|
Nilitaka kuokoa nishati. (A) Nilisafisha sakafu ya chumba kisichotumika. (B) Nilizima taa za chumba kisichotumika. (B) |
|
Mwanaume alifungua bomba la maji. (A) Choo kilijaa maji. (B) Maji yalitiririka kutoka kwenye bomba. (B) |
|
Mwandishi aliandika wasifu kuhusu maisha ya mwanashirika la kibinadamu. (A) Mwanashirika la kibinadamu alikuwa mgumu kuhojiwa na mawandishi. (B) Mwandishi alitatizwa na kazi za mwanashirika la kibinadamu. (B) |
|
Saa iligonga. (A) Ilikuwa ni saa la awali za siku. (B) Saa ilionekana haiendi mbele. (A) |
|
Mbwa alibweka. (A) Paka alistaarehe juu ya sofa. (B) Hodi ilisikika mlangoni. (B) |
|
Mtoto alijifunza jinsi ya kusoma. (A) Alianza kuhudhuria skuli. (B) Alichupa darasa shuleni. (A) |
|
Mwanamme alijisikia kulazimika kuhudhuria tukio. (A) Alimkatalia rafiki yake kwenda. (B) Alimuahidi rafiki yake kuwa atakwenda. (B) |
|
Dalali aliwashawishi bunge kuunga mkono mswada. (A) Raisi alipigia kura mswada. (B) Bunge walipitisha mswada. (B) |
|
Msichana alikataa kula mboga zake. (A) Babake alimwambia anywe maziwa yake. (B) Babake alimnyang'anya kitindamlo chake. (B) |
|
Msichana aliona mdudu kwenye uji wake. (A) Alimimina maziwa kwenye kibakuli. (B) Alipoteza hamu ya kula. (B) |
|
Vurugu za kisiasa zimejitokeza katika taifa. (A) Wananchi wengi walihama mji mkuu. (B) Wananchi wengi walipata makao katika maeneo mengine. (B) |
|
Niliwasha mshumaa. (A) Nta ilidongoka kutoka kwenye mshumaa. (B) Nta juu ya mshumaa iliganda. (A) |
|
Mwanamke aliwamwagia sifa bandia rafiki zake. (A) Alitaka kuwaomba msaada rafiki zake. (B) Alikuwa amehamanika na manung'uniko ya rafiki yake. (A) |
|
Mwanamke alistaafu. (A) Alipokea pencheni yake. (B) Alilipa deni lake la mkopo wa nyumba. (A) |
|
Kompyuta yangu iliharibika. (A) Niliweka spika mpya. (B) Nilipoteza taarifa zangu zote. (B) |
|
Kompyuta ikuwa ni gali sana kutengeneza. (A) Nilipeleka kutengenezwa. (B) Nilinunua nyengine mpya. (B) |
|
|