id
int64
0
1.44M
text
stringlengths
12
6.72k
613,452
Nilimwamini, na kuwa na uhakika angalifanya vizuri na kuibuka kidedea.
15,286
Mwenyekiti wa Homari AMCOS iliyopo katika Kijiji cha Masakta, Bibi Magreth Mgeni (kushoto) akizungumza na wageni kutoka TADB walipotembea AMCOS hiyo.
1,155,457
Kazi hiyo ilienda haraka na kwa ufanisi.
59,103
Aidha akifafanua hali ya upatikanaji wa umeme nchini Profesa Mhongo amesema kwa sasa hali ya upatikanaji umeme vijijini ni asilimia 7 na lengo ni kufikia asilimia 20 ifikapo 2015.
137,995
“Baada ya migogoro kati ya Kansela wa Ujerumani na rais wa Ufaransa, mkutano huu wa Berlin ulilenga kuonyesha picha ya maelewano.
455,630
kwani ulikuwa umefika wakati wa mimi kuenjoy mema ya nchi kama wao wanavyoenjoy,,,,,.
125,438
Wakati huo huo Balozi Iddi alionana na Balozi mdogo wa India aliepo Zanzibar Dalip Sigh Singal, ambapo aliiomba India kusaidia upatikanaji wa matrekta madogo kwa ajili ya wakulima wa Zanzibar.
601,006
Huyu Joseph Ludovick ndo nani hasa.
584,897
” Watarudishwa kwenye utaratibu wa matibabu chini ya muongozo wa Wizara ya Afya kwenye hospitali walikotoka, kwa vile mradi huo wa utafiti umemaliza kazi yake Machi 31, 2016.
808,252
Dhana hii mpya imekuja si kwa kuwa zile za zamani hazifanyi kazi au
615,384
Haya wadau, sasa sijui ni zamu ya nani kuendeleza libeneke!
686,852
Mbali ya kirutubisho hicho kuwa na uwezo wa kutengeneza aina mbalimbali za ladha za matunda, lakini pia hakina gharama (cheap).
758,781
George Kahangwa, Naibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika, Katibu Mkuu NLD, Tozzy Matwanga na Naibu Katibu Mkuu CUF, Magdalena Sakaya.
818,374
Klopp pia amesema Adam Lallana anaendelea vyema lakini hajaanza mazoezi na nahodha Jordan Hunderson naye yuko njiani kurejea uwanjani.
354,169
Taarifa hiyo ilitolewa na aliyekuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wakati huo, Shukuru Kawambwa.
452,340
Muomoneke wa eneo hilo alilokabidhiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
851,116
Awali kabla ya gari hilo lililobeba wasaidizi wa Makamu wa Rais kuacha njia na kupinduka, gari liliokuwa limebeba waandishi wa habari wa channel ten, startv na clouds tv liliacha njia na nusura kupinduka.
568,628
Kama mtu ana eneo lake aje aliendeleze zaidi ya hapo tunanyang’anya,” amesema Sara.
960,501
Alisema kuingia kwake katika Bunge la Kumi na Moja kumempa jukwaa la kuzungumzia harakati hizo kwa kuwa awali alikuwa akitumia asasi kupaza sauti.
541,968
Lengo la miradi hiyo ni kupunguza gharama za upimaji wa ardhi na kwa msingi huo kuongeza kasi ya upimaji.
1,257,740
Rais wa Congo, Joseph Kabila ameendelea kuwepo madarakani licha ya muda wake kumalizika tangu Disemba mwaka 2016.
452,917
Chanzo cha kuaminika ndani ya wizara hiyo kimeliambia gazeti hili kuwa imani waliyokuwa nayo wafanyakazi hao inazidi kushuka siku hadi siku kutokana na Dkt.
99,206
Mradi huu utaendelea kukarabatiwa na Serikali kwa kushirikiana na Jumuiya ya watumiaji maji katika eneo la Kicheba, kadri fedha zitakavyopatikana.
557,130
Hata hivyo, Ninataka kumfurahisha YAHUVEH na YAHUSHUA hata kama sitaweza kuwafurahisha wanadamu.
1,013,018
Anaongeza kuwa marufuku ya miraa nchini Uingereza Juni 24, 2014 ilibadilisha umbo la siasa katika eneo hilo.
304,595
JE KUNA TOFAUTI GANI KATI YA UFUGAJI WA KAMBALE NA SATO (TILAPIA)?
36,995
Al-Badawi alikuwa mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Temeke, na sasa ameamua kurejea CUF kwa kile alichokieleza kuwa ni ubabaishaji ndani ya chama hicho kipya kinachohusishwa na mbunge wa jimbo la Wawi Mhe.
307,931
Opondo aliiambia Sauti ya Amerika kuwa wajumbe wa serikali ya Kinshasa walikataa kuingia katika chumba ambako kulikuwa na sherehe za kutia saini makubaliano hayo na kuomba muda zaidi kusoma hati ya makubaliano hayo.
583,810
Soma tena mstari ya 4 hadi ya 7 na utaona sifa za upendo huu.
430,819
Pia idadi ya watoto wachanga wanaokufa mapema ni kubwa mno.
1,110,291
Ni lazima kuwasilisha katika maombi yako barua ya msaada kutoka kwa msimamizi wako mwenye uwezo katika DTIC.
804,332
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wapya baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam
495,975
Lakini licha ya majigambo hayo, Mugabe, mara kwa mara amekuwa akitembea kwa kujivuta huku akitumia muda wake mwingi kusinzia katika mikutano.
708,654
), zawadi mbalimbali, kuwa karibu sana na wapenzi wao (maana siku zingine hawako nao sio?
916,692
MVUA kubwa iliyoambata na upepo mkali, imekata mawasiliano ya miundombinu ya barabara eneo la Buyuni na kusababisha wakazi kutoka kata ya Vigwaza na Mwavi jimbo la Chalinze, kupata shida.
258,896
Kwa mnasaba daktari wangu ni mpagani na anapinga dini zote na kuzidharau.
1,160,549
Mume anapobisha hodi tu na kukaribia mlangoni, basi mwanamke anapoufungua mlango tu anaanza mashambulio yake kwa kila aina ya silaha alizonazo.
484,749
a juu ya wanasheria na kuona kuwa ndio kila kitu hapa duniani jambo ambalo ninalipinga kwa sababu hapa duniani kila kazi inaumuhimu wake wewe hapa unahabarisha kupitia mtandao, unaumuhi sana katika jamii kwani bila habari ni sawa na giza.
1,440,405
Pia, mwanasiasa huyo ambaye alikuwa akivuta hadhira kubwa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, alisema kuzuia mikutano ya hadhara imetosha kwa kuwa wanasiasa wengine, kama Rais John Magufuli wanazunguka sehemu mbalimbali na kuzungumza na wananchi.
1,000,068
Kama atakuwa hana kazi basi awe na uchu wa maendeleo kwa kujituma kufanya kazi mbalimbali za kimaendeleo kama vile kilimo kwa wale walio vijijini na biashara ndogondogo kwa wale ambao wako mijijini na hata vijijini.
1,129,028
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA, Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba ametunuku Shahada mbalimbali kwa wahitimu 2695 huku zaidi ya wahitimu 50 wakipata shahada ya Udaktari wa Falsafa katika Fani mbalimbali.
1,015,458
(vii) Tunayo changamoto ya ukuaji wa uchumi ambao hauendi sambamba na kasi ya upatikanaji wa ajira.
116,369
Bodi iliyozinduliwa na Naibu waziri Kijaji, inaongozwa yenye wajumbe wa nne inaongozwa na Mwenyekiti wa bodi Godwin Mjema, ambayo itakaa madarakani kwa kipindi cha miaka mitatu.
254,544
Walisema kuwa kuna mpasuko mkubwa miongoni mwao, kiasi cha kukwamisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
425,506
Je, Serikali ina mpango gani wa kuimarisha masomo ya uzalendo na masomo ya umoja wa kitaifa?
211,823
Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ekpeziela - BBC News Ìgbò
1,080,201
Kifungu kinaposema kuwa, “mwili umekufa kwa sababu ya dhambi,” unadhani hiyo inamaanisha nini?
310,262
Mkuchika (Mb) kinachofanyika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) jijini Dodoma.
266,406
Mgeni rasmi wakati wa fainali za Mahusiano Cup, katibu tawala wa wilaya ya Kahama Timoth Ndanya (Mwenye track suit nyekundu) akitoa mawaidha kwa wachezaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa fainali za Mahusiano Cup
727,282
Aidha wakili kutoka LHRC,Harold Sungusia amesema ameridhishwa na maamuzi ya kesi hiyo na walifungua kesi hiyo kutokana na kupewa mamlaka na Katiba katika ibara 100 kifungu cha pili kinatoa nafasi kwa mbunge kushitakiwa mahakamani kutokana na kauli zake ndani ya bunge
177,995
Lakini CCM imekuwa inapeleka vijana wake kwenye makambi kujiandaa kufanya fujo…Lakini wajue kuwa amani itakuwapo kama haki itatendeka.
566,242
Mchezaji huyo alikuwa awali asajiliwe na kilabu ya England ya aston villa, lakini makubaliano yakavunjika wiki hii.
497,228
Nidhamu ni neno dogo sana kulitamka ila ni kitu kikuu mno kumfanya mtu kufikia malengo yake na kuwa mtu wa tofauti na watu wengine wamzungukao.
71,155
Petro Oystabay jijini Dar Es Salaam.
192,905
Hakuna timu nyingine ambayo imefanikiwa kutetea kombe hili la…
922,824
Jawabu ni kuwa vyenye kutegemezwa kwa Allaah vyagawanyika katika sehemu kuu mbili na hakuna ya tatu!
775,924
Rai hiyo aliitoa Jana (Leo) katika kikao cha baraza la madiwani cha kuipitia na kupitisha rasimu ya bajeti inayo pendekezwa na balaza hill ambapo Ndagara aliwaomba madiwani kuwashawishi Wananchi kuchangiq shughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na kuchangia Ujenzi wa vyumba vya madarasa na kuchangia michango mingine iliyopendekezwa kwenye rasimu ilikufikia lengo la kukusanya mapato kwa asilimia 80%.
911,807
"Ni muhimu kufanya mazoezi kila siku, mazoezi yanasaidia kuchangamsha mwili, kufahamiana, kujenga urafiki pamoja na kuwa na afya bora," alisema Majaliwa.
1,275,815
THAMANI ya shilingi ya Tanzania imeshuka kwa asilimia 50 kuanzia mwaka 2002 hadi Juni
790,864
4 Mambo muhimu unahitaji kufanya kujenga orodha yako
514,575
Warsha hiyo ilisimamiwa na mradi wa watoto uliolenga: kuupa sura mpya uanzilishi wa elimu mjumuisho nchini Mongolia; kusaidia wahusika kusaidiana, na kujifundisha kutoka, nchi zingine kuhusu maendeleo na utekelezaji wa sera; kutambua mambo muhimu na mapendekezo ya kuendeleza na kutekeleza sera hizo nchini Mongolia.
214,569
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akimfariji Mjane wa aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 11, 2016
1,065,436
nafasi au hali ya mwili wako ya kuwa umeambukizwa).
1,226,834
Alisema matengenezo yataanza baada ya wataalamu hao kumaliza kazi hiyo na kutoa maelekezo yakinifu juu ya utafiti wao katika majengo hayo.
69,341
23 Nao watamwua na siku ya tatu atafufuka.
197,177
LICHA ya kuanza akiwa na Arsenal, huenda msimu huu ukamalizika kwa Danny Wellbeck akiwa mchezaji wa Everton.
256,348
Na tupate pia nafasi ya kuwatangazia watu waadilifu, ili wawe na shukrani, zile shughuli nyingi na za namna mbalimbali zinazotekelezwa na taasisi maalum za kimataifa katika uwanja huo nyeti.
138,638
Kenya yakabiliwa na baa la njaa.
1,346,510
Utata unaozingira sarakasi zinazomhusu wakili Miguna Miguna umechukuwa mkondo mwingine baada ya wakili huyo kudai kuwa maafisa wa polisi walimwimbia KSHh 150,000 katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA).
309,049
Matokeo ya utafiti wa ruzuku kwa shule za sekondari
1,383,956
we chamuhimu ni kujiridhisha kwa huyo supplier wako, ikibidi usimpatie direct peyment kwa mara ya kwanza, utumie acount za alibaba wenyewe co acount za supplier!
468,478
Ndani ya CCM kuna "gorilla war" inaendelea na kwa kweli hawa walioamua kubaki humo watakuwa na kila sababu ya kuhakikisha wanaleta mabadiliko!
385,751
Mara zote hakikisha unabadili password zake za mitandao ya kijamii kila baada ya muda flani – miezi 6 – mwaka.
56,611
Etihad na Jet Airways wanatoa siti zaidi ya 44,000 kila wiki kati ya Abu Dhabi na India, sisi ni kati ya wachangiaji wakuu wa uchumi ya India.
70,052
TAARIFA YA ZIARA YA MAZINGIRA YA WAZIRI MAKAMBA KATIKA HALMASHAURI YA KOROGWE, TANGA
1,346,522
Mkuu wa Mkoa akiondoka kwenye eneo la ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Nandagala baada ya kufanya ukaguzi.
284,289
Kwa mfano mtu anaona kuwa na nyumba na kupata chakula na mahitaji mengine ya familia yake ndio faraja yake kwenye maisha.
1,167,592
Na kwenye jengo hili (jipya) benki zitaongezeka, kwa hiyo tutaongeza huduma.
429,567
Katika kipindi hicho Samatta alitwaa tuzo ya mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa pamoja na tuzo ya mchezaji Bora wa Afrika.
1,340,732
Miswada ifuatavyo ilisomwa kwa mara ya Kwanza.
714,629
Wakati bado wakiwa na kumbukumbu ya kudhalilishwa nyumbani na mahasimu wao Barcelona, kisha jana wakaondolewa kwenye michuano ya Copa Del Rey, leo hii kocha aliye kwenye presha Rafael Benitez ataiongoza klabu yake ya Real Madrid kuikaribisha Getafe Santiago Bernabeu.
525,924
Kwa njia hii unaweza kufikia kuangalia huo wa vilivyoandikwa nyingine katika template yako.
323,313
kweli ndugu yangu lazima kila mtu ajue nafasi yake kwa MUNGU
515,869
Walisema katika mchezo huo JKT Rwamkoma walikuwa hawana uwezo wa kutoka na matokeo hayo ya ushindi kutokana na mchezo huo na kuiomba TFF kufatilia kwa makini na kuomba taarifa ya mchezo kutokana na mazingira hayo kuzikatisha tamaa timu nyingine kushiriki ligi msimu ujao.
89,959
usinifiche maana mtu anayeweza kukusaidia ni mimi, kama nitaujua huo ukweli wote, nitajua cha kufanya, au cha kukushauri…je hujakutana na mwanaume mwingine uwe na uhakika, maana kama umewahi kukutana na mwanaume mwingine na iwe ni mimba yake, hapo kuna mawili, kuonana na huyo mwanaume au jingine….
1,005,332
83m) baada ya kumuuza mchezaji huyo wa miaka 23 kwa Everton kwa euro 30.
1,431,504
Mwaka 1998 alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kitivo cha sheria na kufanikiwa kuhitimu chuoni hapo.
1,161,627
Kwa hiyo naomba Serikali yetu, kwamba miradi mizuri iliyopangwa ikiwemo ya Mkoa wangu wa Morogoro, kama ile ya Mikula pamoja na miradi mingine, itekelezwe kusudi tuweze kutoka kwenye hekta 468.
1,124,201
Rais Kenyatta anasema, kwa hakika alikuwa ni “Mzee wa shoka, hapana mchezo”.
51,285
Mkuu wa majeshi mstaafu Jenerali Robert Mboma akisaini kitabu cha maombolezo.
292,430
Kadiri ya taarifa kutoka Laos, zaidi ya watu 6, 600 hawana makazi tena baada ya nyumba zao kubomolewa na mafuriko.
1,230,120
Sijajua kwa nini bwana mdogo huyu anang’ang’ania suala hili lililo wazi kuwa ni kweli.
610,948
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
251,626
Ndugu wanahabari, napenda kusema kwa kurudia na kusisitiza kuwa sina lori wala basi hata moja na sina ubia na wafanyabiashara ama makampuni yoyote yanayofanya shughuli hizo.
1,074,566
Meneja wa TANESCO Mkoa wa Simiyu Bi.
184,080
Uzuri ni kwamba hali bado si mbaya sana.
845,452
Kuweko kwa majina "iliyostawi" na "inayostawi" kuna lengo la kurahisisha shughuli za kufanya takwimu na si lazima kuhukumu hatua ilizopiga nchi au eneo fulani katika mchakato wa maendeleo[9].
31,336
Kocha wa timu ya taifa Iran, Carlos Quieroz, amesema kuwa wamejiandaa vizuri na mechi yetu dhidi ya Spain.
96,858
John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa wazee wa mkoa wa Dar es salaam wa zamani Mzee Idd Simba, Kulia ni mfanyabiashara Abdullah Mohamed.
1,346,990
Viongozi wa namna hiyo ndio wanaodumaza uchumi wa nchi.