text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
sisi malinguistic expert tuliobobea tunakushangaa nakukudharau kuandika kingereza cha kusadikika.
[5]
Kwan hii shereh ya ngap maana hela zilizo mwangwa kwenye shereh zilizopita n nying
[5]
Alianza kutetemeka alipoambiwa mjomba ake anachuma fimbo ili aje kumchapa kwa kuchelewa nyumbani
[6]
Mimi ni mama jamani nimeumiaaa saaanaa kama mzazi poleni sana familia
[3]
Kwa wewe mtoto wa juzi huna hujualo, tena kaa kimyaa
[2]
Hakuna tatizo .
[1, 6]
Ni matumaini yetu kwamba mambo haya hayatajirudia siku zijazo.
[2]
inakuwaje siku inaenda polepole kama konokono leo ?
[2]
Sitaki kuamini chama ambacho kimeshika dola zaidi ya miaka 50 leo, bado una matumaini nacho kukuletea mabadiliko na maendeleo ya kweli yenye usawa kwa wote!! Tanzania tunatatizo la kimfumo.
[4]
Mungu awatie moyo wa kuvumilia
[3]
wala sishangai tena nimekataa! Kwa hiyo ndio kusema kwamba mshahara hausaidii mtu kufanya kazi kwa uwajibikaji? au tusemeje?
[5]
Inaonekana nzuri sana na chakula kinaonekana ni kitamu.
[1]
Huo woga wenu wa kuogopa kukosa ubwabwa wa nazi kuna siku mtaletewa Joseph Msukuma ili awe rais wa Zanzibar
[4]
Kila mwalimu anampenda yeye .
[1]
Kwa kweli awamu hii wamelitia aibu Taifa. Aibu hii itachukua miaka na miaka kuisafisha!!
[4]
Mungu akujalie wewe ulie mshika mkono uyu kiumbe ubalikiwe sana
[1]
hilo baba ni taira tu mke mzuri na nyota pia anayo yaani nimpate nimwache kizembe hivyo
[2]
Chukua hatua sasa, maambukizi na vifo vinaweza kuepukika tukichukua hatua sasa !
[6]
Sauti yake ilianza kubadilika baada ya kugundua makosa aliyokuwa amefichwa kwa mda wote
[2]
Usinivuruge
[2]
Sasa unaishukuru ccm ndio ilio kusaidia? Acha kujichanganya wewe
[2, 5]
Unapendelea maua?
[1]
Wajumbe wa Lancashire walikasirika waliposikia kwamba Gooch na wateule wengine wa England walikuwa wameachana na Red DeFreitas wa Red Rose aliyependa sana
[2]
Kwani ni lazima kuja mapema kama unavyotaka wewe?!
[5]
Hivi hii siasa ya Covid-19 vaccine kwa nini imetamalaki hivi? Hii Video ina trending kubwa sababu inaonekana ina walakin katika matukio yake. Huyu Bwana mkubwa amechanjwa kweli hapo ?
[5]
Heri yake alikuwa amekaa kwenye foleni....angekuwa amesimama angekata roho kabisa....this africa
[4]
Huyo mtoto ana miaka miwili na nusu sasa picha ina maswali gani ndugu ? Hivi unafikiri tunajitungia mambo ili iweje?
[5]
Watanzania tutaenzi na kuyalinda yale yote ulopigania kuifanya Tz iinuke kiuchumi.Pumzika kwa Amani Baba yetu
[3]
Nimesoma ila sijaona point za maana za kum saidia mtu.....
[3]
ametishwa na vifo vingi kipindi kifupi. Waraka haupingani na Mwongozo wa Wizara ya Afya wa 27/5/2020 kwa nia ya kuthibiti vifo.
[6]
Lakini Christine alihisi kusikitishwa na vitendo vya yule mkemia
[3]
Nisikilizeni mimi tafadhali, sipendi dharau
[4]
Hapana , haikuwa . Ni chafu sana .
[4]
Mungu ni mkuu, asema mkurugenzi baada ya kuondolewa mashtaka ya wizi wa watoto
[3]
Aaa! Kaanza Bi. Nane mambo yake. Alikuwa wapi?
[2, 4]
Maji ni muhimu sana kwa maisha ya Binadamu Apigwe faini Msimfunge.
[3]
Siwezi kumuamini mtu yoyote hapa Duniani
[6]
Alikuwa amekasirika alipoona mask yangu ilikuwa mvua.
[2]
kuna mtu amepost rafiki zake wawili ndani ya 24 hours, vifo vya hivi are not normal!
[3]
Oh , asante sana .
[1]
Kulikuwa na utata na sintofahamu kuwa kamanda wa kikosi mbona hajaonekana
[6]
Wakati waandamanaji walipopita reli ya juu ya jiji, treni mbili zilikuwa zimefungwa kwa mshikamano, kwa kufurahisha umati wa watu.
[1]
kamwe hakuja, na wala hakutoa taarifa.
[3, 4]
Baadaye, Bwana Booth alionyesha kufurahishwa kwake kwa kusambaza chokoleti kwa walinzi wa chumba cha mnada.
[1]
Alichanja huyooo!!
[0]
Ila hii ni roho ngumu. Unawezaje hivi?
[3]
Huamini we ulijua atapaa kama yesu?
[5]
Hotuba ipo safii sana prof wangu
[1]
Bila shaka mimi kukumbuka , kiukweli , nashangaa sana wewe kukumbukwa , nilidhani utakuwa umesahau .
[5]
Baba yangu atakuwa na hasira ikiwa utaondoka mapema! "
[2]
Kuamini kwamba hana "haki" ya kukasirika juu ya shida hii, Mathayo alirudi chumbani kwake, akachukua penknife na kumkata kwa mikono yake mwenyewe chungu.
[2]
Alionekana kuwa na hofu mbaya.
[6]
Clinton atakuwa tatizo, je, America wanataka mtu honest au
[0]
Wabongo mko radhi kupata dhambi. Lkn kusema uongo hamuogopi.
[4]
Zaburi inasema tuurahi katika bwana tena siku zote tufurahi,?? maana hujihisha na maisha yetu na kutupa faraja ya kila siku
[1]
Bwana mkubwa . Tunashukuru kwa kuruhusu sisi kuwa na ghorofa katika eneo lako.
[1]
Uko vizuriiii kinyama
[1]
Asante kwa simulizi ya kuvutia sana.nimependa
[1]
Tabia yako chaaafu kama nini lakini ndo tunavumiliana tuu
[4]
Nimechoka sana na majirani kama hawa.
[4]
Tujifunze kutowasema watu walio kwenye mahusiano na wenzi waliowazidi umri, Haijalishi wamezidiana miaka mingapi kama wenyewe wako poa na wana furaha sisi ni nani tupeleke hoja zetu?
[4]
Jim bado aliweza kutuambia na uso wake wenye wasiwasi kuwa kuna kitu kibaya.
[6]
mataifa makubwa duniani unganeni muutokomeze ugonjwa wa corona bado ni hatari
[3, 6]
Wewe mtangazaji wakike unachosha!!! Mashwali yako hayana mantiki, ya kitoto sana yaani ningekuwa karibu ningekuchapa vibao huyo ni binadamu punguza maswali yanayozidi kuumiza moyo
[2]
Natamani mengi sana kwenye uchumi na mahusiano yangu.. Mungu anisaidie nisikufuru. SUBRA
[0]
Nchi iko kwenye majonzi makubwa halafu unataka Yanga wacheze mpira, uko serious kabisaaa
[5]
Duuu hongera unajua kusonga
[1]
Ni ubinafsi kwa kiongozi kutochukua tahadhali kwa ugonjwa kama ule
[4]
??Mbona umesimama kama uliyefadhaishwa na kitu???
[5]
Marehemu wapumzike kwa amani...pole kwa familia yak pia....
[3]
najua kuwa ni mropokaji lakini kwa nini hukutumia hata busara kidogo wewe
[2]
hizo sare zenu zina mwonekano mzuri!
[1]
Waziri wa utalii, Najib Balala amesema kwamba sekta ya utalii imepoteza shilingi bilioni 170 tangu taifa lianze kukabiliwa na janga la COVID-19.
[3]
Alilia juu yake, akaibusu, na kuiombea kwani ni mama tu anayeweza kuomba katika saa ile ya uchungu wake.
[3]
WAZAZI WETU WAMEFILISIKA SANA KWAAJILI YA KUTUSOMESHA KITENDO CHA KUPOTEA KWA AJIRA NCHINI WAZAZI NA VIJANA WANAPOTEZA UZALENDO KWA TAIFA LAO
[3]
Nauliza ni jiko lipi la gesi ambalo kioo chake hakivunjiki na kuchoma gesi vizuri.
[0]
nimeshinda nini? Gari aina gani umesema, woyowoyowoyo
[1, 5]
Wachaga nyie mliwaendekeza wanawake zenu mwisho ndo wauwaji
[4]
Kwa kupendeza kwake walianza hata kujadili kazi yake, lakini ilikuwa ya kawaida
[1]
Namwambia nini mimi mzazi wangu baada ya kufukuzwa shule kwa ujinga wangu mwenyewe
[6]
samahani , sikukusudia kusahau maadhimisho ya kumbukumbu yetu .
[3]
Ni vyema Serikali iwachukue hawa watu wapimwe akili zao wakikutwa salama wahojiwe nini haswa sababu yao kwenda tena kuchota mafuta
[4]
Mwana ana wasiwasi kinomanoma yani
[6]
Bosi wangu kanambia kuwa sina kibarua tena kuanzia kesho .
[3]
Hamna wasiwasi
[6]
wafungwe miaka 6 watu wote walio chukua mafuta ili iwe fundisho kwa wengine
[2]
Ukiwa Ulaya fungua account ya Barclays
[0]
Aisee kuna watumishi wana dharau sana?? Yaani hawa watendaji ni kuchukuliwa hatua ?? hakuna kuwafumbia macho hao...!
[4]
Acheni kujifanya mnatupenda na kutusemea kila kitu kwa ujinga wenu wa kufikiri mnayajua sana mahitaji yetu.
[4]
je, si ni ajabu kutembea hapa ?
[5]
Daaa Hii hatari na nusu
[0]
Acheni upotoshaji hitaji lenu ni kupata watazamaji ili mlipwe. Semeni ukweli wa kile mnachokipost na siyo kudanganya
[4]
Maisha yangu yapo hatarini
[6]
hawa wote wanahemewa kisogoni
[4]
Huzuni yake ilikuwa ya kina na ya dhati.
[3]
Mungu aziweke roho za marehemu wote mahala pema peponi.
[3]
Nilijisikia vibaya kwakweli kwa kitendo cha aibu kilichotokea msibani
[4]
Kweli? Ni wapi ulikwenda ?
[5]
Bwana: Ninaandika kusema nimefurahi sana!
[1]
Oh ? Hicho ni kitu gani ?
[5]