text
stringlengths
29
186k
Baada ya mkutano mkuu wa april 19 chama cha TLP kitagawanyika mapande mawili. Wa Mtungirehi na wa dictator Mrema. The final nail on Mrema's coffin.
Mbiwe alisema baada ya CHADEMA kujaribu kuviunganisha vyama vingine vya upinzani bila mafanikio, sasa umefika wakati kwa wananchi kupima na kukiunga chama cha upinzani chenye nguvu kuliko vingine ili iwe rahisi kuikomboa nchi kwa kukiwezesha chama hicho kuing'oa CCM.Click to expand.
Tarariraaaaaa! Haya walokuwa wakinibishia wako wapi?. UKAWA chanu.maskini Mbowe anatapatapa kama nahodha wa Tatinic kujiokoa hawezi bora afe na chama.
Wanaojiunga na Chadema toka CCM ni kundi la Lowassa ambao wameshajua hawatapata ridhaa ya CCM kugombea hata Udiwani. Lowassa na kundi lake lote limetemwa CCM hivyo msishangae kuona kundi la Nyumbu wakivuta mto Mara, marisho kule ng'ambo yamekwisha!
Wewe kweli taahira, angalia pumba ulizoandika hapa. Usirukie maneno ya vijiweni kwamba CHADEMA imeshindwa kuviunganisha vyama vya upinzani bila ya kuwa na ushahidi wowote ule bali uzushi tu. Ndiyo matatizo ya kuwa na elimu mulugo. Sasa kama wanaojiunga na chadema ni kundi lowassa iweje tena muanze kutumia vitisho dhidi yao kwamba watashughulikiwa kwa kutaka kukigawa chama, waachwe tu waongee chochote watakachopenda kuongea kuhusu uozo wa chama cha wahuni.
Wanaojiunga na Chadema toka CCM ni kundi la Lowassa ambao wameshajua hawatapata ridhaa ya CCM kugombea hata Udiwani. Lowassa na kundi lake lote limetemwa CCM hivyo msishangae kuona kundi la Nyumbu wakivuta mto Mara, marisho kule ng'ambo yamekwisha!Click to expand.
Mpango wa Pamoja wa Shell wa 2017 Mkoa wa LiveWIRE kwa Vijana wa Nigeria Fursa Kwa Waafrika
nyumbani Piga simu kwa Maombi Mpango wa Pamoja wa Shell wa 2017 Mkoa wa LiveWIRE kwa Vijana wa Nigeria
The Shell Kampuni ya Maendeleo ya Petroli ya Nigeria Limited (SPDC), operator wa NNPC / Shell / Jumla / Agip Joint Venture (SPDC JV) atangaza uanzishwaji wa Mpango wa LiveWIRE wa JNUMX SPN ya 2017.
Kuwawezesha vijana kuanzisha biashara kwa kuwafunua ujuzi wa biashara na ujuzi wa usimamizi kwa njia ya 'Kuwa Mtaalamu wa Biashara Mfanikio'.
Unganisha wagombea waliofanikiwa kwa vyama vya tatu kama taasisi za fedha na mashirika yasiyo ya serikali (NGOs).
Makala zilizotanguliaWito kwa watetezi / wataalamu wa vijana kwa Tume ya Lancet ya Afya ya Vijana na Ustawi
Makala inayofuataTuzo la Wananchi la Kimataifa la Waislitz 2017 (Safari iliyofadhiliwa New York, USA & $ 100,000)
Mradi wa Pamoja wa Shell wa 2017 Mradi wa LiveWIRE wa vijana wa Nigeria - Scholarship na Misaada ya Misaada Agosti 8, 2017 katika 2: 27 am
Mradi wa Pamoja wa Shell Mkoa wa LiveWIRE Programu 2018 kwa vijana wa Nigeria Fursa Kwa Waafrika Juni 19, 2018 katika 5: 43 pm
Mkutano Wa Mawaziri Wa Kamati Ya SADC Ya Asasi Ya Ushirikiano Wa Siasa, Ulinzi Na Usalama Kwa Ngazi Ya Makatibu Wakuu Wafanyika Jijini Dar Es Salaam MPEKUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), amewashauri viongozi na wananchi wa Burundi kufanya mambo manne muhimu ili kutuliza hali ya sasa ya kisiasa katika nchi hiyo na hivyo kuepusha ukosefu wa utulivu wa kisiasa na hata kuzuka kwa machafuko.
Rais Kikwete amesema kuwa mambo hayo manne ni pamoja na kwa wananchi na viongozi wa Burundi kuheshimu, kwa vitendo na imani, Katiba ya nchi hiyo, kuheshimu Makubaliano ya Arusha yaliyozaa amani katika Burundi na pia kuheshimu Sheria za Uchaguzi za nchi hiyo.
Rais Kikwete pia amewataka viongozi na wananchi wa Burundi kujiepusha na kuvutiwa na matumizi ya nguvu katika kutafuta majawabu ya matatizo yao, jambo ambalo linaweza kuiingiza nchi hiyo katika matatizo makubwa zaidi.
Jambo la tatu ambalo Rais Kikwete amewashauri viongozi na wananchi wa Burundi ni kutumia mazungumza na majadiliano, kwa kadri inavyowezekana, akisisitiza kuwa hakuna ukosefu wa watu wenye busara na taasisi ambazo zinaweza kusaidia kusimamia na kuendesha mazungumzo na majadiliano hayo.
Rais Kikwete amesema kuwa jambo la nne ambalo viongozi na wananchi wa Burundi wanastahili kufanya katika hali ya sasa ni kutumia Sheria za Burundi inapotokea kuwa baadhi ya wananchi wakahisi kuwa Sheria za Uchaguzi za Burundi zinakiukwa.
Rais Kikwete ametoa ushauri huo leo, Alhamisi, Machi 19, 2015, wakati alipohutubia Bunge la Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Bunge la Burundi katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Bujumbura.
Hotuba ya Rais Kikwete ambayo hutolewa kila mwaka na Mwenyekiti wa Jumuiya ilihusu hali ya sasa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki - The State of the East African Community Address.
Rais Kikwete amewaambia Wabunge hao wa Bunge la Afrika Mashariki na mamia ya wageni waalikwa: "Kwa kaka zangu na dada zangu wa Burundi, pengine niseme kuwa ninatambua wasiwasi kuhusu mchakato wa uchaguzi ambao uko mbele yenu. Kuna minong'ono na hofu kwamba amani na utulivu ambao umekuwepo katika Burundi kwa miaka karibu 15 sasa huenda ikapotea. Wengine wanasema yanaweza hata kuwepo machafuko. Tunaomba Mungu haya yasitokee."
Amesema Rais Kikwete: "Hivyo, nawaomba viongozi wa Burundi - viongozi wa kisiasa, viongozi wa kidini, viongozi wa kijamii pamoja na taasisi za kijamii kufikiria kufanya yale ambao nashauri, yanaweza kusaidia nchi yetu hii nzuri, kubakia na utulivu na amani."
Ameongeza Rais Kikwete: "Tuna imani nanyi kwamba mnao uwezo wa kukabiliana na changamoto za sasa na kuzipatia majawabu. Huko nyuma mmepata kukabiliana na changamoto kubwa zaidi na mkazimaliza. Sioni kwa nini mshindwe zamu hii. Jipeni ujasiri, jipeni utashi wa kisiasa, na yote yatakuwa sawa."
"Nataka kuwahakikisheni kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iko tayari kusaidia katika hili. Tutakweda sambamba nanyi kwa kila hatua, njia nzima, kama ambavyo tumepata kufanya huko nyuma."
Hali ya wasiwasi ya sasa ya kisiasa katika Burundi inatokana na tofauti za tafsiri ya Katiba, Sheria za Uchaguzi na Makubaliano ya Arusha kuhusu kama Rais Pierre Nkurunziza anayo haki ya kusimama kama mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu baada ya kuwa Rais wa Burundi kwa miaka 10 sasa.
Mwenyekiti wa maofisa watendaji wakuu wa makampuni, Ali Mufuruki (Kushoto) akiangalia kitabu cha Azimio la Tabora alilokabidhiwa na kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe (wa pili kushoto) baada ya kumalizika kwa mdahalo kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Wengine ni Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba. Picha Mwananchi
Dar es Salaam. Viongozi wa vyama vya siasa vya CUF, NCCR-Mageuzi, NLD na ACT-Wazalendo wameitupia lawama Serikali kwa kushindwa kutekeleza maagizo yanayotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Wakizungumza kwenye mdahalo wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 kuhusu masuala ya Sera juzi jijini hapa, viongozi hao Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyetiki wa NLD, Dk Emmanuel Makaidi na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe walisema kuwepo kwa mfumo mbovu serikalini na kukithiri kwa rushwa ndiyo chanjo cha kupuuzwa kwa ripoti za CAG.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, baada ya kuwasili kwenye Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania mjini Singida ambapo alikuwa mgeni rasmi, Novemba 30, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika mjini Singida Novemba 30, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Chuo Kikuu hicho na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (mwenye miwani mbele) akiwa na wahitimu wenzake katika Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika mjini Singida, Novemba 30, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akimtunuku Shahada ya Uzamili Katika Elimu ya Utawala, Mipango na Sera (Master Of Education in Administration, Planning and Policy Studies), Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kushoto) katika Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika mjini Singida, Novemba 30, 2017. Wapili kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Watatu kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinoloji, Profesa Joyce Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akitelemka kutoka kwenye jukwaa baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili Katika Elimu ya Utawala, Mipango na Sera (Master of Education in Administration, Planning and Policy Studies) na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Waziri Mkuu MStaafu, Mizengo Pinda (kulia) huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akipokea ua kutoka kwa mwanae, Saad Majaliwa Kassim baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili katika Elimu ya Utawala, Mipango na Sera (Master of Education in Administraion, Planning and Policy Studies) katika Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika mjini Singida Novemba 30, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki', Wastara Juma, akiwa na simanzi nzito kwa kumpoteza mumewe
Bibi wa marehemu Sajuki akiwasili msibani leo. Pichani juu ni baadhi ya taswira za waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki', Tabata- Bima jijini Dar es Salaam. Sajuki amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa.
Papa Farancis, Guterres watoa maoni uamuzi wa Trump juu ya Israel - Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres amesema hatua ya rais Trump kuutambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel inaleta wasi wasi katika.
CUF YAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANACHAMA WA CUF LA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (JIVICUF UDSM) H@ki Ngowi
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa , Juvicuf, ambaye pia ni Mbunge wa Mchinga Hamidu Bobal (kushoto), akizungumza na wanafunzi wanacha.
H@ki Ngowi: CUF YAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANACHAMA WA CUF LA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (JIVICUF UDSM)
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akifurahia jambo na Jaji Mkuu mpya, Othman Chande (kushoto) pamoja na aliyekuwa Jaji Mkuu, Augustino Ramadhan. Jaji Mkuu huyo aliapishwa kwenye Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida)
Kwanza, uwezo wa kupakia vilivyoandikwa kutoka upload dir yako (kwa kuwa maalumu zaidi, wp-content/uploads/transposh/widgets), hii ni kwa kila mtu ambaye kuundwa widget yake (labda tu kubadilisha ripoti) na alikuwa na matatizo ya kusasisha plugin kwa sababu sasa widget folder got umebatilishwa, kipengele hiki pia kufungua uwezekano wa kushiriki vilivyoandikwa na watu wengine.
Siwezi kufanya kazi kwa lugha zote hata mimi wamechagua "Kuruhusu kuwaendeleza na full version" kwenye ukurasa wa mipangilio
Wewe ni sahihi, hii ilikuwa tatizo katika 1.0.1 wakati kuboresha kamili halitafanyika (zinahitajika kufanya hivyo manually), hata hivyo unaweza sasa kuboresha na 1.0.2 ambayo kuboresha na toleo kamili.
Anatoa rai itakayosaidia kuimarisha chama hicho kinachoonekana kupata nguvu upande wa Zanzibar lakini kikidhoofika mwaka hadi mwaka Tanzania Bara.
Anadhani ni wakati sasa kwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba kupumzika na kutoa nafasi kwa mwanachama mwingine kushika nafasi hiyo.
Mbalamwezi, katika mahojiano aliyofanya MwanaHALISI wiki iliyopita mjini Mwanza, anasema Prof. Lipumba ni tatizo kiuongozi na "si vizuri kuacha hali mbaya iliyopo."
Mbalamwezi anasema chama kinaendeshwa kibabe, viongozi wakuu hawawajibiki na wanashindwa kuthamini mchango wa wanachama wao.
"Hata kufanya vibaya kwa chama hiki katika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani mwaka 2010, kulitokana na kutowajibika kwa viongozi wa kitaifa hasa upande wa Tanzania Bara," anasema Mbalamwezi ambaye anachukuliwa kama ndio nguzo muhimu ya CUF mkoani Mwanza.
Kauli hii ya Mbalamwezi imekuja siku chache baada ya mwanachama mwingine maarufu wa CUF, Profesa Abdallah Jumbe Safari kujiondoa akilalamikia ubabe, chama kukosa mwelekeo na kutoweka kwa kaulimbiu ya miaka mingi ya "Haki Sawa Kwa Wote."
Mbalamwezi, mwanachama aliyekipa wakati mgumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa mbunge mwaka 2000 na 2005 akigombea jimbo la Nyamagana, Mwanza, anasema:
Miongoni mwa matatizo anayoyaona ni kwamba hata viongozi wakuu Bara hawakubaliki katika maeneo wanayotoka, tofauti na wale wa Zanzibar.
"Unajua kujiimarisha mikoani kwa upande wa Bara ni muhimu sana kwa chama chetu hiki, lakini viongozi wetu hawalifikirii hili na hata ukiwaambia hawachukui hatua," anaeleza Mbalamwezi, mwenye umri wa miaka 63.
Anaamini Kwa mujibu wa Mbalamwezi, viongozi wa juu wameng'ang'ania ofisi kuu za Buguruni, Dar es Salaam tu huku wakisahau umuhimu wa kuweka nguvu za kuimarisha chama mikoani.
"Viongozi wa kitafa wamekuwa kama wakimbizi kwenye maeneo waliyotoka. Ukifuatilia matokeo ya uchaguzi mkuu utagundua hata Prof. Lipumba nyumbani kwao Tabora amepata kura chache kuliko mgombea wa CCM na hata wa CHADEMA."
CCM ilimsimamisha Jakaya Kikwete wakati CHADEMA ilimsimamisha Dk. Willibrod Slaa kuwania kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Anaonya kuwa bila ya viongozi wake kuimarisha chama na kujiimarisha katika maeneo wanayotoka mpaka wakakubalika kwa wananchi, CUF itaendelea kupata shida kupenya nyoyo za Watanzania na kuwashawishi kukiunga mkono wakati wa uchaguzi.
"Mafanikio waliyoyapata CHADEMA katika uchaguzi uliopita hayakuwa ya kubahatisha. Waliwekeza sana na walijipanga vizuri kuanzia kwenye uteuzi wa wagombea wao hadi kampeni zenyewe. Lakini sisi viongozi wetu walibaki wamelala," anasema.
Siasa ni harakati, anasema, na kuongeza kuwa harakati hazina muda wa kulala mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka tofauti na wanavyofanya viongozi wa CUF.
"Viongozi wetu wa kitaifa hawana mawazo ya kukijenga chama mikoani, wanafikiri wakikaa Buguruni inatosha," anasema na kutaka waige mfano wa wenzao wanaozunguka nchi kutangaza chama chao.
"Ukikaa kusubiri kampeni za kila baada ya miaka mitano ndipo uende kwa wananchi utasahaulika. Wenzako watakuwa wameshapita na kuwabadilisha mawazo waliokuwa wanakuunga mkono.
"Nasisitiza ili chama chetu kirudi katika enzi za mwaka 2005 lazima viongozi wahame Buguruni waje mikoani kufufua chama. Wafanye vikao na wagombea wote walioshindwa na kuwapa semina ili kuwatia moyo waendelee kukiunga mkono chama."
Mbalamwezi anasema tatizo jingine la viongozi wengi wa CUF ni tabia ya kukataa ushauri wa au ushirikiano na vyama vingine vya upinzani.
"We angalia hapa kwetu Mwanza, madiwani wetu hawakuipigia CHADEMA kwenye kura za kuchagua meya, badala yake kura zao mbili walizipeleka CCM, wakati kama wangewapigia CHADEMA kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kupata nafasi ya naibu meya."
Analalamika kuwa alitoswa na viongozi wa makao makuu katika nia yake ya kuwania ubunge 2010.
Anasimulia, "Wanaonilaumu hawajui kilichotendeka. Wanachama wa CUF wengi walio nje ya wilaya hii ya Nyamagana hawaelewi kilichotokea hapa kwetu."
Sasa ngoja niwaeleze, anasema. Alipogombea mwaka 2000 na 2005 hakupata msaada wowote wa fedha kutoka chama chake kwa madai kuwa hakikuwa na fedha.
Katika uchaguzi wa mwaka jana, Mbalamwezi anasema katibu wa wilaya ambaye pia ni mjumbe wa mkutano mkuu wa taifa wa CUF, Idd Katimba aliwaambia chama kingetoa fedha kusaidia wagombea wake.
"Nilipata nguvu na moyo," anasema. Aliamua kwenda makao makuu Dar es Salaam kufuatilia kupata msaada.
Lakini, anasema, hakuonana na Prof. Lipumba kwa vile alikuwa safarini nchini Ujerumani na katibu mkuu, Maalim Seif Shariff Hamad alikuwa ziarani nchini Uingereza.
Alibahatika kuonana na Shaweji Mketo, Mkurugenzi wa Uchaguzi CUF. Lakini kuhusu suala la kusaidiwa fedha za kuendesha mikakati ya kushinda ubunge, anasema, alijibiwa kuwa "Chama hakina fedha na hakiwezi kuwasaidia chochote wagombea."
"Nilipomwambia, mbona ninataarifa kuwa baadhi ya majimbo yametengewa fedha na chama, alikiri ni kweli lakini jimbo langu halimo."
Mbalamwezi anasema kwamba alichopata kwa Mketo ni kauli kwamba atamsaidia Sh. 2 milioni kwa ajili ya kununulia vifaa kama jenereta na kipaza sauti.
Aliomba kupatiwa vipeperushi na fulana za chama, lakini alijibiwa na Mketo kuwa hakuna isipokuwa angempeleka kwenye duka linalouza ili anunue kwa fedha zake.
"Nilivunjika moyo lakini sikukata tamaa. Kwa kuwa nilikuwa peke yangu niliyechukua fomu ya chama kuomba niteuliwe kugombea, niliendelea. Nilirudisha fomu kabla ya kusafiri kwenda Dar es Salaam.
Mbalamwezi anasema aliporejea mjini Mwanza aliarifiwa na Katimba (katibu wa Wilaya wa CUF) kuwa binti mmoja aitwaye Zabibu Ramadhani alichukua fomu za ubunge nje ya muda uliyopangwa.
Anasema wakati wa kura za maoni ndani ya chama, alipata kura 76 huku Zabibu akiwa na kura 94.
Baadaye alifuatwa na wanachama waliomuunga mkono na kumshauri akate rufaa. "Nilikataa kwa sababu niliona wanachama ndio walionikataa. Ilikuwa uamuzi wao wa kidemokrasia,"
Anasema majina yao yalipendekezwa na chama kujadiliwa katika vikao vya juu vya uchambuzi. Huko, jina lake lilirudi.
Uamuzi huo anasema ulimshtua kwani kati ya kata 12 za wilaya, nne tu zilimuunga mkono kwenye kura za maoni. Kata nane zilimkataa.
Aliwajulisha viongozi wa wilaya kwamba hatogombea kwasababu hakushinda kura za wanachama na alihofia kutoungwa mkono na wanachama hao wa kata zilizomkataa.
CCM Lowassa Sitta CHADEMA Kikwete Slaa Makamba Chenge Richmond Rostam Mkapa Pinda CUF Dowans Uchaguzi
Home / Udaku / Wema Sepetu / Wema Hajapewa Nafasi ya Upendeleo Kuigiza Filamu Mpya 'XBaller' - Napoleon
Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon, amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti moja la kila siku kuwa amempa Wema Sepetu nafasi ya upendeleo kuigiza kwenye filamu yake mpya, XBaller.
"Wema ana kipaji. Sio cha kuigiza pekee yake lakini pia "charisma". Kitu ambacho watu wachache sana duniani wanacho. Ni kipaji cha kupendwa na akiongea lazima umsikilize. Watu kama Hillary Clinton, Will Smith, Kanye West na hata Elizabeth Michael "Lulu" wanacho,' Napoleon ameiambia Bongo5.
"Lakini ukweli ni kwamba mara ya mwisho kuongea naye ni zaidi ya miezi mitatu na sijaongea na mwandishi yeyote kuhusu Wema kuwepo kwenye filamu hii ya XBaller. Kulikuwa na fikira za kumu-approach wakati nafanya Going Bongo kwenye part ya Nesi Tina lakini ilikuwa ngumu kidogo. Part aliyocheza Mkenya Nyokabi Gethaiga. Hivi sasa tunafanya usaili wa kutafuta vipaji Tanzania. Tumeshafanya usaili wa wasichana Dar. Tunategemea kufanya Arusha, Mwanza na Kati ya Mbeya au Iringa," ameongeza.
"Kuhusu nafasi za "upendeleo". Kuna msanii mmoja tu ambaye naweza ku-confirm kwamba kwa asilimia 90 atakuwepo kwenye movie hii. Jina lake ni Ann Kansiime ambaye ni mchekeshaji kutoka kwa jirani zetu Uganda. Part ninayotarajia acheze imefanana na personality yake ya uchekeshaji."
"Lakini jambo hilo litaamuliwa na director wa filamu hii ambaye ni Darius Britt kutoka Marekani na Kansiime mwenyewe. Kwa sasa ni mapema kidogo."
Wema Hajapewa Nafasi ya Upendeleo Kuigiza Filamu Mpya 'XBaller' - Napoleon Reviewed by Bongo Swaggz on 12:39 PM Rating: 5
bodi ya mikopo wasimama kisomi zaidi - UVCCM ni wanamipasho! JamiiForums The Home of Great Thinkers
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU HAIHUSIKI NA MIGOMO YA HIVI KARIBUNI KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU 1.0 UTANGULIZI
Ijumaa, Januari 14, 2011 wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) waligoma wakiwa na madai kadhaa dhidi ya Uongozi wa Chuo chao lakini pia wakidai kutolipwa mikopo kwa ajili ya chakula na malazi kwa robo mwaka ya pili. Kuhusu mikopo ya Chakula na Malazi ni kwamba, awali, Wanafunzi hao walilipwa kupitia Chuoni fedha za robo mwaka ya kwanza (siku 60) kabla ya tarehe 6 Novemba, 2010 chuo chao kilipofunguliwa. Mara baada ya wanafunzi hao kuripoti chuoni walitakiwa kujisajili na baada ya hapo Chuo kilitakiwa kuwasilisha Bodi, orodha inayoonyesha namba zao za usajili (Registration Numbers) na namba za Akaunti zao za Benki katika muda wa siku 30 ili Bodi iweze kuandaa na kufanya malipo ya robo ya Pili, kupitia akaunti zao. Lakini badala ya kufanya hivyo, katika muda uliopangwa, Chuo chao kilileta majina ya wanafunzi waliosajiliwa na wanaostahili kukopeshwa tarehe 28 Desemba, 2010, yaani uchelewevu wa zaidi ya wiki tatu! Pamoja na kuchelewa huko, Bodi ilishughulikia haraka malipo hayo na tarehe 7 Januari, 2011, malipo ya jumla ya sh. 241,800,000.00 kwa ajili ya Wanafunzi wapatao 806 yalifanyika na kupitishwa kwenye akaunti za Wanafunzi hao katika benki. Aidha, Bodi ingependa ieleweke kwamba malipo hayo ya robo mwaka ya Pili yalitakiwa yawe yamelipwa kwao mnamo tarehe 6 Januari 2011 (yaani baada ya siku 60 kupita tokea tarehe kufungua Chuo). Hivyo, kulikuwa na uchelewesho wa kama siku moja tu, ambao kwa kiasi kikubwa ulichangiwa na Uongozi wa Chuo na siyo Bodi. Wakati mgomo wa wanafunzi hao ukitokea tarehe 14 Januari, 2011 mikopo yao ilikuwa imekwishalipwa kupitia Benki tangu Januari 7, 2011. Hivyo, madai kuwa malipo haya yalifanyika baada ya wanafunzi kugoma si ya kweli na ni uzushi mtupu.
Jumanne Januari 18, 2011 wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es salaam (DUCE) nao waligoma wakidai malipo ya mikopo kwa ajili ya chakula na malazi kwa robo mwaka ya pili. Kama ilivyotakiwa kwa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa, Uongozi wa DUCE nao ulitakiwa uwe umewasilisha Bodi, orodha ya wanafunzi waliosajiliwa na namba za akaunti zao za benki kabla ya tarehe 6 Desemba, 2010 ili Bodi nayo iweze kuandaa malipo ya robo mwaka ya pili kwa wakati.
Mnamo Ijumaa, Desemba 10, 2010, wanafunzi wapatao 26 wa chuo hicho walifika kwenye Ofisi Bodi wakiwa na masuala yafuatayo; 1. Wanafunzi wanaoendelea na masomo kutopewa mikopo.
Uchunguzi uliofanywa juu ya madai hayo ulibaini kuwa wanafunzi husika matokeo yao ya mitihani yalikuwa hayajawasilishwa kwenye Bodi kama utaratibu unavyotaka. Msimamo wa Bodi ni kwamba kama sheria Na. 9 ya Bodi inavyotamka, Bodi haiwezi kutoa mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao Bodi haijapokea matokeo yao ya mitihani ya mwaka wa masomo uliopita. Hivyo, wanafunzi husika walishauriwa kufuatilia na chuo chao ili chuo kilete kwanza matokeo hayo Bodi na hivyo mchakato wa upangaji mikopo uendelee. Walifanya hivyo na baadaye Bodi iliachia malipo ya mikopo yao.
2. Majina ya baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoonekana kwenye orodha ya wanafunzi wanaopata mikopo.
Msimamo wa Bodi ni kwamba fomu zenye hitilafu hazitafanyiwa kazi hadi hapo taarifa zitakapokamilishwa na wanafunzi husika ambao orodha yao iko katika tovuti ya Bodi kuanzia Agosti, 2010. 3. Baadhi ya wanafunzi kutopata mikopo licha ya kuwa wana sifa stahili.
Uchunguzi wa madai haya ulionyesha kuwa Wanafunzi hawa ni wale wenye udahili kwenye zaidi ya chuo kimoja na wengine mikopo yao ilishalipwa kupitia vyuo walivyopangiwa na Kamisheni ya Vyuo Vikuu (TCU). Msimamo wa Bodi ni kwamba haiwezi kutoa mkopo kwa mwanafunzi mwenye udahili katika zaidi ya chuo kimoja. Hivyo, wanafunzi wenye tatizo hilo walishauriwa kuwasiliana na Vyuo vyao na TCU ili Bodi iarifiwe ni Chuo gain wanaruhusiwa kujiunga nacho. Aidha kwa wale ambao mikopo yao imeshapelekwa kwenye Vyuo walivyopangiwa na TCU, itabidi wasubiri hadi hapo fedha hizo zitakaporejeshwa Bodi na hivyo waweze kutumiwa huko walikohamia kwani Bodi haiwezi kulipa mikopo miwili kwa mwanafunzi huyo huyo (multiple loans).