text
stringlengths
18
277
label
int64
0
1
Anza kuweka akiba leo ili uweze kutimiza ndoto zako
1
Habari yako Rama Samahani kwa hilo mwisho wa kushiriki ulikuwa ni leo Jumamosi tarehe 29022020 Tumeweza kupata washindi 30 usijali endelea kuwa nasi unayo nafasi ya kushinda katika zawadi nyingine kipindi kijacho PA
1
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt Kheri Kagya akitoa zawadi kwa akina mama wa mfano walioweza kunyonyesha watoto wao maziwa pekee kwa muda wa miezi sita wakati wa maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji yaliyofanyika Halmashauri ya Mji wa Tunduma
1
Habari tunaomba namba yako DM kwa msaada ZaidiJuma
1
Kwa Mwanza hivi sasa tuko katika uboreshaji wa mfumo wa usambazaji wa huduma na bidhaa zetu ili wateja Wetu wapate huduma bora zaidi Zoezi likikamilika tutatoa mawasiliano ya mawakala Wetu Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza
1
Kilimo kinaweza kuajiri vijana wengi wasio na kazi ilisaidia kukamilishwa Mkakati wa Taifa wa Kushirikisha V
1
Regan Michael TairoAsante kwa kuwasiliana nasi endelea kufuraiya huduma zetu
1
Baba Mtakatifu Fransisko amemteua Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza Jude RuwaIchi kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi
1
tunafurahi kusikia hivyo na endelea kufurahia huduma zetuTL
1
Habari asante kwa kuchagua NMBkwa bonus akaunti unatakiwa kuwa na Kitambulisho cha kura au leseni ya udereva au pasi ya kusafiria au kitambulisho cha kazi au cha taifa barua ya utambulisho picha 2 za passport size zenye k
1
Habari Minshock tafadhali tembelea tawini ujaze from uweze kuwezeshwa na huduma hiyoBL
1
Tunapenda kukufahamisha kuwa ili uweze kufanya malipo na manunuzi mtandaoni utatakiwa kutembelea tawi letu lililo karibu nawe na utajaza fomu ya Purchase online Vicky
1
Ningependa kufahamu ni muda gani utakao hitaji kuhifadhi pesa zako
1
Kukosa chanjo kunakuweka kwenye Hatari kubwa ya kupata uviko 19 usisikilize maneno ya watu Maamuzi ni yako sasa mwenye
1
Napenda kutoa shukrani zang za dhati kwa wale wadada wanao Tupenda sisi wanaume ambao hatuna heLa
1
Habari Ahsante kwa kutufahamisha tatizo hili Endapo tayari una laini ya Vodacom na unahitaji huduma ya 4G iwezeshwe katika laini hiyo ni lazima kubadilisha lain SWAP lakini pia endapo unahitaji laini mpya zipo laini mpya zenye uwezo wa huduma
1
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo atoa maelekezo usafiri wa mwendokasi baada ya Chadema Kanda ya Pwani kuibua kero http
1
Ni vyema kutoa taarifa kwa MFAMASIA au DAKTARI pindi unapoona hali ambayo si ya kawaida inakupata baada ya kuanza kutum
1
Usiku wa jana klabu ya ilitoa tuzo kwa Wachezaji wao waliofanya vizuri katika msimu huu David De Gea amefanikiwa kushinda tuzo mbili ikiwemo kubwa ya mchezaji bora wa
1
Lakini nimmshukuru kwa namna ya pekee Mhe Rais Ndugu ya Nurdin Hajji kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Kenya kwamba mara nyingi tumekuwa tunashirikiana naye na msimamo wangu na wake ni mmoja MgangaDPP
1
Akizunguma katika ziara hiyo amesema Arusha ni miongoni mwa mikoa iliyofanya vizuri katika utoaji wa chanjo ukizingatia j
1
Tunashukuru kwa mawazo yakoendelea kufurahia huduma zetu
1
Kama kawaida nitakua nafanya ya Mechi ya Taifa Stars Vs Algeria
1
Nilifanya tour fupi tu Kisarawe kuna Location nzuri sana za kufanyia Filamu na nieneo zuri kwa mambo mengine mengi nit
1
Karibu ni fahari kwetu kukuhudumiank
1
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokezaFJ
1
Kwa wale wenye mapenzi mema na nchi hii na ustawi wa demokrasia tunaomba mchango wako hapa Kiasi chochote kinapokelewa As
1
Hii kitu nzuri sana nilipata fursa ya kuhudhuria Aisee wameboresha sana hud
1
Mamie wangu kipenzi umekuwa MHIMILI Mkubwa kwangu katika harakati HIZI za kupambania DEMOKRASIAusilie kesho ni NZ
1
Guys mtu akiwa na hela hata ya kumpush yeye niko tayari hit my DMs tuongee biashara vitu kama
1
Nashukuru sana Mr Togolani Kitabu tayari kipo sokoni kwa Bei Ya sh 20000 Kina idadi ya page 180 Na kina Idadi ya Sura 8 Kimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili Kwa Mahitaji zaid ya kitabu Tuwasiliane kwa njia ya whats app 0624613046 ht
1
KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA DODOMA YAKAGUA MIRADI ILI KUFUATILIA UTEKELEZAJI ILANI Kamati ya Siasa ya CCM mkoa wa Dodoma imefanya ziara ya
1
Mbaya zaidi siku unayotoka hovyo ndo unakutana na watu uliosoma nao
1
Mtoto wa kike akipata elimu na kusoma kwa bidii atatimiza ndoto yake na kuja kuchangia maendeleo kwenye taifa lake Edwick
1
Mengine akichelewa kuyaona wawe wanamwambia au wanaamua wao ndo maana ya kuwa na wasaidiziMama ni msikivu wasiogope kumwambia
1
Heri ya kuzaliwa Mwanajakaya ishi maisha mengi umelitendea wema Taifa letu Let throwback kidogo na Mwanajakaya
1
Mpumbavu huusoma mchezo wachezaji wanapotawanyika
1
Wachimbaji wa dogo wa Dhahabu zaidi 10000 Elfu kumi kutoka mikoa ya Mara Geita Shinyanga na Simiyu katika Kijiji Gasuma Wilayani Bariadi mkoani Simiyu ambao wanaelezewa kugundua uwepo wa madini hayo wameishukuru Serilikali Soma zaidi gtgt
1
Ahsante kwa taarifa tutaziwasilisha idara husikank
1
HABARI WANA TOT KUELEKEA KUTIMIZA MWAKA WA UTOAJI HUDUMA MENEJIMENTI YA IMEEANDAA UTARATIBU MZURI WA KUWAPATA WA
1
Nawapongeza sana Makandarasi kwa kuomba hii kazi watakula Sato mpaka watoshe na Meli wanatuachia Rais
1
Hatuna fursa ya kuwachekea chekea Majambazi wakati unataka kutuwahi lazima tukuwahi Mhe Kangi Lugola Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
1
Habari yako Hongera Tiketi yako ya kucheza Jackpot bure ipo tayari kwa sasa Tunaomba uingie katika akaunti yako ya SportPesa kwa kupitia tovuti yetu na kuweka ubashiri wako wa Jackpot kwa tiketi ya bure Tunakutakia kila la
1
Asante wewe uliyedhihirisha Msimu ambao ulituvusha mwezi February kwa kusambaa kila pembe ya
1
Tunaiomba serikali kuboresha sera ya elimu ili kuruhusu wenye magonjwa adimu kuendelea kupata elimu na jamii ielimish
1
Unapozungukwa na watu wanaounga mkono ndoto zako utapata mafanikio haraka zaidi omba MUNGU akupe watu kama hao
1
ni sababu tosha kwangu kuwa na matumaini na kamwe siwezi kukata tamaa mpaka mwisho wa maisha yangu Nimekuwa kwenye kitanda hiki kwa muda wa miaka kama kumi sasa na kamwe sijutii wala silalamiki kabisa Alhamdulillah ninapata kila kitu ninachokihitaji
1
Unaweza kupata bank statement kwenye email yako kwa kutumia NMB mobile piga 15066 chagua 1 kisha chagua 3
1
Unapojitoa sana kushiriki Kwenye matatizo yao nyakati wanapokuhitaji na wewe ukasaidia kwa Mara Mara Basi
1
Pata taarifa zote muhimu kijanjani mwako kuhusu utalii wa ndani ukiwa na App toka Zantel bofya
1
OFAOFAOFA UNATAKA KUONEKANA MREMBO Merrylight Top Hair ni wauzaji maarufu wa mawigiwiving na lace wigs
1
Kufahamu chaneli hizi tembelea
1
Tunawatakia Wanajukwaa na Watanzania wote maadhimisho mema ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kam
1
Jionee mwenyewe taswira mbalimbali jinsi kazi inavyoendelea kwa kasi ya ajabu ya ujenzi wa Gati jipya Bandari ya Mtwara a
1
Karibu Ni fahari kwetu kukuhudumia VN
1
Asante Sana kwa kutambua mchango wangu katika jamii naamini Twitter imenikutanisha na wewe baada ya kuona haraka
1
Pole sana mteja wetutufahamishe tatizo unalopata tukuhudumie
1
Nawashukuru Sana Watumishi wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi NEC wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Athumani J Kihamia k
1
Nimefurahi kufika ilongero sm shuleni kwangu nasomea njee ya ofisi ya mwalimu mkuu napigwa na baridi sanamiundombinu ha
1
HAPPY BI HDAY KWANGU MIMI NA KWA MUNGU ATUSAIDIE TUISHI MIAKA KAMA YOTE H
1
okay tunakutakia siku njema tigo live itlove it
1
Ndio hakuna kadi zinazotolewa katika akaunti ya mtoto FJ
1
Linapokuja suala la kibenki je ni jambo gani la kuzingatia Urahisi au uaminifu Uwapo na KCB huitaji kuchagua
1
We jamaa hizi team yetu zinakupendelea sana ndio nini kukupa zawadi ya goli 3 na ndio wame
1
Wamerahisisha sana maisha imekuwa burudani
1
Niliokota hii simu jana Element mwenye simu nahisi ni huyo dada hapo kama unamfahamu mwambie simu yake ipo
1
Watoto wa kike wakirudi shuleni hawatanyonywa wala kukandamizwa Ni vigumu kwa wanawake waliosoma kunyanyaswa na wanaume
1
Tuna washukuru sana watu wotemapenzi yenu kwa viongozi wenu ni makubwa sanaSasa ninazo namba mbili kwa ajili ya michan
1
Huku kumenoga usipitwe na burudani za kutosha kikubwa zaidi ukijisajili utapatiwa kit ya bure kabisaNjo
1
Rais Dkt amemteua Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pichani kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wa
1
March 132016 katika Millen Magese alipewa tuzo ya katika sekta ya Afya Kupitia
1
Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid Al Hajj
1
Samaillah Tunapenda kukufahamisha ujazo wa MB unategemea na thamani ya kifurushi husikabado unaweza kujipatia vifurushi vyetu mbalimbali vya internet kwa kupiga 14700 kisha chagua sikuwiki au mwezi kisha namba 2 vifuru
1
Kwa mkopo wa wafanyakazi ni baada ya siku moja iwapo umekamilisha taratibu zote na mkopo wa wafanyabiashara ni ndani ya wiki mbiliNasra
1
WANA TWETER TUONESHE UPENDO KWA HUYU MTOTO ATIBIWE Mtoto Yusuf Said umri wa miezi 5 mzaliwa wa kitongoji cha Lamay Hanan
1
Mtoto anapewa jina la Baraka unajua labda anamaanisha Amepata baraka Kutoka kwa Mungu Kumbe Ni Baraka Maviatu
1
Kama Mtandao wa Malezi Tanzania tunakupongeza Ndugu Jokate kwa kuonyesha mfano wa jambo ambalo wazazi wote wa ki
1
Tunafunga sana kumi na nusu jionikaribu sana
1
Upendo wa wanafunzi wa shule ya sekondari Chole kijiji cha Chole kwa DC wao aka Dada Hawakutaka niondoke nimewaahidi kurudi
1
Ahsante tumepokea na tunafanyiakazi pesa yako itarudushwa kwenye akaunti yako EC
1
Kuna kijana wetu amekaa kwenye uchumba siku nyingi kam safari ya wana wa Israel hatujui atafika
1
Baraza Kuu la limepitisha rasmi muongo wa familia ya wakulima 20192028 Familia za wakulima huzalisha 80 ya vyakula duniani hilo likithibitisha umuhimu wao katika uwepo wa chakula duniani leo na kwa vizazi vijavyo
1
huwatembelea na wakulima na waendesha miradi ili kutoa ushauri na elimu kwa ujumla lengo ni kuhakikisha wananufaika Huu
1
Ahsante wote mliokuwa pamona nami mwanzo wa Uzi mpaka mwisho Retweet ili wengine pia wajifunze na wapate Elimu na maarifa Usiache pia kunifollow na kueka bell ya Notification on usipitwe na Maarifa
1
Ahsante kwa kuliwasilisha swali lako hapaneno M linasimama kama Mobile na neno PESA likimaanisha fedha LM
1
Appreciation tweet kwa nje na ndani ya twitter ni mtu poa sana plus roho ya kizungu Uishi madam
1
na wao ndio sababu ya mimi kupata matumaini na furaha Shukran zangu kwa Madaktari wote ambao wamekuwa wakinihudumia kwa tiba tangu utotoni mpaka sasa na wauguzi wote kutoka hospitali mbali mbali za hapa nchini
1
Pole sanakwasasa tumeangalia account yako inaonyesha mara ya mwisho ulijiunga na kifurushi cha siku ambacho kimes
1
Ndugu mteja hakuna mgao ni maboresho ya miundo mbinu tu Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza
1
Domy Docta ahsante kwa kuwa pamoja nasi na endelea kutumia huduma zetu za tigo
1
Pole sana tatizo lako tumeliwasilisha idara husika pesa itarudi kwenye akaunti yako ndani ya masaa 72 ya kazi endapo tutaikuta mteja hajaitoa ahsante kwa kuchagua VodacomFB
1
Nitoe shukurani zangu za dhati kwa vyombo vyote vya habari na wana habari wakelakini pia kwa wananchi na
1
Ndoto zinatufanya tubaki kuwa vijanaa maono yanatufanya tuzidi kusonga mbele
1
Idi Kwa Dodoma Tafadhali wasiliana na muwakilishi wetu aliyopo Nyerere Square anapatikana kwa namba 0778777370 0773114319 au aliyopo COED eneo la Ujasi anapatikana kwa namba 0772 552299 Karibu tukuhudumie
1
Dear ladies Vaeni pete kwenye kidole kile cha ndoa Hii inapunguza kasi ya mafisi kuwasumbua
1
Karibu sana na endelea kufurahia huduma za TANESCO
1
Kigorai namba yako hiyohiyo unaweza kujiunga na kifurushi cha chuo tafadhali bonyeza 14815 kujiunga Ahsante kwa kuwa nasi tafadhali endelea kufuatilia ukurasa wetu
1
Ahsante sana kwa kutumia huduma zetu Ushauri wako umepokelewa mambo mazuri yanakuja Endelea kutuunga mkono
1
Mbali na mazungumzo yaliyofanyika pia wana club ya wafanyabiashara wa Bukoba walipata mafunzo mbalimbali ya kukuza biashara na kutunikiwa vyeti kutambua namna wanavyofuata taratibu za benki katika biashara zao
1
Napenda nichukue Fursa kumshukuru Mungu na kukushukuru Mr Togolani kwa kuweza Kupata Nafasi ya Kupromote kitab
1