BUFFET / tydiqa /sw /tydiqa_8_100_dev.tsv
akariasai's picture
Upload 204 files
479c437
question: Je, Manga ni nini? context: Manga ni kata ya Wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31413 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,249 waishio humo.[2] kata ya Wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31413
question: Elizabeth Cady Stanton alizaliwa wapi? context: Elizabeth Cady Stanton (12 Novemba 1815 - 26 Oktoba 1902) alikuwa mwanamke Mmarekani aliyejihusisha na harakati za kijamii, hasa ukomeshaji wa vitendo vilivyowanyima wanawake haki ya kupiga kura, na kiongozi shupavu katika harakati za haki za wanawake akishirikiana na Susan B.Anthony. Tamko lake la maoni, lililowasilishw katika mkutano wa kwanza wa haki za wanawake uliofanyika mwaka 1848 katika jiji la Seneca Falls, New York, husifiwa kuwa tamko la kwanza la kuwaunganisha wanawake katika kushiriki harakati za kutetea haki za wanawake, ikiwemo haki ya wanawake kupiga kura.[1]. marekani
question: Uganda ilipata uhuru mwaka upi? context: Uganda ilipata uhuru wake tarehe 9 Oktoba 1962 kwa katiba ya jamhuri yenye serikali ya kibunge. 1962
question: Je,Ali bin Muhammad alikuwa na watoto wangapi? context: Ali alikuwa binamu wa Mohammed na kati ya wafuasi wa kwanza wa mtume. Alimwoa Fatimah binti wa mtume akazaa naye watoto watano: * Hasan ibn Ali (imamu wa pili wa Shia) watano
question: Dameski ina ukubwa gani? context: Mji wa kisasa una eneo la km2 105. Eneo la km2 77 limetumiwa kwa majengo, makazi na mashamba, na eneo lililobaki ni mlima wa Qassioun. km2 105
question: Je,nchi gani kubwa zaidi katika bara Uropa? context: Jina la nchi au eneo, benderaEneo (km²)Wakazi (mnamo Julai 2002 takriban)Wakazi kwa km²Mji Mkuu Ulaya ya Mashariki: Belarus207,60010,335,38249.8Minsk Bulgaria110,9107,621,33768.7Sofia Ucheki78,86610,256,760130.1Praha Hungaria93,03010,075,034108.3Budapest Moldova33,8434,434,547131.0Kishineu Poland312,68538,625,478123.5Warshawa Romania238,39121,698,18191.0Bukarest Urusi (2)3,960,000106,037,14326.8Moscow Slovakia48,8455,422,366111.0Bratislava Ukraine603,70048,396,47080.2Kiev Ulaya ya Kaskazini: Denmark43,0945,368,854124.6Kopenhagen Estonia45,2261,415,68131.3Tallinn Visiwa vya Faroe (Denmark)1,39946,01132.9Tórshavn Finland337,0305,183,54515.4Helsinki Guernsey (3)7864,587828.0St Peter Port Iceland103,000279,3842.7Reykjavík Eire (Ireland )70,2803,883,15955.3Dublin Kisiwa cha Man (3)57273,873129.1Douglas Jersey (3)11689,775773.9Saint Helier Latvia64,5892,366,51536.6Riga Lituanya65,2003,601,13855.2Vilnius Norwei324,2204,525,11614.0Oslo Visiwa vya Svalbard and Jan Mayen (Norway)62,0492,8680.046Longyearbyen Uswidi449,9648,876,74419.7Stockholm Uingereza (Ufalme wa Maungano)244,82059,778,002244.2London Ulaya ya Kusini: Albania28,7483,544,841123.3Tirana Andorra46868,403146.2Andorra la Vella Bosnia na Herzegovina51,1293,964,38877.5Sarayevo Kroatia56,5424,390,75177.7Zagreb Gibraltar (Uingereza)5.927,7144,697.3Gibraltar Ugiriki131,94010,645,34380.7Athens Italia301,23057,715,625191.6Roma Masedonia25,3332,054,80081.1Skopje Malta316397,4991,257.9Valletta Montenegro316397,4991,257.9Podgorica Ureno (6)91,56810,084,245110.1Lisbon San Marino6127,730454.6San Marino Serbia102,17310,280,000100.6Belgrad Slovenia20,2731,932,91795.3Lyublyana Hispania (7)498,50640,077,10080.4Madrid Mji wa Vatikani0.449002,045.5Mji wa Vatikani Ulaya ya Magharibi: Austria83,8588,169,92997.4Vienna Ubelgiji30,51010,274,595336.8Brussels Ufaransa (8)547,03059,765,983109.3Paris Ujerumani (Udachi)357,02183,251,851233.2Berlin Liechtenstein16032,842205.3Vaduz Luxemburg2,586448,569173.5Luxemburg Monako1.9531,98716,403.6Monako Uholanzi (9)41,52616,318,199393.0Amsterdam, Den Haag Uswisi41,2907,301,994176.8Bern Asia ya Magharibi: Armenia (10)29,800——Yerevan Azerbaijan (11)39,7304,198,491105.7Baku Kupro (12)5,995780,133130.1Nikosia (Lefkosa) Georgia (13)}49,2402,447,17649.7Tbilisi Uturuki (14)24,37811,044,932453.1Ankara Asia ya Kati: Kazakhstan (15)370,3731,285,1743.4AstanaTotal10,431,299709,022,06168.0 Urusi
question: Karatasi ya kwanza ilitumika nchini gani? context: Karatasi yenyewe ilibuniwa nchini China. Waziri Tsai-Lun alieleza mnamo mwaka 105 mbinu ya kutengeneza karatasi katika kitabu chake. Mabaki ya hariri yalichanganywa na nguo zilizochakaa na utembo wa miti. Yote yalipondwa na kusagwa halafu kupikwa katika maji na kusafishwa. Nyuzi tupu zilizobaki zilichotwa kwa chujio halafu zikasilibiwa ndani ya chujio na kukandamizwa na kukaushwa. China
question: Je,Shirika la reli na bandari za Afrika ya Mashariki ilianza lini? context: 1948 huduma zote mbili ziliunganishwa kuwa EAR&H. Shirika jipya lilisimamia na kutekeleza kazi za reli, bandari za baharini na pia za ndani halafu huduma ya meli na feri kwenye maziwa makubwa yaani Viktoria Nyanza, Ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa. 1948