ending1
stringlengths
4
149
ending2
stringlengths
5
156
startphrase
stringlengths
7
179
labels
int64
0
1
split
stringclasses
7 values
Anette huwa na mikono laini mno
Anette huwa na mikono migumu sana
Anette ana Mikono laini kama mto
0
sw
Anette huwa na mikono laini mno
Anette huwa na mikono migumu sana
Anette ana mikono laini kama changarawe
1
sw
Ala! Benjamin uko na haraka leo
Ala! Benjamin huna haraka hata?
Ala! Benjamin una haraka kama ambulensi iliyo na mgonjwa mahututi
0
sw
Ala! Benjamin uko na haraka leo
Ala! Benjamin huna haraka hata?
Ala! Benjamin, Una haraka kama siafu aliyebeba kitoweo
1
sw
Muangalie anavyong'aa nyusoni na kupendeza
Muangalie alivyochafuka nyusoni leo
Muangalie anavyong'aa nyusoni kama nyota
0
sw
Muangalie anavyong'aa nyusoni na kupendeza
Muangalie alivyochafuka nyusoni leo
Muangalie anavyong'aa nyusoni kama chokoraa
1
sw
Olentuku alipoibiwa mshale alijihurumia mno
Olentuku alipoibiwa mshale alikasirika mno
Olentuku alipoibiwa mshale alijihurumia kama mtoto yatima
0
sw
Olentuku alipoibiwa mshale alijihurumia mno
Olentuku alipoibiwa mshale alikasirika mno
Olentuku alipoibiwa mshale alijihurumia kama mtoto wa mfalme
1
sw
Khalid hawezi kuficha tabasamu anapomuona Michelle
Khalid hufichua meno yake meusi anapomuona Michelle
Khalid hutoa tabasamu ya dhahabu anapomuona Michelle
0
sw
Khalid hawezi kuficha tabasamu anapomuona Michelle
Khalid hufichua meno yake meusi anapomuona Michelle
Khalid hutoa tabasamu ya kibogoyo anapomuona Michelle
1
sw
Mkora alituchangaya alipotuibia Nairobi
Mkora alijichanganya mwenyewe alipojaribu kutuibia Nairobi
Mkora alikuwa na werevu kama nyani alipotuibia
0
sw
Mkora alituchangaya alipotuibia Nairobi
Mkora alijichanganya mwenyewe alipojaribu kutuibia Nairobi
Mkora alikuwa na werevu kama kondoo alipojaribu kutuibia
1
sw
Tony ana miguu kubwa sana
Tony ana miguu ndogo sana
Tony ana Miguu mikubwa kama Nyani
0
sw
Tony ana miguu kubwa sana
Tony ana miguu ndogo sana
Tony ana Miguu ndogo kama siafu
1
sw
Maria alikuwa na wasiwasi alipoitwa ofisini mwa mwalimu mkuu
Maria hakuwa na wasiwasi wowote alipoitwa ofisini mwa mwalimu mkuu
Maria alikuwa na wasiwasi kama mtoto aliyepoteza pesa za mamaye
0
sw
Maria alikuwa na wasiwasi alipoitwa ofisini mwa mwalimu mkuu
Maria hakuwa na wasiwasi wowote alipoitwa ofisini mwa mwalimu mkuu
Maria alikuwa na wasiwasi kama Ng'ombe aliyeshiba alipoitwa ofisini mwa mwalimu mkuu
1
sw
Tunashauriwa tuwe waangalifu tulivuka barabara
Huwa wanakaidi ushauri wa kuwa waangalifu wanapovuka barabara
Tunashauriwa kuwa waangalifu kama daktari tunapovuka barabara
0
sw
Tunashauriwa tuwe waangalifu tulivuka barabara
Huwa wanakaidi ushauri wa kuwa waangalifu wanapovuka barabara
Wao huwa waangalifu kama walevi wanapovuka barabara
1
sw
Hakutaka kuskia tena kutoka kwao
Alitaka kusikia kila walichosema
Alikuwa jiwe alipojaribu kuongea naye
0
sw
Hakutaka kuskia tena kutoka kwao
Alitaka kusikia kila walichosema
Alitega sikio kama mama wa mboga sokoni
1
sw
Bibi harusi alitembea kwa Maringo
Bibi Arusi hakutembe kwa Maringo
Bibi Arusi alitembea kama tausi
0
sw
Bibi harusi alitembea kwa Maringo
Bibi Arusi hakutembe kwa Maringo
Bi Arusi alitembea kama mlevi
1
sw
Safari yake ilikuwa ndefu mno
Safari yake haikuwa ndefu
Safari yake ilikuwa mlima Kilimanjaro
0
sw
Safari yake ilikuwa ndefu mno
Safari yake haikuwa ndefu
Safari yake ilikuwa ndefu kama unywele
1
sw
Mwizi aliposhikwa aligongwa na kila mtu
Mwizi aliposhikwa hakugongwa sana
Mwizi aliposhikwa aligongwa kama kandanda
0
sw
Mwizi aliposhikwa aligongwa na kila mtu
Mwizi aliposhikwa hakugongwa sana
Mwizi aliposhikwa aligongwa kama mtoto agongwavyo alale
1
sw
Polisi ni watu waovu sana
Polisi si watu waovu sana
Polisi wana roho ya shetani
0
sw
Polisi ni watu waovu sana
Polisi si watu waovu sana
Polisi wana roho ya mtoto
1
sw
Jane ana sura nyororo
Jane ana sura ngumu
Jane ana sura nyororo kama ngano
0
sw
Jane ana sura nyororo
Jane ana sura ngumu
Jane ana sura ngumu kama chura
1
sw
Kaka ya Tom ana uwezo wa kunusia kwa mbali
Kaka ya Tom hana uwezo wa kunusia kwa mbali
Kaka ya Tom ana uwezo wa kunusia kama mbwa
0
sw
Kaka ya Tom ana uwezo wa kunusia kwa mbali
Kaka ya Tom hana uwezo wa kunusia kwa mbali
Kaka ya Tom ana uwezo wa kunusia kama samaki
1
sw
Mutuku amesimama wima
Mutuku hajasimama wima
Mutuku amesimama kama bendera ya chifu
0
sw
Mutuku amesimama wima
Mutuku hajasimama wima
Mutuku amesimama wima kama sukuma wiki siku ya upepo
1
sw
Antony wako na Boma kubwa sana
Antony hawa na boma kubwa
Boma la kina Antony ni uwanja wa ndege
0
sw
Antony wako na Boma kubwa sana
Antony hawa na boma kubwa
Boma la kina Antony ni kibanda
1
sw
Maria huwa hana msimamo, anapelekwa tu hivi hivi
Maria huwa na msimamo, hatingiziki
Maria hana msimamo, ni bendera
0
sw
Maria huwa hana msimamo, anapelekwa tu hivi hivi
Maria huwa na msimamo, hatingiziki
Maria huwa na msimamo, ni uti wa mgongo
1
sw
Mchuuzi hupiga kelele anapowasili
Mchuuzi huwa hapigi kelele anapowasili
Mchuuzi huwa kasuku anapowasili
0
sw
Mchuuzi hupiga kelele anapowasili
Mchuuzi huwa hapigi kelele anapowasili
Mchuuzi huwa usiku wa manane anapowasili
1
sw
Antony alilelewa awategemee wengine
Antony alilelewa asiwategemee wengine
Antony alilelewa akuwe kupe kwa wengine
0
sw
Antony alilelewa awategemee wengine
Antony alilelewa asiwategemee wengine
Antony alilelewa akuwe imara kama simba
1
sw
Jana nilikuwa nimeshikamana na vitu vingi
Jana sikuwa nimeshikamana na vitu vingi
Jana nilikuwa nimeshikamaa kama guluu
0
sw
Jana nilikuwa nimeshikamana na vitu vingi
Jana sikuwa nimeshikamana na vitu vingi
Jana nilikuwa nimeshikamana kama changarawe
1
sw
Janice alifika nyumbani akiwa na njaa sana
Janice alifika nyumbani akiwa na shibe
Janice alipofika nyumbani, alikula kama nguruwe
0
sw
Janice alifika nyumbani akiwa na njaa sana
Janice alifika nyumbani akiwa na shibe
Janice alipofika nyumbani, alikula kama mgonjwa aliyepoteza hamu
1
sw
Wafungwa wengi hufanyishwa kazi ngumu kama adhabu
Wafungwa wengi huwa hawana kazi ya kufanya
Wafungwa wengi hufanyishwa kazi kama punda kama adhabu
0
sw
Wafungwa wengi hufanyishwa kazi ngumu kama adhabu
Wafungwa wengi huwa hawana kazi ya kufanya
Wafungwa wengi hufanyishwa kazi kama paka wa nyumbani
1
sw
Wafisadi serekalini wataharakishwa na polisi
Wafisadi serekalini hawanyiwi kitu kamwe
Wafisadi serekalini watabebeshwa mbio kama gari la miraa
0
sw
Wafisadi serekalini wataharakishwa na polisi
Wafisadi serekalini hawanyiwi kitu kamwe
Wafisadi serekalini wanabebeshwa mbio kama kreti la mayai
1
sw
Usifanye kazi nyingi, utachoka alafu ulale sana
Usipofanya kazi nyingi, hutachoka ulale
Usifanye kazi nyingi kisha ulale kama paka
0
sw
Usifanye kazi nyingi, utachoka alafu ulale sana
Usipofanya kazi nyingi, hutachoka ulale
Alikuwa amechoka akalala kama Mamba
1
sw
Henry alizaliwa na miguu refu
Henry alizaliwa na miguu ndogo
Henry ana miguu mirefu kama mbuni
0
sw
Henry alizaliwa na miguu refu
Henry alizaliwa na miguu ndogo
henry ana miguu mirefu kama jongoo
1
sw
Alitushuku tukiingia na kutuangalia kwa macho kali
Hakutushuku kamwe tulipoingia na vifaa
ALipotushuku alituangalia kwa macho kali kama tai
0
sw
Alitushuku tukiingia na kutuangalia kwa macho kali
Hakutushuku kamwe tulipoingia na vifaa
Alikuwa na macho kali jama jongoo tulipoingia
1
sw
Omar alioa binti mnene na mwenye umbo zuri
Omar alioa binti mnene na mwenye hana umbo zuri
Omar alioa binti mwenye umbo zuri kama chupa
0
sw
Omar alioa binti mnene na mwenye umbo zuri
Omar alioa binti mnene na mwenye hana umbo zuri
Omar alioa binti mwenye umbo zuri kama nambari nane
1
sw
Gerad alimaliza shule akijua mengi mno
Gerad alimaliza shule na hakujua chochote
Gerad alisoma akajua mengi kama mtandao
0
sw
Gerad alimaliza shule akijua mengi mno
Gerad alimaliza shule na hakujua chochote
Gerad alisoma na akajua mengi kama mtoto mchanga
1
sw
Imani ana siri nyingi
Imani hapendi kuficha chochote
Roho ya imani ni msitu
0
sw
Imani ana siri nyingi
Imani hapendi kuficha chochote
Roho ya imani ni jua la mchana
1
sw
Onyango anapenda kupayuka maneno yasiyomhusu
Onyango huweka siri za wengine kwa moyo
Onyango ni kipaza sauti
0
sw
Onyango anapenda kupayuka maneno yasiyomhusu
Onyango huweka siri za wengine kwa moyo
Onyango ni mtungi wa maji
1
sw
Kimani alimpenda na kumbembeleza mke wake
Kimani hakumpenda mke wake
Kimani alimdekeza mpenzi wake kama yai
0
sw
Kimani alimpenda na kumbembeleza mke wake
Kimani hakumpenda mke wake
Kimani alimdekeza mpenzi wake kama punda
1
sw
Alichelewa akapata ukumbi umejaa
ALifika mapema akakosa mtu ukumbini
Alipata ukumbi umejaa kama laini ya kupiga kura
0
sw
Alichelewa akapata ukumbi umejaa
ALifika mapema akakosa mtu ukumbini
Alipata ukumbi umejaa kama jangwa
1
sw
Rossie alikuwa mjeuri kwa ushauri
Rossie alikuwa mtiifu kwa ushauri
Rossie alikuwa mjeuri kama mtoto aliyekataa kula
0
sw
Rossie alikuwa mjeuri kwa ushauri
Rossie alikuwa mtiifu kwa ushauri
Rossie alikuwa mjeuri kama mtundu aliyeitiwa chakula
1
sw
Siku yake ya kubatizwa, alivalia rinda jeupe
Hakuvalia rinda jeusi siku yake ya kubatizwa
Alivalia rinda jeupe kama mawingu siku yake ya kubatizwa
0
sw
Siku yake ya kubatizwa, alivalia rinda jeupe
Hakuvalia rinda jeusi siku yake ya kubatizwa
Alivalia rinda jeupe kama makaa siku yake ya kubatizwa
1
sw
Bibi ya John aliraukia kazini
Bibi ya John alichelewa kazini
Bibi ya John alirauka mapema kama jimbi kuenda kazini
0
sw
Bibi ya John aliraukia kazini
Bibi ya John alichelewa kazini
Bibi ya John alirauka mapema kama kuku mgonjwa kuenda kazini
1
sw
Viatu vya Leah vinapendeza mno
Viatu vya Leah havipendezi kabisa
Leah ana viatu maridadi kama almasi
0
sw
Viatu vya Leah vinapendeza mno
Viatu vya Leah havipendezi kabisa
Leah ana viatu maridadi kama makaa
1
sw
Mke wake hapendi kelele, anapenda kubembelezwa
Mke wake anapenda kelele na kuvurugwa
Mke wake hapendi kelele, anapenda kubembelezwa kama mtoto
0
sw
Mke wake hapendi kelele, anapenda kubembelezwa
Mke wake anapenda kelele na kuvurugwa
Mke wake hapendi kelele, anapenda kubembelezwa kama mfungwa
1
sw
Ombi lake la kazi lilikawia mno
Ombi lake la kazi halikukawia kamwe
Ombi lake la kazi lilichukuwa muda kama ahadi za serikali
0
sw
Ombi lake la kazi lilikawia mno
Ombi lake la kazi halikukawia kamwe
Ombi lake la kazi lilichukuwa muda kama mngurumo wa radi
1
sw
Walimvamia mwizi Gikomba alipojulikana
Hawakumfanyia mziwi chochote walipomshika
Walimvamia mwizi kama mvua Gikomba alipokamatwa
0
sw
Walimvamia mwizi Gikomba alipojulikana
Hawakumfanyia mziwi chochote walipomshika
Walimvamia mwizi kama vipepeo walipomshika
1
sw
Alianguka akaumia vibaya
Alianguka lakini hakuumia
Aliumia kama mwizi aliyepigwa na umati
0
sw
Alianguka akaumia vibaya
Alianguka lakini hakuumia
Aliumia kama mja aliyeumwa na mbu
1
sw
Muwe wa sofia ni katili
Mume wa Sofia ni mkarimu
Mume wa Sofia ni Katili kama muasi
0
sw
Muwe wa sofia ni katili
Mume wa Sofia ni mkarimu
Mume wa sofia ni Katili kama jongoo
1
sw
Alituletea mtoto aliyetusumbua usiku kucha
Alituletea mtoto mtulivu mno
Alituletea mtoto msumbufu kama nyani
0
sw
Alituletea mtoto aliyetusumbua usiku kucha
Alituletea mtoto mtulivu mno
Alituletea mtoto msumbufu kama maiti
1
sw
Nilipenda kuzurura sana ututoni mwangu
Sikupenda kuzurura utotoni mwangu
Nikiwa mtoto nilipenda kuzurura kama mbwakoko
0
sw
Nilipenda kuzurura sana ututoni mwangu
Sikupenda kuzurura utotoni mwangu
Nikiwa mtoto nilipenda kuzurura kama milima
1
sw
Ilimbidi awajibike alipopata mtoto
Alishindwa kuwajibika hata alipopata mtoto
Alipojifungua, alianza kuwajibika kama mwanafunzi anayekalia mtihani wa kitaifa
0
sw
Ilimbidi awajibike alipopata mtoto
Alishindwa kuwajibika hata alipopata mtoto
Alipojifungua, alianza kuwajibika kama chokoraa mapipani
1
sw
Ungonjwa ulimdhaifisha
Ingawa alikuwa mgonjwa, alijitahidi kazini
Alipogonjeka, alianza kuwa mdhaifu kama barafu iliyowekwa kwa jua
0
sw
Ungonjwa ulimdhaifisha
Ingawa alikuwa mgonjwa, alijitahidi kazini
Alipongojeka, alianza kuwa mdhaifu kama almasi
1
sw
Alitarajia kuishi maisha marefu
Alitarajia kuaga dunia mapema
Alitarajia kuishi maisha marefu kama mabonde na mito
0
sw
Alitarajia kuishi maisha marefu
Alitarajia kuaga dunia mapema
Alitarajia kuishi maifa marefu kama nzi
1
sw
Janet hunipendeza usiku na mchana
Janet hunichukiza usiku na mchana
Janet ni ua la waridi
0
sw
Janet hunipendeza usiku na mchana
Janet hunichukiza usiku na mchana
Janet ni kiganja cha moto
1
sw
Ujumbe wa kifochake ulienea kwa muda mfupi
Ujumbe wa kifo chake haukufika mbali
Ujumbe wa kifo chake ulienea kama upepo
0
sw
Ujumbe wa kifochake ulienea kwa muda mfupi
Ujumbe wa kifo chake haukufika mbali
Ujumbe wa kifo chake ulienea kama upepo
1
sw