Tweets
stringlengths
11
277
Labels
int64
-1
1
Mtu mmoja aliwahi kumuuliza baba yake baba nitawezaje kupata mwanamke sahihi baba yake alijibu sahau kupata mwanamke sahi
-1
Fahamu kuwa utaongezea Tsh58233Bahati
0
Appreciation tweet kwa nje na ndani ya twitter ni mtu poa sana plus roho ya kizungu Uishi madam
1
Mimi social media kwangu ni sehemu ya kufurahia na kupeana faraja lakini kwa hali ya sasa imekuwa sio sehemu salama tenasio sehemu yakutolea stress bali kupeana stress na ndo maana ni vyema ukajitafutia mtaa wako wenye amani yako humukuna w
-1
Alikuwa akiitwa Sehemu anambeba na shoga yake wanaenda wote sasa hivi shoga yake anaenda bila yeye kuwepo
0
kufahamu kiasi na kufanya malipo kuondoa ujumbe kama E16 E18 E19 E30 E32 na E162 na kubadili kifurushi Salim
0
Kutokana na kuongezeka kwa kiwango cha udhibiti mamlaka makubwa wanayopewa maafisa na tafsiri kandamizi zilizopo katika
0
Kwa masikitiko makubwa nimepokea habari ya kifo cha Mzee Iddi Simba Aliwahi kuwa Mbunge Waziri Mjumbe wa Kamati Kuu ya H
-1
na wao ndio sababu ya mimi kupata matumaini na furaha Shukran zangu kwa Madaktari wote ambao wamekuwa wakinihudumia kwa tiba tangu utotoni mpaka sasa na wauguzi wote kutoka hospitali mbali mbali za hapa nchini
1
Mara ya mwisho tokeo la kihalifu lilipotokea ulipata wapi taarifa kwanza
0
Pole sanakwasasa tumeangalia account yako inaonyesha mara ya mwisho ulijiunga na kifurushi cha siku ambacho kimes
1
Waonevu saname niliwahi muwasha mwenzao kofi kino pale magetonialinipiga la mgongo nikageuka nikamuwasha la uso
-1
Wafanyakazi watatu wa Umoja wa Mataifa wamepoteza maisha kwenye shambulizi hilo nchini Libya
-1
Ndugu mteja hakuna mgao ni maboresho ya miundo mbinu tu Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza
1
Umeshajaza hii Survey Tunakusanya taarifa za ujuzi na maarifa ya kidijitali kwenye nguvu kazi Tafadhali shiriki
0
Domy Docta ahsante kwa kuwa pamoja nasi na endelea kutumia huduma zetu za tigo
1
Kwanini waelimishaji kwenye ndo walewale Inamaanisha wengine hawana points mpaka wajirudie haohao
0
Thamani huwa na Uthamani Pale Tu Thamani Yake Inapothaminika
0
Kwa mara ya kwanza Tanzania imefanya utafiti wa Measuring Early Learning Quality and Outcomes MELQO na imechangia kupata t
1
Pole sana tatizo lako tumeliwasilisha idara husika pesa itarudi kwenye akaunti yako ndani ya masaa 72 ya kazi endapo tutaikuta mteja hajaitoa ahsante kwa kuchagua VodacomFB
1
Tafadhali fahamu kuwa utapata ofa hiyo baada ya kifurushi chako kuishaSalim
0
Nitoe shukurani zangu za dhati kwa vyombo vyote vya habari na wana habari wakelakini pia kwa wananchi na
1
Ndoto zinatufanya tubaki kuwa vijanaa maono yanatufanya tuzidi kusonga mbele
1
hiyo uliyoishika sahivi ina wimbo wake kabisa na unabamba kinoma
1
Idi Kwa Dodoma Tafadhali wasiliana na muwakilishi wetu aliyopo Nyerere Square anapatikana kwa namba 0778777370 0773114319 au aliyopo COED eneo la Ujasi anapatikana kwa namba 0772 552299 Karibu tukuhudumie
1
utaratibu huu ni kwa upande wa ndoa tu ama adi uchumba Ulipata wasaa wa kumuuliza kweli hili swali
0
Dear ladies Vaeni pete kwenye kidole kile cha ndoa Hii inapunguza kasi ya mafisi kuwasumbua
1
Ndiyo iwapo umetuma pesa kimakosa inaweza kurudishwa kwenye akaunti yako Vicky
0
Uzi mbona km bado ujajitoshleza km ulivooanza khs khsu kvp alivujisha taarifa kwa mwamba mpk kuishambulia marekani hapo ndo nilikuwa nacbir
0
ndio inawezekana Kufungua akaunti inabidi uwe na miaka 18 na kuendelea kitambulisho kinachotambulika kisheriacha kura au leseni ya udereva au pasi ya kusafiria au kitambulisho cha kazi au cha taifa na gharama zake ni shs 10000 akaunti
0
Alisema badala tuwaze kuongeza kina Dai na Kiba wengine tunapambana kumshusha mmoja ili mwingine ashineme nimesema wapi Dai hajui
0
Ajali za barabarani zaua 3600 kwa siku duniani gt
-1
Sijisifii ila matokeo yangu ya Olevel nilikuwa na B Physics A Chemistry B Biology na sikusoma PCB nikaenda EGMnadhani wenye akili wamenielewa
0
Asante sana kwa maoni na ushauritunaendelea kuboresha na tutafika maeneo yote ambayo bado
0
Karibu sana na endelea kufurahia huduma za TANESCO
1
Ukitoa huduma nzuri unapewa Tipukizogoa tunaisubiria hadi mia 2 chenjiso kwa dada wa jikoni wa Amuzz uliyenihudumiamke wangu anakupenda
0
Kwa CAG mpya nakutakia kazi njema usije ukaenda huko ukajifanya na wewe ni mhimili mihimili ni mitatu tu na umeiona hapa na katika kiapo chako nilikuwa nakisikiliza nafasi yako ni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
0
Hakuna kitu tunaweza kufanikisha kama azaki moja au mtu mmoja Tunahitaji kushirikiana Tunahitaji nguvu za pamoja kuha
1
Kigorai namba yako hiyohiyo unaweza kujiunga na kifurushi cha chuo tafadhali bonyeza 14815 kujiunga Ahsante kwa kuwa nasi tafadhali endelea kufuatilia ukurasa wetu
1
Ahsante sana kwa kutumia huduma zetu Ushauri wako umepokelewa mambo mazuri yanakuja Endelea kutuunga mkono
1
Tatizo lako ni lipi weka na taarifa kamili tafadhali
0
Babra alimpigia simu Diamond na kumwambia mtu pekee anayetakiwa kutajwa kwenye wimbo wa Simba ni MO peke yake Diamond alik
0
Mbali na mazungumzo yaliyofanyika pia wana club ya wafanyabiashara wa Bukoba walipata mafunzo mbalimbali ya kukuza biashara na kutunikiwa vyeti kutambua namna wanavyofuata taratibu za benki katika biashara zao
1
Mimi sina manager bali nina person manager wangu ambaye ni mke wangu
0
Mabinti wengi wanashindwa kuhudhuria masomo wanapokuwa katika hedhi kutokana na ukosefu wa vihifadhi hedhi kwani wanahofia
0
Tumewasha Ni TOUR ambapo Ijumaa hii tunamdondosha
0
Changamoto za Wafanyabiashara na wanunua bidhaa
0
tafadhali fahamu kuwa ulishawahi kusajili kupitia simu nyingine utatakiwa kufika tawini kuwezesha sim app kwa kutumia simu yako ya sasaJB
0
Tukutane leo kwenye THE SANUKA NA CHAPO SPACE Mada Mauzo ya muziki kidijitali yamesaidia kukua kwa muziki wa Afrika Mashar
0
Kashfa dhidi ya Kanisa Katoliki duniani Papa amfuta kazi Padri kutoka nchini Chile Soma zaidi gtgt
-1
Nikiwa njiani naenda kumtembelea mwalimu ambaye alisema hautakuwa na kitu maishani
0
Napenda nichukue Fursa kumshukuru Mungu na kukushukuru Mr Togolani kwa kuweza Kupata Nafasi ya Kupromote kitab
1
Africa inspirational tunaomba utupatie namba yako kwa msaada zaidi
0
Kwenye episode 3 anaonekana mtaalamu wa matumizi sahihi ya mitandao kwa ajili ya kupata fursa mbali mbali
0
Sisi tuna utaratibu wetu wa kulipa na tayari Msigwa kalipiwa Hiyo hela amelipa Azikiwe aende
0
Kwa vijana mitandao ya kijamii imekuwa ni chanzo cha haraka cha kupata habari
1
Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Huduma za Usafiri wa anga yatembelea kiwanja cha Ndege cha Bukoba ili kujionea utoaji
0
Leo ni mwaka mmoja tangu Ruge Mutahaba ametutoka Tunakukumbuka kwa mengi na unakumbukwa na wengi Pumzika kwa amani Ruge
0
Ahsante kwa uvumilivu wako pole sana kwa changamoto uliyoipata Huduma ya internet sasa imerejea Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu uliopata SM
1
Hbari MuluzWakala wetu wa Masasi anapatikana kwa 0774212121Pia tunao wawakilishi Nanyumbu 0774212121 Nanyamba 0777080921 Newala 0774212121 Tandahimba 0777080921 Unaweza kutembelea duka letu linapatikana Stendi kuu Karibu Zantel upate hudum
0
Katika kuikaribisha wiki ya huduma kwa mteja tawi letu la Mwenge litafunguliwa kwa masaa ya ziada JUMAMOSI Tarehe 2Ok
0
COLUMBUS ndiye aliyegundua njia ya usafiri kutoka bara Ulaya especially Spain mpk bara Amerika Alipofika e
0
Jenga Bet Getafe Real Madrid Timu hizi zimeshinda mabao 30 kwenye mechi zao zilizopita LaLiga Mechi yao itakuwa na mabao mangapi Bashiri idadi ya magoli na masoko mengine hadi 6kwenye mechi hii kwa JENGA BET ushinde
1
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi pole kwa usumbufu tunaomba kufahamu bado tatizo la kupiga simu linaendelea GL
0
Popote palipo na watu pana pesa yako namna gani uichukue ndo hapo kwenye kugawana fursa
0
Ukiwa Kam mfanyabiashara karibu siku ya tareh 67 November ndan ya viwanja vya Oysterbay Uje kuuza na kutangaza bias
0
Baadhi ya Wapwa Wamepata Mchongo Leo Little Ride na Smile Yes Kila mtu Anaeza Kuwa Influencer Ni Simple Dowload App ya
1
Larry Tesler mhandisi wa mifumo ya kompyuta na mbunifu wa Cut Copy amp Paste amefariki dunia Alizaliwa April 24 1
-1
ondoa shaka ni hapa Mtoto wako atafundishwa na walimu wetu kwa kufuatwa nyumbani Atac
0
Thank you Pipimoyo and shemela karibuni tena Nawapenda
1
Asante kwa ushauri wako tumepokea na tunawasilisha idara husika EC
1
Actually ukiongea na mtu akaleta issue za udini means anataka ukubaliane na kila anachosema
0
Kwa pamoja tunaweza kulinda afya zetu na watu wanatuzunguka kwa kupata chanjo ya uviko 19
1
Hatuwezi kusemea benki zingine lakini benki yetu inafanya vizuri na tumeendelea kuandika faida kwenye vitabu vyetu vya fedha Kuna jambo lingine tunaweza kukusadia
1
Leo nimeambiwa nichague aidha nikae Getini au Niwe Security Getini complimentary zitanicostngoja tuw
0
Habari tunaomba namba yenye shida DM kwa msaada zaidi
1
Tuna penda sana shortcut yani mtu ana taka kupata followers wengi kwa mda mchache au mtu anataka kufanikiw
0
Uhuru Jumatano Disemba 25 2019
0
Asante kwa kushiriki nasi kwa vifurushi nafuu vya dakika na intaneti piga 14915 kujiunga
1
Kwani mtu akilipwa kufanya kazi kuna tatizo gani Kuna ubaya mtu akilipwa kupush kitu Mnananga mtu kulipwa kupush ila a
0
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo tarehe 09092018
1
Ahsante kwa kuwasiliana na pole kwa kuchelewa kukujibukulikuwa na tatizo la kiufundi ila kwa sasa limeshapata ufumbuzisamahani tufahamishe kama tatizo bado linaendeleaLM
1
Nani atamsimamisha mnyama msimu huu Leo ilikuwa zamu ya Tanzania kulala na majeraha uwanja wa taifa mnyama akisaka ubingwa wa watumia mgongo wa West bromwich Albions
0
Muonekano wa mpaka kati ya Argentina Paraguay na Brazil katika makutano ya Mto Iguaz na Mto Paran
1
Mkurugenzi Mkuu wa Uwanja huo wa Kimataifa Paul Griffiths amesema wanatarajia kupokea abiria zaidi ya milioni 90 kwa mwaka huu 2018 2018
1
MDHAMINI WA TUNDU LISSU ATISHIA KUJITOA Mdhamini wa Mbunge wa Singida Mashariki CHADEMA Robert Katula ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwamba anatamani kujitoa kumdhamini
-1
Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Ally Mtanda amesema kuwa passport hizi mpya zinamwezesha mmiliki kupakua Application kwenye simu yake ambayo itamsaidia kupata passport nyingine endapo atapoteza aliyo nayo
1
Tuzungumze haraka juu ya upangaji wa mito vijito maziwa tusiendelee kama ilivyo Dar imejengwa bila mipango Mzee
0
Bondia Hassan Mwakinyo amepewa zawadi ya jumla ya Tsh milioni 72 baada ya kuchangiwa kiasi cha Tsh 20000 na kila Mbunge alipotembelea Bunge jijini Dodoma leo kufuatia ushindi alioupata hivi karibuni baada ya kumtwanga Bondia wa Uingereza Sam Eggington kwa TKO
1
Toleo jipya Ripoti ya ya 2020 kuhusu mamlaka mafao na vipaumbele Kila mtu ana jukumu katika kurekeb
0
SAMIA ATOA ANGALIZO KUIKABILI SARATANI Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema tatizo la Saratani kwa Watanzania linaweza kupungua ama kuondokana nalo endapo kutakuwa na tabia ya
0
Nimechagua kutokuwa mpumbavu kuamini kuwa eti masks zimewekwa mKwa hiyo zitoke kiwandani Chinazipakiwe kwenye ndege 1
0
Baadhi ya magari ya kifahari ambayo King Mswati III amewazawadia wake zake
0
Kuna habari nyingi zinasambaa juu ya chanjo nyingine zinapotosha habari za kupotosha zitaleta mtazamo tofauti zikimfiki
0
Jamani mko wapi hawataki kutumbuliwa huku Mbona Sukumawiki tu zinaondolewa kwenye mboga
0
Mwananchi Alhamisi Novemba 7 2019
0
ya Wazalendo Waadilifu Waaminifu Wachapa Kazi UTALII WA UTAMADUNI 247
0
Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la mama Robert mkazi wa mtaa wa Msalala road amezua sintofahamu baada ya kumfungia ndani mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 6 kwa madai ya kumfundisha adabu
-1
Popote mtakapo muona mwambieni tuna krate lake Ijumaaa na Jumamosi Tukutane mapema mno kuna suprise
0
Mdogo wa Marehemu Steven Kanumba Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanum
-1