text
stringlengths
0
1.31k
mtihani huu ni muhimu kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla kwa kuwa hupima uwezo na uelewa katika yale UNK alisema bibi mahiza aliagiza kuwa wanafunzi wote waliosajiliwa waruhusiwe kufanya mtihani bila kikwazo na wale wenye matatizo ya ulemavu wameandaliwa mitihani kutokana na hali zao
kama mwanafunzi amegundulika kuwa ana ujauzito baada ya kusajiliwa au ana tatizo na uongozi aruhusiwe kufanya mtihani na baada ya hapo achukuliwe hatua nyingine UNK
aliwaasa wazazi na wasimamizi kujiepusha na udanganyifu wa aina yoyote unaoweza kufanyika katika kipindi cha mitihani
kutoka manyara mwandishi wetu mohamed hamad anaripoti kuwa jumla ya wanafunzi tatu mia nne na themanini na sita wakiwemo wavulana moja mia nane na arobaini na nne na wasichana elfu moja na mia sita na arobaini na tano wilayani kiteto wanatarajiwa kufanya mtihani wa taifa leo
akizungumza na gazeti hili ofisini kwake ofisa elimu wa wilaya bwana emmanuel mwagala alisema idadi hiyo ni ongezeko la wanafunzi mia mbili na kumi na tano sawa na asilimia sita tano ukilinganisha na mwaka jana ambao wanafunzi tatu mia mbili na sabini na nne waliofanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba
bwana mwagala alisema ongezeko la wanafunzi hao ni sehemu ya mikakati inayofanywa na wilaya kupandisha kiwango cha elimu wilayani humo
kila mwaka kuna ongezeko la wanafunzi wanaofanya mtihani kutokana na jitihada zinazofanywa na wadau mbalimbali wa elimu ikiwemo bodi ya elimu ya wilaya ambayo kwa sasa imesaidia watoto sitini na nane wa wazazi wasiojiweza alisema
rais jakaya kikwete leo usiku UNK maswali ya papo kwa papo UNK na wananchi kwa njia ya redio na televisheni ikiwa ni njia mpya ya kuwasiliana na wananchi kwa kuwasikiliza hoja maoni na ushauri wao
taarifa iliyotolewa jana na kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu ilisema mazungumzo hayo yatatangazwa moja kwa moja na shirika la utangazaji tanzania na vyombo vingine vya utangazaji nchini kuanzia saa mbili na nusu usiku
mbali na tbc moja televisheni nyingine za itv UNK mlimani tv tumaini tv na channel ten pia zinatarajia kuonyesha mazungumzo hayo
kwa mujibu wa taarifa hiyo rais atatumia mtindo huo mpya kusikiliza ushauri kutoka kwa wananchi na pia kupata maoni juu ya mambo mbalimbali yanayohusu mustakabali wa nchi serikali na maendeleo
taarifa hiyo ilieleza kuwa rais atasikiliza matarajio ya wananchi katika jitihada zao za kuboresha maisha yao kwa kujiletea maendeleo
ilieleza kuwa mazungumzo hayo UNK dakika tisini yataanza saa mbili thebathini usiku hadi saa nne kamili usiku
taarifa hiyo iliongeza kuwa mazungumzo hayo yatatangazwa katika vituo vya redio za tbc taifa sauti ya tanzania zanzibar radio mlimani radio clouds radio tumaini na radio uhuru
ilieleza kuwa maswali maoni hoja ushauri utapokelewa moja kwa moja na tbc kupitia simu namba ishirini na mbili mbili saba saba mbili nne nne nane ishirini na mbili mbili saba saba mbili nne tano mbili na ishirini na mbili mbili saba saba mbili nne tano nne maswali maoni hoja ama ushauri yanaweza kutumwa moja kwa moja tbc kupitia ujumbe mfupi wa sms kwenye namba sifuri saba nane nane tano sifuri sifuri sifuri moja tisa sifuri saba moja nne tano tisa moja tano nane tisa na sifuri saba sita nne nane sifuri saba sita nane tatu na kwenye barua pepe kuanzia leo
taarifa hiyo UNK wananchi kutumia kikamilifu nafasi hiyo ya kuwasiliana moja kwa moja na rais
hatimaye siri nzito za maisha na kifo cha bibi rosemary munseri kinachodaiwa kusababishwa na mumewe bwana denis mlanzi anayedaiwa kuwa mchungaji wa kanisa la the winners lililopo gongolamboto jijini dar es salaam UNK
kwa mujibu wa ufuatiliaji uliofanywa na timu ya waandishi wa gazeti hili UNK kuwa kifo hicho UNK kusababishwa na bwana mlanzi kwa lengo la kutaka kuoa mwanamke mwingine aliyetambulika kwa jina la rosemary ambaye pia ni mshirika wa kanisa lake
akizungumza na gazeti hili jana nyumbani kwake ubungo maziwa baba mdogo wa marehemu bwana fredy munseri alidai huenda kifo hicho kimetokana na mgogoro wa kifamilia uliodumu kati ya wanandoa hao kwa muda mrefu hali inayojenga mazingira tata ya tukio hilo
bwana munseri alisema katika miaka ya hivi karibuni bwana mlanzi alikuwa akionesha dhahiri jeuri na ukatili kwa kumpiga mkewe huku UNK kumfukuza ndani ya nyumba kwa lengo la kutaka kumiliki mali ambazo alidai hata hivyo si zake
aliongeza kuwa ugomvi wa wanandoa hao kwa mara ya mwisho UNK maamuzi ya bwana mlanzi ya kutaka kuoa mke mwingine ambaye alifahamika kwa jina la rosemary UNK
bwana mlanzi tangu UNK binti yetu mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na nane hakuwa na kazi rasmi zaidi ya kutegemea kipato kutoka kwa mkewe ambaye ndiye alikuwa UNK familia hiyo kwa kipindi chote cha uhai wake alidai
binti yangu alikuwa na taaluma ya uuguzi na alishafanya kazi sehemu mbalimbali ikiwamo hindu mandal muhimbili regency na kabla ya kukutwa na mauti hayo alikuwa akifanya kazi na shirika moja lisilokuwa la kiserikali
hata hivyo alisema kuwa hakuwahi kumtambua UNK huyo bwana mlanzi kuwa ni mchungaji ingawa taarifa hizo UNK siku ya tukio akiwa hospitali ya muhimbili ambako ulikuwa umehifadhiwa mwili wa marehemu
kwa mujibu wa mdogo wa marehemu bibi UNK munseri aliyekuwa akiishi na marehemu ijumaa baada ya chakula cha jioni bwana mlanzi alitoa agizo mtoto wao baraka denis UNK na mama yake kama ilivyokuwa kawaida badala yake UNK na ndugu yake wa kiume aliyetambulika kwa jina la ephraim agizo ambalo UNK
naye mdogo wa marehemu bibi UNK alisema kuwa siku ya tukio waliposikia kelele za kuomba msaada walijaribu kufungua mlango na kukuta umefungwa kwa nje wakati wakijaribu kuufungua ndipo bwana mlanzi UNK mlango wa chumba walichokuwa wamelala
shemeji alionesha ujasiri wa hali ya juu kwani wakati dada UNK yeye alikuwa sebuleni huku akiendelea kutoa vitu ndani ili UNK hadi majirani walipofika kutoa msaada wa UNK marehemu hospitalini alisema bibi UNK
bwana munseri alisema jambo ambalo UNK ni kitendo alichokifanya bwana mlanzi cha kutojishughulisha kumpeleka mkewe hospitalini ambapo hata hivyo alikwenda hospitalini hapo kesho yake saa mbili asubuhi huku akiwashutumu wauguzi kuwa mkewe UNK kiasi hicho hali iliyosababisha wauguzi hao kumshangaa huku akiendelea kusema mkewe UNK bali amelala
hata hivyo majira UNK hapo ilifika hadi eneo la tukio yombo vituka ambapo lilizungumza na baadhi ya majirani kwa sharti la kutotajwa majina yao gazetini
walisema wakati UNK hospitalini marehemu alikuwa akiongea UNK kumlalamikia mumewe
mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitali ya taifa muhimbili na unatarajiwa kusafirishwa leo kuelekea kijijini kwao kilima mkoani kagera kwa maziko
asema kamwe kanisa halitakubali UNK
asema watapambana na ufisadi hadi mwisho
aapa kupambana na yeyote anayetetea UNK
katoliki UNK mgombea urais mwaka ishirini moja sifuri askofu wa jimbo kuu katoliki la dar es salaam muadhama polycarp kardinali pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku huku akidai nchi UNK na kamwe kanisa UNK kimya na kulea hali hiyo
sisi viongozi wa dini hatuwezi kunyamaza huku UNK nchi inaendelea kuozeshwa na viongozi wasiozingatia maadili ya utawala bora
lazima UNK kwa nguvu zote
alisema
kiongozi huyo wa kanisa katoliki aliyasema hayo jana wakati wa jubilee ya miaka sabini na tano ya shirika la UNK wa bibi yetu kilimanjaro iliyokwenda sambamba na harambee ya kuchangia shule ya sekondari henry UNK iliyopo wilayani rombo
aliwataka wananchi kushirikiana na viongozi wa dini UNK mafisadi na kuwakemea popote pale walipo
wananchi UNK katika vita hii
viongozi wa dini hawawezi kuwajua mafisadi wote unaweza kumjua mmoja wapo lakini ninyi mnawajua wengi na wametapakaa nchini kote hata hivyo tutapambana nao hata angekuwa nani alisema kardinali pengo
kardinali pengo alisema kanisa katoliki halina mgombea wa urais UNK kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka ishirini moja sifuri kama ambavyo imekuwa ikidaiwa na baadhi ya watu nchini
alisema kanisa halina ugomvi na rais jakaya kikwete katika uongozi wake bali lina ugomvi na mafisadi ambao hutumia nafasi zao kuiangamiza nchi
alisema ni jukumu la kanisa katika UNK waumini wake na wananchi kwa ujumla kuhusu athari za ufisadi ambazo zimeendelea UNK taifa
kardinali pengo alisema kanisa UNK kukemea viongozi wanaotumia madaraka yao kuendeleza na kuwatetea mafisadi bali lipo tayari kuwasaidia watu wote wenye nia njema na nchi katika kuongoza vita ya kupinga vitendo hivyo
alisema nyaraka za kichungaji zipo na zinalenga kuamsha wananchi kwa ujumla kwa vile wananchi hao wanawajua mafisadi zaidi kwa sababu UNK mara kwa mara hususani wakati wa kampeni ili UNK katika nafasi mbalimbali
kardinali pengo alisema waraka wa kanisa katoliki haulengi kutangaza dini hiyo wala kuligawa taifa kwa misingi ya kidini bali unazingatia zaidi kuelimisha wananchi kuhusiana na athari za ufisadi na umuhimu wa kuwa na viongozi UNK
kanisa halina ugomvi na yeyote aliyepo madarakani wala dhehebu lolote la dini
UNK ni msafi waraka wetu UNK lakini anayehusika na ufisadi hafai kuwa kiongozi wa wananchi alisema
alisema kanisa katoliki halina ugomvi na madhehebu ya dini UNK mipango ya mungu inavyoelekeza lakini wasiofuata mipango ya mungu lazima UNK na UNK macho
alisema vita dhidi ya ufisadi UNK dhehebu la dini na kwamba hata kama fisadi huyo atakuwa UNK lazima UNK na kumueleza waziwazi kwamba kanisa haliko pamoja naye
akitoa salamu za serikali waziri wa maliasili na utalii bibi
shamsa mwangunga ambaye UNK waziri mkuu bwana mizengo pinda alisema serikali itaendelea kushirikiana na taasisi zote kuendeleza sekta ya elimu
katika harambee hiyo waziri mwangunga alichangia shilingi milioni kumi na moja tano mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya mwalimu nyerere bwana joseph butiku amesema mapambano ya ufisadi nchini UNK kutokana na viongozi kukosa ujasiri wa kukemea kama alivyokuwa waziri mkuu wa zamani hayati edward sokoine
bwana butiku kwa muda mrefu amekuwa msitari wa mbele katika kukosoa mwenendo wa baadhi ya viongozi wa serikali na ccm wanaotuhumiwa kwa ufisadi akitaka wawajibishwe na kuchukuliwa hatua
akizungumza juzi katika kipindi cha jambo tanzania kinachorushwa na shirika la utangazaji tanzania bwana butiku alisema hayati sokoine ataendelea kukumbukwa kwa ushujaa wake
alisema sokoine alikuwa tofauti na viongozi wa sasa ambao UNK na kuwaogopa wenzao wa juu UNK wakati yeye UNK kila kiongozi lakini UNK
yule alikuwa kiongozi wa mfano hakuwa wa kuitikia ndiyo mzee ndiyo brother ndiyo bosi na huu ndiyo udhaifu wa viongozi wetu wengi wa kuwa UNK kwa kila kitu alisema bwana butiku
kwa mtazamo wa bwana butiku hali ya sasa ya ufisadi nchini ingekuwa UNK kwa watuhumiwa kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kama sokoine angekuwa hai
alisema waziri mkuu huyo wa zamani alikuwa akiona kiongozi anafanya jambo la hovyo lenye kuharibu maisha ya watu alikuwa UNK rais nyerere muda wa mwezi mmoja ili UNK
nadhani bado watu UNK jinsi UNK na walanguzi wakati ule nchi ilipokuwa na njaa baadhi ya wafanyabishara UNK bidhaa na kupandisha bei kwa kisingizio kuwa ziko adimu alisema
bwana butiku alisema mwalimu nyerere alimpenda sana sokoine hasa kwa jinsi alivyokuwa anapambana na kutatua matatizo ya wananchi bila kuchoka wala kumwonea mtu haya
kwa jinsi tuhuma za ufisadi UNK kasi nchini bwana butiku alisema kama hayati sokoine angekuwepo leo UNK mtuhumiwa mmoja baada ya mwingine na kuwashauri UNK serikalini na kwenye ccm alisema hata kama asingekuwa na ushahidi wa moja kwa moja kuwatia hatiani lakini kwa manufaa ya taifa UNK kwa vile kwenye suala la rushwa hayati sokoine alikuwa kama paka na panya
bwana butiku alisema siyo kwamba serikali UNK vita dhidi ya ufisadi isipokuwa imekuwa kama UNK ama inakwenda pole pole katika hatua za mapambano
kwa kweli vita hii inawahitaji watu mashujaa kama hayati sokoine kwani mapambano hayo UNK kwa kusubiri ushahidi wa kimahakama tu bali inabidi hatua nyingine za kuwajibishwa zifanyike alisema
alisema jambo kubwa UNK viongozi wengi wa sasa ni ukosefu wa uzalendo na uadilifu wa kweli kama alivyokuwa hayati sokoine badala yake kila kiongozi UNK UNK yeye kwanza
bwana butiku ambaye alikuwa katibu UNK wa rais nyerere alisema watu UNK umma kwa kujiita wazalendo wakati wanaficha fedha kwenye benki za nje na wengine UNK mali bila kufafanua UNK
hata hivyo bwana butiku alidai hayati sokoine UNK vya kutosha kulingana na mchango wake kwa taifa
ndiyo eneo UNK ajali serikali ilijenga shule ya msingi lakini hii siyo hadhi yake UNK UNK kitu chenye hadhi kubwa kama chuo kikuu alisema
jana nchi UNK kumbukumbu ya miaka ishirini na tano tangu kufariki kwa sokoine nje kidogo ya mji wa morogoro kwa ajli ya gari iliyotokea aprili kumi na mbili elfu moja na mia tisa na themanini na nne wakati akitoka dodoma
asilimia kumi ya watoto wanaozaliwa na walio chini ya miaka mitano hufa kila mwaka kwa kushindwa kupumua mara baada ya kuzaliwa
hayo yalisemwa jana na katibu mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii bibi UNK nyoni katika uzinduzi wa mpango wa kusaidia watoto wachanga kupumua watoto wengi hupoteza maisha kutokana na kuzaliwa na uzito chini ya gramu mbili
mradi huu utasaidia kupunguza vifo vya watoto ili kufanikisha hilo tayari tumeanza kutoa mafunzo kwa wauguzi katika hospitali za mikoa wilaya na zahanati ambapo jijini dar es salaam yameanza jana na mikoani yataanza januari mwakani alisema bibi nyoni naye mratibu wa huduma za watoto wachanga nchini daktari georgina msemo alisema kazi ya ziada inatakiwa ili kupunguza vifo hivyo nchini na kufikia lengo la kusaidia watoto milioni moja kwa mwaka
alisema idadi ya hamsini na moja sifuri sifuri sifuri ya watoto UNK kila mwaka ni sawa na kila siku basi moja kupata ajali na kuua abiria wote ambapo alisema wakunga hawana miongozo ya kutosha ili kuwasaidia watoto UNK
alisema utafiti unaonesha kuwa asilimia ishirini ishirini na tano ya vituo vya vya afya havina vifaa na wataalamu wa kutosha ili kuwasaidia watoto wanaozaliwa kusafishwa njia ya hewa
kwa upande UNK alisema wajawazito huchangia vifo hivyo kwa kutohudhuria huduma za kliniki na kujua afya na matatizo yao mapema ili kuweza kusaidiwa kabla ya kujifungua
mradi huo UNK na wizara ya afya na ustawi wa jamii kupitia shirika la afya duniani na shirika la kimataifa la maendeleo duniani
wanawake wa wilaya ya ngorongoro mkoani arusha wameshangazwa na kitendo cha serikali kukaa kimya baada ya UNK nyumba zao na kuharibiwa mali zao na mwekezaji katika eneo hilo kwa madai kuwa wanatakiwa kupisha UNK
wakizungumza na waandishi wa habari jijini jana wanawake hao walisema kuwa katika operesheni hiyo ya kuhamishwa kwa ajili ya kumpisha mwekezaji kuwinda UNK maeneo ya kwenda na kwamba wamekuwa wakipata manyanyaso ya hali ya juu
pamoja na kitendo cha kuchomewa makazi yetu UNK na manyanyaso mengi serikali UNK maeneo ya kuishi na badala yake UNK mbugani UNK kama wanyama pori
kwa sababu hii wanawake na watoto wadogo wamejikuta katika hali ngumu ikiwa ni pamoja na kupata magonjwa hasa kwa watoto na kukosa ulinzi alisema bibi UNK UNK kwa niaba ya wenzake
aliongeza kuwa katika operesheni hiyo ya kuwahamisha pia watoto watatu walipotea na baadae kuja kupatikana wawili tu wanawake wengi walipata matatizo ya uzazi ikiwa ni pamoja na mimba kutoka watoto kushindwa kuendelea na masomo na mali zao kuungua ikiwemo vyakula fedha taslim vyombo vya ndani na mifugo
wameitaka serikali kuwapa kibali cha kuandamana kwa ajili ya kudai haki zao kwani hapo awali UNK kufanya hivyo
hivi karibuni vitongoji nane vya loliondo ambavyo ni UNK UNK UNK UNK UNK UNK na sero na vinginevyo UNK maboma yao na kaya arobaini na tatu zimeathirika idadi ya watu walioathirika ni mia moja na thebathini na nne na thamani ya uharibifu wa mali ni shilingi milioni sitini na tatu sifuri mbili mwisho wanafunzi wa chuo cha the mwalimu nyerere kigamboni katika wilaya ya temeke wameiomba serikali na wafadhili mbalimbali kujitokeza UNK ili waweze kuboresha mradi wao wa pamoja ambao utawasaidia kuwafikia vijana wa elimu ya juu nchini kwa ajili ya UNK
akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam jana ofisa uhusiano wa umoja bibi furaha thonya alisema mradi huo ambao uko katika awamu ya pili unalenga kuwafikia vijana wote nchini hasa wale wa elimu ya juu
alisema mradi huo utawawezesha kuwafikia vijana na kutoa elimu ya jinsi ya kutoendelea kuwa tegemezi kwenye masuala mbalimbali yakiwemo ya kisiasa kujiendeleza kiuchumi utamaduni mazingira pamoja na suala zima la kujituma katika kuhakikisha wanaweka bidii katika kusoma
aidha alisema kuwa mwaka huu wamefanikiwa kuwasafirisha wanafunzi kumi na mbili kutoka nje ya nchi ambao wameungana pamoja katika kubadilishana mawazo kuhusiana na suala zima la masomo na masuala ya uchumi na siasa
bibi thonya alisema vile vile mradi huo unalenga kuwafikia vijana wa vyuo vya mikoani na kuendelea kuwahamasisha zaidi kuhusu mambo hayo yaliyotajwa hapo juu
hata hivyo alisema kuwa anaimani kwamba pamoja UNK vijana wengi kwani wamejiandaa vizuri na kwamba timu hiyo ni ya wanafunzi watanzania ni kumi na mbili na wanafunzi kutoka ujerumani kumi na mbili mwisho
morogoro tanzania kupitia kampuni ya kiwanda cha tumbaku kilichopo morogoro imefanikiwa kushinda tuzo bora katika afya na usalama mahali pa kazi barani afrika inayofahamika kama tuzo ya nosa akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa ambao walitembelea kiwandani hapo daktari wa kiwanda hicho ambaye pia ni mratibu wa afya na usalama kazini kwenye kampuni hiyo daktari UNK gugten alisema kuwa tuzo hiyo imepatikana kutokana na ushirikiano mzuri wa wafanyakazi wote
alisema kuwa tuzo hiyo ilitolewa katika hafla iliyofanyika katika mji wa UNK afrika kusini mwezi uliopita
tuzo hii hutolewa na chama cha afya na usalama mahali pa kazi katika nchi za kusini mwa afrika na mwaka huu zaidi ya UNK ishirini sifuri UNK na sisi tulifanikiwa kushinda
ushindi wetu ulikuwa mpango wa kimataifa UNK kama green star health and UNK unaohusu usindikaji wa vyakula vinywaji baridi na tumbaku alisema daktari UNK
tuzo hiyo ilitokana na matokeo ya ukaguzi wa hesabu wa nosa uliofanyika novemba mwaka jana ambapo kiwanda hicho kilipata hadhi ya nyota tano kwa miaka UNK mfululizo
alisema kuwa wakaguzi wa nosa huangalia idadi ya masuala ya afya na usalama katika kipindi cha mwaka mmoja na kutoa alama kuanzia asilimia UNK hadi kumi sifuri mchakato huo wa ukaguzi ulifanyika aprili ishirini sifuri nane hadi machi thebathini na moja mwaka huu na kutokana na ukaguzi huo kiwanda hicho kilikuwa na idadi ndogo ya matukio ya kudhuru afya na usalama kazini hivyo kujizolea asilimia tisini na moja daktari gugten alisema kuwa ni mara ya kwanza kwa kampuni hiyo kupata tuzo ya juu inayojumuisha afrika zima
hata hivyo kampuni hiyo iliwahi kupata tuzo nyingine mbili ndogo mwaka ishirini sifuri sita na ishirini sifuri saba ambazo UNK programu za afya na usalama kazini UNK eneo dogo la afrika
alisema kuwa mwaka ishirini sifuri sita ttpl iliibuka mshindi katika programu ya afya na usalama kazini na kutunukiwa tuzo yenye hadhi ya nyota tano katika kundi la usindikaji vyakula vinywaji baridi na tumbaku katika kanda ya kaskazini na mwaka ishirini sifuri saba ilipokea tuzo kwa kuwa na programu bora ya afya katika kanda ya kaskazini
kuwa washindi kimataifa mwaka huu ina maana kubwa sana kwa kampuni yetu na ni kielelezo tosha cha uwekezaji wa ttpl katika mitambo yake na pia kuboresha viwango vya afya na usalama
kila mwaka nosa hutoa tuzo kwa kampuni zilizofanya vizuri katika masuala ya afya na usalama mahali pa kazi UNK ii inatokana na kutoa kipaumbele katika masuala hayo