ending1
stringlengths
4
149
ending2
stringlengths
5
156
startphrase
stringlengths
7
179
labels
int64
0
1
split
stringclasses
7 values
Alikuwa mkarimu kwake.
Alikuwa na wivu kwake.
Alikuwa kama paka.
1
sw
Chumba kilikuwa tupu.
Chumba kilikuwa kimejaa.
Chumba kilikuwa kama upepo.
0
sw
Chumba kilikuwa tupu.
Chumba kilikuwa kimejaa.
Chumba kilikuwa kama kupe.
1
sw
Kijana alikuwa jasiri.
Kijana aliogopa.
Kijana alikuwa kama mpiga grenadi.
0
sw
Kijana alikuwa jasiri.
Kijana aliogopa.
Kijana alikuwa kama panzi.
1
sw
Sauti yake ilikuwa ya muziki.
Sauti yake haikuwa ya muziki.
Sauti yake ilikuwa kama mvua inavyoshuka kwenye paa.
0
sw
Sauti yake ilikuwa ya muziki.
Sauti yake haikuwa ya muziki.
Sauti yake ilikuwa kama ndoto ya usiku ya bubu aliyeshiba wimbo.
1
sw
Yeye ni muangalifu sana.
Yeye ni mzembe sana.
Yeye ni mlinzi mzuri wa nyumba.
0
sw
Yeye ni muangalifu sana.
Yeye ni mzembe sana.
Yeye ni upepo.
1
sw
Alikuwa mtu wa imani.
Alikuwa mtu wa hofu.
Alikuwa kama Abrahamu.
0
sw
Alikuwa mtu wa imani.
Alikuwa mtu wa hofu.
Alikuwa kama nzige.
1
sw
Walikusanyika njiani.
Walitawanyika njiani.
Wao walikuwa mchwa.
0
sw
Walikusanyika njiani.
Walitawanyika njiani.
Wao walikuwa makapi mbele ya upepo.
1
sw
Aliketi mbele.
Aliketi nyuma.
Aliketi kama kiongozi wa ngamia.
0
sw
Aliketi mbele.
Aliketi nyuma.
Aliketi kama kitabu cha kiebrania.
1
sw
Jamii ilikuwa changa.
Jamii ilikuwa ya zamani.
Jamii ilikuwa kama saa.
0
sw
Jamii ilikuwa changa.
Jamii ilikuwa ya zamani.
Jamii ilikuwa kama uumbaji.
1
sw
Mlinzi alikuwa macho.
Mlinzi alikuwa amelala.
Mlinzi alikuwa bahari inayotikiswa na tufani kuu.
0
sw
Mlinzi alikuwa macho.
Mlinzi alikuwa amelala.
Mlinzi alikuwa ndoto kaburini.
1
sw
Kaka yangu alicheka.
Kaka yangu alilia.
Kaka yangu alikuwa kama kasuku kwa mpiga filimbi.
0
sw
Kaka yangu alicheka.
Kaka yangu alilia.
Kaka yangu alikuwa kama mtoto anayechapwa.
1
sw
Yule ni mtu mwema.
Yule ni mtu mwovu.
Yule ni ukweli mtakatifu.
0
sw
Yule ni mtu mwema.
Yule ni mtu mwovu.
Yule ni bahari iliyochafuka.
1
sw
Walikimbia juu ya kilima.
Walikimbia chini ya kilima.
Walikimbia kama moshi ya tanuru.
0
sw
Walikimbia juu ya kilima.
Walikimbia chini ya kilima.
Walikimbia kama nyasi mbele ya komeo.
1
sw
Chumba hiki ni kimya.
Chumba hiki kina sauti kubwa.
Chumba hiki ni sanamu.
0
sw
Chumba hiki ni kimya.
Chumba hiki kina sauti kubwa.
Chumba hiki ni sauti ya dalali.
1
sw
Baba ana shughuli nyingi.
Baba yuko bila kazi.
Baba ni nyuki.
0
sw
Baba ana shughuli nyingi.
Baba yuko bila kazi.
Baba ni saa sita mchana.
1
sw
Mahali hapa ni kimya sana.
Mahali hapa pana kelele mingi.
Mahali hapa ni kama makaburi.
0
sw
Mahali hapa ni kimya sana.
Mahali hapa pana kelele mingi.
Mahali hapa ni kama sokoni.
1
sw
Nyumba hii ni imara.
Nyumba hii si imara.
Nyumba hii ni kama upepo.
1
sw
Mifugo wote wako hai.
Mifugo wote wamefariki.
Mifugo wote wako hai kama maono ya maisha kuwa.
0
sw
Mifugo wote wako hai.
Mifugo wote wamefariki.
Mifugo wote wako hai kama jana.
1
sw
Yeye ni mwenye nguvu.
Yeye ni dhaifu.
Yeye ni Samsoni.
0
sw
Yeye ni mwenye nguvu.
Yeye ni dhaifu.
Yeye ni mwanzi.
1
sw
Kimani ni mvulana jasiri
Kimani ni mvulana mwoga
Kimani ana roho ya chuma
0
sw
Kimani ni mvulana jasiri
Kimani ni mvulana mwoga
Kimani ana roho kama ya Kuku
1
sw
Ninampenda Maria kwa moyo wangu wote
Simpendi Maria kamwe
Ninampenda Maria kama mboni ya jicho langu
0
sw
Ninampenda Maria kwa moyo wangu wote
Simpendi Maria kamwe
Ninampenda Maria kama paka apendavyo maji
1
sw
Mtoto wa jiran ni mlafi
Mtoto wa jirani hapendi kula
Mtoto wa Jirani ni Tumbo Karai
0
sw
Mtoto wa jiran ni mlafi
Mtoto wa jirani hapendi kula
Mtoto wa Jirani anapenda chakula kama mgonjwa aliyepoteza hamu
1
sw
Makena alikua amependenza sana
Makena alikuwa amevalia vibaya
Makena alikuwa ameng'aa kama malaika
0
sw
Makena alikua amependenza sana
Makena alikuwa amevalia vibaya
Makena alikuwa ameng'aa kama mbuzi wa kuzurura
1
sw
Jane ni Mchoyo sana kwa pesa
Jane ni mkarimu sana kwa pesa
Jane ni mkono mgumu kwa pesa
0
sw
Jane ni Mchoyo sana kwa pesa
Jane ni mkarimu sana kwa pesa
Jane ni Yesu kwa pesa
1
sw
Mtoto wa Maria haelewi kitu darasani
Mtoto wa Maria ni Mwerevu darasani
Mtoto wa Maria ni Kichwa Maji darasani
0
sw
Mtoto wa Maria haelewi kitu darasani
Mtoto wa Maria ni Mwerevu darasani
Mtoto wa Maria anang'aa kama jua darasani
1
sw
Tulikula chakula kitamu kwa Otieno
Tulikula chakula so kitamu
Tulikula chakula kitamu kama asali kwa Otieno
0
sw
Tulikula chakula kitamu kwa Otieno
Tulikula chakula so kitamu
Tulikula chakula kitamu kama ndimu kwa Otieno
1
sw
Alikua mrefu kupindukia
Alikuwa mfupi
Alikua mrefu kama mlingoti
0
sw
Alikua mrefu kupindukia
Alikuwa mfupi
Alikua mfupi kama nyundo
1
sw
Gari lake ni la thamani sana
Gari lake ni la bei ya chini
Gari lake ni dhahabu
0
sw
Gari lake ni la thamani sana
Gari lake ni la bei ya chini
Gari lake li la thamani kama nguo za mitumba
1
sw
Siku hizi Onyango hapatikani kabisa
Onyango anaonekana kila mahali
Onyango amekua maziwa ya kuku
0
sw
Siku hizi Onyango hapatikani kabisa
Onyango anaonekana kila mahali
Onyango amekuwa kama mawingu angani
1
sw
Kipchoge ni Mwanariadha wa Kasi sana
Kipchoge ni mwanariadha asiye na kasi
Kipchoge ni risasi
0
sw
Kipchoge ni Mwanariadha wa Kasi sana
Kipchoge ni mwanariadha asiye na kasi
Kipchoge ni konokono
1
sw
Ailkula sana kwa hivyo alinenepa
Hakukula kwa hivyo ni mwembaba
Alikua akanenepa kama nguruwe
0
sw
Ailkula sana kwa hivyo alinenepa
Hakukula kwa hivyo ni mwembaba
Hakukula, ni mwembamba kama sindano
1
sw
Alibahatika kupata udhamini wa kusomea Ulaya
Hakuwa na bahati, akakosa nafasi ya kusomea ulaya
Alikua na bahati kama ya mtende kupata udhamini wa kusomea ulaya
0
sw
Alibahatika kupata udhamini wa kusomea Ulaya
Hakuwa na bahati, akakosa nafasi ya kusomea ulaya
Alikuwa na bahati kama ya mwizi ambaye arobaini zake zimewadia
1
sw
Maria aliruka juu kwa furaha
Maria alikua na huzuni
Maria aliruka juu kama Masai
0
sw
Maria aliruka juu kwa furaha
Maria alikua na huzuni
Maria aliruka juu kama kobe
1
sw
Alikuwa mrembo mwenye meno safi
Alikuwa mrembo mwenye meno chafu
Alikuwa na meno yenye weupe wa maziwa
0
sw
Alikuwa mrembo mwenye meno safi
Alikuwa mrembo mwenye meno chafu
Alikuwa na meno meupe kama giza
1
sw
Nyumba yake ilikuwa baridi mno tulipoingia
Nyumba yake ilikuwa na joto mno tulipoingia
Nyumba yake ilikuwa baridi kama barafu tulipoingia
0
sw
Nyumba yake ilikuwa baridi mno tulipoingia
Nyumba yake ilikuwa na joto mno tulipoingia
Nyumba yake ilikuwa na joto kama pasi tulipoingia
1
sw
Angelina alituangalia kwa macho ya kuvutia
Angelina alituangalia kwa macho ya kutuchukia
Angelina alituangalia kwa macho ya vikombe
0
sw
Angelina alituangalia kwa macho ya kuvutia
Angelina alituangalia kwa macho ya kutuchukia
Angelina alitangalia kwa macho ya chura
1
sw
Dawa za hospitali ya Nairobi ni kali mno
Dawa za hospitali ya Nairobi ni tamu
Dawa za hospitali ya Nairobi ni chungu kama shubiri
0
sw
Dawa za hospitali ya Nairobi ni kali mno
Dawa za hospitali ya Nairobi ni tamu
Dawa za hospitali ya Nairobi ni chungu kama sukari
1
sw
Sinema za Nairobi zina bei ghali sana
Sinema za Nairobi si za be ghali
Sinema za Nairobi zina bei ghali kama dhahabu
0
sw
Sinema za Nairobi zina bei ghali sana
Sinema za Nairobi si za be ghali
Sinema za Nairobi zina bei ghali kama nguo za mitumba
1
sw
Milango ya benki jijini ni ndogo mno
Milango ya benki jijini si ndogo hata
Milango ya benki jijini ni ndogo kama tundu la sindano
0
sw
Milango ya benki jijini ni ndogo mno
Milango ya benki jijini si ndogo hata
Milango ya benki jijini ni Pana kama uwanja wa kandanda
1
sw
Ukiwa Nakuru, Kitengela ni mbali sana ukisafiri kwa baiskeli
Ukiwa Nakuru, Kitengela si mbali ukisafiri kwa baiskeli
Ukiwa Nakuru, Kitengela ni mbali kama Ng'ambo kwa baiskeli
0
sw
Ukiwa Nakuru, Kitengela ni mbali sana ukisafiri kwa baiskeli
Ukiwa Nakuru, Kitengela si mbali ukisafiri kwa baiskeli
Ukiwa Nakuru, Kitengela ni mbali kama nafasi kati ya macho
1
sw
Vijana wa soka huwa pumbavu kwa masomo
Vijana wa soka huwa ni werevu kwa masomo
Vijana wa soka huwa pumbavu kama kondoo kwa masomo
0
sw
Vijana wa soka huwa pumbavu kwa masomo
Vijana wa soka huwa ni werevu kwa masomo
Vijana wa soka huwa pumbavu kama nyani kwa masomo
1
sw
Sofia alipopatana na Fred, walipendana mno
Sofia alipopatana na Fred, walichukiana mno
Sofia na Fred walikuwa chanda na pete
0
sw
Sofia alipopatana na Fred, walipendana mno
Sofia alipopatana na Fred, walichukiana mno
Sofia na Fred walikuwa mafuta na maji
1
sw
Bahari ya Hindi inameremeta msimu huu wa Krismasi
Bahari ya Hindi haina mvuto msimu huu wa Krismasi
Bahari ya Hindi inameremeta kama Tausi msimu huu wa Krismasi
0
sw
Bahari ya Hindi inameremeta msimu huu wa Krismasi
Bahari ya Hindi haina mvuto msimu huu wa Krismasi
Bahari ya hindi inameremeta kama shimo la taka msimu huu wa Krismasi
1
sw
Qatar imeng'aa kwa ajili ya kombe la dunia
Qatar haijang'aa sana kwa kombe la dunia
Qatar imeng'aa kama anga kwa kombe la dunia
0
sw
Qatar imeng'aa kwa ajili ya kombe la dunia
Qatar haijang'aa sana kwa kombe la dunia
Qatar imeng'aa kama soko la Gikomba kwa ajili ya kombe la dunia
1
sw
Nilikasirika wazazi waliponilazimishwa kwenda Naivasha
Nilifurahia wazazi waliponishauri kwenda Naivasha
Nilifura kama andazi nilipolazimishwa kuenda kwenda Naivasha
0
sw
Nilikasirika wazazi waliponilazimishwa kwenda Naivasha
Nilifurahia wazazi waliponishauri kwenda Naivasha
Nilihuzunika kama kibogoyo aliyepata meno nilipoenda Naivasha
1
sw
Usiyakaidi maelekezo ya wazazi wako
Unafaa kuyasikiliza maelekezo ya wazazi wako
Usikue mkia wa mbuzi kwa maelekezo ya wazazi wako
0
sw
Usiyakaidi maelekezo ya wazazi wako
Unafaa kuyasikiliza maelekezo ya wazazi wako
Unafaa kuwa bendera kwa malekezo ya wazazi wako
1
sw
Wakaazi wa Dandora hawapendi kufanya kazi
Wakaazi wa dandora huamka kila siku na kufanya kazi
Wakaazi wa dandora ni wazembe kama kupe
0
sw
Wakaazi wa Dandora hawapendi kufanya kazi
Wakaazi wa dandora huamka kila siku na kufanya kazi
Wakaazi wa dandora wana bidii kama ya mchwa
1
sw
Somo la Kemia huwa tulivu katika shule hiyo
Wanafunzi huwa na kelele wakati wa somo la Kemia
Somo la Kemia huwa tulivu kama mtungi wa maji
0
sw
Somo la Kemia huwa tulivu katika shule hiyo
Wanafunzi huwa na kelele wakati wa somo la Kemia
Wanafunzi huwa na Kelele kama Chiriku wakati wa somo la Kemia
1
sw
Hell's Gate ni sehemu iliyofichika katika bonde la ufa
Hell's Gate ni sehemu inayojulikana katika bonde la ufa
Hell's Gate imefichika kama siri katika bonde la ufa
0
sw
Hell's Gate ni sehemu iliyofichika katika bonde la ufa
Hell's Gate ni sehemu inayojulikana katika bonde la ufa
Hell's Gate ni sehemu iliyo wazi Kama mchana katika bonde la ufa
1
sw
Kipchoge aling'aa katika mbio za dunia
Kipchoge alishindwa kung'aa katika mbio za dunia
Kipchoge aling'aa kama anga katika mbio za dunia
0
sw
Kipchoge aling'aa katika mbio za dunia
Kipchoge alishindwa kung'aa katika mbio za dunia
Kipchoge aling'aa kama mawe katika mbio za dunia
1
sw
Ikulu ya rais inanukia usiku na mchana
Ikulu ya rais inanuka usiku na mchana
Ikulu ya rais ni manukato usiku na mchana
0
sw
Ikulu ya rais inanukia usiku na mchana
Ikulu ya rais inanuka usiku na mchana
Ikulu ya rais inanuka kama kidonda usiku na mchana
1
sw