id
int64
0
1.44M
text
stringlengths
12
6.72k
486,461
Ukifanya hivyo, ndoa yako itakusaidia kukaa katika upendo wa Mungu.
11,253
UMEKURUPUKA KUJIBU, FIKIRIA KWANZA KABLA YA KUFANYA JAMBO LOLOTE OKEY?
934,882
Alisema angeweza kujiunga na "rafiki" zake wa Chama cha DUP na "kufanya kazi" inayohusiana na Brexit.
1,433,423
Msanii wa muziki Bongo, Mwana FA amefika ofisi za Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kuhusu kufungiwa kwa wimbo 'Mwanza' wa Diamond Platnumz na Rayvanny.
733,057
Mwaka 2010 ulikuwa na shughuli nyingi na mafanikio mengi licha ya kuwepo changamoto mbalimbali zilizojitokeza.
1,195,756
WATAALAM WA ARDHI WATAKIWA KUTOA SULUHISHO LA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI.
1,246,713
Mabinti Mapacha Sabra na Sabrina Hassan wa shule ya sekondari makunduchi wakitumbuiza kwa utenzi kwa meza kuu haipo pichani, wakati wa mkutano.
878,666
Madai mengine ni madai kuwa Watanganyika wananyimwa haki ya kumiliki ardhi visiwani na kwamba Wazanzibari wamejazana kwenye Bunge la Muungano wakati Watanganyika hawaruhusiwi kuingia kwenye Baraza la Wawakilishi.
373,998
Upo ushahidi unaoonyesha ya kuwa wapo watu ambao hawakuwa wakazi wa Kibamba kabisa ambao wamelipwa fidia na kutokomea na fedha za serikali isivyo halali.
239,603
“Kisababishi kikubwa cha tatizo hili ni kupungua kwa mzunguko wa damu, na inajulikana kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara kunaongeza mzunguko wa damu maeneo hayo.
283,153
Kwa mujibu wa Afisa Tarafa huyo, Mtaa wa Putini ambako ndio kwenye ardhi yenye rutuba zaidi, wakaazi wake wanalima sana mihogo, ndimu, minazi na mahindi kidogo lakini kwa wakaazi wa mtaa wa Chongoleani ambako ardhi yake ni ya kichanga kulima muhogo, korosho na minazi.
1,410,940
Hii ni orodha ya Komlói , bonyeza cheo kuvinjari undani habari.
16,669
Baada ya mambo hayo, hatutahitaji tena kumbukumbu za madhara ya vita.
1,177,813
wilaya nne za Makete, Njombe, Ludewa na Wanging'ombe wakati mkoa wa
247,853
NIT dhidi ya mashindano ya Taifa ya NCAA
1,056,189
Je, unajua kitu kuhusu Sergio Aguero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
215,555
Mathieu mwenye umri wa miaka 32 alitolewa wakati wa mapumziko katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki ambao Ufaransa ilishinda mabao 4-2 dhidi ya Urusi huko Stade de France.
953,880
"Tena, kutakuwa na ishara katika jua, na mwezi, na nyota; na katika nchi
97,170
Mwanamziki maarufu wa Bongo Flavour, Mwana FA ambaye pia hufanya mazoezi katika hoteli hiyo, kupitia ukurasa wake wa Twitter ameeleza mashaka yake akisema picha hiyo haioneshi gari hilo likiwa katika hoteli ya Colosseum.
193,722
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Mechi hiyo ilichezwa katika uwanja huu uliojaa mashabiki Mbele ya rais wa Cameroon Paul Biya ,timu hiyo ya nyumbani ilitawala mechi hiyo kunako kipindi cha kwanza huku mshambuliaji Aboudi Obguene akipata nafasi za kutosha kuiweka mbele Cameroon lakini bila mafanikio yoyote.
967,829
Teknolojia ya sasa, ilitambuliwa kwa njia ya kitaifa na msaada wa sekta ya ndani.
722,786
“Mpango huu unatekelezwa katika halmashauri zote nane za wilaya saba mkoani Mwanza… hii kwetu ni mafanikio makubwa,” alisema Dkt.
555,945
Mwenyekiti wa mtaa wa Nyamukazi lilipotokea tukio hilo, Andason Lazaro amesema wavuvi hao waligundulika kuzama maji baada ya kutoonekana tangu Juni 9, mwaka huu.
647,343
Les data collected kutoka barua pepe inaweza kuwa tena kama maudhui ya blog.
270,517
Mkuu wa Mkoa huyo aliongeza kuwa, Mashirika mengine yaendelee kujitokeza kusaidia huduma za kijamii ikiwemo vifaa kama taasisi ya Doris Mollel kwani asilimia 100 ya wagonjwa na watu wengine wenye mahitaji katika tiba wanakimbilia Dar es Salaam hasa Hospitali ya Muhimbili.
260,579
<span style="font-family: Georgia, Times New Roman, serif;">Mpango Mkakati huo 2016 – 2020 ambao ni wa sita tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo,umeainisha maeneo makuu saba ambayo ndani ya maeneo hayo kuna maeneo mengine madogo madogo ishirini na sita ambayo kwa pamoja yatatiliwa mkazo katika kipindi hicho cha miaka mitano.
1,176,727
Miji hiyo baadaye ilikuwa na kuwa miji mikubwa ya kibiashara, na dini kubwa ya ukanda wa pwani ikawa dini ya Kiislam&#8230;Kuowana kwa Waarabu, Wafarsi, Washirazi na Waafrika kukazaa kabila la mchanganyiko la Waswahili, na ustaarabu wa Kiafrika wa Kiislam.
979,934
Ilipostiwa kwamba basi la Southern ndilo lililopata ajali siku ya jumapili.
60,567
Manchester United ilikaribia kumsajili msimu huu, lakini ikashindwa kutokana na Atletico Madrid kufungiwa kusajli mchezaji mpya hadi mwaka 2018.
1,352,732
Muonekano wa timu na makundi AFCON 2017 KUNDI A Gabon Burkina Faso Cameroon Guinea Bissau KUNDI B Algeria Tunisia Senegal Zimbabwe KUNDI C Ivory Coast DR Kongo Morocco Togo GROUP D Ghana Mali Misri Uganda Habari kuu Bobi Wine 'ahofia maisha yake' Uganda17 Januari 2021 Watumiaji mtandao wa Instagram wanaoikera serikali ya IranSaa 5 zilizopita Mapigano yasababisha vifo vya watu 48 katika jimbo la DarfurSaa 7 zilizopita Gumzo mitandaoni Watafiti wagundua zana za binadamu wa kale zaidi nchini Tanzania15 Januari 2021 Korea Kaskazini yazindua kombora jipya 'lenye uwezo mkubwa zaidi duniani'15 Januari 2021 Taliban yawaamuru makamanda wake kutooa wake wengi15 Januari 2021 Nchi ambayo rais alipiga marufuku mitandao ya kijamii15 Januari 2021 Njiwa 'aliyekiuka masharti dhidi ya corona' anusurika kifo baada ya kukutwa na lebo feki15 Januari 2021 Australia kumuua njiwa wa Marekani 'aliyekiuka masharti ya Corona'15 Januari 2021 Fahamu sababu zilizomfanya mwanamitindo wa kwanza kuvaa hijabu ‘kuacha fani hiyo’14 Januari 2021 Fahamu kinachofanyika baada ya rais kupigiwa kura ya kutokuwa na imani Marekani?
1,119,373
Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014.
2,460
Umoja ni Nguvu: Duka la Maasai
1,436,364
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Ileje baada ya kuwasili kwenye makazi ya Mkuu wa wilaya hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 22, 2017.
1,103,275
7 Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyokuwa kando-kando, waliofuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa katika moto wa milele.
1,182,830
Uislamu hauruhusu michoro ya Mtume au Allah na vibonzo vya Mtume Muhammed vilivyochapishwa katika gazeti la Denmark mwaka 2006 vilisababisha maandamano duniani kote kupinga hatua hiyo.
68,910
Hii ni njia rahisi ya kumfanya mwanamke atabasamu akiwa mbali, na itakuwa rahisi kwako kumuapproach na kuendea na yeye iwapo ataonyesha dalili za kupendezwa na wewe.
808,866
“Mtihani wa mwaka huu, kwa mara ya kwanza watahiniwa walifanya kwa kutumia teknolojia mpya ya Optical Mark Reader (OMR) na ulisahihishwa kwa kutumia kompyuta,” alisema.
891,488
“Huduma hii hugharimu kati ya Shilingi Milioni 60 na Shilingi Milioni 70 kwa mgonjwa mmoja anayekwenda kutibiwa nje ya nchi, lakini hapa nchini gharama zinashuka hadi Shilingi Milioni 21” amesema Prof.
473,760
Timu ya taifa ya Uholanzi imeweka rekodi mpya huku mashabiki wengi wa soka ulimwenguni wakikumbuka rekodi iliyowekwa mwaka 1912 na timu hiyo pale ilipotoa kichapo cha mabao tisa kwa sifuri dhidi ya timu ya taifa Finland pamoja na timu ya taifa ya Norway iliweza kupokea kisago kama hicho mwaka 1972.
675,661
Wale watakaofanya utaalamu huu tunawaomba watume Mafanikio gani waliyopata na kitu gani kilichotokea baada ya kufanya tendo hilo kupitia : +255 789 41 95 57
521,378
Kikubwa kitakachokumbukwa mwaka huu unaokamilika ni michuano ya soka ya kombe la dunia iliyofanyika nchini Brazil kati ya tarehe 12 mwezi Juni hadi tarehe 13 mwezi Julai.
936,356
Wakati watu align karibu pamoja kisiasa, kijamii, kiuchumi au mazingira maadili, na kuchukua hatua kwa pamoja, mawazo na tabia kwamba maafikiano maisha ya mamilioni ya watu duniani kote yanaweza kweli mabadiliko ya.
313,318
Tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo, kumekuwa na uchanganyaji wa majina yake na hii ni kwa sababu tangu akiwa chuoni na jeshini, alikuwa akitanguliza kutaja ubini (jina la ukoo) na ndiyo maana ikawa inasomeka Majaliwa Kassim Majaliwa.
765,115
Mafundisho ya kipekee ya dini view.
859,529
Kwa mujibu wa naibu waziri huyo alisema mifugo mingi inakufa kiholela kutokana na kula taka zinazotupwa na abiria wa mabasi.
941,424
Vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu kama vile ubakaji na uporaji vimekuwa vikijitokeza kwa kiasi kikubwa nchini humo.
720,439
Kwa miaka mingi, nchini India ndoa zimekuwa zikikutana na kizingiti cha dini huku wanaojadiliwa sana ikiwa ni ndoa kati ya wanawake wa Kihindi na wanaume Waislamu.
1,067,955
Balozi Seif na Mfanyabiashara Said Bopar wakikamilisha utoaji wa Vifaa mbali mbali kwa ajili ya Hospitali ya Wete akiwa katika ziara ya siku Tatu Kisiwani Pemba.
735,225
Amesema kuwaingiza wanachama ambao wana nasaba za siasa au viongozi wa vyama vya siasa ndani ya TLS ni kuruhusu mgongano wa maslahi na yeye kama mwanasheria hawezi kulikubali jambo hilo.
20,480
SAKATA la Halmashauri ya Karatu, kugomea kulipia malazi ya Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein na ujumbe wake limechukuwa sura mpya, baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Celina Kombani kuunga mkono uamuzi wa halmashauri ni sahihi.
473,490
Kitu hiki ni muhimu ili mahusiano yako yaweze kudumu
625,334
Mwanamke huyo akajihisi vibaya kwa sababu ya jambo alilofanya na akaanza kuwatafuta Mashahidi.
1,260,982
Maeneo mengi ya nchi kuna uhaba mkubwa wa chakula na badala ya Serikali na hasa Rais kuwa matumaini Kwa wananchi akiwa Comforter In Chief, kumekuwa na maneno makali ya kuwakatisha tamaa wananchi.
327,682
Ni mara ngpi tunahisi wito wa Yesu ili kwenda kwake, ili kufanya matendo ya upendo, kusali na wakatu huo tunakataa na tunasema, samahani Bwana mimi nina mambo mengi ya kufanya na sina muda.
1,015,510
(Suratun An Nah'l [16]: 126 - 128)
1,398,819
“Nashukuru sana mama Janeth kwa msaada wako, tangu siku nilipoumwa uchungu hadi sasa.
1,285,297
"Inasikitisha sana kwani tumepoteza kijana mdogo na ambaye alikua na nafasi kubwa katika kuielimisha jamii kupitia filamu zake.
69,538
SUAMEDIA - MKUTANO WA MENEJIMENTI YA CHUO NA MENEJIMENTI YA BENKI YA CRDB
111,553
Moja ya maelekezo yaliyopo getini, ni maelezo kuhusu ni jinsi gani duka hilo linaendeshwa.
987,037
Chelsea imemhakikisha kocha wake, Antonio Conte kuendelea kuwa na tabasamu ya kukinoa kikosi hicho, baada ya kuwafunga mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya England, Leicester City mabao 3-0 katika dimba la Stamford Bridge.
304,869
Timu ya Diego Simeone iliwabandua mabingwa watetezi Barcelona na Bayern katika duru zilizopita kabla ya fainali lakini Real ndiyo ilikuwa timu yenye bahati katika fainali hiyo uwanjani San Siro, Milan, Italia.
1,300,252
Amesema baba wa taifa mwalimu Julius Nyerere alifanya kwa vitendo katika kuhifadhi mazingira ambapo alianzisha msitu wake katika eneo la Butiama hivyo wananchi wote ni lazima waige mfano huo katika kulinda na kutunza mazingira.
168,072
Nikijenga shule, itapokewa watoto wa wanafamilia nyingi tuu.
1,127,414
Kwa miaka 65 hivi, vijana Wakristo nchini Korea Kusini wamekuwa wakifungwa gerezani kwa kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri.
1,438,784
Wadogo kwa wakubwa wanaonekana na furaha, wakiwa wamevalia mavazi rasmi kwa ajili ya siku hii, na kwa mujibu wa mkaazi mmoja wa hapa, mavazi haya yalidariziwa siku nyingi zilizopita, tangu zilipoonekana dalili za ushindi, ingawa dalili zenyewe nazo hazikuwa mutawaliya.
727,661
Kwa mujbu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Serikali haina dini ila raia wake wanaabudu katika dini mbalimbali.
261,410
Mapenzi yamzidia Otile Brown, ampa Vera Sidika ‘password’ ya simu yake ▷ Tuko.
1,159,561
Kama hali si hiyo, basi ni kiama kwa wakulima huko.
1,019,272
Melitus wa Canterbury (kwa Kilatini: Mellitus; alifariki 24 Aprili 624) kuanzia mwaka 619 alikuwa askofu mkuu wa tatu wa Canterbury (Uingereza)[1].
1,248,022
Miaka mitatu baada ya kufanya mapinduzi na kuingia Ikulu, alichaguliwa rasmi Rais wa Burkina Faso kwa kura mwaka 1991, katika uchaguzi uliosusiwa na upinzani na kisha alichaguliwa tena kwa njia hiyo ya kura katika chaguzi za mwaka 1998, 2005 na 2010.
288,961
Hofu yao kubwa ni kwa CDM kuendelea kutwaa umaarufu na kukubalika kwa jamii kama ilovyo sasa.
190,044
Angella Kairuki (Mb) akitoa maelekezo kwa watumishi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu-Utumishi.
312,730
Zifikapo wiki 20 (takriban miezi 4½) ya ujauzito, unapaswa kuwa
1,147,579
Bunge la Ujerumani lakubali kuisaidia Ugiriki _ Matukio ya Kisiasa _ DW _ 10.
5,287
Lori hilo kwa sasa lipo kituo kikubwa cha polisi Mtwara, ikiwa
501,127
Waangalizi wa Umoja wa Ulaya wana matumaini
1,143,043
Wanyama aliomba kuondoka kiangazi mwaka jana baada ya Tottenham Hotspurs kuonyesha nia ya kumtaka lakini alibakia St.
658,852
Ziara hiyo kwa kisiwa cha Unguja itamalizika Disemba 13, kwa kuzitembelea Wilaya za Magharibi na Wilaya ya Mjini.
588,735
Real, washindi mara tatu wa Ligi ya mabingwa Ulaya katika misimu minne, waliingia katika mechi hiyo ya mzunguko wa pili wakiongoza kwa mabao 3-0 lakini viongozi hao wa Seria A walianza kupoteza matumaini pale Mario Mandzukic aliposukuma kichwa nyavuni kutoka kwenye mkwaju ulionyunyizwa na Sami Khedira dakika mbili tu tangu kuanza kwa mchezo.
674,696
Yesu akawajibu, "Je, hamjasoma jinsi alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati walipokuwa na njaa?
85,725
Aidha Muhagama alisema takwimu zilizopo sasa zinaonyesha kuwa asilimia 6.
1,169,045
Wenger amesema uamuzi huo unaonesha mchezaji huyo wa miaka 25 hataki kucheza na wachezaji bora zaidi.
143,096
Mifano ni dhana ya mtu jinzi malaika anaweza kuonekana.
343,114
Inaelezwa kuwa matumizi ya simu ikiwemo zile za mkononi ambazo kwa sasa zinaweza kutuma picha na hata sauti, zimeweza kuwa mkombozi kwa mwananchi wa kawaida.
1,291,001
Gari la kampuni ya G4S lavamiwa na majambazi ▷ Tuko.
918,282
Kwanza naishukuru Serikali kwa kutupatia zile milioni 400; lakini kile kituo cha afya tunategemea kifunguliwe na mtu mkubwa sana.
983,602
Ilipita muda kidogo na mara nikasikia mlio wa gari nje ya geti, na gari hilo likasimama,nje kabisa ya hilo jengo barabarani.
19,267
Rev 15 _ Swahili _ STEP _ Kisha nikaona ishara nyingine mbinguni, kubwa na ya kushangaza.
558,523
Kufanikiwa katika mazingira ya haraka, yenye nguvu na ya ushindani
915,526
Kwa njia, unaweza kutumia kama funguo arrow kudhibiti juu ya keyboard.
840,509
Mary, Mbalizi, Jimbo Katoliki la Mbeya liliwaka moto na kuteketea lote na hivyo kusababisha hasara kubwa kwa seminari na wanafunzi katika ujumla wake.
137,437
Lakini cha kushangaza hawa TFF walitumapesa hizi na vifaa hivyo kwa mikoa kama kumi tu ikiwamo Shinyanga, Mwanza,Singida, mikoa ya Kisoka Ilala,Temeke na Kinondoni na pia fedha Tshs 710,000 kwaajili ya posho ya mkufunzi, chakula, malazi na mawasiliano sasa swali je fedhanyingine za mikoa 16 zimekwenda wapi mimi na wewe msomaji wangu hatujui.
926,533
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria na Utawala Bora, Haroun Ali Suleiman alisema tayari vyombo vya sheria ikiwemo mahakama na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka na jeshi la Polisi wamenza kuzipatia ufumbuzi wa haraka kesi za udhalilishaji wa kijinsia.
782,535
Mwangi anaringa na kujivuna kwa hatua hiyo.
1,267,007
Humu nimeweka hilo kwenye section 06.
1,439,240
Ndiyo ubaya wa kujipenda na kuamini kwamba adui zetu wako nje yetu na ni lazima kila linalokwenda kinyume na matarajio yetu liwe limesababishwa na watu hao au mazingira hayo.
1,148,032
Waziri Mkuu amesema licha ya Tanzania kuwa ni nchi ya amani na yenye utulivu wa kisiasa, wameendelea kuwahamasisha wananchi wake kudumisha mshikamano.
988,225
Rais Kibaki ametumia jukwaa la Tanzania kutoa salamu za kwa heri kwa nchi za Afrika Mashariki kwa kile kinachoelezwa kuwa kama moja ya agenda yake ya kutambua diplomasia yaTanzania ambayo ilifanikisha kumaliza mzozo uliozuka baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2007.
744,555
Aneth Gerana, mtanzania wa kwanza mwenye ulemavu wa kusikia kupata shahada ya Chuo Kikuu, ambaye pia alijitokeza kuunga mkono jitihada za Shule Direct, akiongea na baadhi ya wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia katika shule ya ufundi sekondari Moshi wakati wa hafla fupi ya kukabidhi kompyuta shuleni hapo.
761,213
Nay Wa Mitego Afungiwa na BASATA.