ending1
stringlengths
4
149
ending2
stringlengths
5
156
startphrase
stringlengths
7
179
labels
int64
0
1
split
stringclasses
7 values
Wanakwaya wale wana sauti nyororo na ya kupendeza
Wanakwaya wale hawana sauti za kuimba
Wanakwaya wale wana sauti kama kinanda
0
sw
Wanakwaya wale wana sauti nyororo na ya kupendeza
Wanakwaya wale hawana sauti za kuimba
Wanawkwaya wale wana sauti mbaya kama chura
1
sw
Ninamdhamini mke wangu kuliko chochote duniani
Simdhamini mke wangu vile
Ninamdhamini mke wangu kama moyo
0
sw
Ninamdhamini mke wangu kuliko chochote duniani
Simdhamini mke wangu vile
Ninamdhamini mke wangu kama taka
1
sw
Bernard alishindwa kuona maovu ya Maria
Bernard aliyaona maovu yote ya Maria
Ifikapo kwa maria, bernard alikuwa mwenye macho kama jongoo
0
sw
Bernard alishindwa kuona maovu ya Maria
Bernard aliyaona maovu yote ya Maria
Bernard alikuwa na macho ya Tai kwa maovu ya Maria
1
sw
Jirani yangu ni mkatili na mouvu
Jirani yangu ni mkarimu na mwenye upendo
Jirani yangu ni shetani
0
sw
Jirani yangu ni mkatili na mouvu
Jirani yangu ni mkarimu na mwenye upendo
Jirani yangu ana roho nzuri kama malaika
1
sw
Mjomba wa Lois hawachi kula
Mjomba wa Lois aliwacha kula
Mjomba wa Lois anakula kama fisi
0
sw
Mjomba wa Lois hawachi kula
Mjomba wa Lois aliwacha kula
Mjomba wa Lois anakula kama mgonjwa mahututi
1
sw
Jirani yetu ana watoto wengi
Jirani yetu ana watoto wachache sana
Jirani yetu ana watoto wengi kama siafu
0
sw
Jirani yetu ana watoto wengi
Jirani yetu ana watoto wachache sana
Jirani yetu ana watoto adimu kama maziwa ya kuku
1
sw
Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vimekauka
Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vimetiliwa maji
Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vimekauka kama janga
0
sw
Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vimekauka
Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vimetiliwa maji
Visima vya maji kule Marsabit na Moyale vina maji kama ziwa Victoria
1
sw
Wanafunzi husimama Imara bendera inapopandishwa
Wamafunzi huyumbayumba bendera inapopandishwa
Wanafunzi husimama imara kama uti wa mgondo bendera inapopandishwa
0
sw
Wanafunzi husimama Imara bendera inapopandishwa
Wamafunzi huyumbayumba bendera inapopandishwa
Wanafunzi huyumba kama mawimbi bendera inapopandishwa
1
sw
Mkutano wa walimu ulichukua muda mrefu
Mkutano wa walimu ulikuwa mfupi leo
Mkutano wa walimu ulikuwa miaka na mikaka
0
sw
Mkutano wa walimu ulichukua muda mrefu
Mkutano wa walimu ulikuwa mfupi leo
Mkutano wa walimu ulikawia kama mngurumo wa radi
1
sw
Watoto wake hufuatana kila wanakoenda
Watoto wake hawapatani kamwe
Watoto wake hufuatana kama siafu
0
sw
Watoto wake hufuatana kila wanakoenda
Watoto wake hawapatani kamwe
Watoto wake ni kama jua na mwezi
1
sw
Maria hunituliza moyo anapowasili
Maria huniudhi kila anapowasili
Maria ni tabibu wa moyo wangu
0
sw
Maria hunituliza moyo anapowasili
Maria huniudhi kila anapowasili
Maria ni chuma cha moto kwa moyo wangu
1
sw
Wangari alikataa kufuata maelezo yetu
Wangari aliyafuata na kuyaiga maelezo yetu
Wangari alikataa kuyafuata maelezo yetu kama sikio la kufa
0
sw
Wangari alikataa kufuata maelezo yetu
Wangari aliyafuata na kuyaiga maelezo yetu
Wangari aliyatii maelezo yetu kama kijakazi wa mfalme
1
sw
Nilimpenda Jeptoo, kila aendapo ningemfuata
Nilimpenda Jeptoo lakini Sikuenda popote angeenda
Nilimpenda Jeptoo, nikawa kivuli chake
0
sw
Nilimpenda Jeptoo, kila aendapo ningemfuata
Nilimpenda Jeptoo lakini Sikuenda popote angeenda
Nilimpenda Jeptoo lakini tulitorokana kama jua na mwezi
1
sw
Uwepo wake hunipendeza
Uwepo wake huniudhi
Uwepo wake ni mtulivu kama manukato kwangu
0
sw
Uwepo wake hunipendeza
Uwepo wake huniudhi
Uwepo wake ni mtulivu kama tawi kwenye dhoruba
1
sw
Baba ya Alice ni mkali mno
Baba ya Alice ni mzuri na mkarimu
Baba ya Alice ni pilipili
0
sw
Baba ya Alice ni mkali mno
Baba ya Alice ni mzuri na mkarimu
Baba ya Alice ni mkali kama nzi
1
sw
Chokoraa wa Nairobi wameshinda wakizurura
Chokoraa wa Nairobi ni wametulia leo
Chokoraa wa Nairobi wamezurura kama Mbwakoko
0
sw
Chokoraa wa Nairobi wameshinda wakizurura
Chokoraa wa Nairobi ni wametulia leo
Chokoraa wa Nairobi wametulia leo kama mtoto aliyelala
1
sw
Muziki wa Kenya huwa wa huruma
Muziki wake ulikuwa wa furaha
Muziki wa Kenya ulikuwa wa huruma kama aliyefiwa
0
sw
Muziki wa Kenya huwa wa huruma
Muziki wake ulikuwa wa furaha
Muziki wa Kenya ulikuwa wa huruma kama aliyeshinda Lotto
1
sw
Dennis hutembea haraka akienda shuleni
Dennis hutembea polepole akienda shuleni
Dennis hutembea haraka kama anayefwatwa gizani akienda shuleni
0
sw
Dennis hutembea haraka akienda shuleni
Dennis hutembea polepole akienda shuleni
Dennis hutembea taratibu kama Bi harusi akienda shuleni
1
sw
Nyumba yake ilikuwa na joto mno
Nyumba yake haikuwa na joto mno
Nyumba yake ilikuwa na joto kama jiko
0
sw
Nyumba yake ilikuwa na joto mno
Nyumba yake haikuwa na joto mno
Nyumba yake ilikuwa na joto kama jokofu
1
sw
Dada yake ni mkubwa
Dada yake si mkubwa
Dada yake ni mkubwa kama tembo
0
sw
Dada yake ni mkubwa
Dada yake si mkubwa
Dada yake ni mkubwa kama tundu la sindano
1
sw
Imani yake ilikuwa dhabiti mno
Imani yake ilikuwa hafifu
Imani yake ilikuwa na nguvu kama chuma
0
sw
Imani yake ilikuwa dhabiti mno
Imani yake ilikuwa hafifu
Imani yake ilikuwa na nguvu kama kijiti kilichoshikilia ndovu
1
sw
Maswali hayo yalikuwa rahisi
Maswali hayo yalikuwa magumu mno
Maswali hayo yalikuwa mboga
0
sw
Maswali hayo yalikuwa rahisi
Maswali hayo yalikuwa magumu mno
Maswali hayo yalikuwa mawe
1
sw
Macho ya kijana huyo yalikuwa mekundu
Macho ya kijana huyo hayakuwa mekundu
Macho ya kijana huyo yalikuwa mekundu kama damu
0
sw
Macho ya kijana huyo yalikuwa mekundu
Macho ya kijana huyo hayakuwa mekundu
Macho ya kijana huyo yalikuwa mekundu kama maziwa
1
sw
Eneo hilo lilikuwa na kelele mno
Eneo hilo lilikuwa tulivu mno
Eneo hilo lilikuwa na kelele kama mtoto aliyeachwa
0
sw
Eneo hilo lilikuwa na kelele mno
Eneo hilo lilikuwa tulivu mno
Eneo hilo lilikuwa na kelele kama mtungi wa maji
1
sw
Alipenda kula chakula na pilipili
Hakupenda kula chakula na pilipili
Alipenda kula chakula na pilipili kama mhindi
0
sw
Alipenda kula chakula na pilipili
Hakupenda kula chakula na pilipili
Alipenda kula chakula na pilipili kama mtoto
1
sw
Walikuwa pamoja kila siku
Waliachana kwa umbali sana
Walikuwa pamoja kama nywele kwa nyingine
0
sw
Walikuwa pamoja kila siku
Waliachana kwa umbali sana
Walikuwa pamoja kama Marekani na Kenya
1
sw
Alikuwa mwereve darasani
Hakuwa mwerevu darasani
Alikuwa mwerevu kama sungura
0
sw
Alikuwa mwereve darasani
Hakuwa mwerevu darasani
Alikuwa mwerevu kama samaki
1
sw
Kwake kulikuwa na joto mno
Kwake hakukuwa na joto kamwe
Kwake kulikuwa na joto kama jehanamu
0
sw
Kwake kulikuwa na joto mno
Kwake hakukuwa na joto kamwe
Kwake kulikuwa na joto kama chini ya bahari
1
sw
Mtoto aliyejifungua alikuwa mzito mno
Mtoto aliyejifungua alikuwa mwepesi
Mtoto aliyejifungua alikuwa nanga
0
sw
Mtoto aliyejifungua alikuwa mzito mno
Mtoto aliyejifungua alikuwa mwepesi
Mtoto aliyejifungua alikuwa mabawa
1
sw
Sebuleni yake ilikuwa telezi mno
Sebule yake ilikuwa imekauka mno
Sebule yake ilikuwa telezi kama siagi
0
sw
Sebuleni yake ilikuwa telezi mno
Sebule yake ilikuwa imekauka mno
Sebule yake ilikuwa telezi kama kokoto
1
sw
Alinipendeza sana siku nzima
Aliniudhi siku nzima
Alinipendeza kama sharubati
0
sw
Alinipendeza sana siku nzima
Aliniudhi siku nzima
Alinipendeza kama mtoto asieacha kulia
1
sw
Alituchelewesha kwa kutembea polepole
Hakutuchelewesha kwa kutembea haraka
Alituchelewesha kwa kuwa na miguu ya kobe
0
sw
Alituchelewesha kwa kutembea polepole
Hakutuchelewesha kwa kutembea haraka
Hakutuchelewesha kwa kuwa na miguu kama ya swara
1
sw
Alichomwa na jua sana siku nzima
Hakuchomwa na jua kamwe
Alichomwa na jua kama mpasua-mawe siku nzima
0
sw
Alichomwa na jua sana siku nzima
Hakuchomwa na jua kamwe
Alichomwa na jua kama mgonjwa aliye kwenye wodi
1
sw
Mtihani ulipokaribia, Otieno alianza kutia bidii
Mtihani ulipokaribia, Otieno alisalia kuwa mzembe
Mtihani ulipokaribia, Otieno alibadilika mchwa
0
sw
Mtihani ulipokaribia, Otieno alianza kutia bidii
Mtihani ulipokaribia, Otieno alisalia kuwa mzembe
Mtihani ulipokaribia, Otieno alisalia kuwa mchwa
1
sw
Matumaini yake yalipanda alipopata habari
Matumaini yake yalishuka alipopata habari
Matumaini yake yalipanda kama ndege alipopata habari
0
sw
Matumaini yake yalipanda alipopata habari
Matumaini yake yalishuka alipopata habari
Matumaini yake yalipanda kama changarawe alipopata habari
1
sw
Mama Aziza na dada yake walifanana sana
Mama Aziza na dada yake walikuwa tofauti sana
Mama Aziza na dada yake walikuwa shilingi kwa nyingine
0
sw
Mama Aziza na dada yake walifanana sana
Mama Aziza na dada yake walikuwa tofauti sana
Mama Aziza na dada yake walikuwa usiku na mchana
1
sw
Mama Otis alipenda busu la mumewe
Mama Otis hakupenda busu la mumewe
Mama Otis alipenda busu la mumewe kama asali
0
sw
Mama Otis alipenda busu la mumewe
Mama Otis hakupenda busu la mumewe
Mama Otis alipenda busu la mumewe kama Mungu apendavyo dhambi
1
sw
Sandra alituandalia chakula kitamu sana
Sandra hakutuandalia chakula kitamu
Sandra alituandalia chakula kitamu kama asali
0
sw
Sandra alituandalia chakula kitamu sana
Sandra hakutuandalia chakula kitamu
Sandra alituandalia chakula kitamu kama ndimu
1
sw
Beatrice alikuwa na matumaini kwa mumewe
Beatrice hakumtumaini mumewe kamwe
Beatrice alimtumainin mumewe kama tasa anayetafuta mtoto
0
sw
Beatrice alikuwa na matumaini kwa mumewe
Beatrice hakumtumaini mumewe kamwe
Beatrice alimtumainini mumewe kama mja aliyehukumiwa kifo
1
sw
Wafula alitembea gizani kwa ushupavu bila kuogopa
Wafula alitembea gizani akiwa na woga
Wafula alikuwa shupavu kama mwanajeshi akitembea gizani
0
sw
Wafula alitembea gizani kwa ushupavu bila kuogopa
Wafula alitembea gizani akiwa na woga
Wafula alitembea gizani akuwa shupavu kama kondoo anayeingizwa kichinjioni
1
sw
Maria aliingia kwangu akinukia manukato
Maria aliingia kwangu akinuka vibaya
Maria aliingia kwangu akinukia manukato kama binti ya malkia
0
sw
Maria aliingia kwangu akinukia manukato
Maria aliingia kwangu akinuka vibaya
Maria aliingia kwangu akinuka kama kondoo aliyenyeshewa
1
sw
Dennis alikuwa na haraka kuelekea nyumbani
Dennis hakuwa na haraka kamwe
Dennis alikuwa na haraka kama risasi
0
sw
Dennis alikuwa na haraka kuelekea nyumbani
Dennis hakuwa na haraka kamwe
Dennis alikuwa na haraka kama ndumakuwili
1
sw
Polisi hukushuku ukiwa na wasiwasi
Polisi hawawezi kukushuku ukiwa mtulivu
Polisi hukushuku ukiwa na wasiwasi kama mwizi
0
sw
Polisi hukushuku ukiwa na wasiwasi
Polisi hawawezi kukushuku ukiwa mtulivu
Polisi hawawezi kukushuku ukiwa mtulivu kama bahari
1
sw
Garissa kumekauka lakini kuna upepo kama ufuo wa bahari
Garissa kumekauka na hakuna upepo
Garissa kumejaa upepo kama ufuo wa bahari
0
sw
Garissa kumekauka lakini kuna upepo kama ufuo wa bahari
Garissa kumekauka na hakuna upepo
Garissa kumejaa upepo kama ndani ya kisima
1
sw
Wananchi walijitokeza kwa wingi kumskiza rais
Wananchi hawakujitokeza kumskiza rais
Wananchi walijaa kama mchanga kumskiza rais
0
sw
Wananchi walijitokeza kwa wingi kumskiza rais
Wananchi hawakujitokeza kumskiza rais
Wananchi walijitokeza kwa wingi kama mayai ya Ng'ombe kumskiza rais
1
sw
Wabunge wanajulikana kuwa wafisadi sana
Wabunge wengi si wafisadi siku hizi
Wabunge ni fisadi kama polisi
0
sw
Wabunge wanajulikana kuwa wafisadi sana
Wabunge wengi si wafisadi siku hizi
Wabunge ni fisadi kama kasisi
1
sw
Hakuna anayemwamini Lesly ni mwongo wa ahadi
Lesly ni mwaminifu, ahadi zake atatimiza
Lesly ni kigeugeu kama Kinyonga
0
sw
Hakuna anayemwamini Lesly ni mwongo wa ahadi
Lesly ni mwaminifu, ahadi zake atatimiza
Lesly ni kigeugeu kama mwanasiasa
1
sw
Beatrice alikataa kufuata Masharti ya mwalimu
Beatrice alifuata masharti yote ya mwalimu
Beatrice alikaidi masharti kama mbuzi anayechezewa kinanda
0
sw
Beatrice alikataa kufuata Masharti ya mwalimu
Beatrice alifuata masharti yote ya mwalimu
Beatrice alikaidi masharti kama mlinzi wa malkia
1
sw
Umemaliza shule na ukakuwa maarufu hivi punde
Umemaliza shule na hakuna anayekutambua
Umemaliza shule ukakuwa maarufu kama rais wa nchi
0
sw
Umemaliza shule na ukakuwa maarufu hivi punde
Umemaliza shule na hakuna anayekutambua
Umemaliza shule ukakuwa maarufu kama mtoto wa kati
1
sw
Hakupenda kuelezea alichohisi rohoni
Alipenda kupayuka kila alichohisi
Roho yake ilikuwa kufuli lililofungwa
0
sw
Hakupenda kuelezea alichohisi rohoni
Alipenda kupayuka kila alichohisi
Roho yake ilikuwa mchana wa jua
1
sw