Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet
premise
stringlengths
13
264
hypothesis
stringlengths
9
145
label
int64
0
2
Naye akasema, Mama, niko nyumbani.
Alimwita mama yake mara tu basi ya shule ilipomshukisha.
1
Naye akasema, Mama, niko nyumbani.
Hakusema chochote.
2
Naye akasema, Mama, niko nyumbani.
Alimwambia mama yake alikuwa amefika nyumbani.
0
Sikujua nini nilichoendea au kitu chochote, hivyo ilikuwa na ni ripoti mahali paliopangwa huko Washington.
Sijawahi kwenda Washington hivyo wakati nilipotumwa huko nilipotea nikijaribu kutafuta mahali.
1
Sikujua nini nilichoendea au kitu chochote, hivyo ilikuwa na ni ripoti mahali paliopangwa huko Washington.
Nilijua hasa kile nilichohitaji kufanya nilipoingia Washington.
2
Sikujua nini nilichoendea au kitu chochote, hivyo ilikuwa na ni ripoti mahali paliopangwa huko Washington.
Sikuwa na hakika kabisa nilichokuwa nikienda kufanya hivyo nilikwenda Washington ambako nilipewa kazi ya kuripoti.
0
Hakuweza kuenda.
Alikuwa wa kwanza kualikwa na alipendezwa sana.
2
Hakuweza kuenda.
Hakuruhusiwa kuhudhuria.
0
Hakuweza kuenda.
Hakuruhusiwa kuenda katika ufunguzi wa jumba la makumbusho.
1
Mimi nilikuwa nimeridhika nayo.
Baada yangu kusema ndiyo, ikaisha.
0
Mimi nilikuwa nimeridhika nayo.
Nilisema La, ikaendelea na kuendelea.
2
Mimi nilikuwa nimeridhika nayo.
Niliposema ndio, tuliamua kuoana siku hyo.
1
Nilikuwa tu uko kujaribu kujua ni lipi?
Naielewa vizuri tangu mwanzo.
2
Nilikuwa tu uko kujaribu kujua ni lipi?
Nilijaribu kuelewa kwenye pesa ilienda.
1
Nilikuwa tu uko kujaribu kujua ni lipi?
Nilikuwa najaribu kuelewa.
0
Nyanyangu alikuwa na mazoea ya kusema hadithi ya jinsi dadake na bwana wa dadake walivyoamua wataenda mjini Augusta na wjifanye wazungu.
Dada yake bibi alikuwa mweupe na alihamia Texas.
2
Nyanyangu alikuwa na mazoea ya kusema hadithi ya jinsi dadake na bwana wa dadake walivyoamua wataenda mjini Augusta na wjifanye wazungu.
Dada ya nyanya hakuwa mzungu.
0
Nyanyangu alikuwa na mazoea ya kusema hadithi ya jinsi dadake na bwana wa dadake walivyoamua wataenda mjini Augusta na wjifanye wazungu.
Dadake bibi yangu hakuwa mweupe lakini alitaka kuwa ili aweze kwenda shule.
1
Lakini alikuwa, unajua, kwa njia nyingi, kama mwana wa mmiliki wa mimea kwa sababu alikuwa mwana wa mtu huyu ambaye alikuwa na mali nyingi.
Baba yake hakumiliki kitu chochote katika maisha yake.
2
Lakini alikuwa, unajua, kwa njia nyingi, kama mwana wa mmiliki wa mimea kwa sababu alikuwa mwana wa mtu huyu ambaye alikuwa na mali nyingi.
Baba yake alimiliki ekari 2000 za shamba.
1
Lakini alikuwa, unajua, kwa njia nyingi, kama mwana wa mmiliki wa mimea kwa sababu alikuwa mwana wa mtu huyu ambaye alikuwa na mali nyingi.
Baba yake alikuwa na mali nyingi.
0
Lakini kazi yangu ilikuwa kuweka parashuti juu yake na vyombo vya kuokoa maisha wakati tulipakia mzigo na kuanza kuenda mahali nje ya nchi.
Sikukuwa na kazi hivyo niliweka sanduku zote nyumbani.
2
Lakini kazi yangu ilikuwa kuweka parashuti juu yake na vyombo vya kuokoa maisha wakati tulipakia mzigo na kuanza kuenda mahali nje ya nchi.
Nilisafirisha masanduku hadi Japani.
1
Lakini kazi yangu ilikuwa kuweka parashuti juu yake na vyombo vya kuokoa maisha wakati tulipakia mzigo na kuanza kuenda mahali nje ya nchi.
Nilizituma nje.
0
Sasa hivyo ndivyo jinsi, uh, mimi hufungiwa ndani kwa bakoli.
Nilihakikisha kwamba ukanda ulikua imara kuhakikisha usalama wangu,
1
Sasa hivyo ndivyo jinsi, uh, mimi hufungiwa ndani kwa bakoli.
Hivyo ndivyo haswa jinsi nilivyoachiliwa.
2
Sasa hivyo ndivyo jinsi, uh, mimi hufungiwa ndani kwa bakoli.
Hiyo ni sawa jinsi nilivyofungwa.
0
Alikuwa mshambuliaji wa watoto na alipenda kuzurura. Sikumpenda lakini wajua hizo ndio hadithi zangu.
Alikuwa mwaminifu sana na mzuri.
2
Alikuwa mshambuliaji wa watoto na alipenda kuzurura. Sikumpenda lakini wajua hizo ndio hadithi zangu.
Nilimchukia kwa sababu alikuwa mwenye kiburi sana.
1
Alikuwa mshambuliaji wa watoto na alipenda kuzurura. Sikumpenda lakini wajua hizo ndio hadithi zangu.
Sikuwa shabiki wake.
0
Wakati ninapovuta, wakati anapovuta kamba ili mimi kuanza kumtoa nje, anaonyesha vyombo viwili upande wake wa kushoto wa ndege ambayo kwa kweli imeyeyuka wakati wa kukimbia/ kupaa.
Vyombo vyote katika ndege vilikuwa havikusumbuliwa.
2
Wakati ninapovuta, wakati anapovuta kamba ili mimi kuanza kumtoa nje, anaonyesha vyombo viwili upande wake wa kushoto wa ndege ambayo kwa kweli imeyeyuka wakati wa kukimbia/ kupaa.
Ilikuwa vigumu kumtoa nje.
1
Wakati ninapovuta, wakati anapovuta kamba ili mimi kuanza kumtoa nje, anaonyesha vyombo viwili upande wake wa kushoto wa ndege ambayo kwa kweli imeyeyuka wakati wa kukimbia/ kupaa.
Kulikua na vyombo ndani ya ndege ambavyo viliyeyuka.
0
Alafu, hakuelewa kabisa.
Alas, hakuweza kuelewa wazi kutokana na kizuizi cha lugha.
1
Alafu, hakuelewa kabisa.
Kwa hakika, yeye hakuelewa.
0
Alafu, hakuelewa kabisa.
Alijua hasa kile tulikuwa tukizungumza kuhusu.
2
Labda aliambia kila mtu na sikuwa natilia maanani kwa wakati huo.
Sikumskia alipoambia kila mtu
0
Labda aliambia kila mtu na sikuwa natilia maanani kwa wakati huo.
Nilisikia kila kitu alichosema.
2
Labda aliambia kila mtu na sikuwa natilia maanani kwa wakati huo.
Nilikuwa nikizungumza na mtu mwingine wakati huo.
1
Kupoteza tu ndege mbili, tatu wakati tulikuwa huko na, uh, wakati wa kupima.
Ndege kadhaa zilipotea kwa sababu ya hali ya hewa.
1
Kupoteza tu ndege mbili, tatu wakati tulikuwa huko na, uh, wakati wa kupima.
Ndege kadhaa zilipotea.
0
Kupoteza tu ndege mbili, tatu wakati tulikuwa huko na, uh, wakati wa kupima.
Hatujawahi kupoteza ndege.
2
Ninahitaji kufanya kitu kwa ajili yangu.
Sihitaji msaada wowote.
2
Ninahitaji kufanya kitu kwa ajili yangu.
Ni kazi kubwa ambayo ninahitaji kufanyika.
1
Ninahitaji kufanya kitu kwa ajili yangu.
Kuna kitu ambacho nitajihitaji ifanyika.
0
Oh ulikuwa mto wa nyoka,yenye nyoka mingi sana.
Licha ya jina lake, Mto wa nyoka, hakuna nyoka kwenye mto huo. Unaitwa hivyo kwa ajili ya muundo wake wa S.
2
Oh ulikuwa mto wa nyoka,yenye nyoka mingi sana.
Mto wa nyoka una kasa wengi wenye hasira
1
Oh ulikuwa mto wa nyoka,yenye nyoka mingi sana.
Snake River imejaa nyoka.
0
hasa ni hali ya kazi sio kitu ambacho unaweza kuwa na aina wajua kuwa bila kushiriki haswa na kutarajia kufanya mazuri yoyote kweli sidhani
Nadhani unapaswa kutoa masaa 10 kwa siku ili uwe mzuri.
1
hasa ni hali ya kazi sio kitu ambacho unaweza kuwa na aina wajua kuwa bila kushiriki haswa na kutarajia kufanya mazuri yoyote kweli sidhani
Ni maoni yangu kuwa itabidi ujitolee zaidi kwalo ili kulifanya vyema.
0
hasa ni hali ya kazi sio kitu ambacho unaweza kuwa na aina wajua kuwa bila kushiriki haswa na kutarajia kufanya mazuri yoyote kweli sidhani
Ni sawa iwapo hautaichukulia kwa uzito
2
Kitu ambacho naona ni cha kupendeza sana ni kwamba itatubidi tuwabadilishe watu ambao wanatuwakilisha.
Najua kwamba litakuwa jambo la kuchosha na lisilostahili kuwabadilisha wanaotuwakilisha, kwa hivyo hata hatufai kujaribu kubadilisha.
2
Kitu ambacho naona ni cha kupendeza sana ni kwamba itatubidi tuwabadilishe watu ambao wanatuwakilisha.
Nafikiri itakuwa vigumu kubadili wawakilishi wetu lakini kwa manufaa mwishoni.
1
Kitu ambacho naona ni cha kupendeza sana ni kwamba itatubidi tuwabadilishe watu ambao wanatuwakilisha.
Nilazima tufanye mabadiliko kwa wale wanao tuwakilisha.
0
Wanaweza pia kuwa wazuri baada ya kufunzwa.
Wanakuwa wagumu na baridi baada ya kukamilisha mafunzo.
2
Wanaweza pia kuwa wazuri baada ya kufunzwa.
Wanabadilika haraka wanapoendelea na mafunzo.
1
Wanaweza pia kuwa wazuri baada ya kufunzwa.
Wanapopata mafunzo wanaweza kuwa wazuri kabisa
0
Inaweza kuendelea kwa miaka ishirini, ninadhani hii ni ujinga.
Nadhani inashangaza kwamba kesi moja inaweza kuendelea kwa miaka mingi.
1
Inaweza kuendelea kwa miaka ishirini, ninadhani hii ni ujinga.
Nafikiri ni ya kushangaza sana yakuamba inaweza kaa muda mrefu hivyo.
0
Inaweza kuendelea kwa miaka ishirini, ninadhani hii ni ujinga.
Inadumu wiki moja tu.
2
Lazima uwe ulikuwa na yenye haina kamba.
Sahihi, uliyokuwa nayo ilikuwa pasi waya.
0
Lazima uwe ulikuwa na yenye haina kamba.
Ile uliyokuwa nayo kwa uhakika ni toleo la kamba tu.
2
Lazima uwe ulikuwa na yenye haina kamba.
Pengine umekuwa na moja iliyo na kamba unayoweza kutumia au la.
1
unasema walimu au wazazi
Je, unasema wanafunzi au usaidizi wa mwalimu ulifanya hivyo?
2
unasema walimu au wazazi
Je, ni walimu au wazazi?
0
unasema walimu au wazazi
Unasema nini kuhusu wazazi na walimu?
1
Nafikiri itakuwa, nafikir, vizuri, sijui, bado sijamaliza fikra zangu kuhusiana na upimaji wa dawa.ha, Niko msafi kabisa, siwezi fikiria kutumia madawa.
Ninapinga dhidi ya kupima madawa ya kulevya, hakuna shaka katika mawazo yangu kuhusu hilo.
2
Nafikiri itakuwa, nafikir, vizuri, sijui, bado sijamaliza fikra zangu kuhusiana na upimaji wa dawa.ha, Niko msafi kabisa, siwezi fikiria kutumia madawa.
Nadhani nitakuwa sawa na mtihani wa dawa za kulevya.
1
Nafikiri itakuwa, nafikir, vizuri, sijui, bado sijamaliza fikra zangu kuhusiana na upimaji wa dawa.ha, Niko msafi kabisa, siwezi fikiria kutumia madawa.
Nafikiria hivo lakini sijaangalia hisia zangu kuhusiana na uchunguzi wa madawa.
0
tahadhari kuhusu jinsi habari za kitaifa zinavyoathiri mtaa
wasiwasi kuhusu eneo kuathiriwa na habari za taifa.
0
tahadhari kuhusu jinsi habari za kitaifa zinavyoathiri mtaa
Ningeweza kujali chini ya habari gani za kitaifa zinazohusu wasiwasi kuhusu maeneo yetu.
2
tahadhari kuhusu jinsi habari za kitaifa zinavyoathiri mtaa
Maduka ya habari ya kitaifa hufanya maeneo yetu ya ndani yanaonekana nyuma.
1
lakini sio kawaida tunajua sketi na sketi na blauzi au suti au mavazi ni unachoona chini hapa hivyo ni nzuri na mimi kufanya kazi nyumbani kwa sababu ninaweza kuvaa suruali
Huwa sijirembeshi nikifanyia kazi nyumbani.
0
lakini sio kawaida tunajua sketi na sketi na blauzi au suti au mavazi ni unachoona chini hapa hivyo ni nzuri na mimi kufanya kazi nyumbani kwa sababu ninaweza kuvaa suruali
Wakati ninapofanya kazi nyumbani, huwa sivai mavazi yoyote inayotofautiana na mavazi ya kufanyia mazoezi.
1
lakini sio kawaida tunajua sketi na sketi na blauzi au suti au mavazi ni unachoona chini hapa hivyo ni nzuri na mimi kufanya kazi nyumbani kwa sababu ninaweza kuvaa suruali
Bado nafaa marinda napofanya kazi nyumbani kwa sababu nahisi kuwa mrembo.
2
Ndio kuna kitu kuhusu kuwa na mahali pa kuishi sijui
Kuwa na mahali pa kuishi ni ndoto kuu imetimika.
1
Ndio kuna kitu kuhusu kuwa na mahali pa kuishi sijui
Sijali kamwe kama nini pahala pa kuishi.
2
Ndio kuna kitu kuhusu kuwa na mahali pa kuishi sijui
Ni vizuri kuwa na mahali pa kuishi.
0
naam, unajua singejali sana ikiwa walikuwa na shirika la um linalofadhiliwa
Itakuwa rahisi kujua kama shirika lilifadhiliwa.
1
naam, unajua singejali sana ikiwa walikuwa na shirika la um linalofadhiliwa
Itanifanya niwe na hasira nikigudua kuwa walifadhili kampuni hio.
2
naam, unajua singejali sana ikiwa walikuwa na shirika la um linalofadhiliwa
Haiwezi kunisumbua kama shirika lililipwa fedha.
0
Ndio, huku kijijini utandawazi uko katika hali mbaya sana.
Uhusiano karibu hapa ni wakati mwingine sawa.
1
Ndio, huku kijijini utandawazi uko katika hali mbaya sana.
Hatuna uhusiano mzuri hapa.
0
Ndio, huku kijijini utandawazi uko katika hali mbaya sana.
Tunauhusiano bora zaidi mahali hapa.
2
Mojawapo ya faida tunazozipata ni nafasi ya kuzuru.
Kusafiri ni sehemu yangu ninayoipenda.
1
Mojawapo ya faida tunazozipata ni nafasi ya kuzuru.
Kusafiri ni tunuku moja tunayopata.
0
Mojawapo ya faida tunazozipata ni nafasi ya kuzuru.
Hatupati manufaa yoyote.
2
ni mbaya sana
Nimesikia sio nzuri.
1
ni mbaya sana
Ni mbaya.
0
ni mbaya sana
Si mbaya kamwe.
2
Vipengele hivi vya juu vya utaratibu wa vifaa vya molekuli hutokea kwa sababu uteuzi wa asili una uwezo wa kutenda juu ya mali ya pamoja ya molekuli wakati mali hizo za pamoja zinaongeza uwezo wa kubadili.
Vifaa masi vyote ni tata.
2
Vipengele hivi vya juu vya utaratibu wa vifaa vya molekuli hutokea kwa sababu uteuzi wa asili una uwezo wa kutenda juu ya mali ya pamoja ya molekuli wakati mali hizo za pamoja zinaongeza uwezo wa kubadili.
Ugumu wa chombo cha masi kubwa unaweza inuka kwa mazingira tofauti.
0
Vipengele hivi vya juu vya utaratibu wa vifaa vya molekuli hutokea kwa sababu uteuzi wa asili una uwezo wa kutenda juu ya mali ya pamoja ya molekuli wakati mali hizo za pamoja zinaongeza uwezo wa kubadili.
Hivi vifaa vya kimolekuli hasa hutumiwa kutoa sumu za ulinzi.
1
Lakini siamini chombo chochote cha algorithmic kinaweza kua kamili.
Kanuni haziwezi kuamua jinsi ya kutengeneza mkate kamili bila ya uamuzi wa binadamu.
1
Lakini siamini chombo chochote cha algorithmic kinaweza kua kamili.
Hakuna chombo chochote kinaweza maliza hii kazi yote kwa wakati mmoja.
0
Lakini siamini chombo chochote cha algorithmic kinaweza kua kamili.
Vifaa hivi vyafanya kazi barabara katika kila hali.
2
Sheria haitoi mtu binafsi lakini jumuiya au taifa kwa ujumla.
Kwa ukombozi, watu wanapaswa kufuata sheria
2
Sheria haitoi mtu binafsi lakini jumuiya au taifa kwa ujumla.
sheria itaokoa Amerika.
1
Sheria haitoi mtu binafsi lakini jumuiya au taifa kwa ujumla.
Sheria itaokoa jamii na taifa
0
Nakala ya kikatiba ya 1787 ilikuwa imesema haki ya wamiliki wa watumwa kuokoa watumwa ambao wamepotea katika eneo la uhuru.
Mwaka wa 1787, sheria ilipitishwa kuzuia watu kuwarejesha tena watumwa waliokuwa wamefika ardhi za Uhuru.
2
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
66