text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
Mama alimtazama kwa huruma kabisa na kumtia moyo.
[3]
Unataka kuniambia umefika hadi pale na hujaona chochote kile??
[5]
nani alokutuma kama siyo njaa zako tu ndo zilizokupeleka, huna adabu na akili kabsa
[2]
Ha ha ha haa! Nimejikuta nacheka bila kutarajia.
[1]
Daaaaah kweliii chadema kuna kichwaa
[1]
Niliwahi kuwa kwenye hiyo kipindi sikuwa napata usingizi kabisa jioni yake baada ya siku 3 nadrive nilipata ajali mbaya sana!
[3]
Duh!!! Ulichukua maamuzi magumu sana!!!!!
[3]
Ni sawa hiyo? Ni kweli kuwa imeishinda ile ya zamani ?
[5]
Kilichomponza yule mwanaume ni Pombe, wajameni msinywe kupita kiasi halafu muwatafutie watu lawama.
[4]
Hata sielewi
[5]
Barikiwa sana Millardayo kwa kutusogezea habari pendwa kama hii.
[1]
Naona huu mkakati wa kujisafisha ni wa kiwango cha chini kupita maelezo.
[4]
tatizo hapa siyo kujenga stand nzuri , swali la kujiuliza tunaweza kuzitunza zikaendelea kuonekana hivyo hivyo hata kwa miaka 5 tu ijayo ?. Na hapa ndyo utakapoelewa kwanini Tz inaitwa kichwa cha mwenda wazimu
[3]
Kukata kwake tamaa kumesababisha kurudi nyuma kwa mambo mengi mno
[3]
Ukianza kutoa takwimu za vifo unatia watu hofu na vifo vitaongezeka. Sasa ukisema UK wanatoa takwimu inasaidia nini kama vifo vinaongezeka?
[4]
Kwanini wanikwaze mimi ninayetaka kuwa na laini moja ya voda?
[4, 5]
Hii ni kubwa ! Ni kama kunywa maji ya chumvi ! Ni kama drowning katika bahari !
[4]
Dada hachanganyi English na kiswali na amekaa London sasa ukutane na mwakipesile hapa dar. Hutaamini
[5]
Mungu ampumzishe kwa amani dooh kweli Dunia tunapita
[3]
Poleni wafiwa, pumzika kwa amani?
[3]
sipendi michezo ya kompyuta .
[4]
usiniambie wewe ni bikira! moyo wake ukajifunga kama mnyama aliyejeruhiwa.
[3]
kaka embu tuache tupo kwenye majonzi
[3]
Aseee mama una moyo wewe , ila huyu mumeo ni roho mbaya inayomsumbua kumbe
[3]
Nilidhani mmemkamata muhusika.
[5]
Binadamu bwana ni kazi kwa kweli wanapenda Raha tu hamna kitu.
[2, 4]
Wayne atakuwa wazi wakati anasikia.
[2]
`Nina huzuni kubwa lakini ninafurahi kwamba mtu atachukua na kuleta kazi hizi katika eneo hilo.
[3]
Ilikuwa uhakika. Sikuweza kula tonge lingine.
[3]
Hawakuweza kuelewa kwa nini watu huko Uingereza walikuwa na wasiwasi sana.
[6]
"Mbinguni ni pa zuri!" akasema huku akitazama juu mawinguni kwa tabasamu
[1]
Muacheni aendelee kubweka na kutuchafulia nchi yetu..makelele ya chura hayazuii ng'ombe kunywa maji.
[4]
Hutaamini nilichoshinda kazini leo! - Tiketi ya fainali NBA usiku huu.
[1]
Bana. Hiyo story huwa nakumbuka nashangaa sana
[5]
Duuu. Napita tu
[0]
Analindwa kuliko rais! Upotevu wa pesa za walipa kodi
[4]
Wanaogopa aibu, hata mimi Chelsea nilianza kuangalia kwa kujificha
[6]
Oh! Nini haswa ndo tatizo maana siku mbili tatu hizi siwaelewi
[5]
Na maneno yake yalisababisha ghasia za ajabu ndani yake.
[4]
Nashangaa watu wana hofu na korona wakati jamaa kapona kwenye ajali, kufa kupo tu ila mpaka Mungu apende
[5, 6]
Jamni, kwani kuna mtu anateseka???
[5]
Mmegombana tena?mtakuja hata kuuana ninyi hebu jaribuni kusuluhisha mambo yenu yaishe
[4]
Bora mbunge mmoja angewakilisha majimbo hata 30. Ili fedha itumike kuwapa ajira walimu wengine.
[4]
Heri ukose mali kuliko kukosa akili kama wewe
[4]
Utafikiri kuna la maana linaaloenda kufanyika huko, ni hela tu wanataka hamna lolote la maana
[4]
Sauti yake ilikuwa kali, lakini haikutushtua.
[6]
Kwa nini usirudi kweu kijijini?? Pole sana
[3]
Sasa dada nae akaanza kumlilia kaka yake maskini aliyerogwa
[3]
Hasira iliyokuwa katika sauti yake ilimshtua.
[2]
Hakuna mwamba wa kifo duniani isipokuwa Yesu kristo pekee ndiye MWAMBA
[0]
Alielezea mara moja huzuni yake.
[3]
Ni aibu! Sikuweza hata kusubiri kushuhudia huo ujinga kwakweli
[4]
saleh acha usimba na uyanga kwani shaff hapo kakosea wapi????
[5]
Hukujua kuwa ni ya kwangu, kwa hiyo ukagawa. Hivi, una akili nzuri
[2]
Mpuuzi arudi yanga tu au kama vipi arudie kazi yake ya utapeli kwenye habari.
[2, 4]
Dah mbona mleta maada kaleta nusunusu. Sema tatizo la viongozi wengi ni unafiki.
[4]
Nafahamu, Bw . Douglas . Lakini mimi kwa kweli naumwa sana .
[3]
Akainamisha kichwa chake na moyo wake ukavunjika kwa uhitaji na hamu.
[3]
My brother, pesa sio shida, ujinga na ulevi ndio sipendi
[2, 4]
nina hofu mimi nimepata baridi kali. Nifanye nini ?
[3]
Ndio mahakamazetu hizo jee uzalilishaji utaisha ?
[4]
Hata mimi nimeshangaa????????. Kirusi ni kikubwa kupenya ktk seli za mtoto?
[5]
jamaa ni muoga sana
[6]
Mama anaonekana ana busara zaidi kuliko baba mwenyewe anyway kikubwa uhai
[1]
Mumewe ametulia kaburini.
[3]
Mjinga hapatwi na ajali!!
[6]
Lakini maelewano ya Richard yalikuwa mafupi kwa sababu figo zake zilianza kutofaulu.
[1]
Wew umeingia bungeni kufanyaje humo si ungebaki nyumbani kwako au ufungue kanisa uhubiri.
[5]
Ajali magari 100 vifo 9 imagine ingekuwa kwetu
[3, 5]
Alilia, "Hapana, hapana siwezi kuvumilia," akafungua dirisha lingine, kwa sababu matone ya jasho yalikuwa yakimtiririka kwenye paji la uso wake.
[3, 6]
Kama karani alifikiria mambo haya yote, na akagundua mabadiliko makubwa katika hisia zake mwenyewe, akatabasamu ndotoni
[1]
Sitaki kuwa na mtu wa aina hiyo, siwezi kumwamini na kumshirikisha mambo yangu
[4]
Duuh mama mpole hadi raha
[1]
@byjr1 Anajua anachokifanya! Hafanyi siasa anafanya biashara pia
[1]
??Siwezi kamwe kukuacha udandie kwangu nikihangaika mtaani. Nendeni kuishi katika mtaa, sibanduki huku
[4]
`Mbingu nzuri, hapana, mwanamke" jibu la kukasirisha lilikuja.
[2]
Ni kweli anachotuambia?
[5]
Umekutana na simba na ukasimama hakukufanya chochote??!!
[5]
hawajatenda haki kabisa kukutangaza wewe kama mshindi
[2]
najickia uchungu mkali sana watu wako jela kwa kusingiziwa.
[3]
Kwa hiyo anaharibu anahamishwa!!!
[5]
umponye huyu kijana na wote wenye matatizo
[3]
Kwa kweli ni huzuni sana ...Mungu atushike mkono kuna mpasuko mkubwa hatujui nini kilichopo,nini kinakuja,kwanini imetokea hivi?.
[3]
Uyu mama anaakili sana anajuwa kujielezea vizuri sana
[1]
Oh, mambo vipi. Unaonekana nadhifu leo.
[1]
anamtanguliza Mungu hadi raha
[1]
sio kila aliyepo jela amekosea hii iwe funzo kwa mahakimu, hii ni dhambi ya hali ya juu.
[3]
Hii uongo wa mchana kweupeeee
[4]
aisee!!
[5]
Yaan hii habari imenisikitisha jamani ukiangalia na sisi tuna watoto hii familia itakua ina ugomvi wa chini chini
[3]
Ndugu yangu alianza kuwekeza fedha akikuwa na umri wa miaka 16 .
[1]
Tumuombe Muumba atujaalie afya njena na awape pumziko jema wapendwa wetu waliotutoka.
[3]
Jinsi gani imetokea? Yeye ni hivyo vipaji ! Nilidhani yeye alikuwa na nafasi kubwa ya kushinda medali ya dhahabu !
[5]
Hpana baba, hatupunguzi zaidi ya hapo mana hiyo ni bei ya pungozu tayari.
[3]
Hahaaa jamani nimekuelewa mama
[1]
atabaki kuwa kunguni tu na hii ni sinema makhsusi ili kumsafisha kunguni huyu aweze kuishi na sisi huku tukimuamini ...?
[4]
pole Sana baba. Roho yake ipumzike kwa amani
[3]
Kwamba ni kubwa. Je, ni zawadi?
[5]
Yani Kati ya askari kumi mmoja tu ndo sio muhatifu ndo desturi yao
[4]
Kendall-Hume alirudi nyuma kuonana na wenzi hao waliofadhaika.
[6]