Tweets
stringlengths
11
277
Labels
int64
-1
1
Hamna kuvua suruali yote
0
Madini ya ndani ya
0
Ngoma ikilia sana haikawii kupasuka
1
Wajeda wamekaa tunaondoka na alama tatu muhimu
0
Hahaha hili zuri zaidi prosafe
1
Mwaka Unaisha Lakini atachukua Tuzo ya MPUMBAVUUU BORA wa Mwaka Au mekosea Wadau https
-1
Nashukuru sana kwa kutuelezea umuhimu wa kupima
1
Uvumilivu Ukizidi Ni Unyonge
1
Upendo wangu kwako ni kama safari unaanzia milele na kamwe hautokwisha
1
Wimbo wa taifa wa Tanzania
0
Ukweni malalamiko yanekuwa mengi ndio maana tunafikisha ujumbe
1
Troll kwenye jukwaa mwenyewe eee sawa
0
Uko na maushauri ya violence tu
-1
Au waliwapa mkono Chelsea
0
Habari ahsante kwa kuwasiliana nasi Naomba ufafanuzi kwa msaada zaidiLL
0
Wakitaka kunishtaki nasema Nishafika hapa mtanipeleka wapi tena
0
Kumekucha Na Makucha Yake Vipi Tuwashe Mitambo Au Tukaushe
0
Bashiru aonya wanaolumbana CCM
0
Mara mojamoja uwe unanunua magazeti ya utazikuta
0
Ile video ya Rosa Ree kajidhalilisha kwakwelihata kama haoni madhara yake sasa
-1
Oi huyu poti ulimuuliza nini akapanic hivi
0
Mgosi Asante kwa kuwasiliana nasi na endelea kufurahiya huduma zetu
0
Amka Rihanna Haya ngoja nisubiri ASAP Rocky asema So huyo ndo beb wako mzee
0
Mlezi wetu Fatema Dewji amemkaribisha rasmi Monalisa kama msemaji wa simba queens tunaima
0
Tunafunga sana kumi na nusu jionikaribu sana
0
Hata useme hello December kwa furaha kiasi gani madeni ya November hayakuachi
0
Hatudili na mtu SISI NI WA TAASISI Makofiiiiii simamaaaa makofiiii
0
HakiElimu yasikitishwa na bajeti ya elimu kushuka badala ya kupanda
1
Usicheke watu wanapitia mazito
1
Ccm baada ya kuona CDM na ACT wamejitoa
0
Kesho yake ni jukumu letu sote
0
Kuna mtu namdai ananisumbua kunilipa
0
Kitambulisho cha NIDA ni mchongo sana katika baadhi ya michongo muhimu Usikipuuzie kabsa
1
Mwanamume anapaswa kuhisi kwamba anahitajika na mwanamke anapaswa kuhisi kwamba anahudumiwa
1
Hayo yanaitwa mauaji ya Sharubela
-1
Malipo ni hapa hapa duniani
1
Nimeiona Najaribu kuifupisha hata kama sio leo
0
Kocha Pablo wachezaji wake
0
Anasema Kuvuka mia kukanyaga mavi bure
0
CHUMA Miquissone anatufungia bao la kwanza
0
Bora Kuogopwa maana wakikupenda ipo siku Watakuchukia
1
CCM wanaogopa sanduku la kura balaa
0
Karibu mwamba Stamford BridgeIrudishie Chelsea makali yale wakati unacheza Frank Lampard kocha mpya Chelsea
0
Usiingie kwenye mahusiano na mtu ambae hutatamani watoto wako wawe kama yeye
1
Habari mdau Tunakushukuru kwa maoni adhimuJK
0
Waziri Mwijage akizindua mashine ya kusaga nafaka iliyotengenezwa kijijini
1
Ukiweka kinyongo ni wewe utaumia
1
Karibu kwenye wikiendi nyingine ya kuelimika na Tazama ratiba nzima kisha tukutane mapema kesho
0
Beki ya kuzuia na kushambulia
0
Nimetua Dodoma asubuhi hii na ndugu zangu mwijaku Dodoma Airport
0
Kipanya Ni Genius Ni Basi tu Shujaa Hakub
0
Tujengewe sanamu Letu Nyama Choma Festival popote itakapofanyika
0
LIVE kijijini Azam Two Washiriki ktk nchi wanaianza safari kuwania Tzsh Milioni
0
Naona shadya_kitenge ananizidi urefu sasa
0
Wapambanaji wa kuleta makombe Msimbazi
0
Elimu Ni Ufunguo Wa Maisha Sasa huyu mwanafunzi ataelewa nini htt
0
Unalilia wafanyakazi wa mexico au sio
0
Karibu Sana Hon Ndani ya
0
Je unamfahamu kijana yeyote ambaye ana tatizo la afya ya akili
0
Af ndio inanoga mzee juma halali damu inaflow kichizi
0
Viingilio vya tamasha kubwa zaidi nchini Unaweza kununua tiketi sasa kupitia mitandao ya simu
0
Asanteni Asanteni kwa kuungana na mimi sasa tuendelee kuelimika kutoka kwa wengine
1
Hakuna maji wangeishijekuziba watu midomo si suluhisho Kiafya ni jambo la hatari sana
1