text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
Nachukia saaaana abia za watu kuwanyonya masikini na kujirundikia mali wao wenyewe
[2]
Barbarossa alituma agizo lililomhitaji Milan atoe madai yake, lakini Milanese aligonga waraka huo, na balozi huyo wa kifalme akakimbia umati wa watu waliokasirika.
[2]
Nchi haiwezi kujengwa kwa kodi za kukata kwenye vocha za simu. Mtu ananunua vocha ya sh 500 anakatwa kodi, ni upuuzi.
[4]
Nilitazama kwa masikitiko wakati wakigonga sakafu na kupigwa na vumbi
[3, 6]
Gasper aliondoka mara moja, wakati mkewe akiomboleza, na kijana alilia.
[3]
mnakaa mnaangalia mtu anapigwa??
[5]
Furaha yangu haipo kwenye hao "jamaa" zangu kukosa Ubunge bali ipo kwenye kutambua kuwa Watanzania wametambua ukweli ya kwamba ma vyama haya ya Upinzani ni biashara na makampuni binafsi ya watu fulani.
[1]
asilimia mbili ya maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi yapo miongoni mwa vijana wenye umri kati ya miaka 15 na miaka 24.
[3]
Rafiki akasema: `Joan anafurahi. "
[1]
Kuna watu kila ukikutana nao wanaongelea mambo ya Corona na Vifo tu, utadhani hawana story nyingine, tunauana kwa mawazo
[4]
Kwa kuungua kule na makaa ya moto alilia na kukimbia kama mwehu
[3]
Kulikuwa na ishara ya kusimama?
[5]
hivi hao wafalme huwa wanafanya nini kila jumapili asubuhi ?
[2]
wewe?!kwa nii uniibie ?lazima nikupeleke jela ukajifunze !
[2]
Furaha yetu si pesa...Madaktari tuhudumie watanzania..
[4]
Anakuwa mchawi na muuaji. Mtu mwenye ubinadamu hawezi kusapoti matendo ya kiccm
[4]
Nini yake ?
[5]
kweli kabisa
[1]
Hovyo kabisa
[4]
Umekaa juu ya chereheni yangu na umevunja mashine yake sasa
[4]
Dah! Kwa hiyo hao wengine wamekaa gerezani miaka kumi hali ya kuwa hawana hatia!
[3]
Tulifurahiya sana, tukarudi kwenye Althorp Street, tukishangaa jinsi tunaweza kuvunja habari hiyo kwa Bi Sugden.
[1]
Msukuma huyu
[0]
bunge la mazimwi halina ata mvuto upuuzi tu kila mmoja analeta usanii
[2, 4]
Unajifanya una uchungu kuliko mama Janet na familia.Acha unafiki.Mungu anakuona.
[4]
Yule maza ni bonge la manipulator halafu ana mdomo
[4]
Bora mmwambie mwanaume mwenzenu..anatia aibu
[4]
Unamdanganya nani wewe?? Ukitaka mambo yaishe niambie ukweli tuu
[5]
Furaha Ya Wazazi Ni Watoto
[1]
Hadi anafia home kuna shida mahali
[0]
Kujitoa ufahamu hakujawahi kuwa solution ya Tatizo, mwambie Jamaa yako aache kujificha arudi mjini
[4]
Ni vilio vitupu
[3]
Hii Inafanya Akuone Wewe Ndo Tatizo Wakati Tatizo Ni Yeye..
[2, 4]
Nadhani kipindi hiki cha huzuni si vyema kumfollow Mh. Rais na kupost kashifa Watanzania tuna ustaarabu wetu nyakati za majonzi, muwe na aibu
[2, 3, 4]
Hivi hawa maaskari wengine wanasomea wapi kujichukulia sheria mkononi
[4]
Bwana Elia alisema jana: "Ni ndoto mbaya tuu.
[6]
Tuliyekua tunamtafuta tumempata
[0]
Nakubali, lakini nimeambiwa niweke Laki Tatu mezani (siko pekee yangu)....
[0]
Mungu muumba awajalie ustahimilivu na subira kutokana na majonzi mnayoyapitia.Pole Kwa familia, ndugu na marafiki.
[3]
Kwani mpaka aibu zenu za ndoa mziweke mtandaoni hapo umejidhalilisha mwenyewe mwanamke mwenzangu
[4]
Ivi kweli mtu anatembea na unform kwenye begi alafu anavua hazalani na anavaa nguo za kijeshi
[4, 5]
Ikiwa nitaelezea mipango yetu tofauti ya kulala kwa marafiki, watashtushwa.
[6]
Nina wasiwasi.
[6]
Pole sana changamoto ktk maisha ni kawaida ila mlipie kaka yako deni ili apumzike kwa amani
[3]
Hongera Sana wazir wetu umejitahidi sana kuelezea vizur historia ambayo kwa vijana kujenga uzalendo.
[1]
Nimefurahi kuhusu hiyo.
[1]
Alisikika akisikitishwa sana na David alijua alikuwa akikandamiza uchungu wake.
[3]
Hivi wanawezaje kutoa dawa inayoweza kupinguza makali alafu washindwe kutoa ya kumaliza kabisaaa.
[4, 5]
Wengi wa wanaopinga mambo anayofanya, ni watu primitive, washamba, wasiojua chochote kuusu uchumi wa kisasa.
[4]
hakuna la maana mnalofanya hapa zaidi ya kutetea matumbo yenu na ndio maana mnaleta upupu huu.
[2, 4]
jitaidini Sana kujifunza kuhusu haya tusitaman maisha yasiyo yetu kisa kupata pesa
[4]
Nina uhakika . Ni nini ?
[5]
uhakika, uko hapa tayari.
[1]
kama imeshuka bei inawezake kuongeza pato la serikari kutoka billion 170 Hadi bilioni 700 kwa mwaka?
[5]
Hello, mimi ni mpangaji mpya tutakuwa pamoja naitwa Anna
[1]
Moyo wangu ulikuwa unadunda kwa hofu niliyokuwa nayo.
[6]
Hata mimi imeniuma
[3]
Karibu kila mwezi inaonekana kana kwamba mzazi mmoja analalamikia upotezaji wa kijana wao aliyekufa kwa njia hii.
[3]
Alitabasamu mara nyingine tena, halafu watu wakasema amekufa.
[1, 5]
Je, ni sisi kwenda kufanya ? Siwezi kupata gari nje ya shimoni . Mimi nina kukwama !
[2]
Mtu amepigiliwa msumari, mwingine mkono unaoza, halafu unaropoka
[4]
hongera sana napenda maamuzi kama haya, huu ndio uongozi unaotakiwa
[1]
aliwatuma wawindaji wake wote, akasema: Piteni msitu wote, na msikate tamaa mpaka mtakapopata tatu zote.
[6]
Kufuatia hii kulikuwa na kusikitishwa sana kati ya kamati hiyo kwani ilionekana kuwa na tumaini dogo kwa siku zijazo.
[3]
Mashavu yake yalikuwa tayari yametoka kwa mchanganyiko wa joto na kufurahi, na hii ilikuwa imemwongezea uzuri mwingine wa ujana.
[1]
nina wasiwasi kuhusu huu mtihani wa mahojiano.
[6]
tena wapo na hotel moja????????????
[5]
Kisha akachukua, akaenda kwenye kaburi la mama yake na akapanda pale; akalia sana hata ikamwagiliwa na machozi yake.
[3]
Wapige hata lip nyumba zao jamani ni aibuu
[5]
Hiyo ni mbaya sana! Unapaswa kuwa nyumbani katika kitanda, ni muhimu kupumzika.
[5]
Nina hofu kuwa kuan kosa umefanya, sikutoa maagizo hayo mimi
[4]
Kama Ni Tuhuma Za Perormance Hazina Ukweli, Ila Kwa Hizo Za Rushwa Siwezi Kumtetea.
[4]
mpendwa ilikuwa furaha saaana!! Asante sana kwa ajili ya kufanya hivyo kutokea! Alikuwa na furaha na wanawake pia! Wakati ukaenda kwa haraka.
[1]
mimi ni mshindi wa tuzo ya kwanza katika mashindano ya mashairi .
[1]
Kumbe na wewe ubongo wako ni mdogo kama wa mamba!?,kuona watu kwenye foleni ndo unadhani watu wamekubaliana na chanjo!?,fanya research ndogo
[4]
Kiukweli BBC haina mvuto tena ni kama TBC
[4]
John , nilikueleza kuwa usivute dsigaa hapa,! Sitaki kukuona unavuta sigara katika ofisi yangu tena .
[2]
Hii ni sawa sawa na kusema kwenye msafara wa mamba hata mjusi yumo
[0]
Oh, ni mnyonge jinsi gani! "
[3]
unatania au unasema ukweli
[5]
Kila mtu anamwoneea huruma lakini hamna namna yya kumsaidia
[3]
Embu toka apa alokwambia usisome nani
[4, 5]
Barafu iliyomeguka Himalaya yaendelea kusababisha vifo India
[3]
tumewakosea nn sijui wanaona wao ndyo wenye haki na wengine sisi tupo ili mradi tu kwenye hii dunia....eeh mwenyezi mungu tuepushe na binadamu shetani
[2, 4]
Hawalambi kitu
[0]
Unanifananisha na huyo kiumbe asiye na akili hata kidogo
[2, 4]
Lakini tabia ya Ramadhani imeongeza tu uchungu kwa mama yake.
[3]
Yaani lipo kama zoba zoba
[4]
Kwa nini unitukane ndugu yangu? Nenda kaangalie centre for disease control ya Marekani kwanza
[5]
Sasa wewe serikali hii hii imekutesa na ikakusaidia unashukuru nini
[4]
Mungu atuepushe haya majanga ya dunia mungu tupe mwisho mwema..
[3]
Mh! Makubwa!! Shangwe ya talaka?!!!!
[5]
Kweli ? Mimi , pia . Nini ladha yako pendwa ?
[5]
Nimeumia sana nimeguswa poleni Rafiki zetu wakenya tatizo ni kufungua kioo kisha maji yakaingia kwa haraka gari likazama
[3]
Asubuhi ya leo, ndio nimepata taarifa kuwa mmi ni mshindi wa simu.
[1]
maendeleo ya vitu sio watu
[4]
Baba anachuma fimbo mkimbie mbali akiwakuta mnalo
[6]
Wakati mnaandamana kudai boom halitoshi mlidhani mkopo ni zawadi?
[5]
Alinyooshea mkono kwenye gunia na kuanza kutabasamu huku akiwaita marafiki zake kwa shangwe
[1]
Unafanya uchaguzi mzuri. Honda imefanya maboresho mengi ya ubunifu katika Mkataba wao mpya .
[1]