Tweets
stringlengths
11
277
Labels
int64
-1
1
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Ndugu mteja ili kuendelea kutoa huduma bora zaidi tumepitia upya gharama zetu za M pesa na kufanya marekebisho
1
Habari Kaka wa Taifa tunafanya hivyo ili kuupdate taarifa za mteja ikiwepo kuwa na picha yake halisi ya wakati husika gtBM
1
Hongereni Sana Wizara ya Afya Waziri Naibu Waziri Katibu Mkuu Dkt
1
Usiwachanganye watu ambao wako karibu na wewe kila wakati kwa watu ambao watakuwa karibu nawe kila wakati
0
MWANAMKE tafadhali usiruhusu mwaka upite bila kupata vipimo hivi vipimo vya saratani ya shingo ya uzazi vipimo vya
0
Kipindi nimemaliza elimu yangu ya shule ya msingi sikuweza kupata matokeo mazuri yakunifanya niende kidato cha kwanza H
-1
Huko Makao Makuu Dodoma NBS Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar wamezindua chapisho muhimu kuhusu takwimu
0
Busara na hekima inatakiwa kutumika
1
Kila hatua ni muhimu kwa Leo kwa mfano Tembea kwa miguu Panda basi Endesha baiskeli Usitumi
0
Mtag jamaa yako ambaye unajua michongo ya kutumia Condoms sio yake mwambie litakupata jambo
0
Traveler habari Tunapenda kukufahamisha bado unaweza kufurahia ofa mbalimbali ya vifurushi kwa kupitia saizi yako na ukaweza kupata vifurushi kulingana na matumizi yako bonyeza 14700 au 14800 kuweza kujiunganisha
0
RCD Espanyol de Barcelona au Wolverhampton Wanderers FC watachezea nyavu Magoli mangapi leo otea Bet SASA ushinde
0
TAARIFA MUHIMU KWA WATANZANIA
0
Mama mzazi wa mwandishi wa Habari za uchunguzi anayeshikiliwa na Dola Erick Kabendera Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia Desemba 312019 Taarifa za kufariki kwake zimepatikana alfajiri ya leo Januari Mosi
-1
Kila hatua dua Mdogo mdogo Wananchi wanaanza kuelewa umuhimu wa chanjo ya Uviko 19
1
ZINGATIA HAYA WAKATI WA UJAUZITO BAADA YA KUTAPIKA 1Mara baada ya kutapika sukutua kinywa chako kwa maji safi ili
0
Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kuuawa kwa Katibu wa CHADEMA Jimbo la Manyoni Mashariki Bw Alex Jonas usi
-1
Yaliyojiri Viwanja Yote Unayotakiwa Kujua Kuhusu Ligi Za Ulaya Wikiendi Iliyopita Soma zaidi
1
John Mrema Tumekuwa na mafunzo kwa wanawakekila mwaka wana graduate wanawake 120 kwenye masuala ya uongozi Mwenyekiti wa B
1
Ahsante kwa kuwasiliana nasi endelea kufurahia huduma zetunk
1
tukianza kuzalisha umeme mwingi wa gesi hatutakuwa na matumizi ya 1bl USDyr ya umeme wa mafuta
1
Retweet tweet hii Kama unampenda baba wa Taifa Na unataka kuwajuza wenzio kua inakupa 10GB kwa Shilingi 1000
0
Vyakula vya watu wabahili au wasio na hela
0
Mke mmoja wawili au kumi Na kaianzisha sababu anataka kuoa wake wengi wengi
0
lunyilija njigaba awali kabla ya maboresho haya ulikua unapendelea kutumia vifurushi gani na kwa sh ngapi
0
Bro leo nilikuwa Lecture room kidogo mtandao kwangu ukuwa poanilishidwa kuchangia but mejifunza mengi na huwa siachi kukushkuru kwa mchango wako unajua watu wanadhani uchache wa followrs basi huyu hana madini yyte bro Lkn ulikuw
1
Basi walitakiwa wawatoe kisiasa pia matumizi ya nguvu nyingi sio sahihihapo wameua hadi mtaji
-1
Vijana wamejibana wapate mtaji wa biashara Mnawaita machinga ingawa si wote kutoka Mtwara Mbaya kuliko zote mnavyovun
0
Dunia haina huruma Huyu mkata mauno ameondoka bila kumjua ni nani
0
Ahsante kwa kushiriki nasi Muslavic
1
Mnajitahidi sana kiukweliZoezi likikamilika mtawapunguzia kazi maafisa uhamiaji maana taarifa za mtu na
1
Jiunge na huduma za kibenki kupitia simu yako ya kiganjani ili upate ujumbe wa sms wa miamala ya akaunti yako na kuwa karibu na akaunti yako popote ulipo
1
Pole kwa tatizo na usumbufu uliojitokeza tafadhali tutumie taarifa za akaunti yako kwenye kisanduku chetu cha ujumbe kwa msaada zaidi gtBM
0
Unatumia Premier Bet Kuweka Mikeka Yako Ungependa Kupata Maoni au Mawazo Kabla Ya Kupandisha Mkeka Njoo Kwenye Gr
0
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma z
-1
14 Unayemkaribisha ambaye hajawahi kusajili namba yake SportPesa atume neno KUBALI kwa namba yake ikifuatia na namba yako Mfano KUBALI 07 kwenda 15888 Kwa online abonyeze SAJILI SASA kupitia website yetu kisha ajaze namba yako kwe
1
MKANDARASI MHANDISI MAJI WILAYA WASUKUMIWA NDANI ARUSHA Naibu Waziri wa Maji jumaaaweso aagiza kukamatwa kwao Asema ubabaisha wa watendaji kwenye miradi ya maji sasa umefika mwisho
0
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa amesema haoni umuhimu wa maadhimisho ya wiki ya maji ilhali wananchi wanalalamikia ukosefu wa maji hivyo kutaka malengo ya kumpatia kila mwananchi maji safi na salama yatimie Soma zaidi gtgt
0
Habari Ndugu Black Pole sana kwa changamoto hiyo ondoa shaka tutakuhudumia tafadhali tutumie namba yako kwa upande wa inbox yetu ili tuweze kuangalia kwa upande wetu AB
0
Tunachukulia vitu kwa wepesi sana imagine hawa makomando watoke halafu waamue kulipa kisasini kumuomba Mungu tu yaishe salama
-1
Habari hatuna tabia hiyo Endelea kufurahia huduma zetuJ
0
Nina mpango wa kushare skills za Drone kwa wanadada ambao watakua na utayari plus Passion ili tuwe hata na mapilot wa kike
0
Mwisho wa Michongo Kibao Wowzi Inaileta Kama Una App nenda Kacheki Invitations Kuna Mchongo wa Netflix FB na wa Wowzi Tw
0
Bibi wa ovyo anampata mume mzuri
0
Nakumbuka mama alisema muwatafutie wamachinga utaratibu mzuri kama alichokifanya Msando moro na sio muwavunjie vibanda vyaohalafu warudishieni hela zao za vitambulishomaana kazi ya kitambulisho ilikuwa wasiguswe
0
Hongera sana mwalimu Wewe ni mfano kwa wengi
1
Kama sehemu ya Mradi wa Miss International Albinism Awareness DayIAAD 202122 A change in the skin tone never chang
0
karibuni kupata kitabu changu kipya Kipo TPH Samora Avenue 15000 tu Kiliandikwa kwa ajili ya vijana lakini kina
1
Muonekano wa Barabara ya Sabasaba Kiseke Buswelu iliyojengwa na wakala wa barabara za Vijijini na Mijini TARURA Ilemela
1
Vijana kutoka DTBTanzania tawi la Mwanza wakikabidhi mifuko ya Saruji kwa Mhe Stanslaus Mabula Mbunge wa Nyamagana Mwanza jana Huu ulikuwa ni machango wa benki yetu katika kukabiliana na changamoto ya upungufu wa madarasa katika shule za msingi zilizopo mjini Mwanza
1
Mambo 10 muhimu sana usiyopaswa kuyafanya kwenye Akaunti za Biashara humu mitandaoni Tuungane siku ya kesho saa 430 A
0
Kasi Ya Watu kufanya Mazoezi Ni Kubwa Mno Sasa 125000 Badala Ya 150000 Whatssap
1
Mambo ya kujua kabla ya kuwekeza kwenye kilimo 1 Uhakika wa mnunuzi wa mazao yako 2 Mahitaji ya bidhaa ya wanunuziwateja wako katika misimu 3 Njia rahisiza gharama nafuu za kuwafikishia wateja bidhaa 4 Jua gharama halisiActual Investment cost ya uzalishaji
1
HABARI NJEMA KWA MASHIBIKI ZANGU Kwa mujibu wa viwango vilivyotolewa na mtandao wa ngumi za kulipwa wa dunia
1
Tangu kuanza kwa kampeni ya mwaka 2012 idadi ya watu wanaogua ugonjwa wa kuhara imepungua toka milioni 14 mpak
1
Nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitaweza Nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza Mara ya tatu marafiki wakanize
0
Jumamosi Ukiumiza Kichwa Sana Unapoteza Ya Kwangu Miwili Tu Normal Mechi 6 Odds 12 Stake 10000 Goals Mechi 6 Od
0
ngoma bora ya mwakahutaki jinyonge
0
bendera ikipepea inapokea maneno mujarabu
0
Ukweli ni kwamba hakuna tajiri aliyeajiriwa
0
Nipashe Ijumaa Februari 7 2020
0
Makabidhiano ya Ndege ya Pili ya iitwayo yamefanyika Jana huko Nchini Canada Janaambapo Ndege hii ya p
1
Serikali haina nia ya kunyanganya ardhi ya wananchiMhe Mabula
-1
Kumbuka miti hubadilisha majani yake wala sio mizizi yake
0
Mimi suala la kuamini wanafeli kisa lugha ndo silitakikama shida ni lugha basi tuinvest kwenye iyo lugha ili wa faulu gharama za kutafuta walimu wazuri wa kiingereza ni ndogo kuliko kubadili masomo yote kwa kiswahili
0
Samahani kwa usumbufu tunaomba Mawasiliano na sehemu husika inayokosa huduma ya umeme
0
Ushauri Rudi tena kasikilize vizuri speach ya gwajima na utujibu vizuri kulingana na hii video ya joe Biden http
0
Tovuti ya ipo wazi kupokea usajili wa Asasi za kiraia Sekta binafsi na sekta ya Umma kushiriki
0
Ndio maana wanamshtaki ZPC Mambosasa na tunawaunga mkono Kwa sababu ZPC hana Himaya bila ya RPC Mambosasa
0
Wachezaji wa timu ya GIPCO FC wakipokea maelekezo kutoka kwa makocha wao katika mchezo
1
Huu ni ukomavu Serikali itaendelea kusimamia umakini katika tasnia ya habari
1
Tatizo mlituma watu waandamane Siku ileili kukimbia kichapolkn mbio Za ukiongoni huishia farasi
-1
Gaddafi alipiga marufuku biashara ya pombe na lugha ya kiingereza kutumika nchini kwakePia akafunga kumbi za starehe na
0
Tafadhali fika ofisini ukiwa na mtu aliyesajili mara ya kwanza na vitambulisho vyake kwa msaada zaidiJ
0
Waziri wa Afya amesema kuwa Serikali imebainisha maeneo hatarishi zaidi ya maambukizi ya ugonjwa wa homa k
0
Kuna uchechemua moyo wa mchambuzi hali inayomfanya aendelee kuvutika moja kwa moja inclined directly kwenye kuzifanyia kazi kuchunguza yaliyobainishwa ndani yake na kupata mazingatio yake
0
Uzuri wa mnajikusanya au kujichagua wana kadhaa mnapiga zenu road trip mda wowote ule mnaamsha unasubiri nini sasa
0
Habari tunaomba namba yako DM kwa msaada zaidiKA
0
We mwenyewe unapambana usisimame kwenye daladala halafu kuna mmiliki wa shule anamsimamisha mwanao kwenye school bus
0
HABARI NJEMA KWA MASHIBIKI ZANGU Kwa mujibu wa viwango vilivyotolewa na mtandao wa ngumi za kulipwa wa dunia
1
Mashabiki wote Manchester united mkiongozwa na na Tunawaambia Haya mambo yal
0
Pata huduma mbalimbali za kibenki kwa gharama nafuu kabisa kupitia Equity Bank Tembelea tawi letu lolote lililopo karibu
0
Kabisame nilikuwa naingia na viroba naficha kwenye timberland boots zangunikiingia ndani naviweka kwenye glass halafu nakaa kaunta kama boss
0
FRIDAY NIGHT LIVE Saa 300 500 usiku Tangu aingie Mjengoni 2015 Mbunge na msanii ameendelea kuachi
0
Isingekuwa viti maalum hadi sasa wastani wa wabunge wanawake ingekuwa ni 6 tu idadi hii ni ndogo sana Wanawake tua
0
Habari karibu katika ukurasa wetuTafadhali tunaomba fika katika duka letu la tigo ukiwa na kitambulisho chako kwa msaada zaidi
0
habari tunashukuru kwa kuwasiliana nasi Endelea kufurahia huduma supa kutoka Vodacom DM
1
Unaweza kubadili namna ya kutafikia malengo lakini kamwe usibadili malengo
1
nani kasema wapo kihalalinani aliwaruhusu wawepo kimakosaaliyewaruhusu ndie anayewakataza
0
Deejay Kwa Arusha hivi sasa tuko katika uboreshaji wa mfumo wa usambazaji wa huduma na bidhaa zetu ili wateja Wetu wapate huduma bora zaidi Zoezi likikamilika tutatoa mawasiliano ya mawakala Wetu Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza
0
Hivi majaliwa anajua maana ya 12mil Yaani hizi hesabu zao huwa wanazipiga vipi Ajira mil 12 wakati wali
0
Unaweza tutumie DM tafadhali
0
Formula 1 Japan GP Kumzalisha Nyota Mwingine Wa Mbio Za Magari Dunia Soma zaidi
0
Akutukanaye hakuchagulii tusi Hii ndio karaha ya kufungwa watu wanafyatuka tu na headlines zao
-1
Aisee kumbe wamewarahisishia wasanii wa TZ na Africa streams zao kuwekwa kwenye charts zote za Billboard na
1
Habari Pole sana kwa changamoto hiyo tafadhali tuandikie namba yako ya kadi kwa msaada zaidiGift
0
Nilifanya nachokipenda mzeena hata ningeipenda iyo PCB i guarantee you ningefaulu pia
0
Unaweza kufanya malipo yako mbalimbali kwa kutumia Visa Card kutoka KCB kwa bei ileile
1
Sio ujanja lakini
0
Weekend ndo siku zakujiachia piga menu nzuri nini alafu pembeni ukiwa na Washwa na G amini utaenjoy msosi wako kwa furaha k
1