text
stringlengths
18
277
label
int64
0
1
Kua makini kwenye maishaHuenda unachokitafuta kipo kwa yule unaemdharau
1
Muonekano wa Economy na Business Class 8 Unangoja niniUsisubiri kuhadithiwa utamu wa kat
1
na mtu anayemtembelea ndugu yake katika nchi ya mbali anamtembelea tu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu yuko Peponi
1
Namshukuru sana baba yangu babu bibi mama zangu wote wadogo na wakubwa shangazi zangu wajomba zangu na binamu zangu pia nawashukuru marafiki zangu wote kwa kunijali na kunionesha upendo wa dhati miaka yote hii
1
Tembelea tovuti ya ili kujua zaidi kuhusu mafunzo ya 2jiajiri kwa wanawake wajasiriamali
1
Habari tunaomba namba yako DM kwa msaada zaidiKA
1
Pamoja Na Kuwa Na Followers Laki Mbili Awali Lakini Impression Ilikuwa Million Nne TuLeo Followers Elfu Tano Tu Tuna Im
1
NMB HQ jamani ofisi nzuri sana Mpaka sitaki kuaga
1
Umeamka salama huna budi kusema Asante MUNGU Milango ya baraka zako inafunguka Subira yako haikuwa adhabu bali ilikuwa maandalizi ya kupokea kitu kikubwa zaidi
1
MKUCHIKA KILA MMOJA ANA JUKUMU LA KUPAMBANA NA RUSHWA
1
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani pia atakagua kazi ya usambazaji umeme vijijini wilayani Chato
1
Huko Rwanda polisi wametangaza aliyepoteza hela zake akazifate kituoni Huu ni mfano bora wa polisi kulinda usalama wa raia
1
Lukelowinstone Ahsante kwa kushiriki nasi tafadhali endelea kufuatilia ukurasa wetu
1
Mwalimu asante kwa kuendelea kunifundisha kuhusu maisha yangu ya kila siku nami nakili unanisaidia kuyatamb
1
Leo Oktoba 07 ni kumbukumbu ya siku ya Kuzaliwa kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya nne M
1
on air kukupa mkusanyiko wa stories zote ukiwa na
1
Mteja wetu Ahsante sana sana kwa uzalendo wako Tunathamini sana mcjango wenu kupitia nyinyi yote mazuri yanawezekana Ahadi yetu tutaimarika Tunafanya uwekezaji mkubwa tegemea matokeo mazuri sana Ahsante
1
Kama umeamka salama mwambie Mungu asante hata bila kutoa sauti hakika yeye husikia na kuyaona yaliyo mioyoni mwetu
1
Hongera sana ndugu Heche Huo ndio uongozi unaoacha alama na si makelele au kulalamika bila jitihada Tatiz
1
Mkiti wa BAWACHA Halima Mdee aliyetangazwa mshindi wa kiti hicho amewaeleza wanawake kuwa umoja huo utakua imara bo
1
Habari tunaomba tufafanulie suala lako tafadhali
1
yaan jamaa huyu ni big thinker maana hakuna hata wimbo wowote wa hovyo kwenye list ya nyim
1
Jenerali Muhammadu Buhari anaongoza kwa zaidi ya kura milioni mbili zaidi ya mpinzani wake wa karibu ambaye ni
1
BASHUNGWA TUUNGE MKONO BIDHAA ZA NDANI MADE IN TANZANIA
1
Viwango vyetu vya kubadilishia fedha leo tarehe 27 Septemba 2017
1
Usimamizi wa wakati ni usimamizi wa maisha kwa hivyo linda wakati wako kwa uangalifu mkubwa Kila siku chukua muda kujiuliza swali Je Hii ndio matumizi bora ya wakati wangu na nguvu yangu
1
Katika Mahojiano maalum na Uhuru Daktari kutoka Taasisi ya Daktari Mkononi Happyness Biyengo alisema mtoto anaponyonyeshwa kwa kipindi cha miezi sita mfululizo huepushwa na magonjwa nyemelezi
1
Hii ndio official ac ya kijana wenu huko insta Karibuni sana ni wahudumie
1
Lolote ambalo unapaswa kulifanya na ukakwepa kulifanya kaa ukijua kuna mwenzako atalifanya Tatizo ni kuwa anaweza asili
1
Tunaomba kufahamu inakupa ujumbe gani pindi unapoweka namba yako ya siri
1
Naisihi familia na watu wote kumlilia na kumwombea Erick katika yote yanayomkabili kwa sababu Mungu husikia kilio cha w
1
Shukrani kwa kuwa nasi katika ukurasa wetu Tunakutakia usiku mwema na ahsante kwa kuichagua Tigo
1
Nimpongeze Mkuu wa Mkoa wa Geita kutokana na Maonesho ya Teknolojia yanayoendelea nimepita hapo na nimejifunza mambo mwengi
1
Pia tumetoa zawadi kwenye wodi ya akina mama katika kituo cha afya cha Makole Jijini Dodoma tulipofika kufanya usafi pamoja na kutoa misaada ya vitu mbalimbali
1
Hafla fupi iliofanyika leo ambapo ilikua inatoa gawio Serikalini
1
Tupo katika hatua nzuri za kuboresha mtandao siku si nyingi huduma itaimarika
1
Kilimo ndicho kinachotoa sehemu kubwa ya ajira duniani Inasemekana Asilimia 40 ya watu duniani hutegemea kilimo kwa maish
1
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi na tunaomba radhi kwa kuchelewa kujibu meseji yako Tunaomba kufahamu sehemu ya tatizo lako kwa msaada zaidi Ahsante AT
1
Usihukumu bila kusikiliza upande mwingine wa hadithi Unaweza kuhisi upo sahihi kumbe haupo sahihi ThinkFirst
1
Tunaongezewa zaidi pale tunapotoa zaidi kwa wale wenye uhitaji Wafurahishe uwapendao kwa kuwanunulia vitu mbalimbali msimu huu wa sikukuu Lipa kwa Tembocard VISA na upate punguzo zaidi ukinunua toka Miniso Woolworth Stores na Orca Deco
1
Ubarikiwe sana bro kwa moyo wenye hekima na busara hakika Mungu atakupa zaidi ya hapa
1
Kwetu haipo hii Tukizindua jiwe la Msingi la ujenzi wa zahanati ya kijiji cha DODOMA Isanga kata ya Masanze
1
Kuna malalamiko ya wafanyabiashara wa kimataifa wanatamani Kariakoo iwe kama Kampala hata ukienda saa 6 usiku unapata hudum
1
Siri kubwa ya taasisi yoyote kukua ni kufanya kazi vizuri Ukifanya vizuri watakuja wadau wengine kukufund Ili wazo lako liwe
1
Funguka Unga mkono mpango Kazi wa Taifa wa Kuondoa Ukatili dhidi ya wanawake na watoto
1
Habari asante kwa kutuandikia pole tupatie namba yako ya kadi kwa msaadaSalim
1
Yes ni fursa nzuri kwako wewe mdau wa Kuna nykati nyingi sana zimepita pengine hujawasiliana na rafiki ya wa kitambo na kushea naye kumbukumbu nyingi Ni fursa kwako kumtag hapa ili ajue unamkumbuka
1
DREAMLINER DAR MWANZA Air Tanzania tunapenda kuwatangazia Wateja wetu kuwa kwenye msimu wa sikukuu tumeongeza safari ze
1
Mh DC kesho kwenye Burudani kitu cha Kamba kitakuwepo Mdundo wa Asili mchumbio wa aridhini muhimu sana kuwepo pi
1
harith rashid Ahsante kwa kushiriki nasi kupitia ukurasa wetu endelea kutumia huduma za tigo
1
Nakupongeza ndg kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Taifa Nawapongeza wana CHADEMA kwa kum
1
Hello Rommy karibu
1
Wasifu wa Siti binti Saad ni kitabu ninachokipenda kuliko vyote hapo Kina fundisho kubwa
1
MPYA 2019MABALOZI WALIVYO TEMBELEA MRADI WA RELI YA KISASAWAFURAHIA KUPANDA TRENI YA UHANDISI
1
Wajumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa litakaloketi leo Jumanne Desemba 17 2019 wakiendelea kuwasili na kujia
1
Kundenga HA tunapenda kukufahamisha kuwa tumefanya maboresho kwenye menyu zetu za vifurushi kwa kuongeza ujazo wa dakika sms na MBs za internet Fahamu utaweza kupata vifurushi vyetu kwa bei ya chini kabisa kwanzia shilingi 500 n
1
Habari Ahsante kwa uvumilivu wako pole sana kwa changamoto uliyoipata Huduma ya internet sasa imerejea Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu uliopataLL
1
Kwa mara ya kwanza wanawake nchini Saudi Arabia wameruhusiwa kutazama mechi za mpira wa miguu na
1
Takribani wanawake 7 madereva wa magari ya mashindano nchini Saudi Arabia watapata nafasi ya kufanyiwa majaribio ya mashindano ya Formula E baada ya nchi hiyo kupata nafasi ya kuandaa msimu mpya wa mashindano hayo mwezi ujao
1
huo ipasavyo na kuwaagiza kuendelea kuwasimamia wakandarasi usiku na mchana
1
Tafadhali tupatie namba yako tufuatilie tatizo lako
1
Bado unaweza kupata vifurushi vya thamani ya pesa yako na Saizi yako Zaidi kulinganisha na zamani Kwenye menyu yetu 14700 au 14800 tumekuwekea vifurushi vyenye dakikaMBs na SMS nyingi kuanzia 500 kwa siku wiki au mwezi
1
Ushiriki wa wanawake ktk uongozi ni mdogo Kama Asasi na tumekua tukiangalia sababu ktk jamii kujua kwa nini
1
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo 05092018 kama unavyoletwa
1
Naibu Waziri Habari Mhe Anastazia Wasanii hakikisheni mnapata kibali cha kutoka Serikali za Mtaa kabla ya kufanya kazi za sanaa
1
Heshimu maombi yako kuna ishara nzuri inayoonyesha shukrani yako kwa muumba wako Mungu mwema
1
Asante mdau Hapo inatakiwa GW 11 kuna kasoro kidogo tutarekebisha Ila mshindi ni ndugu Alex Elimboto
1
RAIS WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI IKULU ZANZIBAR
1
Sawa Kwa kuwa ulisha jisajili utahitajika kutengeneza neno la siripassword ili uweze kuingia kwa Apptovuti kucheza au kuangalia matokeo Neno la siri lafaa kuwa na herufi kubwa ndogo pamoja na namba muunganiko huo usipungue 8 PA
1
Je Wajua Kila Mwanamke Ni Mzuri Ila Wanatofautiana Urembo
1
Jilinde na uwalinde wengine walio karibu nawe kwa kufahamu ukweli Kuhusu Uviko 19 na kuchukua tahadhari inavyofaa Fuat
1
Asante kwenu Salma Ngwila na Rama Ngozi kwa kuifanya Cloudsfm Radio kuwa sehemu ya maisha yenu 1044 Dodoma
1
Nimefurahi kukutana na kijana mwenye kipaji wa darasa la nne aliyenichora sura nilipofanya kampeni Muleba
1
Awajasema ametoa msaada Bali wameanza na mkuu wa mkoa Naamanisha hapo wameshaitaja serikali sioyeye Ni mtazamo wangu
1
Meeting a bro anaishi maisha ya ndoto zanguam very very happy todaykumbe kila kitu kinawezekanaacha niendelee kupambana
1
Haswaakatika jiachie hakuna expire datewarudishe nyumbani
1
Jenga Bet Timu zote zitafungana Dzeko atafunga mangapi Kuna tuta litapatikana Cheza Jenga Bet kubet masoko hadi 6 kwenye 1 ushinde zaidi
1
Sema hakuna gud moment kama kila dili unazoset zinalipukahiki ndo kipindi unaona kabisa maombi yako yanajibiwatusichoke kusaliMungu anajibu maombi shida huwa network tu sometimes yanachelewa
1
Habari Pole kwa usumbufu ulioupata Tumerejesha kifurushi chako na tulifanikiwa kuongeza MB kulingana na kifurushi ulichokua umenunua naomba kufahamu kama una changamoto katika huduma ya intaneti kwa sasaSM
1
WALLAHI MANENO YA MAMA YANGU YANANIFARIJI SANA Jinsi mama yangu alivyonisimlia Nakupenda Sana Mama yangu Halijapotea ju
1
CHANGIA FAINI YA VIONGOZI WA CHADEMA MPESA KWENDA CRDB 1 BONYEZA 15000 2 TUMA PESA 3 KWENDA BENKI 4 CHAGUA CRDB 5
1
Habari Henry tunaomba utume namba ya simu na eneo ulilopo DM kwa msaada zaidiJ
1
Jitihada za kufikia Mpango wa dunia wa malengo endelevu unahusisha uchumi jumuishi na Ubunifu umechukua nafasi kubwa katika
1
kuandika hii historia yangu natumia program ya sauti na maneno kujiandika yenyewe naishukuru teknolojia ya simu yangu ya iPhone Kwa hali niliyonayo nahitaji msaada katika kufanya kila kitu Hakika namshukuru sana mama yangu kipenzi ambaye amekuwa nami bega kwa bega
1
Nipende sana kumshukuru wameongea mengi sanasana Mm ss hv nimeamua kuwekeza nguvu zangu nyingi sana nipate followers Nilipost kuomba volunteerintership nikamtag mtu ata hili kureetweeti was so sad
1
Ushauri wako ni mchango mkubwa sana kwake 2Tweet mtu napost kitu kama kapost contrnt nzur na umekagua profile ake ako poa kwann usiretweet Mm nilipost kitu nkamfata mtu inbox bas aretweet akaniomba pesa ok its finenkaacahana nae lkn nilivoingia kwa aliretwt
1
Ulivyosema ndo vitu navyojifunza daily maishani kwangu namshukuru Mungu ananikutanisha na walimu sahihi
1
Kikapu Taifa Rwanda washinda mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya
1
Mungu Amjalie Maisha Marefu Mshauri wetu Huyu anatusaidia Sana kwa kweli
1
Bio yenye mvuto Follow me kama unataka kujifunza technologyNapenda kusoma vitabuMdau wa michezoTelecomEngenearnk Watu watavutiwa na bio yako watakufollowunafail kwa bio jichunguzekwanza Hio uleta maana kwamba tweet zako zinaweza kunihusu kwa asilimia kubwa
1
Tunawatakia baraka za Eid
1
Lazio Atalanta Fainali Coppa Italia Baada ya kuwatungua Milan 10 kwenye nusu fainali Lazio watawasimamisha Atalanta na kutwa ubingwa wa Coppa Italia Bet uingie kwenye droo ya kushinda SMA PHONE na TIKETI za mechi
1
Thamani ya mauzo ya Hisa yafikia Bil 204
1
Pole kwa usumbufu ulioupata Tulikua tuna tatizo la kiufundi katika huduma ya intaneti Tumerejesha kifurushi chako na tulifanikiwa kuongeza MB kulingana na kifurushi ulichokua umenunua naomba kufahamu kama una changamoto katika huduma ya
1
Kitendo cha kunawa mikono na sabuni baada ya kutoka chooni unapunguza magonjwa ya kuhara na matumbo kwa asilimia 65 M
1
Ukiomba Baraka ikachelewa omba UvumilivuUkiipata shukuru na uitumie kwa Busara na HekimaLinda Majivuno Mpe Mungu Utuku
1
Habari Mpenda Katika promotion hii ya sasa ya Ujanja ni Tunapenda kukujulisha kwamba tumefanya maboresho kwenye menyu yetu 14700 au 14800 ya vifurushi ambapo bado unaweza kupata vifurushi vya thamani ya pesa yako na Saizi yako Zaidi
1
Watoto huleta furaha nyumbani endeleza furaha yako kwa kuwapa wanao kile wakipendacho kwani kupitia kifurushi cha Bomba 19000 mwanao atafurahia chaneli za watoto ikiwemo katuni Mickey and the Roadster Racers leo saa 10 jioni ndani ya chaneli Disney Junior 309
1
Katika kufanikisha hilo Serikali ya Awamu ya Tano inawekeza takribani Shilingi Bilioni 72 za fedha za walipakodi kut
1
Kikubwa nilichojifunza katika elimu ni kwamba Walimu wanakusaidia ufauli mitihani ila kuelewa na kuchambua kipi unahita
1