text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
Umekosea kitu kimoja anawezaje mwambia kwenye gar afu walikutana cku ile ile
[4]
Halafu ukafunga safari kwenda naye kuuliza tatizo ni nini ? Huyo ni mtoto au kopo pa rubisi.
[5]
Tukishinda ile kesi inahusu J.f ntafurahi sana!
[1]
Sasa kama ni haki ya mtu, kuna haja gani ya kulizungumzia,,, mnatafuta kiki tu..
[4]
Ndani ya miezi michache ijayo - na muda kidogo kabla ya uchaguzi ujao - watalazimika kumaliza maswali haya au kuona mwangaza wa msimu
[1]
Uzinzi ni kwa walio ndani ya ndoa na Uasherati ni kwa wale amabao hawaii kwenye ndoa, umalaya ni kuwa na mahusiano mengi
[0]
Umezungumzia hofu na mauti. Mjadala unaoendelea unahusu hofu na mauti.
[6]
Si ameshasema hakuna gari kama hilo
[5]
Basi wakipokea posho wanataka waendelee kukandamiza wenzao
[4]
Huyu naye punga vile vile
[2]
"ni nini ulimwenguni kimemtokea askofu? Mbona watu ni wengi?"
[5]
Aisee kuna majaribu na mapito magumu sana watu wanapitia, eeh Mungu utusamehe sisi tunaolalamika tukipitia changamoto kidogo
[3]
Ni kweli ? Muda gani umekuwa ukicheza piano ?
[5]
Nina jambo langu siku za baadae! Hivyo nataka nichukue kadi ya chama mapema.
[0]
Pumbavu ya wananchi wanabehave kama wanyama
[2]
Sisi Watanzania bado sana. Sijui kwa nini tuna akili hizi?
[3]
Kwenye suala la kejeli hata rolimodo mkuu wa nchi anaongoza
[2]
Weee...ila yule dada hana nuru usoni?
[5]
Wewe mshumaa pori tulia huko kwenye baridi, waachie mchezo watoka jasho, wewe huwezi tena ligi kuu, tulia tuli
[4]
samahani, pole, umekosea hii namba siyo .
[3]
Hii nchi inatawaliwa na viongozi wenye uwezo mdogo wa kufikiri kiasi cha kushangaza wameingiaje madarakani!?
[4]
Hii habari imeniuma sana
[3]
ninajitahidi kwa bidii kubwa sana kupata ujuzi wa kiufundi lakini napata motisha nilipoona watoto wakifanya maonyesho kwa moyo wote licha ya uchovu
[3]
binafsi sina huruma na madingi wa hivi.....hawa watu wanajisahau sana man!!
[4]
Dada mange kasemaje kwani
[5]
Uhakika , kwa nini ?
[5]
Roho yangu inadunda dunda, sijui majibu yatakuwaje
[6]
Acha uongo, mwina kaduguda ni rafiki wa salama??
[4]
Kama Unataka mambo makubwa, lazima uwe shujaa, ondoa woga, jiamini, uwe na msimamo na mtu wa maamuzi.
[6]
Ana huzuni.
[3]
Nilijihisi mnyonge kabisa juu yake.
[3]
Tumbua tu.
[2]
Kwa hivyo majengo yote marefu duniani yana haya matatizo au ni hili jengo tu?
[5]
mama una akil sana
[1]
Lakini umakini, nimefurahi sana.
[1]
Wote Mr Souness na Jim Smith, meneja wa Portsmouth, walisisitiza jinsi walifurahi.
[1]
Lazima kama mazungumzo mengi . Watu ni kusema , wewe ni super mazungumzo .
[1]
Hoja yako ni ya kijinga ko unadhani ruzuku ya vifo ina dhamani sawa na uhai wa watu.
[2, 4]
Oh , kweli ? nimefurahi kukutana na wewe . Mimi walidhani wataniacha mwenyewe hapa! Muda gani umekuwa na hii kampuni ?
[5]
Na ww tafuta mbona marehem wapo wengi
[4]
Nyuso hazina furaha wala matumaini
[3]
Kamanda siasa nyingi, mwenyekiti eti nategemea idara ndo nini
[4]
Mimi nina kweli uchovu wa kazi yangu katika benki . Mimi nina kufikiri juu ya mabadiliko hayo .
[4]
Unatuchosha akili bhana!!!!,nenda kalime
[2, 4]
mzaha gani tena!!!
[5]
mbona matusi mkuu? kuna mahali nimekutusi?
[4]
Hivi vifo vya wakulu mbona ghafla tu!!??
[3, 5]
Kwel huyu mama mchungaji....anachunga kondoo wake bungeni na kuwahubiria
[0]
Kuamua n kuchagua
[0]
Nimevunja vyombo pendwa vya mama, sijui nitamwambia nini
[6]
Umeshikiwa mtutu wa bunduki uisome kwani?? Kama hujaipenda acha
[2]
Bafu linaonekana nzuri . Umerekebisha mwenyewe au umetafuta mtu wa kufanya hivyo kwa ajili yenu ?
[1]
Na wala siyo kweli kwamba korona ndio ugonjwa wa kwanza kutengenezwa na hao maduntitu ya kuzimu. Remember Ebola, Zika, UKIMWI, etc. Those guys are after one thing: TOTAL CONTROL of humanity.?
[4]
Unatamaa dada hivi mume akikuacha utafanyaje
[4]
Si nimekuonya lakini
[3]
Hiyo ni ujinga .
[4]
Inaskitisha, wachukuliwe hatua haraka maama wanaihujumu serikali katika mapambano ya corona
[4]
Daaa Sina cha kusema ni majonzi
[3]
Dharau zako peleka huko, kwangu hapa nataka heshima
[2]
Mpumbavu kama wewe ukifiwa na baba yako mzazi na anazikwa siku moja na mpitaji bila shaka utaenda kumzika mpitaji. Huna akili kabisa wewe.
[2]
Hiyo ni dalili mbaya sana . Kwani huwa una Matatizo yoyote ya kiafya
[3]
Utabaki ivyo ivyo na mawazo yako mgando
[4]
kha umeniacha hoi
[1]
Tunazungumzia virus vya dunia nzima au vya corona mbona una kiherehere kama amber
[4]
Hana lolote huyo anataka kurudi kashazoea kuhudumiwa huko anajionea mishida mkazie hivyo hivyo
[2, 4]
naam , jana usiku nilikuwa na malumbano na Ann .
[3]
Magufuli chukua 10 mingine, kazi yako ni nzuri, maendeleo tuna yaona
[1]
Nakumbuka nikifikiria kuwa nilipaswa kuwa nyumbani hivi karibuni au Mama angekasirika kwa kukosa chakula cha jioni.
[2]
Naomba kuuliza hivi ....Hii taarifa kwa umma ina maana gani??
[5]
Hawa wavaa barakoa nyeusi waogope sana????
[6]
Namuhurumia! najua amekuwa na hamu nayo sana kwa miezi ya hapa karibuni
[3]
Baadhi ya vitendo vyake, haswa kuwa mkorofi katika chama baada ya kushindwa uchaguzi kunaleta hofu kwa wanachama
[6]
Lakini alikataliwa na mchumba wake mbele ya umati wa watu kwa kilichosadikiwa kuwa ni kisasi cha usaliti
[3]
samahani , mimi sijui sheria kuhusu kupigana ngumi.
[3]
Tanzania tunaweza hapakaztu magufuli mungu akulinde
[1]
Alisema pia, kwa kufurahisha kwa wale wasio na msimamo wa serikali ambao walisoma kumbukumbu zake, kwamba safari ya Watson ilifanikiwa zaidi kuliko ile ya Matthew.
[1]
Mungu akubariki waziri nakupenda Sana
[1]
Inachukua sekunde chache ukagoogle utaona UK imepata kesi nyingi na vifo vya Corona kuliko Ufaransa and Spain.
[3]
Mze umeongea ujinga tuu hapo
[4]
Ina ladha nzuri sana, wewe ndo umepika?
[1]
Njoo ndani haraka tufunge milango
[6]
Lazima... Uwe na... Muziki mpya... mimi silali mpaka wewe kutupa Sura ya 1... Naweza kufa... Haraka!
[1]
Lini niliomba kunyonya maziwa yako? Unikome
[2, 4]
Dah! Nimeumia sana. Kipindi hiki ni kigumu naona tunavyolazimishwa Chanjo
[3]
Pigeni mawe mpaka afe huyo kama mmekosa msaada
[2]
Bwana Jones alilipuka kwa hasira.
[2]
Vipi habari ya safari. Mbona umerudi na vitambaa vyote.
[5]
CEO alikasirishwa na wafanyakazi wake
[2]
Hujasikia chochote kuhusu hilo ?
[5]
Duu taarifa za vifo mbona nyingi hivi
[3, 5]
Ni yeye kweli ? siamini !
[5]
Tunatoa salamu za pole na rambirambi kwa Wazanzibari wote na Watanzania kwa msiba huu mzito!
[3]
kazi ipo kwenye daftali la kudumu...
[0]
najihisi sina nguvu, nina kiu
[3]
Kwa hivyo akamtoa yule mdoli, ambaye alionekana msalaba kabisa, na hakusema hata neno moja, kwani alikuwa na hasira ya kugeuzwa kitandani kwake.
[4]
Hawa takataka hawavaa hata barakoa saizi wamejichokea kama safura
[4]
Kwakweli inauma umefungwa kwa kosa lenye si la ukweli inaumiza sana ni vizuri kabla hawajafunga mtu uchunguzi ufanywe
[3]
huyu mwanamke kuna mambo mawili makuu aliyoniudhi muheshimiwa
[2, 4]
Ata kutamka neno corona Tanzania ni kosa la jinai, akifa mtu kwa korona unatakiwa kusema ugonjwa wa kukosa hewa au kupumua au huseme alipata ajali
[3, 4]
Tumia muda wako kufanya mazuri kwani siku moja utapotea kama nukta moja ya mchanga baharini na kitakachobaki ni historia yako iwe ya mabaya au mazuri.
[3]