text
stringlengths 29
186k
|
---|
Mume mmoja alimwua mke wake wa zamani kwa kulala na mtu mwingine baada ya kufunguliwa kutokana na kifungo cha awali. |
Mtu aliachiliwa huru kutoka mashtaka ya mauaji kutokana na mchoro wa kiufundi na akaenda kumuua mpenzi wake wa zamani. |
Ndume lilikuwa na shida ya jino, na puppy wa pili alikuwa ametolewa kutoka kwa pipa. |
Itakuwa thamana kufanya kazi kwenye kampuni kubwa kama watanipa fedha kwa ajili ya chuo kikuu. |
Mahali pangu ninapopenda kutembelea ni ufuoni kwa sababu ni kuzuri sana, je, ni mahali gani unapenda kutembelea? |
Je, unadhani kuwa kipindi cha siku tano cha kushikilia kitakuwa na thamani ya kusubiri kwa watu wengine? |
Nilisoma Kingereza, na hilo ndilo sababu ya umaskini wangu na ndio maana siwezi kusoma riwaya. |
Napenda chanjo ambacho kina kwa sababu sijawahi kuwa na muda wa kukaa na kusoma karatasi. |
Muda hauhitajiki wakati wa kujenga kitu na saruji, inakauka haraka na inaweza kupimwa mara moja. |
Ninapaswa kumpeleka binti ya mpenzi wangu kwa ununuzi kabla ya mwaka wa shule kuanza kila mwaka. |
Naamini kuwa nyumba io mpya iko mbali sana na nchi, maili mingi kutoka kila kitu. |
Mimi uwa sipendi kuenda kuona kitu usiku ule kimetolewa, badala yake uwa nagojea wiki moja kabla ya kuenda kukitazama. |
Chaguzi hizi mbili zinapaswa kulipa vizuri zaidi ya kiwango cha kawaida cha soko zaidi ya miaka kumi ijayo. |
Hii inawafanya watu wafadhili zaidi kuliko wanaweza kumudu, kwa sababu tu wanahisi vibaya kwa watu masikini. |
Sisi hulipwa kiasi chetu kamili wakati wa likizo zote, hata siku kabla na baada ya Krismasi. |
Haieleweki kwangu ni jinsi gani mtu anaweza kuuza teknolojia na vifaa vya jeshi kwa serikali geni na asijali deni lake. |
Natumaini hakutakuwa na baridi sana na kutakaa na joto kidogo, ila theluji kiasi kwa mkesha wa Krismasi. |
Kuna aina zingine za chembechembe ambazo ni muhimu sana katika kuchambua habari za jiografia kwa kutumia mihimili ya laser. |
Wittgenstein alizungumza zaidi ya neno moja au mawili mara chache, kwa sababu aliamini kwamba hayo ndiyo yote yaliyotakiwa ili kuwasiliana. |
Mwaka wa 1787, sheria ilipitishwa kuzuia watu kuwarejesha tena watumwa waliokuwa wamefika ardhi za Uhuru. |
Katika miaka ya 1870 kila utaratibu wa kisheria alikuwa kuporomoka na nchi ilikuwa katika machafuko kamili. |
Kushiriki shughuli za kawaida wakati mwingine kuna manufaa kwa kushiriki aina za juu za kufikiria. |
Watu kadhaa wanaoamini kuwa mambo yakifanyika kwa faida ya wengi wanasema kwamba sisi ni sawa kwa sababu tunahisi maumivu na furaha. |
Dunia isiyo ya msingi haifai kwa wengine kama inabidi itoe maelezo kwa habari kutoka zamani zilizopita. |
Unapaswa kuongeza vitambaa na fotoni kwa kiwango cha mara kwa mara ikiwa unataka kujifunza matokeo. |
Katika sura ya mwisho, ninajadili ni mara ngapi mtu anafaa kulamba Tootsie Roll Pop ili kufika katikati. |
Katika sura ya mwisho nashangaa ni kiasi gani ulimwengu unawajibika kwa utaratibu wa tabia ya kibinadamu. |
Kusherehekea siku ya kuzaliwa ya 15 ya binti ni mbinu ya kuendeleza uhusiano wa kitamaduni. |
Ingawaje matokeo ya mtihani ya wanafunzi wa umrimdogo na mkubwa ni sawa, wanafunzi wa darasa moja wenye umri mdogo humaliza mtihani haraka zaidi. |
Kanuni kutoka katiba ya shirikisho ndizo zilisababisha matokeo sawa kama utaratibu wa kisheria wa 'postbellum'. |
Uamuzi wa kisheria wa Postbellum uliisha na majibu yale yale kwa sababu ya shirirkisho la katiba ya Barbados. |
Amri ya kisheria ya Prebellum ilikuwa na matokeo tofauti zaidi ingawa ilikuwa imetolewa kwa kanuni za katiba ya nchi. |
Shada za maua katika majengo ya karne ya kumi na nane ni maishara ya pembe za wanyama mbalimbali. |
Majambazi katika majengo ya karne ya kumi na nane ni matoleo ya sashes na mapambo yaliyovaliwa na watu. |
Mahakama ilitumia mamlaka hii mara 4, kwa kipindi cha miaka hamsini na tano kabla ya vita ya wenyewe kwa wenyewe. |
Korti ilitumia mamlaka haya mara milioni 5 kwa miaka hamsini na mitano iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe. |
Wale ambao wanasema kwamba kuna kiwango cha mashaka katika sheria ni watu wenye siasa kali. |
Vyombo vya habari vya Otitis ni nadra kubwa wakati wa miaka ya mapema ya mtoto. |
mawazo ya kiwazimu huwa maarufu zaidi kwenye asasi za kiraia zinapopuuzwa na asasi za kiraia |
Rekebisho la katiba la kumi na nne lilipita kwa kura mbili tu baada ya kushauriana kwa muda. |
Sonja ,alikuwa mwamke mwenye umri alionekana mwenye chungu lakini alitunza mwili wake mbele ya Meredidith. |
Mara kwa mara, wazazi wengine watajaribu kutafuta njia bora zaidi kutoka kwa maisha ya wazazi wao wenyewe. |
Jeni la Mendelian lilibakia limelala kwa muda wa karne nyingi kabla ya hali ya mazingira mazuri kutokea. |
Itachukua muda mrefu kabla ya kompyuta kuweza kuchukua nafasi ya wanadamu kikamilifu katika kutengeza nguo. |
Inahitaji nguvu fulani kupindua mwelekeo wa kitu kilicho na chaji tofauti kwa ncha zake mbili. |
Mtu hawezi kubaini serikali ya machafuko kutokana na utawala ulio huru; wao ni sawa sana. |
Tatizo la chembe-upeo wa macho daima ipo, bila kujali kuwepo kw mfano wa upanuzi wa awali. |
Walimu huwa wanawaweka wanafunzi wa mpito katika madaraja kwa njia ya ukali zaidi kuliko wanafunzi wengine. |
Serikali iliyotengana haikuwa imara kutokana na utosawa wa nguvu na hisia za kuchanganyikiwa na watu. |
ose Guadalupe Posada alianza kuchora fuvu au calaveras wakati alipovutiwa na umbo la binadamu mwishoni mwa karne ya kumi na tisa. |
Nikiwa likizoni mwishoni mwa karne ya kumi na tisa, Jose Guadalupe Posada alianza kuchora fuvu na calaveras. |
Hilo tamko linasema yakwamba unafaa kutafuta furaha kwa yule unayempenda na mahali ambapo unafanya kazi. |
Goblin wadogo wanasema Anthony John Campos ni waongo wabaya lakini elves na leprechauns si werevu sana. |
Charles Follen McKim, John M. Carrare na Thomas Hastings wote walikuwa wanafunzi wa kale wa chuo kikuu, lakini H. H. Richardson hakuwa na alikuwa wa chuo kikuu kingine. |
H. H. Richardson, Charles Follen McKim, John M. Carrare na Thomas Hastings wote walikuwa wajumbe, wote walihitimu mwaka mmoja. |
H. H. Richardson, Charles Follen McKim, John M. Carrare na Thomas Hastings wote walikuwa wajumbe. |
Sababu nyingi zinafanya kazi pamoja ili kuvuta watu wanaondelea kwa viwango vya juu vya kufuzu kimwili. |
Marekebisho ya 23 yanasema unaweza kumchagua rais kama unaishi mji mkuu isipokuwa kama ulikuwa mhalifu. |
Wallis na Varjabedian wanatoa picha maridadi na za kitaalamu za makazi New Mexico ya zamani. |
Jeremy Pitt alijibu kicheko kwa kupiga kelele na kutupa ngumi katika uso wa mwenye kucheka. |
Ana deni lako kwa ajili ya msaada ambao ulimpa kama mtu wa kuombaomba asiye na pesa. |
Blood ni kikundi cha kimataifa cha wahalifu kilicho na msingi Port Royal ambako Bwana Julian anafanya mikataba isio na kusudi halali. |
Baadhi ya maeneo ambayo yanamilikiwa na Bwana Julian, ni Port Royal, mji wa biashara kubwa zaidi katika kanda hio. |
Maendeleo ya Ogle yalizuiwa na damu, ambaye alimtazama kwa ukali wakati alipokutana na nia ya hoja. |
Bwana Julian alikuwa mwenye kukuza maadili na mwenye busara, ninavyo elewa ni kuwa alikuwa hivyo mara nyingi kwa sababu ya mamlaka yake |
Kuna njia nyingi mbadala za kutatua tatizo hili ila ya kutoa msichana yule kama mateka. |
Nahodha Blood alipandishwa cheo hivi majuzi kwa nafasi yake sasa kwa sababu ya kazi aliyofanya. |
Alikuwa katika hali ya uharaka kwa kuwa alikuwa na tarehe za kumalizia kazi zilizokuwa zinakaribia. |
Bwana Juliana alikaa katika Arabella kwa matumaini ya kumpea Bibi Askofu na lifti yenye haina taaradhia. |
Wanawake mia moja, paka mbili za maziwa bila wanaume waliripotiwa kwenye manowari ambayo yaliondoka bandarini jana jioni. |
Hata kama mtawala alikuwa mwerevu sana, kosa lake kubwa la kutosikiliza shauri langu litasababisha mwisho wa ufalme. |
Arabella haikuonekana kwenye bandari la Royal harbor kwa sababu ilikua ndogo sana kutoshea kwenye meli mkubwa. |
Vikundi vya wanaume vilikuwa vinapungua, kwa kuwa kila mtu alikuwa akienda kwenye eneo la kuishi melini kwa chakula cha jioni. |
Mwanaume mmoja alimwambia mwenzake kuwa alikuwa amefanya kazi yake barabara na kuwa kasoro zozote zilikuwa zake. |
Jioni hii ilikuwa ni na shughuli nyingi kuliko kawaida kwa sababu ya tukio lililokuwa linahudhuriwa. |
Kulikuwa na eneo moja tu la Bomba la Motaboti BV, lakini biashara iliongezeka ikathibitishwa upanuzi. |
Matembezi katika pwani ya Na Pali ni mojawapo wa yale magumu na mazuri zaidi duniani. |
Mlio wa maili 2 waweza kuwa ulisababivhwa na vitu vingi, pamoja na mlipuko wa volkano. |
Vipimo vya joto katika bahari hubadilika kila wakati lakini haiendi chini ya kiwango cha kuganda. |
Waajiriwa hufanya kazi ya kuongeza idadi ya ndege wa flamingo katika Kisiwa ili waweze kupata nafuu dhidi ya kuisha. |
Nevada Falls ni eneo nzuri ambalo halina watu wengi, na ni pahala pazuri pa kutembea. |
Culebra iko katikati ya Puerto Rico na St. Thomas katika visiwa vya Virgin vya Marekani. |
Culebra haipo popote karibu na Puerto Rico na St Thomas katika visiwa vya Virgin vya Marekani. |
Culebra iko kati ya Puerto Rico na St. Thomas katika visiwa vya Virgin huko Marekani. |
Kanisa la Calvinist la Neo-Gothic la mwaka wa elfu moja themanini tisini na sita limekuwa na mandhari chache |
sifhts zilizomaarufu hujumuisha maonyesho ya simba, chui wa milima za theluji, duma na misitu ya mvua ya afrika ya kitropiki |
Mambo bora ya kuchunguza ni maonyesho ya simba mpya, chui theluji na maonyesho ya duma, na misitu ya mvua ya Afrika ya kitropiki. |
Hakuna maonyesho mapya ya simba, chui na duma, au misitu ya Afrika katika kituo hicho. |
Vifaa vya zamani vya kilimo vingine vinapatika katika jumba la makumbusho la Kihistoria la Kitaifa |
Kanisa, kanisa ndogo na mnara wa pembe sita zinaashiria mwanzo mpya wa mji baada ya vita. |
Nyoka huyo alikuwa akiishi karibu na kiingilio cha hekalu na alikuwa akila keki za asali. |
Mahojiano ya maingizo ni pamoja na kidogo vile ambavyo watu wanavyochukulia matangazo ya barua pepe. |
Ingawa kulikuwa na miungano miwili, hakukuwa na haja ya kampuni kupitia urekebishaji wa mfumo wa viwango. |
Kuunganisha kampuni mbili iwe shirika moja na kutengenezwa upya ilileta mazingira ya kazi yenye vurugu. |
Tulichunguza kampuni iliyopata mashirikiano mawili na ilibidi urekebishaji haraka ili kukidhi mahitaji yao ya biashara. |
Huwezi kujua kiasi cha upendeleo uliopo kwa sababu ni vigumu kutofautisha na ushawishi wa nje. |
Centrelink ilikuwa na mikakati mingi ya kuwafundisha watu jinsi ya kuripoti mapato kwa sababu serikali ilipoteza pesa nyingi kwa makosa |
Si wazo nzuri kuacha uwakilishi wa kisheria kwa sababu basi labda watapewa kinyume cha sheria. |
Mwaka wa 2000 ilikuwa bora zaidi kwa sababu bunge ilipitisha miswada zaidi kuliko hapo awali. |
Eneo la GAO, ndilo eneo ambalo linafanya vibaya zaidi, na kuna mpango wa kusitisha usaidizi wa kifedha kuenda huko. |