text
stringlengths
0
1.31k
akizungumzia tukio hilo jana kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam bwana UNK kova alisema lilitokea machi tano mwaka huu saa tatu usiku eneo la tabata UNK jijini
alisema baada ya kutokea tukio hilo polisi walifanikiwa kumkamata dereva wa gari namba stk hamsini mbili bwana ally ramadhani ambaye anasadikiwa kushirikiana na majambazi hayo
tulimkamata dereva ambaye baada ya kubanwa aliwataja majambazi hao na hatimaye kufanikiwa kuwakamata baadhi kwani wengine wamekimbia pamoja na gari hiyo siku ya tukio alisema
alisema sababu za kumkamata dereva huyo ilitokana na mazingira ya tukio kwani alitakiwa kulaza gari hilo eneo salama badala yake aliamua kulaza tabata ambapo muda mfupi baadaye majambazi yaliyokuwa na silaha yalitokea na kuondoka na gari hiyo
kamanda huyo alisema kukamatwa kwake kulisaidia kufanyika msako ambao UNK kupatikana kwa kompyuta hizo ambazo zitakabidhiwa kwa dpp baada ya kesi kumalizika
gari bado haijapatikana hadi sasa
aliongeza kuwa majambazi hayo ni sugu lakini watano kazi yao ni kuiba na kisha kupeleka kwa wenzao watatu ambao kazi yao ni kupokea mizigo ya wizi
alitumia nafasi hiyo kutoa ufafanuzi kuwa kompyuta zilizoibiwa haina maana kwamba ni zile ambazo zinatumiwa na dpp bali ni nyingine mpya ambazo zilikuwa UNK UNK
hata hivyo alisema kitendo cha dereva huyo kupaki gari katika maeneo yasiyokuwa salama ni makosa kwani alishauriwa kuweka eneo lolote la polisi
mpango wa utafiti na elimu ya demokrasia umesema kupanda kwa gharama za maisha huduma mbaya za jamii rushwa viongozi wabovu ufisadi ukosefu wa ajira kudorora kwa kilimo na mikataba mibovu ndiyo mambo yanayokwamisha utendaji wa rais jakaya kikwete
hata hivyo utafiti huo ulibainisha kuwa watanzania wengi waliohojiwa wanaonekana kuwa na imani na rais kikwete kuliko baraza lake la mawaziri na chama chake cha ccm mtafiti mkuu wa redet daktari UNK kiliani na makamu mwenyekiti wa mpango huo daktari benson bana waliwaambia waandishi wa habari dar es salaam jana kuwa matokeo hayo ya utafiti wa novemba ishirini sifuri nane yalijumuisha mikoa yote ya tanzania kwa kuchagua wilaya moja kila mkoa na watu hamsini daktari kiliani alisema kati ya waliohojiwa asilimia thebathini na tisa tano walisema wanaridhika sana na utendaji wa rais kikwete asilimia thebathini na tisa sifuri wanaridhika kiasi huku asilimia kumi na tisa tatu wakisema hawaridhiki na utendaji
alisema takwimu hizo UNK na utafiti wa oktoba ishirini sifuri sita na oktoba ishirini sifuri saba kutathimini uongozi wa rais kikwete tangu aingie madarakani ni kwamba asilimia ya wanaosema wanaridhika sana na utendaji wake inapungua kutoka sitini na saba mwaka ishirini sifuri sita hadi arobaini na nne mwaka ishirini sifuri saba kufikia thebathini na tisa tano utafiti huo unabainisha kuwa sababu zilizotolewa na watu ambao hawaridhiki na utendaji wa rais ni kushindwa kwake kuboresha maisha kuchagua viongozi wasiofaa kushindwa kupambana na rushwa na utafiti ulifanywa kipindi vigogo wakipelekwa kortini kwa tuhuma za wizi wa fedha za epa daktari kiliani alisema wahojiwa wengi waliotoa tathmini yao ya utendaji kazi wa serikali na baadhi ya taasisi zake kiwango cha kuridhika sana kilikuwa chini ya asilimia arobaini kwa kila asasi iliyokuwa kwenye orodha
katika orodha hiyo bunge liliibuka kidedea kwa asilimia serikali za mitaa jeshi la polisi mahakama baraza la mawaziri na taasisi ya kupambana na kudhibiti rushwa UNK mkia kwa kuambulia asilimia kumi na tatu nne tu
alibainisha kuwa watu wengi bado hawaridhiki na jinsi serikali ya rais kikwete inavyoshughulikia matatizo kama migomo ya wanafunzi vyuo vikuu migomo ya walimu suala la epa na sakata la oic katika suala la imani kwa viongozi wa serikali rais kikwete aliongoza kwa kuwa na asilimia hamsini tatu akifuatiwa na waziri mkuu bwana mizengo pinda hamsini na nne sita makamu wa rais daktari ali shein arobaini na nane tano mkuu wa mkoa husika thebathini na sita tatu na mbunge kwenya jimbo thebathini na mbili mbili
kuhusu utendaji wa rais amani karume na serikali yake visiwani zanzibar utafiti unasema kuwa ingawa katika matokeo ya mwaka ishirini sifuri sita ishirini sifuri saba alionekana kushuka katika matokeo ya ishirini sifuri nane amepanda kidogo kutoka asilimia thebathini na tano tano hadi arobaini na nne na joyce ngowi serikali itapiga mnada tani mia mbili na tisini na sita za samaki waliokamatwa katika meli ya mv tawariq iliyokuwa ikivua kinyume cha sheria ndani ya bahari ya hindi eneo la tanzania
fedha zitakazopatikana zitawekwa katika akaunti maalum kama UNK cha kesi hiyo inayoendelea ikihusisha meli hiyo ya kigeni
akizungumza jana dar es salaam mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya udalali ya yono iliyopewa tenda na wizara ya maendelea ya mifugo na uvuvi bibi scholastica kevela alisema samaki hao UNK mnada mei mbili mwaka huu
baada ya kukamatwa meli hiyo haramu serikali yetu iliamua kuwahifadhi samaki hao kampuni ya bahari foods ltd ili kusubiri maamuzi ya mahakama na kuamua kutafuta kampuni UNK kwa mnada ili UNK alisema bibi UNK na kuongeza fedha zitakazopatikana katika mnada huo zitahifadhiwa kwenye akaunti maalum kama kidhibiti cha kesi hiyo
sasa tunafanya tathimini ya samaki hao baada ya kuteua kamati inayoshughulikia mnada huo
alisema wameanza utaratibu wa kuwasiliana na wafanyabiashara mbalimbali ambao UNK na kuwauza kwa wafanyabiashara wadogo wadogo
akizungumzia hali za samaki hao alisema hadi sasa wapo katika hali nzuri kwani wamehifadhiwa katika sehemu maalum
na edmund mihale uongozi wa kampuni ya development enterpreneurship for community intiative umesema utaanza kurudisha mbegu baada ya zoezi la kuorodhesha na kuhakiki wanashiriki wanaostahili kulipwa UNK
UNK na gazeti hili jana mkurugenzi mtendaji wa deci bwana timoth ole loitinnggye alisema kutokana na muda waliopewa na serikali kuwa mfupi watajitahidi kusimamia zoezi hilo kwa umakini zaidi na kwa muda mfupi
unajua nguvu ya kuivunja deci ilikuwa kubwa mno nasi hatukuwa tumejipanga vizuri
naweza kusema kuwa tunatekeleza masharti tuliyopewa na serikali kuorodhesha washiriki na tukimaliza nadhani tutaanza kurudisha mbegu alisema bwana ole loitinnggye
alisema kwa sasa serikali imewataka kuhakiki wanachama wanaotakiwa kurudishiwa mbegu zao ndipo itoe utaratibu wa kufanya
ratiba iliyotolewa na uongozi wa kampuni hiyo inaonesha siku na tarehe ya kuandikishwa kwa washiriki wanaotakiwa kunggoa mbegu unatarajia kumalizika juni mwaka huu
mkurugenzi huyo amewataka washiriki hao kuheshimu utaratibu uliowekwa na kampuni hiyo hadi hapo serikali itakapotoa utaratibu mwingine
majira lilishuhudia mamia ya washiriki hao wakiwa katika ofisi za kampuni hiyo huku wakiwa katika mijadala UNK
wengi wakihoji ukimya wa viongozi wa kampuni hiyo
hata hivyo makundi hayo yalianza kutawanyika baada ya mhudumu ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja katika ofisi za deci makao makuu mabibo kuwatangazia washiriki waliokuwa wakiendelea kumiminika kuwa hawatatoa malipo kwani bado serikali inashikilia akaunti zao
hatutoi malipo kwa sasa na UNK tunaanza kulipa lini kwani fedha zote UNK na serikali hadi shughuli zote za kujiorodhesha zitakapomalizika na tutawatangazia siku ya kulipwa kama tutakuwa tumepewa fedha zetu zilizozuiliwa alisema mhudumu huyo
baadhi ya washiriki waliozungumza na majira tayari wamekata tamaa kurudishiwa mbegu zao kwani awali uongozi ulitangaza kuwarudishia kuanzia aprili ishirini na tano mwaka huu na baadaye kubadilishwa
wamedai kuwa baada ya hapo uongozi ulidai kuwa ungeanza kuwalipa baada ya wiki mbili jambo ambalo wamedai kuwa lina mpango wa UNK ili UNK
hivi karibuni benki kuu ya tanzania ilitoa tangazo na kutoitambua kampuni hiyo na kuwahadharisha wananchi kutojihusisha na kampuni hiyo kutokana na kuendesha shughuli zake kinyume cha sheria
na reuben kagaruki biharamulo mazishi ya marehemu phares kabuye aliyefariki kwa ajali ya gari april ishirini na nne mwaka huu mkoani morogoro akiwa njiani kwenda kuhudhuria mkutano mkuu wa taifa yalifanyika jana kijijini kwao UNK mkoa wa kagera
mwili wa marehemu uliwasili juzi jioni kwa ndege ya kukodi na kupokelewa na umati mkubwa uliojitokeza uwanja wa ndege kutoka wilayani hapo na kusindikizwa na viongozi wa taifa wa tlp ukiongozwa na mwenyekiti wao bwana mrema marehemu kabuye ameacha wajane wawili watoto sita na wajukuu watano
ibada ya UNK nyumbani kwa marehemu kabuye ikiongozwa na mchungaji elias UNK wa kanisa la UNK
miongoni wa viongozi wa serikali na vyama vya siasa waliohudhuria mazishi ni bwana augustino mrema wa tlp mbunge wa karagwe bwana UNK UNK mwenyekiti wa chadema bwana freeman mbowe na viongozi wenzake zaidi ya thebathini waliomo mkoani kagera wakiendesha oporesheni sangara
viongozi UNK i waliohudhuria ni pamoja na mbunge wa chato ambaye pia ni waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi bwana john magufuli mkuu wa wilaya ya biharamulo bwana ernest UNK
akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya serikali bwana magufuli alisema kabuye alikuwa mchapa kazi na ameacha pengo kubwa bwana magufuli alitoa salaamu za rambirambi UNK na rais kikwete na kukabidhi familia ya marehemu shilingi laki tano alizotoa mwenyewe mfukoni kwake
na edson kamukara serikali imejipanga kudhibiti kwa kufuatilia mienendo ya wasafiri katika viwanja vya ndege na mipakani ili kuzuia kuingia nchini ugonjwa wa mafua ya nguruwe
msemaji wa wizara ya afya na ustawi wa jamii bwana nsachris mwamwaja aliwaambia waandishi wa habari dar es salaam jana kuwa ugonjwa huo huambukizwa kwa njia ya hewa kwa nguruwe na kirusi kiitwacho UNK a UNK
alisema ugonjwa huo mbali na kuambukizwa kwa nguruwe kwa nguruwe vilevile unaweza kuambukizwa baina ya binadamu au binadamu kwa nguruwe
alizitaja dalili za ugonjwa huo kuwa kwa binadamu ni sawa na dalili za mafua ya kawaida pamoja na homa kukohoa maumivu ya koo kukosa hamu ya chakula maumivu ya mwili kuumwa kichwa UNK baridi na mwili kuchoka
kwa nguruwe alisema dalili zake ni homa ya ghafla UNK kuzubaa kukohoa mafua kupiga chafya kupumua kwa shida macho kuwa mekundu na kugoma kula
bwana mwamwaja alisema ili kujikinga na ugonjwa wananchi wanapaswa kunawa mikono vizuri kwa sabuni na maji mara kwa mara kutokuwa karibu na watu UNK kuwa na dalili kuzui midomo na pua kwa UNK wakati wa kukohoa au kupiga UNK
alisema katika kujiandaa kukabiliana na ugonjwa huo serikali ina vifaa vya kutosha kwa makundi maalum ambayo yatahusika kwa karibu iwapo UNK UNK nchini
alisema kuwa kwa sasa ugonjwa wa mafua ya nguruwe unatibika na kuzuilika kwa dawa ya aina ya tamiflu au UNK na hakuna chanjo kwa binadamu
ugonjwa huo UNK tena machi mwaka huu na hadi sasa nchi nane ambazo ni mexico marekani canada UNK hispania ufaransa israel na brazil zimeripotiwa kuwa na mambukizi
adai tatizo ni kuyumba utawala wa jk
amtaka mkapa UNK kwa watanzania na said mwishehe kauli ya mwenyekiti wa kampuni za ipp bwana reginald mengi kutaja majina ya mafisadi papa imezidi kuwasha moto baada ya mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahim lipumba kumvaa akidai anajipendekeza kwa rais jakaya kikwete kwa bei rahisi
UNK
lipumba alidai mbali ya kujipendekeza anapanda mbegu ya ubaguzi kwa watanzania
majina ya mafisadi papa waliotajwa wote wana asili ya kiasia huku
kauli ya profesa lipumba imekuja siku moja baada ya waziri wa nchi ofisi ya rais bibi sofia simba na waziri wa habari utamaduni na michezo bwana george mkuchika kupinga hatua hiyo ya bwana mengi na kudai amechemsha
profesa lipumba alisema jijini dar es salaam jana kuwa kauli ya bwana mengi haisaidii vita dhidi ya rushwa bali inadhoofisha na kupoteza malengo ya mapambano ya uovu huo
bwana mengi ametoa kauli anayodai anamuunga mkono rais kikwete katika vita anayoiongoza ya kupambana na ufisadi
amedai mafisadi wapo kumi kati ya hayo mafisadi papa ni watano ambapo wakishughulikiwa ufisadi utamalizika
bwana mengi anadai watumishi wa serikali UNK au kulazimishwa na mafisadi wakubwa mfumo wa maamuzi na watendaji serikalini siyo tatizo la msingi la ufisadi
sidhani kama kweli hiyo ndiyo sababu ya kuwepo kwa ufisadi alisema profesa lipumba
aliongeza bwana mengi hapambani na ufisadi kama anavyodai bali UNK malengo ya mapambano hayo
tatizo la ufisadi linasababishwa na ukosefu wa uongozi imara wa rais jakaya kikwete
sioni kama bwana mengi amefanya ujasiri wowote hapa kama ana ushahidi mzuri kuhusu mafisadi alipaswa kuwasiliana na vyombo husika pamoja na takukuru ili waweze kushughulikiwa
jambo la busara ilikuwa kuchukua ushahidi alionao na kuupeleka kwa rais
kama rais UNK ushahidi huo ndipo UNK na kueleza umma alidai profesa lipumba
profesa lipumba alidai bwana mengi anacheza karata ya ubaguzi wa rangi
kwa kutaja majina hayo anataka kuufanya umma wa watanzania uamini tatizo la ufisadi limeletwa na wahindi wachache