Tweets
stringlengths
11
277
Labels
int64
-1
1
My point is akitaka mimba huwezi kupanguaatakwambia yuko safe kumbe ni danger calendar ilishabadilika na haujui
0
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania TABOA kimemwandikia barua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kujitoa kwenye kamati ndogo Akizungumzia sababu za kujitoa ktk kamati hiyo Katibu Mkuu wa TABOA Ernest Mrutu alisema wamefikia hatua hiyo kutokana na changamoto zao kutotatuliwa
-1
Leo huna haja ya kuangaika sana kufikiria cheza NAMBA 1 tu tukulipe mara 5 ya dau utakaloweka ndani ya dakika 2 tu Kamp
0
Leo ni siku yako ya kuzaliwa ya kwanza tangu ututoke Leo ni siku ya kuzaliwa kwako bila uwepo wako shujaa wetumpatanish
-1
Usiweka ndoto zako rehani kwa starehe ya muda mfupi Tumia
0
Kutuma picha za faragha mitandaoni inaweza kuwa jambo la kufurahisha hadi pale siku utakapogundua kuwa maisha yako ya b
-1
Laki moja bank inaeza isha ndani ya siku moja fresh kabisa Kiufupi hata wiki haitoboi Followers laki moja wanaweza ku
0
VIDEO MWENEZI HUMPHREY POLEPOLE AKIZUNGUMZA NA WAKAZI MWANGA KILIMANJARO Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi hpolepole akizungumza na wananchi wilayani Mwanga ambao walilalamikia uwepo wa
0
Habari fika Kilombero madukani kuna duka letuKA
1
Pole sana kwa changamoto hiyohatuna lengo la kuwaibiatunaiboresha huduma ya kuangalia saliotunaomba utupatie namba tafadhali tukuangalizie
1
Tunawakosea sana watototena hao baby skuli wanatakiwa wasome shule za jirani yani dada ndo anampeleka kwa mguu tu
-1
Habari Ahsante kwa uvumilivu wako pole sana kwa changamoto uliyoipata Huduma ya internet sasa imerejea Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu uliopata Vodacom tunaahidi kufidia MB zako ulizopoteza kuanzia leo asubuhi AhsanteNM
0
Bila ya shaka tuna cha kujifunza katika hili
0
Mjublo kashaibuka Cousin 420 ni mwendo 2000 tu Watagg washikaji tukutane Cousin Leo
0
Maziwa Bora kabisa ya ngombe Maziwa Fresh mazuri mazito yana cream yake ya kutosha Lita 3 9000tzs Lita 5 120
1
Utamu wa mpya ya The Lion King kutoka kwa fundi wa muziki ulimwenguni sasa unakujia kiganjani mwako kupitia Utamu huu utaanza kupatikana kesho Julai 26 2019 Kumbuka kujisajilisubscribe ili mambo yawe poa
0
Liverpool imethibitisha kuwa kiungo wa kati Fabinho atakuwa nje uwanja kwa wiki 8 baada ya kuumia kifundo cha mguu ank
0
wanasemaje kuhusu Majukwaa ya kidijitali Mtoto wa kike anaweza kupata nini mitandaoni
0
Wewe mwenyewe marashi tosha dada yangu wa kunukia hapana labda huo wa Mia 300
0
Maneno ya hekima sana haya Kila mtu na safari yake
0
Habari tafadhali piga 14700 au 14800 chagua saizi siku wiki au mwezi kupata vifurushi vyetu vilivyoboreshwa zaidi
0
So wazee wanawanyanyasa hadi wajeda sio sisi raia tu sijapenda Me nawaaminia sana wajedasiku za mbeleni najua hamtotuangusha wanetu na mtakuwa mmechukizwa sana ila basi tu
-1
Tafadhali piga 14700 au 14800 chagua siku wiki au mwezi kisha chagua namba 2internet kupata vifurushi vyetu vilivyoboreshwa zaidi
0
Alhamdulillah Nimefarijika sana kwa heshma hii Asanteni sana kwa ishara hii ya kunishukuru
1
Kwa Mujibu wa Msikilizaji wa Radio Free Afrika huko Mugumu Serengeti ndugu William Kitengai anasema haya ni maji yanayotoka bombani katika eneo lake na ndiyo maji wanayategemea kwa matumizi mbalinbali ya nyumbani
0
Me mwenyewe linanishinda kuliandika ila nalikumbukaumeniita jina langu nikaogopa
-1
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto unayoipata Tunapenda kukufahamisha kuwa salio lako linapungua kutokana na kuwa umejiunga na huduma mbili
0
Ni muhimu kufahamu kwamba mitandao ya kijamii si kila kitu Tusijikute tunaumizwa na attacks mbalimbali Kila mtu ana
1
Kupitia Tutawakumbusha waendesha pikipiki kujiepusha na vitendo hivyo na badala yake wawe mabalozi wa kuwalinda watoto wa kike ili waweze kutimiza ndoto zao za elimu Tunatambua vitendo hivi vinafanywa na baadhi tu lakini vichafua sifa ya waendesha bodaboda wote
0
Pia Meneja Kanda ya Ziwa Abraham Augustino Meneja Tawi la Kenyatta Amos Mubusi na Meneja Mahusiano Mwandamizi Biashara za Serikali Suma Mwainunu
0
Habari Tafadhali fahamu kuwa akaunti yako imewezeshwa kifurushi cha DStv Bomba Tshs 19000 tafadhali acha kisimbuzi
1
Unakumbuka hizi Sheria zetu za mpira utotoni 1Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira 2Dogo mnene Lazima awe golikipa 3Mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze 4kama haujashiriki kufuma mpira unaweza ucpate namba
0
Mwanaume unajua kupika chapati ya duarakufuakuosha vyombokufanya usafi na kukuna nazi Unawahi nn katika ndoa
1
Vijana tuwe na heshima tunapoona mtu kampost mkemume au hata mtoto wake swala la hana tako miguu membamba au kibonge s
-1
Pamoja sana Gasto endelea kufurahia huduma za AirtelJ
0
UCHAMBUZI Mwalimu akithaminiwa elimu yetu itapanda chati
1
KUNA LA KUJIFUNZA KWA MTOTO MALCOLM MASOUD KIPANYA Jina langu ni Malcolm Ali Masoud ni mtoto wa kwanza wa Ali Masoud Kip
1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein ametunuku Nishani ya Mapinduzi Nishani ya Utumishi uliotukuka pamoja na Nishani ya Ushujaa kwa Viongozi Watumishi wa Umma Maafisa na Wapiganaji wa Idara za SMZ na wananchi mbalimbali wenye sifa maalum
1
TARURAKILOMBERO NI KWELI DARAJA LA MTO MNGETA LIMETUMIA TSH MILIONI 31 Meneja wa TARURA Mhandisi Robert Magogo amesem
0
Video Vixen Bongo aliyejitosa katika muziki wa Bongo Flava Gigy Money amemshauri Young Dee kupunguza mitandao ya
0
Kama una rafiki ako na unajua ni muathirika na anatumia ARV usisite kuwa una mkumbusha kunywa dawa
0
Pole sana kwa changamoto uliyopata tunaomba mrejesho unaopata na namba yako ya nmb mobile inbox tafadhaliYN
1
Habari Quban Kwa sasa hatuna tawi mkoani Dodoma ila huduma zetu zitafika huko hivi karibuni
-1
Hivi kupima VVU si bure Wapendwatuwe na desturi ya kupima kila baada ya miezi mitatu kujua afya zetu na kama ukikutwa
0
Huyu kauli zake naziamini sana Hana maneno mengi na kase
1
PICHA Waziri akutana na viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika Nachingwea ili kuwahamasisha juu ya kujiunga na mfuko wa bima ya Afya WizaraYaAfya twitter
1
Ukifafanua vyema maoni yako yatatusaidia katika kujeng
1
Ukikaa kwenye mvua unalalamika huna maji ya kunywa hayo matatizo unatafuta wewe mwenyeweTanzania ina fursa nyingi S
0
Kile tulichokuwa tunakisubiri sasa kimewadia kaa tayari leo saa 6 Mchana kwenye channel 103 SinemaZetu tutakuwa na mkuta
0
Tunapenda kukufahamisha kuwa makato ya kila mwezi kwenye akaunti ya Akiba ni tsh 1888 tu VN
0
Ukihamisha kiasi hicho gharama yake ni sh 6136
0
Kulikuwa na jamaa ambaye alikuwa ni fundi viatu Alikuwa sio muongeaji sana Muda mwingi alikuwa busy kushona viatu na ku
0
Mchango mwingine wa Azaki ni kwenye maboresho ya sera Sera kwenye sekta kama ardhi ajira na mirathi bado ni changamoto
0
Kwa mujibu wa nyaraka za mwaka 1997 za kampuni ya UMICO ilionyesha wanahisa wa kampuni ile ni Barnabas Mathew Dismas Ndungur
0
Wenye IMANI huamini KESHO ni BORA kuliko JANAWenye MASHAKA huamini KESHO ni MBAYA kuliko JANAWenye IMANI HUJIPANGAweny
0
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim jana Disemba 11 2018 alimpokea na kumkaribisha Waziri Mkuu wa Misri Dkt Mostafa Madbouly ambaye aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
0
Karibu ya kuanzia saa
0
Baadhi ya wakulima wa korosho Tatizo hili la uchanganyaji wa mchanga na korosho kwa kweli linatuathiri sana sisi wakulima linatengeneza mazingira ya ukosefu wa masoko ya mazao yetu
0
VIDEOWatu 6 wamepoteza maisha na wengine 30 kujeruhiwa kwenye mlipuko uliotokea leo katika kiwanda cha kemikali mashariki mwa China CGTN
-1
Je umewahi jiuliza SEO ni nini Huu hapa UZI utakupa general overview SEO Search Engine optimization ni process ya kufan
0
E bwana MC shupavu huu ujumbe wa humu ni zaidi ya inspiration tulimiss sana ngoma za namna hii You nailed
1
Pamoja sana Endelea kufurahia huduma zetu na tunakutakia Siku njema
1
me nimepita asubuhi vimebomolewa vyoteina maana ni usiku na hawajahusishwahuu ni uhuni
-1
Sema tuwe serious na branding za wachezaji wetuifike point wajue wao ni bidhaa ukiachana na kucheza mpira tu
1
Sasa kumbe tunazungumzia kitu kimoja katika lugha tofautiso mwanamke ndo ana nguvu kubwa kwenye hili
0
Chuo Kikuu cha London nchini Uingereza kimeanzisha sera ya marufuku ya mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanafunzi na
0
Ahsante kwa mrejesho huu mdau
1
Hii imenkumbusha mbali asee
0
Wakati tunamumba mungu siku hizi Mh rais tunge zuia safari za kuingia na kutoka Dar huku tukimulika na mij
0
Kwanza kufikiria tu kila banker ni teller ni kipimo tosha cha uwezo wa mtu kufikiriso tuwaache
0
Barakoa hainikingi mimi pekee bali huikinga familia marafiki na jamii inayonizunguka Abby Hata kama umechanja
1
Leo tumekabidhi nyumba za watumishi wa afya 60 zilizojengwa katika wilaya 6 mkoani Lindi
1
Unapigana na kipofu afu unashangalia kuwa umemshinda Uwezi kumfunga yanga akiwa kamili Refa wenu na tumemuona
0
Msimamo wa Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga
0
bro na sister nawaona peace xna zero majivuno bright talented hawakeri yan mungu
0
uliowasilishwa na Afisa Mkuu wetu wa Wateja Binafsi Biashara Ndogo na za Kati Filbert Mponzi kwa Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mbele ya Wakulima wakiongozwa na Mwenyekiti wa Vyama vya Mkonge Mkoani Tanga Greyson Nyari
1
Tunaendelea kukupa uhuru wa kuongea PIGA 14915 Kupata uhuru wa kuchagua bando unalohitaji toka Zantel
1
chanel yetu ya MMB DStv 160 na hivi karibuni vipindi vingine vipya vitaanza kurushwa katika chaneli hiyoGift
1
Hapanahizi events ni fursa za kuingiza kipato kwa wafanyabiasharazinakusanya wateja wengi kwa pamojahakuna kiingilio na tofauti ya bei ni kati ya jero mpaka bukusio mbaya
0
Mzigo genuine mzee
0
Mshambuliaji wa Klabu ya Azam Donald Ngoma ametia saini mkataba mpya wa mwaka mmoja na Klabu hiyo utakaomweka klabuni hapo hadi mwaka 2020 baada ya Benchi la Ufundi chini
1
Vijana wametakiwa kujitambua na kujenga utaratibu wa kupima na kulinda afya zao ili kuwa na taifa lenye nguvukazi ya vijana watakaokuza uchumi wa nchi hususan kutokana na kubainika changamoto ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa kundi hilo
1
Humu ndani kuna watu wana madini mengi sana shida ni kwamba ukiwaomba waziteme watakuzungusha Bora uweke notification on
-1
Fumbo lingine ni mafanikio ujui utafakiwa ln But unakomaa unasemaIpo cku na mm ntatoboaln ss
0
hata nyinyi tunachukua ushindi kama tumesimama
0
Bonus saving is good Nimefungua hii akaunti personally
1
Habari 5 za siku kutoka Uhuru Digital Novemba 21 2018
0
Waziri wa Sera Bunge Kazi Vijana na Ajira Jenista Mhagama leo Februari 172020 amezindua mfumo wa kisasa wa ma
1
Network yenyewe ya Airtel Kila jambo kwa wakati wake na wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
1
Tar 12082018 Niliongozana na Bw Mussa Gama Mkurugenzi Halmashauri ya Kisarawe kufanya kikao muhimu cha Mashirikiano kati
1
ukisema unapenda mwenye komweunaambiwa kwahiyo sisi ambao hatuna ni wabayakupangiana tu
0
Anaweza kujiunga kwa kutuma neno KUBALI kwenda nambari 15888 Au kama Endapo atapendelea kujiunga kwa online abonyeze SAJILI SASA kupitia tovuti yetu kisha ajaze namba yako kwenye kisandaku cha RAFIKI NAMBA LM
0
Watu wengi ambao walipata experience ya madhira ya Uviko 19 hawasiti kupata chanjo kuliko ambao haikuwatwanga vizuri Kwanini inakua hivyo
0
Black taafadhali tunaomba namba yako ya simu na tarehe husika kwa ajili ya taarifa zaidi
1
Leo Mpaka Alhamisi Kuna Hela Kwa Muhindi Mimi Nimetengeneza Bomu Hili Linaitwa Ngumu Kumeza Odds Kubwa Kubwa Kama H
0
Napenda nichukue Fursa kumshukuru Mungu na kukushukuru wewe pia kwa kuweza Kupata Nafasi ya Kupromote kitabu Uzinduzi Ulikuwa Mzuri wa Kitabu katika CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO Naomba tuwasiliane kwa namba Whats App no 0624613046 i
1
Mdogowangu Dengelesi anapendwa sana na Cocosiku atutie aibu sijui tutaficha wapi sura zetu wasukuma wa Mwanza
1
TAARIFA Dkt Hassan Abbasi ataendelea kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali hadi pale atakapopatikana Msemaji Mkuu Mwingine
1
TOTAL AFCON 2019 CAIRO Taifa Stars yachapwa 3 bila na Algeria Dakika 90 2019
0
Nachoshukuru imeanza kufungia simu kwa awamu ili athari isiwe kubwa ila kinachotakiwa kuwe na mazingira rahisi k
0