Datasets:

Multilinguality:
multilingual
Annotations Creators:
expert-generated
ArXiv:
License:
miracl / miracl-v1.0-sw /topics /topics.miracl-v1.0-sw-test-a.tsv
Xinyu Crystina ZHANG
test-a
594c83c
2601 Je,Sarah Wayne Callies ana mume?
2602 Je,Thiago Silva alianza kucheza soka mwaka upi?
2603 Dalili kuu ya Mmenyuko wa mzio ni ipi?
2604 Je,nchi ya Tanzania ina majimbo ngapi?
2606 Je,mwanzilishi wa chama cha ODM kilizinduliwa lini?
2607 Kitabu cha Takadini kilitolewa kwa mara ya kwanza katika nchi gani?
2608 Vita vya Sudan Kusini vilianza mwaka gani?
2609 Fidla iligunduliwa nchini gani kwanza?
2610 Lucas Vázquez Iglesias ana miaka mingapi?
2611 Kuna kundinyota ngapi?
2612 Rosetta ilizinduliwa na nani?
2613 Je,Samwel Yellah alizaliwa mwaka upi?
2614 Je,Wade Andrew William ana watoto wangapi?
2615 Je, Edward Moss alizaliwa lini?
2616 Twiga anaishi kwa muda gani?
2617 Je,nani alizindua jina la Altdeutscher Schäferhund?
2618 Kulungu pembe-nne ana urefu gani?
2619 Je,Mbosso alizaliwa mwaka upi?
2620 Je,Howard Winchel Koch alianza utayarishaji filamu lini?
2621 Je,Oliver N'Goma alizaliwa mwaka upi?
2622 Edward Moss alizaliwa wapi?
2623 Je,Joachim Kimario alianza muziki mwaka upi?
2624 Kisiwa cha Msumbiji kiligunduliwa mwaka gani?
2625 Tamthilia ya Traveler ina wahusika wakuu wangapi?
2626 Chama cha Orange Democratic Movement Party of Kenya kilianzishwa na nani?
2627 Je,jina la utani wa Monique Séka ni ipi?
2628 Je,Edgar Leonard Luhende alisomea katika chuo kikuu gani?
2629 Je, mwanamitindo Nancy Sumari ni ndugu wa Nakaaya Abraham Sumari ?
2630 Gazeti la raia la BrooWaha lilianzishwa mwaka gani?
2631 Keyshia Miesha Cole ana miaka mingapi?
2632 Jina Zimbabwe linatokana na nini?
2633 Namba ya postikodi ya Morogoro ni ipi?
2634 Je, Mongolia ina takriban ya idadi ya watu wangapi?
2635 Afrika Mashariki ina nchi ngapi?
2637 Je,mwanamziki Nuru the Light alianza kuimba mwaka upi?
2638 Je,Chris Okotie alisomea katika chuo kikuu gani?
2639 Je,mji mkuu wa Zimbabwe ni upi?
2641 Ayatollah Ruhollah Musawi Khomeini aliaga dunia mwaka upi?
2642 Emil von Zelewski aliuawa katika vita gani?
2643 Je nyangumi huishi miaka ngapi?
2644 Nkem Owoh alianza uigizaji mwaka gani?
2645 Osama Bin Laden alizaliwa mwaka upi?
2646 Lambo la magenge matatu nchini China lina ukubwa gani?
2647 Je,mwanamziki Shaggy alizaliwa mwaka upi?
2648 Wimbo wa kwanza wa Keyshia Miesha Cole unaitwaje?
2649 Ugonjwa wa Tutuko uligunduliwa mwaka gani?
2650 Halima James Mdee alijiunga na siasa mwaka gani?
2651 Je,mji wa St. Petersburg inapatikana katika nchi gani?
2652 Jeff Koinange alianza kufanya kazi CNN mwaka gani?
2653 Dinosauri waliishi miaka gani?
2654 Je,Wentworth Miller alianza uigizaji mwaka upi?
2655 Je,R. Kelly ni mzaliwa wa nchi gani?
2656 Vladimir Nabokov alihamia Marekani mwaka gani?
2657 Biashara ya watumwa ilianza mwaka gani?
2658 World Wrestling Entertainment ilianzishwa lini?
2659 Moses Wetangula alizaliwa mwaka upi?
2660 Paul Emil von Lettow-Vorbeck alizaliwa mwaka gani?
2661 Je,Halima James Mdee alisomea shule gani ya upili?
2662 Je,Tanzania iko katika Afrika Mashariki?
2663 Kenneth David Kaunda alistaafu lini?
2664 Je,Kool G Rap alizaliwa mwaka upi?
2665 Taifa ya Kenya alizindua maono ya 2030 mwaka upi?
2666 Je, Yesu alikuwa na wafuasi wangapi?
2667 Je,Bollywood ni jina ya filamu katika nchi gani?
2668 Je,Wentworth Earl Miller III alisomea katika chuo kikuu gani?
2669 Je,Kenneth David Kaunda alitumikia Zambia kama rais kwa miaka ngapi?
2670 Ugonjwa wa mshtuko wa moyo una tiba?
2671 Suruali ya kwanza ilitengenezwa mwaka upi?
2672 Kitabu cha kwanza cha hekaya za Abunwasi kilichapishwa mwaka gani?
2673 Je, kuna mifereji mingapi katika mji wa Amsterdam?
2674 Je,Benjamin S. Carson alizaliwa mwaka upi?
2675 Je,nani mwanzilishi wa kikosi cha Kigaidi cha al-Qaida?
2676 Vasili Vasilyevich Vereshchagin alifariki mwaka gani?
2677 Je, ni nani mmiliki wa klabu ya Chelsea F.C?
2678 Je,mji mkuu wa Morocco ni?
2679 Tshimanga Kalala Assosa alizaliwa wapi?
2680 Je,Rhona Natasha Mitra alizaliwa mwaka upi?
2681 Elisha Cuthbert alizaliwa wapi?
2682 Nchi ya Gabon iko na idadi ngapi ya watu?
2683 Sehemu ya juu ya nyumba huitwaje?
2684 Mario Brega alizaliwa mwaka upi?
2685 Je, idadi ya watu wanaoishi Andhra Pradesh ni ngapi?
2686 Hoteli ya Fairmont Royal York ilianzishwa lini?
2687 Je,nani alikuwa mfalme wa kwanza wa Roma?
2688 Mkoa wa Rukwa una wilaya ngapi?
2689 Dkt John Garang de Mabior alifariki mwaka gani?
2690 Jeff Koinange alizaliwa mwaka upi?
2691 Vladimir Nabokov aliandika vitabu vingapi?
2692 Sheikh Ilunga Hassan Kapungu alifia wapi?
2693 Je,Samwel Yellah alikuwa mchezaji wa kandanda?
2694 Gaius Julius Caesar alikuwa kiongozi wa Roma ya Kale kwa muda gani?
2695 Chama cha Liberal Democratic Party kilianzishwa na nani?
2696 Je,Afrika Mashariki ina nchi ngapi?
2697 Yobes Ondieki aliweka rekodi gani mwaka 1991?
2698 Je,mkoa wa Morogoro ina idadi ya watu wangapi?
2699 Je, Kakamega ni kaunti?
2700 Je, nani aligundua dawa ya Dawamfadhaiko?
2701 Je,Walter Rodney alizaliwa mwaka upi?
2702 Je,jeraha sugu ni hatari kwa mgonjwa wa kisukari?
2704 Wangari Muta Maathai alizaliwa lini?
2705 Je,jina ya kisayansi ya mti wa Kratom ni?
2706 Je, Abunwasi na mwandishi Abu Nuwas wana sifa zipi zinazo fanana?
2707 Kuna watu wanaoishi katika theluji?
2708 Philip Emeagwali alizaliwa mwaka upi?
2709 Kipindi cha Heroes kilizinduliwa mwaka upi?
2710 Je,mji wa Lamu inapatikana katika sehemu gani nchi Kenya?
2711 Je,jina kamili la msanii Professa Jay ni gani?
2712 Francisco Guillermo Ochoa Magaña alijiunga na timu ya Standard Liege mwaka upi?
2713 Je,kundi la Somethin' for the People lina wanachama wangapi?
2714 Mwanamuziki Shaggy alizaliwa mwaka upi?
2715 Kundi la muziki la Somethin' for the People lilianzishwa mwaka gani?
2716 Wade Andrew William alizaliwa wapi?
2717 Je, kuna tiba ya Dimenshia?
2718 Ujamaa nchini Tanzania ulianzishwa mwaka gani?
2719 Je,Toni Kroos anacheza katika nafasi gani katika mchezo wa soka?
2720 Mheshimiwa Paul Joseph Ngei alizaliwa wapi?
2721 Jina la kisayansi la Kulungu mwekundu ni gani?
2722 Hatua ya kwanza ya utafiti wa kisayansi ni ipi?
2723 Je,miraa inapatikana kwa wingi katika kaunti gani Kenya?
2724 Mji wa Tanga una idadi ngapi ya watu?
2725 Klabu ya Chelsea F.C ilianza mwaka upi?
2726 Ayatollah Ruhollah Musawi Khomeini alizaliwa wapi?
2727 Je,nani mwanzilishi wa mashindano ya WWE?
2728 Je,Tanzania ilipata uhuru mwaka upi?
2729 Makao makuu ya gazeti la Financial Times yanapatikana wapi?
2730 Je, Jua inaonekana katika sayari zote nane?
2731 Rwanda ilipata uhuru mwaka gani?
2732 Mji wa Lindi una idadi ngapi ya watu?
2733 Je,Doris May Lessing alikuwa na watoto wangapi?
2734 Je,Tanzania ina idadi ya wabunge wangapi katika serikali?
2735 Jina Furukombe linatokana na nini?
2736 Jeff Koinange alisomea chuo kikuu gani?
2737 Mhariri mkuu wa gazeti la The Era mwaka 1838 anaitwa nani?
2738 Kofi Annan alikuwa na wake wangapi?
2739 Doris Mollel alianzisha Taasisi ya Doris Foundation mwaka gani?
2740 Mikunga hupatikana maji ya chumvi ?
2741 Vita vya pili vya dunia viliisha mwaka gani?
2742 Je,nani alitengeneza meli ya MV Liemba?
2743 Dinosauri alikuwa anapatikana bara gani?
2744 Je,nani mmiliki wa gazeti la Financial Times?
2745 Je,klabu ya Gormahia ilianzishwa mwaka upi?
2746 Je,jumba refu zaidi nchini Dubai ni ipi?
2747 Je, Osama Bin Laden alifariki mwaka gani?
2748 Yesu alikuwa na wafuasi wa kike?
2749 Je,Willian Borges da Silva alizaliwa lini?
2751 Moses Masika Wetangula alisoma chuo kikuu gani?
2752 Je,Hillary Clinton alizaliwa mwaka upi?
2753 Je,Jamaika ina idadi ya watu wangapi?
2754 Kiongozi wa kwanza wa wakikuyu anaitwa nani?
2755 Mskiti wa Sultan Ahmed inapatikana wapi?
2756 Makao makuu ya Umoja wa Afrika yako wapi?
2757 Gazeti la The Province huchapishwa na kundi gani?
2758 Mkoa wa Njombe uko na wakazi wangapi?
2759 Je, Doris May Lessing alishinda tuzo la nini katika tuzo za Nobel?
2760 Je,mamake Emily Ruete alikuwa anaitwa nani?
2761 Je,mji mkuu wa Togo ni upi?
2763 Nyota inayo ng'aa zaidi inaitwaje?
2764 Mwanamziki Kanye West alizaliwa lini?
2765 Ukomeshaji wa biashara ya watumwa ulifanyika mwaka gani?
2766 Mhariri mkuu wa gazeti la Prajasakti mwaka 1981 anaitwa nani?
2767 Hoteli ya Cairo Marriott ilijengwa na nani?
2768 Je,Lisbon ni mjii mkuu wa nchi gani?
2769 Je,mji mkuu wa Ubelgiji ni upi?
2770 Jihadi ni nini?
2771 Je,Vladimir Nabokov alikuwa na watoto wangapi?
2772 Sibusiso Wiseman Zuma alizaliwa mwaka upi?
2773 Je,Masinde muliro alisomea katika chuo kikuu gani?
2774 Je,kitabu cha kwanza cha Ben J. Hanson ni ipi?
2775 Sokrates alikuwa mwanabiashara?
2777 Shule ya St. Andrews Turi ilianza mwaka upi?
2778 Ubingwa wa World Wrestling Entertainment umekuwa na washindi wangapi?
2779 Je,Remmy Ongala alikuwa na watoto wangapi?
2780 Ndovu hubeba mimba kwa miezi ngapi?
2781 Je,Jean Bedel Bokassa alikuwa na watoto wangapi?
2782 Qurani ya kwanza iliandikwa na nani?
2785 Je,Victor Nsofor Obinna alizaliwa lini?
2786 Je,msitu wa Mau una ukubwa kiasi gani?
2787 Ukubwa wa Mecklenburg ni kiasi gani?
2788 Antonio Casas alizaliwa lini?
2789 Ayatollah Ruhollah Musawi Khomeini alizaliwa mwaka upi?
2790 Homeri alizaliwa wapi?
2791 Je,Osama bin Mohammed bin Awad bin Laden aliuawa na nani?
2792 Asbel Kiprop alishiriki kwanza katika michezo ya Olimpiki ya mwaka gani?
2793 Kitenzi ni nini?
2794 Eminem ana albamu ngapi?
2795 Cordozar Calvin Broadus alizaliwa mji gani?
2796 Nani aligundua kundi nyota?
2797 Mnara wa Eiffel una urefu gani?
2798 Je, Kiswahili ni Pijini?
2799 Nini maana ya BK?
2800 Nani alituzwa tuzo ya Nobel ya Fasihi ya kwanza ulimwenguni?
2801 Mchungaji Chris Okotie alisomea chuo kikuu gani?
2802 Mto mrefu nchini Urusi ni upi?
2803 Je,msitu wa Mau ina ukubwa wa kiasi gani?
2804 Je ugonjwa ambao unasibishwa na unene mwilini unaitwaje?
2805 Je,nani mmiliki wa klabu ya Chelsea?
2806 Mji mkuu wa Moroko ni upi?
2807 Mkoa wa Arusha una makabila mangapi?
2808 Medard Matogolo Kalemani alizaliwa mwaka upi?
2809 Je, Shaka alipigana na makaburu?
2810 Je,gazeti la BrooWaha huchapishwa kila baada ya wakati gani?
2811 Je,mji mkuu wa Chad ni upi?
2812 Je,mhusika mkuu wa kipindi cha 24 ni nani?
2813 Je,Halima James Mdee alizaliwa mwaka upi?
2814 Kundinyota la Panzimaji lina nyota ngapi?
2815 Je,Wade Williams alizaliwa lini?
2816 Graviti kiligunduliwa na nani?
2817 Je,Benjamin S. Carson alisomea udaktari katika chuo kikuu gani?
2818 Togo ilipata uhuru mwaka gani?
2819 Je,uwanja wa nyumbani ya klabu ya Gor Mahia ni gani?
2820 Je, Tanga ni mkoa?
2821 Chama cha African National Congress kilianzishwa mwaka gani?
2822 Je, yesu alizaliwa mwaka gani?
2823 Mheshimiwa Paul Joseph Ngei alifariki mwaka gani?
2824 Je,Carlo Rota alizaliwa mwaka upi?
2825 Je,mji mkuu wa Morocco ni upi?
2826 Rosetta ilitumika kwa mara ya kwanza mwaka gani?
2828 Mkoa wa Njombe ulianzishwa lini?
2829 Je Kangaroo wanapatikana nchini Australia pekee?
2830 Yesu alisulubiwa katika mlima gani?
2831 Kampuni ya Sunshine biscuits inapatikana nchi gani?
2832 Maji huchemka kwa ailimia ngapi ya joto?
2833 Je,msanii Juma Nature alizaliwa lini?
2834 Je,Pol Pot alizikwa wapi?
2836 Je, Mkoa wa tanga una ukubwa gani?
2837 Je,Emil von Zelewski alizaliwa mwaka upi?
2838 Mkoa wa Mbeya ulianzishwa lini?
2839 Bill Clinton ana watoto wangapi?
2840 Boma la Kale lina miaka mingapi?
2841 Je,R. Kelly alizaliwa mwaka gani?
2842 Dkt Geoffrey William Griffin alizaliwa nchi gani?
2843 Je, Miraa inapatikana kwa wingi katika kaunti gani nchini Kenya?
2844 Doris Mollel alianzisha Taasisi ya Doris Foundation mwaka upi?
2846 Je,jina ya kisayansi ya muhogo ni ipi?
2847 Mohammed Gulam Dewji alizaliwa wapi?
2848 Je,gazeti la Financial Times ilizinduliwa mwaka upi?
2849 Pepe Kale alikuwa mwanamziki wa kutoka nchi gani?
2850 Mheshimiwa Paul Joseph Ngei alikuwa kizuizini kwa miaka mingapi?
2851 Mji wa Casablanca una idadi ngapi ya watu?
2852 Sally McLellan anashikilia rekodi ya wapi?
2853 Pathojeni ni nini?
2854 Daraja la Suez lilijengwa mwaka gani?
2855 Panya hubeba mimba miezi mingapi?
2856 Jina la Bauxiti linatokana na nini?
2857 Je,rais wa kwanza wa marekani kushinda taji la Nobel ni nani?
2858 Mpwapwa iko na idadi ngapi ya watu?
2859 Wangari Muta Maathai alishinda tuzo gani mwaka wa 2004?
2860 Je,nani mwanzilishi wa Chama cha Mapinduzi?
2861 Mkoa wa Arusha una ukubwa gani?
2862 Mario Brega alikuwa na urefu kiasi gani?
2863 Je,Osama bin Mohammed bin Awad bin Laden alikuwa wa kutoka nchi gani?
2864 Dini ya Ukristo ina idadi gani ya waumini Duniani mnamo mwaka 2019?
2865 Yesu Kristo aliishi Miaka ngapi duniani?
2866 Nani alitawala China baada ya nasaba ya Qing?
2867 Mfumo wa Ujamaa nchini Tanzania ulianza mwaka gani?
2868 Je,Kangaroo inapatikana nchini Australia pekee?
2869 Kieran Trippier alizaliwa wapi?
2870 Je,nani alizindua chombo cha darubini?
2871 Amani James Pausen Temba alijiunga na sanaa mwaka gani?
2872 Kasoko ya Ngorongoro inapatika wapi?
2874 Je,mji mkuu wa Chad?
2875 Je, Halima James Mdee alijiunga na siasa mwaka upi?
2876 Nani alizundua chombo cha darubini?
2877 Nimrod Elireheemah Mkono alizaliwa mwaka upi
2878 Je,Leo Africanus alizaliwa mwaka upi?
2879 Thiago Silva alizaliwa mwaka gani?
2880 Je,hospitali kongwe zaidi nchini Kenya ni gani?
2881 Yesu alikuwa na wanafunzi wa kike?
2882 Je, Wangari Muta Maathai alikuwa na watoto?
2883 Je,Jeff Koinange alifanyia kazi CNN kwa miaka ngapi?
2884 ’William Kiptarus Tanui alishinda nishani gani katika olimpiki ya 1992?
2885 Mwili wa binadamu una mifumo mingapi ya fahamu?
2886 Hewa ina uzito gani?
2887 Pablo Ruiz Picasso alianza uchoraji akiwa na miaka mingapi?
2888 Je,buibui yuko katika spishi gani ya wadudu?
2889 Kaburi la yesu liko wapi?
2890 Mashine ya kwanza ya kushona nguo iligunduliwa na nani?
2891 Barua pepe ni nini?
2892 Yesu alizaliwa mwaka gani?
2893 Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu kilizunduliwa mwaka upi?
2894 Mwai Kibaki alizindua chama gani cha siasa?
2895 Bombomu kiligunduliwa nchini gani?
2896 Mtume Mohammed alikuwa na wake wangapi?
2897 Philip Emeagwali alisomea uhandisi katika chuo gani?
2898 Sudan People's Liberation Army ilianzishwa lini?
2899 Uganga wa meno ulianzia wapi?
2900 Je,maumivu ya mgongo inahusiana na uti wa mgongo?
2901 Je,Chama Cha Mapenduzi ni chama cha kisiasa cha nchi gani Afrika?
2902 Je,hoteli ya Cairo Marriott ilijengwa lini?
2903 Je,kuna idadi ya watu wangapi jijini Lubumbashi?
2904 Samia Yusuf Omar alianza riadha mwaka gani?
2905 Lamu ya kale iligunduliwa mwaka gani?
2906 Je ni spishi gani mbili ya Vifaru inapatikana Afrika?
2907 Mwarubaini hutibu magonjwa arobaini?
2908 Ugonjwa wa Malale uligunduliwa nchi gani mwanzo?
2909 Je,Paul Emil von Lettow-Vorbeck alizaliwa lini?
2910 Je,sensa hufanywa baada ya kila miaka ngapi?
2911 Je,Tanzania ina eneo bunge ngapi?
2912 Je,Jean Bedel Bokassa alikuwa na wake wangapi?
2913 Je, makao makuu ya Kampuni ya Microsoft iko wapi?
2914 Nani mwanzilishi wa mchezo wa WWE?
2915 Je,babake Aloysius Gonzaga aliitwa nani?
2916 Je, Chelsea imewahi kushinda ligi ya uingereza?
2917 Je,Mutalemwa Jason Theobard alinza mziki mwaka upi?
2918 Je,Edgar Leonard Luhende alizaliwa lini?
2919 Jina wa mji wa Durban linatokana na nini?
2920 Mti wa Moringa una tibu magonjwa aina ngapi?
2921 Je,Wentworth Miller alisomea katika chuo kikuu gani?
2922 Kituo cha redio cha Citizen nchini Kenya kinamilikiwa na nani?
2923 Mji wa Moshi una idadi ngapi ya watu?
2924 Halijoto ya mwili hupimwa kwa kifaa gani?
2925 Willian Borges da Silva alijiunga na klabu ya Chelsea mwaka gani?
2926 Dkt Geoffrey William Griffin aliaga dunia mwaka upi?
2927 Wangari Muta Maathai alizaliwa mwaka upi?
2928 Je,Ayatollah Ruhollah Musawi Khomeini alikuwa na watoto wangapi?
2929 Je,Doris Mollel alizaliwa mwaka upi?
2930 Kuna idadi ngapi ya wakristo ulimwenguni?
2931 Yesu Kristo alizaliwa sehemu gani?
2932 Malkia was kwanza uingereza aliitwa Nani?
2933 Msitu wa Mau uko na ukubwa wa kiasi gani?
2934 Philip Emeagwali ana miaka mingapi?
2936 Mpapai una urefu gani?
2937 Je,Yobes Ondieki alizaliwa lini?
2938 Kofi Annan ana watoto wangapi?
2939 Ugonjwa w Ndui uligunduliwa lini?
2940 Kisiwa cha Pemba kina ukubwa gani?
2941 Je,MV Liemba ina urefu wa kiasi gani?
2942 Je, Moroko ni mwanachama wa muungano wa Afrika?
2943 Sarah Wayne Callies ana watoto?
2944 Je,mji mkuu wa Moroko ni upi?
2945 Je mwanariadha Asbel Kiprop alizaliwa wapi?
2946 Wade Andrew William ana watoto wangapi?
2947 Chelsea ina milikiwa na nani?
2948 Nchi ya Albania iko katika bara gani?
2949 Karl Peters alisomea vyuo ngapi vikuu?
2950 Wangari Muta Maathai alizaliwa wapi?
2951 Aloysius Gonzaga alizaliwa mwaka gani?
2952 Osama bin Mohammed bin Awad bin Laden aliuawa na nani?
2953 Je,nini maana ya graviti?
2954 Je,Sally McLellan alizaliwa mwaka upi?
2955 Ubaridi wa ashiki una dawa?
2957 Kampuni isambazayo umeme nchini Kenya inaitwaje?
2958 Je,jina la kisanii la Mutalemwa Jason Theobard Mushumbusi ni gani?
2960 Emily Ruete alifariki katika nchi gani?
2961 Je,Leleti Khumalo alizaliwa mwaka upi?
2962 Remmy Ongala alifariki mwaka gani?
2963 Je,mji mkuu wa Tanzania ni upi?
2964 Je,panya hubeba mimba kwa muda wa miezi ngapi?
2965 Je, kuna mwanamke aliye enda mwezini?
2967 Katiba ya Kenya iliandikwa mwaka gani?
2968 Oliver N'Goma alizaliwa mwaka gani?
2969 Panya hubeba mimba kwa miezi mingapi?
2970 Philip Emeagwali alizaliwa wapi?
2971 Je,Yobes Ondieki ana watoto wangapi?
2972 Je,Albania iko katika bara gani?
2973 Christopher Richard Mwashinga alizaliwa mwaka upi?
2976 Popo ni mnyama au ndege?
2977 Shule ya St. Andrews ilianzishwa mwaka gani?
2978 Je,James Watt alizaliwa lini?
2979 Vladimir Nabokov alisoma chuo kikuu gani?
2980 Bendi ya Les Wanyika ilianza na wana bendi wangapi?
2981 Thiago Silva alizaliwa wapi?
2982 Ingolstadt ina ukubwa gani?
2983 Je,Nimrod Elireheemah Mkono alizaliwa mwaka upi?
2984 Mwanamziki Rihana alizaliwa mwaka upi?
2985 Je,Monique Séka alizaliwa lini?
2986 Je,moyo kushindwa kusambaza damu ina tiba?
2987 Ben Carson alisoma chuo kikuu gani?
2988 Osama Bin Laden alizaliwa wapi?
2989 Kitabu cha Esta kiliandikwa na nani?
2990 Je, Mji mkuu wa Zimbabwe ni upi?
2991 Karl Peters alifika Afrika mwaka gani?
2992 Je,mkutano wa kwanza wa Umoja wa Mataifa ulifanywa katika nchi gani?
2993 Malkia Kleopatra alizaliwa wapi?
2994 Je,mwanamke wa kwanza nchini Kenya kuwa professa ni nani?
2995 Je, Tanzania ilitawaliwa na wakoloni?
2996 Philip Emeagwali alishinda tuzo gani?
2997 Professa Jay ni mbunge wa eneo gani nchini Tanzania mwaka 2019?
2998 Je,Remmy Ongala alizaliwa lini?
2999 Je, Lady Jaydee alianza kuimba akiwa na miaka mingapi?
3000 Je,msitu wa Mau inapatikana katika kaunti gani?
3001 Je, kampuni ya Microsoft ina miaka mingapi?
3002 Mwai Kibaki alisomea elimu ya siasa?
3003 Je,Wangari Maathai alipata Tuzo la Nobeli mwaka upi?
3004 Aliko Dangote alizaliwa mwaka upi?
3005 Chama cha TANU kilianzishwa mwaka gani?
3006 Chama cha TANU kilianzishwa na nani?
3007 Je,kitenzi ni nini?
3008 Oprah Winfrey ana utajiri kiasi gani?
3009 Je, mnara wa Eiffel ulijengwa mwaka gani?
3010 Je,nani alikuwa mfalme wa kwanza wa Saudi Arabia?
3011 Je, Omri baba yake Ahabu alikuwa mfalme?
3012 Je,mwanamziki wa Kenya Wahu alisomea nini katika chuo kikuu?
3013 Pepe Kale alizaliwa mwaka upi?
3014 Je,Wentworth Miller alizaliwa mwaka upi?
3015 Kwa nini Mnara wa Eiffel ulitengenezwa?
3016 Je, R.Kelly alianza kuimba mwaka gani?
3017 Moses Wetangula alisoma chuo kikuu gani?
3019 Bahari ya Mediteranea iko na ukubwa wa kiasi gani?
3020 Je,Musikari Nazi Kombo alizaliwa mwaka upi?
3021 Ruwaza ya Kenya 2030 ilitengenezwa mwaka upi?
3022 Je,Je,kipindi cha Heroes kilizinduliwa mwaka upi?
3023 Je,mkoa wa Tanga ina idadi ya watu wangapi?
3024 Tanga ina idadi ngapi ya watu?
3025 Chama cha NARC nchini Kenya kilianzishwa mwaka gani?
3026 Je,R. Kelly ana mke?
3027 Daraja la Suez ni daraja linalovuka wapi?
3028 Shubili ni nini?
3029 William Samoei arap Ruto alijiunga na siasa mwaka gani?
3032 Mkoa wa Tabora una idadi ngapi ya watu?
3033 Je,nchi ya Norwei iko katika bara gani?
3034 Mwanamziki wa Senegal Akon alianza mziki mwaka upi?
3035 Jeff Koinange alizaliwa wapi?
3036 Je,lugha rasmi nchini Cote d'Ivoire ni gani?
3037 Elementi ya Ununhexi iligunduliwa na nani?
3038 Shule ya St. Andrews "Turi" ilianza mwaka upi?
3039 Karl Peters aliaga dunia mwaka upi?
3040 Kenneth David Kaunda alizaliwa wapi?
3041 Leo Africanus alizaliwa mwaka gani?
3042 Je,Hilary Clinton alizaliwa lini?
3043 Mchezo wa mpira wa vikapu ulianzia wapi?
3044 Mario Brega alizaliwa wapi?
3045 Emily Ruete aliandika vitabu vingapi?
3046 Je,Reiko Aylesworth alizaliwa lini?
3047 Sally McLellan ana miaka mingapi?
3048 Kuna aina ngapi ya arithropodi?
3049 Je,chombo cha darubini kilizinduliwa na nani?
3050 Je,Visa Inc ilianza mwaka upi?
3051 Ukubwa wa kijiographia wa bahari la Mediteranea ni kiasi gani?
3052 Je,ugonjwa wa upele unaweza mpata mtoto wa chini ya umri ya miaka tano?
3053 Je,Mutalemwa Jason Theobard alizaliwa lini?
3054 Je, Yesu alisulubiwa katika mlima gani?
3055 Je,Afrika mashariki ina nchi ngapi?
3056 Je, Mfumo mkuu wa usafiri mjini Lamu Punda?
3057 Francis Coquelin alijiunga na klabu ya Arsenal mwaka gani?
3058 Je,filamu ya kwanza ya Seko Shamte kuandika ni ipi?
3059 Je.daraja la Suez Canal ilizinduliwa mwezi upi?
3060 Je,Hifadhi ya Taifa ya Amboseli ina ukubwa wa kiasi gani?
3061 Asbel Kiprop alizaliwa wapi?
3063 Kenneth David Kaunda alizaliwa mwaka upi?
3064 Je,popo ni ndege ama mnyama?
3065 Je,rais wa kwanza wa Zimbabwe aliitwa nani?
3066 Nchi ya Namibia ilipata uhuru mwaka gani?
3067 Mkoa wa Lindi uko na wakazi wangapi?
3068 Yesu Kristo alizaliwa mwaka gani?
3069 Konfusio alizaliwa mwaka upi?
3070 Medard Matogolo Kalemani alisomea shule gani ya msingi?
3071 Uganda ishawai shiriki katika mchezo wa olimpiki?
3072 Je,Kieran Trippier alizaliwa mwaka upi?
3073 Pablo Ruiz Picasso alizaliwa wapi?
3074 Mnara wa Eiffel ulitengenezwa mwaka upi?
3075 Je, Mwamvita Makamba alisoma chuo gani kikuu?
3076 Sibusiso Wiseman Zuma alizaliwa mwaka gani?
3077 Je,Willian Borges da Silva alijiunga na klabu ya Chelsea mwaka upi?
3078 Mkoa wa Tabora una ukubwa kiasi gani?
3079 Osama bin Mohammed bin Awad bin Laden alizaliwa wapi?
3080 Je,Saul Niguez alizaliwa mwaka upi?
3081 Je,watu wangapi walipoteza maisha yao katika Shambulio la 11 Septemba 2001?
3082 Filamu ya Heroes ina misimu mingapi?
3083 Somo la mwili wa mwanadamu linaitwaje?
3084 Umoja wa Afrika ulianzishwa lini?
3085 Msanii Lil Wayne ana watoto wangapi?
3086 Francisco Guillermo Ochoa Magaña alizaliwa mwaka upi?
3087 Je, Indonesia ina visiwa vingapi?
3088 Joachim Kimario ana tuzo ngapi za muziki?
3089 Vasco Da Gama alikuwa nani?
3090 Mary Lynn Rajskub alizaliwa wapi?
3091 Nimrod Elireheemah Mkono alizaliwa wapi?
3092 Alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa ni nini?
3093 Je, Isimu Jamii ni nini?
3094 Asbel Kiprop alianza riadha mwaka gani?
3095 Sally McLellan alijiunga na riadha mwaka gani?
3096 Je, kuna alama ngapi za lugha ya ishara?
3097 Je,Trevor Noah aliandika kitabu cha Born a Crime mwaka upi?
3098 Je,pathojeni ni nini?
3099 CSF ina maana gani?
3100 Je,mfalme wa kwanza wa Saudia aliitwa nani?
3101 Thiago Silva alijiunga na timu ya Milan mwaka upi?
3102 Ziwa lenye maji yenye chumvi zaidi nchini Kenya ni lipi?
3103 Mlima Teide una urefu gani?
3104 Moses Wetangula alijiunga na siasa mwaka upi?
3105 TANU ilianzishwa na nani?
3106 Nancy Abraham Sumari alizaliwa mkoa gani?
3107 Je,nani mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft?
3108 Je, matumizi ya bangi ni halali katika nchi ngapi ulimwenguni?
3109 Je,Seko Shamte alizaliwa lini?
3110 Klabu ya Soka ya Chelsea ilianzishwa mwaka upi?
3111 Je, Kifaru ana urefu kiasi gani?
3112 Je, Zakaria na mkewe Elizabeti walikuwa na watoto?
3113 Daktari Benjamin S. Carson alisoma chuo kikuu gani?
3114 Je,wilaya ya Lindi Vijijini iko katika nchi gani?
3116 Jiji la Mwanza lilianzishwa lini?
3117 Lugha rasmi ya nchi ya Kodivaa ni ipi?
3118 Je,kuna mihogo yenye sumu?
3119 Kieran Trippier alizaliwa mwaka upi?
3120 Je,Professa Jay alipata kuwa mbunge mwaka upi?
3121 Mji mkuu wa Ginekweta unaitwaje?
3122 Je,Serbia iko katika bara gani?
3123 Je,nani mwandishi wa kipindi cha Heroes?
3124 Je,Shule ya Aga Khan Academy mjini Mombasa inapatikana katika sehemu gani?
3125 Furukombe ana urefu kiasi gani?
3126 Je,Sheikh Ilunga Hassan Kapungu alizikwa wapi?
3127 Bavaria ina idadi ngapi ya watu?
3128 Uprotestanti ni nini?
3129 Kalenda ya Gregorian ilianza kutumika mwaka upi?
3130 Suruali ya kwanza iligunduliwa na nani?
3131 Je,Serikali ya Tanzania huwa na wabunge wangapi?
3132 Klabu ya Chelsea ilianzishwa mwaka gani?
3133 Je,mke wa Walter Rodney alikuwa anaitwa nani?
3134 Mji mkubwa Misri ni gani?
3135 Mkoa wa Tanga una idadi ngapi ya watu?
3136 Mesopotamia inapatika wapi duniani?
3137 Vita vya nchi ya Sudan vilianza mwaka gani?
3138 Dwight David Eisenhower alijiunga na siasa mwaka gani?
3139 Mwandiko wa Kikyrili ulianzia wapi?
3140 Wingu la Oort liligunduliwa na nani?
3142 Je,Christopher Richard Mwashinga alizaliwa mwaka upi?
3143 Kalenda ya Julien ilindikwa mwaka gani?
3144 Je,Musalia Mudavadi ni kiongozi wa Chama kipi ya kisiasa?
3145 Samwel Yellah aliteuliwa kama meneja wa klabu ya Black Leopard Fc Under20 mwaka gani?
3146 Jina Impala linatokana na nini?
3147 Je, Yesu Kristo alizaliwa wapi?
3148 Asili ya Suruali ni ipi?
3149 Je,KCPE ilianza lini nchini Kenya?
3150 Alexandre Dimitri Song Billong ana umri gani?
3151 Je,mji mkuu wa Jamaica ni nani?
3153 Je, Beres Hammond alizaliwa lini?
3154 Je, nini maana ya utawa?
3156 Je,mwanamziki Ray C alianza mziki mwaka upi?
3157 Wagikuyu wanapatika sana mkoa gani nchini Kenya?
3158 Je,Mheshimiwa Temba alizaliwa mwaka upi?
3159 Meli ya MV Liemba ilitengenezwa mwaka gani?
3160 Mfumo wa umwagiliaji mimea maji ulianzia wapi?
3162 Je, Wasuba hupatikana magharibi mwa Kenya?
3163 Mji mkuu wa Namibia unaitwaje?
3164 Amani James Pausen Temba ni mwanachama kiongozi wa kitu gani?
3165 Mbosso Khan ana nyimbo ngapi?
3166 Jane Somers alikuwa nani?
3167 Nancy Abraham Sumari na Nakaaya Sumari ni ndugu?
3168 Je, mfumo wa Ujamaa nchini Tanzania ulianza mwaka gani?
3169 Je,wimbo wa kwanza wa Edgar Leonard ni upi?
3170 Zavara Mponjika ni raia wa nchi gani?
3171 Dkt John Garang de Mabior alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan chini ya uongozi wa rais yupi?
3172 Wilaya ya Kilombero iko na idadi ngapi ya watu?
3173 Michael Wamalwa Kijana alifariki mwaka gani?
3174 Mmenyuko wa mzio una tiba?
3175 Je, sensa hufanya baada ya miaka ngapi nchini Kenya?
3177 Je, Jamaika ndio chimbuko la muziki wa reggae?
3178 Je,Joachim Kimario alizaliwa mwaka upi?
3179 Nilgai ana pembe ngapi?
3180 Mhariri mkuu wa gazeti la Financial Times mwaka 2018 anaitwa nani?
3181 Chama cha KANU kilianzishwa mwaka gani?
3182 Shirikisho la Amerika ya Kati ilikuwa na nchi ngapi?
3183 Je,Rhona Natasha Mitra alianza kuwa mwanamitindo lini?
3184 Jina Bauxiti linatokana na nini?
3186 Mkoa wa Lindi uko na ukubwa wa kiasi gani?
3187 Je, mtangazaji Jeff Koinange alifanya kazi kituo cha KTN kwa muda gani?
3188 Je,Rebeca Z. Gyumi alizaliwa katika mkoa gani nchini Tanzania?
3189 Ni nani mwanzilishi wa kifaa cha kuzalisha nishati duniani?
3190 Je,William Kiptarus Tanui alizaliwa lini?
3191 Je,mwanamziki Profesa Jay ni mbunge wa wapi nchini Tanzania?
3192 Nchi ya Senegal ilipata uhuru mwaka gani?
3193 Saul Niguez ana miaka mingapi?
3194 Je,kundi la Kalamashaka ilianza mwaka upi?
3195 Kofi Annan alifariki mwaka gani?
3196 Je,yesu alikuwa na wafuasi wangapi?
3197 Mvinyo ulitengenezwa kwanza nchi gani?
3198 Mwanamziki Shaggy alianza kuimba mwaka upi?
3199 Wade Andrew William alizaliwa mwaka upi?
3200 Je,Karl Peters aliaga dunia mwaka upi?
3201 Musikari Nazi Kombo alizaliwa mwaka gani?
3202 Je, Kolo Habib Toure alizaliwa mwaka upi?
3203 Ukomeshaji wa biashara ya watumwa uliongozwa na nani?
3204 Mwanamuziki Mbosso alizaliwa lini?
3205 Je,Jean Bedel Bokassa alizaliwa mwaka upi?
3207 Rais wa Kongo mwaka wa 1971 alikuwa nani?
3208 Jua hutua upande gani?
3209 Mtume Thoma alikuwa nani?
3210 Je,Pablo Ruiz Picasso alikuwa na watoto wangapi?
3211 Je, nchi ya Jamaika ipo chini ya utawala wa malkia wa Uingereza?
3212 Je, Lugha asilia ya kitabu cha Alfu Lela Ulela ni ipi?
3213 Tuzo la kwanza la Nobel lilituzwa nani?
3214 Thiago Silva alizaliwa mwaka upi?
3215 Kundinyota la Zodiaki lina nyota ngapi?
3217 Je, Biblia ina manabii wangapi?
3218 Je Senegali ilishiriki katika kombe la dunia mwaka 2010?
3219 Milima ya Upare inapatikana mkoa gani?
3220 Cherehani ya kwanza ilitengenezwa mwaka gani?
3221 Nyota ngapi zipo duniani?
3222 Dkt Geoffrey William Griffin alisomea nchi gani?
3223 Je,Jack Andrew Wilshere alizaliwa lini?
3224 Mchungaji Chris Okotie aligombea kiti cha urais mwaka gani?
3225 Rais wa Marekani mwaka wa 1965 anaitwa nani?
3226 Je,sensa nchini Marekani hufanywa kila baada ya miaka ngapi?
3227 Beres Hammond alizaliwa mwaka gani?
3228 Vifaru wana pembe yenye urefu kiasi gani?
3229 Je,yesu alikuwa ana wafuasi wangapi?
3230 Je,Mheshimiwa Temba alianza sanaa ya mziki mwaka upi?
3231 Mchungaji Chris Okotie ana miaka mingapi?
3232 Je,mmiliki wa klabu ya Chelsea anaitwa nani?
3233 Medard Matogolo Kalemani alizaliwa wapi?
3234 Kolo Habib Toure alizaliwa wapi?
3235 Je, pweza huliwa?
3236 Je,Nge wote wana sumu?
3237 Je,Luís Vaz de Camões alizaliwa mwaka upi?
3238 Je,Gerard Piqué Bernabéu alijiunga na klabu ya Barcelona mwaka upi?
3239 Je, kuna mihogo yenye sumu?
3240 Mchezaji Christiano Ronaldo anachezea timu gani?
3241 Nabii Yeremia alifanya unabii mwaka gani?
3242 Je, Pablo Ruiz Picasso alizaliwa lini?
3243 Je Roma ndio mji mkuu Italia?
3244 Vasco da Gama alifika lini pwani ya Afrika Mashariki?
3245 Shaw Hassan Shaw Rwamboh alizaliwa mwaka upi?
3246 Je,Ayatollah Ruhollah Musawi Khomeini aliaga dunia mwaka upi?
3247 Je,mji mkubwa wa Morocco ni upi?
3248 Je,inchi ya Iceland ina idadi ya watu wangapi?
3249 Je, muigizaji Priyanka Chopra ni wa nchi gani?
3250 Kaa ana urefu gani?
3251 Je,William Samoei arap Ruto alikuwa mbunge wa wapi?
3252 Je,Wade Andrew William alizaliwa mwaka upi?
3253 Je,Yesu alisulubishwa katika mlima upi?
3254 Nairobi ina idai ya watu wangapi?
3255 Yesu alifunga siku ngapi jangwani?
3256 Jack Andrew Wilshere alijiunga na klabu ya Arsenal mwaka gani?
3257 Mwamvita Makamba alizaliwa wapi?
3258 Mary Lynn Rajskub alizaliwa mwaka upi?
3259 Sibusiso Wiseman Zuma alizaliwa wapi?
3260 Kuna aina ngapi za gari?
3261 Je,hoteli ya Fairmont Royal York iko katika sehemu gani katika eneo la Toronto?
3262 Bunge la Tanzania lina wabunge wangapi kwa jumla?
3263 Je,Hoteli ya Fairmont Royal York ilizinduliwa lini?
3264 Fly Me to the Moon uliimbwa ulirekodiwa na nani?
3265 Neno kiebrania iko na maana gani?
3266 Je,ni wimbo gani wa kwanza kuimbwa na kundi la The Wailers?
3267 Je,nani mwanzilishi wa World Wrestling Entertainment?
3268 Nchi ya Norwei ipo katika bara gani?
3269 Moses Masika Wetangula alizaliwa wapi?
3270 Michael Wamalwa Kijana alifariki akiwa na miaka mingapi?