text
stringlengths
29
186k
Bima ya kijamii haijumuishi mipango ambayo tu ni ya wafanyikazi wa shirikisho kwa sababu ya sheria iliyopitishwa.
CIO mwakilishi na CIO wa kampuni wanafaa kugawa mamlaka katika kampuni ya baadhi ya mashirika
Kuna sababu fulani ya kuingilia unywaji pombe katika chumba cha dharura wakati mgonjwa bado amelawa.
Wafanyakazi wa posta huko Marekani hulipata pesa kidogo kuliko wafanyakazi wa posta katika nchi zingine.
Huduma za kifedha na mifumo ya mawasiliano bado hawajajiunga na sekta ya teknolojia ya habari.
Matokeo muhimu ya wakati wa kupungua yanaweza kuwa na uzoefu katika kuboresha teknolojia kwenye hali ngumu zaidi.
Kuna vitengo vingine ambavyo vinaweza kukamilisha maagizo haya kwa haraka zaidi kwa bei ya juu.
Ofisi ya sensa ya Marekani imepanga data yake na msimbo posta tangu miaka ya 1960.
Data inayohusiana na idadi ya watu na nyumba ilikusanywa sensa ya 1990 imeandaliwa na kodi ya ZIP .
Serikali zinazotumia biashara za umeme zina uwezo wa kuongeza ufanisi kwa asilimia kumi na mbili.
Vitengo vya MWe 900 vinaungua juu ya makaa ya mawe ya sulfu ya asilimia 1.5.
Kwa mwaka ujao serikali itakuwa na mikataba bora kwa ukamilifu dola milioni tano kila mwaka.
Wakili waCalifornia hawezi jua kwa hakika kama mteja amevuka mpaka kutoka Mexico kwa muda mfupi
Kuna watu ambao kazi yao pekee ni kusimamia mabadiliko katika viwanda vya Posta na utoaji.
Uzito wa posta nchini Ufaransa uko chini mno kusaidia kiwango sawa cha huduma za utoaji za maili ya mwisho kama ilivyo nchini Marekani.
Wanachama wa bodi ya CVR hawakuweza kukubaliana vile watapeana pesa na matokeo ya kura yalikuwa nusu nusu.
Ingekuwa vizuri iwapo Milne na Ralph wangekuwa wanachama wawili wa bodi kutopiga kura ya pamoja.
Wafanyakazi wa shirikisho wanakubaliana kwa sheria na masharti sawa kama watu wengine walio chini yake.
Wanachama wa kaya za wastani wanapaswa pia kuongezeka kwa akiba binafsi kupitia mipango ya pensheni.
Wazima moto wa Jimbo la Baltimore hawana mpango kwa ajili ya wazima moto waliojeruhiwa na wataalamu wa matibabu kuwapa msaada wa ziada wa kifedha wanapoumia.
Kuna mpango wa wapiganaji wa moto wa jimbo la Baltimore kuwasaidia kwa kifedha ikiwa wataumia katika kazi.
Kuna tofauti kubwa katika uhusiano wa C-R katika sehemu ya kaskazini ikilinganishwa na sehemu ya kusini.
Kuwekeza na shirika ambazo zinaruhusu mtu kutoa pesa wakati wowote, inaifanya iwe rahisi kwako kupata pesa zako.
Uhandisi wa awali na majadiliano ya mkataba yaweza chukua mda wa miezi sita hadi minane.
Wagonjwa ambao hutumia ED hupata manufaa katika kupona kwao kutokana na matumizi mabaya ya pombe.
Centelink haijawahi kuwa na malipo yasiyo sahihi yanayosababishwa na tangazo la mapato lisilo sahihi la wateja.
Wagonjwa tofauti hupata kuwa mbinu tofauti huwasaidia kupata nafuu kutokana na utumiaji mbaya wa Pombe.
Haitachukua zaidi ya mwaka mmoja ili kutekeleza mfumo wa SCR katika kitengo kimoja cha mwako.
Ziara ya ED inaweza kuwa chombo cha funzo kwa watu wenye matatizo ya kunywa (ulevi).
Utafiti unaonyesha kwamba wengi wa watu ambao wameathirika na unywaji pombe hutembelea ED aghalau mara moja maishani mwao.
Kwa muda wa miezi sita, deni ya wanafunzi imejadiliwa na kikundi cha watu kule mji wa New York
FBI hawakuweza ata kumpata yule mwanaume hata baada ya yeye kutoka Florida mnamo mwaka wa 2001.
Sisi tuna uhakika wa 100% ya uhakika Clarke kamwe hakutoa karatasi yake kwa mtu yeyote.
Watu walipata wakati mgumu kuwasiliana katika Kituo cha Biashara cha Dunia kwa kuwa nguvu za umeme hazikuwa na laini za simu zilikuwa zimeharibika.
Deta ya kudhibiti trafiki ya anga FAA ilichunguzwa na kundi ya kujitegemea na kupatikana kwamba wadhibiti walifanya kazi nzuri.
Mnamo mwaka wa 1993 kulikuwa na jaribio la kulipua ghorofa la Kituo cha Biashara cha Dunia.
South Tower ulipungua dakika 30 kabla ya afisa akizungumza na vitengo vya ESU katika North Tower.
Walipewa taarifa fupi kuhusu hali ya makundi mawili ya upigaji wa uchukuzi katika Bahari ya Mediterania.
Clarke hakuwai ambia Mshauri wa Usalama wa Taifa Rice, kwamba kikundi cha siri cha Al Qaeda pengine kilikuwa nchini Marekani.
Clarke kwa mara nne, aliiambia Mshauri wa Usalama wa Taifa Rice, kwamba kikundi cha siri cha Al Qaeda pengine kilikuwa nchini Marekani.
Clarke alimwambia Mshauri wa Usalama wa Taifa Rice kuwa seli za kulala za al Qaeda labda zilikuwa Marekani.
Sekta ya ulinzi wa hewa ya Kusini-Mashariki ilipokea neno la tukio tu baada ya sekunde 28 baada ya kufanyika.
Al Qaeda ilikuwa shirika la usawa ambalo lilikuwa na uwezo wa kufanya kazi na uongozi mdogo.
Mpango huu ulitelekezwa kwa sababu Taliban walitaka kiasi kikubwa cha pesa na silaha kwa ushirikiano.
Atta na Omar waliketi kwenye viti karibu na dirisha wakati wengine waliketi kwenye viti vya njia baina ya viti.
Sababu ya msingi ambayo taarifa ilikuwa hapo awali kwa wale wanaohitaji kujua tu, ilikuwa tishio la wachambuzi waongo wanaofichua siri.
Wakati tishio la kijeshi la Soviet lilipomaliza kupunguza matumizi ya usalama wa kitaifa wa Marekani.
Wasaudia walimwalika mjumbe wa Amerika kuja kufanya kazi katika mradi wa amani wa mashariki ya kati.
Idara ya ujasusi ya Marekani ya CIA iliamini kuwa Bin Ladin angetoka Sudan mapema hata Mei.
Idara la ujasusi la CIA ilikuwa na hakika kuwa Bin Ladin angekaa Sudan kwa miaka kadhaa.
Kuna ushahidi kuwa Atta na Shehhi walifanya bidii kuwa marubani bora zaidi mwezi wa Juni.
mchambuzi wa CTC aliweka msingi wa maelezo yake kwenye taarifa zilizokuwa zimetokea kwenye mwezi uliopita
Mihdhar alikuwa na nia ya kukaa katika Marriott awali, lakini usherati dakika ya mwisho ilimsababisha kukaa na mpenzi.
Kulikuwa na mamia ya majina ambayo walinda usalama wa Thailand waliweka katika orodha ya wanaotazamwa.
Kikundi hicho kilikuwa na uwezo wa kufika katikati ya usiku, kwa sababu hakuna mtu ambaye alitarajia kuwasili kwao.
Kulikua na ukosekaji wauratibu kati yaFDNY na NYPD tarehe kumi na moja mwezi wa November
Alikuwa na muda mwingi wa kuchukua muda mrefu wa likizo wakati akifanya kazi kwenye miradi hii.
Kuweka maafisa wapya ofisini na kufanya kazi katika sera ya ulinzi ilikuwa miradi ya kukula mda.
Hati ya mwisho ya sera ya ulinzi ilikuwa ya kurasa zaidi ya mia tano urefu.
Hakuna mfanyakazi wa Mamlaka ya Bandari aliyekaa kwenye sakafu ya juu ili kuwaokoa raia wasio na uwezo.
Haingewezekana kutoa Taliban Kabul hivyo basi baadhi ya washiriki wa jeshi la Marekani walijadiliana kuwasaidia wapinzani wao.
Waziri wa fedha Paul O'Neill aliambiwa asijali kuhusu utoaji wa msada wa kifedha wa Al Qaeda.
Vifungu vingine vya utata vya Sheria ya Patriot vinaweza kufanywa upya na Congress kabla ya muda wake.
Clerk alitaka kuenda katika uwanja wa usalama wa cyba kwa sababu masaa ya kufanya kazi yalikuwa yakumfaa mtu.
Ahmed al Ghamdi na Abdul Aziz al Omari walikaa New Jersey badala ya kupanda ndege na kuenda Miami.
Ahmed al Ghamdi, Abdul Aziz al Omari, Hazmi na Hanjour waliishi pamoja huko New Jersey.
Ripoti hii ilikuwa na kurasa zaidi ya mia tano kwa muda mrefu, ingawa maandishi mengi yalikosa tu kutoka ripoti ya awali.
Rais alikuwa amepanga kuagiza kinyuaji laini, lakini akaamua kuagiza maji baada ya kugufahamishwa kuhusu maghara ya kiafia yanayotokana na matumizi ya sukari mingi.
Baraza la Usalama la Taifa lilitamani kupokea taarifa zaidi juu ya vitisho vyovyote vya kusafiri kwa ndege.
Mkakati wa usafiri wa magaidi ulikuwa chanzo kuu ya masomo ya serikali kabla ya 9/11
Serikali inaweza kupangwa tu kwa njia moja na jaribio lolote la kubadili hilo litakuwa la kipumbavu.
Wakati ambapo Defcon wa tatu ako, kila likizo ya wanajeshi huwa inapigwa marafuku hadi watakapotoa taarifa zaidi.
Alijua kuwa haipatikani kwenye hoteli, lakini badala yake alijitoa kukutana nao kote mitaani kwenye ofisi ya posta.
Orodha ya mwisho ilijumlisha viwanda vinne vya nuclear, kila moja ikichaguliwa na Bin Ladin mwenyewe.
Ni gharama zaidi ya dola milioni tano kwa siku ili kuongeza msimamo wa ulinzi wa NORAD.
NORAD inafanya kazi yake kwa umakini wa hali ya juu kwa tishio lolote linaloweza tokea.
Idara ya ujasusi ya CIA ilitumia kufuata pesa kama mbinu msingi ya kupigana na ugaidi.
Tisho la usalama wa Bin Ladin lilikua wazi kwa serikali baada ya mabomu ya mabalozi
Ngazi ya Mkurugenzi wa Ngazi ya II hubeba malipo ya msingi ya dola elfu mia mbili kwa mwaka.
Serikali za kikatili mara mingi hutegemea msaada wa makampuni ya ushindani wa sekta binafsi kwa msaada.
Ni vigumu kupata kazi Indianapolis kama uko katika sanaa ya uigizaji na filamu, kwasababu Indianapolis ni mji wa kitekinologia.
Ili kuweka bei zetu za tiketi chini ya dola 10, tunahitaji watazamaji wetu wote kuchangia dola 25.
Tunaweza weka bei zetu chini ikiwa tulitaka, bila pesa yenu,lakini bosi wetu anapenda anasa zake.
Ili kufurahia kikamilifu utendaji wa IRT, unahitaji kumakinika na kujifunza utendaji na historia yake kabla.
Kwa ajili ya ufadhili wetu, tuliweza kumwalika Beyonce aje kwa tamasha ya watoto yatima wa Indianapolis.
Tunatarajia kutibu kansa ya utoto katika miaka michache ijayo, kutokana na kazi ngumu ya madaktari wa watoto wetu.
Tuna watu katika kundi hili ambao wamechangia zaidi ya $ 1,000 kwa shule ya sheria.
Tunapanga kuuliza hiki kikundi kutolea shule mchango wa kifedha, jambo ambayo hatujawahi fanya hapo awali.
Tumetimiza lengo letu, kuenda juu ya dola 17,380!, pongezi kwa watu kama wewe kwa kutoa michango.
Shule ya Uuguzi ilitimiza malengo yake yote ya kifedha, kwa hivyo haihitaji fedha zingine zozote.
Orodha ya wafadhili wakale imechapishwa kwa ajili ya dunia kuiona, hivyo niamini hutaki aibu kama hiyo!
Unaweza kushiriki katika siku za baadaye za watoto kwa kuchagua kumdhamini mtoto wa Kihindi wa Amerika na kuwapeleka shuleni.
Kulikuwa na kura ya umoja kwa uteuzi wako kama Mshirika wa Mkataba wa Kutuo cha Ufadhili.
Chuo cha mawakili una msingi wa karatasi na kompyuta na technolojia za kidijitali ni marufuku.
Katika mahala petu pa kuhifadhi wanyama, tunaamini kuwa makaazi ya bandia ni bora kuliko ya kiasili.
Kliniki yetu ya Utendaji wa Kiraia ina sheherekea mwaka wake wa kwanza wa utendaji kazi mwezi ujao.
Kama shirika halina jina, weka jina yako ya kwanza na ya mwisho pamoja na anwani.
Tutawasiliana kwa njia ya barua katika siku 45 zijazo na wale ambao hawajatoa mchango mwaka huu wa fedha.
Lazima ulipe dola 1000 za marekani ili uwe mshiriki wa Wakfu wa Clinton wa kuzaliwa.
Shule ya Chuo Kikuu cha Indiana ya Chuo Kikuu cha Madawa inadaiwa sana kwa wapiganaji