Tweets
stringlengths
11
277
Labels
int64
-1
1
Hope ni huku Kazimzumbwi mwanzoni before njiapanda ya jeshi kwenye lami mpyaa DC
0
Ujumbe mfupi sms wa kwanza kwenye simu ulitumwa Disemba 3 1992 ambapo Mhandisi Neil Papworth wa Canada aliandika Mer
1
Ofisi ya jiji la Dodoma kwa kushirikiana na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania TAA yafanya mkutano na wananchi
0
Lengo hasa la kitabu hichi ni kuongeza hamasa kwa mabinti kuwa inawezekana pia kuwajengea Uthubutu ndani ya PB ya
1
Adeo tunaomba kufahamu unapowasha data kwenye simu yako unapata alama gani E2G3GH au 4G
0
Abubakar tafadhali tuambie ni tatizo gani haswa hutokezea unapotumia wifi kwa laini yako ya zantel ili tuweze kukusaidia
1
Leo tumeweka historia tutajenga km 300 kwa pesa yetu DarMoro 160kph Moro saa 1 tu CCM Mpya Tanzania Mpya
1
Shukrani Musoma Shukrani Mhe Mkuu wa Mkoa Brother Adam Malima Tuseme nini tenaNyumbani kumenoga
1
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Rais Mstaafu na Baba wa Taifa la Zimbabwe Mzee Robert Mugabe Afrika i
-1
Wakuu naomba support mwa Mtanzania mwenzetu aondoke na ushindi Link Chagua FLORINYAHTanzani
0
Kabla ujameza p2 hakikisha ulikuwa haupo katika dozi ya dawa Baadhi ya Dawa zinaweza kuizuia isifanye kazi kwa ufanisi Mfano wa dawa ni kama zifuatavyo Dawa zinazotumika kutibu kifafa mfano barbuturates primidone phenytoin and carbamazepine
0
Kuna watu wanashindwa kuoa kisa hawana maharini heshima ila kama mtu hana wampe tu bure
0
Kwani chama hakina pesa mpk useme hivo Serikal na chama wanashare account kwani
0
Utabiri wa Hali ya Hewa wa siku tano na athari zinazoweza kutokea Umetolewa leo tarehe 25082019 na Mamlaka ya Hali ya
-1
onet online shopping store tafadhali tembelea kwenye ofisi au duka letu Karibu ujiwahie ya kwako
1
Nami nawapatiliza wana maovu ya Baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichuki
0
Muonekano wa barabara ya Bwanga Biharamulo km 68 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami umekamilika barabara hiyo inau
1
Mwenendo wa wastani wa pato la taifa kwa mtu mmoja mmoja GDP per capita kwa mikoa 10 bora kuanzia mwaka 2004
0
Matendo ya wakati husika ni kielelezo cha wakati ujao
0
Asante sana na kwa wimbo mzuri wa kumuimbia Mama yangu Paskalina na akina Mama wote
1
So kwa mwalimu wangu wa tuition primary aliitwa Bryson huyu ndo alinipa msingi na kunifanya niipende hesabusijui yuko wapi ila mara ya mwisho nikikutana nae kwenye kitimoto sinai tukanywa na bia bila kumsahau NdimboPure Math advanceMungu azidi kuwabariki
1
Oyaaa pokea simu
0
Aidha amesema NMB inafanya kazi pamoja na wilaya na halmashauri zote nchini ikiwa ni pamoja na kutoa mikopo rafiki kwa wafanyakazi wa Serikali
0
Lazima tu Utakuwa na pesa Nyingine pemben ya kubadilisha diet njeya hio1M Pesaya kubadilisha mboga
0
Nchi ya drama na matukio Ila hii kama ikidhihirika ni kweli basi ni kashfa kubwa sana kitaifa Mark my words Maswali ha
-1
Kuna siku tulikuwa na mjadala humu nikashauri masomo ya watoto yangekuwa yanaanza saa 4 ukowataalamu wakasema sijui kuamka asubuhi inawasaidia nini nini kiafya
0
Ametokea wapi Mtoto wa Muamar Gaddafi aliyedhaniwa kufariki ajitokeza na kutaka kuiongoza Libya
0
Jifunze kubaki kimya kuliko kuongea vitu usivyokuwa na uhakika navyo
0
Miaka 20 iliyobadilisha maisha ya tuliowengi shukurani sana
1
Rais wa Uganda Yoweli Museveni amemuandikia barua Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga baada ya kusitisha utiaji saini wa mswada wa teknologia ya mbegu za kibiologiaGMO na kurejesha mswada huo bungeni kwa ajili ya kujadiliwa upya
0
huwezi kuamini wajukuu wako na ni wapenzi na wanataka kuoana
1
Yaliyomo kwenye Gazeti la Uhuru Leo ALHAMISI Novemba 1 2018 Habari za Kitaifa Kimataifa Michezo Makala Jipatie nakala yako kwa Tsh1000 2018
0
rahisi kupata simu hiyo Ahsante LM
1
Suala la tume huru linapaswa kuwa ni movement ya wananchiWanasiasa watatukuta mbele ya safari tukiwa tumeanza kutifuana na
1
Habari Aklei Asnate sana kwa ushauri wako Tutaufanyia kaziJ
1
Habari yako Habby Issahujanja ni kujiachia na mtandao bora kutoka tigoshukrani sana na endelea kufurahia huduma zetu
1
hii ni changamoto Tusikate tamaa kulitolea ufafanuzi Na tuhimize wanawake kugombea pia nafasi za wote
0
Masauni azindua mpango wa kusaidia wakimbizi
0
Zao la Chai lina fursa ya kuinua uchumi hapa nchini ya Wakurugenzi wa Wakala Wakulima Wadogowadogo wa zao hilo http
0
Mnunulie umpendaye jinunulie kama wajipenda abaya za kwenda unaambiwa designs ni kama zote cheki insta huku ujibambe http
0
Kwenye leo Dodoma wana Azaki wakiwa katika matembezi kuelekea ukumbi wa Jakaya Kikwete kwenye shughuli nz
0
Unaweza badilisha muonekano wa eneo lako na taa hizi za pembeni Karibuni ndugu zangu
0
MKUU WA WILAYA YA KISARAWE MHE ATEMBELEA OFISI MAKAO MAKUU katika ziara hiyo Mhe Jokate ameliomba
0
Tunaposema tunazungumzia kazi kubwa ya kuhamasisha wanawake kuwa viongozi kuanzia mwanamke mwenye miaka 12
1
Naibu Rais Iran aambukizwa virusi vya corona Nigeria yaripoti kisa kimoja via
-1
Kusema ukweli japo huo ukweli unauma sana na ni ngumu ku acceptila kama imeshindikana kabisa yani hakuna namna
0
Unaomba Mungu awaue ADUI zako wakati maandiko yanasema Anaandaa meza machoni pa watesi wako Watesi wamekufa Mungu ataandaa meza ya nini sasa
0
Tarehe 2528 katika Maonyesho ya Kutakuwa na Mijadala Mbalimbali Itakayowakutanisha Azaki Pamoja Na Wadau
0
Msaada twitani Naomba mwenye namba ya Simu ya Mwenge ZahanatiHata ya Dr yoyote Natanguliza shukrani
0
Naomba kuuliza taratibu za kufuata na wapi ambako naweza kusajili au kupata kibali cha kurusha drone camera au kupata mt
0
FURAHA INAKUJA PALE UNAPOACHA KULALAMIKA KUHUSU MATATIZO ULIYONAYO NA KUMSHUKURU ALLAH KWA MATATIZO USIYOKUWA NAYO MWISHO TUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO
1
Leo 23 Mei 2019 ni Siku ya Umoja wa Mataifa ya Kimataifa ya Kutokomeza Fistula ya Uzazi Kauli mbiu inasema Fistula ni U
0
Watu wameondolewa kisa wana vyeti feki bila uthibitisho nadhani wananchi sasa hivi wameanza kuelewa kwanini tulitaka k
0
Kuna story ambayo mke wangu hapendi kusimulia imekuwa ikimtesa sana Ipo hivi mke wangu ni mmoja wa watu waliozaliwa a
-1
Watoto tunawa underestimate sana kwenye uwezo wa kiakili Watoto ni wadadisi kuliko watu wazima Watoto ni risk takers ku
0
Simba SC 4 5 Sevilla FC FT tzsportpesa laliga
1
Tunajivunia kwa mwaka wa tatu kuwa na partnership kupitia tuzo za na imetufungulia milango m
1
Semina kuhusu ugonjwa wa Ebola Soma zaidi gtgt
0
SISI WATANZANIA TUMEAMUA Lililokuwa daraja la miti na kamba ambalo lilikuwa likiunganisha wananchi wa Mkoa wa Rukwa n
0
Kama elimu ikimsaidia ila akiitumia vibaya ndo ile ya umeuza ngombe kuisomesha ngombe ikampe mtu mimba ipigwe faini ya ngombe
0
Namna ya kutengeneza pesa Mtandaoni Ungana nasi kesho kwenye jukwaa la kuanzia saa 500 530 ASBH upa
0
RAIS MAGUFULI AZINDUA RASMI PROGRAMU YA PILI YA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI ASDP 2
0
Tusiruhusu Bidhaa feki toka nje kuingizwa sokoni kwani zinaweza kuua viwanda vyetu
1
Aiseeee This is nonsense hivi ameongea baya gani mpaka mtu unaropokwa maneno yote hayo
-1
yana ukomo mwaka 2030 Hivyo ni miaka 10 tu imebaki Lazima tuongeze juhudi zetu Sasa anasema
0
Rais akivuta utepe pamoja na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke kuashiria ufunguzi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 2100 kwa wakati mmoja Wengine pichani ni Viongozi waastaafu mbalimbali kutoka nchini Tanzania
1
Tanzania kuna watu milioni 50 weka watu milioni 30 wanaoku milo miwili kwa siku zaidi ya sahani milioni 60
0
habari pole kwa usumbufu uliojitokeza kuna tatizo la kiufundi kwa upande wa tigopesa na wataalam wetu wanafanya jitihada za kutatua tatizo hilo mapema iwezekanavyo tafadhali jaribu tena baadae
0
Wakazi wa kijiji cha Nkungwe wilaya ya Kigoma Mkoani Kigoma wameipongeza serikali kuanza kutatua changamoto ya ujenzi wa daraja la watembea kwa miguu katika mto Luiche Soma zaidi gtgt
0
Je wajua kuwa watu huzishika nyuso zao aghalabu mara 23 kwa lisaa limoja basi ni vyema tujali afya zetu kwa kunawa mikono yetu mara kwa mara na Maji Safi yanayotiririka kwa sabuni au vitakasa
1
Habari kama umesahau namba yako ya siri naomba utembelee ATM ya NMB iliyo karibu na wewe ili uweze kujitumia namba ya siri mpyaYN
0
Kamati ya ya Miundombinu imesema bajeti ya Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka wa fedha 201819 imeshuka kwa Asilimia saba kutoka Tsh Trilioni 45 mwaka 201718 hadi Tsh Trilioni 42 mwaka ujao wa fedha
1
Kesho Januari 10 2020 Rais anaanza ziara ya kikazi Visiwani Zanzibar ambapo ataweka jiwe la msingi la
1
Mkuu wa wilaya akisalimiana na wasanii mbalimbali waliojumuika katika Ziara ya Makamu wa Rais
1
Eehsema sista alikuwa anatuwekea msosi kwa siri getosema ndo tunakuta umepoa kinoma
0
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto amesema Serikali haina nia ya kuyabana Mashirik
0
Kesho nitakuja na uzi wa Je Wajua za tofauti kidogo Lau unipatie wasaa wako kesho nikusogezee darasa kiganjani kwako
1
Shukrani sana kwa kuwa balozi mzuri
1
pia fahamu ya kuwa tunafanya maboresho kwenye menyu zetu za vifurushi ili kuwapatia vifurushi bomba kabisa wateja wetu Tafadhali piga 14700 au 14800 chagua saizi siku wikimwezi au Halichachi kupata vifurushi vyetu vilivyobo
1
Leo saa 8 mchana Live On Live 1077 Upendo fm Radio Dsalaam Tutakuwa na Tukizungumzia UMUHIMU WA KIJANA
0
Umeona wapi bonasi ya 300 za dakika na mpaka 2GB za data Ukijiunga na kifurushi cha Bonga au MpakaBasi cha siku au wiki kutoka Zantel utapata Bonasi hii Kwa maelezo zaidi bofya
0
Naibu Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amewataka Watanzania kuweka Fedha zao katika Benki za Kiislamu zilizopo nchini ambazo hazina riba ili ziwasaidie katika mafanikio mbalimbali
0
Uko sahihi sanaunaweza ukaua ratiba zako ili ufanikishe la mtu aliyembali ila siku ukisema siwezi nimeb
0
Jana Aubameyang Alikuwa Na Odds 2 Leo Kama Una Hela Unataka Kuzalisha Mpe Lewandoski na Haaland Frame 2 Ods
0
Na ndio maana kujenga barabara hii ni muhimu Ili yake magari yatakayokuja kudhughulika hapa mitambo wawekezaji watakaokuja hapa usafirishaji wa madini haya Barabara isije ikawa kikwazo RaisJPmRuangwa
1
One Branch Network ni mfumo unaoruhusu kufanya miamala ya papo kwa papokwenda matawi yote ya katika
0
Mbinu mojawapo ya watawala ni kuwafanya watawaliwa kuona kwamba maadui wao wanatoka nje ili wapambane nao badala ya ku
-1
Unakuta wengine ndio kwanza wanapenda kukuona ukiwa tegemezi kwao
-1
Abaya in stock kwa 95000 tu Ipo pia rangi ya Pink Maroon Mustard yellow na Royal blue Nafanya delivery na mikoani natum
0
TAARIFA KWA WAKULIMA NA UMMA KWA UJUMLA JUU YA MUELEKEO WA MVUA NCHINI KUTOKA TMA Link
1
Ahsante kwa kutembelea ukurasa wetu Zantel mtandao nafuu zaidi nchini
0
umeme ambapo miradi ya usafirishaji kutokana na umbali huo inakuwa ni ya gharama sana Kutokana na kuwa mahitaji ja umeme yalikuwa tayari ni makubwa katika maeneo ambayo hata hayajafikiwa na gridi ya Taifa ililazimu kufanya miradi mbadala kwa ajili ya kufikisha umeme wa
-1
Hongera Mh Hongera mama Samia Suluhu Hongera wabunge na madiwani wateule wote Tukajenge nchi sasa
1
Namba yako ya simu duka ulipowasilisha taarifa zako kwa msaada zaidi Ahsante OE
0
Tumeshavuna aibu yetu Olympic Tokyo Waliokabidhiwa bendera wako wapi mpaka mtu kaamua kutusaidia kubeba Bendera
-1
Tutafanyia kazi kubadili vifurushi hivyoKA
0
Hawa Jamaa Kazi Yako Sio Ya Kitoto Aiseee Cheki Mchuma Ulivyo kuwa kabla na baada Wanapatikana Mitaa Ha Si
0
Hakuna atakae hustle badala yako
0
Massele Ndugai wavurugana
-1
Npe darsa kidogo Darasa ninalolijua Mimi ni kuwa ukijifukiza UnAeza athir mfumo wako wa upumuaji Npe darasa
0