BUFFET / tydiqa /sw /tydiqa_8_13_train.tsv
akariasai's picture
Upload 204 files
479c437
question: Nani aliwaongoza wanaisraeli kutoka misri hadi kanani? context: Musa aliishi miaka 1250 hivi K.K. akawa kiongozi wa Wanaisraeli walipoondoka nchini Misri kukimbilia nchi ya Kanaani (iliyoitwa "Israeli" na "Palestina" baadaye). Musa
question: Antibiotiki iligunduliwa nchini gani? context: Antibiotiki ya kwanza kutumiwa kama matibabu na kufanikiwa ilikuwa ni tyrothricin, ambayo ilitolewa kutoka katika bakteria fulani wa udongoni na mwanasayansi Rene Dubos mnamo mwaka 1939. Kemikali hii ni sumu kali kwa matumizi ya kawaida lakini inatumika kwa matibabu ya nje (kiingereza external treatment) ya maambukizi fulani. Antibiotiki zingine zilizongenezwa na bakteria wa udongoni ziitwazo actinomycetes zimefanikiwa sana. Mojawapo ni streptomycin, iliyogunduliwa mwaka 1944 na Selman Waksman pamoja na washirika wake, ambayo wakati wa kipindi chake ilikuwa ndiyo tiba kubwa ya kifua kikuu. Tangu antibiotiki zilipokuwa zinatumika kwa matumizi ya kawaida katika miaka 1950 zimeleta mabadiliko makubwa. Magonjwa mengi ambayo mwanzoni yalikuwa yanaongoza katika kusababisha vifo kama vile kifua kikuu, kichomi na septicemia yalianza kudhibitiwa. Shughuli za upasuaji pia ziliboreshwa kwa sababu shughuli ingeweza kufanyika kwa muda mrefu bila uwezekano wa maambukizi. 1939
question: Ziwa Rukwa iko na ukubwa wa kiasi gani? context: Beseni ya ziwa line eneo la takriban 80,000 km². Urefu na upana wake hubadilikabadilika kulingana na kiasi cha mvua inayonyesha. Kati ya mito inayoingia ni mto wa Songwe pekee ulio na maji muda wote. Kuna taarifa ya kwamba ziwa lilipotea wakati mwingine isipokuwa beseni ndogo upande wa kusini Songwe inapoingia hubaki na maji. Kama maji ni mengi ziwa lina urefu wa kilomita 180. 80,000 km²
question: Je,bara Ulaya ina idadi ya watu wangapi? context: Ulaya (asili ya jina ni neno la Kiarabu ولاية, wilaayatun[1]; inaitwa pia Uropa) ni bara lenye eneo la km² 10,600,000 tu, lakini wakazi ni milioni 700. milioni 700
question: Thomas Teye Partey alizaliwa wapi? context: Alizaliwa huko Odumase Krobo, Thomas alikuwa Mchezaji wa klabu ya Odometah FC ya vijana. Baadaye alisaini mkataba na klabu ya Atlético Madrid mwaka 2011.Tarehe 10 Machi 2013, Thomas aliitwa katika kikosi cha kwanza cha Atlético Madrid katika mechi dhidi ya Real Sociedad. Odumase Krobo
question: Je,Martha Wangari Karua alizaliwa mwaka upi? context: Martha Wangari Karua (alizaliwa mnamo 22 Septemba 1957) ni mwanasiasa wa Kenya. Yeye ni Mbunge wa bunge la Gichugu na Mtetezi wa Mahakama Kuu ya Kenya. Alikuwa Waziri wa Sheria hadi alipojiuzulu kutoka nafasi hiyo mwezi Aprili 2009. 1957
question: Je,Jogoo anaweza ishi kwa takriban miaka ngapi? context: Katika mazingira asilia kuku huishi miaka 5-11 lakini wale wanaofugwa kwa wingi wanachinjwa baada ya wiki 6-8 kama ni kuku wa nyama na baada ya mwaka mmoja kama ni kuku wa mayai. Kati ya aina zinazofugwa kwa mayai karibu madume wote, yaani nusu ya vifaranga, wanauawa mara moja kwa sababu hawatagi mayai na aina hii haileti nyama ya kutosha. 5-11
question: Je,nani mmiliki wa Walt Disney? context: Kampuni ilianzishwa mnamo mwaka wa 1923 na Walt Disney na ndugu yake, Roy Oliver Disney, kwa jina la Disney Brothers Cartoon Studio.[1] Walt Disney na ndugu yake, Roy Oliver Disney