text
stringlengths
0
1.31k
akizungumza dar es salaam jana wakati akifungua semina hiyo mkurugenzi wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa wa chama hicho bwana john mnyika alisema mafunzo hayo ya siku moja yatawasaidia viongozi hao kutumikia wananchi kwa uaminifu na kuondoa kero zilizopo ndani ya wilaya ya temeke
alisema viongozi wa wilaya hiyo wanatakiwa wawe chachu ya maendeleo na kupiga vita ufisadi ili waweze kuendelea wenyewe na kuboresha huduma za jamii ikiwemo hospitali ya wilaya
wajibu wa chama cha chadema ni kukemea ufisadi unaofanywa na wananchi viongozi pamoja na kukabiliana na changamoto zilizopo ndani ya wilaya ya temeke alisema bwana mnyika
mkurugenzi huyo alisema mafunzo hayo yatachangia katika mabadiliko ndani ya wilaya hiyo kwa kutoa vifaa vya kusaidia hospitali ya wilaya temeke na kuboresha miundombinu iliyopo
alisema viongozi wa chadema wanatakiwa wawe mstari wa mbele katika kufichua maovu yote yanayofanywa ndani ya chama hicho na kusaidia halmashauri ya wilaya hiyo kujenga kituo kikubwa cha mabasi mbagala kama kilichopo ubungo
bwana mnyika alisema viongozi wa chadema wanatakiwa kuwa mahiri na sera mbadala katika ngazi ya siasa hasa kipindi hiki ambacho uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji unakaribia
uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika oktoba mwaka huu
awali semina hiyo ilikuwa UNK na mwenyekiti wa chadema bwana freeman mbowe ambaye alishindwa kufanya hivyo kutokana na majukumu mengine
jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania limesema mabomu kumi na nne aina ya anti UNK yaliyokamatwa na polisi katika kiwanda cha simba UNK cha mabibo ubungo si mali ya jeshi hilo
akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya jeshi hilo jana mnadhimu mkuu wa jwtz luteni kanali abraham shimbo alisema mabomu yalikamatwa haina uhusiano kwa sababu yale ya jeshi yana alama maalum ya kuonesha uhalali wa UNK
alisema mabomu hayo huenda UNK baharini kwa kuisha muda wake na UNK na watu waovu kwa nia ya kufanya uhalifu lakini jeshi hilo halina upungufu wa silaha katika maghala yake
luteni kanali shimbo alisema jeshi linaendelea kufanya uchunguzi wa mabomu yaliyolipuka kambi ya jwtz kambi ya mbagala na kusababisha maafa
aliwatahadharisha wananchi kuacha kuokota vitu ambavyo UNK mashaka na kupiga ripoti kwa maofisa wa jeshi hilo ili UNK
alisema baada ya mabomu ya kambi ya mbagala kulipuka UNK angani na mengine kujichimbia chini ya ardhi hivyo bado kuna hatari ya kuendelea kulipuka UNK misukosuko na joto
imebainika kundi la linalojiita mungiki UNK makundi mawili na kuteka msitu wa sakare uliopo wilayani korogwe mkoani tanga kiwanda cha kusindika chai cha lupembe na msitu wake wa UNK wilayani njombe mkoani iringa huenda lina mkono wa watu wakubwa serikalini
kundi hilo UNK na vyombo vya dola UNK mali hizo kwa takribani miezi tisa sasa na kuzuia uzalishaji wa chai kutoka kwa wakulima wadogo na ajira za wafanyakazi wapatao kumi sifuri sifuri kusitishwa kwa muda usiojulikana huku viongozi wa ngazi mbalimbali UNK mpira kuwa suala hilo linashughulikiwa na viongozi wa kitaifa
hata baadhi wa wanahabari miezi michache iliyopita waliokwenda njombe kufuatilia sakata la mgogoro huo na kujeruhiwa kwa kupigwa na kunyang anywa vifaa vyao vya kazi na kundi hilo lakini hadi leo polisi katika ngazi zote wameshindwa kuwatia mbaroni wahusika wa tukio hilo kwa madai kuwa lina baraka kutoka ikulu
akizungumza na gazeti hili mmoja wa waandishi waliopigwa alidai kuwa licha ya kulalamika kwa igp said mwema na kuagiza uongozi wa mkoa na wilaya kuwakamata wahusika mara moja na kuwafikisha mahakamani hadi leo hakuna yeyote aliyekamatwa kwa madai kuwa kuna amri kutoka ngazi za juu
mwandishi huyo alishangazwa na polisi kushughulikia mambo madogo na kupuuzia suala lao UNK kupoteza maisha ya watu na kutoa mfano wa mbunge samir lotto wa morogoro kusini UNK ofisa wa moruwasa na akawekwa sero mara moja na suala lake kufikishwa kwa mwendesha mashtaka wa serikali ndani ya siku mbili
bwana nawab mulla ambaye ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa lupembe tea estate kampuni UNK kiwanda hicho kupitia tume ya rais ya kurekebisha mashirika ya umma alisema kuwa alifuata taratibu zote za manunuzi na kukabidhiwa kiwanda tangu mwaka ishirini sifuri nne na sasa anaona kuna njama ya UNK mali hizo
bwana mullah alisema anashindwa kuelewa wavamizi hao kulenga viwanda UNK na kampuni zake za lushoto tea company na lupembe na kwa nini UNK zaidi ya miaka miaka kumi ipite ndipo wachukue hatua
nimewekeza mabilioni ya fedha katika kupanda misitu kukarabati viwanda na kulipa madeni mbalimbali sasa eti wavamizi hao wanadai vilikuwa mali zao
nataka serikali UNK nani mkosaji mimi UNK kihalali au hawa UNK alilalamika mwekezaji huyo
katika maelezo yake yaliyoambatana na nyaraka mbalimbali zinaonesha masharti ya ubinafsishaji wa kiwanda hicho yaliyokuwemo kwenye tangazo la kuuza viwanda na misitu hiyo ilimtaka mwekezaji kuingia ubia na muungano wa vyama vya ushirika vya lupembe ambapo asilimia thebathini kwa ushirika huo na mwekezaji asilimia sabini alishangaa kimya cha serikali kutokana na mgogoro huo UNK mahakama kuu kitengo cha biashara na kuamuliwa kuwa wavamizi waondolewe ili uzalishaji uendelee wakati kesi ya msingi kuhusu pande hizo zote mbili UNK
lakini dalali wa mahakama ilipokwenda kutekeleza amri hiyo alipata UNK UNK kutoka kwa mungiki alisema
gazeti hili UNK kuwa uvamizi huo unafadhiliwa na kundi la wafanyibiashara wenye ushawishi mkubwa ndani ya ccm na viongozi wazito serikalini ikiwemo ikulu ili kumwondoa mwekezaji huo ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa mbeya na baadaye kuwauzia wawekezaji wengine wenye nia ya kummaliza kiongozi huyo kisiasa
mgogoro wa njombe umetokana na baadhi ya wanahisa wa mvyulu kushinikiza fedha zilizolipwa na mwekezaji kwa tume ya rais ya kurekebisha mashirika ya umma psrc ilipwe kwenye ushirika huo
kwa vile licha ya kuwa wanahisa baada ya ubinafsishaji bado mali hizo UNK ni zao na hivyo kuvamia msitu huo ili mwekezaji huyo UNK
kiwanda cha chai cha lupembe kilikuwa UNK na iliyokuwa mamlaka ya chai kwa asilimia sabini na wanachama wa mvyullu walimiliki kiwanda cha kusindika chai cha lupembe
lakini kutokana na madeni na kushindwa kusimamia uzalishaji serikali iliamua kubinafsisha mali hizo mwaka ishirini sifuri nne wazazi UNK dua watoto wao UNK mitihani ya taifa
wengine UNK wafanye madudu kwa makusudi
lengo ni kuepuka kuwasomesha usumbufu wa serikali wakati watahiniwa mia saba na tisini na nne kumi mbili wakiwa wamefanya mtihani wa taifa wa kuhitimu darasa la saba mwaka huu katika hali ya kushangaza baadhi ya wazazi katika halmashauri ya wilaya ya lindi vijijini wanaomba dua ili watoto wao wasifaulu mtihani huo kutokana na kukosa uwezo wa kuwasomesha
wazazi wengine wameenda mbali zaidi na kufikia hatua ya kushawishi watoto wao kujibu mitihani yao chini ya kiwango ili UNK
uchunguzi uliofanywa na gazeti hili wiki hii wilayani humo kwa kuwahusisha wanafunzi wazazi walimu na viongozi wenye dhamana ya kusimamia elimu wilayani humo umebaini kuwa kutokana na hali tete ya umasikini inayowakabili wazazi wengi hawataki kusikia mtoto amefaulu ndiyo maana wanaomba dua
hatua hiyo inalenga kuwaepusha na misukosuko ya kuwafikisha polisi au mahakamani kwa kushindwa kupeleka watoto wao shule baada ya kufaulu darasa la saba
wakizungumza na gazeti hili baadhi ya wananchi wa vijiji vya UNK UNK UNK jangwani moka UNK UNK makumba UNK na UNK walisema hali ya umasikini ndiyo UNK katika hatua hiyo
bwana paul ngole alisema wazazi kuomba dua ili mtoto UNK mtihani ni jambo la kawaida kutokana na hali duni ya maisha wanayoishi
alisema mtoto UNK wazazi hujikuta wakibeba jukumu la kuwapangia nyumba kutokana na shule za kata kutokuwa na mabweni kuwanunulia chakula na mahitaji mengine
mzazi anajikuta UNK kutunza familia mbili ingawa wengi wetu hatuna kipato ndiyo maana wengine wanaamua kuomba mungu wasifaulu ili kuepuka usumbufu alisema bwana UNK
hebu angalia watoto wale wazazi wameshindwa kuwanunulia sare unadhani wakifaulu wataweza kulipa ada hiyo ya shilingi ishirini sifuri sifuri sifuri alihoji bwana ngole na kusema wanaona ni bora waombe dua
bwana hussen said alisema kipato UNK siyo cha kuwasaidia kusomesha watoto kwa kuwa ni kidogo
wazazi waliozungumza na gazeti hili walithibitisha kuwepo kwa tabia ya kuwashawishi watoto ili wafanye vizuri mitihani yao
mwalimu mkuu wa shule ya msingi UNK bwana yusuf rashid alisema katika mkoa huo wazazi kuomba dua ili watoto wasifaulu darasa la saba ni jambo la kawaida
katika familia nyingine mtoto akifaulu mtihani wa darasa la saba amani inatoweka kwa sababu wazazi wanakuwa hawana uwezo wa kuwasomesha wakati huo huo wakiandamwa na viongozi wa serikali ili UNK kwa nguvu alisema bwana rashid
alibainisha kuwa alishawahi kufanya utafiti na kubaini hilo kutokana na kukithiri kwa umasikini
mtoto akifaulu amani inatoweka ndani ya familia zao hivyo wanaona ni heri waombe mungu washindwe alisema
alizidi kufafanua kuwa wazazi wanaoshindwa kuwasomesha watoto wao wanafikishwa polisi hivyo kukosa amani
mwalimu huyo alisema shule za sekondari za kata kwa kiwango kikubwa zimejengwa kwa nguvu za wananchi hivyo hata watoto wakifaulu wanajikuta hawana uwezo wa kuwasomesha
pia ipo michango inayojitokeza wanakuta UNK na wanaoshindwa wanafikishwa mahakamani alisema na kuongeza katika hali hii baadhi ya wazazi wanaona ni bora watoto wasifaulu ili waendelee kuishi kwa amani
kwa upande wake mwalimu mkuu wa shule ya msingi songambele bwana rashid UNK alisema tatizo la wazazi wa mkoa huo UNK mkazo elimu linatokana na umasikini
watu UNK lakini hawapati cha kuuza familia nyingi zinaishi kwa kubahatisha matokeo yake hawatoi kipaumbele kwa elimu ndiyo maana wazazi wanashauri watoto wao wafanye vibaya mitihani yao makusudi ili wasifaulu alisema bwana UNK
akifaulu amani inatoweka nyumbani mzazi fedha hana serikali UNK ili kumfikisha kwenye vyombo vya sheria wengine wanaamua kukimbia na kutekeleza familia alifafanua mwalimu huyo
alieleza kuwa baadhi ya watoto wanashindwa kuhudhuria shuleni kutokana na kulala njaa na wale wanaokwenda wengine wanasinzia kiasi cha kushindwa kufuatilia masomo
kutokana na hali hiyo bwana UNK alisema wanafunzi wengine wanaamua kuacha masomo na kwenda kutafuta vibarua ili kusaidiana na wazazi kuongeza kipato cha familia
mwalimu mkuu wa shule ya msingi UNK bwana mbinga UNK alisema umasikini unaendelea kuathiri maendeleo ya elimu kwa kuwa watoto wa kike UNK masomo na UNK
mratibu elimu katika kata ya mnonela bwana abbas UNK alisema katika shule ya sekondari mnonela kuna wanafunzi watatu ambao waliandika barua za kuacha shule kutokana na wazazi wao kutokuwa na uwezo wa kuwasomesha
UNK barua wakisema kusoma ni sawa na biashara ya UNK hivyo hawataki kuendelea na masomo kwa kuwa wazazi wao hawana uwezo wa kusomesha alisema na kuongeza walimweleza kuwa iwapo UNK kuendelea na masomo UNK
mkuu wa kituo cha polisi cha UNK bwana daud alisema katika eneo lake la kazi kuna wanafunzi hamsini na mbili waliofaulu darasa la saba lakini hawajapelekwa shuleni kwa kuwa wazazi hawataki
tatizo la wazazi wale ni kipato suala hilo limefikishwa kwangu imekuwa vigumu kuwasaidia kwa kuwa wazazi hawana kitu alisema bwana daud
akizungumzia suala hilo ofisa elimu wa halmashauri ya lindi vijijini bwana mussa minduva alikiri kuwa idadi kubwa ya watoto wanaofaulu mtihani wa darasa la saba wanashindwa kujiunga na sekondari kutokana na wazazi kukosa uwezo
kuanzia mwaka ishirini sifuri sita tulikuwa na mkakati wa kupeleka sekondari watoto wote wanaofaulu lakini wengi UNK kutokana na wazazi kuwa na uwezo mdogo alisema bwana UNK
alisema matokeo ya hali hiyo ni watoto wengi kuolewa kwa sababu hata wakifaulu wazazi hawana uwezo wa kuwasomesha
alikiri kuwa baadhi ya wazazi wamekuwa wakitoa kauli za kuwakatisha tamaa watoto wao hivyo kushindwa kuongeza bidii kwenye masomo
akithibitisha jinsi wazazi wa wilaya yake UNK na uwezo wa kusomesha watoto wake bwana minduva alisema kwa mwaka huu alipokea fomu hamsini za kuwawezesha vijana waliohitimu elimu ya msingi na sekondari kujiunga na mamlaka ya vyuo vya ufundi lakini zilizochukuliwa hadi sasa ni nane
ili UNK watoto ambao wazazi wao hawana uwezo kuendelea na masomo ya sekondari bwana minduva alisema kwa kushirikiana na tume ya taifa ya kudhibiti ukimwi na taasisi mbalimbali halmashauri yake imekuwa UNK kusomesha watoto ambao wazazi wao hawana uwezo ingawa tatizo bado ni kubwa
alisema UNK imeweza kusomesha wanafunzi themanini na tano wa kidato cha tano
alisema kupitia mfuko wa elimu mwaka jana halmashauri yake ilitumia kiasi cha shilingi milioni mbili kusomesha watoto hamsini na tano ambao wazazi wao walishindwa kuwasomesha kutokana na kukosa uwezo
kwa mwaka huu alisema zilitumika kiasi cha shilingi milioni tano sita kwa ajili ya kusomesha wanafunzi mia mbili na sitini
hata hivyo mwaka huu hali ya mahudhurio ya wanafunzi itakuwa mbaya kutokana na zao la korosho kushindwa kustawi alisema
alisema imefikia hatua katika wilaya yake watu wanajivunia kutojua kusoma na kuandika
nenda pale UNK ukipita pale mnolela kuna vijana wengi ukiuliza ni nani hajui kusoma na kuandika UNK UNK kwa furaha utafikiri UNK ni wa ngapi wapo kidato cha sita alisema
wasomi wasema vyama vya upinzani ni dhaifu
wasema UNK kama kampuni za watu binafsi demokrasia katika vyama vya siasa tanzania imeelezwa kuwa iko katika UNK kiasi ambacho upinzani umeshindwa kuaminika kwa wananchi na kama hali itaendelea kuwa hivyo ni UNK pekee UNK chama cha mapinduzi madarakani
imeelezwa kuwa vyama vya upinzani ambavyo vinapaswa kuwa mbadala wa chama tawala katika siasa za ushindani vimeshindwa kuonesha kulitambua na kuwa tayari kwa jukumu hilo kwa jinsi UNK demokrasia
hali hiyo inatokea huku vyama hivyo UNK kuchukua sehemu kubwa katika uwanja wa demokrasia ilihali ni mmoja tu ya wachezaji katika uwanja huo mpana huku pia wananchi wakishuhudia demokrasia UNK kwa aidha kutofanya uchaguzi viongozi wake kukaa madarakani kwa muda mrefu na kutotaka kupingwa
wakizungumza na gazeti hili jana na juzi dar es salaam wasomi waliobobea katika taaluma ya sayansi ya siasa na wananchi wa kawaida wamesema kuwa mwenendo UNK na vyama vya siasa UNK wapiga kura wengi ahueni kwa UNK kuwa mbadala wa ccm profesa amon chaligha mhadhiri mwandamizi katika chuo kikuu cha dar es salaam alisema kuwa takribani vyama vyote nchini vimeshindwa kuitetea demokrasia kinyume na jinsi vinavyoonekana kupiga kelele katika ngazi ya taifa au chama tawala
huku akitoa mifano inayoonesha kuminywa kwa demokrasia ndani ya vyama hivyo profesa chaligha alisema kuwa vyama vya upinzani vinapaswa kuonesha utofauti na chama kilichopo madarakani hasa kwa UNK demokrasia ili waweze kuaminika mbele ya wapiga kura
demokrasia katika vyama vya siasa hasa vile vya upinzani ambavyo watu UNK kama mbadala wa ccm bado UNK kwa kiasi fulani
vyama hivyo UNK mpiga kura ahueni ya UNK UNK nchi kwa kuwa UNK kwa ccm profesa chaligha ambaye pia ni mtafiti wa mambo ya demokrasia katika mpango wa utafiti na elimu ya demokrasia nchini aliongeza kwa kutoa mifano kuwa kwa sababu ya kuminywa kwa demokrasia ndani ya vyama hivyo wanachama wake wamekuwa wakikosa uhuru na hivyo wengine kuhama au kuamua kukaa kimya na kufuata kile kinachoweza kuitwa UNK wa ngoma alisema kuwa tafiti mbalimbali zinazofanyika UNK kwa uwazi nafasi ya vyama vya upinzani kushika madaraka bali wananchi wamekuwa wakionekana UNK kwa kutoa changamoto kwa ccm lakini UNK kushika madaraka
alishangazwa na wapinzani kufurahia tafiti mbalimbali ambazo zinaonesha kuwa asilimia kubwa ya wabunge wa ccm wataondoka madarakani wakati huo huo wakiwa hawajui kama nafasi hizo zitachukuliwa na wabunge wa upinzani au UNK na wana ccm wengine
wananchi wameshuhudia akina tambwe hizza wilfred lwakatare wakikimbia cuf kwa sababu ya mizengwe UNK
huko chadema tumewaona akina UNK
hata hiyo ya zitto demokrasia UNK kwa kuzuia wanachama kutoa uamuzi kwa njia ya mchakato wa uchaguzi hakika hapo wamerudi kinyume UNK
tlp iko taabani huko nako akina UNK na mwenzake wameonekana wabaya kwa sababu tu UNK mwenyekiti katika uchaguzi nccr UNK udp hakina utaifa ni cha kikanda zaidi ingawa siyo kosa kisheria cuf UNK na demokrasia ya kuridhisha vingine ndio kabisa UNK kusikika wakati wa uchaguzi alisema profesa chaligha ambaye pia ni UNK tume ya uchaguzi tanzania
kwa upande wake mkufunzi mwandamizi mwingine wa UNK daktari benson bana alisema kama vyama vya upinzani UNK kwa kuendesha mambo yake kwa kufuata misingi ya demokrasia na kuweka sera mbadala zenye kutokana na tafiti watanzania watakuwa na upinzani dhaifu kwa muda mrefu ujao
alisema hali hiyo inatokana na vyama hivyo kutengeneza ilani bila bila ya kuwa na taarifa za kitaalamu ili kutoa majibu ya kero za wananchi kwa njia UNK kuwa wako tayari kuchukua madaraka ya kuongoza nchi
daktari bana ambaye pia ni mkuu wa idara ya sayansi ya siasa na utawala wa jamii chuoni hapo aliongeza kuwa vyama vingi vya siasa ukiachilia ccm kwa kiasi kidogo havina hazina ya kupata viongozi walioandaliwa vyema ndani ya chama kwani wanaojitokeza hawapewi fursa ya UNK kwenda juu
safari nyingine kusitishwa leo
yalalamikia wafanyakazi kwa UNK
hujuma za miundombinu UNK kampuni ya reli tanzania imetoa ufafanuzi uliosababisha ifikie uamuzi wa kusitisha baadhi ya huduma zake kuanzia septemba kumi mwaka huu na kutahadharisha kuwa huenda UNK kupunguza huduma za safari za abiria kufuatana na hali UNK
taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari dar es salaam jana na kusainiwa na mkurugenzi mtendaji bwana hundi chaudhary ilieleza kuwa moja ya sababu hizo ni mabehewa UNK kuchelewa kufanyiwa ukarabati mkubwa kutokana na kukosa vipuri
trl inashindwa kununua vipuri hivyo kwa kukosa fedha kwa vile imeshindwa kukopeshwa kutokana na kutokuwa katika hali nzuri ya kifedha ilieleza taarifa hiyo na kuongeza kuwa mabehewa saba kati ya hayo imebidi UNK kutoa huduma kwa sababu ya kiusalama
aliongeza kuwa UNK mabehewa yaliyotajwa mabehewa mengine sita ya trl imebidi UNK kutoa huduma kwa vile yameharibika sana kutokana na ajali ya treni ya abiria iliyotokea kati ya stesheni za UNK na mkata agosti nane mwaka huu ambapo inatuhumiwa kufanyika hujuma katika njia ya reli
taarifa hiyo ya bwana chaudhary ilieleza kuwa kutokana na kutolipwa ada ya ukodishwaji inayofikia dola za kimarekani milioni kumi arobaini na mbili rites UNK barua trl ikiitaka kulipa malimbikizo hayo ya ada au kusimamisha matumizi ya vichwa ishirini na tano vya treni na pia matumizi ya mabehewa ishirini na tatu ya daraja la tatu kulala
kupitia kwenye taarifa yake hiyo bwana chaudhary alieleza kuwa wafanyakazi hawajitumi vya kutosha ikiwa ni pamoja na kutunza nyenzo za kazi hali ambayo inahatarisha usalama wa abiria licha ya UNK kuhusu tabia hiyo mara nyingi
kutokana na hali hiyo trl imeamua kuchukua hatua ya kusimamisha treni ya kila wiki ya express inayotumia mabehewa daraja la tatu kulala kwenda kigoma kuanzia septemba kumi ishirini sifuri tisa alisema bwana UNK alitua nyingine aliitaja kuwa ni kusimamisha huduma ya treni ya abiria kwenda kigoma kila jumapili kuanzia leo UNK kumi na tatu ishirini sifuri tisa na kusimamisha huduma ya abiria kutoka dodoma kwenda singida kuanzia septemba kumi mwaka huu
wakati trl ikitoa ufafanuzi wa kusitisha huduma zake hali ndani ya shirika bado ni tete kutokana na habari zilizopatikana kueleza kuwa huduma za treni zitakazokuwa zikiendelea ni za jumanne na ijumaa
akizungumza na majira dar es salaam jana mkuu wa kituo cha reli kitengo cha usafirishaji bwana francis bendera alisema ili kuwaondolea abiria usumbufu wamelazimika kutumia injini na mabehewa yaliyokuwa ya kampuni ya reli tanzania kusafirisha abiria na mizigo
treni itakayoingia kesho kutoka mwanza ambayo iliondoka baada ya mgomo kumalizika UNK tena na ile inayotakiwa kuondoka dar es salaam kesho ilisimamishwa kigoma hivyo tumelazimika kusitisha safari na kurudisha nauli kwa wale wanaotaka au kubadilisha tiketi na kusubiria jumanne alisema
gazeti hili lilifika kwa ofisa mahusiano wa trl bwana UNK maez kujua safari za treni UNK lakini hakutoa ushirikiano badala yake alianza kuwa mkali