|
question: Kamusi ya kikoloni ya Kijerumani iliandikwa na nani? context: Kamusi iliandikwa kwa lugha ya Kijerumani na wataalamu wa jiografia, biolojia, uchumi, lugha na masomo mengi mengine wenye ujuzi kuhusu nchi walioeleza katika kamusi. Kuna takwimu nyingi katika makala za kamusi hii. wataalamu wa jiografia, biolojia, uchumi, lugha na masomo mengi mengine wenye ujuzi kuhusu nchi walioeleza katika kamusi |
|
question: Je, mfumo wa NATO ulianzia wapi? context: NATO ni kifupi cha North Atlantic Treaty Organisation (Kifaransa: OTAN, Organisation du Traité de l'Atlantique Nord) au Jumuiya ya Mkataba wa Atlantiki ya Kaskazini ambayo ni ushirikiano wa kujihami ya kambi ya magharibi. Inaunganisha nchi nyingi za Ulaya pamoja na Marekani na Kanada. Nchi wanachama zimeahidi kuteteana kama moja inashambuliwa na nje. Makao makuu yapo Brussels. Marekani |
|
question: Je,Anna Ndege alizaliwa mwaka upi? context: Anna Margareth Abdallah (alizaliwa 26 Julai 1940 ), ni mwanasiasa wa chama cha mapinduzi na aliwahi kuwa mbunge wa viti maalumu kwa kipindi cha mwaka 2010 hadi mwaka 2015.[1] 1940 |
|
question: Kiongozi wa kwanza wa Roma ya Kale anaitwa nani? context: Caesar hakuwa na watoto ila huyu mwana wa Kleopatra asiyekuwa Mroma. Kabla ya kifo chake alikuwa amempanga mtoto mpwa wake Oktaviano. Huyu Oktaviano -aliyejulikana baadaye kama Augusto na mtawala wa kwanza wa Dola la Roma- alilipiza kisasi chake katika kipindi cha vita ya wenyewe kwa wenyewe na kuua wapinzani wote wa Caesar. Augusto |
|
question: Je,mke wa Ellen DeGeneres anaitwa nani? context: Kwa mara ya kwanza aliuonesha umma wa watu wa Marekani kama yeye ni mpenzi wa mahusiano ya jinsia moja ilikuwa katika mfululizo wa TV wa Ellen uliokuwa unarushwa na TV ya ABC katika kisa maarufu cha "The Puppy Episode" kilichorushwa hewani mnamo tarehe 30 Aprili 1997. Kisa hicho kinamuelezea Ellen Morgan ana mahusiano na mwanamke mwenzake ambaye wakati huo alikuwa Laura Dern kwa pamoja walipata tabu sana katika kazi zao za uigizaji, kazi zilipotea na wakaanza moja. Walitengwa na watu wengi, makundi mbalimbali wanaopinga mahusiano ya jinsia moja. Ilichukua muda sana hadi Ellen na mwenzake kurudi tena katika soko. Mwezi wa Agosti 2008, baada ya sheria ya kukinga ndoa za jinsia moja kuondolewa huko jijini Los Angeles, Ellen na Portia walioana rasmi kuwa mke na mke.[3] Laura Dern |
|
question: Hendrick Witbooi alikuwa chifu kwa miaka mingapi? context: Katika miaka ya 1880 aliunganisha makabila yote ya Wanama chini ya uongozi wake na tangu 1890 aliingia katika mapambano na wakoloni Wajerumani. Baada ya kushondwa mara ya kwanza alipatana amani lakini wakati wa vita ya Wajerumani dhidi ya Waherero alijiunga nao. Mwaka wa 1905 alikamatwa na kuuawa na Wajerumani. tangu 1890 aliingia katika mapambano na wakoloni Wajerumani. Baada ya kushondwa mara ya kwanza alipatana amani lakini wakati wa vita ya Wajerumani dhidi ya Waherero alijiunga nao. Mwaka wa 1905 alikamatwa na kuuawa |
|
question: Mji mkuu Sudan ni gani? context: Mji mkuu ni Khartoum. Khartoum |
|
question: Mafuta ya petroli yanatoa wapi jina lake? context: Mafuta ya petroli (pia petroliamu kutoka Kigiriki petros = mwamba na Kilatini oleom = mafuta) ni kiowevu kinene chenye rangi cheusi hadi kijani. Inatokea kiasili katika ardhi na inawaka rahisi. Ni chanzo cha petroli, fueli mbalimbali, madawa mengi na plastiki. Ni kati ya vyanzo muhimu kabisa vya nishati vinavyoshughulikiwa na binadamu kama fueli ya usafiri na ya kutengeneza umeme. Kigiriki petros = mwamba na Kilatini oleom = mafuta |
|
|