id
int64
0
1.44M
text
stringlengths
12
6.72k
11,027
“Dhana ya KAIZEN italeta tija, ubora na ufanisi ili kuendeleza viwanda vilivyopo na ambavyo tunatarajia kujenga hapa nchini, huduma pamoja na bidhaa zitakazokuwa zinazalishwa zitaweza kuhimili ushindani kwa soko la ndani na la kimataifa,” alifafanua Bi.
942,123
Asante sana kwa ujumbe touching na wenye mafunzo makubwa.
307,756
Najua tume ya katiba imeanza kazi ila mimi sidhani kama jambo hili linahitaji kusubiri katiba mpya.
96,075
Nini kinatokea kwa binadamu baada ya kifo
872,252
Katika kile kinachoonekana kwamba ‘maslahi haya haramu ya kisiasa kwa faida ya kiuchumi ya watu wachache’ yanajulikana serikalini, Mtafiti Mshale alimwambia Waziri kwamba “inawezekana nakukumbusha kitu ambacho tayari unakifahamu”!
601,577
Mtoto ni lazima aonyeshwe kwa upendo kwamba kuna wakati hawezi kupewa kila anachohitaji.
451,377
ASKARI polisi wa kituo cha Mafinga wilaya ya Mufindi aliyefahamika kwa jina moja la Pendo amenusurika kuuwawa kwa risasi wakati polisi wa mkoa wa Iringa wale wa mkoa wa Dodoma kuvamia na kuisambaratisha ngome ya ujambazi katika mikoa ya Iringa na Dodoma eneo la Changarawe mjini Mafinga wilayani hapa.
966,578
kukabidhiwa madaraka ya Jaji wa Mahakama ya Rufani; ‐ 64 ‐
1,287,530
Sisi Zanzibar, tuna wakuu wa serikali wanaotazamwa na serikali yenyewe.
105,675
Kwanza ni kosa la kuzungumza eti kwa niaba ya NRMKe, vuguvugu ambalo hamjakuwa mkishirikiana nalo.
1,310,778
Utofauti huu wa mavazi hujitokeza hata kwa jamii za watu wa nchi nyinginezo duniani ambapo kwa kuwatazama tu unawatambua kwa urahisi kwamba wanatoka jamii gani.
977,666
Wafuasi 27 Wa Chadema Washikiliwa Na Polisi kwa Kufanya Vurugu Mahakamani
1,310,157
Walimu wakuu katika wilaya hiyo wanasema pamoja na juhuzi zao kubwa, kuna mazingira ambayo ni juu ya uwezo wao.
1,231,964
Haki za mwanaume na mwanamke zitajadiliwa baadaye.
1,127,573
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufunzi, Dk Shukuru Kawambwa alitoa taarifa hiyo mwishoni mwa wiki katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (Muce) alipokuwa akielezea utekelezaji wa Mradi wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu (STHEP).
224,791
Watu zaidi ya milioni 68 wamaishi kama wakimbizi ulimwenguni
469,625
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) ​
273,316
Lakini kutokana na usimamizi mbaya idadi wa wanafunzi wanaoacha masomo kabla kumaliza muda wao kupata shahada nayo inazidi kuongezeka.
995,910
Wakaazi wanasema mji huo hauna maji wala umeme.
13,968
Ukisoma vizuri Biblia kila Mungu alipotaka kusema na watu wake, manabii na mitume alianza kwa kusema mimi ni Bwana Mungu wako.
1,154,419
UNICEF imewekeza katika raslimali watu na vifaa na kuleta mabadiliko makubwa.
1,094,403
Wizara ya Maliasili na Utalii, waziri wake ni Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) kadhalika hana naibu.
585,358
Wakati Martha Karua alimtumia Barack Obama ujumbe wa pongezi baada ya kutoa hotuba yake ya mwisho, labda hakujua kuwa walimwengu katika mtandao walishuhudia.
147,234
” Hayo ni ugonjwa wa kibinadamu.
214,892
Kufuatia maono ya mbali ya TFF safari hii ilianza mwaka 2014 mara tu baada ya mashindano ya Copa Coca Cola ambayo yalihusisha vijana umri chini ya miaka 15 wakati huo.
72,921
hususan kwa wanyama wasio na utashi.
998,701
Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Afrika, Karibiani na Pacific (ACP) Alhaji Muhammad Mumuni akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa ACP jijini Brussels leo ofisini kwake.
1,429,094
Vyuo vikuu vinaagizwa kuwasilisha bodi ya mikopo, kwa wakati taarifa zote za kitaaluma na za kibenki za wanafunzi ili kuiwezesha kufanya marekebisho stahiki katika kumbukumbu zao na kuepusha ulipaji wa fedha kwa wanafunzi wasiostahili.
815,838
castration if not followed zaidi ya mwaka mmoja uliopita
993,680
Kuna Vigogo wengine wametajwa kwenye Ripoti mpya – millardayo.
809,765
Ili kupiga hatua yoyote muhimu, ni lazima kufahamu na kukubali kwamba swala la afya ya uzazi siyo tu swala la kiafya pekee.
918,841
Nyalandu amesema kuwa wadhifa wa kuongoza nchi ni mkubwa mno, ambao mtu hawezi kujichukulia uamuzi wa kuiomba nafasi hiyo isipokuwa mpaka atumwe na watu, huku akisema kuwa ingawa hana mpango wa kugombea urais, lakini hata yeye akitumwa anaweza kugombea.
108,604
Pamoja na mambo mengine wajumbe wa Mkutano Mkuu walipitisha maazimio kadha wa kadha ikiwemo mabadiliko ya katiba ya UTPC ambapo sasa UTPC itakuwa na Bodi ya Udhamini na mtaalamu wa masuala ya fedha ambaye ataingia kwenye Bodi ya Wakurugenzi.
201,812
Mbali na usafiri wa mijini inahusishwa, gari linakuwa lile zaidi na zaidi kwa sisi sote, tatizo na lisilo na afya kwa jamii.
307,318
Ubabe wao hauna kitu kwa sababu hauwezi kushindana na watu wanaopenda Amani na haki wa sisi wa chadema.
933,341
Katika Interview mbalimbali DNA haachi kusema wakati wote huo kabla hajaokoka alikuwa mlevi kupindukia.
1,042,677
Sambamba na Leaders baadhi ya barabara za wilaya hiyo zilifungwa kwa muda kuruhusu mwili wa marehemu Kanumba ‘The Great’ upitishwe ukitolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili hadi viwanjani hapo.
617,702
Mwakilishi wa Shirika la Save The Children Bi.
1,168,478
Aidha Abdallah alisema mikakati yake ni kuboresha pale walipokwama ili kupata matokeo chanya katika maonyesho yajayo.
565,346
ngoja tuone kati ya MUNGU na huyo KIKWETE wenu nani zaidi.
391,872
Katika chaguzi zote za awali, CCM ilitangazwa kuongoza kwenye nafasi zote ilizowania katika pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
940,264
12:36 Huyu hapa ni Papa Francis akiabiri ndege.
1,043,426
Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
1,181,104
kuwakaribisha wewe katika Wapi Maji yangu?
719,234
Be the best Television ya Taifa.
1,022,668
Akizungumza katika ufunguzi wa kongamano la Kwanza la kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Mjini Zanzibar Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassani amesema lugha ya kiswahili ni lugha ya mawasiliano hivyo ni vyema kuendelea kutumiwa katika nchi za Africa Mashariki.
1,229,329
Kijana wa Kitanzania anayejishughulisha na maswala ya Uchoraji, Ahmed Mohamed akizungumza machache kwenye hafla hiyo.
547,838
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF leo limezindua jezi mpya za timu za Taifa, zitakazokuwa zikitumika na timu za Taifa katika michuano mbali mbali itakayokua inazikabili.
76,136
Shirika lisilo la kiserikali nchini Haki Elimu limetoa shilingi milioni ishirini ya kuanzishwa kwa ujenzi wa kisima cha maji katika shule ya sekondari mukulat katika kijiji cha lemanyata kata ya lemanyata wilaya ya arusha vijijini ili kuwaondolea adha wanafunzi i wa shule hiyo wanaolazimika kusafiri umbali mrefu na kutumia muda mwingi kwakutafuta maji.
693,654
Home / KITAIFA / tanzania / TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
1,366,279
Mwisho wa Maombi: 15 Januari 2018
642,482
2019 Man City yachapwa, United waponea chupuchupu Pep Guardiola amnyima Kompany mkataba mpya Mwisho wa dirisha la uhamisho wa wachezaji katika ligi ya China ni Februari 28.
720,409
Kwa tafsiri nyingine hii huwa ni njia bora ya uongozi wa nchi japo kuwa misimamo ya serikali au kiongozi mkuu wa serikali huwa haipaswi kuwa juu ya haki na matakwa ya wananchi.
57,635
"Suala la uchomaji moto misitu suala hili wahusika wote pamoja na viongozi walio katika eneo lililochomwa watachukuliwa hatua, lazima tutunze mazingira kwa maendeleo ya Nchi yetu hili ni agizo", alisema kanali Ndagala.
820,011
Maofisa wa CCM kwenye mazungumzo hayo
137,262
Usiwazewaze sana ugumu wa maisha ulivyo.
861,709
Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi Stanslaus Mpembe akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu zoezi la Uhakiki wa Wastaafu wanaolipwa pensheni na Wizara ya Fedha na Mipango, mkoani Dodoma.
1,424,803
Kwa hiyo katika Muungano wenye malalamiko toka pande zote za nchi washirika kama hakuna katiba inayowaunganisha, mtaendelea kuwa na malalamiko yasiyoisha milele au muungano utavunjika siku moja.
1,250,254
Picha hii inaonyesha ukuwaji wa Plasenta ya panya, ambayo inaweza kusababisha kutoka kwa kudanganywa ya mfumo wa kinga ya mama.
566,083
Marais wastaafu wanahudumiwa kwa kutumia pesa za walipa kodi wa nchi hii, mambo yanavyoendea ndivyo sivyo tulitegemea wangetoa ushauri au pengine kusema chochote kuhusiana na mgomo wa madaktari au katika jambo lolote gumu linaloikabiri nchi.
23,401
“Nani anayeweza kutuambia, uwanja wa ndege wa Chato unajengwa kwa gharama gani na ilipitishwa na nani.
791,409
Ibara ya 119(10), kwamba Tume itakapokaa maamuzi yake ni halali anapokuwepo Mwenyekiti au Makamu na wajumbe wengine wanne.
46,704
Kwa Uongozi wa msikiti wa Maamur uliopo Upanga Dar es salaam pia familia inatoa shukurani za kipekee kwa yote mliotutendea ikiwa ni pamoja na mwongozo wa kidini katika wakati wote wa msiba na mazishi.
71,458
CHRIS MAUKI: SIMULIZI YA KWELI YA MAISHA YA DR.
443,896
-Angalia yaliyo Chanya zaidi ya Hasi.
301,446
Natamani huyu mtoto angekuwa mimi kwani sina picha ya umri huu.
300,228
Suleiman Jafo alipofanya ziara kwenye soko hilo kukagua hali ya miundombinu, ikiwa ni pamoja na uchakavu wa vizimba, ambapo alipata fursa pia ya kufanya mazungumzo na wafanyabiashara wa soko hilo.
796,415
Somo katika kitabu cha Matendo ya Mitume.
1,234
PPF na Ujenzi wa Jengo Kubwa Jijini Arusha
885,263
Home » habari za kitaifa » Gondwe awataka wazazi kuacha kuwaficha watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi
30,786
Makazi pekee (ujazo wa juu, kati na chini
1,317,765
Kama kuna chama cha siasa hakiridhiki au kimekwazwa kwa njia moja au nyingine na suala lolote kuhusu masuala ya uchaguzi, njia stahiki na inayonyesha ukomavu wa kisiasa si kuhamasisha kugomea uchaguzi, bali ni vema kikafuata utaratibu uliowekwa katika sheria za uchaguzi,” alisema Jaji Mutungi.
1,041,689
"Kama alivyosema Msemaji Mkuu wa Serikali kwamba kuna tofaui kubwa ya kufikisha habari na kufikisha habari sahihi,kwa hiyo daraja hilo ambalo kwa muda mrefu limekuwa halipati heshima stahiki sasa litapa heshima.
303,403
Msichana huyo alipelekwa kwenye kituo hicho cha polisi na wazazi wake baada ya mhudumu wa bodaboda kujaribu kumbaka.
752,710
Endapo Mbowe atakutwa na hatia ya kutokuwa na ushahidi huo, atakumbwa na adhabu ya miaka mitatu jela au faini ya Sh 500,000.
290,105
Kuhusu kulipishwa tofauti kwa gari aina hiyo hiyo, kinachonichangaza hapa ni jinsi mzee unavyoona hiyo ni sawa, na jinsi watu wengine wanavyoona utaratibu huu ni sawa.
6,383
Mheshimiwa Naibu Spika, swali la pili; kwa kuwa Serikali imeweka mpango mzuri wa kuwa na dawati la jinsia.
515,312
Richard Sezibera amesisitiza umuhimu wa jamii kuheshimu masuala ya njinsia na kuonya kwamba kutofanya hivyo kutasababisha miradi mbalimbali kufa.
1,406,086
Kama nilivyo waambia Viongozi Wakuu wa UKAWA walikaa juzi kutafakari hali ya kisiasa nchini na hususan Zanzibar na matukio yaliyoandamana na Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktober mwaka huu.
7,631
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amehoji sababu za Bunge kutogharamia matibabu ya Tundu Lissu aliyepo nchini Ubelgiji tangu Januari 7, 2018 akipatiwa tiba ya mazoezi.
422,862
Baada ya hapo maswali mengi yalivuma kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu ukweli wa hali yake Dk Shika,ambazo zinadai kwamba alikuwa mjasusi wa intelijinsia wa Marekani, CIA, anamiliki mabilioni ya fedha nchini Urusi na Uhispania.
433,125
RAIS wa Tanzania, John Magufuli, na mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni, walikashifu Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa kufungua upelelezi dhidi ya madai ya uhalifu wa kivita Burundi.
1,423,873
Baada ya kusema hayo, napenda kurudia tena kuwatakia Heri ya Mwaka Mpya 2018.
1,149,774
Mshambuliaji wa timu ya Barcelona Luis Suare ameunga mkono kitendo cha mshambuliaji mwenzake wa timu ya taifa ya Uruguay Edinson Cavani kutaka kuondoka katika timu ya PSG.
1,186,084
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali alifanya ‘special audit’ Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.
279,909
Hebu tuangalie maelekezo aliyoyatoa Bwana Yesu kuhusu kufunga na kuomba.
738,271
Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa asilimia 54.
1,298,841
Mwalimu alisisistiza kwa kusema “Muda utafika ambapo Marekani na Ulaya Magharibi watajisikia vibaya jinsi walivyoitumia Afrika” huku akitolea mifano ya mateso na manyanyaso waliyoyapata Waafrika ikiwemo vita vya Mau Mau nchini Kenya, vifo vya watu wa kabila la Waherero nchini Namibia, vita vya Majimaji nchini Tanzania.
1,030,735
Ukweli Uliopotea - Sehemu ya Pili
329,853
Kwa hiyo, tutaleta marekebisho, lakini vilevile tutaangalia vitu vingine.
103,759
Maoni ya wahariri wa magazeti ya Ujerumani leo _ Magazetini _ DW _ 20.
1,258,899
Kompany amekosa mechi tano za Ligi Kuu za City kutokana na majeruhi ya nyonga ambapo timu hiyo ilipoteza michezo mitatu kati ya hiyo na kushinda miwili na kuwafanya kuwa nyuma ya vinara Leicester City kwa alama sita.
473,624
Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare
696,713
MATUKIO @ MICHUZI BLOG: WATUMISHI WA HOSPITAL YA SEKOUR TOURE, HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA NA CHUO CHA IFM WASHIRIKI ZOEZI LA USAFI LA KILA MWEZI
450,051
namna hiyo na kuwachukulia hatua kuwawajibisha.
1,017,640
Haya ni maoni yangu (mimi kama mwandishi).
283,881
Rais Magufuli Afanya Ziara Ya Kushtukiza Bandarini Na Kuzuia Makontena 20 Yenye Mchanga Wa Madini Uliokuwa Usafirishwe Nje Ya Nchi _ MPEKUZI
930,208
NYOTA Mkenya Eliud Kipchoge amemwomboleza Naibu Rais wa kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike, Alexander “Sandy” Bodecker, ambaye alimtaka atimke mbio za kilomita 42 chini ya saa mbili.
488,790
“Mara nyingi huwa natumia SportPesa App kwasababu ni nyepesi zaidi katika kuweka ubashiri.
677,927
Huwa napata wastani wa shilingi 5,000 kwa siku kama kukiwa na biashara mbaya lakini kiasi hiki kinanitosha kabisa kwa matumizi yangu,” anasema Machia.