en
stringlengths
10
298
sw
stringlengths
12
287
"They [the Americans] see that China is already here.
"Wao [Wamarekani] wanaona kwamba China tayari iko hapa.
My payment is only from Allāh, and He is, over all things, Witness."
Hauko ujira wangu ila kwa MwenyeziMungu tu, naye ni Shahidi juu ya kila kitu."
Let me tell you about something else that he once did on a stormy sea.
Hebu nikuambie kuhusu jambo jingine alilofanya wakati fulani katika bahari yenye mchafuko.
They were also able to increase the amount of time they were able to exercise (18).
Pia walikuwa na uwezo wa kuongeza kiasi cha muda ambao waliweza kutumia (18).
and you shall be able to live in a new light,
na utaweza kuishi katika nuru mpya,
From now on, you will be fishing for people.'
Tangu sasa na kuendelea utakuwa ukiwavua watu wakiwa hai."
(17:74) And if We had not strengthened you, you would have almost inclined to them a little.
74Na lau kuwa hatukukuweka imara ungeli karibia kuwaelekea kidogo.
Peace it is until the emergence of dawn."
Ni amani (usiku) huo mpaka mapambazuko ya Alfajiri."
And he's helped thousands of bloggers!
Na amewasaidia maelfu ya bloggers!
Does not MY word say, "Blessings to those that obey.
Je, si Neno LANGU husema, "Baraka kwa wale wanaotii.
I love Edward in the books and...
I upendo Edward in the vitabu and...
Only you can maintain and strengthen it, and only he can grant you everlasting life.
Ni wewe tu unayeweza kuudumisha na kuuimarisha, na ni yeye tu anayeweza kukupatia uzima wa milele.
(67:18) And certainly those before them rejected (the truth), then how was My disapproval.
[67.18] Na bila ya shaka walikwisha kanusha walio kuwakabla yao; basi kulikuwaje kukasirika kwangu?
But when asked by me, they were at a loss.
Lakini alipoulizwa kwa njia ya mimi, walikuwa katika hasara.
也, Joseph will place his hands over your eyes.
Utakapofariki, mkono wa Yosefu ndio utakaoyafumba macho yako."
Then he can stay there whenever he comes to us."
Kisha anaweza kukaa humo kila mara akija kwetu."
He will surely be pleased.
Na bila shaka atakuja kuridhika.
The only woman on this list until 2017.
Ni mwanamke pekee kwenye list hii hadi kufikia mwaka 2017.
said, "In my Father's house are many mansions.
Alisema hivi: "Katika nyumba ya Baba yangu mna makao mengi.
Wretched is the name [i.e. mention] of disobedience after [one's] faith."
Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini."
You have to leave such decisions to your God.
Lazima umwachie Mungu wako maamuzi kama haya.
25:44 Do you think that most of them hear, or understand?
44Au wewe unadhani kwamba wengi wao wanasikia au wanaelewa?
In the resurrection, therefore, whose wife of the seven will she be?
Basi, katika ufufuo, atakuwa mke wa nani kati ya wale saba?
In them are benefits for you, until a specified time.
Katika hao (wanyama) mnapata humo manufaa mpaka muda maalumu uliokadiriwa.
He will show no mercy, when judgment is in His path.
Hataonyesha huruma, hukumu ikiwa katika njia Yake.
Truly there is a reminder in this for anyone who has a heart, or who listens attentively with presence of mind." (50:37)
"Kwa hakika katika hayo upo ukumbusho kwa mwenye moyo au ategaye sikio naye yupo." (50:37).
No, my daughters; it is far more bitter for me than for you that the hand of the Lord is gone out against me.
La, sivyo, wanangu; maana ni vigumu kwangu kuliko kwenu, kwa sababu mkono wa Bwana umetoka juu yangu.
"The Hour (of doom) has drawn near, and the moon has split asunder."
"Saa (kufika kiama) imekaribia; na mwezi umepasuka.
(44) Except as a mercy from Us and provision for a time.
44Isipo kuwa kwa rehema zitokazo kwetu na starehe kwa muda.
"They (the Americans) see that China is already here.
"Wao [Wamarekani] wanaona kwamba China tayari iko hapa.
11Mankind will say, "Surely there is a reward for the righteous;
11 Na mwanadamu atasema, Hakika iko thawabu yake mwenye haki.
All four of us accepted the truth."
Sote wanne tuliikubali kweli."
He will not die because of his father's sins, but he will certainly live.
Hatakufa kwa ajili ya dhambi za baba yake; hakika ataishi.
What will you do, for your great name?"
Utafanya nini basi kwa ajili ya jina lako mwenyewe lililo kuu?"
Or do you think that most of them hear or understand.
Au wewe unadhani kwamba wengi wao wanasikia au wanaelewa?
The day you said good-bye,
Since the siku wewe alisema goodbye,
The Lord said, "Daughter, I'm doing this for you because I want you to change.
Bwana akasema, "Binti yangu, nafanya hivi kwa ajili yako kwa sababu nataka ubadilike.
And for those who are the Bride of YAHUSHUA, they will either be in glorified bodies or they will be in Heaven.
Na kwa wale ambao ni Bi-arusi wa YAHUSHUA, wata aidha kuwa katika miili iliyotukuzwa au watakuwa Mbinguni.
Except Iblis, he was proud and was one of the disbelievers.)
..." isipokuwa Ibliys alikataa na akatakabari na akawa miongoni mwa makafiri."[3]
Why did God not fight for the Jews, as he had in the past?
Kwa nini Mungu hakuwapigania Wayahudi kama alivyofanya wakati uliopita?
Does not MY Word say, "Blessings to those that obey.
Je, si Neno LANGU husema, "Baraka kwa wale wanaotii.
At the end, I will tell you that you can eat there as well.
Mwishowe, nitakuambia kuwa unaweza kula huko pia.
"Am I not better than ten sons?
mimi si bora zaidi kwako kuliko watoto kumi?"
What would happen to my children?" - Janet, United States.
Nitafanya nini na watoto wangu?" - Janet, Marekani.
You see the ships flowing through it, so that you may seek from His bounty, and that you may be thankful.
Na unaona ndani yake meli zinapita, ili mtafute fadhila zake, na ili mpate kushukuru.
Julie made this video with her.
Julie alifanya video hii pamoja naye.
I also gathered all their former inhabitants and returned to them their habitations."
Mimi (pia) niliwakusanya wakazi wake wote (wa awali) na nikawarudishia makao yao."
And the birds gathered together around him, all were obedient to him.
Na ndege waliokusanywa; wote walikuwa ni watiifu mno kwake.
My God (of Mischief), this is the look.
Sema huu mwangu huu mungu anauona.
6:20) He wants you to be happy.
6: 20) Anataka uwe na furaha.
asked, "Where are Samuel and David?"
Naye akauliza, "Wako wapi Samweli na Daudi?"
Evidently, then, Priscilla was a good student of God's Word and of the teaching of the apostles.
Basi, ni wazi kwamba Prisila alikuwa mwanafunzi mwenye bidii wa Neno la Mungu na mafundisho ya mitume.
(This is the name that you want to show to the other users.
(Hili ni jina ambalo unataka kuonyesha kwa watumiaji wengine.
This is how We plotted for Yusuf."
Hivi ndivyo tulivyo mpangia Yusuf.
As this day will affect the health of Ukrainians
Kama siku hii kuathiri afya ya Ukrainians
More time at home can be a benefit for all of us.
Wakati zaidi nyumbani inaweza kuwa faida yetu sisi wote.
his friend who befriends him, and be his enemy who is his enemy."
Kuwa rafiki kwa yule ambaye ni rafiki kwake (yaani, Ali) na kuwa adui kwa yule ambaye ni adui kwake.'
For each one of them was saying "I have been told by Mary this thing."
Kwa maana kila mmoja alikuwa anasema "nimeambiwa na Maria jambo hili."
He replied, 'From childhood.
Akasema, Tangu utoto.
8 Then (there will be) the Companions of the Right Hand;- What will be the Companions of the Right Hand?
Basi watakuwepo wa kuliani; je, ni wepi wa kuliani? 8
I am not a God that changes with your times.
MIMI sio MUNGU anayebadilika na nyakati ZENU.
We hate her and her husband."
Tunamchukia yeye na mumewe. "
What can we learn from the account of Aaron and the death of his sons?
Tunajifunza nini kutokana na simulizi kumhusu Haruni na vifo vya wanawe?
(That He will be with us through to His Second Coming.)
(Kwamba atakuwa pamoja nasi hadi ujio wake wa Mara ya Pili.)
of course they can give an 99% return on their video ... but I do not think that what I see
bila shaka wanaweza kurudi 99% kwenye video yao ... lakini sidhani kwamba kile ninachokiona
Surely he thought that he would never return (to God).
Hakika yeye alidhani hatarejea.
Remember, Ben 10 games are only available in us.
Kumbuka, Ben 10 michezo zinapatikana tu katika sisi.
He will send rain in its time.
Na Yeye huteremsha mvua kwa wakati wake alio uweka.
The sins of others appear later.
Lakini dhambi za watu wengine huonekana baadaye.
And he said to them, A man, an enemy, did this.
Yeye akawaambia, 'Adui, mtu fulani, alifanya hilo.'
I Trust You To Kill Me Himself 2006
2006 I Trust You to Kill Me Yeye mwenyewe
What kind of a body will they have when they come back?"
Watakuwa na mwili wa namna gani wakati watakapokuja tena?"
(The angel tells us that "the hour of His judgment has come."
(Malaika anatuambia kwamba "saa ya hukumu yake imekuja."
"Pure clean earth is a purifier for the Muslim; even if he did not find water for ten years.
hakika udongo (mchanga) ulio safi ni tahara ya muislamu hata kama hakupata maji kwa miaka kumi.
And by a decree from before you, Lord, the waters were made to be
wangu Mlezi, basi bahari ingeli malizika kabla ya kumalizika maneno ya Mola
Like most of League1 against them.
Kama wengi wa League1 dhidi yao.
25:44 Do you think that most of them hear, or understand?
(44) Au wewe unadhani kwamba wengi wao wanasikia au wanaelewa?
We never hear of Bar-Jesus again, so we do not know.)
Kamwe hatusikii habari za Bar-Yesu tena, hivyo hatujui lolote.)
Ask them about the town which was by the sea
Na waulize habari za mji uliokuwa kando ya bahari.
Allah says: "Laylah al-Qadr is better than 1000 months."
Mwenyezi Mungu anasema: "Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu moja."
For the days of my people will be like the days of a tree, and the work of their hands my chosen ones will enjoy to the full."
Kwa maana siku za watu wangu zitakuwa kama siku za mti; na watu wangu waliochaguliwa wataitumia kazi ya mikono yao wenyewe kikamilifu."
God's promise of an earthly paradise will be realized at the end of his rest day
Ahadi ya Mungu ya dunia paradiso itatimizwa mwishoni mwa siku yake ya pumziko
This is the month of patience and the reward of patience is Paradise.
Ni mwezi wa subira na malipo ya subira ni Pepo.
"I think my boys decided.
"Nafikiri wavulana wangu waliamua.
"This should not become Europe's September 11th.
"Hii haipaswi kuwa Ulaya ya Septemba 11th.
Jews had a special relationship with God.
Wayahudi walikuwa na uhusiano wa pekee na Mungu.
(18:3) wherein they will remain [in a state of bliss] forever.
[18.3] Wakae humo milele.
One day in November 2006, I finally heard the news of the Lord's return.
Siku moja katika mwezi wa Novemba mwaka 2006 nilisikia hatimaye habari ya kurudi kwa Bwana.
Noah is the cutest thing.
Sorry, Noah ndio nini mkuu.
Yes, they have done things for us, but they're our government.
Ndiyo, wamefanya mambo kwa ajili yetu, lakini wao ni serikali yetu.
The birds were gathered; all were obedient to him.
Na ndege waliokusanywa; wote walikuwa ni watiifu mno kwake.
If someone says: "Only uneducated people believe in God."
Ikiwa mtu anasema: "Watu wasio na elimu tu ndiyo wanaomwamini Mungu."
3 - And man says, "What is [wrong] with it?" -
[99.3] Na mtu akasema: Ina nini?
Which of them, therefore, will love him the more?"
Kwa hiyo, ni nani kati yao mwenye atamupenda zaidi?"
Indeed, he knows how you feel about the matter. - 2 Chron.
Kwa kweli, anajua jinsi unavyohisi kuhusu jambo hilo. - 2 Nya.
Joseph is without doubt torn to pieces.'
Hakika Yosefu ameraruliwa vipande vipande."
Will we associate with people who love God?
Je, tutashirikiana na watu wanaompenda Mungu?
more important than what you may eat or drink,
muhimu zaidi kuliko kile unachoweza kula au kunywa,
Beast - The Next Could Be You (1981)
Beast - The inayofuata Could Be wewe (1981)
There are many people like Saul who can change.
Kuna watu wengi walio kama Sauli ambao wanaweza kubadilika.