Tweets
stringlengths 11
277
| Labels
int64 -1
1
|
---|---|
Ali Khamis mteja wetu wa thamani endelea kuongeza salio zaid na zaid ili uweze kushinda na JERO YAKO promosheni asante sana kwa kuzid kuweka vocha tafadhali wajulishe na wengine wengi | 1 |
Weekend kama hii huna haja ya kubeba cash lipia bili zako kwa urahisi na equity Jipatie kadi yako sasa | 0 |
Tumeamua kupeleka madaktari katika Vituo vya Afya tofauti na ilivyokuwa hapo awali madaktari walikuwa kweny | 0 |
Leo kwenye hotuba yangu nilipoalikwa kwenye mkutano wa mbunge wa Mbozi nimewaambia wananchiTutanaka tume huru | 1 |
condom huzuia mimba zisizotarajiwa na haliyakuwa mnajamiana tuachane na hilo condom pia inakukinga na maambukizi ya magojwa hatarishi ya zinaa km syphilis gornorrhea virusi vya ukimwi etc | 1 |
Hii PayPal bhana nilipewa story wao ndo hawajalielewa soko la Tzsijui shida ni nini | 0 |
mpaka sasa najua una nyimbo moja kali ya siasa kichwani hebu iweke kwenye pepa then studio huu ni muda mw | 1 |
Huku kumenogausipitwe na fursa hii Kwako Mfanyabiashara njoo uuze hukuNa Sisi Wengine sasa kuna buru | 0 |
UN TAARIFA ZA KUPOTOSHA KUHUSU CHANJO ZINAREFUSHA TATIZO Umoja wa MataifaUN umetoa wito kwa raia kuhakiki taarifa kuhu | 0 |
Matokeo ya Masters mzumbe yametoka kwenye Aris mtu amepata C kaandikiwa Pass lakini anatakiwa afanye supplementary Sasa maana ya Pass ni ninimnaojua vizuri nisaidieni plzz | 0 |
Habari ya mjini ndio hii Fanya booking yako mapema kupata punguzo la bei | 0 |
Rich HabariTunapenda kukujulisha kwamba tumefanya maboresho Kwa kutumia menyu yako 14700 au 14800 bado unaweza kufurahia vifurushi vya intanet kama vile social pack na vifurushi vya video | 0 |
Ukipata Pesa Au Cheo Hakikisha Unawanyanyua Walio Chini Utapata Baraka Usitumie Pesa Zako Au Cheo Chako Kuwanyanyasa W | 1 |
Luhaga Mpina awaonya wanaokwamisha wafanyabiashara na mawakala wa uuzaji wa samaki kufanya migomoSoma Zaidi gtgt | 0 |
CHANGIA FAINI YA VIONGOZI WA CHADEMA MPESA KWENDA CRDB 1 BONYEZA 15000 2 TUMA PESA 3 KWENDA BENKI 4 CHAGUA CRDB | 0 |
Kuna kipindi rafiki yangu mmoja alikuwa ananitongozea girlfriend wangu Na alikuwa kabisa anajua mimi ndio natoka nae ht | -1 |
Mimi siamini kua kuna mtu mvivu hakuna mtu anaeupenda umasikini Kinachotengeneza uvivu ni mfumo mbovu | 0 |
Mmetengewa kiasi cha Fedha kwa ajili ya Ujenzi mkubwa wa mradi wa maji ambao utarahisisha na kuwasaidia Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | 1 |
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi pole sana kwa changamoto uliyoipata tulikuwa na tatizo la mtandao ila kwa sasa huduma ya internet imerejea naomba kufahamu kwa sasa bado unashindwa kutumia Internet Ahsante WN | 1 |
Coco amp Denge nimependa namna wametoa elimu ya kufanya biashara mtandaoni Wengi hatujui kutumia kukuza biashara | 1 |
Ndio una jezi ya Euro 100 wewe Haya mateso ni ya muda mrefu sana | 0 |
Nimekwenda hosipitali Daktari wamesema dawa yangu ni wewe We ndio wangu Daktari cc | 0 |
Habari Ahsante kwa uvumilivu wako pole sana kwa changamoto uliyoipata Huduma ya internet sasa imerejea Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu uliopata Vodacom tunaahidi kufidia MB zako ulizopoteza kuanzia leo asubuhi AhsanteNM | 0 |
Huyu mtoto asaidiwe atendewe hak | 0 |
Watani zangu Kagera wao ni maneno na kujidai tu Kagera inachangia 25 tu ya Pato la Taifa GDP na vile vile 31 ya Wakaz | 1 |
Nyoka aina ya chatu ameingia katika gari la watalii kupitia magurudumu ya mbele ya gari hilo ambapo wageni waliokuwa wakitumia gari hilo wameonyesha kutokuwa na wasiwasi wowote Soma zaidi gtgt | -1 |
Tokea mabibo kwa masai play ya maalum kwa wanaoisikiliza kwa haya masa | 1 |
Inasikitisha sanahiyo ndio tanzaniapoleni | -1 |
Shame wanakatili watoto kwa mambo zao za kisiasa ni huupuzi kabisa | -1 |
Dkt Tizeba asisitiza ushirikishwaji wa TMA kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo ya Kilimo Kwa taarifa zaidi tembelea | 1 |
Ewe kijana mwenye uwezo sasahivi wa kufanya anasa za kila aina Nakushauri pesa hizo kajenge weka akiba kwaajili ya watoto | 1 |
Taarifa ya Habari ya ITV saa mbili usiku Februari 02 2020 | 0 |
Zali la mentali Ndivyo sivyo Hapo vipi Kipi sijaskia Tatu chafu | 0 |
Wakala wa Barabara Tanzania Tanroads umesema ujenzi wa daraja la mto Mkange mkoani Morogoro lililosombwa na maji utaanza leo usiku huu kwa ushirikiano na makandarasi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR | -1 |
Bro ananambia kila mwaka lazima aende na familia nje kuenjoiye anaita kula pipi Sahivi kaishakata hadi tiketi wanaondoka tar24Dec kwenda uturuki for 12 days | 0 |
Sina Chama sina kadi but napenda nchi yangu ndio mana nimechanga huu nimchango dhidi ya udhalimu na uonevu | 0 |
Utumishi wa Umma ni kazi ya si pahali pa kujilipa mamilioni Mwalimu Julius K Nyerere | 0 |
Sana Yaani kwani wale huduma hiyo hawana kweli | 0 |
MADAKTARI BINGWA WA WATOTO WA TAASISI YA MOYO JKCI NA PROF PAN XIANG BIN WAFANYA UPASUAJI WA BILA KUFUNGUA KIFUA KUPITIA MSHIPA WA DAMU WA KWENYE PAJA | 1 |
je wajua Binadamu mwenye kilo 70 ana lita 42 za maji katika mwili wake lita 28 ndani ya cell na lita 14 nje ya cell | 0 |
Miongoni mwa mtihani mkubwa sana kwa vijana ni ibada Kama upo kwenye hili kundi na bado unajitahidi ibada zisikupite hon | 0 |
YAJUE HAYA KUMI KUHUSU MMILIKI WA BIDHAA ZA APPLE STEVE JOBS 1 Steve alizaliwa mwaka 1955 na kufariki October | 0 |
mahaba teleeee kwenu | 0 |
Spika wa Bunge ametoa siku nne hadi Ijumaa kwa Serikali kuwasilisha taarifa ya kina kuhusu mauaji ya watoto yanayoendelea mkoani Njombe Waziri Jenista Mhagama aliliomba Bunge kutoa muda huo kwani Serikali inahitaji muda kutoa taarifa kamili itakayoelezea pia hatua walizochukua | -1 |
Je mavazi haya yanafaa kuwa maalum kwa ajili ya Yametengenezwa na mbunifu mdogo aitwaye | 1 |
Tumepokea kwa hatua zaidi | 0 |
Upo eneo gani mteja tunaomba details vizuri ili tuweze kufuatilia | 1 |
Ushiriki wa vijana kwenye kilimo ni mkubwa sana nchini Rwanda tunawajibika kuwasaidia vijana ili waweze kufanya kilimo cha kibiashara kwa lengo la kuinua kipato chao wenyewe na kuwajengea mazingira ya kukitegemea na si kutengenea ajira pekee Waziri MkuuRwanda | 1 |
Mimi nilikiwa na BPhysics AChemistry na ABiologyWakati huo huo nina BHistory AKiswahili na AEnglish Nikaamua kwen | 0 |
39 Mwanadada aliyekuwa ndiye MC wa shuguli ya usiku wa katika ukumbi wa Mlimani City ji | 0 |
OLE SABAYA tayari sheria ishachkua mkondo wake bado ndgu yake OLE GUNNER maaana nae c muelewi | 0 |
pole kwa usumbufu pesa yako imeshafanyiwa kazi jumatatu pesa itarejeshwa kwenye akaunti yakoJJ | 0 |
Ndugu yangu tuna vyuo sasa Ph holders wenyewe wanatafuta teuzi za uDC wakashindane na wenye diplo | 0 |
Zipo changamoto wanazokutana nazo polisi wakiwa katika patro zao je unajua ni changamoto zipi Live PD Police Patrol ni makala inayokuonyesha matukio mbalimbali wanayokutana nayo polisi katika kazi zap tazama makala hii kila Alhamis saa 350 usiku kupitia channel CI 170 | 0 |
Siku Hizi Ni Deni Bro Kuna Jamaa Kaoa Last Month Ananidai Mchango wake hadi leo under Unajua Tulikopa Ndio Tufanikishe | 0 |
Kwa Namna Yoyote Kama Hujawahi Kula Bata Bills Sijui Utahadithia Nini Wala Bata Wenzako | 0 |
Ndoa zote ni mtihani Kinachotofautisha hali ya ndoa moja na ingine ni jitihada na kudra za watahiniwa | 0 |
Na wale wanaotajiwa BBmahari kubwa wanakuwa hawana na wazazi hawapunguzi bei kama supermarket inakuwaje | 0 |
Kuna shida gani kusafiri kitajiri kwa bei poa unahitaji tuu mambo yasiwe mengi | 0 |
Pole sana kwa changamotohalafu namba utufahamishe mahali ulipo | 0 |
Jeshi la Magereza limeendelea na program za urekebishaji wafungwa kupitia viwanda vidogo vidogo kuwapatia stadi za kazi | 0 |
Machozi Jasho na Damu | -1 |
Episode 4 imekaa kidegree sana ina mafunzo mengi ndani yake hususani sisi raia wa kidigitali tunaotumia mitanda | 1 |
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Fred Matiangi ameagiza kuondolewa nchini humo na kurudishwa kwao raia wanne wa China | 0 |
UZINDUZI UJENZI WA DARAJA LA KIGONGOBUSISI MKOANI MWANZA FUATILIA MATANGAZO HAYA HAPAgt | 0 |
Mhusika mwenye picha au video hiyo mbali na makosa ya kisheria unayoyatenda kwa kusambaza Tambua kutuma picha za fara | -1 |
Unakwama wapi kishiriki Alafu Gharama ya usajili ni Ndogo sana 40000 before 15oct ila baada ya h | 0 |
Wanaume wengi huwa tunabeza sana haya mambo ya kujiunga kwenye vikundi vidogo vidogo vya kijamii ambavyo vingi malengo yake h | 0 |
Tafadhali tujulishe tatizo lako kwa msaada zaidiJB | 0 |
Mnawezaje kupata mtoto wa kiume Ili kuongeza uwezekano wa kupata mtoto wa kiume wenzi wanapaswa kula vyakula kama mihogo m | 0 |
Tenda Wema nenda zako usingoje shukurani | 1 |
Tunaomba namba yako DM kwa msaada zaidi | 0 |
Tuliandika andiko hili miaka kadhaa nyuma Ni wazi linauisho mpaka sasa Tunatamani ile nguvu iliyotumika kusema | 0 |
Nampelekea boks la chaki km zawadi | 1 |
Mkuu wa mkoa wa Rukwa afanya ziara na kukagua maendeleo ya ukarabati wa chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Tawi la Rukwa nakuwahamasisha wanafunzi wasome masomo ya sayansiSoma Zaidi gtgt | 0 |
Mshauri kujiamini na kua na furaha ni silaha zaidi hata ya nuclear | 1 |
Sema una unafiki fulani wa kisenge sanaunachifichaga kwenye kivuli cha utani ila ipo siku itakukosti | -1 |
Baada ya kufanyiwa Treatment ya kwanza ndio yanatoka hapo yanaenda viwandani kwa treatment nyingine km Chemical teatment Na pia hayohayo yaliofanyiwa biological treatment yanaing | 0 |
thamani ya mauzo ya madini nje ya nchi iliongezeka kutoka USD198msawa na Tzs 3168bl 2011 hadi kufikia USD 23blsawa na tzs3684bl2012 | 1 |
Kuna changamoto nyingi zinazo wakumba walimu na ufundishaji ambapo tumekuwa tukijitahidi kukaa na serikali wadau mbalimbali | 0 |
Habari pole sana kwa changamoto Kama unapata shida ya mtandao tunaomba namba yako inbox kwa msaadaKA | 1 |
Biashara Asubuhi Jioni Mahesabu Ya Madrid Jana Yasitukatishe Tamaa Mapema Tu Ingia Premier Bet Utengeneze Pesa Mi | 0 |
Utamu wa raha ni kujipa mwenyewe na huku ukijiachia kwa raha zako kupitia wakati huu mpaka saa | 1 |
Interest zinatofautiana kulingana na aina ya akaunti na Kiwango cha kuweka kupitia akaunti ya akiba ni shilingi 20000JB | 0 |
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo tarehe 28012019 | 1 |
IKULUChamwino Taarifa ya IKULU Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Kupunguzwa Kwa Tozo Zinazotozwa na Taasisi Mbalimbal | 0 |
Sisi MCL tunajivunia kuwa mstari wa mbele kuwawezesha waandishi wetu wa habari na ujuzi wa karne ya 21 Tumeanza mafunz | 1 |
Watanzania wameonyesha hawakipendi Chama cha Mapinduzi sio jambo la kawaida katika kipindi hiki kigumu Watanzania wamenyi | -1 |
Ilee pilipili yetu pendwa yenye ladha murua kabisa kwenye chakula chako Washwa na G mchongo bado upo mtaani kwa wakazi wa | 0 |
Wenye siri za hawa wake wengine pembeni na familia kwa Ujumla ni wazazi wetu wa kiume or kike Mchongo kwao huwa unafaha | 0 |
Wadau walioshiriki kutoa maoni kuboresha Muswada ni WananchiTLSMOATMISATANMCTLHRCTEFNOLA na WabungeMheNAPE | 1 |
Fahamu kuwa michezo ya WWE Raw inaonyeshwa kupitia chaneli namba 209 SS9 kifurushi cha DStv Bomba Tshs 19000 saa saa 300 usiku | 0 |
endelea kujifunza na kupata taarifa sahihi zaidi kuhusu gesi asilia na ugunduzi wake | 1 |
Ni kweli You areca beautiful Woman sijui Girl hongera | 1 |
Ndiyo anaweza kupata iwapo mshahara wake uliobaki ni 700000 na kuendeleaTL | 0 |
Sio kila mpenzi wako anapokuomba hela umpe fasta hata kama unayosiku nyingine mwambie sina ngoja nikutafutie ili ajue hela zinatafutwa sio zipo tu | 0 |
Happy Birthday Mh Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt kwa kutimiza miaka 71Mwenyezi Mungu Akujalie Umri Mrefu na Af | 1 |
Mkubwa Hasemwi Mkubwa Anaelekezwa | 0 |
Na wakristo wengi wanao zaidi ya mmoja sema hawana nguvu ya kuhalalisha Watu wanakompromaizi amani ya mioyo yao kwa kigezo | 0 |
Watag tuwainfluence sasa | 0 |