text
stringlengths
18
277
label
int64
0
1
Mungu tusaidie mafirstborn wote amen
1
Katika kuhakikisha tunafikia 5050 Wanahabari wana Wajibu wa Kuhakikisha Wanafichua Na Kukemea Maovu Yote wanayokutana Nay
1
Jenga Bet Turkey vs Greece Mara ya mwisho timu hizi zimekutana kwenye mechi ya kirafiki Nov 2015 ambapo walitoka sare ya 00Itakuwaje leo Cheza kwenye masoko zaidi ya 6 ndani ya mechi 1ushinde zaidi Cheza
1
Jamaa yetu wa suti leo pia anatusogezea mambo mazuri Mcheki hapa 0762617089
1
Nashidwa kufahamu na kwa Namna Gani naweza kufikisha Shukran zangu Kwako kwa Mchango wako kupromote kitabu Uzinduzi ulikuwa Mzuri ndani ya CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO Kwa mahitaji whats no 0624613046
1
Raha ya kufundisha watoto akisema tu sad na mi nakuwa sad Anyway knowing my kids mood is my first priority https
1
Ni imani yetu kuwa sisi kama Benki siyo tu ni biashara au biashara ipatayo faida tu ni zaidi ya hayo Benki ya CRDB ni
1
SIMBACHAWENE AAGIZA BIDHAA HUDUMA ZISHUKE BEI Waziri wa Nishati na Madini George Simbachwene amesisitiza
1
Mh mbunge wa Tarime Vijijini akizungumza na Wananchi wa Nyamongo kesho atakuwa Sirari
1
UHURU MICHEZOManchester City mabingwa Kombe la Ligi
1
Azaki zina mchango mkubwa kwenye uchambuzi wa sera na sheria mbali mbali Tukutane siku ya kesho kujifunza zaidi
1
Hakuna jipya china ya jua by
1
Tutamiss sana uwepo Amr Moustafa Fahmy alikuwa katibu mkuu mwenye uwazi sana katika utendaji wake na kizuri alikuwa anaelek
1
BAO la kweli kabisa Karibu Zantel upige BAO
1
Usalama umeimarishwa katika viwanja vya ndege vya Ufaransa na Ujerumani kuelekea kipindi hiki cha sherehe za Krismasi na mwaka mpya ambapo viwanja vya ndege vya Ulaya hupokea ujumbe wa tahadhari kutoka nchi mbalimbali duniani baadhi ukiwa wa kuaminika
1
Waziri Lukuvi pia amewataka wananchi kuwataja hadharani maofisa ardhi wote wanaojihusisha kutengeneza migogoro kushirikiana na matapeli au kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ipasavyo katika sekta hiyo
1
Asante kwa kunipa nafasi na kuniamini nikusaidie Mh Mipango Ufuatiliaji na Maelekezo yako vinatupa nguvu s
1
Tafadhali tufahamishe umepata taarifa za ofa hii kwa njia gani kwa msaada zaidiGift
1
mipango imara ya kufikia lengo imewekwana imani yetu kuwa tutafanikiwa wizara yetu hukusanya sehemu kubwa sana ya makadirio
1
Hongera Mkuu Arusha Tanzania
1
Hatutakiwa kuhukumu Mungu pekee ndo anajukumu la kuhukumu Kwa mujibu wa Ukristo
1
Timu ya hatuwezi kataa Ombi la kuwapa Elimu zaidi wananchi wetu kwenye
1
imeanza kuilipa mkopo iliotumia kujenga SGR baada ya kipindi cha neema cha miaka 5 ilichoongezewa kumalizik
1
Uongozi ni dhamana
1
kama vile miili yetu ilivyo na uhitaji mkubwa wa chakula basi hata mioyo yetu inahitaji kujenga mahusiano mazuri na MOLA
1
Tumelenga zaidi matokeo na kuufanya uwajibike na uheshimiwe zaidi kuhusu mabadiliko mapya yanayoendelea ndani ya umoja huo
1
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na kasi na viwango vya ujenzi wa mfumo wa reli ya kisasa SGR inayojengwa na kampuni ya Yapi Merkezi Soma zaidi gtgt
1
Kwa morombo tayari vibehii nchi raha ni maamuzi tu imagine watu wanakula bapa na nyamachoma huku wanabadilishana mawazo mda huu
1
Mwambie neno moja mama mkwe wako kuhusu mwanawe Me Asante sana kwa kunizalia ATM mashine
1
Je wajua Kwa nini tunahitaji kupata chanjo dhidi ya Uviko 19 Chanjo husaidia sana kuimarisha Kinga mwili na ina ufanisi mkubwa imethibitishwa na shirika la afya Duniani WH0
1
Rais ameshawatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ kundi 6719 katika
1
nashukuru nilishapata japo kuna mwana na elimu yake kubwa aliniambia nilichokifanya matokeo ni baada ya miak
1
Habari Goodluck Pole sana kwa kuchelewa kupata tiketi yako tafadhali tutumie DM namba yako ya simu tuweze kuangalia kwa upande wetu MT
1
Habari asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo tuandikie ujumbe unaopta kwa msaada zaidiBahati
1
Nini Tufanye kusaidia afya Bora na akili makini kwa Mama mja mzito na watoto wetu Haiwezekani watu wetu wapoteze maisha tuseme Mapenzi ya Mungu MwangaBora na Dr Pius
1
Nakuandikia Pongezi na shukrani kwa miaka 4 katika kiti ulichopo
1
Usikubali Kujenga Kawaida Kwani Unayo Nafasi Ya Kujenga Mjengo wa Kisasa Uutakao Kadiri ya Uwezo Wako Utafanyaje Wachek
1
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo 01082019
1
Habari Herbert Msirikale Pamoja sana Endelea kufurahia huduma za Tigo
1
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo tarehe 09062018
1
Leo 13022019 ni Siku ya Radio Duniani Dunia Leo inaadhimisha siku ya Radio Redio ni Chombo kinachozungumza na Mtu na mamilioni ya watu duniani ambao wasingeliweza kupata habari
1
MTAKUWWA gt Mtandao wa kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto ulianzishwa ili kusimamia shughuli zote za
1
Halmshauri ya Wilaya ya Nyanghwale Mkoani Geita imepokea kiasi cha Shilingi Bilioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya huku Halmashauri hiyo ikijipanga kuhakikisha Mradi huo
1
Kikosi cha timu ya TEMESA FC leo kimecheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya ZI
1
Asante kwa kufanikisha safari yetu ya mwaka 2017 tunakutakia Amani pamoja na Afya njema Kheri ya Sikukuu za Christmas na Mwaka mpya
1
Niwapongeze sana ndugu zangu na kwa kuisaka na kuipata fursa ya Ni kw
1
Asante kwa kutembelea ukurasa wetu MrMe
1
Pata tuzo kabambe na DStv Lipia kwa wakati kifurushi chako na unufaike na punguzo kubwa katika maduka hoteli na migahawa
1
Mnafanya kazi bora kabisa kwa Kiswahili safi na kimombo kizuri Mungu awabariki mzidi kuitumikia jamii Can I get a thunderou
1
Inategemea unatoa shilingi ngapiSuzy
1
Ahsante kwa kutembelea ukurasa wetu
1
Chakula bora na salama hukuweka mbali na magonjwa
1
Ka mkubwa me mdau wako Sana wanguvu Naomba kujua kidogo kuhusu William anne ambae nimckia alikuwa hack tishio na pia Kevin Mitnick is an American computer security consultant author and a black hat turned white hat hacker Blessed
1
Usisahau kumpigia kura Diamond Platinumz ili ashinde tuzo ya BET Kumbukumbu ushindi wa Diamond ni kuitangaza Tanzan
1
Ahsante kwa kuwasiliana nasisamahani ndugu mtejavipi kwa siku ya leohali imetengamaa au bado kuna tatizoLM
1
KUELEKEA AFCON U17 2019 Zimebakia siku 32 Mashindano hayo kuanza 1428 Aprili 2019
1
Pole sana kwa usumbufu tunaomba namba yako tushughulikie hili tatizo
1
wanakwambia hiviii Usipitwe na muda wa kula bata la uhakika unapotumia au na kuji
1
Ander Herrera akipewa kazi ya kukaba mtu mmoja tu hakuna bora kama yeye barani Ulaya sasa hivi
1
Faida mojawapo kubwa ya hili zoezi linachoma calories kwa haraka zaidi halina utofauti na zoezi la kutembea SEMA hili u
1
Washiriki 40 toka wilaya ya KilosaIramba na Mpwapwa ambao ni walimu wa elimu ya awali katika ufunguzi wa mafunzo ya kuwa
1
Ninje wa Chalenji apewa Ngorongoro Heroes gtgtgt
1
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Pole sana kwa changamoto uliyoipata Tunapenda kukufahamisha kuwa wateja wote walipewa MB 300 kama pole lakini pia tuliweza kuwarudishia vifurushi vyao walivyojiunga na kushindwa kuvitumia kwa siku husika
1
Kufikia usawa wa kijinsia inatubidi kubadili Mifumo ya elimu yenye ufanisi inayotoa usawa huduma bora za elimu kwa wote
1
Baadhi ya washindi wa zawadi mbalimbali za Valentines wakisambaza Luv katika ofisi za Clouds Media Group
1
Utoaji chanjo ya UVIKO19 mkoani Arusha unaridhisha Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya Dkt Grace Mag
1
Katibu wa Siasa na Uenezi Bw Jonathan Masele amesema hatua zinazoendelea kuchukuliwa na Rais zitasaidia maendeleo ya nchi na Taifa pia
1
Serikali inatoa pole kwa watumiaji wa instagram Facebook na instagram
1
Binti akikosea haina budi kumsamehe na kumpa nafasi ya piliHii itaongeza chachu ya kusoma kwa bidii ili kusa
1
Nimefurahi sana Comrade Kinana kubaki kama Katibu Mkuu Ni kiungo muhimu katika kujenga CCM Mpya chini ya Mwenyekiti mpya
1
Ishi na watu vizuri watendee wema MUNGU ndiye ataamua kukulipa kwa njia inayoonekana au kwa njia isiyoonekana
1
erikali imesema imedhamiria kuwanufaisha wananchi kupitia rasilimali za nchi
1
Jitihada zinaendelea kuimarisha mtandaokwa sana unaweza kuangalia salioni vyema ukatupatia namba yako tukafuatilia kwa ukaribuchagamoto nyingine ulizotueleza tumezipokea na tutazifanyia kaziasante
1
Tuanze kwa kusikilizana na kufikia mapatano ya pamoja siyo
1
imar10max habari yakokaribu katika ukurasa wetu huu tukuhudumie kuhusiana na mtandao wetu wa tigo
1
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bi Bengi Issa ametoa tathimini juu ya Mafunzo ya
1
Pole sana mteja wetu kwa changamoto uliyopata wataalam wetu wanaendelea kuboresha huduma ya internet iwe yenye kasi zaidi
1
Tayari kabisa Mzigo kwa ajili ya Wana bidhaa Bora kabisa tukutane kesho Sayansi Kijitonyama
1
Naibu Waziri amekabidhi Boti na Kituo cha Polisi wilayani Chato ikiwa ni mpango wa Serikali kudhibiti uhalifu wa majini
1
Asante kwa kutuandikiatumepokea changamoto uliyotueleza na kuifanyia kazi
1
Zoezi la na ni zoezi endelevu halina Mwisho
1
Mgeni mualikwa mkuu wa wilaya kisarawe kabla ya ukuu wa wilaya ametengeneza Fursa nyingi na Ajira h
1
Ahsante sana tunajivunia kuwa karibu na jamii
1
Tunaomba utume taarifa kamili kwenye dm link kuhusiana na makato ya kifurushi chako Namba ya simu kiasi tarehe ulionunua kifurushi hicho
1
Unapochanja chanjo ya UVIKO19 unauweka mwili tayari kupambana na kumshinda adui kirusi cha korona ila usipochanja ni sawa na
1
Busara zako zitaendelea kuishi katika kujenga taifa bora lenye fikra shupavu Heri ya kumbukumbu ya siku ya mwalimu Juliu
1
Umethibitisha Ukongwe wako Mheshimiwa Ngoma Kali SanaAsante Kwa Chakula Kitamu Cha Sikio
1
iyo nawakilisha ni best colabo of all time kwa upande wangu Haijawahi tokea tena
1
Usiache siku ipite bila kusoma Ripoti ya Haki za Binadamu 2018 Ripoti hii inapatikana kupitia tovuti yetu
1
Kesho InshaAllah baada ya sala ya Eid nitakuwa nyumbani Tandale nikitoa Mkono wa Eid kwa ndugu zangu WaislamZoezi hi
1
Pamoja sana endelea kutumia huduma zetuKA
1
Dah Hapa najiona kabisa nimekuwa nikitamani kubadilika kumbe napaswa kuikabili nafsi yangu
1
Asante na tafadhali subiri tutawasiliana nawe hivi punde kwa msaada zaidi Gift
1
Sehemu ya wananchi wa mji wa Iringa waliohudhuria mkutano wa Dkt katika uwanja wa CCM Samora htt
1
Kuosha mikono vizuri kwa sabuni au vitakasa na maji safi yanayotiririka takribani sekunde 2030 Ni Njia yenye ufanisi wa kupambana na Uviko 19 Tujenge zoezi la Kunawa mikono yetu mara kwa mara
1
Wageni wanaoingia nchi jirani wanakuja kutalii Pwani na sisi Tanzania tuna hifadhi bora za pwani kuliko nchi za jirani Spika Job Ndugai
1
Samahani kwa makosa ya kiuandishi sio Jeshi la polisi
1
Hata saa mbovu huwa SAWA mara mbili kwa siku
1
Asante kwa kutweet kwenye ukurasa wetu retweet mpaka tupate jibu sahihu
1
Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi mapema na niliajiriwa kwenye nafasi ya juu kwenye kampuni fulani https
1