo la muda mrefu linalokwamisha ustawi wa maendeleo ya wananchi alisema bwana UNK
alisema ili imani ya wapiga kura iweze kurudi kwa chama hicho na jimbo hilo kuendelea kushikiliwa na ccm bwana lubeleje anapaswa kutumia UNK kutangaza kutogombea katika uchaguzi mkuu ujao ili kupisha wagombea wengine wenye nia na uwezo wa kutatua kero za wananchi katika kipindi kifupi
alisema tamko la umoja huo UNK malalamiko ya wananchi wa jimbo hilo dhidi ya mbunge wao kwa madai ya kushindwa kutatua kero za msingi na kumtaka aige mfano wa mbunge wa dodoma mjini bwana ephraim madeje ambaye ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo
nchi za afrika zimetakiwa kuwa na msimamo mmoja kabla ya kufanyika kwa mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi copenhagen denmark wiki mbili zijazo ili kuzibana nchi tajiri UNK hali ya hewa
kauli hiyo ilitolewa dar es salaam jana na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais daktari batilda burian wakati akifungua mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi dar es salaam
alisema kuwa nchi za afrika zinatakiwa ziwe na msimamo mmoja ili ziweze kubana nchi tajiri zinazozalisha hewa ya ukaa kabla ya mkutano mkutano huo
ili kukabilina na hali hii ya mabadiliko ya tabia nchi wananchi pamoja na jamii wanatakiwa kutunza mazingira kwa kupanda miti na kuacha UNK mifugo mingi kupita kiasi katika eneo alisema daktari burian
alisema kuwa tayari serikali imeshapokea dola za marekani milioni tatu tano kwa ajili ya kujenga ukuta wa mto pangani na wakazi wa pwani walioathiriwa na maji ya chumvi yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi
pia alisema wamepokea dola za marekani milioni tatu kutoka japani kusaidia meneo ya longido pwani na njombe kukabilina na tatizo hilo
alisema euro UNK
mbili mbili zitasaidia kujenga vituo katika vijiji sita tanzania bara na visiwani ili wananchi waweze kupatiwa elimu jinsi ya kutunza mazingira na kukabiliana na tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa
serikali imetoa onyo kali kwa wakazi na wafanyabiashara katika eneo la wilaya ya ilala wanaoendelea kukiuka sheria na taratibu za utunzaji wa mazingira kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao
uamuzi huo wa kuwachukulia hatua kali za kisheria umefikiwa baada ya kipindi cha elimu ya utunzaji wa mazingira kuisha huku kukiwa hakuna mabadiliko ya kuridhisha hata katikati ya jiji la dar es salaam
mkuu wa wilaya ya ilala bwana evans balama alivieleza vyombo vya habari hatua zinazochukuliwa na serikali ya wilaya yake kuzuia uchafuzi wa mandhari ya mji na kujikinga na ugonjwa hatari wa kipindupindu
wananchi waache tabia ya uchafu tabia ya kula au kunywa vitu na kutupa tupa ovyo watu wanakula maembe machungwa ndizi miwa na kisha wanatupa barabarani wengine wanauza vyakula sehemu ambazo hazijathibitishwa na wataalamu wa afya tunawataka kuanzia sasa wafuate taratibu za manispaa ya ilala
tumetoa elimu vya kutosha UNK waache mazoea hayo UNK kuwa watasikia sasa muda huo umekwisha wote wanaokiuka tutawafikisha mbele ya sheria tumewasikia wakitamba na kuidharau serikali kuwa haitafanya jambo lolote kwa kuwa wamezoea kusikia ikisema bila kuchukua hatua alisema bwana balama
bwana balama alisema kuwa hatua hizo za kisheria pia UNK watumishi wazembe wa manispaa ya ilala ambao kwa namna moja au nyingine wamekuwa chanzo cha kuendelea kwa uchafuzi wa mazingira ya mji
alisema anao ushahidi jinsi wafanyakazi wa manispaa hiyo UNK katika kuvunja kanuni za usafi na kuwaruhusu wafanyabiashara kuendelea kufanya shughuli zao katika maeneo yasiyoruhusiwa hivyo amewataka kuacha mara moja na kuwataka kila mmoja atimize majukumu yake kadri atakavyokuwa UNK
nimezungumza leo asubuhi na wenzetu wa manispaa kwa kweli tumeazimia kuwa kila mmoja UNK sehemu ya kufanyia kazi ili UNK sehemu hiyo ni chafu na hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa basi mtumishi huyo anapaswa kuwajibika
akizungumzia hatari ya mvua za el nino alisema pia nitumie fursa hii kuwakumbusha wale wenzetu wanaokaa mabondeni kama jangwani na wale UNK kandokando ya mifereji kuhama mara moja ili kujiepusha na athari zinazoweza kujitokeza pindi mvua kubwa UNK kunyesha
sakata la wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania la kudai mshahara wao wa mwezi novemba mwaka huu limefikia hatua ya kutangazwa mgomo nchini nzima sambamba na kusitisha huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo
mgomo huo ambao UNK kutangazwa jana ulitokana na kauli ya mkurugenzi mtendaji wa trl bwana hundi al UNK kwa katibu wa chama cha wafanyakazi wa reli bwana UNK rwegasira kuwa hana matarajio ya kuwalipa mshahara wao jana
kutokana na kauli hiyo bwana rwegasira aliwaeleza wafanyakazi ambao walipendekeza mkurugenzi huyo afunge virago na kuondoka kuelekea kwa watetezi wake waliotajwa ni wizara ya miundombinu
ujumbe huo uliporejeshwa kwake aliupokea lakini akaomba usalama wa menejimenti yake na magari yao matano wakati wa kutoka ndani ya ofisi zao baada ya juzi magari hayo kutolewa upepo na wafanyakazi
baada ya maelezo hayo shangwe vigelegele na nyimbo zilitawala kwa kwa wafanyakazi ambao walijipanga mistari miwili kutoka ofisi hizo hadi barabara ya stesheni mtaa wa algeria UNK
mbwembwe za wafanyakazi hao ziliendelea kwa kuyapamba magari kwa matawi ya miti na karatasi za zawadi na kuwekewa msalaba mkubwa ulioandikwa ulizaliwa ishirini sifuri saba kufariki ishirini sifuri tisa na utazikwa leo miundombinu au kesho india muda mfupi kabla ya safari kuanza huku kukiwa UNK mchango wa kununuliwa kufuli za kufunga mageti ghafla kamanda wa polisi kikosi cha reli bibi ruth makelemo alifika na kundi la askari na kuzuia msafara huo na kuwataka viongozi hao wa trl kurejea ofisini kwa maelezo zaidi
bibi ruth aliwakutanisha trawu na menejimenti ya trl na kuelezwa kilichojiri hadi kufikia uamuzi huo ambao hakukubaliana nao na kusema ni kinyume cha sheria kuwaondoa bila kibali chochote kutoka wizarani
alisema kuwa moja ya matatizo ambayo yangetokea kwa wakati huo ni mengi yakiwemo usalama duni kupotea kwa nyaraka za kampuni kukiuka sheria za mkataba na hata yeye asingepata cha kueleza kama kamanda wa reli
viongozi wa trawu walianza kujibizana na kamanda huyo na yeye akatishia kutumia dola kuwatawanya ndipo bwana rwegasira alipotangaza rasmi mgomo nchi nzima huku akimpa masharti likiwamo la kufuatilia mishahara yao hadi UNK benki kuunganisha mabehewa na vichwa vyake ulinzi wa mali za kampuni kuhakikisha mkono wa heri kwa wafanyakazi UNK
pia walimtaka kamanda huyo ambaye alizomewa na kuambiwa amepewa rushwa kuwatangazia kupitia vyombo vya habari kuwa mkataba umevunjwa ndipo watakaporejea kazini
baada ya hapo bwana rwegasira aliwasiliana na vituo vyote vya treni nchini kusitisha huduma ya usafiri hapo hapo walipo ikiwemo treni UNK dar es salaam juzi saa kumi na moja jioni kwenda kigoma ambayo UNK kituo cha manyoni
na grace michael upelelezi wa kesi inayomkabili mkurugenzi wa kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya richmond tanzania bwana naeem gire ya kutoa taarifa za uongo kuhusiana na kampuni hiyo bado haujakamilika
hatua hiyo ilijulikana jana mahakama ya hakimu mkazi mbele ya hakimu mkazi bibi warialwande lema wakati kesi hiyo UNK