text
stringlengths
0
1.31k
neno askofu maana yeke ni UNK wa makanisa hivyo yoyote UNK wa makanisa ni askofu alisema askofu kakobe
alisema kuwa kama rais UNK kujenga taifa hili kwa misingi ya udini na ukabila tutajenga taifa lenye chuki ambayo huzaa mapigano ndio maana muasisi wa taifa aliamua nchi hii isiwe na dini ili wenye dini UNK na utanzania
aidha askofu kakobe alisema kuwa kumtaka rais jakaya kikwete kutoa tamko haina maana kuwa UNK kwake kama baadhi ya watu UNK bali yeye ni mtu mwenye msimamo pale akiona kuna tatizo lazima UNK
alisema kuwa umaarufu wake UNK kwa kupinga waraka na mwongozo kwani yeye ni maarufu toka zamani hivyo amewataka watanzania kutazama mbali zaidi kwani taifa UNK ni pabaya
mbunge wa singida kaskazini bwana lazaro nyalandu ameonya tabia ya vyama vya siasa kuingiza mambo yanayohusu imani za dini katika masuala ya siasa na kusema kuwa hali hiyo itasababisha kugawa nchi
alisema pia ni hatari kwa mstakabali wa amani na utulivu wa nchi kama mamlaka ya nchi itatumia pesa za walipa kodi na kujiingiza katika uendeshaji wa mambo ya dini yasiyokuwa na maslahi ya umma kwa watanzania wote
bwana nyalandu ambaye ni mbunge wa UNK kaskazini alisema hayo jana dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya kutimiza adhima yake ya kupeleka hoja binafsi kulitaka bunge kupitisha azimio la kutoruhusu masuala ya imani za dini kujadiliwa bungeni
katika bunge lililopita UNK kuwa nitawasilisha hoja binafsi kwenye mkutano ujao wa kumi na saba kulitaka bunge kupitisha azimio la kutoruhusu kabisa kujadili masuala ya imani za dini ndani ya bunge kwa kuwa ni hatari kwa amani ya nchi yetu na uvunjaji wa masharti na misingi ya katiba yetu ambayo inaeleza kuwa serikali haina dini alisema bwana nyalandu
alisema msukumo wa kutoa hoja hiyo umechangiwa kwa kiasi kikubwa na tabia iliyojitokeza kwa baadhi ya wabunge kujadili na kutaka kutungwa kwa sheria itakayowezesha serikali kuanzisha mahakama ya kadhi na tanzania kujiunga na na jumuiya ya nchi za kiislamu
mijadala kuhusu masuala ya kidini katika bunge imekuwa mikali sana na UNK kwa hisia za imani za dini husika na hivyo kuacha masuala yenye manufaa kwa nchi
kwani muda huo ungeweza kutumika kujadili na kutafuta suluhu kwa mambo yenye maslahi kwa umoja wa kitaifa
uendeshaji wa taasisi za kidini unapaswa kuwa nje ya mamlaka ya nje ingawa serikali inaweza kushirikiana na taasisi hizo katika mambo yanayohusiana na huduma kwa jamii nzima
alisema bwana nyalandu
alisema ipo nchi ambazo zimejikuta kwenye migogoro mikubwa ya kisiasa na kijamii hadi kusababisha kuvunjika kwa amani na wakati mwingine hadi vita ambapo ukifuatilia chanzo chake pamoja na mambo mengine ni mijadala mbalimbali inayohusu na masuala ya imani za dini
alisema kuwa hoja yake haina nia ya UNK bunge uhuru wake wa kujadili jambo lolote lenye maslahi ya taifa UNK ilivyoelezwa katika katiba bali ana lengo la kuwakumbusha wabunge kujadili masuala UNK na katiba ya nchi
bwana nyalandu aliongeza masuala ya imani ya dini UNK kwa mtu mmoja mmoja kujiunga na imani anayotaka isipokuwa UNK bungeni pale UNK na hoja mahsusi inayohusu suala la dini linalotishia UNK wa taifa
UNK kuwa hoja ya namna hiyo itajadiliwa baada ya kamati ya uongozi ya bunge kuidhinisha kwa kujiridhisha kuwa UNK masharti ya misingi ya katiba ya nchi
msingi huo ndiyo UNK nchi yetu kuwa miongoni mwa nchi chache duniani ambapo utakuta mtaa wake mmoja kuna msikiti kanisa UNK na ofisi ya mganga wa jadi na taasisi zote hizo zinafanya UNK zake kwa amani na watu wote wanaishi kwa amani na UNK bila mfarakano alisema
alipoulizwa na waandishi wa habari kuwa suala la mahakama ya kadhi liliibuliwa na chama chake cha ccm katika ilani yake bwana nyalandu alisisitiza kuwa masuala ya dini ya dini UNK kuachwa mbali na chama chochote cha siasa ili kuiepusha nchi na UNK
kwa mujibu wa bwana nyalandu hoja yake hiyo UNK mkono na wabunge takribani kumi sifuri na watu wengine wa kada nyingine wakiwemo viongozi wa dini huku akiwa bado anaendelea kutafuta uungwaji zaidi
alipopigiwa simu ili kujua msimamo wa ccm kuhusiana na hoja hiyo ya bwana nyalandu katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho bwana john chiligati alisema kuwa tayari wamekwisha kutoa tamuko juu ya mijadala inayohusiana na masuala ya imani na dini
sina cha UNK
siwezi kusema kingine tofauti na UNK na mkutano wa nec hivi karibuni ambapo tulisema kuwa serikali ikutane na wadau wote na kuyazungumza mambo hayo na kuyamaliza alisema bwana chiligati
katika tamuko la nec ccm kiliamua kuwa suala la mahakama ya kadhi waachiwe waislamu wenyewe UNK bila kuihusisha serikali katika uendeshaji wake
kwa upande wake hamad rashid ambaye ni UNK wa wawi na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni alionesha wasiwasi kwa hoja kupata uungwaji mkono kwa kusema kuwa inaweza kupingana na katiba UNK bunge uhuru wa kujadili jambo lolote katika jamii
nina wasiwasi kama hoja hiyo inaweza kuwa na ushawishi wa kutosha UNK
kwa sababu ukisema leo UNK kujadili mambo ya dini kesho mwingine atakuja akiomba tuache kujadili mambo ya wafugaji mwingine atasema mambo ya wavuvi au wafanyakazi
UNK naye katika kukataa watu kuchangia mijadala kwa ku UNK watu lakini siyo kuyajadili kabisa masuala hayo
maana ni kama alivyosema mwalimu kuwa ukianza dhambi moja ya ubaguzi UNK nyingine
the UNK thing is UNK alisema bwana hamad
hoja hiyo ya bwana nyalandu imekuja wakati huu kukiwa na mkanganyiko mkubwa ndani ya jamii kuhusiana na masuala ya dini na siasa kuchanganywa kwa kiasi kikubwa hata baadhi ya watu kuhofia UNK nchi huko UNK
masuala hayo ya dini UNK yamekuwa UNK watu katika msingi ya imani yao ni pamoja na kuwepo kwa madai ya kuundwa kwa mahakama ya kadhi huku ikiendeshwa na serikali nchi kujiunga na oic waraka wa kanisa katoliki na mwongozo kamti ya ashura ya waislamu
mijadala kama vile kuruhusu kujiunga oic na kuanzishwa kwa sheria ya kuendeshwa kwa mahakama ya kadhi imekuwa UNK hata wabunge UNK katika vikao bungeni huku mmoja mmoja wakionekana kutetea kulingana na imani za dini zao
waandishi wa habari walipotaka kujua kama wabunge ambao misimamo yao kuhusiana na masuala UNK watu hivi sasa kama vile kingunge UNK mwiru na bwana manju UNK wameunga hoja hiyo bwana nyalandu hakutaka kuweka wazi juu ya hilo
kwa mujibu wa taratibu za kibunge siyo muda mwafaka kuweka wazi majina ya wabunge hao kumi sifuri wanaoniunga mkono katika hoja hii
lakini wapo na UNK wengine wataongezeka
UNK kwa makini kwa kuangalia mambo yote ikiwemo mambo ya katiba na sheria za nchi amiri jeshi mkuu na rais wa tanzania daktari jakaya kikwete ameyataka majeshi ya afrika mashariki kuyatumia mazoezi UNK jana kuboresha uhusiano baina ya wanajeshi na wananchi wa nchi wanachama
pia amewataka kutumia mazoezi hayo UNK jina la mazoezi mlima kilimanjaro kuwa nafasi muhimu kwa majeshi hayo katika kukabiliana na UNK zinazowakabili wananchi hao ki afrika mashariki
rais kikwete alikuwa akizindua mazoezi ya kwanza ya aina yake yanayotarajiwa kufanyika kwa takribani wiki tatu ya nchi wanachama wa jumuiya ya afrika mashariki katika mikoa ya arusha na tanga
naamini kwa kufanya mazoezi haya ya pamoja UNK uzoefu kuongeza uhusiano kudumisha amani na mshikamano zaidi baina ya wanajeshi na wananchi wa nchi wanachama alisema rais
alisema mazoezi hayo UNK baada ya nchi wanachama kuimarisha mahusiano baina ya nchi hizo na kwamba kwa kufanikisha mazoezi hayo na wazi UNK hao na wananchi kwa ujumla UNK UNK wanachama watajifunza mengi UNK nchi hizo
yapo mengi makubwa na madogo UNK kuyafanya ikiwa na pamoja na kupunguza umaskini kwa wananchi wa nchi wanachama UNK mazoezi haya tutaongeza uwajibikaji umakini na nidhamu katika majeshi yetu alisisitiza
makubaliano ya jumuiya ya afrika mashariki UNK wazi kwa majeshi yetu na vyombo vya usalama kwa kushirikiana katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na mafunzo ya kijeshi oparesheni za pamoja masuala ya kiufundi na kubadilishana taarifa na UNK aliongeza
uzinduzi huo ulioshirikisha mawaziri wa ulinzi wa nchi wanachama na waziri wa ulinzi wa tanzania daktari hussein mwinyi ambaye awali alisema kuwa mazoezi hayo yanaweza kupunguza kwa kisi kikubwa migogoro inayojitokeza katika nchi husika
mazoezi hayo yanatarajiwa kufikia tamati septemba ishirini na tatu mwaka huu UNK kutoa mafunzo kwa majeshi na wadau wengine wa nchi hizo katika dhana za operesheni za ulinzi wa amani vita dhidi ya ugaidi na kukabiliana na maafa
zaidi ya wanajeshi elfu moja na mia sita na hamsini UNK zoezi hilo kutoka nchi wanachama na idadi yao katika mabano tanzania rwanda kenya na uganda kila nchi na burundi wanajeshi hamsini rais jakaya kikwete ameitaka benki ya wanawake tanzania katika kutengeneza sera ya mikopo bila kusahau kilimo
rais kikwete alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki alipokuwa akizindua rasmi benki hiyo ambapo pamoja na mambo mengine alisema kuwa anaelewa hisia na hasa hofu za benki kukopesha sekta ya kilimo
nawaomba UNK hofu hizo ila UNK wala kuendeleza hofu na kuwafanya UNK sekta ya kilimo
zaidi ya asilimia themanini ya watanzania wanaishi UNK na wanategemea kilimo katika kuleta maendeleo alisema
alisema kuwa wengi wa watanzania hao UNK kilimo ni wanawake ambapo alidai kuwa benki hiyo ikitoa mikopo kwa sekta ya kilimo UNK wadau wengi na UNK
mtoe mikopo kwa UNK wanaojihusisha na shughuli hizo mkifanya hivyo pia mtakuwa UNK katika utekelezaji wa mkakati mpya wa kusukuma kilimo maarufu kama kilimo kwanza alisema
viongozi na waumini wa dini nchini wametakiwa kutumia mahubiri na nyimbo kuombea nchi iondokane na malumbano yanayoendelea yanayoashiria kuleta chuki mifarakano na uhasama na hivyo kuhatarisha amani na ustawi wa nchi
hayo yalisemwa na naibu waziri wa kazi ajira na maendeleo ya vijana daktari makongoro mahanga katika hafla ya usiku wa marafiki wa agape iliyofanyika makao makuu ya shirika la dini la agape dar es salaam
daktari mahanga alisema viongozi wa dini wanatakiwa kutumia fursa waliyonayo kuombea neema UNK hii ili mungu UNK maovu ukiwemo uhalifu wa ujambazi ubadhirifu rushwa na ufisadi
alisema anaamini kwamba maombi na nyimbo za kumtukuza na kumwomba mungu zinaweza kuondoa balaa na maovu nchini badala ya viongozi wa dini kutumia utaratibu wa wenyewe UNK vidole na viongozi wa kisiasa na dini nyingine
akizungumzia tatizo la ukosefu wa ajira nchini alisema linasababishwa na ukosefu wa mitaji elimu na hali ya uchumi na vijana UNK kukuza na kutumia vipaji walivyopewa na mungu hivyo akawataka wawe wabunifu
na thomas dominick masheikh nchini wametoa tamko la kulaani vikali tukio la kushambuliwa na kupigwa kofi rais mstaafu bwana ali hassan mwinyi na kijana ibrahim said wakati wa baraza la maulid lililofanyika ukumbi wa diamond jubilee
wakitoa tamko hilo dar es salaam jana masheikh waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na taasisi ya mwinyi baraka UNK foundation ambapo msemaji mkuu sheikh mohamed idd imamu wa msikiti wa UNK alisema waislamu inabidi kulaani kitendo hicho na kama wanataka kupeleka ujumbe watumie njia sahihi
masheikh UNK kwa kina na mfumo sahihi wa kufikisha ujumbe katika jamii ikizingatia kitendo cha kushambuliwa bwana mwinyi na misimamo mbalimbali iliyotolewa kuhusisha uislamu na mafundisho yake alisema sheikh idd katika mkutano huo ambapo pia ulihudhuriwa na mufti mkuu wa tanzania sheikh issa shaban bin simba
baada ya majadiliano ya kina wanasheria wa kiislamu walitoa msimamo wa pamoja kuhusu njia sahihi ya kufikisha ujumbe kwa jamii ikiwemo kutaka UNK ujumbe kuwa na elimu juu ya kuufikisha kuwa mpole wakati wa kufikisha na kuzingatia maslahi kwa UNK ili kuepusha madhara kwake na jamii UNK ujumbe
masheikh hao walisema kitendo cha kupigwa bwana mwinyi ni kibaya na UNK uislamu wala maadili ambayo waumini wa kiislamu wanatakiwa UNK
wote UNK mkono kwa madai ya kufuata mafundisho ambayo yametolewa na mtume mohamed wanasumbuliwa na matatizo ya ufahamu wa mafundisho hayo maslahi binafsi ya kisiasa na uchumi na kushindwa kuzingatia yale yaliyosemwa na mzee mwinyi ambaye UNK matumizi ya kondomu alisema
alisema bwana mwinyi aliwataka masheikh kutoa maelekezo na misimamo ya pande mbili za waislamu juu ya njia ya kukabiliana na maradhi ya ukimwi ambayo inasisitiza na kuweka wazi kuwa zinaa ni dhambi kubwa na chukizo mbele ya mungu
hata hivyo walitumia fursa hiyo kumpata pole bwana mwinyi kwa UNK na wamefarijika na UNK mungu wake ambao ulisababisha kumsamehe kijana huyo mara tu baada ya tukio
kutokana na tatizo hili tumeamua kuunda jopo wataalamu wa dini na wanasheria wa kiislamu kwa ajili ya kufuatilia matukio mbalimbali yanayohusu uislamu kitaifa kikanda na kimataifa na kuyatolea kauli muafaka na majibu sahihi kwa wakati alisema
tamko hilo UNK saini na masheikh watano kwa niaba ya wote waliohudhuria kikao hicho ambao ni sheikh UNK UNK sheikh suleiman UNK sheikh shehata shaban sheikh muharami juma doga na sheikh abubakari UNK
wabunge wa chama cha mapinduzi wanaopinga ufisadi nchini wameibuka kwa staili ya vijembe na kuendelea UNK mafisadi wakitumia mafumbo nukuu za biblia koran na hata nyimbo za taarab kufikisha ujumbe
staili yao hiyo mpya iliibuliwa juzi wakati kundi la wabunge hao UNK nafasi ya kusalimia wananchi wa jimbo la nzega mkoani tabora katika uzinduzi wa mfuko wa akiba na kukopa wilayani humo uliofanyika kwenye viwanja vya kanisa la pentekoste UNK
bwana lucas seleli mbunge wa nzega ambaye ndiye aliyekuwa mwenyeji wao alishika kipaza sauti saa saba arobaini na tano mchana aliyewataka wananchi waunge mkono jitihada zao na rais jakaya kikwete katika kupambana na ubadhirifu wa mali za nchi
mbunge wa kishapu bwana fred mpendazoe ndiye aliyekuwa wa pili kuzungumza alisema kwa mafumbo si rahisi mtu kuukumbatia UNK bali ni rahisi kuuzunguka lakini akabainisha kuwa bwana UNK ameweza kuukumbatia hivyo naye amefuata nyayo zake kwa kuukumbatia UNK
alisema watu wamekuwa UNK kujadili mambo mazito ya taifa na kutafuta njia za mkato nchi inakwenda pabaya inahitaji ujasiri wa hali ya juu nawaomba tumuunge mkono rais jakaya kikwete kwani ana nia ya dhati ya kulikomboa taifa hili
tumuunge mkono spika wa bunge la tanzania samwel sitta kwani ana nia ya dhati ya kupigania maslahi ya taifa muungeni mkono watu wanaotoa mali zao kutetea wanyonge muungeni mkono mengi UNK mkono UNK mhanga selelii mwakyembe sendeka kilango na wengine alisema
mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ccm bwana nape nnauye ambaye pia ni katibu msaidizi idara ya siasa na uhusiano wa kimataifa ccm makao makuu ndiye alikuwa wa tatu kuzungumza
akikamata kipaza UNK saa nane kumi na mbili na kusema hata babu huwa UNK UNK zake wapeleke mkono sehemu UNK kugusa mimi ndiye UNK utekelezaji wa ilani ya ccm UNK aseme hao waache wafanye UNK na UNK kama mjukuu na babu lakini wakipeleka mkono UNK UNK huko hapa
safari ya mamba na kenge hawakosi hivyo katika safari hii ipo haja ya UNK mamba ni nani na kenge ni nani mnyonge UNK lakini haki yake mpeni na mwenye macho UNK tazama alimalizia bwana nape na kumpa kipaza sauti mbunge wa kilindi beatrice shelukindo aliyewataka watanzania UNK kupambana na mafisadi
aliyepokea UNK sauti kutoka kwa bibi shelukindo saa nane thebathini na moja alikuwa mbunge wa simanjiro bwana christopher ole sendeka UNK alianza kunukuu maandiko ya biblia akisema yesu alisema UNK aibu nami UNK aibu katika mambo UNK aibu ni haya ya kumsaidia mnyonge na maskini
pia alinukuu UNK kumweleza mtume muhammad alivyoweza kuishi na watu bila UNK kisha UNK wote UNK uongozi kwa misingi ya dini
kama haitoshi bwana sendeka aliimba wimbo UNK mafisadi baadhi ya maneno UNK
walipewa dhamana na kuaminiwa leo wamegeuka mafisadi UNK chama na nchi yetu ndipo tena akaanza UNK kwa wimbo wa taarab usemao kupendwa ni bahati yangu na wala si mzizi kutumia huku akishangiliwa na UNK
alipopewa kipaza sauti saa nane arobaini na mbili mbunge wa kyela daktari harison mwakyembe alieleza kwa ufupi kuwa kwakua mafisadi wanatumia fedha kufanya mambo yao wananchi wakipewa fedha UNK lakini UNK wanayotaka mafisadi ndipo UNK mwenyekiti mtendaji wa ipp bwana reginald mengi
bwana mengi aliyepewa kipaza sauti saa tisa ishirini na tano alieleza umma wa wananchi waliokusanyika kuwa anashangazwa na watu UNK juhudi za kusafisha ufisadi nchini na kusema binafsi hatoi misaada kwa kusaka madaraka
wanasiasa wana wivu wakiona unashangiliwa sana wanadhani unataka kuwanyangganya madaraka yao mimi sitaki siasa na wala madaraka yao sipendi uongozi wa kisiasa sipendi uongozi wowote alieleza bwana mengi
chama cha wananchi kimeeleza wasiwasi kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa na kusema hautakuwa huru na haki
hayo yalisemwa jana dar es salaam na mwenyekiti wa cuf profesa ibrahim lipumba kuwa ni miaka arobaini na nane tangu tanzania ilipopata uhuru lakini imeshindwa kusimamia uchaguzi kuwa huru na wa haki
huu usanii utaendelea hadi lini
tunahitaji tume huru ya uchaguzi ili tuweze kupata viongozi waadilifu UNK maendeleo ya nchi alisema profesa lipumba alisema kasoro zilizojitokeza katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa upande wa serikali za mitaa na mgawanyo mbovu wa mitaa ni kielelezo kuwa UNK huo hautakuwa wa haki na huru
alisema mgawanyo huo umezingatia maslahi ya kisiasa badala ya vigezo vya msingi vya kugawa maeneo kama vile wingi wa watu ukubwa wa UNK na upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii
maeneo mengi ya mitaa hii mipya UNK baada ya kuona kuna wana ccm wakihisi ndio njia ya kujipatia maeneo ya kutawala alisema profesa lipumba alisema kukataliwa kuandikishwa katika daftari kwa wananchi ambao wameshindwa kujua tarehe zao za kuzaliwa hata kama kama wanatambua mwaka wao wa kuzaliwa ni kuwanyima haki ya msingi wananchi
alisema cuf inalaani kitendo cha naibu waziri wa tamisemi bibi celina kombani kupuuza makubaliano ya mkutano wa wadau kuhusu kanuni na taratibu za uchaguzi wa viongozi wa vijiji mitaa na vitongoji ishirini sifuri tisa yaliyofikiwa hivi karibuni
pia alielezea cuf chama chake kusikitishwa na jeshi la polisi kutumiwa ili kudhoofisha shughuli za maandalizi ya uchaguzi wa chama hicho ambapo viongozi wa jeshi UNK wamegeuka kuwa makada wa ccm badala ya kuwa watumishi wa umma
hujuma tena
treni UNK kuangushwa baada ya UNK
kamanda wa polisi kitengo cha reli azungumza siku mbili baada ya wafanyakazi wa kampuni ya reli tanzania kufanya mgomo wakidai mshahara na hatma ya ajira yao limetokea kundi maalumu lenye nia ya kutaka kuangusha treni mbili za abiria katika maeneo mawili tofauti jijini dar es salaam
tukio la kwanza limetokea juzi eneo la gongolamboto saa moja usiku baada ya kuondolewa kipande cha reli wakati treni namba sabini na tatu r kumi na tisa ikitoka mwanza kupitia kigoma kwenda dar es salaam
hata hivyo kabla ya treni hiyo kufika eneo hilo wasamaria wema walitoa taarifa kwa kamanda wa polisi kitengo cha reli bibi ruth makelemo ambapo alifika katika eneo la tukio akiwa na askari pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa trl na UNK dereva kusimama kabla ya kufika eneo hilo
akizungumza na wafanyakazi waliokuwa UNK kiongozi kutoka serikalini bibi makelemo alisema taratibu za kiufundi zilifanyika na kuweza kuepusha hujuma hizo ambazo haijulikani ni kutoka upande wa wafanyakazi wenyewe au rites katika tukio la pili jana saa nne asubuhi eneo la stesheni wakati treni namba trl sabini na tatu r kumi na tisa ikiwa inakaribia inaingia kituoni ghafla mtu mmoja UNK alijitokeza na kubadili njia kwa lengo la UNK
wafanyakazi waliokuwepo karibu kwa jitihada za haraka na uzoefu wao walikimbia na kuirudishia njia ile huku wakipiga UNK kuashiria mwizi na wengine kuanza kumfukuza ili kumkamata lakini kwa bahati baya UNK pasipo UNK eneo la barabara ya kawawa
hata hivyo taarifa hiyo UNK kwa bibi makelemo kwa mara ya pili aliamua UNK za kufungwa kwa njia zote za treni na kuweka UNK wa askari hadi hapo migogoro hiyo itakapomalizika na hasa UNK na vifaru vya uganda ambavyo hadi sasa UNK kusafirishwa kutokana na mgomo huo
alisema kutokana na hali ya kutokuwepo usalama kwenye njia za treni kutakuwepo na operesheni itakayohusisha wahandisi askari na fundi kwa ajili ya ukaguzi wakati wa usafirishaji wa abiria na vifaru hivyo
akizungumzi abiria waliokwama siku tatu kusafiri alisema kuwa nauli zao UNK na abiria waliotakiwa kusafiri jana