text
stringlengths
29
186k
Alhamisi, Desemba 16, 2010 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kiislam cha Morogoro wapatao 180 nao waliandamana hadi Bodi ya Mikopo wakiwa na madai yafuatayo: 1. Bodi iwalipie ongezeko la ada.
Chuo kikuu cha Kiislam cha Morogoro kimeongeza kima cha ada katika mwaka wa masomo 2010/2011 na kuwataka wanafunzi wanaonufaika na mikopo wadai ongezeko hilo kutoka Bodi. Dai hili ni kama lile la IFM. Msimamo wa Bodi ni kwamba itaendelelea kutumia viwango vya ada vya mwaka wa masomo 2008/2009 kwa mwaka wa masomo 2010/2011 kwa waombaji wapya na wanafunzi wanaoendela na masomo hadi hapo Serikali itakapoamua vinginevyo. Hivyo, kwa mgomo huo nao, si sahihi kuitupia lawama Bodi ya Mikopo kwani Bodi inatekeleza maelekezo ya Serikali.
Wanafunzi hawa waligundulika kuwa ni wale wenye udahili kwenye zaidi ya chuo kimoja kutokana na kuomba nafasi za masomo nje ya "Central Admission System" unaoratibiwa na TCU. Wanafunzi wenye udahili kwenye zaidi ya chuo kimoja ni wale ambao hawakufuata utaratibu huo na hivyo kuomba udahili moja kwa moja kwenye vyuo hivyo, bila kupitia TCU.
Ijumaa, Desemba 10, 2010, Wanafunzi wanaosoma masomo ya Sayansi za Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) waligoma wakiwa na madai kadhaa dhidi ya Uongozi wa Chuo chao. Aidha, wanafunzi hao pia walikuwa wanadai kwamba Chuo chao kiweke mafunzo kwa vitendo katika mtaala wake na hivyo kuiwezesha Bodi ya Mikopo kuwapa mikopo kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo. Mikopo kwa kipengele cha Mafunzo kwa Vitendo hutolewa tu kwa Wanafunzi wanaosomea kozi ambazo mitaala yake imepangwa kuwawezesha Wanafunzi kwenda kwenye mafunzo hayo nje ya chuo. Wanafunzi wanaochukua masomo ya Sayansi za Jamii UDOM, mitaala yao haikupangwa kuwawezesha kufanya mafunzo kwa vitendo. Hivyo, wanafunzi hao walikuwa wanashinikiza uingizwaji wa mafunzo kwa Vitendo katika mitaala ya masomo ya sayansi ya jamii, lengo likiwa ni kuweza kupata mikopo baada ya hapo.
Alhamisi, Desemba 23, 2010 baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) waliandamana na kwenda moja kwa moja kwenye Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na baadaye kwenda Ofisi ya Waziri Mkuu wakidai kutaka kujua "status" ya chuo chao na kama wao nao wanakopesheka kama ilivyo kwa vyuo vingine vinavyotambulika hapa nchini. Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala kimepata ithibati kutoka Kamisheni ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) kuratibu utoaji wa Stashahada, Shahada na Shahada za Uzamili kwa mfumo wa masafa (Open and Distant Learning and Part time Basis).
Vigezo na taratibu za utoaji mikopo zinasisitiza kuwa mikopo itatolewa kwa mwombaji ambaye amedahiliwa kusoma Stashahada au Shahada "on full time basis".
Msimamo wa Bodi ni kwamba, kwa mujibu wa taratibu na miongozo ya utoaji mikopo, wanafunzi wanaosoma kwa mfumo wa ‘ODL' hawana sifa za kukopeshwa. Chuo hicho kinatakiwa kipeleke suala lake TCU na siyo Bodi. Hivyo siyo sahihi kuihusisha Bodi na mgomo wa wanafunzi wa Chuo hicho kwani TCU ndiyo inayohusika na kutoa ithibati kwa vyuo vya elimu ya juu nchini na siyo Bodi ya Mikopo.
Msimamo wa Bodi ni kwamba mikopo ya mafunzo kwa vitendo itatolewa kwa programu ambazo vyuo vimezibainisha katika mitaala kwamba zinahitaji mafunzo kwa vitendo na siyo vinginevyo. Aidha, mikopo ya mafunzo kwa vitendo itatolewa tu baada ya Bodi kupata taarifa na orodha kutoka vyuoni ikiainisha Wanafunzi wanaotakiwa kwenye mafunzo hayo, muda na mahali wanakokwenda angalau mwezi mmoja kabla ya tarehe ya kuanza kwa mafunzo hayo.
Taasisi nyingi za elimu ya juu ambazo wanafunzi wake wanakopeshwa na Bodi zimekuwa zikichelewa kuleta taarifa muhimu zikiwemo orodha ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliosajiliwa, matokeo ya mitihani na orodha za majina ya wanafunzi wanaokwenda katika mafunzo kwa vitendo. Matokeo ya kucheleweshwa kwa taarifa hizo yameibua malalamiko miongoni mwa Wanafunzi na hivyo kuelekeza shutuma kwenye Bodi bila sababu za msingi. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwakumbusha wadau wake hususan Vyuo vya Elimu ya Juu na Wanafunzi kuzingatia na kutekeleza taratibu za utoaji mikopo kuepusha malalamiko na kuwezesha kazi hiyo kufanyika kwa ufanisi. Taarifa hii inasisitiza juu ya umuhimu wa kuelewa taratibu za utoaji mikopo kabla ya kushutumu na kutoa malalamiko yasiyokuwa na msingi wowote kwa Bodi ya Mikopo. Aidha, Bodi inaviomba Vyombo vya Habari na Wadau wengine kuwasiliana mara kwa mara na Menejimenti ya Bodi ili kupata taarifa sahihi zinazohusu mwenendo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi, badala ya kukurupuka na kuchochea Umma uwe na chuki zisizokuwa na msingi, dhidi ya Bodi, kama Mhariri wa "The Sunday Guardian" alivyokurupuka, katika toleo la Jumapili tarehe 23 Januari, 2011. Bila shaka baada ya maelezo ya kina ya sababu za migomo hiyo, Mhariri huyo atagundua kwamba anapaswa kuwa makini zaidi katika uandishi wake wa habari.
Pia, Bodi inapenda kusisitiza kwamba hata kama ikivunjwa, kama Mhariri wa "The Sunday Guardian" na Kiongozi mmoja wa UVCCM walivyokurupuka kusema, hata chombo kitakachoundwa badala ya Bodi nacho kitabidi kivunjwe hapo baadaye, endapo changamoto zilizotajwa hapo juu na nyingine nyingi zinazosababishwa na Wadau wengine na siyo Bodi ya Mikopo, hazitapata ufumbuzi.
This list of Volkswagen Dealers located in Bellevue, Washington (WA) is believed to have been correct at the time of posting. If your Bellevue, Washington Volkswagen Dealership is not listed here or you see an error in your listing, you may tell us about it here. Standard listings are free, but they are neither guaranteed nor warranteed.
Mercer Island , WA Redmond , WA Kirkland , WA Seattle , WA Renton , WA Bothell , WA Kenmore , WA Issaquah , WA Mountlake Terrace , WA Kent , WA Lynnwood , WA Bainbridge Island , WA Edmonds , WA Fall City , WA Monroe , WA Auburn , WA Everett , WA Port Orchard , WA Federal Way , WA Poulsbo , WA North Bend , WA Snohomish , WA Bremerton , WA Sumner , WA Puyallup , WA Gold Bar , WA Gig Harbor , WA Tacoma , WA Marysville , WA Enumclaw , WA Belfair , WA Lakewood , WA Arlington , WA Roy , WA Port Townsend , WA Eatonville , WA Oak Harbor , WA Shelton , WA Yelm , WA Mount Vernon , WA Olympia , WA Port Angeles , WA Leavenworth , WA Sedro Woolley , WA Burlington , WA Anacortes , WA Thorp , WA Centralia , WA
MECHI ya kwanza ya raundi ya kwanza kuwania tiketi ya kucheza Fainali za 10 za Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 zitakazofanyika mwakani nchini Morocco kati ya Tanzania (Serengeti Boys) na Kenya itachezwa Septemba 9 mwaka huu kwenye Uwanja wa Azam Complex ulioko Chamazi jijini Dar es Salaam.
Imani na Mafundisho (ya Imani) Elimu na Jamii Historia na Siasa Sheria & Ibada Qur'ani & Hadithi Maisha ya Kiroho na Falsafa Infallibility of the Prophets Part 2
[h=1]Woman who spent $15,000 on illegal bottom and hip injections admits she's lucky to be alive after her obsession could have killed her[/h]
[h=2]Scroll down for video[/h] Regrets: Vanity Wonder appeared on This Morning to show Eamon Holmes and Ruth Langsford how injections and then silicone implants have left her with a disproportionately large bottom
mwe!!! kumbe sio kwa sababu ya sie wanaume.ni competition btwin them ladies.wanawake banaClick to expand.
nafikiri huamini kuwa wenzao wakiwa na umbile fulani ndiyo watapendwa zaidi na wanaume kuliko wao, mahangaiko mengi ya wadada ni kuhakikisha wanapendeza kuwavutia wanaume!:sleepy:
nafikiri huamini kuwa wenzao wakiwa na umbile fulani ndiyo watapendwa zaidi na wanaume kuliko wao, mahangaiko mengi ya wadada ni kuhakikisha wanapendeza kuwavutia wanaume!:sleepy:Click to expand.
I wish wajue kua yale ya kutengeneza hua tunayajua, na natural pia yanajulikana na tunayaogopa.Click to expand.
kitabu Biblia kama apokea mbili semehu ya: 1 Wafalme: 22 sura ya; 2 Wafalme: 25 sura ya
Katika vitabu vya historia vya Tanakh (Biblia ya Kiebrania), vinavyopatikana pia katika Agano la Kale (sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo), viwili vinafuata kinaganaga habari za wafalme wote wa Israeli waliomfuata mfalme Daudi hadi mwisho wa ufalme wa Yuda.
Vitabu hivyo viwili hapo mwanzo vilikuwa kitabu kimoja, navyo vinaendelea na historia ya Israeli tangu mwisho wa Vitabu vya Samweli. Muda wote unaoelezwa katika vitabu hivi ni kama miaka 400 hivi, kuanzia miaka ya mwisho ya utawala wa Daudi mpaka watu walipopelekwa katika kifungo cha Babeli. Hivyo vinaeleza mgawanyiko wa ufalme katika sehemu mbili, historia yake na jinsi falme hizo mbili zilivyorudi nyuma na kwenda mbali na mapenzi ya Mungu.
Vitabu hivyo viwili vinapitia historia ya Israeli kuanzia mwaka 972 hadi 560 hivi K.K. vikionyesha mwenendo wa kila mfalme upande wa dini, hasa katika kutekeleza maneno ya Kumbukumbu la Torati, ya kwamba Mungu ni mmoja, hivyo hekalu lake liwe moja tu. Kwa kuwa wafalme wote wa kaskazini na karibu wale wote wa kusini walikwenda kinyume, vitabu hivyo vinaanza na ufalme imara na wa fahari ulioweza kumjengea Mungu hekalu la ajabu, kumbe vinaishia na hali mbaya na ya aibu kuliko ilivyokuwa kabla ya Musa, wafalme wakiwa wafungwa Babeli, Waisraeli wote uhamishoni na hekalu lenyewe magofu tu.
Lakini waandishi hawakusimulia hayo ili kutunza kumbukumbu za zamani kama wanavyofanya wanahistoria, bali kwa lengo la kuonyesha tena uaminifu wa Mungu, aliyezidi kutuma manabii wake hata baada ya kuona hawasikilizwi, bali wanadhulumiwa hata kuuawa. Kwa kutegemea uaminifu huo, Wayahudi waliohamishiwa Babeli waliweza kutumaini mwanzo mpya. Hasa manabii wa mwisho wa wakati huo, Yeremia na Ezekieli, waliwatia moyo kuwa Mungu atabadili mioyo yao na kufanya nao Agano Jipya.
Kama ilivyokuwa katika vitabu vya Yoshua, Waamuzi na Samweli, vitabu viwili vya Wafalme viliandikwa kama historia ya unabii. Maana yake ni kwamba, madhumuni ya mwandishi si kusimulia matukio ya historia tu, bali alitaka kuonyesha maana ya matukio hayo katika mpango wa Mungu. (Kwa maelezo zaidi kuhusu maandiko ya historia ya unabii, tazama maelezo katika Kitabu cha Yoshua).
Kwa sababu ya makusudi hayo, mwandishi hakusimulia matukio yote ya wakati fulani wala hakuorodhesha mambo yote kwa mfululizo maalumu wa wakati. Yeye alichagua na kupanga habari kadiri ya maana yake ya kidini kuliko ile ya kisiasa. Inawezekana kwamba mfalme aliyekuwa na mambo mengi makubwa ya siasa ametajwa kwa maneno machache tu (k.mf. Omri: 1 Fa 16:21-28), ambapo mambo yasiyokuwa ya maana kubwa ya siasa aliyaeleza kwa kirefu (k.mf.huduma za Eliya na Elisha). Alitaja mambo ya nchi za jirani tu kama yalikuwa na maana kwa mpango wa Mungu kwa ajili ya Israeli.
Mwandishi wa vitabu vya Wafalme hakutajwa kwa jina. Inawezekana kwamba alikuwa nabii aliyepata nafasi ya kusoma masimulizi rasmi ya historia ya kifalme pamoja na masimulizi ya manabii (1 Fa 11:41; 15:7, 23, 31; taz. 2 Nya 9:29; 33:19). Sehemu kubwa za vitabu vya manabii Isaya na Yeremia pia zinaonekana katika vitabu vya Wafalme (Isa 36:1-39:8; Yer 39:1-10; 52:1-34).
Inawezekana kwamba kazi ile yote ilimalizika baada ya kuanguka kwa taifa la Israeli, watu walipokuwa kwenye uhamisho wa Babeli.
Habari za mwisho za Daudi zinapatikana katika 1Fal 1-2 tunaposikia juu ya njama ya mtoto wake mwingine: Adonia alitaka kutawala akajifanya mfalme huku Daudi mkongwe hana habari. Lakini nabii Nathani akaingilia kati ili mwandamizi awe Solomoni, ambaye alipozaliwa na Betsabea, mke wa Uria alimhakikishia Daudi msamaha wa Mungu.
Ufalme wake uliweza kustawi kuliko ule wa baba yake kutokana na msingi imara aliouweka Daudi.
Lakini mwenyewe aliudhoofisha na kusababisha mara baada ya kifo chake utokee utengano kati ya makabila ya Kaskazini na yale ya Kusini.
Kati ya kazi muhimu alizozifanya, mojawapo ni kujenga hekalu la Yelusalemu na kuliweka wakfu kwa sherehe kubwa ya siku saba, ambapo Mungu alionyesha kibali chake kwa kulijaza kwa sura ya wingu (1Fal 8). Polepole hekalu hilo likaja kuwa la pekee hata patakatifu pengine pote pakakatazwa chini ya mfalme Yosia.
Ingawa Solomoni anasifiwa kwa hekima yake, alishindwa kukwepa majivuno na tamaa, akataka kuwapendeza wake zake waliokuwa 700 (mbali na masuria 300), wengi wao Wapagani, hata akawajengea mahali pa kuabudia miungu yao akamchukiza Mungu hata akatabiriwa mtoto wake atanyang'anywa sehemu kubwa ya ufalme (1Fal 11:1-13) ikawa hivyo.
Baada ya Solomoni, huko Israeli (Kaskazini) walitawala watu wa koo mbalimbali (931-722), wote wabaya. Hatimaye watu karibu wote walipelekwa uhamishoni Ashuru (722). Hakuna aliyerudi.
Kumbe huko Yuda (Kusini) waliendelea kutawala watu wa ukoo wa Daudi tu (931-587). Kati yao kuna wafalme wema 2 (Ezekia na Yosia); wengine wema kiasi; wengine wabaya. Hatimaye watu wao pia walipelekwa uhamishoni Babeli (587) lakini baadhi wakarudi (kuanzia 538).
Tofauti na mtangulizi wake, Daudi alimpendeza Mungu, si kwa sababu hakufanya makosa, bali kwa sababu alikuwa tayari kumsikiliza akisema kwa njia ya manabii wake Nathani, Gadi n.k. Alikubali kukosolewa, kuonywa na kuambiwa la kufanya. Kila mfalme baada yake alitakiwa kufanya hivyo.
Kwa kiasi kikubwa, miaka ya wafalme wa Israeli na Yuda ni pia miaka ya manabii bora walioinuliwa na Mungu alivyotaka ili kuwakemea au kuwafariji Waisraeli.
Kazi yao kubwa haikuwa kutabiri yatakayotokea, bali kuwa madaraja kati ya Mungu na watu wake, wakiwafahamisha yeye anawaza na kutaka nini.
Njia zake za kuwasiliana na Mungu zinafanana na zile za dini nyingine: kuota, kupata njozi, kutoka nje ya nafsi na hata kutazamia kwa kutumia vifaa maalumu vya kubashiria. Lakini polepole hivyo vya mwisho vikaja kulaumiwa, kumbe Neno lenyewe likaja kushika nafasi ya kwanza kuliko dalili za ajabu zinazoweza zikapatikana hata katika vichaa.
Kwa kuwa Roho ni wa Bwana tu, akijalia unabii ni kama karama ipitayo: hivyo mtu yuleyule anaweza akasema mara ukweli mara uongo. Vilevile karama hiyo haithibitishi usahihi wa imani na uadilifu wa mhusika. Hatimaye baadhi yao wakaanza kuitwa "manabii wa uongo", kwa sababu ya kutabiri uongo kwa niaba ya Mungu (kwa makusudi mazima au kwa kujidanganya) na zaidi kwa sababu ya kupotosha imani na maadili ya taifa lake.
Waisraeli walielekea dini za kandokando kwa sababu zilikuwa zinaahidi kufanikisha maombi yao kwa ibada za hakika, wakati Mungu ana hiari ya kupokea au kukataa sadaka zao. Waisraeli walijaribu kufuata pande zote mbili kwa pamoja, ila Mungu hakuweza kukubali, kwa kuwa ni peke yake tu. Imani yao iliyumba hasa wakati mfalme Ahabu alipotawala Kaskazini (869-850 hivi K.K.), ambapo Yezebeli, mke wake, alifanya juhudi kubwa za kuikomesha kabisa imani yao kwa YHWH ili wamuabudu Baali, mungu mkuu wa kwao aliyehusika na mvua, kufuatana na sanamu mbili zilizotengenezwa na Yeroboamu I zikiwa na sura ileile ya Baali ([[fahali wa dhahabu]). Mezani pa malkia huyo walikuwa wanalishwa manabii wa uongo 850, kumbe manabii wa Bwana waliuawa karibu wote.
Hapo Mungu akamtuma Eliya (1Fal 17-18) ambaye jina lake lina maana ya kwamba, "Mungu wangu ni YHWH" na linajumlisha kazi yake ya kutetea kwa ari zote imani ya kweli hata akaiokoa. Ili kuondoa utata wa kuabudu pande mbili, Eliya kwanza alizuia mvua isinyeshe nchini miaka mitatu na nusu, ibada kwa Baali zisifanikiwe hata kidogo, halafu akashindana na manabii hao hadhara ya Israeli yote juu ya mlima Karmeli. Tofauti na mbinu za manabii 450 wa Baali, waliofikia kujichanja na kutoka damu ili kuvuta moto kutoka mbinguni wasifaulu, Eliya aliomba tu kwa unyofu kwamba Mungu ajitokeze ili kugeuza mioyo ya watu wake wamrudie. Kwa kuteremsha moto juu ya sadaka yake, Bwana alithibitisha kuwa ndiye Mungu pekee na kuwa anaendelea kuwaokoa watu wake. Baada ya Eliya kuwachinja wote aliruhusu mvua inyeshe tena. Ndiyo sababu anasifika kwa nguvu ya sala yake (Yak 5:17-18).
Kwa jinsi alivyofanya kazi kwa ari, na kwa kupalizwa juu ya gari la moto (2Fal 2:1-18) akalinganishwa na moto (YbS 48:1-11) akatabiriwa atarudi kabla ya siku ya Bwana (Mal 3:23-24). Ndiyo sababu Injili zinamtaja mara nyingi.
Kwa miaka zaidi ya 50 kazi yake iliendelezwa na Elisha, ambaye anasifika pia kwa miujiza yake (YbS 48:12-16) na pamoja na mwalimu wake amechukuliwa na Yesu kama mfano wa unabii wake utakaowaokoa mataifa baada ya Israeli kumkataa (Lk 4:24-27). Elisha alijihusisha sana na siasa akaombwa shauri na wafalme mbalimbali hata wa nchi za nje. Kwa kumpaka mafuta Yehu alianzisha mapinduzi dhidi ya ukoo wa Ahabu na kukomesha upotoshaji wake wa imani. Mapinduzi hayo yakaenea kusini kwa kumuua Atalia, binti wa Yezebeli, aliyetawala miaka saba kisha kuua watu wote wa ukoo wa Daudi (mtoto Yoashi tu alinusurika).
Pole nilipata tatizo hilo hilo na HTC yangu. Yangu ni htc T Mobile. Kama iko sawa na yangu bonyeza knob ya pili baada ya ile ya kijani ya kupigia, then bonyeza herufi A pana picha ya kufuli. Kama iko tofauti pole. Ila kuna vijana watundu na simu utapata msaada tu.
Hi urahisi unaweza kufungua HTC radi kwa kutumia kufungua code. Kama unahitaji kufungua kanuni kutembelea tovuti hii Mkono-unlocker.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua simu yako. Ili kupata kanuni unahitaji taja maelezo yafuatayo ambayo nchi imefungwa sasa, mtoa mtandao na idadi IMEI. Kisha wao kutuma kufungua kanuni kupitia barua pepe.
Hi you can easily unlock htc thunderbolt by using unlock code. If you need unlock code visit this site
Mobile-unlocker.com here you can get the unlock code and unlock your mobile. To get the code you need to specify the following details which country is locked now,network provider and imei number. Then they send unlock code through email.
Sisi ni maalumu 2019 Mazao Mapya Ya Vitunguu wazalishaji na wasambazaji / kiwanda kutoka China. Ya jumla 2019 Mazao Mapya Ya Vitunguu na ubora wa juu kama bei ya chini / bei nafuu, mojawapo ya 2019 Mazao Mapya Ya Vitunguu bidhaa za kuongoza kutoka China, Jining Fuyuan Fruits And Vegetables Co., Ltd.
vitunguu ni shaba ya rangi ya manjano, mizani ni ya nyama, ya njano na yaini, muundo ni nzuri, na ladha ya spicy ni imara. Ni oblate na ina kipenyo cha cm 6 hadi 8. Zaidi ya sugu kwa kuhifadhi, usafiri, kukomaa mapema hadi ukuaji wa kati. Mavuno ni.
Tag: Vitunguu kwa Soko la Ulaya , 2019 Mazao mapya ya vitunguu , Kawaida White Garlic kwa Kupikia
Kawaida nyeupe vitunguu 5.5cm 1kgx10 / 10kg ctn, ni nzuri sana baada ya kufunga. usafirishaji huu wa vitunguu kwa Qatar. Je, ungependa kuingiza hii? unaweza kujaribu kwenye soko lako. vifurushi hivi kuu vinauza Maduka makubwa. sisi ni kiwanda cha.
2019 Mazao Mapya Ya Vitunguu jumla kutoka China, Direct Buy kutoka China wazalishaji wa kuongoza kwa bei nafuu kiwanda. Pata bidhaa 2019 Mazao Mapya Ya Vitunguu jumla kwenye Jining Fuyuan Fruits And Vegetables Co., Ltd. na kupata ubora wa juu 2019 Mazao Mapya Ya Vitunguu moja kwa moja kutoka kwa wauzaji wa jumla wa China 2019 Mazao Mapya Ya Vitunguu na wasambazaji. Tuma mahitaji yako ya kununua & Pata majibu ya haraka.
*MDAI katika kesi ya madai ya talaka na mgawanyo wa mali Magreth Mwangu mkazi wa Mkoani Singida dhidi ya Mkurugenzi.
[image: Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya m.
*Kwaya ya Gracias kutoka Korea ikitumbuiza katika kambi ya Vijana iliyomalizika jana katika viwanja vya mikutano vya Mlimani City.Kambi iyo mwaka huu imef.
*[image: Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya .
KONGAMANO LA WADAU WA SEKTA YA AFYA TANZANIA ASSOCIATION OF SOCIAL WORKERS(TASWO) KUFANYIKA KWA SIKU MBILI IRINGA.
*Viongozi wa Mradi wa Uimarishaji wa mifumo ya afya na ustawi wa jamii wakizungumza na wandishi wa habari juu ya kongamano hilo.*Wandishi wa habari kutoka.
Ni Mchicha mboga Maboga na Figiri nimechuma na nimechemsha na kuweka akiba si mnajua akiba haiozi.Hii ndi kazi ya mikono yangu, mtoto wa mkuli ni mkuli.
* Wadau, kuna habari ya kusiktisha leo. Bobbi Kristina Brown (22) amefariki dunia leo. Alikuwa mahututi tangu mwezi wa kwanza (Januari) alipokutwa amezam.
Nafikiri ni General Defao aliyeimba: "umekalia politiki tu, kazi hufanyi". Katika kipindi ambacho Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikiendelea na mchakato .
Hii kazi ambayo Spika Anne Makinda anafanya; ni kazi ya shetani. Hakuna jina wala njia nyingine yoyote ya kuiita. Huku kutoa nje.
Moja ya mambo ambayo huwa vinanifanya niwashauri watu waende Selous badala ya Mikumi (kwa wal.
Mimi nimecheka sana, sijui kipi kitakuzuia wewe. Ni vituko vinavyopatikana MAHALI HAPA Mfalme Mswati Anaonewa Wivu?
Hawa ni baadhi ya vibinti' (vigori) ambavyo Mfalme Mswati wa Uswaz, hutakiwa kuchagua mke wake moja kila mwaka. Sasa hivi anao 14. Dunia.
MALKIA wa Mipasho nchini, Khadija Kopa na kundi lake cha Tanzania One Theatre (TOT)leo (Jumanne)kitatoa shoo kabambe kusherekea sikukuu ya Krismas kwa wakazi wa Kata ya Kivule, Ilala kusherekea sikukuu ya Krismas kwenye ukumbi wa Vegetable Garden Pub.
Sura ya 8 : Kushindwa kwa Figo ni Nini? Kidney Education Foundation - Swahili Language
Katika ugonjwa huu figo hudhoofika katika muda mfupi kwa sababu ya mwili kutumiwa vibaya. Ugonjwa huu huweza kupona
Used KOMATSU WA420-3 Wheel loaderYear:2007Work hours:4100Bucket capacity:3.5cbmHere are our products:Truck CraneTADANO: TG250, TL250, TL250E, TL300E, TG300E, TG350E, TG450E, GT550E,
(image) - Bi Lydia Kishimba akiwasilisha na kufundisha mada juu ya sera ya ardhi ya 1995. (Not translated) Edit
(image) - Bi sharon joseph Mshiriki kutoka asasi ya Kinga za haki za Binadamu akichangia mada. (Not translated) Edit
(image) - Wajane wakitoa ushuhuda juu ya mafunzo na wanavyoenda kutumia mafunzo hayo katika jamii (Not translated) Edit
(image) - Wajane wakifuatilia mafunzo juu ya mafunzo na wanavyoenda kutumia mafunzo hayo katika jamii (image) - Widows and following training on the go! Training and apply those lessons in community Edit
(image) - Washiriki katika makundi na mjadala juu ya Wapi mashauri ya kesi yanapelekwa. (Not translated) Edit
(image) - Mjumbe wa baraza la ardhi la Kata ya Katubuka akishukuru mafunzo aliyopata.anasema Tangu ashike madaraka,yeye na wenzeke-Walikuwa hawajapatiwa mafunzo ya aina yeyote juu ya sheria na kanuni za ardhi.hivyo mafunzo yamekuwa mkombozi kwa kamati na jamii (Not translated) Edit
(image) - Huu ni ushuhuda alioandika baada ya kulidhishwa na uwazi na uwajibikaji katika KSPA. (Not translated) Edit
(image) - Wajane wakitoa ushuhuda juu ya mafunzo na wanavyoenda kutumia mafunzo hayo katika jamii. (Not translated) Edit
(image) - Mr.Richard Katunka-Mwakilishi wa The foundation for civil society akishuhudia mambo mazuri ayojionea katika utekelezaji wa mradi. (Not translated) Edit
"Kama kampuni ya MeTL imeweka sera katika kuwasaidia wanawake, sera hiyo ni kuangalia uwiano kati ya mwanamke na wanaume kila mwaka. Sababu ya kufanya hili ni kuhamasisha usawa ndani ya kampuni yetu," amesema Catherine na kuongeza. "Kama kampuni tunatambua umuhimu wa usawa katika kuepusha matukio ya unyanyasaji wa kijinsia, sera hii inatusaidia katika kuwafatilia wafanyakazi wetu lakini pia inatutengenezea mazingira mazuri ya kupambana na matatizo kama ya utovu wa nidhamu na vitendo vya unyanyasaji ya kijinsia." Baadhi ya watu waliohudhuria kongamano hilo.
Aidha Catherine amesema MeTL imekuwa ikiandaa mashindano mbalimbali ambayo yamekuwa yakiwahusisha wanawake na wanaume ili kuwakutanisha wafanyakazi wa kampuni kutoka sehemu mbalimbali kwa lengo la kufahamiana na kufurahi kwa pamoja. "Itambulike kuwa MeTL sio tu mwajiri wa wafanyakazi hawa au kampuni bali ni familia moja ambayo inalenga kuboresha maisha ya watu kwa viwango mbalimbali na huwa tunaanda matukio ya michezo ambapo wanaume na wanawake hukutana na kushiriki vyema," amesema Catherine. Mbunge wa Urambo, Magreth Sitta kongamano la kuadhimisha siku ya wanawake.
Dau umesikia vituko vya Nafuwe Nyange na Omar wa Legal Dept? JamiiForums The Home of Great Thinkers
Mimi naombea sana Anna Kilango ashindwe kuokoa wafanya kazi wa Legal Dept pale NSSF .Binti kaingia hapa kwa makeke akidai ana MSc toka Uk na wenzake wote wenye LLB ya Tanzania ni wajinga.Ni mgeni kazini hajui kazi lakini dharau kubwa na kujidai yeye mtoto wa Anna Kilango.Baada ya kuingia kwa dharau na kejeli kampata Omar Wa legal Dept wameanza mapenzi amefikia mahali pa kuweka msimamo wake wazi kwamba Kama anatumwa kazi za nje yaani mikoani lazima aende na dogo Omar kama hataweza kipewa Omar basi asitumwe nje.NSSF kwa mshangao kwa uoga gani sijui wame halalisha.Baada ya kuona mama yake anagombea UWT nimeingiwa na uoga mkubwa maana sijui sasa itakuwaje baada ya kupata.Tunatoka kusema ya Waislam na tabia zao toka zamani leo NSSF kuna watu wa aina hii kwa jina la mtoto wa Kigogo , Legal Dept wanajua na hawana pa kutokea na je Dau unayajua haya yanayo tokea kwenye himaya yako?Tunasema mapema uamue kuziba masikio mwenyewe na last week walikuwa wote Dodoma na kazi iliharibika
Mimi naombea sana Anna Kilango ashindwe kuokoa wafanya kazi wa Legal Dept pale NSSF .Binti kaingia hapa kwa makeke akidai ana MSc toka Uk na wenzake wote wenye LLB ya Tanzania ni wajinga.Ni mgeni kazini hajui kazi lakini dharau kubwa na kujidai yeye mtoto wa Anna Kilango.Baada ya kuingia kwa dharau na kejeli kampata Omar Wa legal Dept wameanza mapenzi amefikia mahali pa kuweka msimamo wake wazi kwamba Kama anatumwa kazi za nje yaani mikoani lazima aende na dogo Omar kama hataweza kipewa Omar basi asitumwe nje.NSSF kwa mshangao kwa uoga gani sijui wame halalisha.Baada ya kuona mama yake anagombea UWT nimeingiwa na uoga mkubwa maana sijui sasa itakuwaje baada ya kupata.Tunatoka kusema ya Waislam na tabia zao toka zamani leo NSSF kuna watu wa aina hii kwa jina la mtoto wa Kigogo , Legal Dept wanajua na hawana pa kutokea na je Dau unayajua haya yanayo tokea kwenye himaya yako?Tunasema mapema uamue kuziba masikio mwenyewe na last week walikuwa wote Dodoma na kazi iliharibikaClick to expand.
usijali mbwembwe za mama kilango zimeisha leo kwani kwa taarifa za uhakika mama sophia simba mfuasi sugu wa EL ametetea kiti chake
Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam.
Jamani ugomvi wa kazini kwanini kuleta humu jamvini? haya si ndo mambo ya fitna makazini. Piga kazi utaonekana important na utapanda cheo au kupata safari nawe.
Naamini mleta mada kachoshwa na tabia za watoto wa wakubwa na matendo yao ya kuwanyanyasa watoto wa wasio na sauti wala Godfathers nk.Mie namwelewa anataka ujumbe huu umfikie Dau ajue kwamba watoto wa wanasiasa wanajiona na wana haribu kazi .Ukisoma utaona kwamba kaja juzi na baada ya mahusiano sasa analazimisha kwenda na mtu na kaweka bayana kama haendi naye haendi hii ni cancer kubwa kwa Taifa letu si jambo la kubeza .Uchunguzi unatakiwa na hatua kuchukuliwa NSSF ni pesa zetu zile sasa kweli kutumika kihivyo ?
Mkuu umeshangaa kwamba ana LLM na yuko Legal Dept kuna ugeni gani kama kaja akiwa hajui kazi kapata ajira kwa jina la Mama yake baada ya kimemo si inabidi ajifunze kazi sasa ?Soma tena utaona kwamba hata mahakamani bado ni kanjanja mkuu .
Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam.Click to expand.
Hembu ondeni hu upuupu na umbea hapa peleka kwa shigongo.!!!! Kama Omar kapata .wewe tafuta mwingine .mademu hawajaisha
Huyo nafue ni mwislam halafu pia ni mpare which means ni kabila moja na mama K.
huyo wanaedai mtoto wa anna nae ni muislamu? Na yetu kweli kama ilivyo udom, pasuka sasa maana naona povu limekujaa
Hembu ondeni hu upuupu na umbea hapa peleka kwa shigongo.!!!! Kama Omar kapata .wewe tafuta mwingine .mademu hawajaishaClick to expand.
Come back to your sense .Hapa hakuna anayesema kanyimwa penzi .Hapana hakuna anayesema kanyimwa safari hapa ni issue ya dharau kwa wenzake ambao yeye kaja kaajiliwa kwa dini yake kawaacha ana wanyanyapaa muda wote pili kutoa masharti kwamba hawezi kwenda nje ya kituo cha kazi bila mpenzi wake Omar na watu kutii maneno yake kisa ana mahusiano na Kilango .Hii ndiyo issue nadhani the rest si mantiki jadili haya acha yale mengine
watu walioawahi fanya kazi na wapare hasilia wana lalamika kuwa wapare si relible people.Haawaniki kabisa.Wengi wanasema kuwa huwezi amini majimbo yao kama unaweza chukua ushindi hata kama kila dalili zinaonyesha hivyo.Mama Kilango si alikuwa anapinga ufisadi,kisha baadaye akasema mzee wa mvi ana karama kila kkigusanyo kinaguwa mwake.Yaani gold.
Kama wewe ni mfanyakazi hapo NSSF huna njia nyingine za kiutaratibu hapo kazini za kumuona Dr.Dau kumfikishia malalamiko yako mpaka uje mtandaoni?.kama mimi ningekuwa hapo NSSF nigekuwajibisha.
umeona sioni maana ya kuandika hapa. kuna watu wana vijicho sana kutwa kuchwa kuhangaika nayasiyowahusu kilichokupeleka kazini ni kufanya kazi fanya kazi hayo ya ngoswe muachie ngoswe.
Mimi namtetea mleta hoja na ndiyo maana namtetea .Dau ana ambiwa kupitia hapa na wakubwa wengine wajue uozo wa pale wakae kimya tu lakini ijulikane kwa uwazi .