File size: 22,874 Bytes
4f27ef6
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150
151
152
153
154
155
156
157
158
159
160
161
162
163
164
165
166
167
168
169
170
171
172
173
174
175
176
177
178
179
180
181
182
183
184
185
186
187
188
189
190
191
192
193
194
195
196
197
198
199
200
201
202
203
204
205
206
207
208
209
210
211
212
213
214
215
216
217
218
219
220
221
222
223
224
225
226
227
228
229
230
231
232
233
234
235
236
237
238
239
240
241
242
243
244
245
246
247
248
249
250
251
252
253
254
255
256
257
258
259
260
261
262
263
264
265
266
267
268
269
270
271
272
273
274
275
276
277
278
279
280
281
282
283
284
285
286
287
288
289
290
291
292
293
294
295
296
297
298
299
300
301
302
303
304
305
306
307
308
309
310
311
312
313
314
315
316
317
318
319
320
321
322
323
324
325
326
327
328
329
330
331
332
333
334
335
336
337
338
339
340
341
342
343
344
345
346
347
348
349
350
351
352
353
354
355
356
357
358
359
360
361
362
363
364
365
366
367
368
369
370
371
372
373
374
375
376
377
378
379
380
381
382
383
384
385
386
387
388
389
390
391
392
393
394
395
396
397
398
399
400
401
402
403
404
405
406
407
408
409
410
411
412
413
414
415
416
417
418
419
420
421
422
423
424
425
426
427
428
429
430
431
432
433
434
435
436
437
438
439
440
441
442
443
444
445
446
447
448
449
450
451
452
453
454
455
456
457
458
459
460
461
462
463
464
465
466
20328#0	Dar-Es Salaam ni mji wa nchi gani?
40990#0	Kuna nchi ngapi bara la Asia?
22115#0	Ewaso Nyiro iko kwenye nchi gani?
93801#0	Ni nani rais wa Marekani?
4934#0	Mwezi wa Aprili una siku ngapi?
73196#0	Mtu anayeongea lugha mbili au zaidi huitwaje?
2219#0	Ni nani aliyekuwa wa kwanza kutembea juu ya mwezi?
81501#0	Nchi ya India ina wakazi wangapi?
84408#0	Kuna miezi mingapi katika mwaka?
39828#0	Helikopta ina gurudumu ngapi?
98505#0	Mto Nile huanzia nchi gani?
77867#0	Kuna lugha ngapi nchini Nigeria?
66906#0	Congo DRC ilipata uhuru mwaka gani?
72051#0	Maambukizi ya bakteria hutibiwa na dawa aina gani?
83176#0	Rasi ya Kamchatka iko kwenye nchi gani?
83538#0	Uganda ina wilaya ngapi?
57141#0	Maji huchemka yakifika joto kiwango kipi?
63823#0	Kuna wilaya ngapi kwenye mkoa wa kati nchini Kenya?
101976#0	Mlima Kilimanjaro una urefu wa kilometa ngapi?
88156#0	Mariah Carey alizaliwa tarehe ngapi?
55701#0	Babake Jane Fonda anaitwa nani?
20926#0	Bonde la Ufa liko kwenye nchi gani?
84329#0	Ni nani aliyegundua dawa aina ya penicillin.
75109#0	Lugha ya taifa nchini Gabon ni ipi?
87602#0	Kuna aina ngapi za alfabeti duniani?
102565#0	Mlima wa Kenya uko katika wilaya gani?
56079#0	Reli hutengenezwa kwa kutumia chuma aina gani?
29319#0	Tofauti ya mkoa na wilaya ni ipi?
21913#0	Kampala iko kwenye wilaya gani nchini Uganda?
83984#0	Mji wa Bethlehem uko kwenye nchi gani?
104526#0	Messy ni mchezaji wa soka wa nchi gani?
2487#0	Kalenda ya Iran in miezi mingapi?
76329#0	Nchi ya Mali ilipata uhuru mwaka upi?
78953#0	Chapati zinatoka nchi gani?
5152#0	Shambulio la Hiroshima lilikuwa tarehe ngapi?
28908#0	Ni nchi zipi zinazopakana na Bahari ya Hindi?
27132#0	Kenya ilipata uhuru mwaka upi?
94832#0	Ni milima mingapi iliyo Afrika iliyo na barafu?
33315#0	Kuna vidato vingapi kwenye shule za sekondari nchini Tanzania?
29894#0	Meli kubwa zaidi duniani ina uzito wa kilo ngapi?
95736#0	Ni chama kipi kinacho tawala nchini Ethiopia?
62442#0	Rais wa kwanza wa Tanzania alikuwa nani?
2822#0	Wakoloni waliingia Afrika mwaka gani?
21743#0	Zanzibar ina wakazi wangapi?
3694#0	Ni nchi zipi za Kiafrika zinazotumia Kingereza kama lugha ya taifa?
2400#0	Ni nchi gani iliyo na mito mingi zaidi bara la Asia?
42881#0	Kuku hutaga mayai mangapi kwa siku?
85339#0	Ugonjwa wa SARS ullianza mwaka gani?
101252#0	Babake Yesu alikuwa ni nani?
13455#0	Kalenda ya kichina ina miezi mingapi?
41697#0	Mji wa Kajiador uko kwenye mkoa upi nchini Kenya?
74131#0	Ni lugha gani inayotumiwa na serikali ya Sudan Kusini?
35474#0	Bendi la Backstreet Boys liliundwa mwaka gani?
6240#0	Pokomo ni lugha ya nchi gani?
25282#0	Wafaransa walifika Mali mwaka upi?
37686#0	Denver iko kwenye jimbo lipi?
76526#0	Ni watu wa eneo lipi ambao hufuga ngamia?
6212#0	Ni nchi zipi ambazo hujulikana kama Visiwa vya kariba?
101333#0	Mji wa Mwea uko katika wilaya gani?
63133#0	Kaunda alikuwa rais wa nchi gani?
57455#0	Ngugi Wa Thiongo ni mwandishi wa nchi gani?
83050#0	Isaac Newton alikuwa mwenyeji wa nchi gani?
92276#0	Mtihani wa KCSE nchini Kenya hufanyika mwezi gani?
20199#0	Ngorongoro iko wilaya gani?
57581#0	Bibi yake Musa kwenye biblia alikuwa anaitwa nani?
5762#0	Ni mnyama upi anayeweza kupumua kwenye maji?
12045#0	Mji wa Morogoro uko katika wilaya gani?
103387#0	Mji wa Lokichogio uko wilaya gani?
94116#0	Wakristo huamini biblia ina vitabu vingapi?
91273#0	Ndovu ana kilo ngapi?
26342#0	Mto wa Mbu uko kwenye wilaya gani nchini Tanzania?
89690#0	Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa wa chama kipi?
92199#0	Ni mto upi huishia ziwa Victoria?
99578#0	Bahari ya Hindi ina upana wa kilometa ngapi?
17366#0	Bad Boy entertainment ilianzishwa na nani?
11788#0	Lugha ya taifa ya Yugoslavia hutumia alfabeti aina gani?
97392#0	Msanii Diamond Platinumz ana vijana wangapi?
42179#0	Mji mkuu wa jimbo la Louisiana umekana ni miji ipi?
33985#0	Chuo kikuu cha Kenyatta kilianzishwa mwaka gani?
85164#0	Ni mji upi Afrika hupokea watalii wengi zaidi?
75227#0	Dini ya Katoliki ina watakatifu wangapi?
62099#0	Lugha za Kibantu zilianza nchi gani?
87659#0	Tano huandikwaje kwa tarakimu za Kirumi?
61799#0	Ni lugha ipi ambayo ni rahisi zaidi kusoma?
62709#0	Ni lugha ngapi za Kihindi ambazo zimetoweka?
11590#0	Papa wa kwanza kutoka Ujerumani alikuwa nani?
33791#0	Mwanahabari Jeff Koinange ameajiriwa na kampuni gani?
55354#0	Ugonjwa wa UKIMWI uligunduliwa mara ya kwanza nchi gani?
70208#0	Shule za Afrika kaskazini hufundisha lugha zipi?
93205#0	Filamu za nchi ya Tanzania hutafsiriwa kwa lugha ngapi?
86812#0	Ni lugha zipi hufundishwa shule za msingi nchini Togo?
56749#0	Bwana yake Miriam Makeba alikuwa nani?
17073#0	Kuna miungu mingapi katika mitholojia?
20262#0	Majina yote ya Rais wa Marekani ni gani?
64840#0	Mipaka ya leo ya nchi za bara la Afrkika iliamuliwa mwaka gani?
57936#0	Nchi ya Benin imepakana na nchi gani upande wa kaskazini?
102074#0	Ni mto upi una upana zaidi duniani?
99382#0	Patrice Lumumba alikuwa wa chama kipi?
77383#0	Daraja ya mji wa San Francisco ilijengwa mwaka gani?
96270#0	Kampuni ya Microsoft ilianzishwa na kina nani?
22092#0	Zanzibar ni mji mkuu wa wilaya gani?
3512#0	Bendera ya Kenya ina mistari mingapi?
12765#0	Kaizari wa kwanza wa Roma alikuwa nani?
64868#0	Shaba huchimbwa eneo lipi bara la Afrika?
55186#0	Dawa ya Malaria ina kemikali ngapi?
20263#0	Wilaya ya Monduli ina eneo kiwango kipi?
65079#0	Nyimbo za lugha ya Lingala husikizwa katika nchi ngapi duniani?
75042#0	Lugha ya taifa ya Singapore huzungumzwa na watu wangapi kama lugha ya pili?
84077#0	Nchi ya Italia iko eneo lipi duniani?
13825#0	Herufi ya pili ya alfabeti ya Kigiriki ni gani?
21323#0	Wilaya ndogo zaidi Tanzania ni ipi?
36906#0	Filamu ya kwanza ilitengenezwa mwaka gani?
88881#0	Mabati hutengenezwa na chuma gani?
82731#0	Mkoa wa Kati Kenya una lugha ngapi rasmi?
85143#0	Kilo moja ina gramu ngapi?
93724#0	Albamu ya kwanza ya Boyz II Men ilikuwa gani?
102660#0	Televisheni ya kwanza ilionyesha rangi ngapi?
29692#0	Maji huchemka yakifikisha joto kiwango kipi?
16794#0	Kifaru ana meno ngapi?
34586#0	Mwanariadha Kipchoge Keino alizaliwa kijiji kipi?
65067#0	Dini yenye wafuasi wengi zaidi nchini Tibet ni gani?
22756#0	Wilaya ya Nova Scotia Kanada ina uhusiano upi na nchi ya Scotland?
4031#0	Kitabu cha Agano Jipya huwa na vitabu ngapi?
75105#0	Nyimbo za Bob Marley ziliimbwa kwa lugha gani?
11796#0	Mwimbaji Saida Karoli huimba nyimbo zake kwa lugha gani?
72546#0	Yesu aligeuza maji kuwa divai mji upi?
24013#0	Che Guevara aliuawa akiwa mji upi?
56938#0	Mwandishi Ngugi Wa Thiong’o alirudi Kenya mwaka gani?
31569#0	Mwimbaji R. Kelly alihukumiwa kosa lipi?
67977#0	Ni dini gani huwaruhusu wanaume kuoa bibi wawili au zaidi?
71366#0	Nchi ya Eritrea ina wakazi wangapi wa kabila ya Kitigre?
19456#0	Nchi ya Tanzania inaongozwa na rais wa chama kipi?
41607#0	Timu ya soka ya Bayern Munich iliishinda timu ya Arsenal tarehe ngapi?
18792#0	Kundi la wanyama lenye huishi kwa maji pekee ni lipi?
101628#0	Almasi hupatikani mita ngapi chini ya ardhi?
71153#0	Kuna aina ngapi za michezo ya riadha?
105155#0	Nyangumi huzaa watoto wangapi maishani?
105833#0	Ni mimea ipi hukuzwa mji wa Marsabit?
96913#0	Wanasayansi husema ni nini sababisho la saratani ya matiti?
78669#0	Mji wenye mvua mingi zaidi duniani ni upi?
29459#0	Bahari ya Pasifiki ina upana wa kilomita elfu ngapi?
32470#0	Safari rally ilianza nchi gani?
84188#0	Kuna miji mingapi inayoitwa Majengo Afrika kusini?
1182#0	Jina la Abraham kwa Qurani ni lipi?
64931#0	Busia ya Kenya iko umbali wa kilomita ngapi kutoka Busia ya Uganda?
63236#0	Kuna nchi ngapi zenye watu wanaozungumza Kiacholi kama lugha ya tatu?
67855#0	Nchi ya Mali imebadilisha jina mara ngapi?
29456#0	Wilaya ya Kaskazini Kenya hupata mvua siku ngapi mwezi wa desemba?
65724#0	Tofauti ya DRC na Congo-Brazzaville ni ipi?
88512#0	Ni nchi ngapi bara la Afrika zilipata uhuru baada ya mwaka wa 1970?
66434#0	Christopher Columbus alianza safari yake mwaka gani?
103749#0	Mwigizaji Tony Garcia alikuwa kwenye filamu zipi?
28877#0	Kwenye biblia mtoto wa kwanza wa kiume wa Abraham alikuwa nani?
79085#0	Mapinduzi nchini Ufaransa yalifanyika mwaka gani?
103966#0	Ni mawe ya aina gani hutumiwa kujenga nyumba?
87798#0	Programu ya Windows imekuwa na mabadiliko mangapi?
83453#0	Jina Tanganyika lilitumiwa hadi mwaka gani?
18867#0	Maji ya bara Hindi yana chumvi asilimia ngapi?
5585#0	Mwaka wa 1980 ulikuwa karne gani?
74464#0	Mwezi ulio na baridi zaidi mkoa wa Pwani Kenya ni upi?
76317#0	Familia inayotawala nchini Korea kaskazini ni ipi?
74504#0	Mlima Kilimanjaro uko katika kijiji kipi?
20101#0	Masomo ya msingi nchini Tanzania ni ya miaka mingapi?
81205#0	Seri zinazofanya damu kuwa nyekundu huitwaje?
78205#0	Chuo kikuu cha Dar es Salaam hufundisha lugha zipi?
6569#0	Wakoloni waliingia mara ya kwanza bara la Afrika kwa kupitia nchi gani?
84486#0	Karl Marx anajulikana kwa kitendo kipi?
70148#0	Kuna aina ngapi za tuzo la Emmy?
98774#0	Mito inayokauka kila mwaka huitwaje?
13792#0	Madini ya yakuti hupatikana nchi zipi?
3425#0	Upinde wa mvua una rangi kapi?
69962#0	Ni Wakenya wangapi wameshinda mbio za Boston?
61614#0	Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Hispania vilianza mwaka gani?
70420#0	Kuna tofauti gani kati ya mila ya Wamaasai wa Kenya na wa Tanzania?
83625#0	Jina la kuzaliwa la mwimbaji Lil Jon ni lipi?
67903#0	Wilaya ya Bonde la ufa Kenya iligawanywa kaunti ngapi?
5850#0	Paa la mabati hukaa miaka mingapi kabla ya kuhitaji kubadilishwa?
78865#0	Lugha ya kiitaliano imakaribiana zaidi na lugha gani nyingine?
89056#0	Ni mkoa upi Kanada una baridi zaidi?
16321#0	Mji mkuu wa nchi ya Ufaransa ni upi?
78774#0	Jina lingine la Burma ni lipi?
7972#0	Vita vya Afghanistan vilianza mwaka gani?
85383#0	Mwaka wa 1789 unajulikana kwa sababu ya tukio lipi?
38605#0	Rosa Parks alishtakiwa kosa lipi?
66480#0	Namibia ilipata uhuru kutoka Afrika kusini mwaka gani?
22547#0	Jina lingine la Wasukuma ni lipi?
93584#0	Darubini inatuwezesha kuona umbali wa maili ngapi nje ya hewa ya dunia?
90410#0	Mwanasiasa Kalonzo Musyoka yuko chama gani?
30501#0	Kuna wakimbizi wangapi Israel kutoka Ethiopia?
13736#0	Pierce Brosnan imeigiza filamu ngapi za James Bond?
107576#0	Ni sayari ziipi ndogo kuliko dunia?
14974#0	Mwigizaji Wesley Snipes anajulikana kwa filamu gani?
95926#0	Pesa ya Ujerumani inaitwaje?
4651#0	Mwezi wa kwanza una siku ngapi?
37564#0	Ni nini huyafanya maji ya bahari yapate chumvi?
69051#0	Shaka Zulu alizaliwa mwaka gani?
64947#0	Maneno yaliyo na maana zaidi ya moja huitwaje?
43036#0	Mji wa Hong Kong uko nchi gani?
88721#0	Otto Von Bismark alikuwa raiya wa nchi gani?
39657#0	Mji wa Sacramento una wakazi wangapi?
47239#0	Umoja wa Falme za Kiarabu una nchi ngapi?
18732#0	Rais wa Marekani Joe Biden ana miaka mingapi?
12548#0	Kanisa ya waprotestanti ilianzishwa na nani?
74797#0	Mafuriko ya El Nino yalitokea mwaka gani?
107547#0	Upinde wa mvua una rangi ngapi?
84522#0	Ni nini hufanya damu iwe nyekundu?
21108#0	Wakimbizi wa Ethiopia hukimbilia nchi gani?
28643#0	Ni mimea ipi hukuzwa karibu na mto Nile?
68180#0	Ni nchi gani Afrika iliyotawaliwa na wajerumani enzi za ukoloni?
42961#0	Makao makuu ya Umoja wa Ulaya yako wapi?
103404#0	Mto wa Nzoia una urefu wa kilometa ngapi?
31640#0	Mto wa Arkansas una wakazi wangapi?
21257#0	Nchi ya Chad ilipata uhuru mwaka gani?
30774#0	Chama cha Mapinduzi Tanzania kilianzishwa na nani?
96104#0	Dini ya Kiislamu ilianzishwa mwaka gani?
65085#0	Ni mimea ipi inayokuzwa nchini Niger?
74734#0	Ni lugha gani ambayo ni ngumu zaidi kuandika?
67914#0	Kuna nchi ngapi bara la Asia?
65626#0	Mwimbaji Bob Marley alikuwa na watoto wangapi?
98626#0	Ni mto upi unaopita Kenya na Tanzania?
29532#0	Anatolia iko kwenye bara gani?
96642#0	Muziki wa Jazz ulianza mji upi?
104668#0	Bendi ya Them Mushrooms ilianzishwa mwaka gani?
2687#0	Tom Mboya alifariki akiwa na miaka mingapi?
41800#0	Nchi ya Yugoslavia ina mikoa mingapi?
21446#0	Mji mkubwa zaidi mkoa wa Nyanza ni upi?
76551#0	Lugha inayotumika zaidi duniani ni ipi?
90421#0	Chama cha KANU nchini Kenya kilianzishwa na nani?
42443#0	Ni nchi gani ambayo imeadhiriwa zaidi na mmomonyoko wa udongo?
40384#0	Vita vya kwanza vya dunia vilianza mwaka gani?
84167#0	Eneo la Kibera Kenyaliko kwenye mji upi?
68059#0	Ni nchi gani iliyo na wakazi wengi zaidi duniani?
20995#0	Wakazi wa mkoa wa Nyanza Kenya huongea lugha gani?
75123#0	Ni lugha zipi ambazo zinakaribiana zaidi na Kiswahili?
21137#0	Ni nchi ngapi za kiafrika hutumia kifaransa kama lugha ya taifa?
18085#0	Mji mkuu wa Somalia unaitwaje?
90962#0	Kamusi kubwa zaidi ya Kiswahili ina maneno mangapi?
67015#0	Bara la Afrika lina nchi ngapi?
89808#0	Umri wa kupiga kura Uganda ni miaka mingapi?
14083#0	Femi Kuti alianza kurekodi akiwa na miaka mingapi?
21179#0	Ni barabara ngapi zinazopita mji wa Kisumu Kenya?
13661#0	Kamusi ya kwanza ya kiswahili ilichapishwa mwaka gani?
33831#0	Mji wa Kakamega uko wilaya gani?
104531#0	Mchezaji Ronaldinho ana miaka mingapi?
20928#0	Wimbo wa kwanza wa Diamond Platinumz ni upi?
19100#0	Ni nchi zipi zinazopakana na Burundi?
101873#0	Kuna idadi gani ya waislamu nchini Kenya?
12518#0	Papa huchaguliwa na kina nani?
61796#0	Koffi Olomide ana miaka mingapi?
69389#0	Robin Williams alifariki mwaka gani?
62660#0	Kuna aina ngapi sa Kiswahili duniani?
89650#0	Ni chama kipi kinacho tawala Afrika Kusini?
74679#0	Mende huishi miezi mingapi?
66486#0	Mapigano ya nchi ya Vietnam yalikaa miaka mingapi?
21726#0	Jangwa la Sahara liko nchi gani?
64500#0	Ghana ina mikoa mingapi?
2251#0	BBC ilianzishwa mwaka gani?
85245#0	Timu ya mpira wa mikono ina wachezaji wangapi?
30244#0	Muziki wa hip hop ulianza kuenea mwaka gani?
56893#0	Julio Inglesias ana uhusiano upi na Enrique Inglesias?
68273#0	Mfalme wa mwisho uingereza alikuwa nani?
95295#0	Mkoa wa Quebec una lugha ngapi rasmi?
40060#0	Mama yake Tupac Shakur ana miaka mingapi?
81975#0	Kuna aina ngapi ya magonjwa ya damu?
83995#0	Mji wa Lira una wakazi wangapi?
77769#0	Jangwa kubwa zaidi Afrika liko nchi gani?
75021#0	Kuna nchi ngapi za kiarabu duniani?
78794#0	Lesotho inapakana na nchi zipi?
16774#0	Jengo refu zaidi duniani lina gorofa ngapi?
84123#0	Dubai ina wakazi wangapi?
57422#0	Mlima mrefu zaidi Uganda una urefu wa kilometa ngapi?
74738#0	Ni mto upi mrefu zaidi duniani?
43088#0	Utumwa ulianza mwaka gani Marekani?
4771#0	Karne ina miaka mingapi?
19835#0	Mji wa Kigoma uko karibu na ziwa lipi?
5751#0	Rais Roosevelt alitawala miaka mingapi?
98761#0	Ziwa la Edward liko nchi gani?
102878#0	Muziki wa Blues ulianza mji upi?
103954#0	Ziwa la Nakuru Kenya huuishia wapi?
6328#0	Watu wa Mara Tanzania huongea lugha gani?
78372#0	Lugha ya taifa ya Burundi ni ipi?
2812#0	Mji wa Mwanza uko karibu na ziwa lipi?
47241#0	Wilaya ya Bagamoyo iko eneo lipi Tanzania?
83382#0	Mto Bubu Tanzania uko wilaya gani?
76787#0	Lugha ya Banda inapatikana nchi gani?
85306#0	Lugha ya taifa ya Burkina Faso ni gani?
3846#0	Bendera ya Tanzania ina rangi ngapi?
28859#0	Wilaya ya Bukoba Tanzania iko mkoa upi?
95121#0	Rais wa Cameroon ni nani?
78307#0	Wilaya ya Chake ina wakazi wangapi?
28875#0	Wilaya ya Biharamulo iko mkoa upi?
24300#0	Moshi ni mji mkuu wa mtoa upi?
98287#0	Mto Ipera unaanzia wapi?
68015#0	Mji wa Igunga uko mkoa upi?
81157#0	Mdinka ni lugha ya nchi gani?
33642#0	Mpanda ni mji mkuu wa mkoa upi?
66669#0	Lugha ya taifa ya Ghana ni gani?
57488#0	Nchi ya MAdagascar ina lugha ngapi rasmi?
9927#0	Ni nchi gani hutumia Kingereza na Kiswahili kama lugha za taifa?
34950#0	Timu ya soka ya Tanzania hufanya mazoezi uwanja upi?
42024#0	Wilaya ya Geita iko mkoa upi?
3723#0	Tai hutaga mayai mangapi kwa mwaka?
29580#0	Wilaya ya Handeni iko mkoa upi?
37203#0	Wilaya ya Ilala ina wakazi wangapi?
26117#0	Mji wa Wete Tanzania uko mkoa upi?
96012#0	Askofu mkuu wa Nyeri Kenya ni nani?
29430#0	Mji wa Zanzibar uko mkoa gani?
70412#0	Mozambique ilipata uhuru mwaka gani?
72199#0	Lugha ya Kikuyu inasemwa na watu wangapi?
64311#0	Lugha ya Wolof iko nchi gani?
63129#0	Lugha ya Shona iko katika nchi ngapi?
66952#0	Kibaha ni mji mkuu wa eneo lipi Tanzania?
20155#0	Mji mkuu wa Manyara ni upi?
38778#0	Mji wa Chake-Chake Tanzania uko eneo lipi?
30097#0	Arnold Shwaznegger alihamia Marekani mwaka gani?
62901#0	Lugha ya Bemba iko nchi gani?
92634#0	Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Wolof?
102097#0	Mto Flint uko jimbo lipi Marekani?
4652#0	Tarehe 4 mwezi Aprili ni siku ya ngapi ya mwaka?
67391#0	Mji wa Eldoret Kenya uko mkoa upi?
78667#0	Mji wa Garissa una kata ngapi?
65654#0	Lugha ya Fang huzungumzwa nchi gani?
29859#0	Mji wa Marsabit Kenya uko wilaya gani?
20156#0	Mji wa Moyale Kenya uko mkoa gani?
47298#0	Mji wa Bungoma uko wilaya gani?
15028#0	Kampuni ya kuigiza ya Pixar ilianzishwa mwaka gani?
108659#0	Waroma walivamia Uingereza mwaka gani?
82529#0	Ugonjwa wa kisonono husababishwa na nini?
19640#0	Babati ni mji mkuu wa wilaya gani Tanzania?
55417#0	Ugonjwa wa ukimwi uligunduliwa mwaka gani?
69971#0	Mji wa Kitui uko mkoa upi?
41062#0	Ni akina nani walijulikana kama Kapenguri Six nchini Kenya?
8752#0	Mji mkuu wa Israel ni upi?
33886#0	Mwimbaji Ja Rule ana miaka mingapi?
68070#0	Wilaya ya Mwanga Tanzania ina wakazi wangapi?
107231#0	David Beckham ana watoto wangapi?
83917#0	Mwimbaji Mr. Blue wa Tanzania ana miaka mingapi?
33102#0	Mji wa Koani Tanzania uko mkoa upi?
104634#0	Mji wa Vwawa una kata ngapi?
29863#0	Mji wa Songea una wakazi wangapi?
21991#0	Mji wa Tabora una kata ngapi?
4793#0	Tarehe 1 ya mwezi wa januari ni sikukuu gani?
87121#0	Marekani imekuwa na rais wangapi?
27147#0	Wilaya ya Karatu iko mkoa upi?
34458#0	Filamu ya La vie est belle ilitengenezwa mwaka gani?
4823#0	Kuna wiki ngapi kwa mwezi?
71737#0	Jina la kiswahili la United Nations ni lipi?
103455#0	Mto Lukwika unapatikana wapi?
22144#0	Mji wa Songea uko mkoa upi?
103408#0	Facebook ilianzishwa na nani?
78216#0	Nchi ya Gabon in lugha ngapi rasmi?
29281#0	Mji wa Moshi uko mkoa upi?
67836#0	Wilaya ya Bukobe iko mkoa upi?
10445#0	Mji wa Ottawa Kanada una wakazi wangapi?
95321#0	Saa moja ina sekunde ngapi?
22572#0	Wilaya ya Kahama ina wakazi wangapi?
104121#0	Mto wa Deho uko mkoa upi?
80988#0	Lugha ya Kiafrikaans ni ya nchi gani?
16603#0	Mji mkuu wa mkoa wa Quebec ni upi?
78057#0	Kihindi ni lugha ya taifa ya nchi ngapi?
73694#0	Kiingereza ni lugha ya taifa ya nchi ngapi?
62925#0	Lugha ya Kikhwe huzungumzwa nchi gani?
74072#0	Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Kizulu?
29614#0	Wilaya ya Mafia Tanzania ina kata ngapi?
25979#0	Nchi ya Japan ina mikoa mingapi?
26476#0	Wilaya ya Kyela ina wakazi wangapi?
65743#0	Lugha ya Kiswati ni ya nchi gani?
100236#0	Mto Kiseru uko mkoa upi?
35829#0	Ni nchi gani ilishinda kikombe cha FIFA mwaka 2018?
62548#0	Lugha ya taifa ya Lesotho ni gani?
61443#0	Kixegwi ni lugha ya nchi gani?
43050#0	Mji wa Koani uko mkoa upi?
17051#0	Mwandishi Victor Hugo alizaliwa tarehe ngapi?
98464#0	Ziwa Kitangiri liko wilaya gani?
91711#0	Ziwa Jipe liko mkoa upi?
99620#0	Mto wa Ewaso Nyiro uko mkoa upi?
68028#0	Mji wa Lamu una vijiji vingapi?
3760#0	Bendera ya Honduras ina rangi ngapi?
29645#0	Mji wa Chalinze uko wilaya gani?
29405#0	Wilaya ya Bagamoyo ina wakazi wangapi?
28545#0	Pesa ya Dubai huitwaje?
20801#0	Shelui ni mji mkuu wa wilaya gani?
26194#0	Ushirombo ni mji mkuu wa wilaya gani?
17435#0	Mji mkuu wa Igunga ni upi?
76362#0	Lugha ya taifa ya Ukraini ni gani?
32028#0	Mmea wa mahindi huzaa baada ya miezi mingapi?
82676#0	Maria Magdalena alikuwa na uhusiano upi na Yesu?
75370#0	Mvinyo hutengenezwa kwa kutumia viungo vipi?
96362#0	Kambi kubwa zaidi la wakimbizi Kenya ni lipi?
65705#0	Lugha ya Banda ni ya nchi gani?
29911#0	Kalangala ni mji mkuu wa wilaya gani?
78562#0	Ganana ni mji mkuu wa wilaya gani?
29512#0	Mji wa Hai una wakazi wangapi?
91615#0	Sikukuu ya pasaka husherehekewa siku gani?
33766#0	Soko kubwa zaidi mjini Nairobi ni lipi?
99389#0	Mto Patuca uko nchi gani?
96117#0	Yesu alikuwa na wafuasi wangapi?
40935#0	Chanika ni mji mkuu wa wilaya gani?
73954#0	Lugha ya Tigre iko katika nchi ngapi?
90077#0	Mwanasiasa Tom Mboya wa Kenya aliuawa tarehe ngapi?
17169#0	Agano jipya kwenye biblia ina vitabu vingapi?
30365#0	Bibi ya David Beckham ni nani?
18824#0	Ni paka yupi mkubwa zaidi jangwani?
79261#0	Lugha ya taifa ya Libya ni gani?
24431#0	Mji wa Vihiga una wakazi wangapi?
19702#0	Mji wa Ushirombo uko mkoa upi?
88559#0	Mtoto wa kwanza wa Ibrahimu katika biblia alikuwa nani?
77289#0	Nchi ya Urusi hufuata uongozi wa aina gani?
67727#0	Mji wa Namanga una wakazi wangapi?
78904#0	Wilaya ya Igunga ina wakazi wangapi?
66885#0	Lugha ya Afar ni ya nchi gani?
77133#0	Lugha ya Kinama ni ya nchi gani?
14318#0	Muigizaji John Travolta ana miaka mingapi?
17673#0	Mwigizaji Leonardo Di Caprio ana miaka mingapi?
22764#0	Mji wa Babati Tanzania una wakazi wangapi?
89001#0	Rais wa Uchina ni nani?
20218#0	Igunga ni mji mkuu wa wilaya gani?
65627#0	Michael Douglas ana miaka mingapi?
33123#0	Mji wa Calgary Kanada una wakazi wangapi?
62636#0	Lugha ya Kikuyu iko katika familia gani?
29920#0	Akeri ni mji mkuu wa wilaya gani?
63813#0	Kuna wilaya ngapi zinazoitwa Bukoba?
64610#0	Lugha ya Bambara ni ya nchi gani?
79541#0	Wilaya ya Kilifi ina wakazi wangapi?
35262#0	Siku 12 za krisimasi huanza tarehe ngapi?
67267#0	Lugha ya Berber hupatikana nchi gani Afrika?
40882#0	Meli kubwa zaidi duniani ni ipi?
94380#0	Nyoka aliye na sumu kali zaidi ni yupi?
93183#0	Nyota iliyo karibu zaidi na dunia ni ipi?
29582#0	Shelui ni mji mkuu wa wilaya gani?
36018#0	Nchi ya Nigeria ina jimbo ngapi?
74152#0	Lugha inayozungumzwa na watu wengi zaidi Nigeria ni gani?
31267#0	Yesu alizaliwa mji upi?
81586#0	Musa katika biblia alizungumza lugha gani?
9725#0	Mji mkuu wa jimbo la Florida ni upi?
22622#0	Mji mkuu wa Igunga ni upi?
83190#0	Nchi ya Malawi ilipata uhuru mwaka gani?
14598#0	Mraba una pande ngapi?
12036#0	Marekani ina jimbo ngapi?
38810#0	Mji wa Denver una wakazi wangapi?
90891#0	Mji wa Brownsville Marekani uko jimbo lipi?
16994#0	Moliere alikuwa na bibi wangapi?
45110#0	Mji wa Miami una wakazi wangapi?
6203#0	Nchi ya Comoros ina viziwa ngapi?
7115#0	Jimbo la Texas lina wakazi wangapi?
22018#0	Mji wa Bukoba hutawalwa na nani?
19530#0	Mkoa wa Lindi una miji miingapi?
28566#0	Wilaya ya Geita ina wakazi wangapi?
74741#0	Nchi ya Sudan ina lugha ngapi?
86748#0	Nchi ya Gambia hufanya uchaguzi baada ya miaka mingapi?
18481#0	Kamusi kubwa zaidi ya Kiingereza ina maneno mangapi?
27540#0	Quincy Jones alisomea shule gani?
74518#0	Jina la Kiswahili la kangaroo ni lipi?
86186#0	Vitabu vya manga vilianza kuchapishwa wakati upi?
89840#0	Maji yana atomu ngapi?
65825#0	Watu wanaozungumza Kiswahili huelewa idadi gani ya maneno ya Kiarabu?
21246#0	Wilaya zinazopakana na Bara Hindi ni zipi?
88708#0	Kisu kikali zaidi hutengenezwa kwa kutumia chuma aina gani?
37278#0	Ni mmea upi unaokua zaidi jangwani?
31556#0	Tupac Shakur aliuawa kwa njia gani?
89184#0	LV ni namba gani kwa herufi za kawaida?
66473#0	Vita vya Vietnam viliyahusisha mataifa mangapi?
35851#0	Mwanariadha Paul Tergat alishinda medali yake ya kwanza mwaka gani?
77128#0	Ni kikundi kipi husimamia uandishi wa kamusi za kiswahili?
89888#0	Ni nini hutumiwa kupanga lugha kwa vikundi?