text
stringlengths
7
259
labels
stringclasses
26 values
Asante, uje katika chumba cha dining, ntakata keki hivi mda si mrefu. uwepo tafadhali .
[1]
Maskini weeh, ametoka sasahivi mmepishana kidogo tuu
[3]
kutojua sheria sio kinga ya mashtaka na sio kinga dhidi ya adhabu.
[4]
Una roho ya ibilisi wewe
[4]
Anafafana na ngurue
[4]
Leo ni siku yako ya kuzaliwa . Awali ya yote , tunakupongeza kwa kumbukizi ya siku yako hii ya kuzaliwa
[1]
Uzembe kabisa
[2, 4]
\"Wazazi wangu wana mtazamo wa kila mmoja wakati anapaswa kupatanishwa, licha ya baba yangu wa muda mrefu kuwa baba yake. '
[4]
Kutangazwa tu haitoshi. Wavuliwe uanachama kabisa.
[2]
hujawahi? Kama hujawahi kujaribu naweza kukuonyesha namna.
[5]
umenunua handset nyingine??
[5]
Unawekaje miguu kwenye meza ya kuwekea chakula? Akili yako iko vizuri
[2, 4]
wanjiroo?? hiyo maana yake ndo nini ?
[5]
Nimefika ila moyo wangu umejaa huzuni kubwa, nimemaliza kumzika babu kafariki mama yangu mdogo yaani ukifikiri sana utaishia kumkosea Mola.
[3]
kwani hati imesainiwa na naniii????
[5]
Hivi? Hivi vifo tunavisikia sisi tu wengine hawavioni au?
[5]
Iko wazi kabisa, hakupendi na hakuhitaji nyumbani kwake
[2]
habari ya kifo inaogopesha
[6]
Sawa. Navunja uhusiano na Cathy..
[3]
Kuongoza wajinga wengi raha sana jamani
[1]
Kibaki ameiba na wala hakuna spin nyingine hapa.
[4]
Hutakiwi kutumia flash kupiga picha maana....
[6]
Relationship sio mzaha.
[4]
Tiffah alivyozungumza kwa furaha baada ya kuonana na baba yeke
[1]
yeye hapendi yamafuta hahahahahaaaaaa
[1]
Hakika jamaa wanachapa kazi kwelikweli tena kizalendo kwa style hii ya kukanyagia mateke
[1]
Nimeviona vichwa vya Tanzania sasa
[1]
kabla ya kujiaminisha kwa suala zito kama dhuluma ya kabila moja dhidi ya wananchi wenzao ni vizuri mhusika akafanya utafiti wa kina.
[4]
Udhalilishaji upo wapi hapo?
[5]
Guinness inafurahishwa haswa.
[1]
Nimejusikia fahari sana wewe kuja kuniuliza.
[1]
Wanawake wajifunze kwa hadithi hii ya uyu mzee..! Waache roho ya ukatili kwa baba na watoto wao
[3, 4]
Akitoka utamsaidiaje? Make umeshamharibia maisha
[4]
Amenichosha. Hasemi tatizo ni nini analia tuu toka asubuhi
[2, 4]
Watumbuwe tukikaa kimya hatujengi mazoea wanaiba
[4]
"Wewe ni nani, na unataka nini?" aliuliza yule mtu kwa sauti ya kunung'unika.
[4]
Miaka yote mafuriko ,wavunje nyumba ambazo ziko kwenye mkondo wa maji
[4]
hujapenda umetamani hapa mtakubaliana na mimi kwa definition ya mapenzi upofu.
[0]
huna haya kweli mtu mzima hovyooo
[4]
Changamoto ilikubaliwa na huku kukiwa na shangwe kutoka kwa kikundi cha waume wakimzomea
[2]
Inashangaza sana barabara zilivyo. Mashule ya msingi yanasikitisha! Siasa siasa kila kukicha!!!.
[4]
Nilipata maoni kwamba alikuwa na mshtuko mkubwa juu ya msimamo wake na aliazimia kuondoa hatari yoyote kwa mabadiliko makubwa ya Serikali.
[6]
Hivyo ??sa siku nzuri ya kuona dunia mbili darasa timu uso kila mmoja na kupigana kwa ajili ya haki yao ya kuitwa mabingwa .
[1]
Usinipigie kelele, Shika adabu yako.
[2]
ina ladha nzuri, tamu sana.
[1]
Kwa nini , hii ni filamu ya kuvutia sana!
[5]
Si kwa mdundo huo wa mkorogo, kweli nyie ni kiboko
[1]
Nakaribia kulipuka ! Wewe umeliharibu kabisa jambo hili .
[2]
mama yetu Washindwe wasiokupenda tumbua tumbua usiogope Mungu yupo
[1]
Ilikuwa baada ya saa sita mchana ndipo tuliposikia mtu akigonga na kuzani ni jirani kumbe ni mwizi
[3]
Halafu wanasema hali ngumu kazi iyo
[5]
?badala ya kutujazia mikelele yao ya nyaraka wafunge tu makanisa yao tumechoka minyaraka kutwa
[4]
Sifa kwake Uhuru Kenyatta
[1]
Ulipata kuinywa?
[5]
Kutafuta hela muhimu lakini usalama wake amezingatia?
[0]
Aliruka ruka huku na huko akishangilia
[1]
Ila mada zingine bana. Sasa hii itakusaidia nini. Dili na mambo yenye tija
[5]
nililala katika chapel na katikati ya usiku niligundua kuwa kulikuwa na mtu mwingine katika kanisa. Sijawahi kugundua nani ilikuwa na kwa nini alikuwa huko.
[6]
Huyu alomtoza pesa mgonywa, azilipe na fukuze kazi
[1]
mtoto nzuri muda woote anamshukuru Mungu, Mungu akuhifadhi na woote wanaokusaidia awajaze kheri
[1]
Tania alichochea ugomvi kwa kuongezea maneno ya uongo, mamayake alimfata na kumtandika kwa kuonyesha tabia hiyo mbaya
[4]
huyo mtangazaji wa kike wallah haelewi kitu kabisaa
[4]
Sikutegemea..maana ni saa chache tu zimepita
[0]
hawa mashetani wawili wanachukulia mzaha kwenye maisha ya watanzania....nawashauri wapumzike maana ARV zimewaadhiri .
[2, 4]
Watu ni wengi mno walioathirika na mabomu hayo na wengi wakiwemo ni watoto na nguvukazi ya vijana
[3]
Nahisi kila kitu karibu nami kiko kinyume na mimi
[3]
Mnyama aliyekasirika alimkimbiza hadi kumwangusha chini.
[2]
binafsi kiukweli nimefurahishwa .
[1]
Merrill aliumia kwa kukataliwa kwake.
[3]
Unaona wale vibata kule mtoni..
[1]
De Gaulle alikasirishwa, akaamuru kukumbukwa kwa Massu kwenda Paris, na, dhidi ya ushauri wa washauri kadhaa wakubwa, alisisitiza Massu asiruhusiwe kurudi kwa amri yake.
[2]
Hatusemi serikali inauwezo wa kutokomeza corona bali tunataka ipunguze mzaha katika kupambana na corona kwa kuhamasisha watu kufuata ushauri wa kitaalam
[3]
Pole sana mzee, mwamini mungu atasaidia
[3]
Kweli ? Hiyo ni nzuri .
[5]
Ajali ya helikopta iliyopelekea vifo vya watu 8 akiwemo Kobe
[3]
Eee mungu sina cha kukulipa kwaajili ya raisi wetu naomba tu umpe ulinzi wa juu ya mbingu na chini ya ardhi
[1]
Shirika la Afya Duniani (WHO) linashauri kuwa matumizi ya barakoa kwa watoto wa umri wowote
[0]
KAMA UMEMCHOKA BINT WA WATU MWAMBIE TU KULIKO KUMFANYIA UKATILI KIASI ICHI
[4]
siwwezi kuvumilia kuwa na wwe tena. Nimechoshwa na ulevi wako .
[2]
Wewe ndio huna akili unabishana na ukweli, unaichukia hio lugha kwa sababu huiwezi na huna uwezo wa kupeleka watoto wajifunze
[4]
Mko wapi! Msiniache tafadhali
[6]
Tunashuhudia michezo, ya kudanganya umma!
[4]
Matangazo mengi adi unakeraaa
[4]
Pia na nyie viongozi msilee upuuzi wa marefa muwe mnalalamika bwana!
[2, 4]
mama leo amekasirika??msizidi kufanaya vitu vitavosababisha mchapwe
[2]
Asikuwe amechukua pesa ya mkopo anafanyia sherehe
[3]
ninahisi kutishwa na wanawake katika familia yangu
[6]
Ndege tayari imeshachukuliwa nafasi kwa ajili ya sherehe ya siku ya kuzaliwa
[1]
Una hekima binti
[1]
Sawa kwa mbali ninaweza kuamini habari hii ya hawa watu wa gazeti la raia mwema
[0]
Alidondosha machozi ya furaha??aliposikia jina lake likitajwa katika hafla ile
[1]
Kweli ? Je, ina maana kwamba wewe unaondoka?
[5]
Wakulima wengi wa nyama ya ng'ombe katika mkoa wangu wana hofu sana juu ya athari za mapendekezo yaliyotolewa.
[6]
Nzuri, tuchukue tu! Tumekuwa hapa kwenye ununuzi wa samani kwa saa tano sasa! Mimi nimeshachoka!
[1]
Usiombe yakukute
[3]
unadhani anaekasirishwa na matukio ya wanawake kuwa watupu ni mwanaume?!?
[5]
Msafiri Kassele nenda peke yako tuu ndugu ,sio kwa anaconda wale wa kutisha
[6]
Ni yeye ? Nilidhani yeye alikuwa mtaalamu wa hisabati .
[5]
kwani ukimwi kitu gani!!?
[5]
Nipo mkoa wakagera lakini nimegundua mengi sana
[0]